Loading Content...

Humblelily Instagram Photos and Videos

Loading...

humblelily Lilian PROUDLY TANZANIAN @humblelily mentions
Followers: 3,679
Following: 5,368
Total Comments: 0
Total Likes: 0

 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ Ile siku iliyo kuwa inasubiriwa kwa Hamu ndio Leo ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ Ile siku iliyo kuwa inasubiriwa kwa Hamu ndio Leo asiye Na Mwana abebe jiwe wahi sasa nafasi ni chache kuweza pata tiketi yako Leo uweze kuona Warembo 20 Mmoja Wapo ataibuka Mshindi wa MISS TANZANIA 2018....... #urembonakazikwamaendeleoyajamii #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
Ile siku iliyo kuwa inasubiriwa kwa Hamu ndio Leo asiye Na Mwana abebe jiwe wahi sasa nafasi ni chache kuweza pata tiketi yako Leo uweze kuona Warembo 20 Mmoja Wapo ataibuka Mshindi wa MISS TANZANIA 2018.......
#urembonakazikwamaendeleoyajamii
Loading...
So leo ndio leo guys please grab your tickets now ili kuepusha usumbufu and remember hii sio ya kukosa ...
Media Removed
So leo ndio leo guys please grab your tickets now ili kuepusha usumbufu and remember hii sio ya kukosa kabisa usisubiri kusimuliwa, @basillamwanukuzi @newmisstanzania @deogratiuskithama So leo ndio leo guys please grab your tickets now ili kuepusha usumbufu and remember hii sio ya kukosa kabisa usisubiri kusimuliwa, @basillamwanukuzi @newmisstanzania @deogratiuskithama
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ Imebakia SIKU MOJA TUU kuweza kuona warembo 20 ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ Imebakia SIKU MOJA TUU kuweza kuona warembo 20 wakigombea Taji la Miss Tanzania 2018 ......wahi sasa tiketi zipo kesho ni Siku ya Miss Tanzania. Tanzania itampata mwakilishi wa kushiriki Mashindano ya Dunia kwa kweli ni siku ya kihistoria ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
Imebakia SIKU MOJA TUU kuweza kuona warembo 20 wakigombea Taji la Miss Tanzania 2018 ......wahi sasa tiketi zipo kesho ni Siku ya Miss Tanzania.

Tanzania itampata mwakilishi wa kushiriki Mashindano ya Dunia kwa kweli ni siku ya kihistoria kabambeeee.. #UremboNaKaziKwaMaendeleoYaJamii
Read more
Hongera wifi yangu naekupenda kwa kufanikisha shughuli ya somo yako alice, jambo likiwa mkononi ...
Media Removed
Hongera wifi yangu naekupenda kwa kufanikisha shughuli ya somo yako alice, jambo likiwa mkononi mwako basi muruaaa, Mungu akubariki sana wifi yangu kwa moyo wako, pole sijaweza kushiriki niko safari ila zawadi yako narudi nayo. Love you my wii @junaithar moyo wako mwenzie ni @wemasepetu ... Hongera wifi yangu naekupenda kwa kufanikisha shughuli ya somo yako alice, jambo likiwa mkononi mwako basi muruaaa, Mungu akubariki sana wifi yangu kwa moyo wako, pole sijaweza kushiriki niko safari ila zawadi yako narudi nayo. Love you my wii @junaithar moyo wako mwenzie ni @wemasepetu tu
Read more
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ Zimebakia siku mbili Na sekunde kadhaa Wakati ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ Zimebakia siku mbili Na sekunde kadhaa Wakati wa kuona warembo 20 mmoja wao akiibuka Mshindi wa New Miss Tanzania 2018 wahi sasa bado nafasi zipo kupata tiketi yako kwa gharama nafuu kabisa mwambie Na Jirani yako. #urembonakazikwamaendeleoyajamii #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
Zimebakia siku mbili Na sekunde kadhaa Wakati wa kuona warembo 20 mmoja wao akiibuka Mshindi wa New Miss Tanzania 2018 wahi sasa bado nafasi zipo kupata tiketi yako kwa gharama nafuu kabisa mwambie Na Jirani yako.
#urembonakazikwamaendeleoyajamii
Toto ake nani huyooo, twin ake nani uyo mzuriiiii ,namependaaa<span class="emoji emoji1f60d"></span><span class="emoji emoji1f618"></span> @amandaposhy
Media Removed
Toto ake nani huyooo, twin ake nani uyo mzuriiiii ,namependaaa @amandaposhy Toto ake nani huyooo, twin ake nani uyo mzuriiiii ,namependaaa😍😘 @amandaposhy
Loading...
Happy birthday Gara big boss, wish you more blessings,long life and nothing but the best in your ...
Media Removed
Happy birthday Gara big boss, wish you more blessings,long life and nothing but the best in your entire life, @mcgarab Happy birthday Gara big boss, wish you more blessings,long life and nothing but the best in your entire life, @mcgarab
MOVE ON WOMEN SUMMIT MKUTANO WA KIMATAIFA WA WANAWAKE Soaring Women International wanapenda ...
Media Removed
MOVE ON WOMEN SUMMIT MKUTANO WA KIMATAIFA WA WANAWAKE Soaring Women International wanapenda kukukaribisha katika Summit ya Wanawake yenye Kauli Mbiu *Move On* *Lengo (Objective* 1. Kumsaidia mwanamke atambue hazina ( potentials) ambazo Mungu ameweka ndani yake ili aweze *ku- move ... MOVE ON WOMEN SUMMIT
MKUTANO WA KIMATAIFA WA WANAWAKE
Soaring Women International wanapenda kukukaribisha katika Summit ya Wanawake yenye Kauli Mbiu *Move On* *Lengo (Objective*
1. Kumsaidia mwanamke atambue hazina ( potentials) ambazo Mungu ameweka ndani yake ili aweze *ku- move on* kwenye kila eneo la maisha ili kuleta mabadiliko kwenye maisha yake binasfi, familia, jamii na taifa

