Hali ya nywele

Loading...

Unique profiles
12
Most used tags
Total likes
0
Top locations
Tanzania, Mlimani City
Average media age
1365.3 days
to ratio
21
Haya ni mafuta ya wonder oil(mafuta ya maajabu) unaweza kutumia kwa kuondosha michirizi na unaweza ...
Media Removed
Haya ni mafuta ya wonder oil(mafuta ya maajabu) unaweza kutumia kwa kuondosha michirizi na unaweza kutumia kwenye nywele yanakuza nywele zing'ara vizuri na kufanyia masasag ni mazuri sana bidhaa hii inatoka kwenye kampon ya oriflame sweeden na ni bidhaa zenye ubora wa hali ya juu . kwa ... Haya ni mafuta ya wonder oil(mafuta ya maajabu) unaweza kutumia kwa kuondosha michirizi na unaweza kutumia kwenye nywele yanakuza nywele zing'ara vizuri na kufanyia masasag ni mazuri sana bidhaa hii inatoka kwenye kampon ya oriflame sweeden na ni bidhaa zenye ubora wa hali ya juu . kwa anae hitaji haya mafuta aje dm au kwa cm #0679644217. nitakuletea popote ulipo
Read more
Loading...
Jipatie peruvian hair and Closer kutoka duka maarufu la @luluzhair linalouza nywele original ...
Media Removed
Jipatie peruvian hair and Closer kutoka duka maarufu la @luluzhair linalouza nywele original kabisa na zenye ubora wa hali ya juu. 7a- 320000 6a- 250000 pamoja na closer na leo wapo wazi kuanzi asubuhi mpaka jioni. @luluzhair @luluzhair @luluzhair 0712827282 Dodoma: 0710352020 Jipatie peruvian hair and Closer kutoka duka maarufu la @luluzhair linalouza nywele original kabisa na zenye ubora wa hali ya juu.
7a- 320000
6a- 250000 pamoja na closer na leo wapo wazi kuanzi asubuhi mpaka jioni.
@luluzhair @luluzhair @luluzhair ☎0712827282
Dodoma: 0710352020
Kwakuwa bwana huyo, mpelelezi Lambert, alikuwa ni mchunguzi sana wa mambo na mwenye kariba ya kutotaka ...
Media Removed
Kwakuwa bwana huyo, mpelelezi Lambert, alikuwa ni mchunguzi sana wa mambo na mwenye kariba ya kutotaka kushindwa akafanya jitihada sana za kuutafuta ukweli. Siku moja akiwa yupo kazini kwake akiwa anapitia taarifa alizokuwa amezikusanya, simu yake ikaita akiwa ni mmoja wa watu waliokuwa ... Kwakuwa bwana huyo, mpelelezi Lambert, alikuwa ni mchunguzi sana wa mambo na mwenye kariba ya kutotaka kushindwa akafanya jitihada sana za kuutafuta ukweli. Siku moja akiwa yupo kazini kwake akiwa anapitia taarifa alizokuwa amezikusanya, simu yake ikaita akiwa ni mmoja wa watu waliokuwa na taarifa juu ya bwana yule anayetafutwa, yaani Timoth McClure. Yule bwana ambaye sura yake ilikuwa imebandikwa mahali mbalimbali.
.
.
Mwanamke huyo alisema kuwa anamjua bwana huyo kwani alishawahi fanya naye kazi miaka kenda iliyopita. Bwana Lambert alipompeleleza zaidi mwanamke huyo akaishia kupata habari kuwa Timoth aliwahi kupotea isijulikane wapi alienda kwani hata kazini hakuwahi sema kwanini ameacha kazi na wapi anaenda.
.
.
Basi bwana Lambert akajitolea sana kukusanya taarifa lakini mwisho wa siku akaja kugotea kwenye kupotea kwa Timoth asijue nini tena kiliendelea. .
.
Kwa muda wote huo wakati juhudi hizo zinafanyika kumtambua muuaji, mama Ruth alikuwa bado anahangaika na mwanaye. Ruth bado hajarejewa na fahamu zake mpaka leo hii tuongeapo. Pengine angalikuwa mzima angetuambia nini kilitokea ama humtokea akiwa katika hali hiyo. .
.
Ni kheri mama yake alikuja kuambiwa na mtu asiyemfahamu kuwa amfunge mdoli yule macho kisha akamtupie baharini. Hakumjua mtu huyo aliyekuja kumpasha hizo habari, lakini alijitambulisha kama mtu tokea India.
.
.
Mama Ruth anasema, “mwanaume huyo alikuwa ana tone la kijivu kwa mbali kwenye paji lake la uso. Nywele zake zilikuwa laini na macho ya ukarimu. Kiingereza chake kilikuwa kimejawa na lafudhi ya kiindi. Alisema tukimfunika mdoli huyo kwa kitambaa cheusi na kwenda kumtupia baharini hatorudi tena.
