Ahmed_albaity Instagram Photos and Videos

Loading...


ahmed_albaity Ahmed Albaity @ahmed_albaity mentions
Followers: 136,158
Following: 771
Total Comments: 0
Total Likes: 0

Kitu kibaya zaidi sikuhizi hasa kwenye hii mitandao ya kijamii ni kwamba watu wanavutiwa sana katika ...
Media Removed
Kitu kibaya zaidi sikuhizi hasa kwenye hii mitandao ya kijamii ni kwamba watu wanavutiwa sana katika kutangaza makosa ya watu wengine. . . Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akasema: "Yeyote anayeficha [makosa ya Muslim], Mwenyezi Mungu ataficha [makosa ... Kitu kibaya zaidi sikuhizi hasa kwenye hii mitandao ya kijamii ni kwamba watu wanavutiwa sana katika kutangaza makosa ya watu wengine.
.
.
Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akasema: "Yeyote anayeficha [makosa ya Muslim], Mwenyezi Mungu ataficha [makosa yake] katika maisha haya na Akhera."
.
.
Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) Ameuhifadhi ulimi ndani ya mdomo, ili usiwe wazi kila mara ukanena maneno mengi ambayo huenda yakamuangamiza binaadamu kwa kumuharibia ‘amali zake, au kukosa radhi za Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) hata mtu akinena neno moja tu ovu ni hatari kwa sababu Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) ameonya,
.
.
Akasema: "Kwa hakika mja atazungumza neno linalomridhisha Allaah, wala asidhani kuwa litafikia lilipofikia, Allaah Amuandikie kwa neno hilo Radhi Zake hadi Siku ya Qiyaamah. Na Kwa hakika mja atazungumza neno
linalomghadhibisha Allaah, wala asidhani kuwa litafikia lilipofikia, Allaah Amuandikie kwa neno hilo hasira Zake hadi Siku ya Qiyaamah."
.
.
Tunapata funzo kwamba, ulimi unaweza kuwa ni kiungo kizuri kabisa katika mwili wa binaadamu na vile vile unaweza kuwa ni kiungo kiovu kabisa.
.
.
1. Ulimi ni kipande kidogo cha nyama kisichokuwa na mifupa lakini kinaweza kumvunja mtu mifupa yake siku ya Qiyaamah.
.
.
2. Ulimi ni kama nyoka utakaomtia sumu binaadamu, au ni kama mkuki utakaomuangamiza binaadamu siku ya Qiyaamah.
.
.
3. Hivyo hivyo, ulimi huenda ukawa ni sababu ya kumuingiza mtu Peponi japo hakuwa na matendo mengi ya wema.
. .
4. Ulimi ni kiungo kikuu katika mwili wa binaadamu kinachodhibiti viungo vingine vyote vya mwili wa binaadamu kutokana na Hadiyth ifuatayo ya Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam):
.
.
amesema: "Anapoamka mwana Aadam viungo vyote vinaulaumu ulimi vikisema: Mche Allaah kwetu, kwani sisi tuko katika hifadhi yako;
ukiimarika nasi tutaimarika, ukienda pogo, nasi tutakwenda pogo"
.
.
Ni vyema kuzuia ulimi usitoke kuzungumza maneno yoyote ila pale unapohitajika kwani kuuachia ulimi utamke tu ya kutamkwa bila ya
kutahadhari, utampeleka mtu kutoa porojo na kuzungumza yasiyofaa na kumharibia mja Aakhirah yake. #Ahmed_Albaity
Read more
Loading...
Unadhani vipi hapo? Nimecheka sana Unadhani vipi hapo? Nimecheka sana 😂😂😂😂😂😂😂
 #Repost @almasmzambele (@get_repost) ・・・ Nilirejea Tanzania kutafuta namna ya kupata pesa ...
Media Removed
#Repost @almasmzambele (@get_repost) ・・・ Nilirejea Tanzania kutafuta namna ya kupata pesa ili nikamalizie matibabu lakini sikuweza kufanikiwa mpaka sasa ninavyoandika ujumbe huu... Kwa sasa viungo vyote vimeanza kurudi katika hali ya mwanzoni kabla ya kwenda India. ile ganzi ... #Repost @almasmzambele (@get_repost)
・・・
Nilirejea Tanzania kutafuta namna ya kupata pesa ili nikamalizie matibabu lakini sikuweza kufanikiwa mpaka sasa ninavyoandika ujumbe huu... Kwa sasa viungo vyote vimeanza kurudi katika hali ya mwanzoni kabla ya kwenda India. ile ganzi tena imerudi mwilini na mkono mmoja tu sasa ndo unaweza ku move. Ninaomba msaada kwa watanzania wenzangu ili niweze kupata pesa kwa ajili ya matibabu ambapo kwa makadirio si chini ya $ 20,000/- sawa na 40m.
Naomba kwa yeyote anayeweza kuniunganisha na Taasisi au mtu mwenye uwezo wa kunisaidia anisaidie. *Namba zangu ni 0718 797 494* *MWENYEZI MUNGU AWABARIKI*

