Loading Content...

David.opiyo Instagram Photos and Videos

Loading...

david.opiyo David Opiyo @david.opiyo mentions
Followers: 820
Following: 229
Total Comments: 0
Total Likes: 0

Only the strongest will survive
Media Removed
Only the strongest will survive Only the strongest will survive
Loading...
Baadhi ya wadau wapo dodoma wengine niwa saliti wakienda kujiaminisha kuwa hawakukisaliti chama ...
Media Removed
Baadhi ya wadau wapo dodoma wengine niwa saliti wakienda kujiaminisha kuwa hawakukisaliti chama kipindi cha uchaguzi Wengine wameenda kutafuta network nakusuka mipango sawa ya uchaguzi ujao Wengine wanatamani kwa udi na uvumba kusaka nafasi za UNEC wa mikoa Wengine wamo huko kuchonganisha ... Baadhi ya wadau wapo dodoma wengine niwa saliti wakienda kujiaminisha kuwa hawakukisaliti chama kipindi cha uchaguzi
Wengine wameenda kutafuta network nakusuka mipango sawa ya uchaguzi ujao
Wengine wanatamani kwa udi na uvumba kusaka nafasi za UNEC wa mikoa
Wengine wamo huko kuchonganisha watu na kumwaga fitna kuwa huyu hafai huyu anafaa
ANGALIZO KWA VIONGOZI WANGU
Mawaziri na manaibu wamawaziri kuweni makini na magenge hayo, kwani kipindi cha nyuma ndio mmekuwa warefarii na wazungumzaji wa watu hao nakuwa
GOD FATHERS wao.
Secretariat ya taifa kuweni makini na magenge hayo.
YASIJE YAKATURUDIA TENA KAMA YALE YA WEMA SEPETU" YAKUMUAMINI MTU KUCHUKUA FORM YA UBUNGE VITI MAALUM NA KUPEWA PROJECT KUBWA" Mwisho wa siku anakinajisi chama
KAMWE SIWEZI KUWA RAFIKI NA MSALITI

UMAKINI WA JUU NA UANGALIZI UCHAGUZI 2017 MAANA KUNA MAMLUKI WANAJIPENYEZA HUMO NA WENGINE WAMEISHA FIKA DODOMA KUTAFUTA UUNGWAJI MKONO
HATUHITAJI KUONA WALA KUSKIA SIASA ZA UNDUGU, UKABILA, RUSHWA YA NGONO NA RUSHWA YA PESA
Wengine ndio hivyo tena wanakuja kutafuta marefarii ubunge wa AFRICA MASHARIKI. hakuna nafasi za undugu wala kubebana bebana. Tusubirie muda ukifika watu waonekane na kila moja ashinde kwa ubora wake, hoja zake, muonekano wake na nia yake ya dhati katika kuitetea na kuilinda chama cha mapunduzi kwa maslahi ya watanzania wote

Hakatazwi mtu kwenda
Kila mwanachama wa chama cha mapinduzi ana haki ya kwenda au kutokwenda
Kufika dodoma nihaki ya mtu ana hiari
Hatumzungumzii kila mwenye kwenda bali tunajaribu kuweka sawa wale vidudu mtu wenye kutaka kuharibu mazingira
Wenye nia salama na mapenzi ya chama tunawatakia kill la kheri
Nyakati hizi ziko tofauti
ILA WAJUE MAGUFULI SIO MTU WA KISPOTI SPOTI tuongane kwa pamoja kumpa ushirikiano mhe Mwenyekiti taifa
Read more
My best friend daffy and my wife
Media Removed
My best friend daffy and my wife My best friend daffy and my wife
Mama Africa
Media Removed
Mama Africa Mama Africa 😘💪
There are few lines that the king or president shouldn't say..... "there no other way " " there is ...
Media Removed
There are few lines that the king or president shouldn't say..... "there no other way " " there is nothing I can do " There are few lines that the king or president shouldn't say..... "there no other way "
" there is nothing I can do "
Some days i need the music some days I need the ryrics
Media Removed
Some days i need the music some days I need the ryrics Some days i need the music some days I need the ryrics
Loading...

Media Removed

Loading...
Loading...

Loading...