Loading Content...

Cloudsfmtz Instagram Photos and Videos

Loading...


cloudsfmtz Clouds Fm @cloudsfmtz mentions
Followers: 1,118,361
Following: 213
Total Comments: 0
Total Likes: 0

@nikkwapili | #Nakuchana @nikkwapili | #Nakuchana
Loading...
Leo kwenye mnyapio wa @soudybrown ni @amber___lulu ambaye inasemakana kuna video ya ngono inasambaa mtandaoni ikimuonyesha akikwichikwichi.msikilize hapa,zaidi tembelea YouTube channel yetu #Cloudsmedia. Leo kwenye mnyapio wa @soudybrown ni @amber___lulu ambaye inasemakana kuna video ya ngono inasambaa mtandaoni ikimuonyesha akikwichikwichi.msikilize hapa,zaidi tembelea YouTube channel yetu #Cloudsmedia.
Nuh Mziwanda akiri kuhujumiwa kwenye muziki . Msanii wa Bongo Fleva, @iam_mziwanda amedai sehemu ...
Media Removed
Nuh Mziwanda akiri kuhujumiwa kwenye muziki . Msanii wa Bongo Fleva, @iam_mziwanda amedai sehemu yoyote ambayo watu wanapata riziki lazima kuwe na hujuma na figisu figisu, hata yeye amehujumiwa kwenye muziki wake. Bonyeza link ya website yetu Cloudsfm.co.tz kwenye bio yetu hapo juu ... Nuh Mziwanda akiri kuhujumiwa kwenye muziki
.
Msanii wa Bongo Fleva, @iam_mziwanda amedai sehemu yoyote ambayo watu wanapata riziki lazima kuwe na hujuma na figisu figisu, hata yeye amehujumiwa kwenye muziki wake. Bonyeza link ya website yetu Cloudsfm.co.tz kwenye bio yetu hapo juu 👆kusoma stori yote.
Read more
Wengi tunamfahamu kama msanii wa Bongo Fleva lakini Side B ya maisha ya msanii huyo yeye ni mshauri wa mahusiano ya mapenzi na tayari amesha suluhusisha migogoro ya mahusiano kwa baadhi ya wasanii. Msikie @chidbenzichuma1 hapo akielezea zaidi. #SocialBuzz Wengi tunamfahamu kama msanii wa Bongo Fleva lakini Side B ya maisha ya msanii huyo yeye ni mshauri wa mahusiano ya mapenzi na tayari amesha suluhusisha migogoro ya mahusiano kwa baadhi ya wasanii. Msikie @chidbenzichuma1 hapo akielezea zaidi. #SocialBuzz
Wasanii wengi wanamfahamu kwa juhudi zake ni mtu ambaye yupo mstari wa mbele sana kuhakikisha popote ...
Media Removed
Wasanii wengi wanamfahamu kwa juhudi zake ni mtu ambaye yupo mstari wa mbele sana kuhakikisha popote walipo wasanii kuna Amani. Mabibi na Mabwana leo ni siku ya Kuzaliwa kwa @reyjons Mama wa Logistics zote na misafara ya wasanii kwa zaidi ya miaka milioniii. Tunamtakia heri na baraka katika ... Wasanii wengi wanamfahamu kwa juhudi zake ni mtu ambaye yupo mstari wa mbele sana kuhakikisha popote walipo wasanii kuna Amani. Mabibi na Mabwana leo ni siku ya Kuzaliwa kwa @reyjons Mama wa Logistics zote na misafara ya wasanii kwa zaidi ya miaka milioniii. Tunamtakia heri na baraka katika siku yake hii muhimu. Happy birthday Chui Jike.
Read more
Wakati Tanzania mashabiki wa @officialalikiba wakimlilia atoe ngoma mpya, pande area code +1, ...
Media Removed
Wakati Tanzania mashabiki wa @officialalikiba wakimlilia atoe ngoma mpya, pande area code +1, mashabiki wa mwanamuziki @badgalriri nao wana kilio cha kuhitaji kazi mpya kutoka kwa mwanadada huyo. : Jana mmoja wa mashabiki wa Rihanna alitoa malalamiko yake kwa ‘Bajan Beauty’ kwamba ... Wakati Tanzania mashabiki wa @officialalikiba wakimlilia atoe ngoma mpya, pande area code +1, mashabiki wa mwanamuziki @badgalriri nao wana kilio cha kuhitaji kazi mpya kutoka kwa mwanadada huyo.
:
Jana mmoja wa mashabiki wa Rihanna alitoa malalamiko yake kwa ‘Bajan Beauty’ kwamba wamechoka kusubiri ngoma mpya, na dakika kadhaa baadae Riri alimjibu kwamba wakati anaendelea kudili na biashara zake za Lingerie, make ups, filamu na biashara nyingine lakini pia anaendelea kurekodi kazi mpya. Akasisitiza kazi mpya zitakapokuwa tayari hakutakuwa na haja ya kumuuliza.
:
Imeripotiwa kwamba Rihanna anajiandaa kuachia album yake ya 9 aliyoipa jina la #R9 mwaka huu.
Read more
Loading...
Ni hali ilivyo pale uwanja wa Jamhuri Dodoma muda huu. Ni mambo ya @urithifestivaltanzania. Jumamosi ...
Media Removed
Ni hali ilivyo pale uwanja wa Jamhuri Dodoma muda huu. Ni mambo ya @urithifestivaltanzania. Jumamosi hii, Dodoma wanapata burudani bila kiingilio chochote (buure) . #TanzaniaUnforgettable #UrithiFestival Ni hali ilivyo pale uwanja wa Jamhuri Dodoma muda huu.

Ni mambo ya @urithifestivaltanzania.