@ikulu_mawasiliano @regmengi @josephkusaga @sebamaganga @majizzo @yusuph.bakhresatz @ridhiwani_kikwete @jmakamba @ummymwalimu @tatumzuka @bikotanzania @vodacomtanzania @airtel_tanzania @tigo_tanzania @moodewji @nmbtanzania @exim_banktz @counsellorsalaah @gsmfoundationtz @gsmmall
Read more
 #Repost @almasmzambele (@get_repost) ・・・ #Part2 lakini wakati nikisubiri kwenda India nilitakiwa ...
Media Removed
#Repost @almasmzambele (@get_repost) ・・・ #Part2 lakini wakati nikisubiri kwenda India nilitakiwa kuchongeshewa Viatu kwani miguu ilikuwa ikitoa Maji, kunywea Na kupinda, pia nilitakiwa kufanya mazoezi kila siku Na kumeza Dawa ya kulisha never zisiendelee kunywea. Nilirudisha ... #Repost @almasmzambele (@get_repost)
・・・
#Part2 lakini wakati nikisubiri kwenda India nilitakiwa kuchongeshewa Viatu kwani miguu ilikuwa ikitoa Maji, kunywea Na kupinda, pia nilitakiwa kufanya mazoezi kila siku Na kumeza Dawa ya kulisha never zisiendelee kunywea.
Nilirudisha Muhimbili kwa mazoezi Na kuchongeshewa Viatu, nikiwa kliniki dada mmoja alinisogelea na kunijulia hali baada ya kuzungumza na kumuelezea hali halisi aliniahidi atakuja kuniona nyumbani , kweli siku chache baadaye alinitembelea nyumbani nakujitambulisha kuwa yeye ni Mwandishi Wa habari, nilimwelezea hatua ambayo tayari nilikuwa nimeshafikia kuwa nimeshatuma vipimo nje ya nchi (India) ila sina pesa Na family pia haina uwezo.. Aliniambia atairusha habari kwenye gazeti nitapata msaada Wa kwenda kutibiwa kweli namshukuru Mungu kupitia habari hile ilinikutanisha Na Baba mmoja Wa kule nyumbani Arusha yeye aliniambia anastaafu Kama nitakuwa sijapata pesa ya matibabu atanisaidia napia atawaomba marafiki zake wamsapoti.

Yule baba Alituma vipimo India walimjibu kuwa wanaweza kunitibu mgongo pekee kwa $ 18,000 na nitatakiwa kukaa kule kwa siku 18. Nilifanikiwa kwenda India kwa udhamini wa huyo baba lakini nilipofika hospitalini India walifanya vipimo upya wakagundua shida ni kubwa siyo sawa na vipimo vya Tanzania vilivyo kuwa vimetumwa mwanzo, hivyo Nikaambiwa kuwa natakiwa kukaa miezi 6 badala ya siku 18 kama ilivyokuwa mwanzo kabla ya kuondoka nchini, gharama ziliongezeka.
Nikiwa India waligundua nerves zote zilikuwa zimesinyaa na haziwezi kufanya kazi kabisa yaani nilikuwa nimepooza mwili mzima, kwahiyo wakaanza ku bust zile nerves kwanza maana Zilikuwa 0 zikapanda mpaka 46 . Na baadhi ya viungo kama mikono vikaanza kufanya kazi na nikawa na uwezo wa hata kujiburuza mwenyewe na kuketi.... Kwahiyo matumaini ya kupona yakaanza kurejea. Lakini baada ya miezi 3 ile pesa niliyokwenda nayo ikaisha kabisa na hakuwa na namna tena na mdhamini akawa hana njia nyingine ya kunisaidia.

