Loading Content...

Cloudstv Instagram Photos and Videos

cloudstv Clouds TV @cloudstv mentions
Followers: 435,084
Following: 59
Total Comments: 0
Total Likes: 0

 #Picha: Rais Dkt. John Pombe Magufuli amuapisha Kamishna Diwani Athuman Msuya kuwa Mkurugenzi ...
Media Removed
#Picha: Rais Dkt. John Pombe Magufuli amuapisha Kamishna Diwani Athuman Msuya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dkt. John Kiang’u Jingu kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya pamoja na Balozi Dkt. Azizi Mlima kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda .Hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Jijini ... #Picha: Rais Dkt. John Pombe Magufuli amuapisha Kamishna Diwani Athuman Msuya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dkt. John Kiang’u Jingu kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya pamoja na Balozi Dkt. Azizi Mlima kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda .Hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Jijini Dodoma.Septemba 12,2018.
Cc: @gersonmsigwa @ikulu_mawasiliano #CloudsDigitalUpdates
Read more
MAGEUZI SEKTA YA UVUVI PANGANI. .. .. Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Pangani ikiongozwa na Mh. Zainab ...
Media Removed
MAGEUZI SEKTA YA UVUVI PANGANI. .. .. Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Pangani ikiongozwa na Mh. Zainab Abdallah kwa ushirikiano na Ofisi ya Mbunge imefanya ziara ya kikazi makao makuu ya nchi mkoani Dodoma ikiwemo kukutana na kuwa na kikao na Waziri wa Uvuvi na Mifugo Mh. Luhaga Mpina na kufanikisha ... MAGEUZI SEKTA YA UVUVI PANGANI.
..
..
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Pangani ikiongozwa na Mh. Zainab Abdallah kwa ushirikiano na Ofisi ya Mbunge imefanya ziara ya kikazi makao makuu ya nchi mkoani Dodoma ikiwemo kukutana na kuwa na kikao na Waziri wa Uvuvi na Mifugo Mh. Luhaga Mpina na kufanikisha changamoto na utekelezaji wa ubunifu katika sekta ya uvuvi inayoongoza kwa mapato na kutegemewa na wakazi wengi wa Pangani.
..
..
Kikao kimehusisha Ajenda 4 kubwa na muhimu sana kwa ukombozi wa Sekta hii Pangani.
1. Upatikanaji wa mashine ya Storage (Compressor) na Jokofu kwa ajili ya kuhifadhi mazao ya baharini kwa ajili ya soko kubwa la Samaki Pangani Mashariki ambalo ujenzi wake umefanikishwa na mapato ya ndani ya halmashauri. Waziri Mpina amepongeza jitihada za awali na kuahidi kuwa Wizara yake itatoa fedha ili jokofu na compressor vipatikane mara moja na soko lianze kufanya kazi.
..
..
2.Kuelekea Utekelezaji wa kampeni ya “VIJANA NI WAKATI WETU” iliofanyika Wilaya ya Pangani; sekta ya uvuvi ndio iliongoza kwa uandikishaji wa Vijana wengi. DC Zainab amewasilisha ombi la kupata Engine za Boti za uvuvi kwa ajili ya vikundi vya vijana walio tayari kujiajiri na kujipatia kipato kupitia sekta hii. Wizara kupitia ruzuku yake itagharamia 40% na 60% igharamie halmashauri husika. Wizara imeridhia kutoa Engine za kutosha kwa vijana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya kupitia Halmashauri itatumia mfuko wa vijana na mfuko wa Jimbo kufanikisha upatikanaji wa Engine hizi ili vijana wapate vifaa hivi vya kisasa na utaratibu utawekwa kupitia Idara ya Vijana ya wilaya juu ya usimamizi na mafunzo. Hii ni ishara ya ukombozi kwa vijana wa Pangani.
..
..
3. Kuwa na Chuo cha mafunzo na utaalamu kwa Sekta ya Uvuvi Pangani ikiwa ni kuelekea kupata muarobaini wa sintofahamu ya Chuo cha KIM kurudi mikononi mwa wananchi na kuwanufaisha zaidi ya ilivyo sasa. Waziri ameunda timu ya wataalamu ya kuja Pangani mara moja kuchunguza suala hili ili ripoti itakayo wasilishwa aweze kuitolea maamuzi kwa maslahi mapana ya wana Pangani.
..
..
4. Ujenzi wa Soko la Samaki na Dagaa Kipumbwi. Mh. Mpina ameweka wazi kuwa suala hili lipo sasa kwenye mipango ya Wizara na kilichobaki ni Utekelezaji wa haraka.
Read more
Tuna mradi wa kutanua barabara ya shekilango kuwa nne,na tayari upembuzi yakinifu umeanza na fedha ...
Media Removed
Tuna mradi wa kutanua barabara ya shekilango kuwa nne,na tayari upembuzi yakinifu umeanza na fedha zipo tunataka barabara za Kinondoni zipitike ili watu waweze kufanya shughuli zao pasipo kukwama bila kusahau barabara ile ya Akachube ambayo ni sugu lakini tutaiweza na itapitika "Dc ... Tuna mradi wa kutanua barabara ya shekilango kuwa nne,na tayari upembuzi yakinifu umeanza na fedha zipo tunataka barabara za Kinondoni zipitike ili watu waweze kufanya shughuli zao pasipo kukwama bila kusahau barabara ile ya Akachube ambayo ni sugu lakini tutaiweza na itapitika "Dc Chongolo - Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni akizungumza mapema leo kupitia #Clouds360
Read more
OMBAOMBA WOTE KUFIKISHWA MAHAKAMANI #KutokaBugeni Mhe. Ibrahim Mohamedali Raza Mbunge wa Kiembe Samaki- Zanzibar ameuliza swali lake kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Jiji la Dar es Salaam linakabiliwa na tatizo la ombaomba wengi na katika baadhi ya maeneo wamejenga miuondombinu ... OMBAOMBA WOTE KUFIKISHWA MAHAKAMANI

