Diamondplatnumz kwa sasa kwetu

Loading...


Unique profiles
2
Most used tags
Total likes
0
Top locations
WCB
Average media age
628.5 days
to ratio
1
@mbosso_ Kwa sasa ni msanii aliyepo chini la label ya @wcb_wasafi inayoongozwa na msanii nguli @diamondplatnumz Ameshawasilisha kazi kadha wa kadha kwetu sisi watanzania alianza na Utakubali, nimekuzoea, alele na sasa amekuja na nyingine mpya tena Kali zaidi inayokwenda kwa jina ... @mbosso_
Kwa sasa ni msanii aliyepo chini la label ya @wcb_wasafi inayoongozwa na msanii nguli @diamondplatnumz
Ameshawasilisha kazi kadha wa kadha kwetu sisi watanzania alianza na Utakubali, nimekuzoea, alele na sasa amekuja na nyingine mpya tena Kali zaidi inayokwenda kwa jina la 'PICHA YAKE'. PICHA YAKE ni wimbo wa mapenzi wenye hisia Kali sanaa na uliobeba ujumbe wa aina yake, ni wazi kua mapenzi ni kitu cha kipekee sana hasa pale mtu unapopenda kweli hisia, mawazo na hata matendo hukosa muelekeo na kujikuta usiejiweza juu ya Yule umpendae ila sasa mambo hua magumu pale unapopenda usipopendwa, nisikumalizie uhondo nenda kwa Bio ya @mbosso_ kuitazama full video ya PICHA YAKE ukajionee mwenyewe ni kwann PICHA YAKE na wala si MOYO WAKE.
Pia waweza kudownload audio katika platform zote.
@wasafitv
Chombo Kwa Hewa.
#WCB_FOREVER💪
#WCB_FOR_LIFE🌟
#bongoflevatotheworld🌎
Read more
Loading...
Kuna msemo unasema, Form is temporary, Class is permanent... Huyu @zarithebosslady Ni Class jamani.<span class="emoji emoji270b"></span><span class="emoji emoji270b"></span>Kwa ...
Media Removed
Kuna msemo unasema, Form is temporary, Class is permanent... Huyu @zarithebosslady Ni Class jamani.Kwa namna yoyote ile, kwa vyovyote vile bado hakuna Mwanadada wa Kizaramo wa kumlinganisha nae... Hata haters wake wanasubiri hapa..😀 Ndio, ukweli lazima usemwe 😀 . . Wanasema ... Kuna msemo unasema, Form is temporary, Class is permanent... Huyu @zarithebosslady Ni Class jamani.✋✋Kwa namna yoyote ile, kwa vyovyote vile bado hakuna Mwanadada wa Kizaramo wa kumlinganisha nae... Hata haters wake wanasubiri hapa..😀 Ndio, ukweli lazima usemwe✋✋ 😀
.
.

Wanasema @zarithebosslady Bibi lakini mpaka leo wapinzani wake ni hawa tunaowaita wasichana warembo hapa kwetu.. Nani Bibi sasa? Hivi Mnaelewa maana ya Class nyie??
.
.

Nashindwa kumlaumu sana @diamondplatnumz
Ukweli ni kwamba, 'Huwezi Kumlaumu kichaa kwa kula jalalani' hata ukimpeleka leo Hotelini, kesho atarudi Jalalani, Kwasababu kinachomfanya aende Jalalani hakijashughulikiwa. Kwanini ameliacha hili tunda liende.. Sisi binadamu kila mtu aliumbwa na wazimu wake kichwani.. Huenda kaka mkubwa anayajua zaidi.. Ila kwa picha ya cover, @zarithebosslady Ni BINADAMU HASWAAA!!!!!✋✋✋
Read more
Loading...