Jumamosi hii, Dodoma wanapata burudani bila kiingilio chochote (buure)
.
#TanzaniaUnforgettable #UrithiFestival
 #NajuaWajua - Rais wa Liberia🇱🇷, na mwanasoka bora wa zamani wa dunia George Weah na mtoto wake wa ...
Media Removed
#NajuaWajua - Rais wa Liberia🇱🇷, na mwanasoka bora wa zamani wa dunia George Weah na mtoto wake wa kiume, Timothy Weah ndio mtu na mzazi wa kwanza duniani kuchezea timu mbili za taifa kwenye mchezo wa soka katika siku moja. : Rais Weah jana alichezea Liberia katika mechi ya kirafiki dhidi ... #NajuaWajua - Rais wa Liberia🇱🇷, na mwanasoka bora wa zamani wa dunia George Weah na mtoto wake wa kiume, Timothy Weah ndio mtu na mzazi wa kwanza duniani kuchezea timu mbili za taifa kwenye mchezo wa soka katika siku moja. :
Rais Weah jana alichezea Liberia katika mechi ya kirafiki dhidi ya Nigeria kwa dakika 78. Mchezo ambao Nigeria walishinda 2-1.
:
Mtoto wake Timothy Weah aliitumikia timu ya taifa ya Marekani katika mchezo dhidi ya Mexico, ambapo wamarekani waliifunga Mexico 1-0.
Read more
Loading...
Ule usemi wa kwamba ‘tunawapa watu maua kipindi ambacho hawawezi kuinusa harufu yake’ unaendelea ...
Media Removed
Ule usemi wa kwamba ‘tunawapa watu maua kipindi ambacho hawawezi kuinusa harufu yake’ unaendelea kujidhihirisha. : Takribani wiki moja baada ya kifo chake, kumekuwepo na ongezeko kubwa la kufikia asilimia 970 za usikilizwaji kazi za Rapa kutoka Pittsburgh, Mac Miller kupitia mitandao ... Ule usemi wa kwamba ‘tunawapa watu maua kipindi ambacho hawawezi kuinusa harufu yake’ unaendelea kujidhihirisha.
:
Takribani wiki moja baada ya kifo chake, kumekuwepo na ongezeko kubwa la kufikia asilimia 970 za usikilizwaji kazi za Rapa kutoka Pittsburgh, Mac Miller kupitia mitandao ya streaming.
:
Kwa mujibu wa Billboard, muziki wake kiujumla ulipata wasikilizaji million 3.04 siku moja kabla ya kifo chake - September 6, na masaa 24 baadae, taarifa za kifo chake zilipotangazwa, kazi zake zilisikilizwa mara 32.5 million - huku ngoma zake 5 zikichangia kwa kiasi kikubwa zaidi katika ongezeko hilo:
-
“Self Care” (3.34 million streams)
“Donald Trump” (2.07 million streams)
“Best Day Ever” (1.88 million streams),
“Hurt Feelings” (1.63 million streams)
“Weekend” feat. Miguel (1.62 million streams)
-
Hizi ni miongoni mwa ngoma nyingi za marehemu Mac Miller - mbili kutoka kwenye album yake ya hivi karibuni ‘Swimming,’ mbili nyingine kutoka kwenye mixtape yake ya 2011 ‘Best Day Ever,’ na moja kutoka kwenye album yake ya 3 ya mwaka 2015’ ‘GO:OD AM.’
Read more
Matokeo ya mechi zote za usiku wa kuamkia leo katika michuano ya UEFA Nations League. : Croatia ...
Media Removed
Matokeo ya mechi zote za usiku wa kuamkia leo katika michuano ya UEFA Nations League. : Croatia wakitoka kucheza fainali ya kombe la dunia na kujizolea mashabiki wengi, jana wamekutana na kipigo kizito cha magoli 6-0 dhidi ya Spain. : Belgium kampa Iceland 3-0!! Lukaku akirudi kati mara ... Matokeo ya mechi zote za usiku wa kuamkia leo katika michuano ya UEFA Nations League.
:
Croatia wakitoka kucheza fainali ya kombe la dunia na kujizolea mashabiki wengi, jana wamekutana na kipigo kizito cha magoli 6-0 dhidi ya Spain. :
Belgium kampa Iceland 3-0!! Lukaku akirudi kati mara mbili.
Read more
Tazama Vichwa vya Magazeti ya siku ya leo, 12-September-2018. TANZANIA DAIMA: Maalim Seif Avutwa ...
Media Removed
Tazama Vichwa vya Magazeti ya siku ya leo, 12-September-2018. TANZANIA DAIMA: Maalim Seif Avutwa CHADEMA. MTANZANIA: CHADEMA Wamtaka Maalim Seif Urais. - Wazee watangaza mikakati ya kujiunga naye pamoja na wabunge wake. RAIA MWEMA: Mamluki kazini CCM, CHADEMA Pakua application ... Tazama Vichwa vya Magazeti ya siku ya leo, 12-September-2018.

TANZANIA DAIMA: Maalim Seif Avutwa CHADEMA.

MTANZANIA: CHADEMA Wamtaka Maalim Seif Urais.
- Wazee watangaza mikakati ya kujiunga naye pamoja na wabunge wake.

RAIA MWEMA: Mamluki kazini CCM, CHADEMA

Pakua application ya DONDOSHA usome magazeti kwa nusu bei.
Read more
 #AlazaRoho | @divatheebawse. #HotTopic: Kitu gani ambacho unakimiss kwa mpenzi wako ambacho ...
Media Removed
#AlazaRoho | @divatheebawse. #HotTopic: Kitu gani ambacho unakimiss kwa mpenzi wako ambacho zamani alikuwa anakupatia lakini siku hizi hakupatii tena. Share hapa na @divatheebawse atasema nacho hewani #RedioYaWatu. #AlazaRoho | @divatheebawse.

#HotTopic: Kitu gani ambacho unakimiss kwa mpenzi wako ambacho zamani alikuwa anakupatia lakini siku hizi hakupatii tena.