2. Kumpa maarifa, Kumtia moyo na kumhamasisha mwanamke ambaye amekatishwa tamaa na changamoto za maisha aweze ku- *move on* yaani kuinuka na *kusonga mbele* sawasawa na Nehemiah 8: 9-12 *Wanenaji:*
1.Rev Eliona Kimaro- KKKT Kijitonyama
2.Pastor Grace Kapswara- Zimbabwe , mshindi wa tuzo ya Mwanamke mwenye ushawishi mkubwa Zimbabwe 2018
3. Luphurise Mawere-Life Coach na Mbeba Maono *Gospel/ Waimbaji:*
1. Uche Agu, mwimbaji wa Joyous Celebration ya South Africa (anayeishi USA) ambaye amevuma sana kwa nyimbo zake *My God is Goodu , Double Double* na nyingine nyingi atatuongoza kusifu na kuabudu
2. Gwamaka na Timu ya kusifu na kuabudu *Majadiliano:*
Tutakuwa na Panel discussion ya wanawake waliofanikiwa kwenye maeneo mbali mbali kutoa story zao ilikuwaje hadi wamefika hapo *Wapi;*
Golden Jubilee Towers, PSPF ghorofa ya 6, Posta Mpya karibu na PPF Tower *Lini;*
Jumamosi tarehe 08/09/2018 *Muda;*
Kuanzia saa 2 Asubuhi hadi saa 12 Jioni *Kiingilio;*
Utatuchangia gharama ya shilingi 10,000/= ambapo utapata chakula na vinywaji

Ni wakati wa kusonga mbele mwanamke bila kuangalia mambo unayokutana nayo kwenye maisha *Tickets zinapatikana;*
1. Imalaseko Supermarket, Posta Mpya
2. Azania Bookshop, Kanisa la Azania Front Posta
3. Victoria Petrol Station, Victoria
4. Duka la Gesi, Survey Kituoni karibu na mlimanicity
5. A Plus Pharmacy , Mikocheni B kituoni
6. KKKT Kijitonyama
7. Sicon Car Wash, Camel Petrol Station, Shangwe Kibada, Kigamboni
8. Mbagala piga na Temeke piga 0767040702 *Mawasiliano zaidi;*
0753 393934
0754 470800
0718 696279
Read more
Loading...
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ Pakua Application ya Otapp uweze kulipia na kupata ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ Pakua Application ya Otapp uweze kulipia na kupata tiketi yako ya Miss Tanzania. https://play.google.com/store/apps/details?id=com.avkcomputers.otapp Pia waweza pata tiketi yako kutoka kwenye vituo vyetu vya mauzo vilivyo ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
Pakua Application ya Otapp uweze kulipia na kupata tiketi yako ya Miss Tanzania.
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.avkcomputers.otapp

Pia waweza pata tiketi yako kutoka kwenye vituo vyetu vya mauzo vilivyo katika maeneo yafuatayo.

OYSTERBAY
-Eaters Point OYSTERBAY -Theonetz F50, Dar Free Market

MLIMANI CITY
-M's Boutique

MAGOMENI
-Dicksound
MIKOCHENI
-Jadoreg - Abbla Complex
-Clouds FM

MBEZI BEACH
-Flying zone Travel and Tours - Shamo tower

KUNDUCHI
-Aymans Boutique & Beauty Parlour

0718 696279 @lifecoachluu
Read more
Kalikizo kidogo
Media Removed
Kalikizo kidogo Kalikizo kidogo

Kitenge changu my favourite coz it was a birthday present from my daughter @narindwapemba
Media Removed
Kitenge changu my favourite coz it was a birthday present from my daughter @narindwapemba Kitenge changu my favourite coz it was a birthday present from my daughter @narindwapemba
Happy birthday my lovely sis, stay blessed my love, @reezymihanji <span class="emoji emoji1f60d"></span><span class="emoji emoji1f618"></span>
Media Removed
Happy birthday my lovely sis, stay blessed my love, @reezymihanji Happy birthday my lovely sis, stay blessed my love, @reezymihanji 😍😘
Loading...
Bwaxxxxyyyyyyy you are the baddest,nakupendaaaaa, nakuombea mibaraka telee @bwaxy
Media Removed
Bwaxxxxyyyyyyy you are the baddest,nakupendaaaaa, nakuombea mibaraka telee @bwaxy Bwaxxxxyyyyyyy you are the baddest,nakupendaaaaa, nakuombea mibaraka telee @bwaxy
*Move On Women Summit 2018* A word from the Founder Sikia neno toka kwa mbeba maono wa Mkutano wa Kimataifa wa Wanawake wenye kauli mbiu SONGA MBELE utakaofanyika tarehe 08/09/2018, Golden Jubilee Towers-PSPF Posta Mpya kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni Tickets zinapatikana;* 1. ... *Move On Women Summit 2018*
A word from the Founder

Sikia neno toka kwa mbeba maono wa
Mkutano wa Kimataifa wa Wanawake wenye kauli mbiu SONGA MBELE utakaofanyika tarehe 08/09/2018, Golden Jubilee Towers-PSPF Posta Mpya kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni

Tickets zinapatikana;*
1. Imalaseko Supermarket, Posta Mpya
2. Azania Bookshop, Kanisa la Azania Front Posta
3. Victoria Petrol Station, Victoria
4. Duka la Gesi, Survey Kituoni karibu na mlimanicity
5. A Plus Pharmacy , Mikocheni B kituoni *Mawasiliano zaidi;*
0753 393934
0754 470800
0718 696279
Read more
Karibuni sana kwenye sikukuu za makambi za mtaa wa kinondoni kuanzia 26 august mpaka 1st of sep 2018 ...
Media Removed
Karibuni sana kwenye sikukuu za makambi za mtaa wa kinondoni kuanzia 26 august mpaka 1st of sep 2018 its actually our annual family reunion hapa leaders club kuanzia kumi na mbili asubuhi mpaka kumi na mbili jioni utapata kuanzia chai mpaka lunch lakini kikubwa utapata amani ya roho, utakua ... Karibuni sana kwenye sikukuu za makambi za mtaa wa kinondoni kuanzia 26 august mpaka 1st of sep 2018 its actually our annual family reunion hapa leaders club kuanzia kumi na mbili asubuhi mpaka kumi na mbili jioni utapata kuanzia chai mpaka lunch lakini kikubwa utapata amani ya roho, utakua kiroho, utapata kujua habari zote za Yesu, utapumzisha akili, utapata marafiki wapya maombezi na mengine mengi. Karibuni sana. Watu wote mnakaribishwa jinsia na rika zote.
Read more
Loading...
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ Please support the girls by buying tickets and attending this is a never miss event #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
Please support the girls by buying tickets and attending this is a never miss event
HABARI ndugu #MJASIRIAMALI mwenzangu. MUKULIMA MARKET @Mkulimamarket  Kwa kushirikiana na ...
Media Removed
HABARI ndugu #MJASIRIAMALI mwenzangu. MUKULIMA MARKET @Mkulimamarket  Kwa kushirikiana na MZUNGU WA KICHAGA INVESTMENT @evakilleo_mzungu_wa_kichaga Wanakukaribisha kwenye Darasa la ufugaji wa kuku wa kienyeji litakalo fanyika tarehe 25/08/2018 pale CHUO CHA USTAWI WA JAMII, ... HABARI ndugu #MJASIRIAMALI mwenzangu. MUKULIMA MARKET @Mkulimamarket  Kwa kushirikiana na MZUNGU WA KICHAGA INVESTMENT @evakilleo_mzungu_wa_kichaga Wanakukaribisha kwenye Darasa la ufugaji wa kuku wa kienyeji litakalo fanyika tarehe 25/08/2018 pale CHUO CHA USTAWI WA JAMII, KIJITONYAMA kuanzia saa 3 kamili Asubuhi. Kuchagia gharama za ukumbi na vifaa vya ufundushaji ADA yake ni sh 35,000 tu, kwa usahili tuma malipo kwaTigopesa 0652657040 #EVA KILEO, na 0713182465 @ditrickmwita @mcditrick. Pia kwa maelekezo zaidi.Mwisho wa kulipa ni tarehe 23. #UFUGAJI na #KILIMO ndio MKOMBOZI WETU KARIBUNI  NYOTE.
Read more
Wateja wetu wa Arusha na Moshi mafuta yetu mazuri ya kurutubisha na kulainisha ngozi utayapata ...
Media Removed
Wateja wetu wa Arusha na Moshi mafuta yetu mazuri ya kurutubisha na kulainisha ngozi utayapata kwa @natygreen_flowers utampata kwa namba +255652896025. Karibuni sana Wateja wetu wa Arusha na Moshi mafuta yetu mazuri ya kurutubisha na kulainisha ngozi utayapata kwa @natygreen_flowers utampata kwa namba +255652896025. Karibuni sana
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ 20 FINALISTS 1 WINNER 1 CROWN 1CAR (Grand Prize) 1 ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ 20 FINALISTS 1 WINNER 1 CROWN 1CAR (Grand Prize) 1 ' MISS TANZANIA 2018' TITLE HOLDER 1 MISS WORLD 2018 REPRESENTATIVE . Who among these beautiful contestant will be the luckiest?? . On 8th September 2018 at Julius Nyerere International ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
20 FINALISTS
1 WINNER
1 CROWN
1CAR (Grand Prize)
1 ' MISS TANZANIA 2018' TITLE HOLDER
1 MISS WORLD 2018 REPRESENTATIVE .
Who among these beautiful contestant will be the luckiest?? . On 8th September 2018 at Julius Nyerere International Convention Centre. This is definately something not to miss. @cloudsfmtz

Ticket za Miss Tanzania zinapatikana
1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Eaters Point -Masaki
3. M'S Boutique - Mlimani City
4. Dicksound - Magomeni
5. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
6. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871
Read more
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018 JINA: Osmunda Shadrack Mbeyela UMRI:23 KAZI: Mwanafunzi ktk chuo cha Ustawi wa Jamii nikisomea shahada ya rasilimali watu. Ninapendelea kusafiri, kusoma vitabu, kuimba ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018

JINA: Osmunda Shadrack Mbeyela
UMRI:23
KAZI: Mwanafunzi ktk chuo cha Ustawi wa Jamii nikisomea shahada ya rasilimali watu.
Ninapendelea kusafiri, kusoma vitabu, kuimba na kuogelea.
Matarajio yangu ya baadae ni kuwa Afisa rasilimali watu na mfanyabiashara.
Pia kuwa balozi bora wa nchi yangu ntakayehamasisha vijana wenzangu na jamii kwa ujumla umuhimu wa elimu katika kulitenga taifa letu la Tanzania
Nawakilisha kanda ya mashariki
Read more
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018 JINA :Queenelizabeth Makune UMRI:22 KAZI:Mwanafunzi wa shahada ya uhasibu na fedha katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania Ninapenda kuogelea, kutalii nchi mbalimbali na ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018