#KutokaBugeni Mhe. Ibrahim Mohamedali Raza Mbunge wa Kiembe Samaki- Zanzibar ameuliza swali lake kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Jiji la Dar es Salaam linakabiliwa na tatizo la ombaomba wengi na katika baadhi ya maeneo wamejenga miuondombinu ya kulala, Je ni lini Serikali itachukua hatua ya kuwaondoa ombaomba katika Jiji la Dar es Salaam....? Kwa niaba ya Waziri wa TAMISEMI, swali lake linajibiwa na Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Joseph Kakunda
Read more
Mkuu wa Wilaya RUANGWA Mkoani LINDI HASHIMU MGANDILWA amepiga Marufuku shughuli za Jando na unyago ...
Media Removed
Mkuu wa Wilaya RUANGWA Mkoani LINDI HASHIMU MGANDILWA amepiga Marufuku shughuli za Jando na unyago kuendeshwa katika kipindi ambacho wanafunzi wanatakiwa kuwa Mashuleni na Badala yake kaagiza shughuli hizo zifanywe katika kipindi ambacho shule zimefungwa mwezi Juni au Disemba. Mkuu ... Mkuu wa Wilaya RUANGWA Mkoani LINDI HASHIMU MGANDILWA amepiga Marufuku shughuli za Jando na unyago kuendeshwa katika kipindi ambacho wanafunzi wanatakiwa kuwa Mashuleni na Badala yake kaagiza shughuli hizo zifanywe katika kipindi ambacho shule zimefungwa mwezi Juni au Disemba.

Mkuu huyo wa Wilaya Ameyasema hayo wakati akizungumza na wananchi wa kata ya LUCHEGWA inayounganishwa na vijiji vya Ipingo, Nandanga na Luchelegwa ikiwa ni ziara yake ya kikazi kupita kujitambulisha na kusikiliza kero za wananchi katika vijiji vyote vya Ruangwa, na kuagiza kuwa shughuli za unyago siziwepo kipindi ambacho watoto wanatakiwa kuwa Mashuleni.

Cc: @hashimmgandilwa.

#Clouds Habari | #CloudsDigitalUpDates
Read more
Regrann from @cloudsfmtz - Ni hali ilivyo pale uwanja wa Jamhuri Dodoma muda huu. Ni mambo ya @urithifestivaltanzania. Jumamosi ...
Media Removed
Regrann from @cloudsfmtz - Ni hali ilivyo pale uwanja wa Jamhuri Dodoma muda huu. Ni mambo ya @urithifestivaltanzania. Jumamosi hii, Dodoma wanapata burudani bila kiingilio chochote (buure) . #TanzaniaUnforgettable #UrithiFestival - #regrann Regrann from @cloudsfmtz - Ni hali ilivyo pale uwanja wa Jamhuri Dodoma muda huu.

Ni mambo ya @urithifestivaltanzania.

Jumamosi hii, Dodoma wanapata burudani bila kiingilio chochote (buure)
.
#TanzaniaUnforgettable #UrithiFestival - #regrann
#YaliyojiriJanaBungeni Wabunge wengi walichangia muswada wa marekebisho ya Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi. Msikilize Mbunge wa Kawe Mhe. Halima Mdee alivyochangia muswada huo. #YaliyojiriJanaBungeni Wabunge wengi walichangia muswada wa marekebisho ya Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi. Msikilize Mbunge wa Kawe Mhe. Halima Mdee alivyochangia muswada huo.
Hivi unajua friji inaweza kutumia units 13 za umeme kwa siku? #LeoTena
Media Removed
Hivi unajua friji inaweza kutumia units 13 za umeme kwa siku? #LeoTena Hivi unajua friji inaweza kutumia units 13 za umeme kwa siku? #LeoTena
"Kila mtu ana staili yake ya Uongozi lakini muhimu ni kutatua shida za wananchi,namshukuru sana ...
Media Removed
"Kila mtu ana staili yake ya Uongozi lakini muhimu ni kutatua shida za wananchi,namshukuru sana Mhe Rais Dk John Magufuli nilipofika tu ametoa fedha shillingi Bilioni 15 kwaajili ya mradi wa Maji,kwahiyo mambo yatatengamaa Kinondoni taratibu taratibu " Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, #DanielChongolo "Kila mtu ana staili yake ya Uongozi lakini muhimu ni kutatua shida za wananchi,namshukuru sana Mhe Rais Dk John Magufuli nilipofika tu ametoa fedha shillingi Bilioni 15 kwaajili ya mradi wa Maji,kwahiyo mambo yatatengamaa Kinondoni taratibu taratibu " Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, #DanielChongolo
Nini kinachosababisha wanafunzi wengi kufeli somo la hesabu? Tunae Katibu wa Chama Cha Hisabati, ...
Media Removed
Nini kinachosababisha wanafunzi wengi kufeli somo la hesabu? Tunae Katibu wa Chama Cha Hisabati, Detnasia Manyama akitueleza mikakati ya chama hicho kuhusu hesabu #PowerBreakfast Nini kinachosababisha wanafunzi wengi kufeli somo la hesabu? Tunae Katibu wa Chama Cha Hisabati, Detnasia Manyama akitueleza mikakati ya chama hicho kuhusu hesabu
#PowerBreakfast
 #YaliyojiriLeoBungeni Mbunge wa Songea Mjini Dkt. Damas Ndumbaro ameelezea jitihada za Serikali ...
Media Removed
#YaliyojiriLeoBungeni Mbunge wa Songea Mjini Dkt. Damas Ndumbaro ameelezea jitihada za Serikali kuleta ndege hazisaidii kwa sababu Ndege haziwezi kutua katika Uwanja huo, Je ni lini uwanja huo utaanza kukarabatiwa ili uweze kuwasaidia Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma na Mkoa wa Njombe....? ... #YaliyojiriLeoBungeni Mbunge wa Songea Mjini Dkt. Damas Ndumbaro ameelezea jitihada za Serikali kuleta ndege hazisaidii kwa sababu Ndege haziwezi kutua katika Uwanja huo, Je ni lini uwanja huo utaanza kukarabatiwa ili uweze kuwasaidia Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma na Mkoa wa Njombe....? Kwa niaba ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Elias Kwandikwa amejibu swali la Mbunge wa Songea.