Share hapa na @divatheebawse atasema nacho hewani #RedioYaWatu.
Loading...
Mwanamuziki John Legend anazidi kuongeza idadi ya tuzo katika kabati lake hii baada ya kushinda tuzo ya Emmy kutokana na kazi yake ya muziki na filamu na hivyo kumfanya kuwa mtu mweusi wa kwanza duniani kushinda tuzo zote kubwa nne kwenye muziki na filamu(EGOT). John Legend ameondoka na ... Mwanamuziki John Legend anazidi kuongeza idadi ya tuzo katika kabati lake hii baada ya kushinda tuzo ya Emmy kutokana na kazi yake ya muziki na filamu na hivyo kumfanya kuwa mtu mweusi wa kwanza duniani kushinda tuzo zote kubwa nne kwenye muziki na filamu(EGOT). John Legend ameondoka na tuzo hiyo kutokana na kazi yake kama producer na muigizaji wa "Jesus Superstar Live Concert."
Read more
Mzee Kigogo @tidmusic aingia kwenye mnyapio wa @soudybrown kuzungumza kutopewa mualiko na @official_qchief anayesemekana ameoa kimya kimya mkoani Tanga.Zaidi nenda kwenye YouTube channel yetu #CloudsMedia. Mzee Kigogo @tidmusic aingia kwenye mnyapio wa @soudybrown kuzungumza kutopewa mualiko na @official_qchief anayesemekana ameoa kimya kimya mkoani Tanga.Zaidi nenda kwenye YouTube channel yetu #CloudsMedia.
Msanii @shilolekiuno_badgirlshishi atoa maoni yake kufuatia kauli ya mheshimiwa Job Ndugai kupiga marufuku wabunge wanawake kuvaa kucha na kope bandia. Msanii @shilolekiuno_badgirlshishi atoa maoni yake kufuatia kauli ya mheshimiwa Job Ndugai kupiga marufuku wabunge wanawake kuvaa kucha na kope bandia.
Loading...
 #Jahazi: Sehemu za baa ni moja ya maeneo yanayotajwa kuongoza kwa udhalilishaji kwa wahudumu wa ...
Media Removed
#Jahazi: Sehemu za baa ni moja ya maeneo yanayotajwa kuongoza kwa udhalilishaji kwa wahudumu wa kike hasa wateja wa kiume wanapozidiwa na kilevi (wanapolewa), lakini ni tofauti kwenye baa moja huko maeneo ya Goba jijini Dar es Salaam, ukimshika mhudumu (kumpapasa) unatozwa elfu mbili….. ... #Jahazi: Sehemu za baa ni moja ya maeneo yanayotajwa kuongoza kwa udhalilishaji kwa wahudumu wa kike hasa wateja wa kiume wanapozidiwa na kilevi (wanapolewa), lakini ni tofauti kwenye baa moja huko maeneo ya Goba jijini Dar es Salaam, ukimshika mhudumu (kumpapasa) unatozwa elfu mbili….. Meneja wa baa hiyo amefunguka kwenye #Jahazi. Ungana na @ephraimkibonde @georgebantu @captaintanzania
Read more
Leo kwenye CloudsE @shadeeweriss atakuwa na mchekeshaji @jaymondy_ ambaye atakuwa anaelezea undani wa kazi yake ambayo licha ya kumpa umaarufu mkubwa mtandaoni lakini pia imekuwa ajira rasmi kwake! Saa 1 kamili usiku on @cloudstv Leo kwenye CloudsE @shadeeweriss atakuwa na mchekeshaji @jaymondy_ ambaye atakuwa anaelezea undani wa kazi yake ambayo licha ya kumpa umaarufu mkubwa mtandaoni lakini pia imekuwa ajira rasmi kwake! Saa 1 kamili usiku on @cloudstv
John Makini awajia juu wanaombeza mdogo wake, kisa Urais. . Kaka wa rapper @nikkwapili wa kundi ...
Media Removed
John Makini awajia juu wanaombeza mdogo wake, kisa Urais. . Kaka wa rapper @nikkwapili wa kundi la Weusi, @johmakinitz amewajia juu wanaomponda na kumbeza mdogo wake, kutokana na uamuzi wa kutangaza nia na ndoto yake ya kuwa Rais. Ingia hapa http://www.cloudsfm.co.tz/?p=1119 usome ... John Makini awajia juu wanaombeza mdogo wake, kisa Urais.
.
Kaka wa rapper @nikkwapili wa kundi la Weusi, @johmakinitz amewajia juu wanaomponda na kumbeza mdogo wake, kutokana na uamuzi wa kutangaza nia na ndoto yake ya kuwa Rais. Ingia hapa http://www.cloudsfm.co.tz/?p=1119 usome alichokizungumza kwenye website yetu ya Cloudsfm.co.tz
Read more
Loading...
Regrann from @aman_martins - "Anafanya kazi Benki", zamani ukisikia hivyo unajenga picha kwamba ...
Media Removed
Regrann from @aman_martins - "Anafanya kazi Benki", zamani ukisikia hivyo unajenga picha kwamba huyo mtu atakuwa na pesa. Kazi za benki zimekuwa zikitajwa kati ya kazi zinazolipa vizuri. Ingekuwaje mtoto wako apate kazi nzuri benki, halafu aje akuambie naacha hii kazi?. Hiyo ndiyo ... Regrann from @aman_martins - "Anafanya kazi Benki", zamani ukisikia hivyo unajenga picha kwamba huyo mtu atakuwa na pesa. Kazi za benki zimekuwa zikitajwa kati ya kazi zinazolipa vizuri.

Ingekuwaje mtoto wako apate kazi nzuri benki, halafu aje akuambie naacha hii kazi?. Hiyo ndiyo hali iliyomkuta Mzee Kajuna Dauda mwaka 2009 mtoto wake Shaffi alipomuambia anaacha kazi. Kazi ambayo aliipata baada ya kusoma na kufaulu vizuri pale #IFM.
.
Juzi tukiwa kwenye gari na Shaffih alianza kutupigia stori, Bahati mbaya hakujua mimi niko makini kusikiliza nije kuandika. "Nikiwa pale benki nikawa nachomoka naenda Clouds kutafuta nafasi na baadae kutangaza. Mabosi wa benki waliposikia natangaza wakaniambia nichague kutangaza au kuendelea na kazi yao. Kwa sababu wakati huo nlikuwa sijaweka mambo sawa, nikawaambia naacha kutangaza lakini nikawa naendelea kwa siri. Nakuja Clouds narekodi content yangu ya kuruka kwenye kipindi halafu narudi benki kupiga mzigo. Mabosi wakawa wanashangaa huyu mbona bado anatangaza, lakini kazi zao nlikuwa napiga fresh kwa iyo hawana pa kunibana" ni maelezo ya @shaffih

