Loading Content...

Dada mama kaka

Unique profiles
20
Most used tags
Total likes
0
Top locations
New baby, Dar es Salaam, Tanzania, Seashells Milenium
Average media age
778.1 days
to ratio
20
Furaha yangu ni kuona familia ya oriflame inazidi kuongezeka ???????? Na sio kuongezeka tu kwa ...
Media Removed
Furaha yangu ni kuona familia ya oriflame inazidi kuongezeka ???????? Na sio kuongezeka tu kwa idadi lakini pia kuona watu wanatimiza ndoto zao kupitia oriflame.. With oriflame, it is all about your dreams... . Ewe binti, dada, mama, baba, kaka fursa hii Furaha yangu ni kuona familia ya oriflame inazidi kuongezeka ???????? Na sio kuongezeka tu kwa idadi lakini pia kuona watu wanatimiza ndoto zao kupitia oriflame.. With oriflame, it is all about your dreams... . Ewe binti, dada, mama, baba, kaka fursa hii
Katika siku yako muhimu kama yaleo Mama angu naomba nikuambie kitu nataka nikugusie juu ya ndoto ...
Media Removed
Katika siku yako muhimu kama yaleo Mama angu naomba nikuambie kitu nataka nikugusie juu ya ndoto zangu mwanao napiga sana kila kukicha, Ndoto ambayo nilikuwa nakusimulia kila wakati kuwa napenda kuwa mfanyabiashara bora Kama kaka zangu na dada zangu walinitangulia katika kazi hiii. ... Katika siku yako muhimu kama yaleo Mama angu naomba nikuambie kitu nataka nikugusie juu ya ndoto zangu mwanao napiga sana kila kukicha, Ndoto ambayo nilikuwa nakusimulia kila wakati kuwa napenda kuwa mfanyabiashara bora Kama kaka zangu na dada zangu walinitangulia katika kazi hiii. Japo kila kukicha wananirushia mawe nisifike kule niendapo, mawe yote nimeyaokota najengea barabara nifike niendapo hakuna wakunifuta machoz yangu zaid yako ila japo muda mwingine Nalia kilio cha mtu mzima maumivu ndan kwa ndani, Wateja wangu ndiyo wananipa ujasiri wa kupambana na kukomaa hivo hivo. Kiukweli Mama siwez kulalamika sana maana hata wakati napokuwa mpweke wateja wangu uniliwaza kwa kusapoti bidhaa zangu naweza sema ndo faraja kwangu ndiyo wananifanya niwe jasiri wakuchagua nguo nzuriii na vitu vyenye quality kila kukicha. Nakupenda san Mama❤️ happy birthday to you.
Read more
Kama hamjavaa sare sare na mama yako au dada zako au kaka zako bado hujawa mwafrika! ndukiiiii mimi ...
Media Removed
Kama hamjavaa sare sare na mama yako au dada zako au kaka zako bado hujawa mwafrika! ndukiiiii mimi nimeshaanza Watag african Mom wote! Kama hamjavaa sare sare na mama yako au dada zako au kaka zako bado hujawa mwafrika! ndukiiiii mimi nimeshaanza
Watag african Mom wote!
Leo katika maadhimisho ya siku ambayo Tanganyika ilikua huru tena baada ya uhuru wake ulioporwa ...
Media Removed
Leo katika maadhimisho ya siku ambayo Tanganyika ilikua huru tena baada ya uhuru wake ulioporwa kwa miaka mingi kabla ya tar 9/12/1961. Katika kusherehekea uhuru huu pamoja na mambo mengine ikiwemo pia kurudi uraiani kwa manguli wa music nchini #babu seya #.ni furaha yangu na imenipendeza ... Leo katika maadhimisho ya siku ambayo Tanganyika ilikua huru tena baada ya uhuru wake ulioporwa kwa miaka mingi kabla ya tar 9/12/1961. Katika kusherehekea uhuru huu pamoja na mambo mengine ikiwemo pia kurudi uraiani kwa manguli wa music nchini #babu seya #.ni furaha yangu na imenipendeza kuadhimisha siku hii ya uhuru katika kituo cha kulelea watoto yatima cha New Ophance kilichopo Boko Dar es salaam. Huko nimewakuta watoto ambao neno Baba, mama,Dada, kaka nk kwao wao hiyo misamiati hawaitumii saaana. Ni watoto ambao wao hawana ukoo wala Kabila wala ndugu vitu hivyo hawavijui kabisa. Watoto hawa ni WaTanzania wenzetu nao wanasherehekea uhuru ila wanaomba jamii iwakumbuke kwani wanasema walisikia kwamba matunda ya uhuru nao yanawahusu. Furaha waliyoipata watoto hawa ni kubwa Sana ambayo natamani mtu mwingine akaishuhudie kwao.
