1dottosamwel Instagram Photos and Videos

Loading...


1dottosamwel Dotto @1dottosamwel mentions
Followers: 19,715
Following: 7,500
Total Comments: 0
Total Likes: 0

Asante MUNGU kwa ushindi wa leo. THIS IS SIMBA. Hongera sana timu yetu ya @simbasctanzania Kwa ...
Media Removed
Asante MUNGU kwa ushindi wa leo. THIS IS SIMBA. Hongera sana timu yetu ya @simbasctanzania Kwa ushindi wa leo , ASANTE MUNGU. #simbanguvumoja Asante MUNGU kwa ushindi wa leo.

THIS IS SIMBA.
Hongera sana timu yetu ya @simbasctanzania Kwa ushindi wa leo , ASANTE MUNGU.

#simbanguvumoja
Loading...
MUNGU angetaka kukufanyia kila kitu asingekupa miguu ya kutembea , asingekupa mikono wala macho ...
Media Removed
MUNGU angetaka kukufanyia kila kitu asingekupa miguu ya kutembea , asingekupa mikono wala macho ya kuona na Masikio ya kusikia , asingekupa akili ya kufikiria na wala asingekupa nguvu za kufanyia Kazi, Asingekufanyia kila kitu na wewe kukaa tu, Ana uwezo huo na angeweza kufanya hivyo lakini ... MUNGU angetaka kukufanyia kila kitu asingekupa miguu ya kutembea , asingekupa mikono wala macho ya kuona na Masikio ya kusikia , asingekupa akili ya kufikiria na wala asingekupa nguvu za kufanyia Kazi, Asingekufanyia kila kitu na wewe kukaa tu, Ana uwezo huo na angeweza kufanya hivyo lakini hakufanya
Lengo kuu la MUNGU kukupa hivyo ulivyonavyo ni kwasababu yeye huanzia pale miguu yako inapoishia kutembea, huanzia pale mikono yako inaposhindwa kushika, pale macho yako yasipoweza kuona, pale ambapo masikio hayawezi kusikia na kubwa zaidi pale ambapo akili yako inapoishia kufikiria ndipo nguvu zake huhitajika
Acha kukaa tu na kusubiri MUNGU atende , kuishi kwenye maombi ukiomba Baraka zake huku ukiwa hufanyi chochote , kama unamjua MUNGU vizuri basi ungejua tayari Kua tayari ameishakupa Baraka
Unazoziomba amekupa Baraka ya mikono , itumie kashakupa Baraka ya miguu, kashakupa Baraka ya macho, masikio, akili na nguvu ya kufanyia kazi, ni Baraka nyingine ipi tena unaanza kuomba kama hiyo aliyokupa sasa umeshindwa kuitumia ,
Unadhani ni wangapi ambao wanaomba kuwa kama ulivyo sasa na MUNGU bado hajaamua kuwabariki hebu jiulize hutumii mikono yako kufanyia kazi miguu yako kufanyakazi unaomba MUNGU akuletee chakula nyumbani vipi yule ambaye hana mikono au miguu una Afya njema umekaaa tu nyumbani unalalamika , vipi waliopo mahospitalini , wao wanahitaji kumuomba MUNGU kuwapa Afya kwanza kabla ya kumuomba Baraka nyingine wewe tayari unayo Baraka ya Afya lakini bado unalalamika
Mshukuru MUNGU kwa Baraka alizokupa, zitumie vizuri na muombe akuongoze katika kuzitumia , acha kusema kila kitu unamwachia yeye wakati tayari kashakubariki, tumia Baraka alizokupa kwa kadri ya uwezo wako na elekeza sala zako katika kumuomba yeye kuanzia hapo ulipoishia, pale ambapo huna uwezo napo mshukuru kwa kutumia alivyokujali kuwa mtu bora zaidi na si kwa kulalamika kila siku kuwa huna bahati
Wakati kuzaliwa jinsi ulivyo ni BAHATI KUBWA.
Read more
Marafiki zangu wote wa page yangu ya instagram, nawaomba mmfollow dada yangu @janemanoti @janemanoti ...
Media Removed
Marafiki zangu wote wa page yangu ya instagram, nawaomba mmfollow dada yangu @janemanoti @janemanoti @janemanoti Nawapenda sana marafiki zangu wote Marafiki zangu wote wa page yangu ya instagram, nawaomba mmfollow dada yangu @janemanoti
@janemanoti
@janemanoti
Nawapenda sana marafiki zangu wote
Heri ya mwaka mpya kwa kila mmoja wenu, kama siku ya kwanza ya mwaka umeianza vibaya usisikitike, ...
Media Removed
Heri ya mwaka mpya kwa kila mmoja wenu, kama siku ya kwanza ya mwaka umeianza vibaya usisikitike, hii ni siku tu kama siku nyingine na haina maana yoyote katika kubeba yatayojiri kwenye mwaka mzima, hivyo Relax kuwa happy na maisha yaendelee. HAPPY NEW YEAR!!! Heri ya mwaka mpya kwa kila mmoja wenu, kama siku ya kwanza ya mwaka umeianza vibaya usisikitike, hii ni siku tu kama siku nyingine na haina maana yoyote katika kubeba yatayojiri kwenye mwaka mzima, hivyo Relax kuwa happy na maisha yaendelee.