Anasema mwaka 2009, akawa anawaza kuhusu kombe la Dunia 2010. Ikabidi aombe likizo benki ili apate nafasi ya kwenda kule afanye kufanya kazi za Clouds. Alikataliwa likizo. Na hapo ndipo ilibidi kufanya maamuzi magumu kimaisha: kubaki Benki au kwenda kwenye taasisi ya ndoto zake (Clouds) na kuchambua kitu anachokipenda kwa dhati (Michezo). Shaffih aliindika barua kwa benki kwamba anaacha kazi ndani ya saa 24. Baada ya pale, ni Shaffih Kajuna Dauda kuwa Champ kwa sababu: 1. CHAGUA UNACHOKIPENDA: Shaffih tangu utoto alikuwa anaweza kucheza michezo mingi. Alichagua kuja kuendelea na michezo, akijiongezea thamani kama mchambuzi. Ni wazi yeye ni kati ya Watanzania walioipa thamani kazi hiyo na kuwafanya vijana wengi waiote.

2. MAISHA NI KUAMUA: Aliamua kuacha kazi na kuja mahali ambapo mshahara wake haukukaribia ule wa benki. Lakini leo ni kati ya wanahabari wanaotengeneza mkwanja mrefu. Shaffih ni bosi hapa Clouds na wakati huo kampuni zake zinapiga dili.

3. MICHONGO KWA WANA: Karuhusu jina litumike kufaidisha wengine.
.
#ChamoOnMonday #ChampShaffih
.
@brandidentitytz wamefanya gfx.
Read more
Kwa mara ya kwanza @castodickson amefunguka juu ya msiba wa mtoto wake Patrick, anaeleza kwamba mpenzi wake @official_tunda alichangia sana kumtuliza wakati wa kipindi kile kigumu - amezungumza mengi zaidi na kuangalia interview yote, ingia kwenye Youtube channel yetu - Link Kwenye ... Kwa mara ya kwanza @castodickson amefunguka juu ya msiba wa mtoto wake Patrick, anaeleza kwamba mpenzi wake @official_tunda alichangia sana kumtuliza wakati wa kipindi kile kigumu - amezungumza mengi zaidi na kuangalia interview yote, ingia kwenye Youtube channel yetu - Link Kwenye BIO
Read more
Wakati unaendelea kufurahia siku yako, kumbuka #MchongoWaUrithi unakusubiri. Kama wewe ni mjasiriamali ...
Media Removed
Wakati unaendelea kufurahia siku yako, kumbuka #MchongoWaUrithi unakusubiri. Kama wewe ni mjasiriamali au msanii ambaye unaona bidhaa yako inafaa kuwepo kwenye maonesho ya #UrithiFestival, tutumie picha ya bidhaa yako kwenda namba #0769536531. . . September 15 tamasha litazinduliwa ... Wakati unaendelea kufurahia siku yako, kumbuka #MchongoWaUrithi unakusubiri. Kama wewe ni mjasiriamali au msanii ambaye unaona bidhaa yako inafaa kuwepo kwenye maonesho ya #UrithiFestival, tutumie picha ya bidhaa yako kwenda namba #0769536531.
.
.
September 15 tamasha litazinduliwa na kisha tutakuwa na maonesho ya siku 7 #Dodoma.
Read more
 #Kitaani Unadhani ni zawadi gani zikitolewa kwa washindi wa shindano lolote lile hapa nchini zinaweza ...
Media Removed
#Kitaani Unadhani ni zawadi gani zikitolewa kwa washindi wa shindano lolote lile hapa nchini zinaweza kupunguza malalamiko au lawama? #XXL #Kitaani Unadhani ni zawadi gani zikitolewa kwa washindi wa shindano lolote lile hapa nchini zinaweza kupunguza malalamiko au lawama? #XXL
 #Repost from @kcbbanktz - Mkuu wa wilaya ya Temeke Mh. Felix Lyaniva na Mwenyekiti wa Bodi ya @KCBBankTZ ...
Media Removed
#Repost from @kcbbanktz - Mkuu wa wilaya ya Temeke Mh. Felix Lyaniva na Mwenyekiti wa Bodi ya @KCBBankTZ Bi Zuhura Muro wakishiriki kwenye zoezi la kufanya Usafi Mbagala ambapo tumefungua tawi hivi karibuni, Zoezi hili lilifanyika kwa ushirikiano na @green_waste_pro, @the_crea8tive ... #Repost from @kcbbanktz - Mkuu wa wilaya ya Temeke Mh. Felix Lyaniva na Mwenyekiti wa Bodi ya @KCBBankTZ Bi Zuhura Muro wakishiriki kwenye zoezi la kufanya Usafi Mbagala ambapo tumefungua tawi hivi karibuni, Zoezi hili lilifanyika kwa ushirikiano na @green_waste_pro, @the_crea8tive pamoja na @cloudsfmtz
Read more
Album mpya ya Rapa @eminem imefanikiwa kushika nafasi ya kwanza katika chart ya Billboard 200 katika ...
Media Removed
Album mpya ya Rapa @eminem imefanikiwa kushika nafasi ya kwanza katika chart ya Billboard 200 katika wiki ya kwanza tangu ilipotoka. Album hiyo aliyoipa jina la ‘Kamikaze’ imeuza jumla ya kopi 434,000 (Kopi 252,000 zikiuzwa katika mfumo kawaida) na zilizobaki zikiuzwa kwa mtindo wa ... Album mpya ya Rapa @eminem imefanikiwa kushika nafasi ya kwanza katika chart ya Billboard 200 katika wiki ya kwanza tangu ilipotoka.
Album hiyo aliyoipa jina la ‘Kamikaze’ imeuza jumla ya kopi 434,000 (Kopi 252,000 zikiuzwa katika mfumo kawaida) na zilizobaki zikiuzwa kwa mtindo wa kusikiliza kupitia streaming services.
:
Hii ni album ya 9 ya Eminem kufanikiwa kushika nafasi ya kwanza kwenye chart za Billboard 200.
Read more
Msimamo wa #CloudsFmTop20 #September9, 2018. Cc: @mamybabytz
Media Removed
Msimamo wa #CloudsFmTop20 #September9, 2018. Cc: @mamybabytz Msimamo wa #CloudsFmTop20 #September9, 2018.