#CloudsDigitalUpdates | #Dodoma
Read more
HARRIS KAPIGA @harrisikapiga anasema Mwenda tezi na omo marejeo ngamani. Ungana nae usiku huu ...
Media Removed
HARRIS KAPIGA @harrisikapiga anasema Mwenda tezi na omo marejeo ngamani. Ungana nae usiku huu kwenye #HabariClouds hapa @Cloudstv atakupa tafsiri ya msemo huu #Habariinakwendana tabasamu Pia unaweza kutufuatilia kupitia youtube channel yetu #CloudsMedia pia kwenye facebook ... HARRIS KAPIGA @harrisikapiga anasema Mwenda tezi na omo marejeo ngamani.

Ungana nae usiku huu kwenye #HabariClouds hapa @Cloudstv atakupa tafsiri ya msemo huu
#Habariinakwendana tabasamu

Pia unaweza kutufuatilia kupitia youtube channel yetu #CloudsMedia pia kwenye facebook #CloudsRadioFm
Read more
#CloudsE | #CloudsTV #CloudsE | #CloudsTV
 #YaliyojiriKimataifa: Marekani imetishia vikwazo dhidi ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu ...
Media Removed
#YaliyojiriKimataifa: Marekani imetishia vikwazo dhidi ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC ikiwa itaendelea na mikakati yake ya kuwashtaki raia wa Marekani. Mahakama hiyo kwa sasa inatathmini kuwafungulia mashtaka wanajeshi wa Marekani kwa madai ya kuwatesa wafungwa ... #YaliyojiriKimataifa: Marekani imetishia vikwazo dhidi ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC ikiwa itaendelea na mikakati yake ya kuwashtaki raia wa Marekani.

Mahakama hiyo kwa sasa inatathmini kuwafungulia mashtaka wanajeshi wa Marekani kwa madai ya kuwatesa wafungwa nchini Afghanistan.

Mshauri wa masuala ya usalama ya kitaifa John Bolton alisema mahakama hiyo sio halali na kuapa kuwa Marekani itafanya kila iwezalo kuwalinda raia wake.

#BBC
Read more
Baada ya safari ya miaka 7 kukamilila juma.lililopita sasa ni Maandalizi ya kuanza safari nyingine ...
Media Removed
Baada ya safari ya miaka 7 kukamilila juma.lililopita sasa ni Maandalizi ya kuanza safari nyingine ya Miaka 4 (Pre Form One). RAHEL CHIZOZA @ChizozaRahel amefunga safari kuzunguka maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam kuona mwamko wa wahitimu wa darasa la saba kujiunga na masomo hayo ... Baada ya safari ya miaka 7 kukamilila juma.lililopita sasa ni Maandalizi ya kuanza safari nyingine ya Miaka 4 (Pre Form One). RAHEL CHIZOZA @ChizozaRahel amefunga safari kuzunguka maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam kuona mwamko wa wahitimu wa darasa la saba kujiunga na masomo hayo ya ziada.

Ungana nae usiku huu kwenye Habari Clouds hapa @Cloudstv

Pia unaweza kutufuatilia kupitia Youtube channel yetu #CloudsMedia na facebook #CloudsFmRadio
Read more
#YaliyojiriLeoBungeni: Mbunge wa Temeke Mhe. Abdallah Mtolea ameuliza swali lake Serikali ina mpango gani wa kuruhusu raia pacha ili Watanzania wanaoishi nje waweze kushiriki katika shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijamii kama Watanzania wanaoishi Tanzania....? Kwa niaba ya ... #YaliyojiriLeoBungeni: Mbunge wa Temeke Mhe. Abdallah Mtolea ameuliza swali lake Serikali ina mpango gani wa kuruhusu raia pacha ili Watanzania wanaoishi nje waweze kushiriki katika shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijamii kama Watanzania wanaoishi Tanzania....? Kwa niaba ya Waziri Mkuu swali hilo limejibiwa na Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijaa Mhe. Anthony Mavunde.

#KutokaBungeni #DODOMA
Read more
UONGOZI WA CHUO CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI CHA PADRE PIO CHENYE USAJILI NAMBA 186P KINACHOTAMBULIWA ...
Media Removed
UONGOZI WA CHUO CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI CHA PADRE PIO CHENYE USAJILI NAMBA 186P KINACHOTAMBULIWA NA NACTE NA WIZARA YA AFYA KILICHOPO TEMEKE, MKABALA NA HOSPITALI YA RUFAA YA TEMEKE- DAR ES SALAAM, KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KATIKA FANI YA AFYA KWA INTAKE YA MWEZI SEPTEMBER -2018/2019 KOZI ... UONGOZI WA CHUO CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI CHA PADRE PIO CHENYE USAJILI NAMBA 186P KINACHOTAMBULIWA NA NACTE NA WIZARA YA AFYA KILICHOPO TEMEKE, MKABALA NA HOSPITALI YA RUFAA YA TEMEKE- DAR ES SALAAM, KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KATIKA FANI YA AFYA KWA INTAKE YA MWEZI SEPTEMBER -2018/2019
KOZI ZINAZOTELEWA NI, BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN CLINICAL MEDICINE-NTA -LEVEL 4 NA TECHNICIAN CERTIFICATE IN CLINICAL MEDICINE-NTA -LEVEL 5
HUDUMA ZA HOSTELI KWA WANAFUNZI ZINAPATIKANA NA ADA ZETU NI NAFUU SANA.
FOMU ZINAPATIKANA CHUONI TEMEKE, MKABALA NA HOSPITALI YA RUFAA YA TEMEKE, RADIO TUMAINI, MSIMBAZI CENTER CHUMBA NAMBA 9. MKOANI MOROGORO FOMU ZINAPATIKANA PADRE PIO CATHOLIC SEC. SCHOOL AU KWENYE TOVUTI YA CHUO WWW.PCOHAS.AC.TZ
KWA MAELEZO ZAIDI FIKA CHUONI MKABALA NA HOSPITALI YA RUFAA YA TEMEKE-DSM AU WASILIANA NASI KWA NAMBA 0757 743 547 AU 0717682586 AU KWA BARUA PEPE; [email protected]
Read more
 #KutokaBungeni Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Philip Isdor Mpango (MB) leo amewasilisha Bungeni ...
Media Removed
#KutokaBungeni Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Philip Isdor Mpango (MB) leo amewasilisha Bungeni muswada wa Sheria ya marekebisho ya Sheria ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi. Akisoma bungeni lengo la mswada huu ni kufanya marekebisho ya Sheria ya Ubia ya Sekta ya Umma na Sekta ... #KutokaBungeni Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Philip Isdor Mpango (MB) leo amewasilisha Bungeni muswada wa Sheria ya marekebisho ya Sheria ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi.
Akisoma bungeni lengo la mswada huu ni kufanya marekebisho ya Sheria ya Ubia ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi ili kuimarisha mfumo wa kitaasisi na kisheria katika usimamizi wa miradi ya Ubia na pia kutatua changamoto zilizopo katika utekelezaji wa miradi ya PPP [The Public Private Partnership (Amendment) Bill, 2018] ili kurahisisha uibaji, uidhanishaji na utekelezaji wa miradi ya PPP.