Nilirejea Tanzania kutafuta namna ya kupata pesa ili nikamalizie matibabu lakini sikuweza kufanikiwa mpaka sasa ninavyoandika ujumbe huu... Naomba share,, waTag rafiki zako hapa .👇
0718 797 494
Read more
@almasmzambele #Part1 Naitwa MISHALY SUMARY naishi Kibaha Maili moja, nilikuwa nikifanya kazi ...
Media Removed
@almasmzambele #Part1 Naitwa MISHALY SUMARY naishi Kibaha Maili moja, nilikuwa nikifanya kazi katika Hospitali ya Burere kama Muuguzi kuanzia mwaka 2008 mpaka tarehe 26/12/2011 siku ambayo sitaweza kuisahau katika historia ya maisha yangu, nilikuwa natoka kazini naenda nyumbani ... @almasmzambele
#Part1 Naitwa MISHALY SUMARY naishi Kibaha Maili moja, nilikuwa nikifanya kazi katika Hospitali ya Burere kama Muuguzi kuanzia mwaka 2008 mpaka tarehe 26/12/2011 siku ambayo sitaweza kuisahau katika historia ya maisha yangu, nilikuwa natoka kazini naenda nyumbani majira ya SAA 12 jioni nikiwa Njia ghafla nilivamiwa Na watu nisiyo wafahamu walikuwa wanaume wawili waliotokea nyuma yangu, mmoja alinishika shingoni na mwingine alinishika miguuni yule aliyenishika shingoni aliniambia sali dua yako ya mwisho Leo ni mwisho Wa maisha yako.
Walinipiga sana na wakanivunja uti Wa mgongo, nyonga, taya, meno Na shingo, nilipata maumivu makali Sana nililia kwa uchungu huku nikipiga kelele za kuomba msaada, kwa mbali zilisikika sauti za watu wakisogelea eneo lile mmoja kati ya wale wanaume wale wasiyo Na uruma alisema tumalize kazi tunauza gazeti, walichukua chuma na kunipiga usoni maeneo ya mdomo na kunivunja taya Na meno, wasamaria wema walipofika watu wale wasiyo Na huruma walikimbia Na kuingia vichakani, nipelekwa kituo cha polisi kupata PF3 nakupelekwa hospital ya Tumbi hali yangu iliendelea kuwa mbaya ambapo nilipata Rufaa ya kwenda Muhimbili kwa matibabu zaidi.

