Loading Content...

Diordatha Instagram Photos and Videos

Loading...


diordatha dior datha @diordatha mentions
Followers: 491
Following: 104
Total Comments: 0
Total Likes: 0

Filtering is a cognitive distortion that makes people ignore all the positive and good things in ...
Media Removed
Filtering is a cognitive distortion that makes people ignore all the positive and good things in their life and focus solely on the negative thinking. . . . Be positive and have a nice day #mentalhealth #mentality #psychology #therapy #therapist #health #caunselling #cbt #behaviour ... Filtering is a cognitive distortion that makes people ignore all the positive and good things in their life and focus solely on the negative thinking. .
.
.
Be positive and have a nice day

#mentalhealth #mentality #psychology #therapy #therapist #health #caunselling #cbt #behaviour #positivethinking #instapreneur #entrepreneur #Wednesday #wcw #love #motivation #goals #goodvibes #diordatha #yoga #meditation #vegan #mindfulness
Read more
Loading...
Side hustle ni kile kitu unachokifanya cha kukuingizia kipato nje ya kazi (ajira) yako. Ni njia ...
Media Removed
Side hustle ni kile kitu unachokifanya cha kukuingizia kipato nje ya kazi (ajira) yako. Ni njia mojawapo ya kukusaidia kupata kipato cha ziada na kukusaidia kufikia malengo yako ya kifedha. . . . Sio lazima uifanye masaa mengi...ni kwa ule muda tu ambao utakua free na ukipangilia ratiba ... Side hustle ni kile kitu unachokifanya cha kukuingizia kipato nje ya kazi (ajira) yako. Ni njia mojawapo ya kukusaidia kupata kipato cha ziada na kukusaidia kufikia malengo yako ya kifedha.
.
.
.
Sio lazima uifanye masaa mengi...ni kwa ule muda tu ambao utakua free na ukipangilia ratiba zako vizuri utagundua una muda mwingi sana. Unaweza kuifanya jioni ukitoka kazini au weekend ni wewe tu na ratiba zako.
.
.
.
Mfano wa side hustles ni kufanya networking business, kuwa MC, kutengeneza bustani za maua, uandishi, catering, upiga picha, kushona cherehani, blogging etc.
.
.
Kumbuka kufanya kitu ambacho unakipenda.
#sidehustle #business #networking #money #goals #tuesday #income #hustle #budgeting #cash #rich #wealth #richness #wealthy #bosswomen #businessmen #elegance #marketing #marketer #finances #saving #frugal #frugality #diordatha #tanzania #december #holidays #love
Read more
Je unataka kuanza biashara na hujui uanzie wapi na unatafuta wazo la biashara hupati. . . Angalia ...
Media Removed
Je unataka kuanza biashara na hujui uanzie wapi na unatafuta wazo la biashara hupati. . . Angalia mazingira uliyopo jiulize kuna kero gani au tatizo gani ambalo unatamani sana lipatiwe ufumbuzi....ufumbuzi utakaofikiria kuwa utatatua kero hiyo ndio wazo lako la biashara hilo. Kwa ... Je unataka kuanza biashara na hujui uanzie wapi na unatafuta wazo la biashara hupati.
