Allahumma ameen subhanallah

Loading...

Unique profiles
3
Most used tags
Total likes
0
Top locations
Mbagala, Dar Es Salaam, Tanzania
Average media age
578 days
to ratio
Siku moja Nabii Ibrahim akiwa safari zake anamuona mtu anakuja mbele yake, anakuja kwa maumbo tafauti ...
Media Removed
Siku moja Nabii Ibrahim akiwa safari zake anamuona mtu anakuja mbele yake, anakuja kwa maumbo tafauti tafauti,macho yake yanawaka na kufifia,Nabii anaingiwa na hofu,yule mtu anamsogelea Nabii,Nabii Ibrahim jasho zinamtoka mara akasema Najikinga na shari zako kwa aliyeumba mbingu ... Siku moja Nabii Ibrahim akiwa safari zake anamuona mtu anakuja mbele yake, anakuja kwa maumbo tafauti tafauti,macho yake yanawaka na kufifia,Nabii anaingiwa na hofu,yule mtu anamsogelea Nabii,Nabii Ibrahim jasho zinamtoka mara akasema

Najikinga na shari zako kwa aliyeumba mbingu na ardhi ikiwa wewe si mtu wa kheri! ni nani wewe mwenye kunitia hofu?

Akasema
Malakur Mawt!

Natoa kwa nguvu na shida amana ya roho ya yule asiyemjua Mola wake Mlezi

Akasema
Ikiwa mimi Ibrahim Nabii wa Mwenyezi Mungu umenijia kwa hali hiyo vipi ukimwendea mja asiyemjua Mola wake?

Akasema
Wewe Ibrahim mimi nakuonea aibu kwa kuwa wewe ni Nabii wa Mwenyezi Mungu.Kwa kuwa umetaka basi geuka ulipotokea kisha mimi nitakuita unione ninavyokuwa pale ninapotoa amana ya roho ya asiyemjua Mola wake Mlezi wewe Ibrahim

Akasema
Yah! Ibrahim Nabii wa Mwenyezi Mungu,sasa geuka unione nilivyo

Nabii Ibrahim akaanguka na kupoteza fahamu alipoiona sura ya Malakur mawt

Wakaja Malaika wawili na kumuamsha Nabii Ibrahim

Wakasema
Vipi Ibrahim Nabii wa Mwenyezi Mungu mbona unajiangusha?

Akasema
Hakika naapa hakuna apasawe kuabudiwa kwa haki ila Allah

Sura yake huyu kiumbe ni adhabu tosha.
SUBHANALLAH YARAB TUJAALIE TUWE MIONGONI YA WENYE KUMJUA MWENYEZI MUNGU N.A. KUOGOPA ADHABU ZAKE
ALLAHUMMA AMEEN.
Read more

. DAY OF ARAFAH WAZIFA, MONDAY AUGUST 20th O People! This heavenly practice has been handed down ...
Media Removed
. DAY OF ARAFAH WAZIFA, MONDAY AUGUST 20th O People! This heavenly practice has been handed down generation to generation from our Naqshbandi Masters, may Allah Almighty bless them. _______ RECITE 100 times Laa ilaaha illa-Llah wahdahu laa shareekala lahu ’l-mulku wa lahu ’l-hamd ... .
DAY OF ARAFAH WAZIFA, MONDAY AUGUST 20th
O People! This heavenly practice has been handed down generation to generation from our Naqshbandi Masters, may Allah Almighty bless them.
_______
RECITE
100 times Laa ilaaha illa-Llah wahdahu laa shareekala lahu ’l-mulku wa lahu ’l-hamd yuhee wa yumeet wa huwa `alaa kulli shayin qadir.
100-1000 times Surat al-Ikhlaas.
100 times SubhaanAllah wa ‘l-hamdulillah wa laa ilaaha illa-Llah w ’Allahu Akbar.
100 times istighfaar.
100-1000 times salawaat on the Prophet
100-1000 times SubhanAllah wa’l-hamdulillah wa laa ilaaha illa-Llah w ’Allahu Akbar wa laa hawla wa laa quwatta ila billahi ‘l-`Aliyyi ‘l-`Azheem.
.
Increase recitations and weep during #dua so favors may be granted. For the day of #Arafat, from the morning until the evening recite 1000 times Surah Ikhlaas; this is what #Grandshaykh AbdAllah said.
.
May Allah Almighty accept. Ameen. Fatiha. 🕋
~Mawlana Shaykh Nazim ❤️
.
#7007Hajj2018 #Hajj2018 #Hajj1439 #Arafah #Sufilive
_______
#Labbayk #Allahumma #Hajj #Islam #Mecca #Makkah #Kaabah #ProphetMuhammad #Quran #Hadith #Islam #ShaykhNazim #SeyhNazim #SheikhNazim #ShaykhHisham #ShaykhHishamKabbani #Naqshbandi #Nakşibendi #Naqsybandi #Qadri #Chishti
Read more
Loading...