Kwa bahati mbaya nilikutana Na mgomo mkali Wa madaktari Na hali iliendelea kuwa mbaya Sana kwani viungo vyangu viliendelea kuingia ganzi mwishowe nikapoteza fahamu. Nilirudishwa katika Hospitali ya Burere ambako nilikuwa nafanyia kazi na kupatiwa vipimo ambavyo vilionesha kuwa pingili 3 za uti mgongo Na shingo ilikuwa zimepanguka, nililazwa pale kwa muda wa miezi 8 nikarudishwa MOI kwa madaktari bingwa Wa mishipa ya fahamu, waliniambia kwamba wangenifanyia operation ya Uti Wa mgongo ila kulikuwa Na uhaba Wa vitanda.
Niliendelea kuhudhuria kila tarehe nilizopangiwa, mwisho waliniambia hawawezi kunifanyia operation kwani maisha yangu yatakuwa hatarini, kiukweli niliumia Sana kupokea majibu hayo... Walinipa rufaa tena kwenda Daktari bingwa wa Mishipa ya fahamu kwani yeye ndiye angetoa maamuzi nifanyiwe operation au nisifanyiwe, nilipipelekwa kwa Daktari bingea huyo alisema operation hii ni ngumu inachukuwa zaidi ya SAA 8 hivyo Kama kuna uwezekano nipelekwe India. 0718 797 494
Read more
Shukran sana Mh. @ummymwalimu kwa kuja kunitembelea
Media Removed
Shukran sana Mh. @ummymwalimu kwa kuja kunitembelea Shukran sana Mh. @ummymwalimu kwa kuja kunitembelea
Loading...
thanks @catlemon_shummy for visiting me
Media Removed
thanks @catlemon_shummy for visiting me thanks @catlemon_shummy for visiting me
I wish you all a very happy and peaceful Eid. May the blessings of Allah fill your life with pleasure and open all the doors of success now and always. ‎‏ ‎‏ I wish you all a very happy and peaceful Eid.
May the blessings of Allah fill your life with pleasure and open all the doors of success now and always. ‎‏ ‎‏
Loading...
#Repost @rashidshukery ・・・ 🕋Dua Bora kabisa katika siku ya ARAFA🕋 #Repost @rashidshukery ・・・
🕋Dua Bora kabisa katika siku ya ARAFA🕋
There is none who understands you better than Allah. Seek His help and ask for the best. Only He knows ...
Media Removed
There is none who understands you better than Allah. Seek His help and ask for the best. Only He knows what’s best for you. . . Hakuna anaekuelewa vizuri zaidi ya ALLAH. Tafuta msaada wake na omba kilicho bora. Yeye pekee ndiye anaejua kilichobora juu yako #drbilalphilips @bilalphilipsofficial There is none who understands you better than Allah. Seek His help and ask for the best. Only He knows what’s best for you.
.
.
Hakuna anaekuelewa vizuri zaidi ya ALLAH. Tafuta msaada wake na omba kilicho bora.
Yeye pekee ndiye anaejua kilichobora juu yako #drbilalphilips @bilalphilipsofficial
Dah! hivi Oxygen kwa kiswahili inaitwaje? Kwakweli nimeshindwa kununa. Dah! hivi Oxygen kwa kiswahili inaitwaje? Kwakweli nimeshindwa kununa.
Just like little drops of water combine to form an ocean, the little deeds we do today will one day ...
Media Removed
Just like little drops of water combine to form an ocean, the little deeds we do today will one day appear to us like a mountain. Whether that mountain will be one of goodness or evil is a matter of choice! . . Kama vile matone madogo ya maji yanayochanganywa na kuunda bahari, vile vile matendo ... Just like little drops of water combine to form an ocean, the little deeds we do today will one day appear to us like a mountain. Whether that mountain will be one of goodness or evil is a matter of choice!
.
.
Kama vile matone madogo ya maji yanayochanganywa na kuunda bahari, vile vile matendo madogo tunayofanya leo itakuwa siku moja kuonekana kwetu kama mlima. Ikiwa mlima huo utakuwa wa wema au uovu, ni jambo la kuchagua!
Read more
Loading...
Mtu pekee alietembelea nchi 39 kwa usafiri wake wa pikipiki . . leo nimepata bahati ya kutembelewa ...
Media Removed
Mtu pekee alietembelea nchi 39 kwa usafiri wake wa pikipiki . . leo nimepata bahati ya kutembelewa na mtu ambae anazunguka dunia kwa kutumia pikipiki @maheralbarwani muoman wa kwanza alieingia bara la Africa peke yake kwa kutumia pikipiki tu ... alianza safari yake 22/07/2017 ni zaidi ... Mtu pekee alietembelea nchi 39 kwa usafiri wake wa pikipiki
.
.
leo nimepata bahati ya kutembelewa na mtu ambae anazunguka dunia kwa kutumia pikipiki @maheralbarwani muoman wa kwanza alieingia bara la Africa peke yake kwa kutumia pikipiki tu ... alianza safari yake 22/07/2017 ni zaidi ya mwaka mmoja toka alipoanza safari yake kutoka Oman. Aliingia Emirates, Saudia kisha kapanda meli kuingia Sudan, Ethiopia, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi kisha akaingia Tanzania alizunguka mikoa ya Tanzania mpaka kufika Dar es salaam alipanda meli kuelekea Zanzibar na usafiri wake wa pikipiki, alafu akapanda meli na kuelekea Pemba na usafiri wake wa pikipiki baada ya Pemba alipanda meli na usafiri wake kuja Tanga. bado anaendelea na safari yake kumalizia baadhi ya mikoa mengine ilobakia na kuelekea South Africa..
.
Please mfollow kwenye instagram yake tumpe support zaidi. #maheralbarwani
Read more
Nilifurahi sana @ireneuwoya8
Media Removed
Nilifurahi sana @ireneuwoya8 Nilifurahi sana @ireneuwoya8
Allah amlaze pema Mzee Majuto. yeye katangulia nasi tupo njiani. Mauti ni haki yetu, muhimu tuombe mwisho mwema. Allah amlaze pema Mzee Majuto. yeye katangulia nasi tupo njiani. Mauti ni haki yetu, muhimu tuombe mwisho mwema.