JINA :Queenelizabeth Makune
UMRI:22
KAZI:Mwanafunzi wa shahada ya uhasibu na fedha katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania
Ninapenda kuogelea, kutalii nchi mbalimbali na kujifunza tamaduni zao.
Mataraji yangu ni kuwa mrembo wa kwanza kutoka Tanzania kutwaa taji la dunia na kuipeperusha bendera ya Tanzania vyema.kuwa sauti ya tumaini na mabadiliko kwa vijana wakike na wakiume nchini Tanzania na dunia nzima.
Ninawakilisha kanda ya Dar es salaam
Read more
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FAINALIST) JINA:Linda ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FAINALIST) JINA:Linda Samson Mhela UMRI: 22 KAZI:Ni mwanafunzi katika chuo cha usimamizi wa fedha nikichukua stashahada ya benki na fedha Ninapenda kusafiri,kuimba,kushauri na kujifunza ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FAINALIST)

JINA:Linda Samson Mhela
UMRI: 22
KAZI:Ni mwanafunzi katika chuo cha usimamizi wa fedha nikichukua stashahada ya benki na fedha
Ninapenda kusafiri,kuimba,kushauri na kujifunza kuhusu mitindo na urembo
Matarajio yangu ni kuwa mfano wa kuigwa kutokana na uchapakazi na tabasamu litakaloonekana usoni pa wa watu pindi wasikiapo jina langu
Ninawakilisha kanda ya Dar es salaam. 🇹🇿👑 @cloudsfmtz

Ticket za Miss Tanzania zinapatikana
1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Eaters Point -Masaki
3. M'S Boutique - Mlimani City
4. Dicksound - Magomeni
5. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
6. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871
Read more
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018 JINA :Florida Mkungu Venance UMRI :23 KAZI: Mjasiriamali Napenda kusafiri, kucheza na kusikiliza mziki , kuogelea na kubadilishana mawazo Malengo yangu ni kua mjasiriamali ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018

JINA :Florida Mkungu Venance
UMRI :23
KAZI: Mjasiriamali
Napenda kusafiri, kucheza na kusikiliza mziki , kuogelea na kubadilishana mawazo
Malengo yangu ni kua mjasiriamali kupitia rasilimali zinazonizunguka na pia kufungua milango kwa vijana wenzangu hasa kupitia tasnia hii ya urembo, kwa kupitia nafasi niliyonayo nitashirikiana na jamii yangu kuelimisha juu ya athari za mimba za utotoni na pia nitashirikiana na jamii yangu kutoa elimu juu ya watoto njiti.
Ninawakilisha kanda ya nyanda za juu kusini 🇹🇿👑[email protected]

Ticket za Miss Tanzania zinapatikana
1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Eaters Point -Masaki
3. M'S Boutique - Mlimani City
4. Dicksound - Magomeni
5. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
6. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871
Read more
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ #Repost @cloudsfmtz with @repostapp ・・・ Tambo za @rais_wa_bogoss_musica_ kuelekea #NewMissTanzania2018 tarehe 8, Yeye anasema mje na kuona atakachokivaa, Tuambie wewe umepanga kutoka kwa style gani.... Zaidi tembelea YouTube ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
#Repost @cloudsfmtz with @repostapp
・・・
Tambo za @rais_wa_bogoss_musica_ kuelekea #NewMissTanzania2018 tarehe 8, Yeye anasema mje na kuona atakachokivaa, Tuambie wewe umepanga kutoka kwa style gani.... Zaidi tembelea YouTube channel yetu #CloudsMedia

Anakwambia Siku ya Miss Tanzania atavunja kabati . Yaani pale kwenye red carpet itakua 🔥🔥🔥🔥🔥
Ticket za Miss Tanzania zinapatikana
1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Eaters Point -Masaki
3. M'S Boutique - Mlimani City
4. Dicksound - Magomeni
5. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
6. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871
Read more
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018 JINA : Azama Mashango UMRI : 22 KAZI : Mwanafunzi katika chuo cha usimamizi wa fedha Ninapenda kucheza mziki, kukutana na watu tofauti ili kujifunza tamaduni mbalimbali ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018

JINA : Azama Mashango
UMRI : 22
KAZI : Mwanafunzi katika chuo cha usimamizi wa fedha
Ninapenda kucheza mziki, kukutana na watu tofauti ili kujifunza tamaduni mbalimbali
Matarajio yangu ni kuwa mfanyabiashara mashuhuri ndani na nje ya nchi nitakaeweza saidia vijana wenzangu na watu wa rika tofauti ili kuleta mabadiliko chanya katika jamii yangu.🇹🇿👑@cloudsfmtz

Ticket za Miss Tanzania zinapatikana
1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Eaters Point -Masaki
3. M'S Boutique - Mlimani City
4. Dicksound - Magomeni
5. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
6. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871
Read more
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ Kosa Miss Tanzania zote lakini sio ya mwaka huu. ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ Kosa Miss Tanzania zote lakini sio ya mwaka huu. Tuonane pale ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere International Convention Centre Siku ya tarehe 8 /09/2019. Nani atavishwa crown la madini ? Na kuchukua gari ? Na kupata ticket ya kwenda mashindano ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
Kosa Miss Tanzania zote lakini sio ya mwaka huu. Tuonane pale ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere International Convention Centre Siku ya tarehe 8 /09/2019. Nani atavishwa crown la madini ? Na kuchukua gari ? Na kupata ticket ya kwenda mashindano ya dunia ya urembo kuwakilisha Tanzania yetu ...na zawadi nyingine kem kem. Viti vinahesabika ndio maana unaweza nunua ticket mapema ukatulia zako.