.
.
Angalia mazingira uliyopo jiulize kuna kero gani au tatizo gani ambalo unatamani sana lipatiwe ufumbuzi....ufumbuzi utakaofikiria kuwa utatatua kero hiyo ndio wazo lako la biashara hilo. Kwa mfano mtaani kwako unaona wafanya biashara hawana customer service nzuri unaweza kujitoa tu kama una elimu kuhusu customer service ukawa unawapa seminars wanalipia kidogo....hutolala njaa. Sio kila biashara inahitaji mtaji na sio kila biashara inahitaji mtaji mkubwa.
.
.
.
Unaweza kuanza na mtaji kidogo sana lakini nidhamu ya kazi, bidii na msimamo zikakufikisha mahali pazuri sana.
HATUA ZA KUFUATA
1. Fanya utafiti kuhusu mawazo kadhaa ya biashara
2. Tengeneza plan ya biashara yako (business plan)
3. Tengeneza plan ya kifedha ya biashara yako
4. Register biashara yako upate leseni na documents muhimu zote
5. Chagua accounting system kwaajili ya kusaidia mpangilio wa bajeti zote za biashara yako
6. Chagua mahali pazuri pa biashara yako.
7. Fanya promotion kadri uwezavyo.
8. Work hard and smart...
#hustle #goals #monday #MCM #saving #blessed #budget #december #investing #stock #money #business #businessplan #finances #rich #motivation #fit #melanin #travel #blackgirlmagic #vegan #natural #organic #vision #mission #tanzania #diordatha #africa
Read more
Hii ni njia mojawapo ya kusaidia kubajeti pesa yako vizuri na kukusaidia kupanga matumizi. . . . Unatakiwa ...
Media Removed
Hii ni njia mojawapo ya kusaidia kubajeti pesa yako vizuri na kukusaidia kupanga matumizi. . . . Unatakiwa kuwa na bahasha kadhaa kwa kila matumizi na kuzilebel kwa mfano bahasha ya "chakula","bill ya umeme", "matumizi ya simu", "burudani", "saluni","usafiri" etc then uweke kiwango ... Hii ni njia mojawapo ya kusaidia kubajeti pesa yako vizuri na kukusaidia kupanga matumizi.
.
.
.
Unatakiwa kuwa na bahasha kadhaa kwa kila matumizi na kuzilebel kwa mfano bahasha ya "chakula","bill ya umeme", "matumizi ya simu", "burudani", "saluni","usafiri" etc then uweke kiwango cha pesa kwa kila bahasha ambacho sio kikubwa sana wala kidogo sana lakini kiwe cha kutosha kwa mwezi mzima... kwa mfano mshahara wako ni tshs 500, tshs 100 inaenda kwenye bahasha ya chakula, 200 kwenye kodi ya nyumba etc ukienda kununua chakula kwa mfano hakikisha unatoa pesa kutoka kwenye bahasha ya chakula.
Ukitumia pesa kutoka bahasha fulani ikaisha basi hutakiwi kutoa kutoka bahasha zingine hadi mwezi unaofatia utakapofika ndio upange upya bajet mpya.
Ikitokea mwisho wa mwezi umefika bahasha imebaki na chenji hiyo ni zawadi yako.

