Loading Content...

8020fashions Instagram Photos and Videos

Loading...


8020fashions Shamim Mwasha @8020fashions mentions
Followers: 152,945
Following: 1,538
Total Comments: 0
Total Likes: 0

Ni #jikazesikwaubaya najua🤣 Yaani AJ kila akiona iyo picha ananichana live kua l look BAD nivae wigi kama pichani #Watotohawa #namsubiriamkwe #wallahnitamkumbusha #sikwakuninyariivo chaaa Ni #jikazesikwaubaya najua🤣
Yaani AJ kila akiona iyo picha ananichana live kua l look BAD nivae wigi kama pichani
#Watotohawa
#namsubiriamkwe
#wallahnitamkumbusha
#sikwakuninyariivo chaaa
Loading...
OUR PARTNER NMB . #instagram4businessbootcamp Itakusaidia kukuza #followers #kukuzabiashara ...
Media Removed
OUR PARTNER NMB . #instagram4businessbootcamp Itakusaidia kukuza #followers #kukuzabiashara #hashtag utumieje #kuufanya ukurasa wako uwe wa kibiashara #picha zako ziweje #promote ukurasa #instastory . Na zaidi utapata kujifunza kuhusiana na #businessTips kutoka ... OUR PARTNER NMB
.
#instagram4businessbootcamp
Itakusaidia kukuza
#followers
#kukuzabiashara
#hashtag utumieje
#kuufanya ukurasa wako uwe wa kibiashara
#picha zako ziweje
#promote ukurasa
#instastory
.
Na zaidi utapata kujifunza kuhusiana na #businessTips kutoka @nmbtanzania ambao ni washiriki wenza watatujuza tips na siri ya weWe kuweza miliki akaunt ambayo itakusaidia ukue na kutambulika kama wafanyabiashara wengine waliofanikiwa. .
Jinsi yakutumia master card kushop na kutumia kulipia matangazo online na mengi mengineyo
#nmbkaribuyako
#instaprenuer🇹🇿 #instatips
.
Chakufanya
Book seat yako kwa
kulipia:: 75,000
Chagua darasa tarehe: 4 au 6 october
Maelezo zaidi : 0767418941
Read more
PERFUMNISTA Haya ukuje @soulandsenses_tz ukutane na Dutyfree yaani inabidi tu niite ivyo sababu perfum ni kama zoote hivi na bei ni ya ubwete na ni Original @soulandsenses_tz @soulandsenses_tz Wanauza jumla na rejareja #londonoud ye ndo wakala jiongezee kipato kwa kuuza @soulandsenses_tz ... PERFUMNISTA
Haya ukuje @soulandsenses_tz ukutane na Dutyfree😜 yaani inabidi tu niite ivyo sababu perfum ni kama zoote hivi na bei ni ya ubwete na ni Original
@soulandsenses_tz
@soulandsenses_tz
Wanauza jumla na rejareja
#londonoud ye ndo wakala jiongezee kipato kwa kuuza
@soulandsenses_tz
#tulipebillz #8020ads
Read more
GOOD NEWs #myreadings Tuendelee sio tule tu kuna nahivi pia vipo kama postcard unaweza mtumia rafiki / mama/ dada kina maneno mazuri mnooo ( wale yes / No watanielewa zaidi ) . Kwa 20,000 tu unamiliki au tuagize tudeliver kwa umpendae . Kuoder DM/ WHatsapp 0767418941 GOOD NEWs 📚
#myreadings
Tuendelee sio tule tu kuna nahivi pia vipo kama postcard unaweza mtumia rafiki / mama/ dada kina maneno mazuri mnooo ( wale yes / No watanielewa zaidi )
.
Kwa 20,000 tu unamiliki au tuagize tudeliver kwa umpendae
.
Kuoder DM/ WHatsapp 0767418941
GOOD NEW #myreadings Kwa wale wapenda vitabu wenye collect zenu kuna piece chache ya vitabu vidogo (pichani ) unakibeba hata kwa wallet kwa 20,000 tu unakimiliki pita #Darfreemarket au chagua uletewe. Viko vichache DM / whats app 0767418941 GOOD NEW 📚
#myreadings
Kwa wale wapenda vitabu wenye collect zenu kuna piece chache ya vitabu vidogo (pichani ) unakibeba hata kwa wallet kwa 20,000 tu unakimiliki pita #Darfreemarket au chagua uletewe.
Viko vichache
DM / whats app 0767418941
M O N D A Y <span class="emoji emoji1f49b"></span><span class="emoji emoji1f499"></span> Hobbies cost you money. Businesses make you money. . Na Hapo ndo napoiona kampuni ya ...
Media Removed
M O N D A Y Hobbies cost you money. Businesses make you money. . Na Hapo ndo napoiona kampuni ya Oriflame ikijua kunitofautishia Hobby yangu na kuifanya biashara ambapo vile mie napenda pendeza na kusafiri na fursa izo zooote ziko ndani ya oriflame nimeigeuza Hobby kuwa biashara na napata ... M O N D A Y 💛💙
Hobbies cost you money. Businesses make you money.
.
Na Hapo ndo napoiona kampuni ya Oriflame ikijua kunitofautishia Hobby yangu na kuifanya biashara ambapo vile mie napenda pendeza na kusafiri na fursa izo zooote ziko ndani ya oriflame nimeigeuza Hobby kuwa biashara na napata pesa na safari
.
Ukitaka nikujuze kivipi ni DM / whats app 0767418941
.
Nitachukua watu wa5 mwezi huu tayari nina mmoja 🖇 .
#patamuonekano
#dressed by @mimizcollection
#shoes by @shoe_ville .
#digitalinfluencer
#fashionblogger
#instaprenuer🇹🇿
#onlinecoach
#vlogger #zezetv
#tanzania
#oriflamebae
#zezekibubuchallenge founder
#shamimmwasha
.
Read more
Loading...
USER NAME( JINA LAKO) #instatip Hakikisha jina lako linakumbukika sio refu saaaana na lisiwe ...
Media Removed
USER NAME( JINA LAKO) #instatip Hakikisha jina lako linakumbukika sio refu saaaana na lisiwe na namba UNless namba izo ni sehemu ya jina lako au brand au ndo utambulisho wako . Yooote haya na mengine utajifunza kwenye Training yetu ya #instagram4businessbootcamp #instagramforbusiness #instaprenuer🇹🇿 USER NAME( JINA LAKO)
#instatip
Hakikisha jina lako linakumbukika sio refu saaaana na lisiwe na namba UNless namba izo ni sehemu ya jina lako au brand au ndo utambulisho wako
.
Yooote haya na mengine utajifunza kwenye Training yetu ya
#instagram4businessbootcamp
#instagramforbusiness
#instaprenuer🇹🇿
SELFIE 🤳 #mirrorselfie at #lavidoflagshipstore New mirrow selfie location lauched today... ...
Media Removed
SELFIE 🤳 #mirrorselfie at #lavidoflagshipstore New mirrow selfie location lauched today... mnajijua 🤐 . Hongera @lavidoz cheki baadhi ya mzigo @lavidoz_store new branch mwenge sam nujoma road . #patamuonekano #jeans @hussein_pambakali #slogantee #wifemomboss / shades ... SELFIE 🤳
#mirrorselfie at #lavidoflagshipstore
New mirrow selfie location lauched today... mnajijua 🤐
.
Hongera @lavidoz cheki baadhi ya mzigo @lavidoz_store new branch mwenge sam nujoma road
.