Ticket za Miss Tanzania zinapatikana
1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Eaters Point -Masaki
3. M'S Boutique - Mlimani City
4. Dicksound - Magomeni
5. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
6. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871
#newmisstanzania
Read more
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) at JINCC JINA:Gladness Benson UMRI:19 KAZI: Muhitimu wa astashahada ya bima na ulinzi wa jamii katika chuo cha usimamizi wa fedha _IFM. Pia ni mjasiriamali mdogo. Napenda kusoma vitabu,kuimba, ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) at JINCC
JINA:Gladness Benson
UMRI:19
KAZI: Muhitimu wa astashahada ya bima na ulinzi wa jamii katika chuo cha usimamizi wa fedha _IFM. Pia ni mjasiriamali mdogo.
Napenda kusoma vitabu,kuimba, kufanya shughuli za kijamii na kutembelea vivutio vya utalii.
Matarajio yangu ni kuwasaidia watoto waishio katika mazingra magumu na kuwahamasisha vijana katika suala zima la ujasiriamali ili kama vijana tuweze kusimama na kujiajiri ili tuepukane na dhana ya utegemezi
Ninawakilisha kanda ya nyanda za juu kusini 🇹🇿👑[email protected]

Ticket za Miss Tanzania zinapatikana
1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Eaters Point -Masaki
3. M'S Boutique - Mlimani City
4. Dicksound - Magomeni
5. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
6. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871 ( kwa masaa ya kazi tu)
Read more
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) at JINCC JINA Sandra Giovinazzo UMRI:21 KAZI: (Event manager ) na mwanamitindo Ninapenda Kuogelea, kucheza mzuri, kusafiri na kujifunza tamaduni mbali mbali ninavutiwa na shauku ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) at JINCC

JINA Sandra Giovinazzo
UMRI:21
KAZI: (Event manager ) na mwanamitindo
Ninapenda Kuogelea, kucheza mzuri, kusafiri na kujifunza tamaduni mbali mbali ninavutiwa na shauku ya kujifunza mambo mapya
Matarajio yangu ya baadae ni kua mkufunzi wa mambo ya afya na maisha na kuisaidia jamii yangu hususan kwenye mambo ya mazingira na changamoto za maisha kwa ajili ya kukinusuru Kizazi kijacho .
Ninawakilisha kanda ya kaskazini.🇹🇿👑@cloudsfmtz

Ticket za Miss Tanzania zinapatikana
1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Eaters Point -Masaki
3. M'S Boutique - Mlimani City
4. Dicksound - Magomeni
5. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
6. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871 ( kwa masaa ya kazi tu)
Read more
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018 at JINCC JINA: Ansila Mushi UMRI: 18 KAZI: Muhitimu kidato cha nne Napenda kujishughulisha na shughuli za kijamii katika Utunzaji wa Mazingira na pia ni mbunifu mzuri wa ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018 at JINCC

JINA: Ansila Mushi
UMRI: 18
KAZI: Muhitimu kidato cha nne
Napenda kujishughulisha na shughuli za kijamii katika Utunzaji wa Mazingira na pia ni mbunifu mzuri wa kazi za sanaa
Matarajio yangu ya baadae ni kuwa mwanamitindo bora atakayekuwa kioo cha jamii katika maswala ya maendeleo na kuwapa vijana motisha ya uchapaji kazi
Ninawakilisha kanda ya kaskazini.🇹🇿👑[email protected]

JINA: Ansila Clemence Mushi
UMRI: 18
KAZI: Mwanafunzi, napenda kujishughulisha na shughuli za kijamii katika Utunzaji wa Mazingira na pia ni mbunifu mzuri wa kazi za sanaa
Matarajio yangu ya baadae ni kuwa mwanamitindo bora atakayekuwa kioo cha jamii katika maswala ya maendeleo na kuwapa vijana motisha ya uchapaji kazi
Read more
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018 at JINCC JINA: Nancy Eddy Matta, UMRI: 24, KAZI:Mwanafunzi wa shahada ya uhandisi na usanifu wa majengo chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya, Pia ni balozi wa mradi ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018 at JINCC

JINA: Nancy Eddy Matta,
UMRI: 24,
KAZI:Mwanafunzi wa shahada ya uhandisi na usanifu wa majengo chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya,
Pia ni balozi wa mradi wa Tanzanite City.
Ninapendelea; mitindo na sanaa kwa ujumla
Matarajio yangu ya badae nikusaidia jamii hasa watoto walio na matatizo ya lishe duni nakutoa elimu kuhusu chakula bora na lishe bora. Pia natarajia kuwa balozi mwenye malengo bora na nitakayeleta mabadikiko chanya katika jamii.
Ninawakilisha kanda ya nyanda za juu kusini.🇹🇿👑[email protected]

Ticket za Miss Tanzania zinapatikana
1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Eaters Point -Masaki
3. M'S Boutique - Mlimani City
4. Dicksound - Magomeni
5. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
6. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871 ( kwa masaa ya kazi tu)
Read more
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018 at JINCC JINA:Zuhura Abdul UMRI: 21 KAZI: Ni muhitimu Wa kidato cha sita Ninapenda kusoma vitabu hususani riwaya na tamthilia Matarajio yangu ya baadae kuwa mwanaharakati ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018 at JINCC
JINA:Zuhura Abdul
UMRI: 21
KAZI: Ni muhitimu Wa kidato cha sita
Ninapenda kusoma vitabu hususani riwaya na tamthilia
Matarajio yangu ya baadae kuwa mwanaharakati wakutetea haki za wanawake na kupinga unyanyasaji wa wanawake kwasababu mwanamke ni chachu ya maendeleo katika jamii.
Ninawakilisha kanda ya Ziwa 🇹🇿👑 @cloudsfmtz