Vile vile muswada unakusudia kumpa Waziri mwenye dhamana na masuala ya fedha, mamlaka ya kusimamia utekelezaji wa Sera, Sheria na kanuni za PPP kufuatia mabadiliko ya mamlaka ya usimamizi wa program ya PPP kupitia Hati ya Mgawanyo wa majukumu ya Mawaziri namba 144 ya mwaka 2016.

Madhumuni ya muswada huu ni kutatua changamoto mbalimbali zinazokwamisha utekelezaji wa program ya PPP nchini ili kuongeza ufanisi wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo kupitia utaratibu wa PPP.
Read more
 #KAGERA: Mkuu wa Mkoa wa KAGERA Brigedia Generali MARCO E GAGUTI amesema Serikali ya Mkoa huo itahakikisha ...
Media Removed
#KAGERA: Mkuu wa Mkoa wa KAGERA Brigedia Generali MARCO E GAGUTI amesema Serikali ya Mkoa huo itahakikisha inaimarisha ulinzi katika eneo la mpaka linalokutanisha nchi tatu Uganda, Rwanda na Tanzania ambalo liko katika pori la IBANDA lililoko wilayani Kyerwa ili rasilimali zilizomo ... #KAGERA: Mkuu wa Mkoa wa KAGERA Brigedia Generali MARCO E GAGUTI amesema Serikali ya Mkoa huo itahakikisha inaimarisha ulinzi katika eneo la mpaka linalokutanisha nchi tatu Uganda, Rwanda na Tanzania ambalo liko katika pori la IBANDA lililoko wilayani Kyerwa ili rasilimali zilizomo katika pori hilo zinawanufaisha watanzania.

Mkuu huyo wa Mkoa ameyasema hayo alipotembelea na kukagua pori hilo ambapo ameongeza kuwa watahakikisha wanaimarisha ulinzi ili rasilimali zilizopo zinatumika kwa mujibu wa sheria.

#CloudsHabari
Read more
 #GavanaMatataniTuhumaZaMauaji -Gavana wa Migori nchini Kenya, Okoth Obado anachunguzwa na ...
Media Removed
#GavanaMatataniTuhumaZaMauaji -Gavana wa Migori nchini Kenya, Okoth Obado anachunguzwa na Ofisi ya Kuchunguza makosa ya Jinai nchini humo. Kwa Tuhuma juu ya mauaji ya Mwanafunzi Sharon Otieno wa Chuo kikuu cha Rongo. #GavanaMatataniTuhumaZaMauaji
-Gavana wa Migori nchini Kenya, Okoth Obado anachunguzwa na Ofisi ya Kuchunguza makosa ya Jinai nchini humo. Kwa Tuhuma juu ya mauaji ya Mwanafunzi Sharon Otieno wa Chuo kikuu cha Rongo.
 #KutokaBungeni Mbunge wa Viti Maalum Suzana Chogisasi Mgonukulima ameuliza swali kwa Waziri ...
Media Removed
#KutokaBungeni Mbunge wa Viti Maalum Suzana Chogisasi Mgonukulima ameuliza swali kwa Waziri wa Maliasili na Utalii kuwa Serikali ina muhudumia Faru Fausta kwa gharama ya shilingi milioni 64 kwa mwezi, Faru huyo hazalishi kutokana na kuwa mzee sana...je ni kipi kilicho muhimu zaidi kwa ... #KutokaBungeni Mbunge wa Viti Maalum Suzana Chogisasi Mgonukulima ameuliza swali kwa Waziri wa Maliasili na Utalii kuwa Serikali ina muhudumia Faru Fausta kwa gharama ya shilingi milioni 64 kwa mwezi, Faru huyo hazalishi kutokana na kuwa mzee sana...je ni kipi kilicho muhimu zaidi kwa Serikali kati ya Faru Fausta au Mwananchi mzee asiyeweza kufanya lolote na hana wa kumsaidia...? Kwa niaba ya Waziri wa Maliasili na Utalii, swali hilo limejibiwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Japhet Hasunga.
Faru Fausta amekuwepo eneo la Hifadhi ya Ngorongoro tangu mwaka 1965, kwa sasa Faru huyo ndiye mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani na kutokana na uadimu wa mnyama huo uwepo wa Faru Fausta umekuwa kivutio kikubwa kwa watalii na watafiti wa ndani na nje ya nchi, hivyo kuchangia kwa kiwango kikubwa mapato ya Serikali.

Hata hivyo, Faru Fausta siyo kwamba ni muhimu kuliko binadamu wazee bali uamuzi wa kumtunza kwenye kizimba umefanyika kwa lengo la kunusuru maisha yake, ili hatimaye aendelee kuwa kivutio cha utalii na kuingiza fedha za kigeni nchini. Fedha hizi zinaingia kwenye mfuko mkuu wa Serikali.