#Tuwakumbuke watoto hawa #
Read more
@@LvUrTz@@Watanzania Tuckubali Mtu yeyote Kuharbu #Amani,Upendo na Umoja Wetu #TUILINDE TZ ...
Media Removed
@@[email protected]@Watanzania Tuckubali Mtu yeyote Kuharbu #Amani,Upendo na Umoja Wetu #TUILINDE TZ YETU!! #FIKIRIA BABA,MAMA DADA ,KAKA, NA NDUGU ZKO !!!! @@[email protected]@Watanzania Tuckubali Mtu yeyote Kuharbu #Amani,Upendo na Umoja Wetu #TUILINDE TZ YETU!! #FIKIRIA BABA,MAMA DADA ,KAKA, NA NDUGU ZKO !!!!
mambo vip ndugu zangu naombi moja tuu naomba kaka dada baba mama tubadiriki tuache kutuma picha ...
Media Removed
mambo vip ndugu zangu naombi moja tuu naomba kaka dada baba mama tubadiriki tuache kutuma picha za uchi tuma vitu vinavyo fundisha na kuelimisha fanya kama wengine wewe mwenye tabia hiyo acha mara moja vaa nguo ka ma mm uwe mwema hata wadogo zako au watoto wako wakichukua simu yako wakiingia ... mambo vip ndugu zangu naombi moja tuu naomba kaka dada baba mama tubadiriki tuache kutuma picha za uchi tuma vitu vinavyo fundisha na kuelimisha fanya kama wengine wewe mwenye tabia hiyo acha mara moja vaa nguo ka ma mm uwe mwema hata wadogo zako au watoto wako wakichukua simu yako wakiingia kwenye mtandao akute umevaa vizuri unapewa heshima nawapenda saana kama limekukela lifanyie kazi weekend njema wote
Read more
Alhamdulillah Allah kareem kwa sisi waja wake hakika hakuna utajiri mkubwa kama pumzi afya njema ...
Media Removed
Alhamdulillah Allah kareem kwa sisi waja wake hakika hakuna utajiri mkubwa kama pumzi afya njema mengine majaaliwa ila usimuamini sana mwanadam ambaye alikutenda kisha akaja kurudi kwako tena ukampa nafasi ndani yamoyo wako juwa atakumaliza huku unajiona unatakiwa kuishi na adui huyo ... Alhamdulillah Allah kareem kwa sisi waja wake hakika hakuna utajiri mkubwa kama pumzi afya njema mengine majaaliwa ila usimuamini sana mwanadam ambaye alikutenda kisha akaja kurudi kwako tena ukampa nafasi ndani yamoyo wako juwa atakumaliza huku unajiona unatakiwa kuishi na adui huyo kwa taazari nasio unampa nafasi kubwa yamaisha yako nakujisahau kuwa mwanzo alikuumiza lakini kwa nguvu na upendo wake Allah ndio vilikuokoa hakufanikiwa hivyo pale anaporudi bakisha akiba yamaneno na mwenendo wa maisha yako asiyajuwe huwenda katumwa na waja wasio kupenda waje wakumalizela cheka nae kwa taazari kubwa sana usimuoneshe meno yako yote siku zote hulka ya mja haina dawa hata robo haswa akiwa mja anae penda kitu pia muongope sana mtu anae jifanya mwema usoni rohoni anachuki kali sana huyo mtu nihatari hii dunia yalewa waja wengi tumekuwa mwenye kitu ataitwa mama dada kaka baba mjomba shangazi namajina mengi mazuri asiye nakitu hawezi pewa thamani hata robo wala aso nakitu hapewi uongozi wala madaraka kwakua anaonekana hana thamani watu tumekuwa watumwa wakuthamini sana kitu kuliko utu wamtu nathamani yake Allahuakbal kweli dunia sio mbaya watu ndio wabaya ukiwa tajiri utakuwa wakwanza kupata tarifa zakila tukio lafamilia lakini ukiwa fukara hata uwe una umri mkubwa kiasi ngani hakuna atakae ona thamani yake kubali kataa mwenyepesa anaheshimika bwana hata kama hajitoi kwenye familia atakuwa wakwanza kupewa taarifa mmmmm binadam sie kesho kwa mungu kunakazi kubwa sana pia muongope sana mtu anaependa sankuzania wenzie mabaya kwakuwa yeye ndio staili yamaisha yake kuwafanyia wenzie ya somema hivyo kila akikaa ile laana ya ubaya inamtafuna mwenyewe sasa ndio anapo aza kuhisi wenzie nao wabaya Allah tunusuru nakila aina yatabia zisizo kupendeza wewe mola wetu tupe mwisho mwema waja wako waso wema wadhalilike hapa duniani akhera kwende hesabu zao usimuamini binadam kubadilika kama kinyonga nisekunde #watapatatabusana