Ticket za Miss Tanzania zinapatikana
1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Eaters Point -Masaki
3. M'S Boutique - Mlimani City
4. Dicksound - Magomeni
5. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
6. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871 ( kwa masaa ya kazi tu)
Read more
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2019 at JINCC JINA: Miriam Mmary UMRI: 21 KAZI : Mwanafunzi wa stashahada ya 'pharmacy' chuo cha afya tandabui. Ninapenda kusaidia watu hususan katika sekta ya afya ili kuweza ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2019 at JINCC

JINA: Miriam Mmary
UMRI: 21
KAZI : Mwanafunzi wa stashahada ya 'pharmacy' chuo cha afya tandabui.
Ninapenda kusaidia watu hususan katika sekta ya afya ili kuweza kurudisha furaha na amani yao.
Matarajio yangu ya badae nikuwa mfamasia mkubwa mwenye vigezo vya kitaifa na kimataifa nakuweza kutatua changamoto mbalimbali katika sekta ya afya.
Ninawakilisha kanda ya ziwa.🇹🇿👑[email protected]

Ticket za Miss Tanzania zinapatikana
1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Eaters Point -Masaki
3. M'S Boutique - Mlimani City
4. Dicksound - Magomeni
5. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
6. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871 ( kwa masaa ya kazi tu)
Read more
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FAINALIST) ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FAINALIST) 8/09/2018 JINA: Sharon headlam UMRI : 19 KAZI: muhitimu kidato cha sita Ninapenda mitindo,ubunifu na utalii wa ndani Matarajio yangu ya badae ni kuwa mwanamitindo bora kitaifa ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FAINALIST) 8/09/2018

JINA: Sharon headlam
UMRI : 19
KAZI: muhitimu kidato cha sita
Ninapenda mitindo,ubunifu na utalii wa ndani
Matarajio yangu ya badae ni kuwa mwanamitindo bora kitaifa na kimataifa lakini pia kijana mwenye mafanikio makubwa na uwezo wa kuwainua vijana wenzangu, jamii na Taifa langu kwa ujumla.
Ninawakilisha kanda ya ziwa 🇹🇿👑 @cloudsfmtz

Ticket za Miss Tanzania zinapatikana
1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Eaters Point -Masaki
3. M'S Boutique - Mlimani City
4. Dicksound - Magomeni
5. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
6. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871 ( kwa masaa ya kazi tu)
Read more
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 ( FAINALIST) ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 ( FAINALIST) 8/09/2018 JINA: Adilla Chigomello UMRI: 21 KAZI: Mwanafunzi chuo kikuu cha DODOMA nasoma shahada ya biashara katika fedha Ninapenda kusoma vitabu, kufanya mazoezi ya programu ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 ( FAINALIST) 8/09/2018

JINA: Adilla Chigomello
UMRI: 21
KAZI: Mwanafunzi chuo kikuu cha DODOMA nasoma shahada ya biashara katika fedha
Ninapenda kusoma vitabu, kufanya mazoezi ya programu za kompyuta, kupika na ubunifu wa mavazi na urembo
Matarajio yangu ya baadae ni kuja kua mwanauchumi mrembo barani Africa.
Ninawakilisha kanda ya Kati .🇹🇿👑 @cloudsfmtz

Ticket za Miss Tanzania zinapatikana
1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Eaters Point -Masaki
3. M'S Boutique - Mlimani City
4. Dicksound - Magomeni
5. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
6. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871 ( kwa masaa ya kazi tu)
Read more
Mungu akawafanyie twins in Jesus name #happyfamily @2temk @mcmgonja
Media Removed
Mungu akawafanyie twins in Jesus name #happyfamily @2temk @mcmgonja Mungu akawafanyie twins in Jesus name #happyfamily @2temk @mcmgonja
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018 JINA: Sheyla Rajab Msira MIAKA :20 KAZI : Mwanafunzi katika chuo cha serikali za mitaa -HOMBOLO NikIchukua astashahada ya maendeleo ya jamii na utawala. Napendelea kusoma ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018

JINA: Sheyla Rajab Msira
MIAKA :20
KAZI : Mwanafunzi katika chuo cha serikali za mitaa -HOMBOLO
NikIchukua astashahada ya maendeleo ya jamii na utawala.
Napendelea kusoma vitabu , kuogelea, mitindo na kucheza mziki.
Matarajio yangu ya baadae ni kuwa Afisa maendeleo ya jamii na sauti kwa wale walio wanyonge.
Ninawakilisha kanda ya Dar es salaam.🇹🇿👑 @cloudsfmtz

Ticket za Miss Tanzania zinapatikana
1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Eaters Point -Masaki
3. M'S Boutique - Mlimani City
4. Dicksound - Magomeni
5. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
6. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871 ( kwa masaa ya kazi tu)
Read more
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 ( FINALIST) ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 ( FINALIST) 8/09/2018 at JINCC JINA: Teddy Michael Mkenda UMRI: 24 KAZI: Mwanafunzi wa shahada ya sheria chuo kikuu Tumaini makumira Arusha. Ninapenda kuimba Nyimbo za Aina zote, Kusoma vitabu ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 ( FINALIST) 8/09/2018 at JINCC

JINA: Teddy Michael Mkenda
UMRI: 24
KAZI: Mwanafunzi wa shahada ya sheria chuo kikuu Tumaini makumira Arusha.
Ninapenda kuimba Nyimbo za Aina zote, Kusoma vitabu na majarida mbali mbali na kupika.
Matarajio yangu ya baadae ni kuwa mwana mitindo wa kutegemewa katika jamii yangu kwanza na dunia kwa ujumla, lakini pia kuja kuwa kiongozi wa nchi na kusaidia jamii na vijana kutumia vipaji vyao kujiajiri.
Ninawakilisha kanda ya Kaskazini.🇹🇿👑 @cloudsfmtz