HAPPY NEW YEAR!!!
Kwa heshima na taadhima Naomba nichukue nafasi hii ya kukutakia heri ya siku ya kuzaliwa.... MUNGU ...
Media Removed
Kwa heshima na taadhima Naomba nichukue nafasi hii ya kukutakia heri ya siku ya kuzaliwa.... MUNGU akutangulie kwenye kila jambo na akufanikishie hitaji la moyo wako, Na aendelee kukubariki na kukulinda na akufungulie mafanikio unayohitaji katika maisha yako, HAPPY Birthday to you ... Kwa heshima na taadhima Naomba nichukue nafasi hii ya kukutakia heri ya siku ya kuzaliwa.... MUNGU akutangulie kwenye kila jambo na akufanikishie hitaji la moyo wako,
Na aendelee kukubariki na kukulinda na akufungulie mafanikio unayohitaji katika maisha yako,
HAPPY Birthday to you madam, mheshiwa @bonnahkaluwa
@bonnahkaluwa
@bonnahkaluwa
@bonnahkaluwa
Asante MUNGU kwa kukuongezea mwaka mwingine
Read more
Asante Sana mheshimiwa kwa kutuwakilisha vyema, MUNGU akulinde na akubariki sana, mheshimiwa @bonnahkaluwa shikamoo madamu , mheshimiwa @bonnahkaluwa @bonnahkaluwa @bonnahkaluwa @bonnahkaluwa #munguibarikitanzania Asante Sana mheshimiwa kwa kutuwakilisha vyema, MUNGU akulinde na akubariki sana, mheshimiwa @bonnahkaluwa shikamoo madamu , mheshimiwa @bonnahkaluwa
@bonnahkaluwa
@bonnahkaluwa
@bonnahkaluwa
#munguibarikitanzania
Loading...
KUWA MAKINI SANA NA MTU ANAEOMBA KURUDIANA NA WEWE, YAWEZEKANA HUKO ALIKOENDA AMEKOSA MTU WA KUMPENDA ...
Media Removed
KUWA MAKINI SANA NA MTU ANAEOMBA KURUDIANA NA WEWE, YAWEZEKANA HUKO ALIKOENDA AMEKOSA MTU WA KUMPENDA HIVYO ANARUDI KUJISHIKIZA KWA MUDA TUU, AKIMPATA ATAONDOKA TENA. KUWA MAKINI SANA NA MTU ANAEOMBA KURUDIANA NA WEWE, YAWEZEKANA HUKO ALIKOENDA AMEKOSA MTU
WA KUMPENDA HIVYO ANARUDI
KUJISHIKIZA KWA MUDA TUU, AKIMPATA ATAONDOKA TENA.
Nianze kwa kumshukuru MWENYEZI MUNGU kwa kunijalia kuiona siku hii ya leo nikiwa mzima wa afya njema, ...
Media Removed
Nianze kwa kumshukuru MWENYEZI MUNGU kwa kunijalia kuiona siku hii ya leo nikiwa mzima wa afya njema, ni matumaini yangu kwamba marafiki zangu ni wazima wa afya njema Naomba nichukue nafasi hii kuwashukuru marafiki zangu kwa kunitakia siku yangu ya kuzaliwa ASANTENI KWA UPENDO WENU Mlionitakia ... Nianze kwa kumshukuru MWENYEZI MUNGU kwa kunijalia kuiona siku hii ya leo nikiwa mzima wa afya njema, ni matumaini yangu kwamba marafiki zangu ni wazima wa afya njema

Naomba nichukue nafasi hii kuwashukuru marafiki zangu kwa kunitakia siku yangu ya kuzaliwa ASANTENI KWA UPENDO WENU
Mlionitakia siku yangu ya kuzaliwa na msionitakia wote kwa ujumla nawashukuru sana, Marafiki zangu, NAWAPENDA SANA,
MUNGU AWABARIKI

imewahi kukutokea kwamba licha ya kuwahi kumpenda au kupendana na mtu fulani, imefika hatua mambo yote hayawezi kuendelea tena, moyo umekinai, hisia zimekufa na jambo pekee unalotaka litokee ni wewe na mwezi wako kuachana?
Kwamba huamini kama kuna jambo lolote linaweza kuwafanya mkaendelea kukaa pamoja tena, dunia yenu ya mapenzi imefika mwisho na hakuna tena ziada! Hakuna kipindi kigumu kama hiki, hasa kama mtu unayeachana naye uliwahi kumpenda au yeye aliwahi kukupenda
Kuangukia katika penzi la mtu fulani siyo jambo gumu ingawa hakuna jambo gumu kama kuachana na mtu, wengi huwa washindwa kuukubali ukweli, matokeo yake wanasababisha matatizo ambayo yangeweza kuzuilika mapema
Sishauri watu waachane isipokuwa ninachotaka kukuambia ni namna bora inayoweza kutumika kumaliza penzi ambalo haliwezi tena kuendelea, tunashuhudia kila siku watu wakiachana kwa matatizo mkubwa, wakifanyiana ugomvi mkubwa, kupigana, kutukanana, kutoleana kashfa za kila aina, eti kisa mapenzi yamefikia mwisho,
Unafikiri ni sawa kuachana kwa vurugu kiasi hicho wakati mliwahi kuishi pamoja kwa amani, upendo na mahaba ya nguvu, nini huwa kinasababisha baadhi ya wanakuwa na tabia za aina hii?
HUO SIYO MWISHO WA MAISHA .
Inapotokea ume fanya kila kitu kulitetea penzi lako lakini imeshindikana, busara kuukubali ukweli kwa sababu mwisho wa mapenzi siyo mwisho wa maisha, huwezi kujua MUNGU anakuepusha na nini, kubaliana na hali halisi kwa sababu inatokea na wewe siyo wa kwanza kuachwa au kukataliwa na umpendaye.
Cha msingi ni kujitahidi kutulia, maumivu yapo tena makali ni vyema kujua namna ya kukabiliana na hali hii ngumu bila kusababisha
Matatizo zaidi mlikutana kwa amani, mkapendana lakini penzi halikupangwa kudumu, kubali matokeo na usonge mbele bila kumfanyia mwezi wako vurugu
Read more
Loading...
Asante MUNGU.
Media Removed
Asante MUNGU. Asante MUNGU.
HAKIKA NALALA NA MACHUNGU, KOCHA AMUNIKE HAKIKA UMENILAZA MAPEMA SANA, KOCHA KIUKWELI UWE UNAANGALIA ...
Media Removed
HAKIKA NALALA NA MACHUNGU, KOCHA AMUNIKE HAKIKA UMENILAZA MAPEMA SANA, KOCHA KIUKWELI UWE UNAANGALIA WACHEZAJI WA KUANZA KWA MECHI NA SIO UNAWEKA WATU KWA KUWAJARIBISHA , HII MECHI YA LEO, IMENIUMA SANA, ACHA NILALE, NAWATAKIA USIKU MWEMA, WATANZANIA WOTE, PAMOJA NA WEWE KOCHA AMUNIKE ... HAKIKA NALALA NA MACHUNGU, KOCHA AMUNIKE HAKIKA UMENILAZA MAPEMA SANA,
KOCHA KIUKWELI UWE UNAANGALIA WACHEZAJI WA KUANZA KWA MECHI NA SIO UNAWEKA WATU KWA KUWAJARIBISHA , HII MECHI YA LEO, IMENIUMA SANA, ACHA NILALE, NAWATAKIA USIKU MWEMA, WATANZANIA WOTE, PAMOJA NA WEWE KOCHA AMUNIKE JAPOKUWA UMENILAZA MAPEMA.
Read more
Nawatakia kila la kheri ndugu zangu katika mchezo wa leo. MUNGU ibariki @taifastars_ @taifastars_ ...
Media Removed
Nawatakia kila la kheri ndugu zangu katika mchezo wa leo. MUNGU ibariki @taifastars_ @taifastars_ MUNGU ibariki TANZANIA. #point 3 #mhimu Nawatakia kila la kheri ndugu zangu katika mchezo wa leo.
MUNGU ibariki
@taifastars_
@taifastars_
MUNGU ibariki TANZANIA.
#point 3 #mhimu
Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi. ...
Media Removed
Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi. Nakupenda sana madam, mhe @bonnahkaluwa Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi.
Nakupenda sana madam, mhe @bonnahkaluwa
Loading...
Hakuna zuri litakosapotiwa na kila mtu na hakuna bay a litalopingwa na kila mtu. ..... watu huangalia ...
Media Removed
Hakuna zuri litakosapotiwa na kila mtu na hakuna bay a litalopingwa na kila mtu. ..... watu huangalia yanayofavor wao na hata mitazamo hutolewa kwa namna hiyo na sio uhalali wa jambo katika maana ya uzuri ama ubaya wake, Hivyo tegemea chochote kutoka kwa yoyote kwenye situation yeyote. ... Hakuna zuri litakosapotiwa na kila mtu na hakuna bay a litalopingwa na kila mtu. ..... watu huangalia yanayofavor wao na hata mitazamo hutolewa kwa namna hiyo na sio uhalali wa jambo katika maana ya uzuri ama ubaya wake,