Read more
ILIPOISHIA . . Olivia alielekea mahali ambapo Brian alikuwa amerundika nguo zake. Hapo kwa ...
Media Removed
ILIPOISHIA . . Olivia alielekea mahali ambapo Brian alikuwa amerundika nguo zake. Hapo kwa chini kulikuwa kuna kaki ‘container’ kadogo ka chuma kalichondoka na kukaa wazi. Kumbe Brian wakati anachukua lile gongo lake, alidondosha kifaa hicho pasipo kujua. . . Olivia akainama ... ILIPOISHIA
.
.
Olivia alielekea mahali ambapo Brian alikuwa amerundika nguo zake. Hapo kwa chini kulikuwa kuna kaki ‘container’ kadogo ka chuma kalichondoka na kukaa wazi. Kumbe Brian wakati anachukua lile gongo lake, alidondosha kifaa hicho pasipo kujua.
.
.
Olivia akainama na kutwaa mkufu ule alafu akaubania kiganjani mwake na kusema, “Mama.”
.
.
ENDELEA
.
.
Akaubusu mkufu ule na kisha akarejea kule koridoni. Hakumkuta Brian. Kugeuka nyuma, akapigwa kwanguvu na gongo, akadondoka chini akiwa amepoteza fahamu. Brian akatokea nyuma yake na kumtazama. Akampokonya kisu na kumgeuza akimkagua.
.
.
Akamwona mkononi akiwa na ule mkufu. Akauchukua na kuuweka ndani ya mfuko wake kisha akambeba na kumrejesha chumbani. Akamfunga kamba mikono na miguu kisha akamlaza kitandani. Alipomaliza, akaendea ‘first aid kit’ na kujipa huduma ya kwanza. Akajimiminia dawa ya kukata damu na kuua wadudu alafu akajifunga bandeji. .
.
Akarudi chumbani na kujaribu kumwamsha Wisconsin. Bwana huyo akaamka. Brian akamweleza yaliyotokea. Wisconsin akastaajabu. Alah! Yote yametokea akiwa amelala! Akaamka na kwenda kumtazama Olivia kisha akarejea kwa Brian.
.
.
“Utakuwa upo sawa kweli?” akamuuliza. .
.
“Ndio,” Brian akamtoa shaka. “Nipo sawa, asubuhi nitaenda hospitali.”
.
.
**
.
.
Asubuhi ya saa mbili, Brian akiwa kitandani mwa hospitali.
.
.
Mama aliongea kidogo na daktari kisha akaja kukutana na Brian. Akatabasamu na kusema, “Pole sana, mwanangu.” akamshika Brian nywele akitabasamu. .
.
“Daktari amesemaje?” Brian akauliza.
.
.
“Amesema tunaweza kwenda. Jeraha halijasababisha maafa makubwa. Kuna dawa za kutumia … na pia amehasa upumzike ili urudi upesi kwenye hali yako.”
.
.
Brian akaigiza kutabasamu alafu akauliza, “Wisconsin bado yupo?” Mama akatikisa kichwa. “Hapana, ametoka kidogo. Ila alisema atarejea muda si mrefu.”
Read more
Pengine ulikuwa ni usiku kama usiku mwingine kwako, ila kwa Gabriella, mnamo tarehe 16, mwezi wa ...
Media Removed
Pengine ulikuwa ni usiku kama usiku mwingine kwako, ila kwa Gabriella, mnamo tarehe 16, mwezi wa pili mwaka 2010, haukuwa usiku wa kawaida hata kidogo. Gabriella, mwanamke mwenye nywele rangi ya tangawizi, macho makubwa na vidotidoti shavuni mwake, alikuwa ni mke wa bwana Rodney Wallgate, ... Pengine ulikuwa ni usiku kama usiku mwingine kwako, ila kwa Gabriella, mnamo tarehe 16, mwezi wa pili mwaka 2010, haukuwa usiku wa kawaida hata kidogo. Gabriella, mwanamke mwenye nywele rangi ya tangawizi, macho makubwa na vidotidoti shavuni mwake, alikuwa ni mke wa bwana Rodney Wallgate, afisa wa jeshi ambaye alikwenda kupambania nchi yake vitani.
.
.
Hivyo kwa takribani miaka miwili, Gabriella, akawa anaishi mwenyewe pamoja na watoto wake wawili mapacha, kwa majina Natalie na Paulie. Kwa mwanzoni ilikuwa inamuwia vigumu sana kuishi pasi na mume wake, ila kadiri na muda ulivyokuwa unasonga akajikuta anazoea hali hiyo.
.
.
Aliishi vema kabisa japo kuna muda alijihisi mnyonge na upweke. Angalau watoto wake walikuwa wanamfariji ingawa hakuwapo wa kuondoa baridi kitandani kwake.
.
.