#patamuonekano
#jeans @hussein_pambakali
#slogantee #wifemomboss / shades / phonecace @koodawa
#turquoisering By @ley_jewellers .

#digitalinfluencer
#fashionblogger
#instaprenuer🇹🇿
#onlinecoach
#vlogger #zezetv
#tanzania
#oriflamebae
#zezekibubuchallenge founder
#shamimmwasha
Read more
Loading...
ZEZE KIBUBU CHALLENGE #zezekibubuchallenge #AugustSaving niliwajuza kuwa nimehamia @nmbtanzania ...
Media Removed
ZEZE KIBUBU CHALLENGE #zezekibubuchallenge #AugustSaving niliwajuza kuwa nimehamia @nmbtanzania na kufungua #bonusakaunti na nilivunjakibubu si kwa zile story zenu za chuma ulete daily🤣 Tena mje niwape funguo zenu #tuhamiebank #Desembanoexcuse . . Na zaidi #nmbbank hii ... ZEZE KIBUBU CHALLENGE
#zezekibubuchallenge
#AugustSaving niliwajuza kuwa nimehamia @nmbtanzania na kufungua #bonusakaunti na nilivunjakibubu si kwa zile story zenu za chuma ulete daily🤣🙈
Tena mje niwape funguo zenu #tuhamiebank #Desembanoexcuse
.
.
Na zaidi #nmbbank hii akaunt inamanufaa zaidi kwani mbali ya usalama wa pesa pia kuna interest unapata kulingana na salio lako kila baada ya miezi.
.
.
Utamu na urahisi ni hii App ya #nmbklik ndo imerahisisha zaidi hapo niliingiziwa bonus yangu toka #oriflame nilichofanya nikaimuvuzisha fasta toka kwa akaunt yangu binafsi kuleta hii akaunt yangu ya kibubu.... sina stress ya kukunja pesa , kuwaza bank niende saa ngapi , shughuli zoote izo nimefanyia kiganjani huku #nmbmobilemoney ikinithibitishia siwazi chuma ulete miamala ndo hii na sasa napiga hesabu la mwezi kwa mwezi
Hadi August natakiwa niweke 5m+
#nmbkaribuyako #tuonanedesemba💸
Read more
CATCH UP With me Live #magicfm92.9 #chanelten #busatiliveonfriday Sambamba na @salmamsangi @mishiebomba .. #instagram4businessbootcamp #instaprenuer🇹🇿 TUNEIn 92.9 CATCH UP With me
Live
#magicfm92.9
#chanelten
#busatiliveonfriday
Sambamba na
@salmamsangi
@mishiebomba ..
#instagram4businessbootcamp
#instaprenuer🇹🇿 TUNEIn 92.9
INSTAGRAM FOR BUSINESS TRAINING -njoo ujifunze jinsi ya kutumia instagram kutengeneza pesa . Kuitumia ...
Media Removed
INSTAGRAM FOR BUSINESS TRAINING -njoo ujifunze jinsi ya kutumia instagram kutengeneza pesa . Kuitumia instagram kibiashara zaidi . Bei : 75,000 Mahali : shule Direct Siku : alhamis. Na jumamosi Tarehe : 4 na 6 october Wahi nafasi ni chache #instaprenuer🇹🇿 #instagram4businessbootcamp . . Tuongeee ... INSTAGRAM FOR BUSINESS TRAINING -njoo ujifunze jinsi ya kutumia instagram kutengeneza pesa .
Kuitumia instagram kibiashara zaidi
.
Bei : 75,000
Mahali : shule Direct
Siku : alhamis. Na jumamosi
Tarehe : 4 na 6 october
Wahi nafasi ni chache
#instaprenuer🇹🇿 #instagram4businessbootcamp
.
.
Tuongeee LiVE leo ndani ya #MagicFM na #chanelten saa 4 kamili
Read more
6 OCTOBER #instagram4businessbootcamp for #sidehustlebusiness owner ambao wame niambia hawatakua na nafasi kati ya wiki. . Cha kufanya Book seat yako kwa kulipia 75,000 tu kabla ya tarehe 20 mwezi hii . #instaprenuer🇹🇿 #instapreneur🇹🇿 6 OCTOBER
#instagram4businessbootcamp for #sidehustlebusiness owner ambao wame niambia hawatakua na nafasi kati ya wiki.
.
Cha kufanya Book seat yako kwa kulipia 75,000 tu kabla ya tarehe 20 mwezi hii .
#instaprenuer🇹🇿 #instapreneur🇹🇿
Loading...
PERFUMNISTA Haya kwa perfume original fika @soulandsenses_tz @soulandsenses_tz Ako na ...
Media Removed
PERFUMNISTA Haya kwa perfume original fika @soulandsenses_tz @soulandsenses_tz Ako na perfume mpyaa version one ambazo wapata duty free tu na nyenginezo.fika dukani akuscanie kwa #qrscancode kuhakiki uOG wake . Mi juzi nimeona perfume #becauseofyou ndani ya vogie namuuliza ... PERFUMNISTA
Haya kwa perfume original fika
@soulandsenses_tz
@soulandsenses_tz
Ako na perfume mpyaa version one ambazo wapata duty free tu na nyenginezo.fika dukani akuscanie kwa #qrscancode kuhakiki uOG wake
.
Mi juzi nimeona perfume #becauseofyou ndani ya vogie namuuliza anayo kanikomeshaa😜
.
We kama mchuuzi wa jumla atakupa bei ya jumla na ana perfume ye ndo wakala Bongo cheki nae’
#tulipebillz #8020ads
Read more
NOW PAY 75,000 badala ya 100,000 #instagram4businessbootcamp Instagram For Business Boot ...
Media Removed
NOW PAY 75,000 badala ya 100,000 #instagram4businessbootcamp Instagram For Business Boot Camp. Wahi siti ni chache -Jifunze kuendesha biashara online - Jinsi ya kupiga picha za instagram - Jinsi ya kuedit picha kabla ya kupost - Jinsi gani utumie hashtags - Kupata wateja kwa instagram ... NOW PAY 75,000 badala ya 100,000
#instagram4businessbootcamp
Instagram For Business Boot Camp. Wahi siti ni chache
-Jifunze kuendesha biashara online
- Jinsi ya kupiga picha za instagram - Jinsi ya kuedit picha kabla ya kupost
- Jinsi gani utumie hashtags
- Kupata wateja kwa instagram -jinsi ya kugeuza ukurasa uwe duka
-promote ukurasa wako
-tumia instastory kibiashara
Na mengi mengineyo ni darasani. Na kwa vitendo
#instaprenuer🇹🇿 #onlinemarketing
#socialmediaforbusiness
.
Kesho saa 6 kamili tutakuwa live #instalive kama una swali jitegeshe , kuona life ya leo click DP
Read more
MEET MY CO -TRAINER @chefkile Helllow🧢 OoH YES he the one 🥩 Ndo anaenitrain mimi for GOOD 10 YEAR nimekua nafanya nae #8020fashionsblog wengi anawasaidia Cc @dinamarious @jestinagmeru @shereheyetu @mcluvanda_events @mashughuliblog @tonyinspirationaltalk @mcgutta.events @purposeandexcellence ... MEET MY CO -TRAINER
@chefkile
Helllow🧢
OoH YES he the one 😋🥩
Ndo anaenitrain mimi for GOOD 10 YEAR nimekua nafanya nae #8020fashionsblog wengi anawasaidia
Cc
@dinamarious
@jestinagmeru
@shereheyetu
@mcluvanda_events
@mashughuliblog
@tonyinspirationaltalk
@mcgutta.events
@purposeandexcellence
Kutaja tu wachache
.