Njia hii inasaidia kujizuia kufanya matumizi yasiyo ya lazima...inakubana utumie pesa uliyotenga kwaajili ya hitaji fulani na kukujengea tabia nzuri za matumizi.

Kumbuka haitokusaidia kama hautakua na msimamo na nidhamu. Anza kujifunza kidogo kidogo mwisho wa siku utazoea.
#money #sunday #grind #instapreneur #entrepreneur #bosslady #boss #budgeting #saving #envelope #goals #motivation #weekend #finance #diordatha #tanzania #cash #travel #vegan #fashionista #love
Read more
Hapa ninaongelea bajet binafsi...kabla hujaanza kupanga jinsi ya kubajet kipato chako unatakiwa ...
Media Removed
Hapa ninaongelea bajet binafsi...kabla hujaanza kupanga jinsi ya kubajet kipato chako unatakiwa kufuata hatua kadhaa 1. Unatakiwa kujua kipato chako kwa ujumla ni kiasi gani. 2. Fatilia kwa ukaribu matumizi yako. Ni vema zaidi ukiwa unaandika mahali fulani kila unapotumia pesa yako ... Hapa ninaongelea bajet binafsi...kabla hujaanza kupanga jinsi ya kubajet kipato chako unatakiwa kufuata hatua kadhaa
1. Unatakiwa kujua kipato chako kwa ujumla ni kiasi gani.
2. Fatilia kwa ukaribu matumizi yako. Ni vema zaidi ukiwa unaandika mahali fulani kila unapotumia pesa yako hata kama ni kununua soda moja. Unaweza kuandika kwa kalam tu au kutumia app zinazokeep track ya matumizi yako.
3. Jiwekee malengo yako ya kuweka akiba ya muda mfupi na muda mrefu kwa mfano kuweka akiba kwa ajili ya kupata mtaji wa biashara au kuweka akiba kwaajili ya retirement.
4. Tengeneza plan yako kutokana kiasi gani unataka kuweka akiba.
5. Rekebisha baadhi tabia katika matumizi yako.......punguza matumizi yasiyo ya lazima.
.
.
. .
Kumbuka kuweka akiba ili kuwekeza (save to invest)
#moneymanagement #money #grind #sidehustle #finance #saturday #weekend #boss #business #travel #vegan #melanin #tanzania #africa #love #blessed #muslimah
Read more
Kuna watu ukiwaambia kuhusu kuweka akiba ya pesa wanayopata utapata majibu kama "mimi sina pesa ...
Media Removed
Kuna watu ukiwaambia kuhusu kuweka akiba ya pesa wanayopata utapata majibu kama "mimi sina pesa nyingi ya kutumia hadi ikabaki" "mimi huwa sifanyi hivyo" "mimi nina tamaa sana siwezi kutunza pesa" na mengine mengi. . . . Hebu fikiria ule mda umepata dharura halafu huna hata mia na siku ... Kuna watu ukiwaambia kuhusu kuweka akiba ya pesa wanayopata utapata majibu kama "mimi sina pesa nyingi ya kutumia hadi ikabaki" "mimi huwa sifanyi hivyo" "mimi nina tamaa sana siwezi kutunza pesa" na mengine mengi.
.
.
.
Hebu fikiria ule mda umepata dharura halafu huna hata mia na siku hizi kumkopa mtu ni ngumu sana...au yale malengo uliyokua ukijiwekea kwamba utatimiza kabla ya mwaka kuisha umeyaweka toka miaka saba ilopita lakini hujaweza hata kuyafanyia kazi kwasababu tu ya kukosa pesa ya kuanzia...au tuchukulie mfano mzuri wazee wetu wa kiafrika wanakuja kuishi kwa shida uzeeni na alifanya kazi ujanani hii yote ni kwasababu hakuweka akiba enzi zake za kufanya kazi alipokuwa na nguvu. .
.
.
Kumbuka hutoweza kusave kama hutokuwa na bajet nzuri, msimamo na malengo. Anza kidogo kidogo na mwisho wa siku utajikuta unafikia target uliyojiwekea.

Reasons for saving
*emergency
*bad times
*college
*travel
*retirement
*financial freedom
#saving #money #finances #cash #motivation #budget #frugal #frugallife #woke #grind #friday #instapreneur #entrepreneur #business #boss #leader #diordatha #lundi #love #vegan #naturalista #melanin
Read more
Loading...
50-20-30 ni njia mojawapo ya kubajet kipato chako. Kwa kutumia njia hii ya kubajet unatakiwa kugawa ...
Media Removed
50-20-30 ni njia mojawapo ya kubajet kipato chako. Kwa kutumia njia hii ya kubajet unatakiwa kugawa kipato chako katika mafungu matatu ya 50%, 20%, 30% ya kipato unachopata kwa mwezi ambapo 50% ya kipato chako utaitumia kwenye mahitaji muhimu kama chakula, kodi ya nyumba, matibabu, bili ... 50-20-30 ni njia mojawapo ya kubajet kipato chako. Kwa kutumia njia hii ya kubajet unatakiwa kugawa kipato chako katika mafungu matatu ya 50%, 20%, 30% ya kipato unachopata kwa mwezi ambapo 50% ya kipato chako utaitumia kwenye mahitaji muhimu kama chakula, kodi ya nyumba, matibabu, bili za umeme na maji....20% unatakiwa kuiweka akiba (saving) kwa ajili ya malengo yako...30% inaenda kwenye matumizi ambayo sio ya lazima sana kama vile kutoka na familia au marafiki, kutengeneza nywele au kucha na safari za kutembelea ndugu. Kumbuka kutengeneza bajet hakutakusaidia kama hautokua na msimamo nayo.

50-20-30 rule is a simple way to allocate your money and use it wisely. 50% of your income goes to your needs, 20% goes to savings and 30% goes to your wants.
#money #budgeting #frugallife #frugal #moneymanagement #finances #education #502030rule #saving #savingchallenge #entrepreneurship #entrepreneur #business # boss #bosslady #grind #2018 #diordatha #cash
Read more

Loading...