Cc: @mamybabytz
RUGE AMUANDIKIA @basillamwanukuzi: UJUMBE HUU HAPA. . . "Basila Hongera sana mdogo wangu, kikubwa ...
Media Removed
RUGE AMUANDIKIA @basillamwanukuzi: UJUMBE HUU HAPA. . . "Basila Hongera sana mdogo wangu, kikubwa ulichofanikisha kufanya ni kuanza kurudisha imani kwa waliopoteza imani na hiyo brand. Sio siri, itakuchukua mwaka mmoja, miwili hata mitatu kufika kwenye level ya kupata the same integrity ... RUGE AMUANDIKIA @basillamwanukuzi: UJUMBE HUU HAPA.
.
. "Basila Hongera sana mdogo wangu, kikubwa ulichofanikisha kufanya ni kuanza kurudisha imani kwa waliopoteza imani na hiyo brand. Sio siri, itakuchukua mwaka mmoja, miwili hata mitatu kufika kwenye level ya kupata the same integrity na value iliyokuwa imepotea. Kurudisha imani za wadhamini, wahisani na mwisho sisi wananchi tutarudi labda kwa ukubwa kuliko ilivyokuwa. Umefanya makosa mengi sana kwenye hii hatua ila ni sehemu ya ukuaji because najua hakuna mtoto anajaribu kutembea bila kuangukaanguka. Kama Clouds Media Group tupo na wewe na mawakala wote kwa pamoja mmewezesha jambo hili kurudi kupata heshima yake. Kubwa kuliko yote ili kujenga heshima inayodumu ungalizi wa washindi uendelee kwa muda mrefu kupata role models wengi kwa taifa letu. Mungu awabariki sana."
#RugeMutahaba - Mkurugenzi Clouds
Read more
Regrann from @tatumzuka - Leo hii inagawiwa kwa washkaji, atayeshinda atagawa milioni moja moja ...
Media Removed
Regrann from @tatumzuka - Leo hii inagawiwa kwa washkaji, atayeshinda atagawa milioni moja moja kwa washkaji 10 asiowajua. Lakini hao washkaji watatoka kwenye kundi la waliocheza #TatuMzuka. Hii ni nafasi ya kipekee, yaani unawez kupata milioni hata kama hutashinda. Unasubiri nini? ... Regrann from @tatumzuka - Leo hii inagawiwa kwa washkaji, atayeshinda atagawa milioni moja moja kwa washkaji 10 asiowajua. Lakini hao washkaji watatoka kwenye kundi la waliocheza #TatuMzuka.

Hii ni nafasi ya kipekee, yaani unawez kupata milioni hata kama hutashinda. Unasubiri nini? Tuma jero tu kwenda namba ya kampuni 555111, namba za kumbukumbu unaweka namba zako tatu zikifuatiwa na neno WEB. - #regrann
Read more
@hamisamobetto mshindi aliyemtegemea kumuona usiku wa jana atakuwa Mrembo, mwenye Akili, Mchangamfu na Mchapakazi mwenye Utu... @kenedytheremedy anaimani kupitia Mashindano haya tumeongeza idadi ya brand kadhaa zenye vipaji ambavyo vitakuwa hot cake katika tasnia mbalimbali...! ... @hamisamobetto mshindi aliyemtegemea kumuona usiku wa jana atakuwa Mrembo, mwenye Akili, Mchangamfu na Mchapakazi mwenye Utu... @kenedytheremedy anaimani kupitia Mashindano haya tumeongeza idadi ya brand kadhaa zenye vipaji ambavyo vitakuwa hot cake katika tasnia mbalimbali...! New Miss Tanzania #newmisstanzania2018
Read more
 #FundiWaMuzikiWaAfrika @dacotadelavida akisema na watu pale mixing za @mubadj ziliposhika ...
Media Removed
#FundiWaMuzikiWaAfrika @dacotadelavida akisema na watu pale mixing za @mubadj ziliposhika hatamu kipande cha #ClubSunSET #JetLumo. Juuujuuujuuuuu () asikuambie mtu...! Muziki wa Kiafrika una raha yake #RedioYaWatu #WikiendBonanza #BuzukiTIME. S/O @daudiwakota #CloudsDigitalUpdates #FundiWaMuzikiWaAfrika @dacotadelavida akisema na watu pale mixing za @mubadj ziliposhika hatamu kipande cha #ClubSunSET #JetLumo.

Juuujuuujuuuuu (☺😂😃) asikuambie mtu...! Muziki wa Kiafrika una raha yake #RedioYaWatu
#WikiendBonanza
#BuzukiTIME.

S/O @daudiwakota #CloudsDigitalUpdates
 #BurudaniNiJadiYetu #ClubSunSET #JetLumo kiotani jana palipendeza sana. #WikiendBonanza ...
Media Removed
#BurudaniNiJadiYetu #ClubSunSET #JetLumo kiotani jana palipendeza sana. #WikiendBonanza #BuzukiTIME #RedioYaWatu. #TunakufunguliaDuniaKuwaUnachokitaka #BurudaniNiJadiYetu #ClubSunSET #JetLumo kiotani jana palipendeza sana.

#WikiendBonanza
#BuzukiTIME
#RedioYaWatu.

#TunakufunguliaDuniaKuwaUnachokitaka
Wenye redio yao walipata fursa ya kusikika kupitia #WikiendBonanza 88.5 #Mhz . #BuzukiTIME ...
Media Removed
Wenye redio yao walipata fursa ya kusikika kupitia #WikiendBonanza 88.5 #Mhz . #BuzukiTIME | #RedioYaWatu #ClubSunSET Wenye redio yao walipata fursa ya kusikika kupitia #WikiendBonanza 88.5 #Mhz .