#instaprenuer🇹🇿 #instagram4businessbootcamp
#digitalinfluencer
#instagrammarketing
#onlinetraining
Read more
Loading...
GOOD NEWZ Punguzo kwa ajili ya #instagram4businessbootcamp 100,000 NOW PAY 75,000 Tumepata sponsor kwa ajili ya Train yetu so bei nayo imeshuka . Kama nawe wataka kuwa mmoja wa sponsor DM Na wewe #instaprenuer🇹🇿 Kama wataka shiriki please lipia 75,000 tu kwa mpesa 0767418941 Nafasi ... GOOD NEWZ
Punguzo kwa ajili ya
#instagram4businessbootcamp
100,000❌
NOW PAY 75,000✅
Tumepata sponsor kwa ajili ya Train yetu so bei nayo imeshuka
.
Kama nawe wataka kuwa mmoja wa sponsor DM
Na wewe #instaprenuer🇹🇿 Kama wataka shiriki please lipia 75,000 tu kwa mpesa 0767418941
Nafasi ni chacheeee
.
Kuona instalive kujua #bootcamp itakuwaje Click DP ukutane na trainer mwenza Cc @chefkile
Read more
INSTAPRENEUR 🇹🇿 #instaprenuer🇹🇿 ( yale madini nilikuwa nawapa kila jumatatu saa 4,yatakuwa ...
Media Removed
INSTAPRENEUR 🇹🇿 #instaprenuer🇹🇿 ( yale madini nilikuwa nawapa kila jumatatu saa 4,yatakuwa live bila chenga) . Muda umewadia ile training yetu ya kujifunza jinsi ya kutumia instagram kwa ajili ya biashara umewadia . Ada :100,000 Muda : siku nzima Lini : october 4 Lipa mpesa : 0767418941 ... INSTAPRENEUR 🇹🇿
#instaprenuer🇹🇿 ( yale madini nilikuwa nawapa kila jumatatu saa 4,yatakuwa live bila chenga)
.
Muda umewadia ile training yetu ya kujifunza jinsi ya kutumia instagram kwa ajili ya biashara umewadia
.
Ada :100,000
Muda : siku nzima
Lini : october 4
Lipa mpesa : 0767418941 (tuma muamala)
Wahi nafasi ni chache
.
Leo nitakua instalive kuizundua rasmi saa 6 mchana usikoseeee
Read more
** GOOD NEWS** . . Sasa mkombozi wa ngozi kwa rika zote amekuja ( Watoto, vijana na wazee). <span class="emoji emoji1f334"></span> AFRICANA ...
Media Removed
** GOOD NEWS** . . Sasa mkombozi wa ngozi kwa rika zote amekuja ( Watoto, vijana na wazee). AFRICANA Extr a Virgin Coconut Oil @africana_products @africana_products ndio jibu tosha. . . Haya ni mafuta MWALI ya nazi yanayotengenezwa kwa kutumia nazi zilizokomaa na kwa ustadi wa hali ... ** GOOD NEWS**
.
.
Sasa mkombozi wa ngozi kwa rika zote amekuja ( Watoto, vijana na wazee). 🌴 AFRICANA Extr a Virgin Coconut Oil🌴 @africana_products @africana_products ndio jibu tosha. .
.
Haya ni mafuta MWALI ya nazi yanayotengenezwa kwa kutumia nazi zilizokomaa na kwa ustadi wa hali ya juu...hayana chemical ya aina yoyote pia ni cold pressed- hayachemshwi.
.
.
Mbali na kupaka na kukupa ngozi nyororo na yenye kupendeza kwako na kwa familia yako pia mafuta haya unaweza kupikia na kuupa msosi wako😋😋😋😋 ladha na harufu nzuri isiyokifani. .
.Usisubiri uhadithiwe hebu jipatie ya kwako leo na ubadili muonekano wa ngozi za watoto na familia yako kwa ujumla.
.
.Follow page yetu @africana_products @africana_products .
.Piga +255 755 818 973 au +255 754 710 170 kutoa oda yako

#virgincoconutoil
#instaprenuer🇹🇿
Read more
Loading...
 #HealthyMaisha tunayofuraha kubwa kukufahamisha kuwa hivi karibuni tunazindua #HealthyMaishaLifestyleMarket ...
Media Removed
#HealthyMaisha tunayofuraha kubwa kukufahamisha kuwa hivi karibuni tunazindua #HealthyMaishaLifestyleMarket ambapo utaweza kupata mahitaji yote yakukuwezesha kuishi maisha yenye kuimarisha mfumo mzima wa afya na lishe (HealthyLifestyle). . . Je wewe ni mfanyabiashara mdogo ... #HealthyMaisha tunayofuraha kubwa kukufahamisha kuwa hivi karibuni tunazindua #HealthyMaishaLifestyleMarket ambapo utaweza kupata mahitaji yote yakukuwezesha kuishi maisha yenye kuimarisha mfumo mzima wa afya na lishe (HealthyLifestyle).
.
.
Je wewe ni mfanyabiashara mdogo unayeuza bidhaa za vyakula, mazoezi, afya na lishe kama Asali, Mbogamboga, Matunda, Viazi Mviringo/Vitamu, Maboga, Mchele, Ndizi, Mihogo, Maharage, Aina za Kunde, Aina za Karanga, Maziwa, Mtindi, Samaki, Kuku, Nyama Mbalimbali, Viungo, Unga, Mayai, Mafuta Ya Kupikia, Virutubisho Mbalimbali, Vyombo vya Kupikia, Vifaa vya Jikoni, Nguo za Mazoezi, Vifaa Vya Mazoezi ya Nyumbani, na mengineyo? Karibu ujiunge nasi kwenye FURSA HII ambapo utaweza kuuza bidhaa zako kwa haraka!! .
.
Tupigie 📱 ‭0764223078‬ au tuandike DM yenye jina lako, namba ya simu, bidhaa unazouza zikiambatana na picha, jina lako la biashara-instagram, tovuti, n.k. Usipoteze muda, wasiliana nasi sasa hivi #HMLM kwasababu nafasi ni chache!!
.
.
#HealthyMaisha #TransformingYourLife #HealthyMaishaLifestyleMarket #TogetherLetsBringHealthyBack #PromotingSDGs #HMLM
Read more
NASH SWAHILI 🌶🌶 We nj mjasiriamali unahitaji bidhaa ya kukupatia kipato upate #kipatochakando . #je ...
Media Removed
NASH SWAHILI 🌶🌶 We nj mjasiriamali unahitaji bidhaa ya kukupatia kipato upate #kipatochakando . #je wewe uko ofisini lakini wasaka #sidehustlebusiness ambayo utazungusha daily upate kibato . Fursa hii @riziki_mafungu7 wanakuletea #nashswahilipilipili kwa bei ya jumla uwe ... NASH SWAHILI 🌶🌶
We nj mjasiriamali unahitaji bidhaa ya kukupatia kipato upate #kipatochakando
.
#je wewe uko ofisini lakini wasaka #sidehustlebusiness ambayo utazungusha daily upate kibato
.