Hivyo tegemea chochote kutoka kwa yoyote kwenye situation yeyote.
Nakupenda sana mhe . @bonnahkaluwa shikamoo madamu.
Read more
Malezi bora na timamu, yanapaswa kuwashirikisha wazazi wote wawili, yaani baba na mama,wazazi ...
Media Removed
Malezi bora na timamu, yanapaswa kuwashirikisha wazazi wote wawili, yaani baba na mama,wazazi hawa wanaposhirikiana katika kuwapa watoto wao malezi yenye taratibu njema za kimaadili, ni dhahiri kabisa kuwa , watakuwa na kuwa watu wazima wa kutegemewa na ambao watakuwa ni kielelezo ... Malezi bora na timamu, yanapaswa kuwashirikisha wazazi wote wawili, yaani baba na mama,wazazi hawa wanaposhirikiana katika kuwapa watoto wao malezi yenye taratibu njema za kimaadili, ni dhahiri kabisa kuwa , watakuwa na kuwa watu wazima wa kutegemewa na ambao watakuwa ni kielelezo cha kuigwa kwenye jamii yetu., Lakini katika hali halisi, akina mama Peke yao ndiyo wamekuwa wakiachiwa mzigo na majukumu yote ya kuwatunza na kuwalea watoto wao bila ushiriki wa kina baba, na mara nyingi hawa wanapogeuka na kuwa waasi na watukutu, lawama zote huendea akina mama, ni jambo linaloudhi na kukatisha tamaa, tunapowaona akina baba wengi wakishindwa kuchukua na kuubeba wajibu wao kama baba na viongozi wa familia ambao , watoto wao wanapaswa kuiga mfano kutoka kwao,
Kwa kawaida, mtoto anakuwa ni jukumu la mama , hadi akiharibika au akinyookewa, kama akinyookewa, baba hujifanya kwamba, yeye ndiye aliyehusika kumfanya mtoto awe hivyo, wakati hakua akijua alikuwa akisoma shule gani,na darasa la ngapi ,mtoto anapoharibika, baba huruka hatua nyingi akimlaumu mama kwamba aliwadekeza watoto wao, ni wa wake zao peke yao, wao waona kwamba, wanao wajibu wa kutoa amri na kulaumu kuhusu malezi ni kama vile wao hawahusiki na watoto wao,
Hali hii ya kutojitambua na kutokubali kufanya marekebisho katika njia ya kufikiri na kutenda na mambo na hasa yale yanayohusiana na watoto na familia kwa jumla kwa upande wa wanaume walio wengi,
Imekuwa ikisabisha dhuluma dhidi ya wanawake wengi, akina mama pamoja na kukabiliwa na majukumu mengine ya uzalishaji mali, pia wamekuwa wakibebeshwa jukumu hili kubwa na zito la kuwatunza na kuwalea watoto wao, bila usaidizi kutoka kwa wanaume zao,
Jamii kwa upande mwingine imekuwa ikiwalaumu moja kwa moja akina mama kuwa, wamekuwa wakizembea na kuwadekeza watoto wao na kusahau kwamba, baba wa watoto hao wapo, lakini jamii haitaki kuwagusa wala kuwakemea. ........ .
Read more
Ombeni, nanyi mtapewa, tafuteni nanyi mtaona, bisheni, nanyi mtafunguliwa, Kwa maana kila aombaye ...
Media Removed
Ombeni, nanyi mtapewa, tafuteni nanyi mtaona, bisheni, nanyi mtafunguliwa, Kwa maana kila aombaye hupokea, naye atafutaye huona, naye abishaye atafunguliwa, Au kuna mtu yupi kwenu, ambaye , mwanaye akiomba mkate, atampa jiwe? Au akiomba samaki, atampa nyoka? Basi ikiwa ninyi, ... Ombeni, nanyi mtapewa, tafuteni nanyi mtaona, bisheni, nanyi mtafunguliwa, Kwa maana kila aombaye hupokea, naye atafutaye huona, naye abishaye atafunguliwa,
Au kuna mtu yupi kwenu, ambaye , mwanaye akiomba mkate, atampa jiwe?
Au akiomba samaki, atampa nyoka?
Basi ikiwa ninyi, milo waovu, mnajua kuwapa watoto wenu vipawa vyema, je
Si zaidi sana Baba yenu aliye mbinguni atawapa mema wao wamwombao?
Basi yoyote myatakayo mtendewe na watu,nanyi watendeeni vivyo hivyo,maana hiyo ndio torati na manabii Matayo,7: 7,12
Read more
Loading...
Kwa pamba kali na za ukweli FOLLOW @winnerf95_ @winnerf95_ @winnerf95_ @winnerf95_ @winnerf95_ ...
Media Removed
Kwa pamba kali na za ukweli FOLLOW @winnerf95_ @winnerf95_ @winnerf95_ @winnerf95_ @winnerf95_ @winnerf95_ @winnerf95_ Na kwa mikoba mizuri na yenye ubora wake mcheki @winnerf95_ Kwa pamba kali na za ukweli
FOLLOW @winnerf95_
@winnerf95_
@winnerf95_
@winnerf95_
@winnerf95_
@winnerf95_
@winnerf95_
Na kwa mikoba mizuri na yenye ubora wake mcheki @winnerf95_
Kwa maana jinsi mungu aliupenda ulimwengu, Hata akamtoa mwanawe pekee,ili kila mtu amwaminiye ...
Media Removed
Kwa maana jinsi mungu aliupenda ulimwengu, Hata akamtoa mwanawe pekee,ili kila mtu amwaminiye asipotee, Bali awe na uzima wa milele, Maana mungu hakumtuma mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye. Yohana.3:16,17 Kwa maana jinsi mungu aliupenda ulimwengu, Hata akamtoa mwanawe pekee,ili kila mtu amwaminiye asipotee,
Bali awe na uzima wa milele,
Maana mungu hakumtuma mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali ulimwengu uokolewe katika yeye. Yohana.3:16,17
UHUSIANO wowote unajengwa na upendo, uaminifu na msamaha, kila mtu Anapaswa kumependa mwenzake, ...
Media Removed
UHUSIANO wowote unajengwa na upendo, uaminifu na msamaha, kila mtu Anapaswa kumependa mwenzake, kumthamini na kumjali, Hii haishii hapo, ukishampenda na kumthamini, unapaswa kuwa mwaminifu kwake, usipokuwa mwaminifu, maisha ya uhusiano hayawezi kuwa na uhai, hakuna mtu anayeweza ... UHUSIANO wowote unajengwa na upendo, uaminifu na msamaha, kila mtu Anapaswa kumependa mwenzake, kumthamini na kumjali, Hii haishii hapo, ukishampenda na kumthamini, unapaswa kuwa mwaminifu kwake,