Ticket za Miss Tanzania zinapatikana
1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Eaters Point -Masaki
3. M'S Boutique - Mlimani City
4. Dicksound - Magomeni
5. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
6. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871 ( kwa masaa ya kazi tu)
Read more
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018 at JINCC JINA:Amne Kubri Mkwanda UMRI: 20 KAZI: Ni mwanafunzi katika chuo cha uhasibu TIA nachukua stashaada ya masoko na mahusiano ya umma. Ninapenda ubunifu, kucheza ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018 at JINCC

JINA:Amne Kubri Mkwanda
UMRI: 20
KAZI: Ni mwanafunzi katika chuo cha uhasibu TIA nachukua stashaada ya masoko na mahusiano ya umma.
Ninapenda ubunifu, kucheza mziki kupiga gitaa, kupika na kusafiri.
Matarajio yangu ya baadae ni kuwa Mshawishi Chanya Katika Maisha Ya watu , kuunda na kuonyesha fursa katika nchi yangu.
Ninawakilisha kanda ya Mashariki . 🇹🇿👑 @cloudsfmtz
Ticket za Miss Tanzania zinapatikana
1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Eaters Point -Masaki
3. M'S Boutique - Mlimani City
4. Dicksound - Magomeni
5. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
6. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871 ( kwa masaa ya kazi tu)
Read more
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018 at JNICC JINA: Hadija Said Rutunga UMRI:22 KAZI:muhitimu(stashahada ya Tecknologia habari na mawasiliano ), Napendelea kupika,kucheza muziki,na kujichanganya na watu ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018 at JNICC

JINA: Hadija Said Rutunga
UMRI:22
KAZI:muhitimu(stashahada ya Tecknologia habari na mawasiliano ), Napendelea kupika,kucheza muziki,na kujichanganya na watu mbalimbali kwa ajili ya kupata mawazo mapya na kufurahi.
Matarajio yangu ya baadae ni kuwa mfanya biashara na mwanamitindo Wa kimataifa,pia kuwa muelimishaji rika Wa vijana hasa kwenye swala la uzazi Wa mpango ili wapate kufikia ndoto zao kwa wakati.
Ninawakilisha kanda ya Kati. 🇹🇿👑 @cloudsfmtz
Ticket za Miss Tanzania zinapatikana
1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Eaters Point -Masaki
3. M'S Boutique - Mlimani City
4. Dicksound - Magomeni
5. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
6. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871 ( kwa masaa ya kazi tu)
Read more
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018 JINA: Nelly Kaskazi UMRI:22 KAZI: Mwanafunzi Katika Chuo cha Usimamizi wa fedha -IFM Ninapenda kuimba kuhudhuria matamasha mbali mbali , Ubunifu, kusafiri na kujifunza ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018

JINA: Nelly Kaskazi
UMRI:22
KAZI: Mwanafunzi Katika Chuo cha Usimamizi wa fedha -IFM
Ninapenda kuimba kuhudhuria matamasha mbali mbali , Ubunifu, kusafiri na kujifunza tamaduni mpya.
Matarajio yangu ya baadae ni kua mfanya biashara wa kimataifa mwenye kuleta mabadiliko chanya katika jamii yangu. Natarajia kua sauti ya wanyonge na kuleta tumaini kwa waliolikosa.
Ninawakilisha kanda ya Dar es salaam
🇹🇿👑@cloudsfmtz
Ticket za Miss Tanzania zinapatikana
1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Eaters Point -Masaki
3. M'S Boutique - Mlimani City
4. Dicksound - Magomeni
5. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
6. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871 ( kwa masaa ya kazi tu)
Read more
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018 at JNICC JINA:Halima Ahmad Kopwe UMRI:19 KAZI:Mwanafunzi(mhitimu wa kidato cha sita) Ninapenda kuimba Matarajio yangu ya baadae ni kuwa mwanamitindo wa kimataifa Ninawakilisha ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018 at JNICC

JINA:Halima Ahmad Kopwe
UMRI:19
KAZI:Mwanafunzi(mhitimu wa kidato cha sita)
Ninapenda kuimba
Matarajio yangu ya baadae ni kuwa mwanamitindo wa kimataifa
Ninawakilisha kanda ya kati 🇹🇿👑 @cloudsfmtz

Ticket za Miss Tanzania zinapatikana
1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Eaters Point -Masaki
3. M'S Boutique - Mlimani City
4. Dicksound - Magomeni
5. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
6. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871 ( kwa masaa ya kazi tu)
Read more
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI MISS TANZANIA 2018 JINA: Pili Mkamilo ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI MISS TANZANIA 2018 JINA: Pili Mkamilo Matambile UMRI: 23 KAZI: Muuguzi Msaidizi katika kiwanda cha kununua na kuchakata tumbaku ( Tanzania Tobacco Processors Limited) Morogoro Ninapendelea Kuogelea na kusafiri. Matarajio ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
MSHIRIKI MISS TANZANIA 2018

JINA: Pili Mkamilo Matambile
UMRI: 23
KAZI: Muuguzi Msaidizi katika kiwanda cha kununua na kuchakata tumbaku ( Tanzania Tobacco Processors Limited) Morogoro
Ninapendelea Kuogelea na kusafiri.
Matarajio yangu ya baadae ni kuja kuwa Daktari bingwa wa Wa kina mama.