Fursa hii @riziki_mafungu7 wanakuletea #nashswahilipilipili kwa bei ya jumla uwe na mgahawa/ duka au uko ofisini nunua uzungushe DM
@riziki_mafungu7
@riziki_mafungu7
Wakupe muongozo wa kukupa mzigo kwa bei ya jumla
#tulipebillz #8020ads
Read more
MAKE UP ARTIST Anahitajika Vigezo -awe tayari kuishi TANGA -awe mjuzi wa kupaka makeup ngozi ...
Media Removed
MAKE UP ARTIST Anahitajika Vigezo -awe tayari kuishi TANGA -awe mjuzi wa kupaka makeup ngozi zote weusi kwa weupe -uwe tayari kushare kazi zako instagram page itasaidia zaidi -WhatsApp namba hiyo chini +255 752 846 555 #temppost #tulipebillz #8020ads MAKE UP ARTIST
Anahitajika
Vigezo
-awe tayari kuishi TANGA
-awe mjuzi wa kupaka makeup ngozi zote weusi kwa weupe
-uwe tayari kushare kazi zako instagram page itasaidia zaidi
-WhatsApp namba hiyo chini +255 752 846 555
#temppost #tulipebillz #8020ads
INSTAGRAM FOR BUSINESS BOOTCAMP #instagram4businessbootcamp ni October mwanzoni . #instaprenuer🇹🇿 ...
Media Removed
INSTAGRAM FOR BUSINESS BOOTCAMP #instagram4businessbootcamp ni October mwanzoni . #instaprenuer🇹🇿 #instapreneur🇹🇿 Kama wewe ni mjasiriamali unaetumia instagram kwa kibiashara itakuhusu saana hii training INSTAGRAM FOR BUSINESS
BOOTCAMP
#instagram4businessbootcamp ni October mwanzoni
.
#instaprenuer🇹🇿 #instapreneur🇹🇿 Kama wewe ni mjasiriamali unaetumia instagram kwa kibiashara itakuhusu saana hii training
HELLOw SEPTEMBEr Nipate fursa ya mimi kufungua mwezi huu wa 9 nikiwa nashukuru kuanza ku #slaymydebts ...
Media Removed
HELLOw SEPTEMBEr Nipate fursa ya mimi kufungua mwezi huu wa 9 nikiwa nashukuru kuanza ku #slaymydebts kulipa madeni huku nikiendelea kuweka akiba kwa #zezekibubuchallenge tena kwa style ya kuinvest yaani naweka akiba huku inazaa kupitia #bonusakaunti ya @nmbtanzania na niliwaeleza ... HELLOw SEPTEMBEr
Nipate fursa ya mimi kufungua mwezi huu wa 9 nikiwa nashukuru kuanza ku #slaymydebts kulipa madeni huku nikiendelea kuweka akiba kwa #zezekibubuchallenge tena kwa style ya kuinvest yaani naweka akiba huku inazaa kupitia #bonusakaunti ya @nmbtanzania na niliwaeleza siweki mayai kwa tray moja eee iyo njia ya pili nitakujuza endelea kuzuru huu ukurasa na yoote haya nafanikisha na bonus za oriflame pamoja na upatu naocheza #nmbkaribuyako #tuonanedesemba💸 .
.
.
2. Ile kozi yetu ya #instaprenuer🇹🇿 sasa iko tayari itakua octoba mwanzoni zuru ukurasa huu kujua bei na jinsi ya kushiriki #instagram4businessbootcamp ni kwa mjasiriamali yeyote anaetaka kutumia instagram kwa ajili ya biashara ikiwa jinsi ya kupata wateja/ jinsi ya kuupa sura ya duka la mtandao ukurasa wako nk
.
.
3.Goal ya 3 ya mie mwezi huu ni kuongeza 1,000,000 kwa kipato changu ... kivipi nasaka #sidehustlebusiness kama unayo unahisi itanifaa usisite nigusa bega 😜💸
.
4. Nataka share biashara ya vipodozi ya oriflame na wasichana wengi ambao wanamuda wa ziada ambapo hawana haja ya kuwa na mtaji kuanza biashara ni DM nikupe muongozo.(sharering is carering)
.
5. #meetmycoach whatsapp group tunaanza recruit upya ukiwa wataka pungua kilo 3-10 njoo DM nikupe muongozo (nina ushuhuda wa intake ya kwanza , na wengine wamerenew)
.
6. #8020vicoba #kikobachakidigitali kimepata wanachama wapya na sasa tumeweza kukuza hisa na zaidi mwezi huu nitakua nawapa somo jinsi tunaitumia #nmbklik app kurahisha kazi zetu na udigitali wetu ni upi na zaidi investment zetu..... kama mwanakikoba fuata ukurasa nitakupa mchongo.
.
.
7. Promoting Fashion industry nna campaign ya #30dayoftanzaniadesigns #madeinTanzania #proudlytanzania kama ni designer ungependa nguo yako ihusike holla 😘
.
.
#patamuonekano
#jumpsuite by @fashoonista
#whiteshirt by @westendw1
#shades by @koodawa
Read more
HIGH TEA DATE @the_landmark_london #wintergarden niliahidi kuwapa muendelezo eee wa #highteadate #wheniwasinlondon hayo pichani ndo maakuli yaliwayo kwenye hightea Uraya haya masuala ya kuvaa vipandiko tunasema twaenda tea party na kula vitumbua na sambusa na masala tea sio🤪Cc ... HIGH TEA DATE
@the_landmark_london #wintergarden niliahidi kuwapa muendelezo eee wa #highteadate #wheniwasinlondon hayo pichani ndo maakuli yaliwayo kwenye hightea Uraya haya masuala ya kuvaa vipandiko tunasema twaenda tea party na kula vitumbua na sambusa na masala tea sio🤪Cc @evecollections siku nilifanya #teaparty mwenyewe nikatoa oda ya vitumbua alinibalasaje ikabidi anikutanishe na @open_kitchen2014 kupata hayo mazaga zaga masandwich nk .
Chai hapo nilikunywa za majani yoote sikuielewa nikaulizia masalatea hata hawaijui.. nilienjoy greentea tu ndo niliitambua🗣... hivi mmenotice hako katone kamaziwa nilowekewa🤣🤣... sikuelewa mi nachemsha maziwa na majani ivooo
.
Anyway to make story short wewe unaweza ukapata hii experince katika hotel yoyote ya kibabe na hapa TAnzania @hyatt_kilimanjaro wana #hightea kama ya kwa queen ingia #booking.com watakuwezesha wewe kupata punguzo la 66500 ... ingia kwa Link iko kwa Bio ... book usisahau kuniringishia ukiwa unadamshiii .... hotel yotote duniani book usiogope wa london naomba mnijibu #wintergarden please
.
By the way nililipa na kadi yangu ya #mastercard ya @nmbtanzania #nmbkaribuyako nawe andaa kadi sababu ndo utatumia kufanya booking yako kwa @bookingcom
Read more
NMB KLIK #instaLive ALERT Nimekua nikipata maswali mengi kuhusu #Nmbklikapp ya @nmbtanzania ...
