Loading Content...

Gauni za harusi

Loading...

Unique profiles
5
Most used tags
Total likes
0
Top locations

Average media age
728 days
to ratio
7
Elimu Biashara Mwaka jana Mtu Mfupi alitupigia makadirio yake ya harusi baada ya kuongea na Mchuchuake, ...
Media Removed
Elimu Biashara Mwaka jana Mtu Mfupi alitupigia makadirio yake ya harusi baada ya kuongea na Mchuchuake, akasema anazikusanya mwaka Huu aoe. Alipotaka kuoa aliambiwa aende na Mahari 2m, bado ahudumie msosi ukweni siku ya mahari kama 400,000/= hivi, Msweety wake anataka White Gold with ... Elimu Biashara

Mwaka jana Mtu Mfupi alitupigia makadirio yake ya harusi baada ya kuongea na Mchuchuake, akasema anazikusanya mwaka Huu aoe. Alipotaka kuoa aliambiwa aende na Mahari 2m, bado ahudumie msosi ukweni siku ya mahari kama 400,000/= hivi, Msweety wake anataka White Gold with Tanzanite 980,000/= ya Engagement, akiwaza gauni la bi harusi na la send off tayari 1.8m hivi inakatika plus msimanizi, bado yeye na msimamizi suti za harusi na plus sendoff kama 1.2m hivi inaisha, akitafakari kuna 900,000/= ya pete za harusi na pledge yake ya 500,000/= kwenye kamati ya harusi 😀😀 tukajumlisha tukapata jumla kama 7,780,000/=. .
.
Sasa mwaka huu akazipata tukajua anaopoa jiku tuanze vikao, Jana Katutumia Picha yupo site huko Mvuti mbele ya Chanika njia ya Kuelekea Mbande baada ya kona ya Dondwe anapambana na hali yake ya Kuikimbia Kodi. Kule kapata kiwanja 3m tu na kaanza pandisha Msingi kwa 4.8m iliyobaki 😀😀 anasema Watu warefu tunawaza Kuoa tu hatuwazi tutawaweka wapi watoto wa watu baada ya Ndoa. Na Kumshirikisha Mke wako stress za Kodi ni kumkondesha kimawazo. Me nimemshauri atafute mke huko huko Pwani ya Mvuti aoe tukacheze tu kigodoro yani akiwa na laki sita tunapata mziki, msosi na Ubani, kwishey marighea harusi imeisha. .

Shida inabaki sisi tuliopanga Mjini na mkienda tafta viwanja Mbopo, Mpiji Magohe, Kongowe, Mbande na Mvuti wife anasema hiko mbali tutafte karibu karibu na mjinj 😀😀😀 anasahau hata huku karibu mwanzoni kulikua mbali. Waulize wazee waliokaa Sinza na Kijitonyama enzi hizo kama mbezi beach na Tegeta palikua karibu, Mbezi Beach yote ile ilikua Mashamba ya Mpunga, Bunju na Mbweni watu walikua wanalima Mahindi. Tabata kote Mpunga ulikua unanawiri 😀😀 enzi hizo ukipewa offer ya kiwanja cha laki tatu Tegeta wala kesho yake haurudi tena ati palikua Mbali, ila leo hii Hapagusiki. Wacha tuwahi Kibaha kabla ya njia sita na reli.

By Man Dea
@jifunze_kilimo_na_ufugaji
@shamtech.investment
Read more
Loading...
Ni #MadamFloraBridal pekee unapoweza kujipatia nguo za harusi mpya kwa bei nafuu zaidi. Ukiwa ...
Media Removed
Ni #MadamFloraBridal pekee unapoweza kujipatia nguo za harusi mpya kwa bei nafuu zaidi. Ukiwa na 300, 000 lazima uondoke na gauni yako mpyaaaa.. Viatu vya harusi vya kisasa, suits na accessories zote za harusi zinapatikana #MadamFloraBridal Njoo ujionee mwenyewe tunauza kwa jumla ... Ni #MadamFloraBridal pekee unapoweza kujipatia nguo za harusi mpya kwa bei nafuu zaidi. Ukiwa na 300, 000 lazima uondoke na gauni yako mpyaaaa.. Viatu vya harusi vya kisasa, suits na accessories zote za harusi zinapatikana #MadamFloraBridal
Njoo ujionee mwenyewe tunauza kwa jumla na rejareja, tuko Bunju kwa Baharia jirani kabisa na kituo.
Kwa mawasiliano #0758105014
#0655105014
Instagram @flora_madam
@flora_madam