#CloudsDigitalUpDates #Dodoma
Read more
RC HAPI AIBUA MADUDU MAZITO TARAFA YA MALANGALI Mkuu wa Mkoa wa Iringa @ally_hapi ameiagiza taasisi ...
Media Removed
RC HAPI AIBUA MADUDU MAZITO TARAFA YA MALANGALI Mkuu wa Mkoa wa Iringa @ally_hapi ameiagiza taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa #TAKUKURU Mkoa wa Iringa kuwachunguza wasimamizi wa ujenzi wa kituo cha afya Malangali akiwemo Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Maamuzi ya Mkuu huyo ... RC HAPI AIBUA MADUDU MAZITO TARAFA YA MALANGALI

Mkuu wa Mkoa wa Iringa @ally_hapi ameiagiza taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa #TAKUKURU Mkoa wa Iringa kuwachunguza wasimamizi wa ujenzi wa kituo cha afya Malangali akiwemo Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mufindi

Maamuzi ya Mkuu huyo wa Mkoa yanatokana na gharama za ujenzi wa kituo hicho kutoendana na thamani ya majengo.

#CloudsHabari
Read more
Sikiliza sanaa ya kifundi iliyopo kwenye video hiyo (wimbo na maneno).......ni mambo ya @urithifestivaltanzania Dodoma, mambo yameiva, Jumamosi tukutane uwanja wa Jamhuri. #TanzaniaUnforgettable #UrithiFestival: Taarifa zaidi zipo kwenye account ya @urithifestivaltanzania Sikiliza sanaa ya kifundi iliyopo kwenye video hiyo (wimbo na maneno).......ni mambo ya @urithifestivaltanzania

Dodoma, mambo yameiva, Jumamosi tukutane uwanja wa Jamhuri.

#TanzaniaUnforgettable #UrithiFestival: Taarifa zaidi zipo kwenye account ya @urithifestivaltanzania
Mgogoro wa ardhi kati ya wananchi wa Pugu-Stesheni na kampuni ya Minjingu umedumu kwa zaidi ya miaka 20. Leo Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda (@baba_keagan) aliambata na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi katika ziara yake. Huyu hapa ni Rac Makonda akizungumza. Mgogoro wa ardhi kati ya wananchi wa Pugu-Stesheni na kampuni ya Minjingu umedumu kwa zaidi ya miaka 20.

Leo Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda (@baba_keagan) aliambata na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi katika ziara yake.

Huyu hapa ni Rac Makonda akizungumza.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji (Mb) Mhe. @jumaa_aweso leo Bungeni amejibu maswali mbalimbali ya Waheshimiwa Wabunge kuhusiana na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama katika majimbo yao, hapa alijibu swali la Dkt. Mary Nagu Mbunge wa Hanang-Manyara #YaliyojiriLeoBungeni ... Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji (Mb) Mhe. @jumaa_aweso leo Bungeni amejibu maswali mbalimbali ya Waheshimiwa Wabunge kuhusiana na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama katika majimbo yao, hapa alijibu swali la Dkt. Mary Nagu Mbunge wa Hanang-Manyara

#YaliyojiriLeoBungeni #Dodoma
Read more
 #UrithiFestival wametangaza fursa kwa wajasiriamali na wakali wa sanaa ( #MchongoWaUrithi) . Follow ...
Media Removed
#UrithiFestival wametangaza fursa kwa wajasiriamali na wakali wa sanaa ( #MchongoWaUrithi) . Follow @urithifestivaltanzania upate taarifa zote unufaike. #TanzaniaUnforgettable #UrithiFestival wametangaza fursa kwa wajasiriamali na wakali wa sanaa ( #MchongoWaUrithi)
.
Follow @urithifestivaltanzania upate taarifa zote unufaike.

#TanzaniaUnforgettable
#KutokaBungeni Mbunge wa jimbo la Konde- Zanzibar amehoji "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni muunganiko wa nchi mbili, Mhe. Mwenyekiti unapovitaja viwanda vya Tanzania huwezi kuvitega Viwanda vilioko Zanzibar, nataka kujua ni sababu ipi inayoifanya Kiwanda cha Sukari cha Mahonda ... #KutokaBungeni Mbunge wa jimbo la Konde- Zanzibar amehoji "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni muunganiko wa nchi mbili, Mhe. Mwenyekiti unapovitaja viwanda vya Tanzania huwezi kuvitega Viwanda vilioko Zanzibar, nataka kujua ni sababu ipi inayoifanya Kiwanda cha Sukari cha Mahonda Zanzibar kisuruhusiwe kuingiza Sukari Tanzania Bara...." Swali hilo limejibiwa na Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Mhandisi Stella Manyanya.

#YaliyojiriLeoBungeni #Dodoma
Read more
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka (@anthony_mtaka) akizungumza na waandishi wa habari ...
Media Removed
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka (@anthony_mtaka) akizungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake leo, kuhusu ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, ambaye anatarajia kuanza ziara ya siku tatu(03) kuanzia Septemba 08 hadi Septemba ... Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka (@anthony_mtaka) akizungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake leo, kuhusu ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, ambaye anatarajia kuanza ziara ya siku tatu(03) kuanzia Septemba 08 hadi Septemba 10, 2018.

#CloudsDigitalUpdates | #Bariadi
Read more
 #KutokaBungeni Mbunge wa Geita Vijijini Mhe. Musukuma Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma aliuliza ...
Media Removed
#KutokaBungeni Mbunge wa Geita Vijijini Mhe. Musukuma Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma aliuliza swali kwa Waziri wa Madini katika kutekeleza mkataba wa "Corporation Social Responsibility" (CSR) Mgodi wa GGM, unatumia bei za manunuzi kutoka nchi ya Afrika Kusini, mfano wa bei ya ... #KutokaBungeni Mbunge wa Geita Vijijini Mhe. Musukuma Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma aliuliza swali kwa Waziri wa Madini katika kutekeleza mkataba wa "Corporation Social Responsibility" (CSR) Mgodi wa GGM, unatumia bei za manunuzi kutoka nchi ya Afrika Kusini, mfano wa bei ya bati moja ni sh. 81,000 na bei ya mfuko wa saruji ni sh. 48,000, Je kwa nini Serikali isiziite pande hizi mbili, Mgodi wa GGM na Halmashauri ili iweze kumaliza mgogoro huo na kuweka utaratibu mzuri....? Kwa niaba ya Waziri wa Madini swali hilo limejibiwa na Naibu Waziri wa Madini Mhe. Stanslaus Nyongo.