Media Removed
NMB KLIK #instaLive ALERT Nimekua nikipata maswali mengi kuhusu #Nmbklikapp ya @nmbtanzania NA #8020vicoba #kikobachakidigitali #Digitalkikoba tafadhali leo mida ya saa 6 mchana nitakua instalive kuelezea mawili ma2/3 juu ya hizi vitu na vinavyofanya kazi pamoja .... usikose ... NMB KLIK
#instaLive ALERT
Nimekua nikipata maswali mengi kuhusu #Nmbklikapp ya @nmbtanzania NA #8020vicoba #kikobachakidigitali #Digitalkikoba tafadhali leo mida ya saa 6 mchana nitakua instalive kuelezea mawili ma2/3 juu ya hizi vitu na vinavyofanya kazi pamoja
.... usikose kama we mwanavicoba kama mimi na uje uijue #nmbklik na tufungua akaunti ya Nmb leo hii namba ya akaunt ikiwa namba ako yasimu .... taaaamu eee 😜
#nmbkaribuyako
#kizurikulanawenzio
#KKW
Read more
THROW BACK THURSDAY #tbt #wheniwasinlondon rafiki yangu #Yasmeen #mamalundele #footballersfavourite alinipeleka @the_landmark_london #wintergarden ambako nilienda mahsusi kwa ajili ya #highteadate ... picha za hightea na chai aina zote zaidi ya 10 na vitafunwa viliwavyo nitakupost ... THROW BACK THURSDAY
#tbt #wheniwasinlondon rafiki yangu #Yasmeen #mamalundele #footballersfavourite
alinipeleka @the_landmark_london #wintergarden ambako nilienda mahsusi kwa ajili ya #highteadate ... picha za hightea na chai aina zote zaidi ya 10 na vitafunwa viliwavyo nitakupost next post.
NIlitaka kukupa mchongo tu wa wewe kwenda hotel kama hii ndani ya Tanzania au popote ulipo duniani kwa kubook @bookingcom na utapata punguzo la 66,500
.
Kubook tumia link kwa Bio yangu AU nIDM nikupe muongozo wa kudamshi hotel zote za kibabe duniani kwa bei ya punguzo
Read more
SPECIAL OFFER Nafurahia Clients wangu wanafunga mwezi kwa kishindo... ma SALE kama yoote hivi ...
Media Removed
SPECIAL OFFER Nafurahia Clients wangu wanafunga mwezi kwa kishindo... ma SALE kama yoote hivi ... ASa @ley_jewellers @ley_jewellers Kaja kama kumaliza hivi offer ake ni nunua Pete ya Jiwe la Tanzanite #jiwelablue upewe saa moja Bureeee Kimbiiia wahii🏼🏼 🏻Madam naomba niwaombee ... SPECIAL OFFER
Nafurahia Clients wangu wanafunga mwezi kwa kishindo... ma SALE kama yoote hivi ... ASa
@ley_jewellers
@ley_jewellers
Kaja kama kumaliza hivi offer ake ni nunua Pete ya Jiwe la Tanzanite #jiwelablue
upewe saa moja Bureeee
Kimbiiia wahii💃🏼💃🏼 🙏🏻Madam naomba niwaombee na jiwe la mwezi Septemba bac uwape na offer Monday tuwapostie jiwe lao
@ley_jewellers
#tulipebillz #8020ads
Read more
TWO DAYS TO GO Usije sema sijakwambia ikifika Septemba mosi bei zitarudi kama kawaida . #makeupartist #beautyvlogger . Wahi sale usije juta baadae @retrome_tz @retrome_tz @retrome_tz TWO DAYS TO GO
Usije sema sijakwambia ikifika Septemba mosi bei zitarudi kama kawaida
.
#makeupartist
#beautyvlogger .
Wahi sale usije juta baadae
@retrome_tz
@retrome_tz
@retrome_tz
BIGGEST SHOE SALE 30% ON ALL ITEMS .... uswazi twasemaga Tajiri anapagawishaa aka kutuwehushaaa ...
Media Removed
BIGGEST SHOE SALE 30% ON ALL ITEMS .... uswazi twasemaga Tajiri anapagawishaa aka kutuwehushaaa ni mwendo wa 🏼🏼🏼 mapemaaa @shoe_ville @shoe_ville @shoe_ville labda niwaibie siri @shoe_ville hufanya Sale mara moja kwa tu kwa mwaka jiwahie @shoe_ville #tulipebillz #8020ads BIGGEST SHOE SALE
30% ON ALL ITEMS
.... uswazi twasemaga Tajiri anapagawishaa aka kutuwehushaaa ni mwendo wa 💃🏼💃🏼💃🏼 mapemaaa
@shoe_ville
@shoe_ville
@shoe_ville labda niwaibie siri @shoe_ville hufanya Sale mara moja kwa tu kwa mwaka jiwahie
@shoe_ville
#tulipebillz #8020ads
POP UP SALE @the_studio_26 @the_studio_26 @the_studio_26 Ni kwa yule mkareee wa #velvetturban ...
Media Removed
POP UP SALE @the_studio_26 @the_studio_26 @the_studio_26 Ni kwa yule mkareee wa #velvetturban jijini ameamua kushare ujuzi na wewe na jinsi ya kucheza nazo pamoja kuelekeza makeup tecnics . Na la maana zaidi utaondoka nazo kwa bei ya punguzoooo . Lini :Septemba mosi Mahali: ... POP UP SALE
@the_studio_26
@the_studio_26
@the_studio_26
Ni kwa yule mkareee wa #velvetturban jijini ameamua kushare ujuzi na wewe na jinsi ya kucheza nazo pamoja kuelekeza makeup tecnics .
Na la maana zaidi utaondoka nazo kwa bei ya punguzoooo
.
Lini :Septemba mosi
Mahali: Africa Sana
.
Hatokua peke yake kuna mgeni mwalikwa ambaye ni make up artist kutoka NIGERIA
@bolastructures
.
#tulipebillz #8020ads
Read more
HESHIMA PESA SHIKAMOO MAKELELE <span class="emoji emoji1f618"></span> @wemasepetu @mishym73 #madamashley hongera Aunt @miriamjoggy ...
Media Removed
HESHIMA PESA SHIKAMOO MAKELELE @wemasepetu @mishym73 #madamashley hongera Aunt @miriamjoggy mzuri mrembo Aunt wa Dunia kwa shughuli nzuri ya Bag Party ya mwanao #AounsBagparty khaaaa wananchiiii si kwa kupania huko .... mlijua eee mnaenda kwa mpaniajiii eeee ... maana aunt Miriam ... HESHIMA PESA SHIKAMOO MAKELELE 😘
@wemasepetu
@mishym73
#madamashley
hongera Aunt @miriamjoggy mzuri mrembo Aunt wa Dunia kwa shughuli nzuri ya Bag Party ya mwanao #AounsBagparty khaaaa wananchiiii si kwa kupania huko .... mlijua eee mnaenda kwa mpaniajiii eeee ... maana aunt Miriam ukimualika shughulini unamuonea huruma mama mzazi huruma 🤣🤣
.
Ila mmenifurahisha jana woote wazuriii.... hakuna picha za tecno wereva ... no wonder sibebi camera siku hizi 🤣
.
Picha ziko #8020fashionsblog
Kama hujajiona nitag ... Full Kudamshiii
Swahiba @thembonishow ahsante kwa matukio🙏🏻
Read more
PAMOJA AKAUNTI #pamojaakaunti Eeee leo nimeanza na hili swali sababu nimeamini kuna akaunti ...
Media Removed
PAMOJA AKAUNTI #pamojaakaunti Eeee leo nimeanza na hili swali sababu nimeamini kuna akaunti uko nazo na hujui kama zinahusu. Mie nikianza kuhesabu akaunti niko nazo 1.personal 2.business #fanikiwaakaunti 3.online shopping 5.saving #bonusakaunt 6.emergancy fund akaunt 7.vicoba ... PAMOJA AKAUNTI
#pamojaakaunti
Eeee leo nimeanza na hili swali sababu nimeamini kuna akaunti uko nazo na hujui kama zinahusu.