Hii gauni ya harusi ni $270,000 Sawa na hela za kwetu Tshs 621,000,000 yaani ni Sawa na kugawa milioni ...
Media Removed
Hii gauni ya harusi ni $270,000 Sawa na hela za kwetu Tshs 621,000,000 yaani ni Sawa na kugawa milioni 50 kwa vijiji 12 na bado inabaki nusu ya kijiji kinachofwata hapo hujaweka ile garama ya make up, ukija kwenye garama za sherehe yenyewe ndio usiseme ni hela yakutumia mikoa sijui mingapi. ... Hii gauni ya harusi ni $270,000 Sawa na hela za kwetu Tshs 621,000,000 yaani ni Sawa na kugawa milioni 50 kwa vijiji 12 na bado inabaki nusu ya kijiji kinachofwata😂😂 hapo hujaweka ile garama ya make up, ukija kwenye garama za sherehe yenyewe ndio usiseme ni hela yakutumia mikoa sijui mingapi. Sasa nashangaa watu siku hizi msemo umekua Royal Wedding, royal wedding..... jamani tuendelee tu na majina yetu ya harusi ya..... tuwaachie wenye jina lao wajinafasi haya hatuyawezi!
Tujivalie tu magauni yetu yenye details za kutosha tuachane na majina yao 😂😂😂😂
Tag maharusi watarajiwa waendelee na mipango yao!
#royalwedding #wedding #weddingday #weddingphotography #weddingday #meghanmarkle #princeharry
Read more
 #MADAM_FLORA_BRIDAL Tunauza nguo za Harusi, viatu, Suti za kisasa pamoja na accessories mbalimbali ...
Media Removed
#MADAM_FLORA_BRIDAL Tunauza nguo za Harusi, viatu, Suti za kisasa pamoja na accessories mbalimbali za maharusi kwa bei ya jumla na rejareja, Kuanzia Sh300,000,utapata gauni nzuri na mpya. Tuko #Bunju_Kwa_Baharia Whatsapp|Call|SMS, 0758105014, 0655105014 Pia tu follow kuona ... #MADAM_FLORA_BRIDAL
Tunauza nguo za Harusi, viatu, Suti za kisasa pamoja na accessories mbalimbali za maharusi kwa bei ya jumla na rejareja,
Kuanzia Sh300,000,utapata gauni nzuri na mpya.
Tuko #Bunju_Kwa_Baharia
Whatsapp|Call|SMS, 0758105014, 0655105014
Pia tu follow kuona kazi zetu
@madam_flora

Je umesumbuka kutafuta gauni LA ndoto yako na kwa bei nafuu katika siku ya ndoa yako? Usiwaze Sasa ...
Media Removed
Je umesumbuka kutafuta gauni LA ndoto yako na kwa bei nafuu katika siku ya ndoa yako? Usiwaze Sasa tumekuletea magauni bomba kabisa kuanzia sh 300,000. Weka oda yako mwezi mmoja kabla. Offer maalum kwa wateja 5 wa kwanza. Tuna mawakala dar Mara na Zanzibar. Mikoa mengine tunatuma. Call/WhatsApp ... Je umesumbuka kutafuta gauni LA ndoto yako na kwa bei nafuu katika siku ya ndoa yako?
Usiwaze
Sasa tumekuletea magauni bomba kabisa kuanzia sh 300,000.
Weka oda yako mwezi mmoja kabla.
Offer maalum kwa wateja 5 wa kwanza.
Tuna mawakala dar Mara na Zanzibar.
Mikoa mengine tunatuma.
Call/WhatsApp 0675694094
0777689833
Email [email protected]
[email protected]
Fb.Nguo za harusi unguja
Read more
Unaambiwa @solozisec alichukua namba za Wanawake zake woote akawaweka kwenye group moja la whatsap alafu akaliita wake zake Solomon... ,kubwaa zaidi kwa nini bibi harusi na mumewe wamechagua gauni jeusi siku ya harusi yao?? Hahaha baba anasema ajali kazinii babuu, nisikumalizie uhondo ... Unaambiwa @solozisec alichukua namba za Wanawake zake woote akawaweka kwenye group moja la whatsap alafu akaliita wake zake Solomon... ,kubwaa zaidi kwa nini bibi harusi na mumewe wamechagua gauni jeusi siku ya harusi yao?? Hahaha baba anasema ajali kazinii babuu, nisikumalizie uhondo maana leo mambo ni bambam kipindi pendwa cha @harusi.yetu kimerudi kwa kasi ,usipitwe tukune saa moja kamili usiku (1:00) kupitia @maishamagicbongo channel namba 160 #MMBongo #harusizatz
Read more
Loading...
Loading...