#yajayoyanafurahisha
Read more
Hello my people Goodmorning 🏿 leo mapema asubuhi hi kwenye uzinduzi wa campaign ya #Hop4yongGirls nimepata nafasi Kama mwakilishi wa vijana katika sakata la kuongezeka kwa Mimba za utotoni na Ndoa za utotoni ninafuraha kupata nafasi Kama Balozi /msemaji /na kaka mkuu/ katika sakata ... Hello my people Goodmorning 👊🏿💥 leo mapema asubuhi hi kwenye uzinduzi wa campaign ya #Hop4yongGirls nimepata nafasi Kama mwakilishi wa vijana katika sakata la kuongezeka kwa Mimba za utotoni na Ndoa za utotoni ninafuraha kupata nafasi Kama Balozi /msemaji /na kaka mkuu/ katika sakata hili Shukrani kwa mgeni rasmi mama yetu #MagretSawe ) kwa nafasi na waandishi wa Habari wote mliofika leo mungu Ibariki Tanzania 🇹🇿 mungu Bariki Dada zetu waweze fikia malengo !! #BadoMdogokuolewa!! 👊🏿⭐️💯🙏🏿 #Balozi #Msemaji #KakaMkuu @hope4young_girls
Read more
Pole sna ndugu yangu pole mzee si rahisi kukubali,kuamini na kuliishi ili jambo hasaktk wakati ...
Media Removed
Pole sna ndugu yangu pole mzee si rahisi kukubali,kuamini na kuliishi ili jambo hasaktk wakati huu with in a week Dada kaondoka na mama anafwaa tena ata week aijapita..bro pole sna kaka MUNGU akutie nguvu na kukushika in this sadness moment.. Pole sna ndugu yangu pole mzee si rahisi kukubali,kuamini na kuliishi ili jambo hasaktk wakati huu with in a week Dada kaondoka na mama anafwaa tena ata week aijapita..bro pole sna kaka MUNGU akutie nguvu na kukushika in this sadness moment..
Habari zikufikiye wewe kaka ambaye ukinikuta na dada yako unanikimbiza.OLE WAKO Siku ya Harusi ...
Media Removed
Habari zikufikiye wewe kaka ambaye ukinikuta na dada yako unanikimbiza.OLE WAKO Siku ya Harusi Ujishaue Kucheza sana Kwaito mama yangu mziki nazima Habari zikufikiye wewe kaka ambaye ukinikuta na dada yako unanikimbiza.OLE WAKO Siku ya Harusi Ujishaue Kucheza sana Kwaito mama yangu mziki nazima😃😃
28 March 2018.....................100% Happy Birthday To Me.<span class="emoji emoji1f382"></span> Asante Mungu kwa mwaka mwingine ...
Media Removed
28 March 2018.....................100% Happy Birthday To Me. Asante Mungu kwa mwaka mwingine tena maishani mwangu, safari ya maisha yangu nimeikabidhi mikononi mwako nashukuru kwa jinsi na namna ambavyo umekua nguzo, nuru na mwangaza imara katika yote nipitiayo, nasema Asante ... 28 March 2018.....................100%
Happy Birthday To Me.🎂
Asante Mungu kwa mwaka mwingine tena maishani mwangu, safari ya maisha yangu nimeikabidhi mikononi mwako nashukuru kwa jinsi na namna ambavyo umekua nguzo, nuru na mwangaza imara katika yote nipitiayo, nasema Asante pia kwa kunikirimia baraka, rehema na neema zako katika maisha yangu nakutegemea wewe Pekee univushe hata kufikia mipango, malengo na ndoto nilizonazo.