Mie nikianza kuhesabu akaunti niko nazo
1.personal
2.business #fanikiwaakaunti
3.online shopping
5.saving #bonusakaunt
6.emergancy fund akaunt
7.vicoba #pamojaakaunti
Yes babes hii pia ni akaunt yako si ile ambayo unaichangia pesa kila mwezi ndio ni akaunt yako.
.
-Si hii ndo unafanya saving zako
-Si hii itakuwezesha pata mkopo
-si hii ndo itakuwezesha upate gawio?
.
Wengi walonifuata wakidai hawana displine ya kusave niliwashauri waungane na kisha wafungue hii kaunti .... hata kwenye #zezekibubuchallenge Nikiruka wiki humu nahesabia nimeweka akiba, sababu ni akaunt yangu pia.ambayo kwangu naitumia kuweka akiba
#8020vicoba #kikobachakidigitali tuna #pamojaakaunt ya @nmbtanzania Nawe pita uijue zaidi kwa tawi lililo karibu yako #nmbkaribuyako
Read more
SUNDAY FUNDAY . JE wewe ni Designer nakuletea #30daysoftanzaniadesigns #madeinTanzania ...
Media Removed
SUNDAY FUNDAY . JE wewe ni Designer nakuletea #30daysoftanzaniadesigns #madeinTanzania #proudlyTanzania NiDM nikupe muongozo naifanyaje kwa designer wakongwe na wanaochipukia . #patamuonekano #maxikitenge #ankaradress #parachutistyle By @wolperstylish #shades ... SUNDAY FUNDAY
.
JE wewe ni Designer nakuletea #30daysoftanzaniadesigns
#madeinTanzania
#proudlyTanzania
NiDM nikupe muongozo naifanyaje kwa designer wakongwe na wanaochipukia
.
#patamuonekano
#maxikitenge #ankaradress #parachutistyle
By @wolperstylish
#shades #sandoz
@koodawa
.

#digitalinfluencer
#fashionblogger
#instaprenuer🇹🇿
#onlinecoach
#vlogger #zezetv
#tanzania
#oriflamebae
#zezekibubuchallenge founder
#shamimmwasha
Read more
LAVY MOBILE <span class="emoji emoji1f485"></span>🏼 #lavymobileclinic Je wewe ni mama wa nyumbani una mtoto mdogo hupati muda wa kwenda ...
Media Removed
LAVY MOBILE 🏼 #lavymobileclinic Je wewe ni mama wa nyumbani una mtoto mdogo hupati muda wa kwenda salon kutengeneza kucha zako . Na kama ni mjasiriamali kama mimi AU muajiriwa ambapo una ratiba ilobana na weekend yako unaitumia kuwa nyumbani na familia @lavy_products wametambua ... LAVY MOBILE 💅🏼
#lavymobileclinic
Je wewe ni mama wa nyumbani una mtoto mdogo hupati muda wa kwenda salon kutengeneza kucha zako
.
Na kama ni mjasiriamali kama mimi AU muajiriwa ambapo una ratiba ilobana na weekend yako unaitumia kuwa nyumbani na familia
@lavy_products wametambua hilo na wameanzisha huduma ya kukufuata ulipo na kukutengeneza kucha zako .... huna sababu ya kuwa na kucha butu🗣
.
Fanya Booking yako siku moja kabla
Namba : 0713303686
@lavy_products
@lavy_products
Read more
SIDE HUSTLE BUSINESS IDEA . Yes... SERIOUS WAKALA WANAHITAJIKA #NashSwahiliPilipili Inasaka ...
Media Removed
SIDE HUSTLE BUSINESS IDEA . Yes... SERIOUS WAKALA WANAHITAJIKA #NashSwahiliPilipili Inasaka wakala wa kuuza pilipili zao ambapo kama wewe uko -mgahawa au -una duka au -chuuzi reja reja au -unatafuta kitu cha kufanya kwa sasa . Mtaji ni Chini ya 50,000 Hivyo wasiliana na ukurasa ... SIDE HUSTLE BUSINESS IDEA
.
Yes...
SERIOUS WAKALA WANAHITAJIKA
#NashSwahiliPilipili
Inasaka wakala wa kuuza pilipili zao ambapo kama wewe uko -mgahawa au
-una duka au -chuuzi reja reja au
-unatafuta kitu cha kufanya kwa sasa
.
Mtaji ni Chini ya 50,000
Hivyo wasiliana na ukurasa huu kwa maelezo zaidi na utoe oder yako kwa bei ya jumla kulingana na uwezo wako na malengo yako!
.
#sidehustlebusiness
#kipatochakando .
Kama uko interested Nenda DM ya @riziki_mafungu7 uwape no yako ya cm watakupigia na kukupa maelezo na kujibu maswali yako yote!

Ndo hivyoo ongeza kipato na
@riziki_mafungu7
@riziki_mafungu7
@riziki_mafungu7
Read more
FRIDAY 4 PIZZA Only at @mrfriesdsm @mrfriesdsm eee leo nina date na wanangu... wao ukitaka uwatulize ...
Media Removed
FRIDAY 4 PIZZA Only at @mrfriesdsm @mrfriesdsm eee leo nina date na wanangu... wao ukitaka uwatulize watulie waahidi pizza as kesho nina kibarua cha kuwapick shule tutapita hapa kupata pizza, fanya kutupa idea tule ipi... mi si wa 99 kweusi najuaga #bbqpizza tu any idea . Nawe wapitie ... FRIDAY 4 PIZZA
Only at @mrfriesdsm
@mrfriesdsm eee leo nina date na wanangu... wao ukitaka uwatulize watulie waahidi pizza as kesho nina kibarua cha kuwapick shule tutapita hapa kupata pizza, fanya kutupa idea tule ipi... mi si wa 99 kweusi najuaga #bbqpizza tu any idea😋
.
Nawe wapitie naona wana menu za kibabe , wapo seaview upanga na delivery ipo
@mrfriesdsm
@mrfriesdsm
Kesho pitia #instastory kuona masotojo #tupohapaleo
#tulipebillz #8020ads
.
Haya zama #instastory nenda Highlight #mrfriesDSM
Read more
SALE SALE 7 DAYS TO GO @retrome_tz @retrome_tz Oh Yess bidhaa ni nyingi kueleleaa moja moja siku ...
Media Removed
SALE SALE 7 DAYS TO GO @retrome_tz @retrome_tz Oh Yess bidhaa ni nyingi kueleleaa moja moja siku zinakumbia nimesawasia kuzipanga kwa namba we teleza soma namba rudi hapa ujue kipi ni kipi . 1.ni blottinp paper: izo zitakusaidia kufuta jasho bila kuharibu makeup yako . 2. Ni Face ... SALE SALE 7 DAYS TO GO
@retrome_tz
@retrome_tz
Oh Yess bidhaa ni nyingi kueleleaa moja moja siku zinakumbia nimesawasia kuzipanga kwa namba we teleza soma namba rudi hapa ujue kipi ni kipi
.
1.ni blottinp paper: izo zitakusaidia kufuta jasho bila kuharibu makeup yako
.
2. Ni Face masks - to maintain youthful skin and slow down aging :) eee sura hutunzwa once a week tumia hii
.
3. Everything eyes! Waterproof eyeliners mascaras, ink liners
.