#CloudsDigitalUpDates #Dodoma
Read more
@professorjaytz amethibitisha na kuelezea sababu ya kifo cha baba yake mzazi. #CloudsMediaGroup inatoa pole kwa Prof J, familia ya Mzee Haule na wote walioguswa na msiba huu. #TutaonanaBaadae @professorjaytz amethibitisha na kuelezea sababu ya kifo cha baba yake mzazi. #CloudsMediaGroup inatoa pole kwa Prof J, familia ya Mzee Haule na wote walioguswa na msiba huu. #TutaonanaBaadae
JPM: DC WA TARIME ANA BAHATI SANA, ILIKUWA NIMFUKUZE KAZI LEO. Rais Magufuli amewataka wakuu ...
Media Removed
JPM: DC WA TARIME ANA BAHATI SANA, ILIKUWA NIMFUKUZE KAZI LEO. Rais Magufuli amewataka wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa nchi nzima kushughulikia kero za wananchi badala ya kumsubiri yeye huku akiweka bayana kuwa leo ilikuwa amfukuze kazi Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorius Luoga kwa kushindwa ... JPM: DC WA TARIME ANA BAHATI SANA, ILIKUWA NIMFUKUZE KAZI LEO.

Rais Magufuli amewataka wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa nchi nzima kushughulikia kero za wananchi badala ya kumsubiri yeye huku akiweka bayana kuwa leo ilikuwa amfukuze kazi Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorius Luoga kwa kushindwa kumsaidia mwanamke mmoja mkazi wa tarime mwenye ulemavu wa macho.
Kwa mujibu wa Rais Magufuli, mwanamke huyo amemueleza kuwa aliwahi kupeleka malalamiko yake kwa mkuu huyo wa wilaya lakini hakupata msaada.

Amebainisha hayo leo aliposimama katika katika kijiji cha Kewanja, Nyamongo wilayani Tarime, ikiwa ni sehemu ya ziara yake mkoani Mara.
Rais Magufuli pia amesema wananchi wote waliotegesha (mazao pamoja na majengo) katika Mji wa Nyamongo ili kulipwa fidia na Mgodi wa Acacia North Mara hawatalipwa.
Katika hatua nyingine Rais Magufuli pia amewaonya wakati wa Tarime kuishi kwa Amani na kujiepusha na vurugu akisema “Nyomongo tusiifanye kuwa sehemu ya mapambano. Mapambano mengine yanasababishwa na wanasiasa kwaajili ya kupata kura, wakienda wenyewe wanakula, nyinyi mnakufa”. #CloudsDigitalUpdates | #Tarime
Read more
 #KutokaBugeni Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Prof. Kabudi Palamagamba amewasilisha muswada wa ...
Media Removed
#KutokaBugeni Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Prof. Kabudi Palamagamba amewasilisha muswada wa sheria ya marekebisho ya Sheria mbalimbali (Na. 2) wa mwaka 2018 [The written Laws (Miscellaneous Amendments ) (No. 2), Bill, 2018]. ------- Muswada wa Sheria ya marekebisho ya sheria umeshindwa ... #KutokaBugeni Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Prof. Kabudi Palamagamba amewasilisha muswada wa sheria ya marekebisho ya Sheria mbalimbali (Na. 2) wa mwaka 2018 [The written Laws (Miscellaneous Amendments ) (No. 2), Bill, 2018].
-------
Muswada wa Sheria ya marekebisho ya sheria umeshindwa kupita kutokana na akidi haijatimia, licha baadhi ya Wabunge kuchangia na kutoa maoni juu ya muswada huo.
#CloudsDigitalUpDates #Dodoma
Read more
Urithi ni zawadi ya kipekee thamani yake ni kubwa kuliko thamani ya samani na zisizo samani, kutana na KAMELA MAKONGO mtunza urithi wa muziki wa asili wa Tanzania usiku huu kwenye #HabariClouds kupitia @CloudsTv. #UrithiFestival #TanzaniaUnforgettable Urithi ni zawadi ya kipekee thamani yake ni kubwa kuliko thamani ya samani na zisizo samani, kutana na KAMELA MAKONGO mtunza urithi wa muziki wa asili wa Tanzania usiku huu kwenye #HabariClouds kupitia @CloudsTv.

#UrithiFestival
#TanzaniaUnforgettable
Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Mgeni Jadi Kadika ameuliza swali lake kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuhusu Minara mingi ya simu imejengwa katika makazi ya watu na minara hiyo unatumia mionzi hatari kwa maisha ya binadamu, Je serikali inaliangaliaje suala hili...?. Kwa niaba ... Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Mgeni Jadi Kadika ameuliza swali lake kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuhusu Minara mingi ya simu imejengwa katika makazi ya watu na minara hiyo unatumia mionzi hatari kwa maisha ya binadamu, Je serikali inaliangaliaje suala hili...?. Kwa niaba ya Waziri wa Ujenzi, swali hilo limejibiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Atashasta Nditiye.

#CloudsDigitalaUpDates #Dodoma
Read more
 #PICHA: RAIS DKT.JOHN MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA MTO MARA LENYE UREFU WA MITA 94 LINALOUNGANISHA ...
Media Removed
#PICHA: RAIS DKT.JOHN MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA MTO MARA LENYE UREFU WA MITA 94 LINALOUNGANISHA KATI SERENGETI NA TARIME PIA AHUTUBIA WANANCHI WA NYAMONGO MKOANI MARA WAKATI AKITOKEA MUGUMU. #CLOUDSDIGITALUPDATES | #MARA #PICHA: RAIS DKT.JOHN MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA MTO MARA LENYE UREFU WA MITA 94 LINALOUNGANISHA KATI SERENGETI NA TARIME PIA AHUTUBIA WANANCHI WA NYAMONGO MKOANI MARA WAKATI AKITOKEA MUGUMU.