usipokuwa mwaminifu, maisha ya uhusiano hayawezi kuwa na uhai, hakuna mtu anayeweza kufurahi kusalitiwa, usaliti unauma hivyo ni vyema kila mtu akaepuka usaliti, si mwanaume wala mwanamke , hakuna mwenye kibali cha usaliti,
Usaliti unaharibu uhusiano, usaliti unabomoa ndoa, wanandoa wanapaswa kutosaliti kabisa, kama hiyo haitoshi, ili waweze kudumisha amani ndani ya nyumba, kila mmoja wao anapaswa kujua kusamehe,
Kila binadamu ana upungufu, hakuna aliyekamilika hivyo inapotokea mmekwaruzana ndani ya nyumba, ni vyema mkaombana msamaha, anayeomba msamaha, aombe kwa dhati na wewe unayeombwa, basi uwe tayari kusamehe kutoka moyoni,
Mkisameheana, mkachukuliana udhaifu , hakika hakuna kitakachowashinda , kila mmoja abebe udhaifu wa mwenzake, aone kwamba hajakamilika na anahitaji kufanyia kazi udhaifu wake kwa muda fulani ili aweze kubadilika,
Marafiki zangu, maisha ya ndoa yanahitaji usiri, kila mmoja wenu awe na kifua cha kuhifadhi mambo , ndoa ni tasisi ambayo wewe hati miliki ya ndoa hiyo ni ninyi wawili, kila mmoja kwa nafasi yake, ana wajibu wa kutimiza majukumu yake ili muweze kufika salama,
Asiwepo hata mmoja wa kumdharau mwenzake, kila mmoja amuone mwenzake ana umuhimu katika kuhakikisha mnafikia kwenye hatua ya mafanikio ambayo ninyi wawili mtakuwa mmepanga kuifikia, iwe ndani ya mwaka mmoja au miaka kadhaa,
Jamani kuna madhara makubwa sana katika ndoa endapo tu utaruhusu ndoa yako ishikiliwe na ndugu, ndugu wanapaswa kuwa na nafasi yao katika familia yenu, lakini wawe na mipaka,
Kuna mambo ambayo mnatakiwa kuyashugulikia ninyi wenyewe,
Hata kama ni ushauri, mnashauriwa uombe kwa wale waliokuzidi umri, lakini bado unaambiwa akili za kuambiwa changanya na zako, sikiliza ushauri wa ndugu, lakini jukumu la kufanya uamuzi liwe la kwako,
Unapokuwa kila jambo unalipeleka kwa ndugu, unawapa nafasi kuwa waamuzi wa ndoa yenu,
Ndugu wanakuwa wanawajua vizuri kuliko hata mnavyojijua ninyi wenyewe, hilo ni tatizo mathalan mmegombana, kabla ya kufika kwa ndg, nit....
Read more
Loading...
Mheshimiwa Mwakaliishi wa wananchi wa segerea katika Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania ...
Media Removed
Mheshimiwa Mwakaliishi wa wananchi wa segerea katika Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha mapinduzi , Mheshimiwa @bonnahkaluwa @bonnahkaluwa @bonnahkaluwa MUNGU IBARIKI AFRICA MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU WABARIKI VIONGOZI WETU. Mheshimiwa Mwakaliishi wa wananchi wa segerea katika Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha mapinduzi , Mheshimiwa @bonnahkaluwa
@bonnahkaluwa
@bonnahkaluwa
MUNGU IBARIKI AFRICA
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU WABARIKI VIONGOZI WETU.
Tunaishi katika Dunia ambayo binadamu anaweza kutumia muda mwingi kumuombea mwenzie yamfike ...
Media Removed
Tunaishi katika Dunia ambayo binadamu anaweza kutumia muda mwingi kumuombea mwenzie yamfike mabaya kukiko kujiombea yeye afanikiwe, tunaishi kwenye ulimwengu ambayo binadamu akiona mwenzie kafanikiwa hawezi kufanyakazi kwa bidii ili naye afike pale alipo mwenzie, bali anawaza ... Tunaishi katika Dunia ambayo binadamu anaweza kutumia muda mwingi kumuombea mwenzie yamfike mabaya kukiko kujiombea yeye afanikiwe, tunaishi kwenye ulimwengu ambayo binadamu akiona mwenzie kafanikiwa hawezi kufanyakazi kwa bidii ili naye afike pale alipo mwenzie, bali anawaza kufanya jambo ili amshushe mwenzio wafanane , tunaishi katika Dunia ambayo machozi yanaweza geuka kuwa Furaha kwa wengine Watu wanatamani kuona wenzio wanalia kila Mara badala ya kuona wakiwa wanafurahi,
Utashangaaje kuona ajali ikitokea Watu wanakimbilia kutoa Simu wapige picha wapost wa kwanza badala ya kusaidia wale majeruhi pale kwenye ajali ,
Usishangae ndiyo binadamu walivyo huruma imepotea Watu wamekuwa na roho mbaya kwa binadamu wenzio, yote hayo nakuongezea tu ila point kubwa ni kuwa hata kama umeamka una huzuni moyoni una maumivu makali huna Furaha jikaze na onesha tabasamu japo la kinafiki Watu wasijue maumivu yako
Maana hata wakijua una maumivu hawatakusaidia watakuonyesha kama wana huzuni ila ukiwapa kisogo wanacheka mwenye haki ya kujua maumivu yako ni mzazi wako na yule MTU Wa karibu ambaye ukilia atakufuta machozi yako na kukupa Faraja ya kweli na hata atakukumbatia na kukuambia usijali yote yataisha na utakuwa sawa., sio kila MTU unatakiwa kumuonyesha maumivu yako , HUU NDIO UJUMBE WANGU KWENU kwa LEO, MUNGU AWABARIKI SANA
Read more
 #pumzika Kwa AMANI. Patrick R.I.P
Media Removed
#pumzika Kwa AMANI. Patrick R.I.P #pumzika Kwa AMANI.
Patrick
R.I.P
MUNGU ni mwaminifu Endelea kumwamini #nawatakiaweekendnjema
Media Removed
MUNGU ni mwaminifu Endelea kumwamini #nawatakiaweekendnjema MUNGU ni mwaminifu
Endelea kumwamini