@cloudsfmtz
Read more
*MWALIKO MAALUMU - MOVE ON WOMEN SUMMIT* Kwa niaba ya Kamati ya Maandalizi ya Soaring Women International ...
Media Removed
*MWALIKO MAALUMU - MOVE ON WOMEN SUMMIT* Kwa niaba ya Kamati ya Maandalizi ya Soaring Women International Summit napenda kukukaribisha katika Summit ya Wanawake yenye Kauli Mbiu *Move On* *Speakers/ WANENAJI:* 1.Rev Eliona Kimaro- KKKT Kijitonyama 2.Pastor Grace Kapswara- Zimbabwe ... *MWALIKO MAALUMU - MOVE ON WOMEN SUMMIT*

Kwa niaba ya Kamati ya Maandalizi ya Soaring Women International Summit napenda kukukaribisha katika Summit ya Wanawake yenye Kauli Mbiu *Move On* *Speakers/ WANENAJI:*
1.Rev Eliona Kimaro- KKKT Kijitonyama
2.Pastor Grace Kapswara- Zimbabwe
3. Luphurise Mawere-Life Coach, Host *Gospel/ Waimbaji:*
1. Uche Agu, mwimbaji wa Joyous Celebration ya South Africa (anayeishi USA) ambaye amevuma sana kwa nyimbo zake *My God is Goodu , Double Double* na nyingine nyingi atatuongoza kusifu na kuabudu *Panelist:*
Tutakuwa na Panel discussion ya wanawake waliofanikiwa kwenye maeneo mbali mbali kutoa story zao ilikuwaje wakaweza kusonga mbele *Wapi;*
Golden Jubilee Towers, PSPF ghorofa ya 6, Posta Mpya karibu na PPF Tower *Lini;*
Jumamosi tarehe 08/09/2018 *Muda;*
Kuanzia saa 2 Asubuhi hadi saa 12 Jioni *Kiingilio;*
Utatuchangia gharama ya shilingi 10,000/= ambapo na chakula kitatolewa na vinywaji *Tickets zinapatikana*
1. Imalaseko Supermarket, Posta Mpya
2. Azania Bookshop, Kanisa la Azania Front Posta
3. Victoria Petrol Station, Victoria
4. Duka la Gesi, Survey Kituoni karibu na mlimanicity
5. A Plus Pharmacy , Mikocheni B kituoni *Mawasiliano;*
0754 934693
0753 393934
0754 470800
0718 696279
Ni wakati wa kusonga mbele mwanamke bila kuangalia mambo unayokutana nayo kwenye maisha

Nitafurahi sana kukuona!

Karibisha wengine

Asante sana

Luphurise Mawere
Soaring Women International @lifecoachluu
Read more
Happy left handed day to you wanangu nawapendaa Mungu akawafanye kuwa watu wakubwa sana duniani ...
Media Removed
Happy left handed day to you wanangu nawapendaa Mungu akawafanye kuwa watu wakubwa sana duniani mkasign madeal ya maana maisha yenu yote yani maendorsements ya mabilions and billions in Jesus name , Amen Happy left handed day to you wanangu nawapendaa Mungu akawafanye kuwa watu wakubwa sana duniani mkasign madeal ya maana maisha yenu yote yani maendorsements ya mabilions and billions😍😘 in Jesus name , Amen
 #Repost @shawnstestimonycom (@get_repost) ・・・ 1 month will not cut it... It can't! Living with ...
Media Removed
#Repost @shawnstestimonycom (@get_repost) ・・・ 1 month will not cut it... It can't! Living with sickle cell is the total opposite of a regular life. We have to not only rely on our inner strength to make it through the day we have to put on a face that says we are good we are okay don't worry because ... #Repost @shawnstestimonycom (@get_repost)
・・・
1 month will not cut it... It can't! Living with sickle cell is the total opposite of a regular life. We have to not only rely on our inner strength to make it through the day we have to put on a face that says we are good we are okay don't worry because in all actuality our lives are not the same. We don't get up early in the morning refreshed but yet we have to live as if we were. The truth of the matter is my body was not created to run like yours. My cells weren't designed to flow like yours. My energy is depleted all day long 24/7 365... Seriously! Trying to find things to help me not feel as if I'm going to pass out in the middle of conversation because I was up all night in pain is what I've been doing...trying 2 research...lol...when I tell you I tried everything... I tried everything. I'm showing you EVERYTHING! I am even going to show you the stuff that did not work for me because at the end of the day it may work for you ..everybody's body is different. www.shawnstestimony.com #sicklecellisme
Read more
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ Hili tangazo ni mahususi la kutoa fursa ya kutangaza ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ Hili tangazo ni mahususi la kutoa fursa ya kutangaza biashara yako kupitia Miss Tanzania . Be a sponsor call 0719460871 #newmisstanzania2018 #UremboNaKaziKwaMaendeleoYaJamii #roadtomisstanzania2018 #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
Hili tangazo ni mahususi la kutoa fursa ya kutangaza biashara yako kupitia Miss Tanzania . Be a sponsor call 0719460871

#newmisstanzania2018
#UremboNaKaziKwaMaendeleoYaJamii
#roadtomisstanzania2018
 #Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ Unashauriwa uanze kununua ticket mapemaa kwa ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ Unashauriwa uanze kununua ticket mapemaa kwa sababu nafasi zinahesabika. Unaachaje kushuhudia historia ya mapinduzi ya mashindano ya urembo nchini ???. Tutakapo mtafuta 'The most beautiful girl in Tanzania ' 2018. Ticket zitapatikana ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)
・・・
Unashauriwa uanze kununua ticket mapemaa kwa sababu nafasi zinahesabika. Unaachaje kushuhudia historia ya mapinduzi ya mashindano ya urembo nchini ???. Tutakapo mtafuta 'The most beautiful girl in Tanzania ' 2018. Ticket zitapatikana maeneo yafuatayo. *MISS TANZANIA SALES POINT*

1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Best Bite - Namanga
3. Eaters Point -Masaki
4. M'S Boutique - Mlimani City
5. Dicksound - Magomeni
6. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
7. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871 ( kwa masaa ya kazi tu)

Ni Tarehe 8 september 2018 ndani ya ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.avkcomputers.otapp

#Newmisstanzania
Read more

Loading...