Baba na Mama ninyi ni muhimili imara na muhimu sana maishani mwangu mmenilea, kunitunza na kunijali katika kila hali, nawashukuru sana kwa malezi bora na yenye maadili yanayompendeza Mungu, ninyi na hata jamii kwa ujumla nawaombea maisha marefu hata mkaonje matunda ya mafanikio ya Mimi mwanenu, bila kusahau ndugu zangu wote upande wa Baba na upande wa mama mmenilea vyema,kina kaka na kina dada nawasukuru mnoo kwa kua pamoja nami kipindi chote cha maisha yangu. Mungu awabariki na kuwazidishia katika kila mnalopitia.
Mary my love asante mama angu umekua kiungo muhimu katika maisha yangu since nimekufahamu, umekua kielelezo na nguzo imara kwangu nilipokosea ulinikumbusha na kunisihi kua makini na hata nilipokutana na changamoto yeyote ya kunikatisha tamaa wewe ulikuepo na kunipa moyo wa ujasiri na uvumilivu na ulinisihi yakua tatizo langu ni lako pia, asante mpnz Mungu azidi kua nasi, atulinde na kutupa maisha marefu hata kutimiza ahadi tulizonazo.
Marafiki na hata jamaa nawashukuru kwa kila hatua tuliyoshiriki pamoja japo vikwazo ni vingi ila mengi tulivuka na mengine bado tunaendelea kupambana nayo, Mungu awabiriki sana.
Happy Birthday To Me.🎂
Remember sometimes the right path isn't the easiest one & Every Legacy has a story.
#nix_photoz📸
#mGm_priNCess💖
#happybirthdaytome🎉
#thanksGod🙏
#Mom&Dad👪
Read more
<span class="emoji emoji1f31f"></span>MBUTA NANGA MAGAZINE <span class="emoji emoji1f31f"></span> GOOD MORNING FROM LONDON MY DEARS KUMEKUCHA TUMSHUKURU MUNGU<span class="emoji emoji1f64f"></span> Mimi NIMEKIAMKIA ...
Media Removed
MBUTA NANGA MAGAZINE GOOD MORNING FROM LONDON MY DEARS KUMEKUCHA TUMSHUKURU MUNGU Mimi NIMEKIAMKIA Jamani hivi hii familia ya DORIA Mama ya bi arusi wetu Meghan HAWANA NDUGU ? yani sijaona hata dada wala kaka au hata rafiki wa huyu mama ? Masikini kaja mwenyewe saa zote hata wakuongea ... 🌟MBUTA NANGA MAGAZINE 🌟
GOOD MORNING FROM LONDON MY DEARS KUMEKUCHA TUMSHUKURU MUNGU🙏
Mimi NIMEKIAMKIA 🎤
Jamani hivi hii familia ya DORIA Mama ya bi arusi wetu Meghan HAWANA NDUGU ? yani sijaona hata dada wala kaka au hata rafiki wa huyu mama ? Masikini kaja mwenyewe saa zote hata wakuongea nae jambo hana yani NIMEMUONEA HURUMA SANA MAMA HUYU .
Yani sijui kama ndiyo kuwa wachoyo au ndiyo kuwa na wale ndugu wakorofi au wachafu ALAFU UNAOGOPA KUJA KUAIBISHWA 😂😂😂😂 KIUKWELI NAVYOJIJUA MIMI YANI WANGEJUTA KUNIOWA MAANA PANGEKUWA HAPATOSHI ALMOST KIJIJI KIZIMA KINGEKUJA NA NDAFU YETU LAZIMA TUIKATE NA BILA KUSAHAU MBEGE 😂😂😂🥂🍾 BUT ITS SAD ... JUST THINKING HOW COME 👀👀 NGACHOKA
#jumapilinjemamydears
#Mbutanangablog
#Mbutanangastyle
#Mbutanangamagazine
Read more
Mungu ninakushukuru kwa mema yote. Tar 05/02 itadumu kuwa ya pekee kwangu, lakini zaidi kwa mama ...
Media Removed
Mungu ninakushukuru kwa mema yote. Tar 05/02 itadumu kuwa ya pekee kwangu, lakini zaidi kwa mama na baba yangu. Uliifanya hii tarehe kuwa ukomo wa dharau,fitna na manyanyaso dhidi yao. Uliyafuta machozi ya mama na kumpa kufurahi TNA. Uliwanyamazisha na kuwaaibisha wote waliofurahia ... Mungu ninakushukuru kwa mema yote. Tar 05/02 itadumu kuwa ya pekee kwangu, lakini zaidi kwa mama na baba yangu. Uliifanya hii tarehe kuwa ukomo wa dharau,fitna na manyanyaso dhidi yao. Uliyafuta machozi ya mama na kumpa kufurahi TNA. Uliwanyamazisha na kuwaaibisha wote waliofurahia maumivu ya wazazi wangu especially mama yangu. Uliwapa Dada zangu furaha ya kuwa na kaka. Na mengine yoote mema. Asante MUNGU.