#nawatakiaweekendnjema
USIJARIBU KUTEMBEA USIKU KWENYE MIIBA ULIYOIONA MCHANA . #nawatakiasikunjema
Media Removed
USIJARIBU KUTEMBEA USIKU KWENYE MIIBA ULIYOIONA MCHANA . #nawatakiasikunjema USIJARIBU KUTEMBEA USIKU KWENYE MIIBA ULIYOIONA MCHANA .

#nawatakiasikunjema
Furaha yako ni wewe mwenyewe, Na ni sehemu ya maisha yako, pia kuwa na IMANI
Media Removed
Furaha yako ni wewe mwenyewe, Na ni sehemu ya maisha yako, pia kuwa na IMANI Furaha yako ni wewe mwenyewe,
Na ni sehemu ya maisha yako, pia kuwa na IMANI
Eid Mubarak
Media Removed
Eid Mubarak Eid Mubarak
TEAM KIBA #teamsamata 4 #teamkiba 2
Media Removed
TEAM KIBA #teamsamata 4 #teamkiba 2 TEAM KIBA
#teamsamata 4 #teamkiba 2
Kuna vitu viwili hutakiwi kuvilazimisha katika maisha navyo ni /UPENDO /MAPENZI NA MARAFIKI WA ...
Media Removed
Kuna vitu viwili hutakiwi kuvilazimisha katika maisha navyo ni /UPENDO /MAPENZI NA MARAFIKI WA KWELI 20.8k ni UPENDO wenu ndugu jamaa na marafiki , mmenipenda Toka moyoni Nawapenda pia na MUNGU Azidi kuwabariki kwa kila jambo #nawapendawote Kuna vitu viwili hutakiwi kuvilazimisha katika maisha navyo ni /UPENDO /MAPENZI NA MARAFIKI WA KWELI 20.8k ni UPENDO wenu ndugu jamaa na marafiki , mmenipenda
Toka moyoni
Nawapenda pia na MUNGU
Azidi kuwabariki kwa kila jambo
#nawapendawote
IPO hivi mwanamke hata akikuzidi elimu, kipato au chochote kile sio sababu ya kukudharau , wanaume ...
Media Removed
IPO hivi mwanamke hata akikuzidi elimu, kipato au chochote kile sio sababu ya kukudharau , wanaume tumepewa siraha directly kutoka kwa MUNGU tangu siku ile ambapo nucleus ya sperm ilipoungana na nucleus ya ovum through fertilization na kuunda male zygote, silaha tuliyopewa ni KUTAWALA, ... IPO hivi mwanamke hata akikuzidi elimu, kipato au chochote kile sio sababu ya kukudharau , wanaume tumepewa siraha directly kutoka kwa MUNGU tangu siku ile ambapo nucleus ya sperm ilipoungana na nucleus ya ovum through fertilization na kuunda male zygote, silaha tuliyopewa ni KUTAWALA, Biblia inasema wazi pale ambapo MUNGU anampa adhabu EVA alimwambia hivi " tamaa yako itakuwa kwa mumeo naye ATAKUTAWALA,
Hata mtume Paulo ktk nyaraka zake alisema "MWANAUME AMPENDE MKE WAKE KAMA KRISTO ANAVYOLIPENDA KANISA", alafu akasema kwa wanawake ", MWANAMKE MTII MUMEO KAMA UNAVYOMTII KRISTO" unaweza ona mwenyewe utofauti wa "kupenda na kutii, kutii ni kuwa chini ya mamlaka inavyokupa amri
Sasa wanaume wengi siku hizi wanakosa hayo mamlaka ya "KUTAWALA " na sababu kubwa ni kutokujiamini tu, wewe ni mwanaume , wewe ni kichwa acha kupelekwapelekwa , ipo hivi unatakiwa kutoa maamuzi ambayo mke wako anatakiwa either afuate au aondoke sio unabadilibadili maamuzi eti kisa mkeo amenuna, itageuka yeye ndo atakutawala wewe

Ukisema familia yangu inaenda this way ni this way kweli, kama hataki aende zake kuliko kumpa mtoto wa kike akutawale tawale baadae unakuja na thread ndefu kulalamika , acha kuwapawapa nafasi ya maamuzi hawa viumbe vitakusumbua sana.

Na kikubwa nikuwa maamuzi yako yawe yenye weledi, lazima atakuheshimu na ukisema kitu huyooo ananyoosha kufuata , sio unabishana bishana na mkeo kama we ni mke mwenzake, hata wao wanapenda wanaume wenye mamlaka ndani ya nyumba, usiige ulaya wale wamefundishwa hivyo tangu utotoni lakini Hawa wa kwetu ukiwapa nafasi kidogo tu ya kukutawala you are finished. "HAKUNA NDOA YENYE DEMOKRASIA IKADUMU"
Hawa viumbe ukiwapa nafasi moja ya kukuendesha watataka na nyingine , na nyingine, na nyingine zaidi mwisho utakuwa we mwanamke alafu yeye mwanaume a.k.a unakuwa mume bwege ……
USISEME HUKUAMBIWA.
Read more
Tunaishukuru sana Sportpesa. Wadhamini wetu wakuu , kampuni ya @tzsportpesa leo imetukabidhi ...
Media Removed
Tunaishukuru sana Sportpesa. Wadhamini wetu wakuu , kampuni ya @tzsportpesa leo imetukabidhi zawadi ya Tsh. Milioni mia moja kama zawadi ya kutupongeza kwa kuchukua ubingwa na kutimiza masharti ya kimkataba kati ya klabu ya simba pamoja na sportpesa. Tunaishukuru sana
Sportpesa.
Wadhamini wetu wakuu , kampuni ya @tzsportpesa leo imetukabidhi zawadi ya Tsh. Milioni mia moja kama zawadi ya kutupongeza kwa kuchukua ubingwa na kutimiza masharti ya kimkataba kati ya klabu ya simba pamoja na sportpesa.
Asante MUNGU #simbayetu #mwakawetu
Media Removed
Asante MUNGU #simbayetu #mwakawetu Asante MUNGU
#simbayetu #mwakawetu
Asante MUNGU, kwa SIMBA SPORTS CLUB ,kuwa MABINGWA WA VPL 2017/2018 #simbayetumwakawetu
Media Removed
Asante MUNGU, kwa SIMBA SPORTS CLUB ,kuwa MABINGWA WA VPL 2017/2018 #simbayetumwakawetu Asante MUNGU, kwa SIMBA SPORTS CLUB ,kuwa MABINGWA WA VPL 2017/2018