Loading...
Unaweza ukachukia kitu kumbe kina kheri kubwa na wewe na unaweza kupenda kitu kumbe kina shari na wewe. Mwenyezi Mungu anajua zaidi na sisi hatujui. Unaweza ukachukia kitu kumbe kina kheri kubwa na wewe na unaweza kupenda kitu kumbe kina shari na wewe. Mwenyezi Mungu anajua zaidi na sisi hatujui.
Jumma Mubarak to all
Media Removed
Jumma Mubarak to all Jumma Mubarak to all
LEO MARADHI YANGU YAMETIMIZA MIAKA 11. Ilikuwa ni siku kama ya leo Jumapili tarehe 8/07/2007. Siku ...
Media Removed
LEO MARADHI YANGU YAMETIMIZA MIAKA 11. Ilikuwa ni siku kama ya leo Jumapili tarehe 8/07/2007. Siku ambayo haisahauliki akilini mwangu. nilipata haya maradhi ya kuparalyze kwa kudive baharini na kupiga kichwa ardhini ndani ya bahari na kuvunjika shingo. Maisha yangu yalibadilika ... LEO MARADHI YANGU YAMETIMIZA MIAKA 11.
Ilikuwa ni siku kama ya leo Jumapili tarehe 8/07/2007.
Siku ambayo haisahauliki akilini mwangu.
nilipata haya maradhi ya kuparalyze kwa kudive baharini na kupiga
kichwa ardhini ndani ya bahari na kuvunjika shingo.
Maisha yangu yalibadilika kutoka kwenye kutembea na kuwa kitandani.
ALLAH akichukua kitu kutoka kwako ambacho hukutarajia kukipoteza,
Basi amini kwamba anaweza kukupa kilicho bora zaidi ambacho hukutarajia kuwa nacho.
Wakati mwingine ALLAH hakupi kitu unachokitaka, sio kwa sababu hustahili kukipata,
ila ni kwa sababu unastahili kilicho bora zaidi. Muhimu kuwa na subra tu.
Alhamdulillah namshkuru ALLAH kwa rehma zake kwangu.
Read more
Loading...
Remember that every person will receive his record of deeds, the two recording angels capture everything ...
Media Removed
Remember that every person will receive his record of deeds, the two recording angels capture everything you do whether good or bad. Kumbuka kwamba kila mtu atapokea rekodi yake ya matendo, malaika wawili wa kurekodi huchukua kila kitu unachofanya yawe mema au mbaya. Remember that every person will receive his record of deeds, the two recording angels capture everything you do whether good or bad.
Kumbuka kwamba kila mtu atapokea rekodi yake ya matendo, malaika wawili wa kurekodi huchukua kila kitu unachofanya yawe mema au mbaya.
When things are too hard to handle, retreat & count your blessings instead
Media Removed
When things are too hard to handle, retreat & count your blessings instead When things are too hard to handle, retreat & count your blessings instead
ALLAH TAYARI AMEKWISHAPANDIKIZA MBEGU YA IMAAN KATIKA MIOYO YETU, NI JUKUMU LETU KUIMWAGILIA ...
Media Removed
ALLAH TAYARI AMEKWISHAPANDIKIZA MBEGU YA IMAAN KATIKA MIOYO YETU, NI JUKUMU LETU KUIMWAGILIA MAJI HIYO MBEGU NA KUIFANYA IKUE. ALLAH TAYARI AMEKWISHAPANDIKIZA MBEGU YA IMAAN KATIKA MIOYO YETU,
NI JUKUMU LETU KUIMWAGILIA MAJI HIYO MBEGU NA KUIFANYA IKUE.
JUMAA MUBARAK TO ALL
Media Removed
JUMAA MUBARAK TO ALL JUMAA MUBARAK TO ALL
Allah ajaalie Qur'an Ikite katika mioyo yetu ili nasi tuwe bora mbele ya Allah Subhanahu wataala. @rashidshukery Allah ajaalie Qur'an Ikite katika mioyo yetu ili nasi tuwe bora mbele ya Allah Subhanahu wataala. @rashidshukery
May the blessings of Allah shower with peace and prosperity to you and all your family. Eid Mubarak May the blessings of Allah shower with peace and prosperity to you and all your family. Eid Mubarak
KAMA KWELI UNAHITAJI KUINGIA PEPONI, AMKA UITAFUTE THAWABU KWA NJIA YOYOTE KABLA HUJACHELEWA. ...
Media Removed
KAMA KWELI UNAHITAJI KUINGIA PEPONI, AMKA UITAFUTE THAWABU KWA NJIA YOYOTE KABLA HUJACHELEWA. USITEGEMEE THAWABU IKUTAFUTE WEWE. MAISHA NI MAFUPI SANA!. KAMA KWELI UNAHITAJI KUINGIA PEPONI, AMKA UITAFUTE THAWABU KWA NJIA YOYOTE KABLA HUJACHELEWA.
USITEGEMEE THAWABU IKUTAFUTE WEWE.
MAISHA NI MAFUPI SANA!.
ULISHAWAHI KUHISI NJAA KWA MASIKU? Unapohisi kama unakichezea chakula (kukifanyia israf), Basi daima kumbuka kuwa kuna watu wengine ambao wanakosa chakula kwa masiku kadhaa. KUMBUKA KUSAIDIA. (Kutoa Sadaka). ULISHAWAHI KUHISI NJAA KWA MASIKU?
Unapohisi kama unakichezea chakula (kukifanyia israf), Basi daima kumbuka kuwa kuna watu wengine ambao wanakosa chakula kwa masiku
kadhaa. KUMBUKA KUSAIDIA. (Kutoa Sadaka).
Allahumma Ameen Allahumma Ameen
Follow @kanzupoint2
Media Removed
Follow @kanzupoint2 Follow @kanzupoint2
( 1 ) KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. ( 2 ) Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote; ( 3 ) Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu; ( 4 ) Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo. ( 5 ) Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada. ( 6 ) Tuongoe njia iliyo nyooka, ... ( 1 ) KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. ( 2 ) Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote; ( 3 ) Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu; ( 4 ) Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo. ( 5 ) Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada. ( 6 ) Tuongoe njia iliyo nyooka, ( 7 ) Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.