#BuzukiTIME | #RedioYaWatu
#ClubSunSET
Jana wakati #Misstanzania2018 ikiendelea upande wa pili lile #BuzukiTIME lilikuwa njia panda ...
Media Removed
Jana wakati #Misstanzania2018 ikiendelea upande wa pili lile #BuzukiTIME lilikuwa njia panda ya kwenda Ulaya - #JetLumo - #ClubSunSET. Huku sapoti kubwa ikitoka kwa mkubwaaaaa @josemarah chini ya #MapachaMusicBand.....balaaa lao muulizeni @hamisimalonji au @doctor__albino #WikiendBonanza ... Jana wakati #Misstanzania2018 ikiendelea upande wa pili lile #BuzukiTIME lilikuwa njia panda ya kwenda Ulaya - #JetLumo - #ClubSunSET.

Huku sapoti kubwa ikitoka kwa mkubwaaaaa @josemarah chini ya #MapachaMusicBand.....balaaa lao muulizeni @hamisimalonji au @doctor__albino

#WikiendBonanza | #RedioYaWatu
Read more
Queen ndio Malkia mpya. @queenelizabethtanzania ndiye #NewMissTanzania2018. Wa pili @nelly_kazikazi ...
Media Removed
Queen ndio Malkia mpya. @queenelizabethtanzania ndiye #NewMissTanzania2018. Wa pili @nelly_kazikazi (Kulia) na wa tatu ni @i_am_sandra_giovinazzo (kushoto). . #CloudsMediaGroup inawapongeza. Queen ndio Malkia mpya.

@queenelizabethtanzania ndiye #NewMissTanzania2018.

Wa pili @nelly_kazikazi (Kulia) na wa tatu ni @i_am_sandra_giovinazzo (kushoto).
.
#CloudsMediaGroup inawapongeza.
Hao watatu hapo ndio walimbwende wa mwaka Mshiriki no 15-Queen Elizabeth Makune - @queenelizabethtanzania ...
Media Removed
Hao watatu hapo ndio walimbwende wa mwaka Mshiriki no 15-Queen Elizabeth Makune - @queenelizabethtanzania ndio mshindi. Mshiriki no 9. Nelly Kazikazi- @nelly_kazikazi kawa wa pili. Mshiriki no 16. Sandra Giovinazzo - @i_am_sandra_giovinazzo kawa watatu. Hao watatu hapo ndio walimbwende wa mwaka

Mshiriki no 15-Queen Elizabeth Makune - @queenelizabethtanzania ndio mshindi.

Mshiriki no 9. Nelly Kazikazi- @nelly_kazikazi kawa wa pili.

Mshiriki no 16. Sandra Giovinazzo - @i_am_sandra_giovinazzo kawa watatu.
08, 02, 01,13, 15, 16, 09, 11, 18, 17 ndiyo kumi bora #NewMissTanzania2018. . . Majaji wameomba ...
Media Removed
08, 02, 01,13, 15, 16, 09, 11, 18, 17 ndiyo kumi bora #NewMissTanzania2018. . . Majaji wameomba kutoka nje wakajadili 5 bora. 08, 02, 01,13, 15, 16, 09, 11, 18, 17 ndiyo kumi bora #NewMissTanzania2018.
.
.
Majaji wameomba kutoka nje wakajadili 5 bora.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe 'amekandia' matumizi ya ...
Media Removed
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe 'amekandia' matumizi ya lugha ya Kingereza kwa warembo na kuwasisitia kutumia Kiswahili kwenye mashindano ya Kimataifa. . Hata hivyo huko nyuma tumewahi kuona mastaa wa Kibongo waliotumia Kiswahili nje ya nchi ... Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe 'amekandia' matumizi ya lugha ya Kingereza kwa warembo na kuwasisitia kutumia Kiswahili kwenye mashindano ya Kimataifa.
.
Hata hivyo huko nyuma tumewahi kuona mastaa wa Kibongo waliotumia Kiswahili nje ya nchi 'wakinangwa' mitandaoni kwamba hawajui 'kutema yai'
.
Je, ushauri wako ni nini: Atakayeenda Miss World atumie Kingereza au Kiswahili?
.
#NewMissTanzania2018
Read more
JNCC ndiyo sehemu ambayo historia inaandikwa maana tulianza kuhesabu, Wilaya tukaja Mikoa na sasa tunatafuta mshindi mmoja wa Miss Tanzania 2018. Njoo tuandike wote historia ya mitindo kwa pamoja. #MremboNaMazingira @basillamwanukuzi @newmisstanzania JNCC ndiyo sehemu ambayo historia inaandikwa maana tulianza kuhesabu, Wilaya tukaja Mikoa na sasa tunatafuta mshindi mmoja wa Miss Tanzania 2018.

Njoo tuandike wote historia ya mitindo kwa pamoja.
#MremboNaMazingira
@basillamwanukuzi
@newmisstanzania
Tanzania wanafanikiwa kurudi nyumbani na pointi 1 kwa sare isiyo na magoli dhidi ya Uganda Cranes ...
Media Removed
Tanzania wanafanikiwa kurudi nyumbani na pointi 1 kwa sare isiyo na magoli dhidi ya Uganda Cranes katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza mashindano ya African Cup of Nations 2019. Tanzania wanafanikiwa kurudi nyumbani na pointi 1 kwa sare isiyo na magoli dhidi ya Uganda Cranes katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza mashindano ya African Cup of Nations 2019.
Jumamosi hii tunakutana wote kwenye #MasqueradeBallS01E01 yaani unavaa mask yako kama ya @soudybrown ...
Media Removed
Jumamosi hii tunakutana wote kwenye #MasqueradeBallS01E01 yaani unavaa mask yako kama ya @soudybrown kisha International Guest Dj @djdommy pamoja na @nedymusic watahakikisha wanakinukisha kuanzia saa tatu kamili usiku ndani ya @chazabeach Zanzibar. Jumamosi hii tunakutana wote kwenye
#MasqueradeBallS01E01 yaani unavaa mask yako kama ya @soudybrown kisha International Guest Dj @djdommy pamoja na @nedymusic watahakikisha wanakinukisha kuanzia saa tatu kamili usiku ndani ya @chazabeach Zanzibar.
Lilian Kamazima ampa mbinu mshindi Miss Tanzania kushinda Miss World. . "Kwa mrembo atakayenyakuwa ...
Media Removed
Lilian Kamazima ampa mbinu mshindi Miss Tanzania kushinda Miss World. . "Kwa mrembo atakayenyakuwa taji usiku wa leo atakayewakilisha nchi katika mashindano ya dunia kujiamini ndio njia pekee ya mrembo huyo kushinda kwenye mashindano makubwa ya urembo ya dunia’’ @liliankamazima, ... Lilian Kamazima ampa mbinu mshindi Miss Tanzania kushinda Miss World.
.
"Kwa mrembo atakayenyakuwa taji usiku wa leo atakayewakilisha nchi katika mashindano ya dunia kujiamini ndio njia pekee ya mrembo huyo kushinda kwenye mashindano makubwa ya urembo ya dunia’’ @liliankamazima, Miss Tanzania 2015 Bonyeza link ya website yetu www.cloudsfm.co.tz kwenye bio yetu hapo juu 👆kusoma stori yote.
Read more
Repost from @nancysumari Takriban Miaka 13 iliyopita, maisha yangu yalibadilika, pale nilipovikwa ...
Media Removed
Repost from @nancysumari Takriban Miaka 13 iliyopita, maisha yangu yalibadilika, pale nilipovikwa taji la Miss Tanzania, kwa mwaka 2005. Ni usiku ambao, ulikua kama miujiza kwangu, kwa familia yangu na walezi wangu kwenye tasnia ya urembo . Sikutegemea kabisa. Miss Tanzania kwangu, ... Repost from @nancysumari