Akiwa anaishi vivyo, Gabriella alikuja kugundua kuwa, ikiwa ni kama miezi mitatu tangu mume wake aende vitani, kila alipokuwa anaamka asubuhi, angekuta ‘missed calls’ toka namba mpya. .
.
Hakuwa anajua ni nani anampigia, na kila alipojaribu kupigia namba hiyo isingepatikana kabisa akijibiwa kuwa namba anayopiga haipo! Kwa takribani siku tatu, akawa anakuta ‘missed calls’ vivyo hivyo kila asubuhi. Ikaja fikia kipindi akaona ni kheri kama angeamka katikati ya usiku ili apate kupokea simu hiyo. Mawazo yake akidhani huenda anayempigia ni mumewe.
.
.
Basi siku iliyofuata, yaani ya nne, Gabriella akiwa amelala, kheri kwake akaisikia simu ikiita. Ulikuwa ni usiku wa saa tisa na dakika kumi na mbili kwa mujibu wa saa ya ukutani. Simu yake ilikuwa inaimba na kutetemesha meza ya taa.
Read more
MIDOLI INA ROHO? . . Mwaka 1996, New Orleans. . . Basi mama mmoja ambaye alitaka kumfurahisha ...
Media Removed
MIDOLI INA ROHO? . . Mwaka 1996, New Orleans. . . Basi mama mmoja ambaye alitaka kumfurahisha mwanaye aliyekuwa mpweke nyumbani alifungua mlango na kumwambia mwanaye ajiandae upesi amtoe ‘out’. Mtoto wake alikuwa anaitwa Ruth, msichana mzuri mwenye miaka 15. . . Ruth aliposikia ... MIDOLI INA ROHO?
.
.
Mwaka 1996, New Orleans.
.
.
Basi mama mmoja ambaye alitaka kumfurahisha mwanaye aliyekuwa mpweke nyumbani alifungua mlango na kumwambia mwanaye ajiandae upesi amtoe ‘out’. Mtoto wake alikuwa anaitwa Ruth, msichana mzuri mwenye miaka 15.
.
.
Ruth aliposikia habari hizo akafurahi sana. Hata akajiandaa upesi ili ofa ya kutolewa out isimpite. Baada ya punde kidogo akawa tayari na mama yake akamfungulia mlango wa gari waende kutembea. .
.
Ruth aishi na mama yake tangu akiwa mdogo sana. Baba yake alifariki dunia vitani akiwa anafanya kazi kama mwanajeshi. Hali hiyo ikampelekea Ruth kuchukia sana kazi ya uanajeshi. Hataki hata kuisikia na basi akawa anawashawishi hata na marafiki zake wa karibu wachukie kazi hiyo. Marafiki zake ni Betty na Joyce.
.
.
Amekuwa akiwaambia kazi hiyo humtenganisha mtu na familia yake lakini zaidi hummaliza na kufanya familia yake iwe pweke daima.
.
.
Kutokana na ushawishi wake huo, marafiki zake wakajikuta katika mkumbo mmoja na Ruth. Lakini zaidi wakawa karibu kwasababu ya kushea sifa moja.
.
.
Wakiwa kwenye gari, mama akamuuliza Ruth, “Ungependa twende na marafiki zako?” Ruth akatabasamu. “Ndio. Itakuwa vizuri!”
.
.
Mama yake alilifahamu hilo. Na kwasababu alikuwa amelenga kumfurahisha mwanaye siku hiyo basi hakuona tabu, akawapitia Betty na Joyce na wote wakaelekea huko ambako mama yake Ruth alikuwa anawapeleka.
.
.
Baada ya kutembea barabarani kwa muda wa kama masaa mawili, wakafika baharini. Mama akazima gari lake na kuwaambia watoto watoke nje wakafurahie maji na mchanga wa bahari. Upesi watoto wakatoka na kuyavamia maji, wakaoga sana na kucheza.
.
.
Wakakimbizana huku na huko. Wakaumba majengo kwa kutumia mchanga na hata kuchora ardhini. Wakiwa katika mihangaiko yao hiyo, Betty akaona kitu kwenye kwenye kiwanja cha minazi. Aliposonga karibu akagundua kitu hicho ni mdoli. Ulikuwa ni wa ukubwa wa wastani wenye nywele ndefu rangi ya kahawia na kamdomo kadogo chekundu. Lakini macho yake yalikuwa yamefumbwa na kitambaa cheupe.
Read more
Loading...
NAMNA WADUDU WALIVYOHARIBU MECHI YA TENESI Caroline Wozniacki ametupwa nje ya mashindano ya ...
Media Removed
NAMNA WADUDU WALIVYOHARIBU MECHI YA TENESI Caroline Wozniacki ametupwa nje ya mashindano ya Wimbledon baada ya wadudu kuvamia mechi na kumfanya kutupwa nje ya mashindano ya Wimbledon. Kwenye mechi hiyo ya raundi ya pili akicheza na Mrusi Ekaterina Marakova ,alipoteza seti ya kwanza ... NAMNA WADUDU WALIVYOHARIBU MECHI YA TENESI