#simbayetumwakawetu
Boresha uhusiano wako Kila kitu maishani ni kuhusu uhusiano, kila kitu maishani kinaweza kuyaathiri ...
Media Removed
Boresha uhusiano wako Kila kitu maishani ni kuhusu uhusiano, kila kitu maishani kinaweza kuyaathiri mahusiano yako, ama vizuri au vibaya , hakikisha mahusiano yako na muumba wako yamekaa sawa na unayafurahia , kama hauna furaha kutokana na mahusiano yako na MUNGU basi kuna uwezekano ... Boresha uhusiano wako
Kila kitu maishani ni kuhusu uhusiano, kila kitu maishani kinaweza kuyaathiri mahusiano yako, ama vizuri au vibaya , hakikisha mahusiano yako na muumba wako yamekaa sawa na unayafurahia , kama hauna furaha kutokana na mahusiano yako na MUNGU basi kuna uwezekano maeneo mengine yote yakakosa furaha, jambo la pili, hakikisha mahusiano yako na wewe mwenyewe ,
Unapofurahia mahusiano uliyonayo baina ya wewe mwenyewe unawanyima nafasi ya kuisumbua furaha yako wale wanaojaribu kucheza na furaha yako, na MTU yeyote hawezi kujidai kwamba yeye ndiyo sababu ya furaha yako
Kuna uwezekano mkubwa kwamba kila anayeingia kwenye maisha yako akifikiri kwamba anakuletea furaha anakukuta tayari uko kwenye sherehe ya kuyafurahia maisha yako na hii inaweza kuwafanya na wao kuendeleza furaha zao
Hapa unakuwa chachu nzuri kwa , pia boresha mahusiano yako na mwenza wako, watoto wako , ndugu zako, marafiki zako, kimsingi hauwezi kuzaa matunda kama mahusiano yako sio mazuri, Ama iwe kwenye kazi , biashara, elimu , familia au hata katika imani, mafanikio yako yanategemea sana mahusiano uliyonayo na wengine,
Weka uwiano mzuri katika maisha yako , maisha yana shinikizo kubwa sana kama hauwezi kuweka uwiano mzuri katika maisha yako ya kila siku , Najua tunafanya kazi na tunaheshimu Kazi zetu, lakini yako maisha mengine nje ya kazi, Kazi sio kila kitu maishani kwetu, tuna familia zetu zinatuhitaji sana, wake na watoto wetu , tuna Imani, inatubidi kuzipa muda pia katika maeneo ya ibada, tuna ndugu na marafiki,
Miili na akili zetu , pia zinahitaji utulivu binafisi na sisi wenyewe tunahitaji muda wetu binafisi, hata farasi wa vita hupata muda Wa kupumzika, siyo lazima kila wakati uonekane mkakamavu kwa ajili ya Kazi, au kila wakati wewe na mavazi ya kazini, lini watoto wako watakuona na mavazi ya michezo?
Lini wafanyakazi wenzako watakuona ukiwa nje ya suti ukishiriki nao michezo? Lini watu watajua vipawa au vipaji ulivyonavyo ? Mfano kuimba , kucheza , kuchora, nk , ukikomaa na kitu kimoja tu katika maisha unaweza ukafa kabla ya muda wako, usifikiri kujichanganya na jamii ni ushamba na si kukosa kazi ya kufanya .