Read more
 #MAMA hivi vijamaa havikuwa mbali kuhakikisha vinampa surport mama yao na kaka @jadeniyobo alikuja ...
Media Removed
#MAMA hivi vijamaa havikuwa mbali kuhakikisha vinampa surport mama yao na kaka @jadeniyobo alikuja kumpa surport dada yake @cookieprincessiyobo ambaye kwenye hiyo movie kacheza kama yeye ndio mtoto wa huyo MAMA. Hapo juu ya bio yangu kuna ka link nimekuwekea ili na wewe ukaone na ujue ... #MAMA hivi vijamaa havikuwa mbali kuhakikisha vinampa surport mama yao na kaka @jadeniyobo alikuja kumpa surport dada yake @cookieprincessiyobo ambaye kwenye hiyo movie kacheza kama yeye ndio mtoto wa huyo MAMA. Hapo juu ya bio yangu kuna ka link nimekuwekea ili na wewe ukaone na ujue mama zetu wa familia za chini wanavyo pitia magum juu yetu
Read more
Inaendelea... Nilipata seat ya watu watatu ambapo seat yangu ilikuwa ya katikati, kushoto alikaa ...
Media Removed
Inaendelea... Nilipata seat ya watu watatu ambapo seat yangu ilikuwa ya katikati, kushoto alikaa mwanamke wa makamo hivi na kulia dirishani alikaa msichana wa miaka kama 21 nakumbuka alikuwa amevaa earphones na ipod anasikiliza mziki. Yule bi mkubwa kushoto kwangu aliniuliza “unaenda ... Inaendelea... Nilipata seat ya watu watatu ambapo seat yangu ilikuwa ya katikati, kushoto alikaa mwanamke wa makamo hivi na kulia dirishani alikaa msichana wa miaka kama 21 nakumbuka alikuwa amevaa earphones na ipod anasikiliza mziki. Yule bi mkubwa kushoto kwangu aliniuliza “unaenda kwenye maonyesho ya saba saba?” Nlishtuka!! na kumjibu hapana naenda Dar kutafuta maisha. Baada ya kimya kingi nilirudisha swali kwake “saba saba huwa kuna kitu gani hasa special?”, alinijibu vingi sana havielezei ni vema kama ukifika mwenyewe, aliongea kwa msisitizo. Ghafla yule dada aliyekaa dirishani alivua earphones na kuninong’oneza kwa sauti ya chini sana. “Kaka samahani naomba tukikaribia kufika mlandizi niambie, mimi ni mgeni.” Nilistuka kwa mbali mana hata mimi ndo ilkuwa mara yangu ya kwanza kwenda Dar es salaam. Nilimgeukia yule mama pembeni na kumnong’oneza kuhusu ombi la yule dada. “heee! Mbona tumeshapita mlandizi”,alijibu kwa sauti ya juu ingawa mimi nilimuuliza kwa sauti ya chini lilikuwa jibu la mstuko hata kwangu. Yule dada alianza kukusanya vifurushi vyake kwa pupa na kupayuka, “dereva nishusheeeeeee” huku akikimbia kuelekea mlangoni na wakati huo huo akijaribu kuzuia kanga na mtandio aliovaa visianguke.
#Airtel77 Itaendelea 😎
Read more
"My last experience with Dreamliner ni kwamba kuna watu wanasafiri kwa janja janja wakati hili ...
Media Removed
"My last experience with Dreamliner ni kwamba kuna watu wanasafiri kwa janja janja wakati hili ni jasho la maskini ambalo limetumiwa kurahisisha usafiri wa wenye nacho!! . Nilicheck in KIA tarehe 4 August, mizigo yangu ikatagiwa BKZ lakini nilikuwa transit Mwanza! Nikapewa boarding ... "My last experience with Dreamliner ni kwamba kuna watu wanasafiri kwa janja janja wakati hili ni jasho la maskini ambalo limetumiwa kurahisisha usafiri wa wenye nacho!!
.
Nilicheck in KIA tarehe 4 August, mizigo yangu ikatagiwa BKZ lakini nilikuwa transit Mwanza! Nikapewa boarding pass ya siti no 26 F.