Caroline Wozniacki ametupwa nje ya mashindano ya Wimbledon baada ya wadudu kuvamia mechi na kumfanya kutupwa nje ya mashindano ya Wimbledon.

Kwenye mechi hiyo ya raundi ya pili akicheza na Mrusi Ekaterina Marakova ,alipoteza seti ya kwanza na alionekana akilalamika akitaka kujua kitafanyika nini kuondoa hali hiyo kabla ya kuja kushinda seti ya pili na kupoteza ya tatu.

Wozniacki aliomba aletewe spray ya kufanya wasimfuate kwani alionekana wakati anacheza akizuia wadudu wasiingie mdomoni na machoni .

Mchezaji huyo alilalamika wadudu hao wameingia mdomoni na kwenye nywele zake.

Hili sio jambo la kushangaza kwani huu ni msimu ambao wadudu huo hutokea mara moja kwa mwaka.
Hata hivyo baada ya mchezo Caroline alisema kuwa wadudu hao hawakuwa na madhara kwake lakini ndio ilikuwa mara ya kwanza kumtokea

Mechi hiyo iliisha kwa Caroline Wozniacki kupoteza kwa 4-6,6-1,5-7 na kutupwa nje ya michuano hiyo mikubwa.
Read more
“Wembe huwa na makali haswa lakini hauwezi kukata mti. . Shoka lina nguvu sana lakini ni vigumu kwake ...
Media Removed
“Wembe huwa na makali haswa lakini hauwezi kukata mti. . Shoka lina nguvu sana lakini ni vigumu kwake kukata hata nywele tu za kichwa cha mwanadamu. . Kila mtu ana umuhimu wake kwa namna yake, hivyo huna sababu ya kumdharau mtu, kwa hali yake yawezekana h “Wembe huwa na makali haswa lakini hauwezi kukata mti. . Shoka lina nguvu sana lakini ni vigumu kwake kukata hata nywele tu za kichwa cha mwanadamu. . Kila mtu ana umuhimu wake kwa namna yake, hivyo huna sababu ya kumdharau mtu, kwa hali yake yawezekana h
Loading...
Dar es Salaam, miaka ya karibuni. . . Jua lilikuwa njiani kukomaa. Sauti za magari zilinguruma ...
Media Removed
Dar es Salaam, miaka ya karibuni. . . Jua lilikuwa njiani kukomaa. Sauti za magari zilinguruma zikijaza pande zote nane za jiji la Dar – jiji karimu kwa joto na karaha za usafiri. . . Wakati ikiwa ni saa tano tu iliyo njiani kuitafuta saa sita iwe mchana, tayari maeneo ya Mbezi beach mpaka ... Dar es Salaam, miaka ya karibuni.
.
.
Jua lilikuwa njiani kukomaa. Sauti za magari zilinguruma zikijaza pande zote nane za jiji la Dar – jiji karimu kwa joto na karaha za usafiri. .
.
Wakati ikiwa ni saa tano tu iliyo njiani kuitafuta saa sita iwe mchana, tayari maeneo ya Mbezi beach mpaka Mwenge palishatapakaa foleni ya kushiba ikisababishwa na ajali mbaya iliyotokea maeneo ya Kawe darajani kati ya magari manne binafsi na bodaboda.
.
.
Kutokana na ukubwa wa foleni hiyo isiyoleta matumaini ya kusonga, watu wengi wakashuka kwenye magari yao binafsi na kuketi nje ama basi watembee kupunguza uchovu. Abiria wengi wa madaladala nao wasiwe nyuma, wakaradhi washuke kutembea ama kunyoosha viungo vyao; hali hiyo ikapelekea barabara kufurika watu kana kwamba kuna maandamano ya kisiasa.
.
.
Katika msururu huo wa magari, binafsi na daladala, yakiwa yamejipanga kutengeneza umbo la nyoka mkubwa, miongoni mwa daladala mojawapo la Mwenge-Tegeta lililokuwepo maeneo ya Makonde, upande wa kushoto dirishani aliketi mwanadada mmoja mweupe.
.
.