Msomaji @ahmad_alnufais
Read more
ALLAHUMMA AMEEN.
Media Removed
ALLAHUMMA AMEEN. ALLAHUMMA AMEEN.
Tafsiri surah ya 2 AL BAQARA. ( 183 ) Enyi mlio amini! Mmeandikiwa Saumu, kama waliyo andikiwa walio ...
Media Removed
Tafsiri surah ya 2 AL BAQARA. ( 183 ) Enyi mlio amini! Mmeandikiwa Saumu, kama waliyo andikiwa walio kuwa kabla yenu ili mpate kumcha Mungu. ( 184 ) (Mfunge) siku maalumu za kuhisabika. Na atakaye kuwa miongoni mwenu mgonjwa au yumo safarini basi atimize hisabu katika siku nyengine. Na wale ... Tafsiri surah ya 2 AL BAQARA. ( 183 ) Enyi mlio amini! Mmeandikiwa Saumu, kama waliyo andikiwa walio kuwa kabla yenu ili mpate kumcha Mungu. ( 184 ) (Mfunge) siku maalumu za kuhisabika. Na atakaye kuwa miongoni mwenu mgonjwa au yumo safarini basi atimize hisabu katika siku nyengine. Na wale wasio weza, watoe fidiya kwa kumlisha masikini. Na atakaye fanya wema kwa kujitolea, basi ni bora kwake. Na mkifunga ni bora kwenu, kama mnajua. ( 185 ) Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur'ani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi. Basi ataye kuwa mjini katika mwezi huu naafunge. Na mwenye kuwa mgonjwa au safarini, basi atimize hisabu katika siku nyengine. Mwenyezi Mungu anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito, na mtimize hiyo hisabu, na mumtukuze Mwenyezi Mungu kwa kuwa amekuongoeni ili mpate kushukuru. ( 186 ) Na waja wangu watakapo kuuliza khabari zangu, waambie kuwa Mimi nipo karibu. Naitikia maombi ya mwombaji anapo niomba. Basi na waniitikie Mimi, na waniamini Mimi, ili wapate kuongoka.
Read more
ALLAHUMMA AMEEN..... RAMADHAN KAREEM TO ALL...... ALLAHUMMA AMEEN..... RAMADHAN KAREEM TO ALL......
Happy Mothers day .. Mama yangu kipenzi cha roho yangu, nakuombea kila siku Allah akupe umri, uzima, furaha na jannat firdaus Allah atukutanishe.. Ameen. Na nakupenda kila siku sio leo tu. Happy Mothers day ❤❤❤.. Mama yangu kipenzi cha roho yangu, nakuombea kila siku Allah akupe umri, uzima, furaha na jannat firdaus Allah atukutanishe.. Ameen. Na nakupenda kila siku sio leo tu. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Enzi hizo..... <span class="emoji emoji1f602"></span><span class="emoji emoji1f602"></span><span class="emoji emoji1f602"></span> Shule ya Msingi Kurasini
Media Removed
Enzi hizo..... Shule ya Msingi Kurasini Enzi hizo..... 😂😂😂 Shule ya Msingi Kurasini
Allah will always replace what you had with what is better for you. But consider that what is better ...
Media Removed
Allah will always replace what you had with what is better for you. But consider that what is better for you may still not be what you dream of for yourself. It may be that Allah replaces it with less so that you remain humble and aware that He is the one who provides (Ar Razzaq) - and this would be ... Allah will always replace what you had with what is better for you. But consider that what is better for you may still not be what you dream of for yourself. It may be that Allah replaces it with less so that you remain humble and aware that He is the one who provides (Ar Razzaq) - and this would be better for you.
Read more
With @queenof_abayastyle
Media Removed
With @queenof_abayastyle With @queenof_abayastyle
Shukran za dhati kwa ubalozi wa Tanzania pamoja na jumuia ya wanafunzi walioko nchini china kwa ...
Media Removed
Shukran za dhati kwa ubalozi wa Tanzania pamoja na jumuia ya wanafunzi walioko nchini china kwa ushirikiano mkumbwa mlionipa, kwakweli nilijiona kama nipo nyumbani. Mungu awabariki nyote na aibariki na Tanzania. Shukran za dhati kwa ubalozi wa Tanzania pamoja na jumuia ya wanafunzi walioko nchini china kwa ushirikiano mkumbwa mlionipa, kwakweli nilijiona kama nipo nyumbani. Mungu awabariki nyote na aibariki na Tanzania.
I have achieved so many possibilities with the help of wonderful nurses like you. I cannot thank ...
Media Removed
I have achieved so many possibilities with the help of wonderful nurses like you. I cannot thank you enough for all you have done for me .It has been a pleasure knowing you . I have achieved so many possibilities with the help of wonderful nurses like you. I cannot thank you enough for all you have done for me .It has been a pleasure knowing you .
Beijing Puhua International Hospital
Media Removed
Beijing Puhua International Hospital Beijing Puhua International Hospital
#Repost @paulmakonda (@get_repost) ・・・ Pamoja na watu wengi kukukatisha tamaa kwa zaidi ya miaka 11 bado imani yako haijahama kwa Mungu wako. Hii ndiyo sababu iliyonifanya niendelee kusimama nawe ktk kila wakati unaopitia na ninakuahidi Mdogo wangu @ahmed_albaity nitakuwa nawe ... #Repost @paulmakonda (@get_repost)
・・・
Pamoja na watu wengi kukukatisha tamaa kwa zaidi ya miaka 11 bado imani yako haijahama kwa Mungu wako. Hii ndiyo sababu iliyonifanya niendelee kusimama nawe ktk kila wakati unaopitia na ninakuahidi Mdogo wangu @ahmed_albaity nitakuwa nawe siku zote. Iko siku Mungu atajitukuza kupitia Afya yako.
Read more
ALHAMDULILLAH Sifa na shukran ni za Muumba wa Mbingu na Ardhi. Shukran pia kwa kiongozi wa nchi yangu pendwa ya Tanzania Mh Rais John P Magufuli sambamba na mama, mlezi wa familia ya Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan. . Elewa kua asiyeshukuru, kukufuru kunamlazimu. Mh Mkuu wa Mkoa wa Dar ... ALHAMDULILLAH
Sifa na shukran ni za Muumba wa Mbingu na Ardhi.
Shukran pia kwa kiongozi wa nchi yangu pendwa ya Tanzania Mh Rais John P Magufuli sambamba na mama, mlezi wa familia ya Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan.
.
Elewa kua asiyeshukuru, kukufuru kunamlazimu. Mh Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Kaka yangu Paul Makonda AHSANTE. Kila nikifikiria ukarimu na jukumu ulilolibeba kuhusu tiba yangu ya China, hakika nashindwa kuyazuia macho yangu kumwaga machozi ya furaha, Mungu akuongoze katika mambo yako uwe ni mwenye kufanikiwa, hata nitunge kitabu nikuelezee wewe, kiukweli sifikii popote kuelezea wema wako kwangu, naamini umenisaidia mno, msaada wako nimkubwa usomithikika kwangu.
.
.
Shukran sana sana sanaaaaaa.
Watanzania na watu woote walioniombea dua na waliotoa mchango wao hata wa mawazo nawashukuruni sana tena sana. Naamini dua zenu Mungu amezipokea na zinaendelea kuleta miujiza katika mwili wangu.
Wengi huulizia kua jee naweza japo kunyanyua mkono?? Naomba hili nilieke wazi pia kua maradhi ya zaidi ya miaka 10 kupona kwa miezi 2 hili lataka muujiza wa hali yajuu ambao Mungu hashindwi ila eleweni kua maombi yenu yameitikiwa na Mungu, hali yangu inaimarika siku hadi siku, sikwakasi kama mulioitarajia bali kwa speed alonijaalia Mungu inipayo faraja.