-
-
Nilipofika 26 F nikakuta mbaba mkaka kajituliza pale, nikajua probably siti yake ni 26 E ila anajiona hawezi Kaa katikati kwa hiyo anataka kuniangaliziamo yani that mi nikae katikati. Huku na kule wa 26 D Akakaa nikawa kati nimesimama. Nikamwambia kaka naomba siti yangu nikae.. anakazana nikae katikati, mara muhudumu akaja, ananambia “madam kaa katikati “ like commanding me! Nikamwambia unaniomba au unaniforce? Huyu ana nini why asikae katikati na mimi hii ni siti yangu? Sikuamini jibu la yule kaka eti “Hii ni siti yangu nimetoka nayo waulize hata wengine “
.
Nikamwambia kaka hii sio Kandahar trans, lete boarding pass yako tuone for the first time ndege igonganishe siti! Akagoma kutoa! Ghafla nikasikia mwenye siti yake 26 E anaomba nimpishe.
.
Muhudumu akanambia madam nisikilize mimi, hama hiyo siti kakae kwingine.
.
Nikasema we dada unanijua robo!! Yani mi mwenye siti nianze kudanga empty seat? Huyu siti yake ni ipi? Eti ni 26 F, how come ionekane that iko empty KIA? Eti ni system error!! Nikasema pumbavu msinitanie! Error? Hivi what if ni international flight mnaingia eti system imegonganisha siti nani atashuka? Hii sio city boy eti mtu atakaa kwenye godoro a beg!
.
Kaka toa boarding pass tuione, haitoki. Mwisho kaja muhudumu wa kiume akamtoa, nikakaa na hasira zangu. So probably that guy alikata ticket only mpaka KIA but kwa dili anaunga mwanza.
.
Kufika mwanza naambiwa I have to claim my baggage again! Yani hadi transit ndogo ivo ya kuhamisha mizigo from KIA aircraft to BKZ hamuwezi? Nikawauliza how many tags za same luggage ntakua nazo?
.
Kiboko ni mmama alikua na extra kgs akazilipia Dar, kufika Mwanza anaambiwa unalipa tena hii ni ndege nyingine 😂, eti from Dar umelipia Dreamliner, hapa unabadili to bombardier unalipa tena! Kidogo afe! Mama alipiginaa mwisho hakulipa!
.
Kuja kutucheck system zote hazifanyi kazi, mnapanga hapa, mnatolewa mnapanga hapa!
Read more
Bernadetha aliingizwa ndani bado akiendelea kulia na Marietta naye akifichwa kilichojiri…Ndani ...
Media Removed
Bernadetha aliingizwa ndani bado akiendelea kulia na Marietta naye akifichwa kilichojiri…Ndani ya muda mchache watu walijaa kwenye nyumba hiyo kila mmoja akimnyookea mama Marietta na kumpa mkono wa pole. . . Hapo ndio Marietta akafahamu nini kilichojiri – Baba yake, bwana Malale, ... Bernadetha aliingizwa ndani bado akiendelea kulia na Marietta naye akifichwa kilichojiri…Ndani ya muda mchache watu walijaa kwenye nyumba hiyo kila mmoja akimnyookea mama Marietta na kumpa mkono wa pole. .
.
Hapo ndio Marietta akafahamu nini kilichojiri – Baba yake, bwana Malale, aliyekuwa amelazwa kwa miezi kadhaa, amefariki dunia. Alilisikia hilo kwenye kinywa cha mmoja wa waombolezaji waliofika nyumbani kwao. Basi huo kwake ukawa muendelezo wa yeye kulia, akijumuisha na njaa aliyokuwa anasikia hapo awali, ambayo kwa dakika kadhaa ilikoma.
.
.
Watu walizidi kufurika kwenye makazi hayo, wengi wakija na magari yenye plate number: STK ama DFP. Maturubai yaliletwa uwanjani yakafungwa na viti vya plastiki navyo waombolezaji wapate kukaa. Michango ya mamilioni ilitolewa.
.
.
Siku iliyofuata mtoto wa kwanza wa marehemu mwenye miaka ishirini na tatu, kwa jina Miraji, alirejea nchini akitokea India alipokuwa akisomea udaktari. Kwa mujibu wa Imani za wafiwa, marehemu akazikwa siku hiyohiyo.
.
.
Kijikao cha familia kiliitishwa kikiundwa na watu watano: mke wa marehemu: Bernadetha, mtoto mkubwa wa marehemu: Miraji, pamoja na kaka na dada wa marehemu.