Alikuwa mwembamba mno kwa umbo akibarikiwa uso mrefu wenye paji kubwa, macho rangi ya kahawia, mdomo mweusi na nywele ndefu nyeusi ti ila zilizonyimwa taratibu ya kuvutia.
.
.
Msichana huyo alikuwa anatizama nje kupitia dirishani macho yake yakionyesha ametekwa kitafakuri. Mara zingine alitikisa kichwa chake mdomo ukionekana unateta jambo ambalo halikupata kusikika na mtu mwingine yeyote ndani ama nje ya gari.
Read more
Duuuh swala LA swimming haliez acha nywele zangu salama hahahahaha.... Siio kwa hii hali ya kuvaa mfuko kichwan Duuuh swala LA swimming haliez acha nywele zangu salama hahahahaha.... Siio kwa hii hali ya kuvaa mfuko kichwan
BLACK BEAUTY COMPANY_ je Dada unahitaji kuwa Mrembo na ule muonekano wa kisuperstar<span class="emoji emoji1f44c"></span><span class="emoji emoji1f525"></span>,kaka unahitaji ...
Media Removed
BLACK BEAUTY COMPANY_ je Dada unahitaji kuwa Mrembo na ule muonekano wa kisuperstar,kaka unahitaji kuwa mtanashati na mvuto zaidi wa KIUME?fika black beauty company utatimiza ndoto zako,hawakosei hata siku moja kwa products original na zenye matokeo yaharaka sana,bila madhara,ni ... BLACK BEAUTY COMPANY_
je Dada unahitaji kuwa Mrembo na ule muonekano wa kisuperstar👌🔥,kaka unahitaji kuwa mtanashati na mvuto zaidi wa KIUME?fika black beauty company utatimiza ndoto zako,hawakosei hata siku moja kwa products original na zenye matokeo yaharaka sana,bila madhara,ni kampuni yenye uzoefu wa hali ya juu sana🔥🥑🥑🥑
1)kuongeza hips,makalio,[email protected]
(b)kuongeza hips,makalio,mapaja na [email protected]/=
2)kuongeza miguu ,kuondoa [email protected]/=
3)kuwa mweupe mwili mzima (Rangi moja)@160000/=
4)Kupungua mwili [email protected]/=
5)kupunguza [email protected]/=
6)kupunguza au kuongeza [email protected]/=
7)kukuza [email protected]/=
8)kuondoa michirizi @130000
9)kuondoa madoa,mabaka na chunusi [email protected]/=
10)kuongeza uume na nguvu za [email protected]/=
Dawa zetu niuhakika sana100%na utaletewa popote ulipo,mikoani tunatuma,nje ya nchi tunatuma DHL,ofic zetu zipo kariakoo msimbazi police,🔥karibuni kwa mawasiliano zaidi WhatsApp+255657778924,au call0743534406 au unaweza kutufollow
👇👇👇👇👇👇
@black_beauty_company_
@black_beauty_company_
@black_beauty__company_
Read more
Kikwazo kingine kikubwa kwa Wanawake wengi kutofikia kilele cha mafanikio ni KUTOJIAMINI. . . Hii ...
Media Removed
Kikwazo kingine kikubwa kwa Wanawake wengi kutofikia kilele cha mafanikio ni KUTOJIAMINI. . . Hii imeonekana ni moja kati ya sababu Kubwa inayoturudisha Nyuma wanawake wengi. Unakuta tunafanya biashara kivivu, hatuna mkakati wowote madhubuti, tunajifanyia ilimradi liende.. . . Kama ... Kikwazo kingine kikubwa kwa Wanawake wengi kutofikia kilele cha mafanikio ni KUTOJIAMINI.
.
.
Hii imeonekana ni moja kati ya sababu Kubwa inayoturudisha Nyuma wanawake wengi. Unakuta tunafanya biashara kivivu, hatuna mkakati wowote madhubuti, tunajifanyia ilimradi liende..
.
.
Kama tunafanya biashara kwa staili hii tusitarajie muujiza wa Mafanikio! Lazima kwanza tujiamini, tujikubali na tuamini tunachokifanya na tukifanye kwa umakini wa hali ya JUU sana...
.
.