Tunakunja mabegi yetu huku china kwaajili ya safari tarehe 30.04.2018 Jumatatu nitatua Dar Es Salaam mida ya saa tisa mchana Mungu akipenda na kurudi pale pale nilipokua naishi Dar Es Salaam DELINA APPARTMENT kwaajili ya kuendelea na maisha yetu kama kawaida.

Dua zenu bado nazihitaji mno. @paulmakonda
Read more
Be happy, be unique Life passes as speed of light. Natumai nyote wazima. Mimi huku naendelea ...
Media Removed
Be happy, be unique Life passes as speed of light. Natumai nyote wazima. Mimi huku naendelea vizuri Alhamdulillah. Bado nahitaji sana dua zenu. Be happy, be unique
Life passes as speed of light.

Natumai nyote wazima. Mimi huku naendelea vizuri Alhamdulillah.

Bado nahitaji sana dua zenu.
ACCEPTING YOUR DESTINY CAN BE HARD! Sometimes when we are hurt, or scared, or angry we don't understand ...
Media Removed
ACCEPTING YOUR DESTINY CAN BE HARD! Sometimes when we are hurt, or scared, or angry we don't understand the Wisdom that Allah decreed. But verily, there is wisdom in everything Allah decrees. _________________________________________ KUKUBALI ULICHOJAALIWA INAWEZA KUWA NGUMU! ... ACCEPTING YOUR DESTINY CAN BE HARD! Sometimes when we are hurt, or scared, or angry we don't understand the Wisdom that Allah decreed. But verily, there is wisdom in everything Allah decrees.
_________________________________________

