Binti bintitanzania

Loading...


Unique profiles
1
Most used tags
Total likes
0
Top locations
Chamwino Morogoro, Dar Es Salam, Dar Es Salaam, Tanzania, Morogoro, Tanzania
Average media age
762.3 days
to ratio
Mwanamke katika jamii ndio nguzo kubwa katika mabadiliko hususan katika malezi ya watoto ambao ...
Media Removed
Mwanamke katika jamii ndio nguzo kubwa katika mabadiliko hususan katika malezi ya watoto ambao mwisho wa siku ndio viongozi na wafanyakazi katika Taifa na sekta mbalimbali. Kupitia Binti Tanzania 🇹🇿 tunahitaji kuhakikisha binti kupitia elimu na maadili afikie malengo yake mfano mzuri ... Mwanamke katika jamii ndio nguzo kubwa katika mabadiliko hususan katika malezi ya watoto ambao mwisho wa siku ndio viongozi na wafanyakazi katika Taifa na sekta mbalimbali. Kupitia Binti Tanzania 🇹🇿 tunahitaji kuhakikisha binti kupitia elimu na maadili afikie malengo yake mfano mzuri katika kampeni zetu za kuzuia mimba za utotoni Binti awe na maadili na mwisho asome vizuri, pia tumejikita katika kipato ambapo tunatoa mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake waliopo mtaani ili waweze kuanza biashara au kuziendeleza biashara na kupata kipato!
Tanzania ya viwanda pamoja na uchumi wa kati itawezekana endapo tutawawezesha wajasiriamali wadogo wadogo kupitia katika vikundi na kwa kiasi kikubwa vikundi vya wasichana.
#BintiTanzania #Yvsdfamily #BintiMaadili #BintiKipato
Read more
Loading...
 #Repost @youthvision4development.tz (@get_repost) ・・・ Kupitia mradi wetu wa @binti_tanzania ...
Media Removed
#Repost @youthvision4development.tz (@get_repost) ・・・ Kupitia mradi wetu wa @binti_tanzania "BINTI TANZANIA" ambapo umejikita katika kumwezesha Msichana/Mwanamke kupata kipato, maadili mema na ya Kitanzania na pia upatikanaji wa Elimu kwake.! Katika picha ni moja ya utekelezaji ... #Repost @youthvision4development.tz (@get_repost)
・・・
Kupitia mradi wetu wa @binti_tanzania "BINTI TANZANIA" ambapo umejikita katika kumwezesha Msichana/Mwanamke kupata kipato, maadili mema na ya Kitanzania na pia upatikanaji wa Elimu kwake.! Katika picha ni moja ya utekelezaji wa mradi huo ambapo tuliweza kutembelea wajasiriamali wadogo wadogo na kuwapa elimu mafunzo namna ya kufanya utafiti wa soko kuweza kuzifanya biashara zao kuwa endelevu na zinazokidhi mahitaji ya jamii yao. Pia kuandaa mpango biashara (BMC) kutambua biashara zao na namna ya kuziendesha pia kutambua kipengele muhimu cha "Thamani ya Pendekezo-USP" kufanya biashara kuwa tofauti na wengine. Tunayo furaha kufanya mabadiliko kwao kwaajili ya kuongeza KIPATO hususani katika kuelekea Uchumi wa Kati katika jamii za Tanzania.
#Yvsdfamily #RaleighTz #UjasiriamaliKwanza #WezeshaMwanamke #BintiTanzania
Read more
INTERNATIONAL DAY OF GIRL CHILD. DATE: 11:10:2017. PLACE: Morogoro Secondary School-Morogoro THEME: ...
Media Removed
INTERNATIONAL DAY OF GIRL CHILD. DATE: 11:10:2017. PLACE: Morogoro Secondary School-Morogoro THEME: EmPOWER girls: emergency response and resilience planning To give a chance to Girls will enhance good gender equity and equality, they are more than what we see in our eyes. They ... INTERNATIONAL DAY OF GIRL CHILD.
DATE: 11:10:2017.
PLACE: Morogoro Secondary School-Morogoro
THEME: EmPOWER girls: emergency response and resilience planning
To give a chance to Girls will enhance good gender equity and equality, they are more than what we see in our eyes. They only need is true trust from all of us. Binti Tanzania will stand with all Girls around Tanzania to educate, to empower them and to have a good income which will help their individual development and the development of our country.
#bintitanzania
#TaifaKwanza
#Maadili_Elimu_Kipato
#KeshoYetuKwao
Read more
Loading...