4. Primers and illuminating liquids (makeupartist mtanielewa zaidi )😜
.
5. Highlighting powders ) ee ndiwo siku hizi umrembe mtu bila kumuwasha uso hanyanyuki kitini @divaglam_beauty anaelewa siri ya urembo💃🏼
.
6. Contour palettes.... hii ndo ile inafanya maajabu mtu sura ya duara kama watermelon anajikuta kasura nywiii kama papai 😘
.
7. Setting powders.... ewaaa hii siku ya kwanza napaka nilichachamaa na nilivyo naogopa makeup.... nilielewa mwisho wa siku.... pita @retrome_tz za kujaribu zipo
.
8. NYX drop foundation... ushawahi kupakwa foundation ukasema usinipake powder? ... hii kitu kitakufanya ujikubali kama umetumia filter za snapchat
.
Ni 40% kwa mwezi huuu tu wako wapo Masaki ndani ya jengo lenye target supermarket
@retrome_tz
@retrome_tz
Read more
BOOKED AND BUSY #bookedandbusy at @hyatt_kilimanjaro ndani ya #hyattdarnewrooms kila kitu ...
Media Removed
BOOKED AND BUSY #bookedandbusy at @hyatt_kilimanjaro ndani ya #hyattdarnewrooms kila kitu kinafanyika #breakfast #business ushindwe weye , thanks #Hyattkilimanjaro You made my Day #EidMubarak 🏻 BOOKED AND BUSY
#bookedandbusy at @hyatt_kilimanjaro ndani ya #hyattdarnewrooms kila kitu kinafanyika #breakfast #business ushindwe weye , thanks #Hyattkilimanjaro You made my Day #EidMubarak 🙏🏻
GOOD MORNING From this side #hyattdarnewrooms @hyatt_kilimanjaro hakika usiku wangu ulikuwa ...
Media Removed
GOOD MORNING From this side #hyattdarnewrooms @hyatt_kilimanjaro hakika usiku wangu ulikuwa wenye njozi tamu ‘sweetdreams’... siri ya urembo nitaikupa kwa #8020fashionsblog . #whatamreading #themagic by @rhonda_byrne . Nikisikiza mziki mnene wa @bose 🎙 . Kuchani 🏼@lavy_products ... GOOD MORNING
From this side #hyattdarnewrooms @hyatt_kilimanjaro hakika usiku wangu ulikuwa wenye njozi tamu ‘sweetdreams’... siri ya urembo nitaikupa kwa #8020fashionsblog .
#whatamreading #themagic by @rhonda_byrne .
Nikisikiza mziki mnene wa @bose 🎙
.
Kuchani 💅🏼@lavy_products wanasimamia show .
.
NOTE:: Follow instastory highlight #hyattnewrooms for more
Read more
GET READY WITH ME #getreadywithme at @hyatt_kilimanjaro #hyattdarnewrooms niliselfika si ...
Media Removed
GET READY WITH ME #getreadywithme at @hyatt_kilimanjaro #hyattdarnewrooms niliselfika si waona mwanga kama wote hivi #dinnertime #goodniteworld . #patamuonekano #h&mdress by @theglamorousfashion #turquoisering by @ley_jewellers #phonecase by @koodawa . NOTE:: Follow ... GET READY WITH ME
#getreadywithme at @hyatt_kilimanjaro #hyattdarnewrooms niliselfika si waona mwanga kama wote hivi #dinnertime
#goodniteworld
.
#patamuonekano
#h&mdress by @theglamorousfashion
#turquoisering by @ley_jewellers
#phonecase by @koodawa .
NOTE:: Follow instastory highlight #hyattnewrooms for more
Read more
BOOKED AND BUSY #bookedandBusy ... Oh Yess leo niko @hyatt_kilimanjaro nimeamua kuja isubiria ...
Media Removed
BOOKED AND BUSY #bookedandBusy ... Oh Yess leo niko @hyatt_kilimanjaro nimeamua kuja isubiria Eid Alhajj hapa na kuenjoy , vyumba vyao vipya #hyattdarnewrooms huku nikimalizia vimeo vya last week . NOTE:: Follow instastory highlight #hyattnewrooms BOOKED AND BUSY
#bookedandBusy ... Oh Yess leo niko @hyatt_kilimanjaro nimeamua kuja isubiria Eid Alhajj hapa na kuenjoy , vyumba vyao vipya #hyattdarnewrooms huku nikimalizia vimeo vya last week
.
NOTE:: Follow instastory highlight #hyattnewrooms
ABOUT YESTERDAY #AboutYesterday wearing #batikjumpsuite by @bijoux_trendy #beadednecklace ...
Media Removed
ABOUT YESTERDAY #AboutYesterday wearing #batikjumpsuite by @bijoux_trendy #beadednecklace by @enjipaijewelry #kapubag @theglamorousfashion #sandoz & #shades by @koodawa nilishare matukio yoote yalojiri wiki iliyopita via instastory cheki #travelwithus na #pasianwedsmaria ... ABOUT YESTERDAY
#AboutYesterday wearing
#batikjumpsuite by @bijoux_trendy
#beadednecklace by @enjipaijewelry
#kapubag @theglamorousfashion
#sandoz & #shades by @koodawa nilishare matukio yoote yalojiri wiki iliyopita via instastory cheki #travelwithus na #pasianwedsmaria kwa highlights
#patamuoneka wa humo umesababishwa na
#lacekimono @iradastyleofficial
#highwaistjeans @hussein_pambakali
#white & #grey #Tee muone
@koodawa .
Ze picture background though😉
@airtanzania_atcl
Muonekano wa #myneighbor hapo kati uzito wa $ #chanel Cc @flavianamatata
Read more
EID EL-HAJJ Ndo iyooooo yaja na @hussein_pambakali @hussein_pambakali Kwa kukujali wewe ...
Media Removed
EID EL-HAJJ Ndo iyooooo yaja na @hussein_pambakali @hussein_pambakali Kwa kukujali wewe na wanao wameshusha mzigo wa watoto wa maana . Teleza kuona mikato yao ukifika ulizia size tu . ... wahi kwenye maduka yao tegeta/sinza/tabata na kisha unishukuru baadae . Cc @mama__mt naja ... EID EL-HAJJ
Ndo iyooooo yaja na @hussein_pambakali
@hussein_pambakali
Kwa kukujali wewe na wanao wameshusha mzigo wa watoto wa maana .
Teleza kuona mikato yao ukifika ulizia size tu
.
... wahi kwenye maduka yao tegeta/sinza/tabata na kisha unishukuru baadae
.
Cc @mama__mt naja Kariakoo kuchagua jeans zangu..... jamani mkiona msiniulize mbona hutag , jeans kali zipo @hussein_pambakali na mzigo mpya umeshushwa
Read more
PERFECTION IS BORING #perfectionisboring what do you think? . #digitalinfluencer #fashionblogger ...
Media Removed
PERFECTION IS BORING #perfectionisboring what do you think? . #digitalinfluencer #fashionblogger #instaprenuer🇹🇿 #onlinecoach #vlogger #zezetv #tanzania #oriflamebae #zezekibubuchallenge founder #shamimmwasha PERFECTION IS BORING
#perfectionisboring
what do you think?
.
#digitalinfluencer
#fashionblogger
#instaprenuer🇹🇿
#onlinecoach
#vlogger #zezetv
#tanzania
#oriflamebae
#zezekibubuchallenge founder
#shamimmwasha
GROCERY SHOPPING #saturday is for #groceryshopping naamini hata wewe ndio hivyo haya fanya ...