#CLOUDSDIGITALUPDATES | #MARA
 #YaliyojiriLeoBungeni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Joyce Ndalichako, alivyoweka ...
Media Removed
#YaliyojiriLeoBungeni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Joyce Ndalichako, alivyoweka msisitizo wa madhumuni ya kuanzisha Bodi ya Wataalam ya Walimu Tanzania wa mwaka 2018. (Slide left kutazama videos) #CloudsDigitalUpDates #Dodoma #YaliyojiriLeoBungeni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Joyce Ndalichako, alivyoweka msisitizo wa madhumuni ya kuanzisha Bodi ya Wataalam ya Walimu Tanzania wa mwaka 2018. (Slide left kutazama videos)

#CloudsDigitalUpDates #Dodoma
 #Jahazi Mwalimu aanguka ghafla na kufariki dunia akisimamia mitihani ya darasa la saba. Mwalimu ...
Media Removed
#Jahazi Mwalimu aanguka ghafla na kufariki dunia akisimamia mitihani ya darasa la saba. Mwalimu Lusekelo Ndambike Mwakesa aliyekuwa akifundisha shule ya msingi Kisumba, huko Sumbawanga amefariki dunia akiwa darasani akisimamia mitihani ya darasa la saba inayoendelea. Zaidi ... #Jahazi
Mwalimu aanguka ghafla na kufariki dunia akisimamia mitihani ya darasa la saba.

Mwalimu Lusekelo Ndambike Mwakesa aliyekuwa akifundisha shule ya msingi Kisumba, huko Sumbawanga amefariki dunia akiwa darasani akisimamia mitihani ya darasa la saba inayoendelea. Zaidi sikiliza #Jahazi kwa taarifa kamili @captaintanzania @ephraimkibonde @Georgebantu
Read more
#KutokaBungeni "Kukaa muda mrefu bila chombo hiki tumechelewa ndio maana nikasema mimi naunga hoja...." Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma Mhe. George Mkuchika leo bungeni amechangia hoja ya muswada wa sheria ya Bodi ya Walimu Tanzania wa mwaka 2018 #CloudsDigitalUpDates ... #KutokaBungeni "Kukaa muda mrefu bila chombo hiki tumechelewa ndio maana nikasema mimi naunga hoja...." Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma Mhe. George Mkuchika leo bungeni amechangia hoja ya muswada wa sheria ya Bodi ya Walimu Tanzania wa mwaka 2018

#CloudsDigitalUpDates #Dodoma
Read more
#KutokaBungeni Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia (Mb) Mhe. William Olenasha amewatoa wasiwasi Wabunge waliochangia muswada wa sheria ya Bodi ya Kitalaam ya Walimu Tanzania, kuwa Walimu hawajapatiwa fursa ya kukata rufaa endapo hawata ridhika na maamuzi ya Bodi. #CloudsDigitalUpDates ... #KutokaBungeni Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia (Mb) Mhe. William Olenasha amewatoa wasiwasi Wabunge waliochangia muswada wa sheria ya Bodi ya Kitalaam ya Walimu Tanzania, kuwa Walimu hawajapatiwa fursa ya kukata rufaa endapo hawata ridhika na maamuzi ya Bodi.

#CloudsDigitalUpDates #Dodoma
Read more
Regrann from @urithifestivaltanzania - Hii ni ratiba ya #UrithiFestival. Izingatiwe kwamba ...
Media Removed
Regrann from @urithifestivaltanzania - Hii ni ratiba ya #UrithiFestival. Izingatiwe kwamba mikoa iliyopo hapo itapokea matukio makubwa ya mwezi wa urithi kwa mwaka huu na mwakani tutakwenda katika maeneo mengine. Hata hivyo mwezi wa urithi unaadhimishwa katika mikoa yote nasi tutakuletea ... Regrann from @urithifestivaltanzania - Hii ni ratiba ya #UrithiFestival.

Izingatiwe kwamba mikoa iliyopo hapo itapokea matukio makubwa ya mwezi wa urithi kwa mwaka huu na mwakani tutakwenda katika maeneo mengine. Hata hivyo mwezi wa urithi unaadhimishwa katika mikoa yote nasi tutakuletea maudhui kutoka maeneo mbalimbali.
.
#TanzaniaUnforgettable #UrithiFestival @hamisi_kigwangalla - #regrann
Read more
#YaliyojiriLeoBungeni Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Josephat Senkamba Kandege amechangia hoja juu muswada wa sheria ya Bodi ya Kitaalam ya Walimu Tanzania wa mwaka 2018. #CloudsDigitalUpDates #Dodoma #YaliyojiriLeoBungeni Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Josephat Senkamba Kandege amechangia hoja juu muswada wa sheria ya Bodi ya Kitaalam ya Walimu Tanzania wa mwaka 2018.

#CloudsDigitalUpDates #Dodoma
Mkuu wa Wilaya ya Pangani [email protected] akizungumza na Vijana wa Wilaya ya Pangani kupitia jukwaa la kampeni Chini ya Ofisi yake ya “VIJANA NI WAKATI WETU” akigusia fedha za mfuko wa vijana na namna wanavyoweza kunufaika zaidi akisemea mipango yake mathubuti ya kuhakikisha kama ... Mkuu wa Wilaya ya Pangani [email protected] akizungumza na Vijana wa Wilaya ya Pangani kupitia jukwaa la kampeni Chini ya Ofisi yake ya “VIJANA NI WAKATI WETU” akigusia fedha za mfuko wa vijana na namna wanavyoweza kunufaika zaidi akisemea mipango yake mathubuti ya kuhakikisha kama Kiongozi kijana anawapigania na kuwasaidia vijana wa Pangani.
Read more
 #KutokaBungeni Vuta ni Kuvute Mswada wa sheria Bodi ya Kitaalam ya Walimu Tanzania wa mwaka 2018. Baada ...
Media Removed
#KutokaBungeni Vuta ni Kuvute Mswada wa sheria Bodi ya Kitaalam ya Walimu Tanzania wa mwaka 2018. Baada ya kuvutana katika marekebisho ya vifungu ambavyo vimo katika Mswada wa sheria ya Bodi ya Kitaalam, uliowasilishwa jana na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Joyce Ndalichako, ... #KutokaBungeni Vuta ni Kuvute Mswada wa sheria Bodi ya Kitaalam ya Walimu Tanzania wa mwaka 2018.