Takriban Miaka 13 iliyopita, maisha yangu yalibadilika, pale nilipovikwa taji la Miss Tanzania, kwa mwaka 2005. Ni usiku ambao, ulikua kama miujiza kwangu, kwa familia yangu na walezi wangu kwenye tasnia ya urembo . Sikutegemea kabisa. Miss Tanzania kwangu, ni brand ambayo ni ya kipekee, iliyoweza kuibua nyota wengi hapa nyumbani, na kutoa fursa Kwa wasichana wengi kuweza kujiendeleza katika maeneo mbali mbali.
Usiku wa leo, anaenda kupatikana malkia wetu mpya. Niwatakie kila la kheri washiriki wote. Kwangu mimi, nyote ni washindi. Kipekee nimpongeze Dada yangu @basillamwanukuzi na timu nzima ya @newmisstanzania kwa kupambana kurejesha brand hii kileleni na kuweza kuandaa event ya kimataifa inayofanyika usiku wa leo.
Read more
SERIKALI YATOA RAI KWA JAMII KUWASHIRIKISHA WATU WENYE ULEMAVU KATIKA SHUGHULI ZA KIJAMII,KIUCHUMI ...
Media Removed
SERIKALI YATOA RAI KWA JAMII KUWASHIRIKISHA WATU WENYE ULEMAVU KATIKA SHUGHULI ZA KIJAMII,KIUCHUMI NA KISIASA Serikali yatoa rai kwa jamii ya Watanzania kuwashirikisha watu wenye ulemavu kwenye shuguli mbalimbali za kijamii,kiuchumi na kisiasa ili pia kundi hilo litoe mchango wake ... SERIKALI YATOA RAI KWA JAMII KUWASHIRIKISHA WATU WENYE ULEMAVU KATIKA SHUGHULI ZA KIJAMII,KIUCHUMI NA KISIASA
Serikali yatoa rai kwa jamii ya Watanzania kuwashirikisha watu wenye ulemavu kwenye shuguli mbalimbali za kijamii,kiuchumi na kisiasa ili pia kundi hilo litoe mchango wake katika ustawi wa Taifa Tanzania,hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi,Vijana na Ajira) Mh Anthony Mavunde kwa niaba ya Mh Waziri Jennister Joakim Mhagama wakati wa kufunga mafunzo ya USALAMA BARABARANI na utoaji zawadi za mashindano ya uchoraji kwa wanafunzi wa Shule za Msingi Jijini Dar es salaam kupitia udhamini wa kampuni ya Mafuta PUMA tangu 2013 kwa lengo la kuwaelimisha wanafunzi matumizi sahihi ya barabara.

Naibu Waziri Mavunde ameipongeza kampuni ya PUMA kwa kuendesha mafunzo hayo kwa wanafunzi 68,000 na pia kwa kuwajumuisha watu wenye ulemavu katika progamu hiyo inayowashirikisha wanafunzi wa mikoa ya Dar es salaam, Ruvuma, Geita, Arusha na Kilimanjaro na kuwataka wadau wengine wa maendeleo kusaidia kuunga mkono jitihada ya serikali katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Akimkaribisha Mgeni Rasmi,Mkurugenzi Mkuu wa PUMA Ndg Phillipe Corsalleti ameahidi kutanua mafunzo haya ya wanafunzi juu ya usalama barabarani kwa kuifikia mikoa mingi zaidi nchini huku lengo likiwa ni kuifikia nchi nzima ili jamii ya wanafunzi kwa ujumla ielewe matumizi sahihi ya barabara kwa lengo la kupunguza ajali nchini.
Read more
Waswahili husema 'Mafahali wawili hawakai zizi moja' na hiyo inaweza kuwa sababu ya mafahali hawa ...
Media Removed
Waswahili husema 'Mafahali wawili hawakai zizi moja' na hiyo inaweza kuwa sababu ya mafahali hawa wawili kulazimisha kukaa zizi moja na kushare wakati mwingine sahani ya chakula kumbe mioyoni mwao wana sonono. CardiB na NickMinaj usiku wa kuamkia leo wameingia kwenye tafrani baada ... Waswahili husema 'Mafahali wawili hawakai zizi moja' na hiyo inaweza kuwa sababu ya mafahali hawa wawili kulazimisha kukaa zizi moja na kushare wakati mwingine sahani ya chakula kumbe mioyoni mwao wana sonono.

CardiB na NickMinaj usiku wa kuamkia leo wameingia kwenye tafrani baada ya CardiB kukutana na Nick kwenye show ya mitindo ya Harpes bazaars

Ugomvi ulipoanzia ni baada ya #CardiB kuingia kwenye ukumbi na kumkuta #NickMinaj akiwa anapiga picha na Kelly Rowland na La Anthony na kupita katikati yao kitendo hicho kilimfanya Nick kukanyaga gauni la Cardi makusudi na kupelekea Cardi kuanza kurusha maneno na ngumi lakini walinzi wa Nick walimzuia na kumuumiza Cardi sehemu za juu ya jicho lake.