KUKUBALI ULICHOJAALIWA INAWEZA KUWA NGUMU! Wakatimwengine pale tunapokuwa tunahuzuni(kuumia), au kuwa na khofu au hasira. Hatuwezi kuelewa busara ambayo Allah ameikadiria. Lakini kwa hakika kuna hikmah katika kila analolikadiria Allah.
Read more
Thanks Mr. Gwasa kwa kututembelea. Tumefurahi sana
Media Removed
Thanks Mr. Gwasa kwa kututembelea. Tumefurahi sana Thanks Mr. Gwasa kwa kututembelea. Tumefurahi sana
 #Repost @paulmakonda (@get_repost) ・・・ Asante sana Mhe Balozi kwa kumtembelea Mdogo Wangu, ...
Media Removed
#Repost @paulmakonda (@get_repost) ・・・ Asante sana Mhe Balozi kwa kumtembelea Mdogo Wangu, umenipa faraja sana. Asanteni pia watanzania na jumuia ya wanafunzi wanaosoma Nchini China kwakuendelea kumtembelea na kuwa na mdogo Wangu Ahmed kwa Kipindi hiki cha matibabu. #Repost @paulmakonda (@get_repost)
・・・
Asante sana Mhe Balozi kwa kumtembelea Mdogo Wangu, umenipa faraja sana. Asanteni pia watanzania na jumuia ya wanafunzi wanaosoma Nchini China 🇨🇳 kwakuendelea kumtembelea na kuwa na mdogo Wangu Ahmed kwa Kipindi hiki cha matibabu.
 #Repost @paulmakonda (@get_repost) ・・・ Nafurahia sana maendeleo yako na wala sichoki kukuweka ...
Media Removed
#Repost @paulmakonda (@get_repost) ・・・ Nafurahia sana maendeleo yako na wala sichoki kukuweka katika maombi yangu.Nitafanya kila lililondani ya uwezo wangu kuhakikisha unapata matibabu Mazuri. Watanzania wako pamoja nawe na wanazidi kukuombea wakati huu ukiendelea na matibabu ... #Repost @paulmakonda (@get_repost)
・・・
Nafurahia sana maendeleo yako na wala sichoki kukuweka katika maombi yangu.Nitafanya kila lililondani ya uwezo wangu kuhakikisha unapata matibabu Mazuri. Watanzania wako pamoja nawe na wanazidi kukuombea wakati huu ukiendelea na matibabu yako Nchini China 🇨🇳
Read more
Mpaka sasa nashkuru naendelea vizuri na matibabu. Bado Nahitaji sana DUA zenu.
Media Removed
Mpaka sasa nashkuru naendelea vizuri na matibabu. Bado Nahitaji sana DUA zenu. Mpaka sasa nashkuru naendelea vizuri na matibabu. Bado Nahitaji sana DUA zenu.
Naendelea kuwashukuru Watanzania wote kwa moyo wa Upendo, hakika sina cha kuwalipa lakini naamini ...
Media Removed
Naendelea kuwashukuru Watanzania wote kwa moyo wa Upendo, hakika sina cha kuwalipa lakini naamini MUNGU aliyemkuu ataendelea kutenda yaliyo mema kwenu. Tayari nimeanza kupata huduma (Vipimo mbali mbali), Nimefurahi kwa ukarimu na Mapokezi kutoka kwa Ubalozi wetu hapa China na Watanzania ... Naendelea kuwashukuru Watanzania wote kwa moyo wa Upendo, hakika sina cha kuwalipa lakini naamini MUNGU aliyemkuu ataendelea kutenda yaliyo mema kwenu.

Tayari nimeanza kupata huduma (Vipimo mbali mbali), Nimefurahi kwa ukarimu na Mapokezi kutoka kwa Ubalozi wetu hapa China na Watanzania wanaosoma na kuishi hapa wakiongozwa na Katibu wao [email protected] kwa ushirikiano wanaoendelea kunipatia.

MUNGU Awabariki sana.
Read more
 #Repost @remidius_emmanuel (@get_repost) ・・・ Tunamshukuru mwenyezi MUNGU hatimaye yule ...
Media Removed
#Repost @remidius_emmanuel (@get_repost) ・・・ Tunamshukuru mwenyezi MUNGU hatimaye yule mtanzania mwenzetu ndugu @ahmed_albaity amewasili salama leo hii majira ya saa 9:20 alasiri katika Uwanja wa kimataifa wa Beijing Capital na kupokelewa na Maafisa waandamizi wa ubalozi pamoja ... #Repost @remidius_emmanuel (@get_repost)
・・・
Tunamshukuru mwenyezi MUNGU hatimaye yule mtanzania mwenzetu ndugu @ahmed_albaity amewasili salama leo hii majira ya saa 9:20 alasiri katika Uwanja wa kimataifa wa Beijing Capital na kupokelewa na Maafisa waandamizi wa ubalozi pamoja na uwakilishi wa watanzania wanaosoma na kuishi hapa jijini Beijing na kusindikizwa kwenye hospitali ya kimataifa ya Puhua.

Nimeshiriki katika Mapokezi ya Ndugu. Ahmed Albaity na kwa niaba ya Shirikisho la Jumuiya za Watanzania Wanaosoma China tutaendelea kutoa ushirikiano kwa kipindi chote ambacho ataendelea kupatiwa Matibabu hapa Beijing China.
Tulishuhudia watanzania wakimsindikiza Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe.Paul Makonda, huu ni upendo wa kipekee, na sisi tumeguswa na kuwiwa kumpokea tukiongozwa na Maafisa waandamizi wa Ubalozi wetu hapa China.

@victoria.mwanziva
@husssein_mtoro @gipson_george @michael_semindu @yuesai16
Read more

Loading...