Baada ya kuvutana katika marekebisho ya vifungu ambavyo vimo katika Mswada wa sheria ya Bodi ya Kitaalam, uliowasilishwa jana na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Joyce Ndalichako, hatimae mchana huu Mswada huo umepitishwa na Wabunge, hivyo kuwa sheria rasmi ya Bunge.

#CloudsDigitalUpDates #Dodoma
Read more
#Zinazotrend Moja ya video iliyopata kutazamwa sana siku ya leo ni hii ambayo Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Jerry Muro kuchukizwa baada ya Mkurugenzi wa Arusha D.C kuchelewa kwenye mkutano wa kutatua kero za Wananchi. Unaweza kutazama Uchambuzi wa kipindi cha #Clouds360 kupitia Youtube ... #Zinazotrend
Moja ya video iliyopata kutazamwa sana siku ya leo ni hii ambayo Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Jerry Muro kuchukizwa baada ya Mkurugenzi wa Arusha D.C kuchelewa kwenye mkutano wa kutatua kero za Wananchi. Unaweza kutazama Uchambuzi wa kipindi cha #Clouds360 kupitia Youtube yetu ya Clouds Media hapa @samsasali huku @babbiekabae
Read more
#Repost from @kcbbanktz - Tukutane Mbagala Jumamosi hii ambapo @kcbbanktz kwa kushirikiana na @cloudsfmtz @green_wastepro_ltd na @thecre8tive_company tumeandaa shughuli ya kufanya usafi. Zoezi hili linaanzia kwenye tawi letu lililopo Mbagala Zakhem kuanzia saa 2 asubuhi. Karibu ... #Repost from @kcbbanktz - Tukutane Mbagala Jumamosi hii ambapo @kcbbanktz kwa kushirikiana na @cloudsfmtz @green_wastepro_ltd na @thecre8tive_company tumeandaa shughuli ya kufanya usafi. Zoezi hili linaanzia kwenye tawi letu lililopo Mbagala Zakhem kuanzia saa 2 asubuhi. Karibu tushiriki pamoja #UsafinaKCB #TwendeKusafishaMbagala #KCBGoAhead
Read more
 #YaliyojiriJanaBungeni Msemaji Mkuu wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni Mhe. Suzan Anselim Lyimo ...
Media Removed
#YaliyojiriJanaBungeni Msemaji Mkuu wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni Mhe. Suzan Anselim Lyimo (Mb) alichangia Muswada kuhusu Wizara hiyo kwa kuonyesha maeneo yanayotakiwa kuboreshwa. #CloudsDigitalUpDates #Dodoma #YaliyojiriJanaBungeni Msemaji Mkuu wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni Mhe. Suzan Anselim Lyimo (Mb) alichangia Muswada kuhusu Wizara hiyo kwa kuonyesha maeneo yanayotakiwa kuboreshwa.

#CloudsDigitalUpDates #Dodoma
CHADEMA JIMBONI KWA MBOWE TENA!! . . Wenyeviti wa serikali za Vijiji 19 katika Halmashauri ya ...
Media Removed
CHADEMA JIMBONI KWA MBOWE TENA!! . . Wenyeviti wa serikali za Vijiji 19 katika Halmashauri ya wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, wamejiuzuru nyadhifa zao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM, leo Septemba 06, 2018. Mkuu wa ... CHADEMA JIMBONI KWA MBOWE TENA!!
.
.
Wenyeviti wa serikali za Vijiji 19 katika Halmashauri ya wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, wamejiuzuru nyadhifa zao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM, leo Septemba 06, 2018.

Mkuu wa wilaya ya Hai, Mhe. Lengai Ole Sabaya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Hai, wamethibitisha.
Read more
@harriskapiga anakupa sababu tatu za kwa nini umtazame usiku hapa @cloudstv kwenye HabariClouds ...
Media Removed
@harriskapiga anakupa sababu tatu za kwa nini umtazame usiku hapa @cloudstv kwenye HabariClouds #Mwewe leo amenusurika na ya walimwengu nini kimemkuta? Usipitwe. Pia unaweza kutufuatilia Live kupitia youtube akaunti yetu #CloudsMedia na kwenye facebook #CloudsFmRadio @harriskapiga anakupa sababu tatu za kwa nini umtazame usiku hapa @cloudstv kwenye HabariClouds #Mwewe leo amenusurika na ya walimwengu nini kimemkuta? Usipitwe.

Pia unaweza kutufuatilia Live kupitia youtube akaunti yetu #CloudsMedia na kwenye facebook #CloudsFmRadio
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema dawa za kinga ...
Media Removed
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema dawa za kinga tiba za minyoo na kichocho ni salama isipokuwa wanafunzi wanatakiwa kulakwanza kabla ya kuzinywa. Kauli hiyo ameitoa baada ya kufatia kwa malalamiko kwamba dawa za kinga zimekuwa na madhara ... Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema dawa za kinga tiba za minyoo na kichocho ni salama isipokuwa wanafunzi wanatakiwa kulakwanza kabla ya kuzinywa.

Kauli hiyo ameitoa baada ya kufatia kwa malalamiko kwamba dawa za kinga zimekuwa na madhara kwa watoto wanapopewa mashuleni katika jiji la Dar es Salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma Mhe. UmmyMwalimu amesema dawa hizo ni salama ila kinachotakiwa ni kabla ya kupewa wanafunzi wapewe chakula.

Cc: @ummymwalimu @faustine_ndugulile #CloudsDigitalUpdates #Dodoma
Read more
#Bungeni: Mbunge wa Nzega Mjini Mhe. Hussein Bashe amechangia hoja ya muswada wa sheria ya Bodi ya Kitaaluma ya Walimu Tanzania wa mwaka 2018 (The Tanzania Teacher's professional Board Bill, 2018), iliyowasilishwa leo Bungeni na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Joyce Ndalichako. #CloudsDigitalUpdates ... #Bungeni: Mbunge wa Nzega Mjini Mhe. Hussein Bashe amechangia hoja ya muswada wa sheria ya Bodi ya Kitaaluma ya Walimu Tanzania wa mwaka 2018 (The Tanzania Teacher's professional Board Bill, 2018), iliyowasilishwa leo Bungeni na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Joyce Ndalichako.

#CloudsDigitalUpdates | #Dodoma
Read more