Cardi analalamika kuwa Nick anawatisha watu ambao wanakuwa karibu nae na kumsema vibaya mtoto wake ambaye bado hajaanza kumuonyesha kwenye mitandao ya kijamii.
Read more
@kayla_medy Ameshakusanua kuwa leo #BongoFleva atasimama yeye pamoja na @askofutza chakufanya ni kuwaambia ngoma gani unataka kuisikiliza mpaka kitisa flavi hivi. @kayla_medy Ameshakusanua kuwa leo #BongoFleva atasimama yeye pamoja na @askofutza chakufanya ni kuwaambia ngoma gani unataka kuisikiliza mpaka kitisa flavi hivi.
Haki na dhamana ya kuburudisha mioyo katika New Miss Tanzania 2019 ipo kwenye mikono yenye skills ...
Media Removed
Haki na dhamana ya kuburudisha mioyo katika New Miss Tanzania 2019 ipo kwenye mikono yenye skills na speed @djscratchdesigner ...! #Kajiandae Leo ndiyo Leo #newmisstanzania2018 Haki na dhamana ya kuburudisha mioyo katika New Miss Tanzania 2019 ipo kwenye mikono yenye skills na speed @djscratchdesigner ...! #Kajiandae Leo ndiyo Leo #newmisstanzania2018
@hamisamobetto safari yake ya urembo ilianzia mwaka 2010 ambapo alifanikiwa kuwa Miss XXL BACK ...
Media Removed
@hamisamobetto safari yake ya urembo ilianzia mwaka 2010 ambapo alifanikiwa kuwa Miss XXL BACK TO SCHOOL BASH ambayo iliandaliwa na kipindi cha XXL kutoka Clouds Fm. Mwaka 2011 Hamisa alishiriki mashindano ya Miss Dar Indian Ocean na alifanikiwa kushika nafasi ya pili , pia mwaka huohuo ... @hamisamobetto safari yake ya urembo ilianzia mwaka 2010 ambapo alifanikiwa kuwa
Miss XXL BACK TO SCHOOL BASH ambayo iliandaliwa na kipindi cha XXL kutoka Clouds Fm.

Mwaka 2011 Hamisa alishiriki mashindano ya Miss Dar Indian Ocean na alifanikiwa kushika nafasi ya pili , pia mwaka huohuo alikua mshindi wa pili wa miss kinondoni na kufanikiwa kuingia kwenye Nusu fainali ya miss Tanzania.
Mwaka 2012 hamisa alishiriki kwenye mashindano ya Miss Univeristy Afrika na kuingia hatua ya 10 bora.

Baada ya hapo ameendelea kuwa gumzo kwenye masuala ya fashion na siku ya leo pale JNCC atakuwa moja kati ya washereheshaji (Mc) ili kuandika wote historia ya New Miss Tanzania 2018.

@basillamwanukuzi
Read more
Staa wa muziki wa Hip Hop kutoka Marekani - Mac Miller (26) ameiaga dunia usiku wa Ijumaa ya tarehe ...
Media Removed
Staa wa muziki wa Hip Hop kutoka Marekani - Mac Miller (26) ameiaga dunia usiku wa Ijumaa ya tarehe 7/9/2018 kutokana na matumizi yaliyozidi ya madawa ya kulevya: Kwa mujibu mamlaka za usalama zimeuambia mtandao wa TMZ kwamba rapa huyo alikutwa amepoteza fahamu nyumbani kwake San Fernando ... Staa wa muziki wa Hip Hop kutoka Marekani - Mac Miller (26) ameiaga dunia usiku wa Ijumaa ya tarehe 7/9/2018 kutokana na matumizi yaliyozidi ya madawa ya kulevya:
Kwa mujibu mamlaka za usalama zimeuambia mtandao wa TMZ kwamba rapa huyo alikutwa amepoteza fahamu nyumbani kwake San Fernando Valley na muda mfupi baadae alitangazwa kuwa ameaga dunia.
:
Malcolm James McCormick aka Mac Miller alizaliwa mwaka 1992, alipata mafanikio kupitia album 'Blue Slide Park,' ambayp ilifika mpaka no.1 katika Billboard chart.
Read more
Mambo ni..... ( In @soudybrown voice) Mambo yote kesho lakini wakati huu ukumbi wa JNCC maandalizi yanaendelea ya jukwaa, Wasanii kama kina @barnabaclassic , Band na washiriki wenyewe wa Miss Tanzania ili kuhakikisha kesho historia ya urembo inaandikwa. @basillamwanukuzi @newmisstanzania Mambo ni..... ( In @soudybrown voice)
Mambo yote kesho lakini wakati huu ukumbi wa JNCC maandalizi yanaendelea ya jukwaa, Wasanii kama kina @barnabaclassic , Band na washiriki wenyewe wa Miss Tanzania ili kuhakikisha kesho historia ya urembo inaandikwa.

@basillamwanukuzi
@newmisstanzania
Manchester United imefanikiwa kushinda mchezo wa EPL baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo. : Magoli ...
Media Removed
Manchester United imefanikiwa kushinda mchezo wa EPL baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo. : Magoli mawili ya Romelu Lukaku yamewapa ushindi muhimu kuelekea mapumziko ya mechi za kimataifa. : Wakati huo huo Tottenham Hotspur wamefungwa 2-1 na Watford. Manchester United imefanikiwa kushinda mchezo wa EPL baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo.
:
Magoli mawili ya Romelu Lukaku yamewapa ushindi muhimu kuelekea mapumziko ya mechi za kimataifa.
:
Wakati huo huo Tottenham Hotspur wamefungwa 2-1 na Watford.
Msikilize Mkurugenzi na msimamizi wa #TheLook @basillamwanukuzi akielezea jinsi Top 5 ya Miss Tanzania 2018 watakavyokuwa mabalozi. @newmisstanzania Msikilize Mkurugenzi na msimamizi wa #TheLook @basillamwanukuzi akielezea jinsi Top 5 ya Miss Tanzania 2018 watakavyokuwa mabalozi.
@newmisstanzania

Loading...