#nawatakiamchanamwemawoteeeeee
Read more
ili mapenzi yaweze kuwa bora kwa kila aliye katika mahusiano ,huwa ni vyema kila mmoja kuiona thamani ...
Media Removed
ili mapenzi yaweze kuwa bora kwa kila aliye katika mahusiano ,huwa ni vyema kila mmoja kuiona thamani ya mwenzake, ukipendeza kujiangalia mwenyewe si ajabu mwenzako kupata hisia za kuwa humthamini wala humjali, Muunganiko wenu katika mapenzi maana yake tayari mmekuwa kitu kimoja, ... ili mapenzi yaweze kuwa bora kwa kila aliye katika mahusiano ,huwa ni vyema kila mmoja kuiona thamani ya mwenzake, ukipendeza kujiangalia mwenyewe si ajabu mwenzako kupata hisia za kuwa humthamini wala humjali,
Muunganiko wenu katika mapenzi maana yake tayari mmekuwa kitu kimoja,
katika Mimi unaweka sisi,
Ila pia ni vyema ikakumbukwa ladha na maana halisi ya mapenzi ipo kwa anayekupenda na kukuthamini , unapokuwa na uhakika kama anakupenda na kukuthamini hapo ndipo nafsi yako inatulia na kuwa na Amani, ndani ya mapenzi na mtu wa aina hii ni amani na utulivu kwa kwenda mbele, hakuna majuto wala majonzi ya kila siku , unapoamua kuwa katika mahusiano na mtu ambaye hakupendi , Bali unakuwa naye kwa kuwa tu unampenda jua umejiingiza katika utumwa ,
Mapenzi ni suala la kihisia zaidi, mwenzako anapokosa hisia na wewe maana yake hata uwepo wako, hauthaminiwi inavyopaswa, na hapo ndiyo tunaona yale mahusiano ya Kingono yanapozaliwa na si Kimapenzi kwa maana halisi, yaani mwenzako anapokuwa na mihemko ya kingono ndipo anapokutafuta na si vingenevyo,
Suala la mapenzi si suala kuoneana huruma wala aibu , Mapenzi ni hisia unapojitoa kwa mwenzako kwa kila jambo na unamuona haelekei ujue hana hisia na wewe , kwanini ukubali kuteseka na kuumia kila siku kwa kumuangalia yeye tu? Ndiyo , unampenda sana , unamjali sana na unamhitaji sana, ila kama yeye hakutaki wa Kazi gani? Ni muda wa kuangalia na ww sasa,
Ona thamani yako kama binadamu, jionee huruma jinsi unavyoteseka kila siku kwa mtu asiyeona thamani yako, ww ni binadamu mwenye hadhi na thamani , bila kujali muonekano wala rangi yako, unahitaji mwenye kukuthamini na kukujali na si anayekufanya kama mdoli wake ngono au kadi ya pesa , kataa utumwa wa mapenzi kwa kuiona thamani yako,
Ni vyema ukalia kwa kumkosa kuliko kuonekana unaye wakati moyoni siyo wako, hakuna sifa ya kuwa na mtu mwenye fedha au muonekano mzuri ikiwa hakujali wala haupo moyoni mwake, mapenzi ni Amani na furaha ,mapenzi hufanya watu wafurahi na kusahau shida zao, ila jiulize kwanini kwako hayako hivi ? Unaenda kwa mwenzako badala afurahie uwepo wako, yeye anaona unajipendekeza , unampigia Simu na kumpa maneno mazuri ya Faraja yaye anaona unamsumbua.
Read more
Kwa heshima na taadhima naomba nichukue nafasi hii kukutakia heri ya kuzaliwa......MUNGU akutangulie ...
Media Removed
Kwa heshima na taadhima naomba nichukue nafasi hii kukutakia heri ya kuzaliwa......MUNGU akutangulie kwenye kila jambo na akufanikishie kila hitaji la moyo wako, HAPPY birthday to you my best @mishibebeofficial @mishibebeofficial @mishibebeofficial @mishibebeofficial MUNGU ... Kwa heshima na taadhima naomba nichukue nafasi hii kukutakia heri ya kuzaliwa......MUNGU akutangulie kwenye kila jambo na akufanikishie kila hitaji la moyo wako,
HAPPY birthday to you my best @mishibebeofficial
@mishibebeofficial
@mishibebeofficial
@mishibebeofficial
MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU , PAMOJA NA MAFANIKIO MAKUBWA
Wewe mwenyewe unajua ni jinsi gani ninavyokupenda best yangu
Read more
Kwenye kila jambo unalofanya mtangulize MUNGU mbele, iwe ni shule, Kazi, biashara, mahusiano ...
Media Removed
Kwenye kila jambo unalofanya mtangulize MUNGU mbele, iwe ni shule, Kazi, biashara, mahusiano na mengineyo , ukimpa MUNGU nafasi hutafeli , hutaanguka ,mafanikio huja haraka pale unapomshirikisha MUNGU mambo yako, Hongera sana king @officialalikiba @officialalikiba @officialalikiba ... Kwenye kila jambo unalofanya mtangulize MUNGU mbele, iwe ni shule, Kazi, biashara, mahusiano na mengineyo , ukimpa MUNGU nafasi hutafeli , hutaanguka ,mafanikio huja haraka pale unapomshirikisha MUNGU mambo yako,
Hongera sana king @officialalikiba
@officialalikiba
@officialalikiba
MUNGU akutangulie kwenye ndoa yako king kiba
Read more
Katika maisha ya mwanadamu kitu cha muhimu ni upendo, upatapo mtu anayekupenda na kukuthamini ...
Media Removed
Katika maisha ya mwanadamu kitu cha muhimu ni upendo, upatapo mtu anayekupenda na kukuthamini na kukuelewa maisha yako huwa yanabadilika hata mwonekano wa nje wa mtu huwa unabadilika, Jambo la msingi katika maisha ya mwanadamu ni uaminifu, haswa kwenye maswala ya mahusiano, mahusiano ... Katika maisha ya mwanadamu kitu cha muhimu ni upendo, upatapo mtu anayekupenda na kukuthamini na kukuelewa maisha yako huwa yanabadilika hata mwonekano wa nje wa mtu huwa unabadilika,
Jambo la msingi katika maisha ya mwanadamu ni uaminifu, haswa kwenye maswala ya mahusiano, mahusiano yanapokuwa na upendo ila bila uaminifu ni kazi sana kudumu , uaminifu ndio nguzo moja wapo kuu inayobeba mapenzi baina ya Watu Wawili ambao wanapendana,
Uaminifu si swala tu la kuwa na Mpenzi moja , bali uaminifu inahusisha kuwa wawazi juu ya jambo fulani linahusiana na maisha yenu wote Wawili, wengi hufikiri uaminifu ni swala kuwa na Mpenzi moja la hasha sio kweli, uaminifu ni kitendo cha uwezo wa kuuliza kitu pale uonapo jambo haliko sahihi na unashindwa kuelewa,
Kukosana kwa uaminifu kunaleta kugombana kutokuaminiana na pia mwisho huleta kuvunjika kwa mahusiano ambayo hugharimu muda mwingi sana wa mtu mpaka hapo atakapokuja kukaa sawa na kurudi katika maisha yake ya kawaida, na Mara nyingine humfanya mtu kuwa mwoga sana katika kuanzisha mahusiano mapya na Mpenzi mwingine,
Usipende kusikia jambo ila penda kuwa mwonaji wa jambo zaidi na kuwa msikilizaji wa jambo zaidi kuliko kusikia au kuambiwa juu ya Mpenzi wako.

MAPENZI NI UAMINIFU .
Read more
UAMINIFU. Katika maisha ya uhusiano, mpaka mnaamua kuwa wawili ina maana mmekubali kwa ridhaa ...
Media Removed
UAMINIFU. Katika maisha ya uhusiano, mpaka mnaamua kuwa wawili ina maana mmekubali kwa ridhaa yenu , mmewaacha wengi na kuamua kuwa pamoja, hivyo mnatakiwa kulilinda penzi lenu kwa kuwa waaminifu. TABIA NZURI. Hii ndiyo inayobeba uwakilishi Wa mwanadamu ndani ya nyumba , ndiyo ... UAMINIFU.

Katika maisha ya uhusiano, mpaka mnaamua kuwa wawili ina maana mmekubali kwa ridhaa yenu , mmewaacha wengi na kuamua kuwa pamoja, hivyo mnatakiwa kulilinda penzi lenu kwa kuwa waaminifu.

TABIA NZURI.

Hii ndiyo inayobeba uwakilishi Wa mwanadamu ndani ya nyumba , ndiyo nguzo imara ambayo itakufanya usimame popote kwa kujiamini katika hili wengi hukosea wanapojiona wana sura na umbile zuri au fedha, basi huanza kuwanyanyasa wenzao kwa kujivunia walivyonavyo na kusahau hakuna kiumbe kilichoumbwa kwa ajili ya kukasirishwa, Mara nyingi uhusiano wa watu huvunjika kutokana na tabia ya mmoja kuwa mbaya isiyovumilika.