Media Removed
GROCERY SHOPPING #saturday is for #groceryshopping naamini hata wewe ndio hivyo haya fanya kuoda #nashfish #sangarafillet @riziki_mafungu7 @riziki_mafungu7 @riziki_mafungu7 Bila kisahau ile pilipili #nashswahilipilipili ukifika ulizia bei ya jumla na rejareja kwa wale ... GROCERY SHOPPING
#saturday is for
#groceryshopping naamini hata wewe ndio hivyo haya fanya kuoda
#nashfish #sangarafillet
@riziki_mafungu7
@riziki_mafungu7
@riziki_mafungu7
Bila kisahau ile pilipili #nashswahilipilipili ukifika ulizia bei ya jumla na rejareja kwa wale wa #sidehustlebusiness kama mie mtanishukuru baadae
@riziki_mafungu7
@riziki_mafungu7
Read more
PAYCHECK to PAYCHECK #zezekibubuchallenge #tuonanedesemba<span class="emoji emoji1f4b8"></span> Kuishi kwa kutumia kipato hadi ...
Media Removed
PAYCHECK to PAYCHECK #zezekibubuchallenge #tuonanedesemba Kuishi kwa kutumia kipato hadi kipato kingine kije ndio maisha ya watanzania weeengi lakini kuna jinsi ya kuepuka iyo kama utafuata hizi TIPs chache . Pichani ni bahasha zangu ambazo mara nyingi huzitumia kugawanya ... PAYCHECK to PAYCHECK
#zezekibubuchallenge
#tuonanedesemba💸
Kuishi kwa kutumia kipato hadi kipato kingine kije ndio maisha ya watanzania weeengi lakini kuna jinsi ya kuepuka iyo kama utafuata hizi TIPs chache
.
Pichani ni bahasha zangu ambazo mara nyingi huzitumia kugawanya pesa #envelopesavings nikiwa na deni au nina commitment za kulipa mtu au vicoba au upatu #emergancyfund huwa nazigawa pesa kwa bahasha kama hivi ☝🏾☝🏾 bahasha is my BFF in saving shukran @maznatbridal mama wa bahasha kunipa hii shule ✉️
.
Tips hizi za kufuata kuepuka kuishi kwa kusubiria Malipo ya mwezi kwa mwezi ( kama una zingine please share) Cc @glorypoetry .
1.Jifunze Kufanya Budget ya kila mwezi ya matumizi yako
2.punguza matumizi yasiyo ya lazima ya fedha ,nunua vitu vya lazima
3.Fatilia kwa makini kila kitu unachonunua,andika matumizi yote
4.Kama una hela zina ingia Bank set automatic hela kiasi flani zinaingia kwenye saving account yako
5.Tafuta kitu /biashara au part time job ya kukuingizia kipato cha ziada
6.Kua na kibubu cha kila wiki ,zile chenchi chenchi wekea kibubu
7.uza vitu ambavyo huhitaji kama nguo,viatu,bags
.
Na kukusaidia yooote haya @nmbtanzania wametambulisha App #nmbklik ambayo utaweza fanya yote haya kwa urahisi download app kisha nitag / Dm tuanze kuklik #nmbkaribuyako
Read more
BOOKED AND BUSY #bookedandbusy #kikiniklik<span class="emoji emoji1f609"></span> Cc @nmbtanzania 🕶 #heelprotectors @koodawa #ankaraskirt ...
Media Removed
BOOKED AND BUSY #bookedandbusy #kikiniklik Cc @nmbtanzania 🕶 #heelprotectors @koodawa #ankaraskirt #kitenge by @mgece__cici__designs @kurtgeiger #midheels by @theglamorousfashion . . Fit and slim body #healthfood by @thegreenkitchentz Oder Now #meetmycoach whatsappgroup ... BOOKED AND BUSY
#bookedandbusy
#kikiniklik😉 Cc @nmbtanzania 🕶 #heelprotectors @koodawa
#ankaraskirt #kitenge
by @mgece__cici__designs
@kurtgeiger #midheels
by @theglamorousfashion .
.
Fit and slim body #healthfood by @thegreenkitchentz Oder Now
#meetmycoach whatsappgroup DM for more info
.
#digitalinfluencer
#fashionblogger
#instaprenuer🇹🇿
#onlinecoach
#vlogger #zezetv
#tanzania
#oriflamebae
#zezekibubuchallenge founder
#shamimmwasha
Read more
BOOKED AND BUSY #bookedandbusy #boomerang addicted #ankaraskirt #kitenge by @mgece__cici__designs @kurtgeiger #midheels by @theglamorousfashion . . #digitalinfluencer #fashionblogger #instaprenuer🇹🇿 #onlinecoach #vlogger #zezetv #tanzania #oriflamebae #zezekibubuchallenge ... BOOKED AND BUSY
#bookedandbusy
#boomerang addicted
#ankaraskirt #kitenge
by @mgece__cici__designs
@kurtgeiger #midheels
by @theglamorousfashion .
.
#digitalinfluencer
#fashionblogger
#instaprenuer🇹🇿
#onlinecoach
#vlogger #zezetv
#tanzania
#oriflamebae
#zezekibubuchallenge founder
#shamimmwasha
Read more
THE GREEN KITCHEN SALAD #aboutyesterday nilikula lunch kutoka @thegreenkitchentz kwanza iyo swag yao ya kudeliver siwajua salad yabidi kuliwa ikiwa Fresh wanaleta ikiwa ndani ya barafu. . Na ile program yangu ya #meetmycoach ya kula #onemealaday #omad ikastop nawezaje subiri hadi ... THE GREEN KITCHEN SALAD
#aboutyesterday nilikula lunch kutoka @thegreenkitchentz kwanza iyo swag yao ya kudeliver siwajua salad yabidi kuliwa ikiwa Fresh wanaleta ikiwa ndani ya barafu.
.
Na ile program yangu ya #meetmycoach ya kula #onemealaday #omad ikastop nawezaje subiri hadi jioni sasa 🤣
.
Ahsante @thegreenkitchentz nilienjoy saana salad ya choroko na kuku hususan ile salad dressing na tutundaa tutamu tamu.... 🙋🏽‍♂️ count me as your client
.
Wafuate uode yako leo
@thegreenkitchentz
@thegreenkitchentz
#waterfasting
#healthyfood
#fitandhealthy
Read more
UNA TATIZO Ungependa kuongea na mtaalam akusaidie kutatua , tatizo ambalo hata we hulijui Mtaalam ...
Media Removed
UNA TATIZO Ungependa kuongea na mtaalam akusaidie kutatua , tatizo ambalo hata we hulijui Mtaalam wa Saikolojia @shazaladina @shazalidina Ongea nae jinsi ya kutimiza malengo yako na kukutoa sehemu moja kwenda lingine Panga kuonana nae.... amesaidia wengi atafurahi ukiwa mmoja ... UNA TATIZO
Ungependa kuongea na mtaalam akusaidie kutatua , tatizo ambalo hata we hulijui Mtaalam wa Saikolojia
@shazaladina
@shazalidina
Ongea nae jinsi ya kutimiza malengo yako na kukutoa sehemu moja kwenda lingine
Panga kuonana nae.... amesaidia wengi atafurahi ukiwa mmoja wao -Book your coaching sessions now.
-In Dar from 1st Sept to 15th Sept
@shazalidina
@shazalidina
Read more

Loading...