.
.
Waliketi sebuleni nyuso zao zikitandazwa na huzuni.
Waliswali kikao kikafunguliwa na kaka wa marehemu, bwana Tahid. Mbaba mwenye mwili mpana na ngozi nyeupe pe!
.
.
“Natumai tu salama salmini baada ya kutoka katika shughuli pevu hapo jana na hata juzi. Ningependa kuchukua nafasi hii sisi kama familia kujulishana hasa ni nini kitakachofuata baada ya mwenzetu, mwanafamilia mwenzetu kutwaliwa na mwenyezi Mungu. .
.
Kama tunavyofahamu, japokuwa kulikuwa na matatizo ya hapa na pale yaliyopelekea mwenzetu kutengwa na jamii, vilevile kusalitiwa na muajiri wake, serikali, sisi katika muda huu ndiyo yatupasa tuwe zaidi ya kitu kimoja.”
.
.
Akaweka kituo. Alisafisha koo akaendelea:
“Basi kutokana na hali iliyopo sasa, makubaliano na maagano yetu kama familia yatakuwa hivi: nyumba ya marehemu itakuwa chini ya mkewe na wanawe.
Read more
Regrann from @officialjudie_fanpage - Kiukwelii ni Vema Kumshukuru MUNGU katika kila jambo Unaweza ...
Media Removed
Regrann from @officialjudie_fanpage - Kiukwelii ni Vema Kumshukuru MUNGU katika kila jambo Unaweza ukapanga mipango yako mingi mingi ,Kesho nitafanya ivi au utaenda hapa na pale.... Lakini isiwe ivo Kutokana na mipango ya MUNGU kila sekunde inayopita kwako unatakiwa umshukuru MUNGU ... Regrann from @officialjudie_fanpage - Kiukwelii ni Vema Kumshukuru MUNGU katika kila jambo Unaweza ukapanga mipango yako mingi mingi ,Kesho nitafanya ivi au utaenda hapa na pale.... Lakini isiwe ivo Kutokana na mipango ya MUNGU kila sekunde inayopita kwako unatakiwa umshukuru MUNGU usisubiri Mpaka usikie taarifa mbaya ndio upate hofu Apanaa...Wapo wamchao MUNGU watu wema wasio na tatizo hatupo nao adi unajiuliza MUNGU kwanini yulee hana atia ni mwema na anafaakuwepo Lakini ni mipango ya MUNGU ila jiulize wapo unao wajua wafanyao uchafu, mabaya, dhambiiii ,..Lakini eti wanapata Neema napenda nikukumbushe kubadilika Kwa historia yako ni sekundee tu... MUNGU anatupa nafasiii na Neema ili tutende mema na kumkumbuka kabla kikombe hakijakukuta wewe na mimi baba mama Kaka Dada kijana Mtoto ....Usipo ziba ufaa utajenga ukutaa, Usijifarijii kabisa ndugu yangu wala mimi nisijifariji kabisaa... Usiombe MUNGU akasirike utatamani uwe una okoka asubuiii Mchana joini ...Ninakushukiru MUNGU sababu ya Mengi hata uhai huu sikustahili Ninakushukuru MUNGU tena sababu ya vingi ...Hatanikiwa na sali unajua na Maanisha kilicho baki ni #SHUKURANI #SHUKURANI #SHUKURANI #SHUKURANI 🙏🙏🙏🙏🙏@queenforever - #regrann
Read more
Furaha yangu ni kuona familia ya oriflame inazidi kuongezeka <span class="emoji emoji1f46f"></span><span class="emoji emoji1f46f"></span> Na sio kuongezeka tu kwa idadi ...
Media Removed
Furaha yangu ni kuona familia ya oriflame inazidi kuongezeka Na sio kuongezeka tu kwa idadi lakini pia kuona watu wanatimiza ndoto zao kupitia oriflame.. With oriflame, it is all about your dreams... . Ewe binti, dada, mama, baba, kaka fursa hii ni yako, amua leo kujiunga na ubadilishe ... Furaha yangu ni kuona familia ya oriflame inazidi kuongezeka 👯👯
Na sio kuongezeka tu kwa idadi lakini pia kuona watu wanatimiza ndoto zao kupitia oriflame..
With oriflame, it is all about your dreams...
.
Ewe binti, dada, mama, baba, kaka fursa hii ni yako, amua leo kujiunga na ubadilishe story ya maisha yako.