HURUMA.

Ndani ya uhusiano, huruma ni kitu muhimu sana, ukiwa nao , huwezi kumuumiza mwenzio, Nyumba yenye huruma ikiwa wapendanao hudumu milele na kutenganishwa na kifo, asiyekuwa na huruma ,hufanya jambo lolote bila kujali maumivu ya mwenzake

UPENDO.

Huu ndiyo unaobeba kila kitu kwa vile mwenye upendo ana huruma , ni mvumilivu na tabia njema ndiyo asili yake, wote mkiwa na upendo hata familia yenu itakuwa yenye tabia nzuri,
Hapa Mara nyingi kumekuwa na tatizo kwa baadhi ya Watu kuchagua Watu hasa wanawake kuchukia ndugu wa mume na mwisho wa siku ndoa huvunjika,

UVUMILIVU.
Huu ndiyo muhimu katika maisha yetu ya kila siku , wengi wasio wavumilivu , wamekuwa wakitengana na wenzio , kuna vitu ambavyo tunatakiwa tuvumiliane kwa vile wanadamu ni viumbe wenye upungufu,
Kukosana ni sehemu ya maisha, lazima mvumiliane, mtangulize kusameana na kuyasahau yaliyopita, yapo ya kuvumilia lakini si yaliyovuka mipaka kwa MTU kushindwa kujirekebisha.
Read more
MTU ana uwezo Wa kukufanyia kusudi kwa kuhisi anakuumiza wewe BILA KUJUA anaekuja kuathirika kiukweli ...
Media Removed
MTU ana uwezo Wa kukufanyia kusudi kwa kuhisi anakuumiza wewe BILA KUJUA anaekuja kuathirika kiukweli ni mwingine anaehisi anamjali, Dunia ina siri nyingi , sio kila unaemchoma ataumia yeye, kitakachomuumiza ni kumchoma kwako tu lakini athari za maumivu yake ANAZIBEBA MWINGINE , ambae ... MTU ana uwezo Wa kukufanyia kusudi kwa kuhisi anakuumiza wewe BILA KUJUA anaekuja kuathirika kiukweli ni mwingine anaehisi anamjali, Dunia ina siri nyingi , sio kila unaemchoma ataumia yeye, kitakachomuumiza ni kumchoma kwako tu lakini athari za maumivu yake ANAZIBEBA MWINGINE , ambae unahisi yuko strong, ambae unahisi hatetereshwi na uliemchoma , ambae unahisi hakihitaji ulichokichoma ,
Mwisho wa siku
ANAEMIA NI HUYO USIEMUHISI, na athari yake itarudi kwako tu hata kama sio moja kwa moja .
Read more
Tengeneza misingi ya kuhakikisha heshima yako inabebwa na WEWE na si wengine ili hata wakiondoka ...
Media Removed
Tengeneza misingi ya kuhakikisha heshima yako inabebwa na WEWE na si wengine ili hata wakiondoka heshima yako IBAKI KWAKO, Maana utumwa huja pale unapogundua huna ulichonacho /HUNA NGUVU katika wewe kuwa wewe!! Tengeneza misingi ya kuhakikisha heshima yako inabebwa na WEWE na si wengine ili hata wakiondoka heshima yako IBAKI KWAKO,

Maana utumwa huja pale unapogundua huna ulichonacho /HUNA NGUVU katika wewe kuwa wewe!!
(1). NGONO haimfanyi mwanaume asikuache , hata ukukuruke vipi, jikwatue kiasi gani kama hajaona ...
Media Removed
(1). NGONO haimfanyi mwanaume asikuache , hata ukukuruke vipi, jikwatue kiasi gani kama hajaona quality za kuwa mke atakuacha tu. (2)MWANAUME anaekupata kwa vile alitumia pesa zake kwako hatakaa na wewe milele wanaume halisi hawawezi wakatoka na wanawake feki wanaopenda pesa ukibahatika ... (1). NGONO haimfanyi mwanaume asikuache , hata ukukuruke vipi, jikwatue kiasi gani kama hajaona quality za kuwa mke atakuacha tu. (2)MWANAUME anaekupata kwa vile alitumia pesa zake kwako hatakaa na wewe milele wanaume halisi hawawezi wakatoka na wanawake feki wanaopenda pesa ukibahatika sana atakufanya daraja la pili yaani mchepuko! (3). UZURI wa mwanamke unaweza ukampelekea akaolewa ila tabia yake ndio itakayoamua ni kwa muda gani atadumu katika ndoa uzuri huvutia wanaume, ila tabia hufanya wanaume wadumu na wewe, (4).PESA kiukweli ina faida sana ni muhimu kwa mtu yoyote kuwa nayo ila pesa peke yake haiwezi kuleta ukweli wa maana halisi ya furaha ya maisha, (5).KUWA mzuri bila tabia njema hakuwezi kukupa mume bora, sana sana utapata boyfriends na wanaume za Watu, (6).TENDO la ngono linaleta faraja ila haliwezi kuleta upendo tendo la ndoa ni zao la mapenzi , mapenzi sio zao la tendo la ndoa ! (7) TENDO la ndoa inaweza kufanya mwanaume alale na wewe usiku kucha, na asubuhi akaondoka zake ila Upendo hufanya mwanaume aishi na wewe daima, (8).KUNA mambo mengine pesa haiwezi nunua kama tabia na heshima, kama ulikubali kuolewa nae kisa pesa zake , usidhani kupitia pesa ataweza kubadilika. (9).UVAAJI wako siku zote ndio utakaoamua ni nini wanaume wazungumze na wewe !! Ni ukweli fulani hivi ambao ni mchungu ila sio mbaya waweza shushia na juice ya bariiiiiiiiii
Read more
<span class="emoji emoji1f601"></span><span class="emoji emoji1f601"></span><span class="emoji emoji1f601"></span><span class="emoji emoji1f601"></span><span class="emoji emoji1f601"></span><span class="emoji emoji1f601"></span><span class="emoji emoji1f601"></span><span class="emoji emoji1f601"></span> YANGA BANA
Media Removed
YANGA BANA 😁😁😁😁😁😁😁😁 YANGA BANA
<span class="emoji emoji1f525"></span><span class="emoji emoji1f525"></span><span class="emoji emoji1f525"></span><span class="emoji emoji1f525"></span><span class="emoji emoji1f525"></span><span class="emoji emoji1f525"></span><span class="emoji emoji1f525"></span><span class="emoji emoji1f525"></span> <span class="emoji emoji270b"></span>
Media Removed
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ✋

Loading...