Nataka kufanya kazi na ww kupitia fursa hii yenye kianzio kidogo sana (mtaji mdogo)
Nicheck whatsapp 0654292432 0654292432 0654292432

#therockstars #oriflamechanginglives #changeyourstory
#ownboss
Read more
MTU ANAVYOJIHISI KIFO. Mtu huwa hatambui kuwa amekufa pale anapokufa. Yeye hujihisi anaota anakufa, ...
Media Removed
MTU ANAVYOJIHISI KIFO. Mtu huwa hatambui kuwa amekufa pale anapokufa. Yeye hujihisi anaota anakufa, anajihisi analia, anaoshwa, anafungwa na anateremshwa kaburini. Bado anajihisi kuwa anaota anapofunikwa na mchanga. Kisha hulia kwa makelele na hakuna anae msikia. Baadae kila ... MTU ANAVYOJIHISI KIFO.
Mtu huwa hatambui kuwa amekufa pale anapokufa. Yeye hujihisi anaota anakufa, anajihisi analia, anaoshwa, anafungwa na anateremshwa kaburini.
Bado anajihisi kuwa anaota anapofunikwa na mchanga. Kisha hulia kwa makelele na hakuna anae msikia.
Baadae kila mtu anapotawanyika na ameachwa pekee chini ya ardhi, Mungu huirudisha roho yake. Anafungua macho na kuamka kutoka "ndoto yake mbaya". Mwanzoni, hufurahi na kushukuru kuwa alikuwa anaota tu, na sasa ameamka kutoka usingizini. Kisha hujigusa mwili wake ambao utakuwa umefunikwa na kitambaa cheupe,na kwa mshangao hujiuliza "shati/gauni langu liko wapi?"
Kisha ana anza kujihisi "niko wapi?" "hii ni sehemu gani?" Mbona kuna harufu ya udongo kila mahali? Ni nini haswa ninacho kifanya hapa?
Hapo ndipo atakapo anza kugundua kuwa yuko chini ya ardhi na alicho kihisi haki kuwa ndoto!
Ndiyo, anagundua kuwa ni kweli yeye amekufa, na amezikwa.
Anapiga kelele kadri anavyoweza kuwaita watu waliokuwa karibu nae ambao wangeweza kumuokoa:
"baba"
"mama"
"kaka"
"dada"
"rafiki"

Hakuna anaemjibu. Kisha anagundua kuwa Mwenyezi Mungu ndio tegemeo lake pekee. Akilia na kumuita huku akimuomba msamaha :
...
Eee Mwenyezi Mungu ...
Nisamehe mimi !!! Anaita akiwa na hofu kubwa,ambayo hakupata kuwa nayo alipokuwa hai .

Kama alikuwa mtu mwema na mcha Mungu, malaika wawili wakiwa na uso ulio na furaha watamkalisha na kumliwazana kumhudumia vizuri.

Kama alikuwa mtu mbaya na hakuwa mcha Mungu, malaika wawili watamwongozea hofu yake na kumpa mateso kufuatana na amali zake mbaya.

Ewe Mola, nisamehe dhambi zangu, dhambi za baba yangu, mama yangu, mke/mume wangu na wanangu na jamaa zangu na marafiki.

Ewe Mwenyezi Mungu , usiuchukue uhai wangu ila pale nitakapo kuwa tayari kukutana nawe.

Kumbuka una chaguo mbili tu hapa:

1.Uache elimu hii hapa isomwe na hakuna kitakacho tokea.
2. Isambaze elimu hii kwa marafiki zako,.na wote wengine.
itakuwa na manufaa kwao, na wewe utafaidika.😢
Read more
UnaniTempt ka Sheito niko radar/ Na umeng’ara enyewe the devil wears Prada/ I am King Kaka come ...
Media Removed
UnaniTempt ka Sheito niko radar/ Na umeng’ara enyewe the devil wears Prada/ I am King Kaka come uwe my Queen Dada/ Gorillaaaaa unapenda vile napenya/ Na tukicheat it’s obvious tuko na Mwakenya/ Nikulenge mchana na nikusifu kwa giza/ Mama enjoy hiyo box nimekuingiza!!! UnaniTempt ka Sheito niko radar/
Na umeng’ara enyewe the devil wears Prada/
I am King Kaka come uwe my Queen Dada/
Gorillaaaaa unapenda vile napenya/
Na tukicheat it’s obvious tuko na Mwakenya/
Nikulenge mchana na nikusifu kwa giza/
Mama enjoy hiyo box nimekuingiza!!!