Kiukweli wengi wetu hatuna hii nidhamu kabisa Na ndo sababu biashara zetu haziendelei na zaidi hufa... Tubadilike kama Kweli tunamaanisha kufanikiwa....
.
.
Semina by @joel_Nanauka
Nywele by @rosebrazilian

7)kukuza [email protected]0/=

Kwa mara ya kwanza kabinti kangu mekapeleka kusuka saloon yaani nilikua ninahofu hatari maana ...
Media Removed
Kwa mara ya kwanza kabinti kangu mekapeleka kusuka saloon yaani nilikua ninahofu hatari maana hizo nywele hajawahi kufanyiwa chochote zaidi ya kubana vidoli doli, nimempeleka @kiddieskingdomtz yaani katulia kusukwa kawekewa cartoon katulia mpaka akalala kiukweli huduma yenu nimeipenda ... Kwa mara ya kwanza kabinti kangu mekapeleka kusuka saloon yaani nilikua ninahofu hatari maana hizo nywele hajawahi kufanyiwa chochote zaidi ya kubana vidoli doli, nimempeleka @kiddieskingdomtz yaani katulia kusukwa kawekewa cartoon katulia mpaka akalala kiukweli huduma yenu nimeipenda wadada wanacheza na watoto kama walimu mtoto anasukwa kwa raha ubunifu wenu wa hali ya juu nimekua mteja wenu rasmi @kiddieskingdomtz @kiddieskingdomtz @kiddieskingdomtz 🙏
Read more
Bro tambua Kwa Wanawake Sex kwao sio kipaumbele kabisaaa. Kama kila muda unapokuwa nae unawaza ...
Media Removed
Bro tambua Kwa Wanawake Sex kwao sio kipaumbele kabisaaa. Kama kila muda unapokuwa nae unawaza kumpeleka kitandani tu hauko sahihi my brother! Labda kama una-date na pizza bandit au slay queen!! Lakini kama uko na mwanamke sahihi, haitajalisha ni kiasi gani unamfikisha, bado kuna vitu ... Bro tambua Kwa Wanawake Sex kwao sio kipaumbele kabisaaa. Kama kila muda unapokuwa nae unawaza kumpeleka kitandani tu hauko sahihi my brother! Labda kama una-date na pizza bandit au slay queen!! Lakini kama uko na mwanamke sahihi, haitajalisha ni kiasi gani unamfikisha, bado kuna vitu fulani atavi-miss tu kutoka kwako!!! Kama nia yako ni kumfanya mwanamke wako awe na furaha, basi jitahidi kutengeneza kumbukumbu na yeye. Mpatapo nafasi tembea na yeye ufukweni au sehemu tulivu na ikiwezekana mtake selfie pamoja!

Pika chakula pamoja nae, mshike mkono mnapotembea pamoja! ndio, hata mbele ya ex girlfriends wako, mnyanyue na kumbusu bila hata ya sababu, mshike nywele zake, mnunulie red roses, kaa nae na muangalie pamoja zile Tamthiliya zinazoboa za ZeeWorld na Telemundo huku akiwa amelala kifuani kwako!

Najua kwa brother hili haliingii akilini kabisa, lakini kama unampenda main madam wako mfanyie hivyo...kama utamuuliza anataka kula nini na akakwambia 'sijui nile nini' usikasirike...hapo anamaanisha, Wewe ni mfalme, muamulie malikia ale nini...inuka mnunulie au mpikie kile anachopenda kula!

Sio tabu kumteka mwanamke unaempenda, tengeneza kumbukumbu nae..ndio maana black ladies hukumbuka kwa haraka yale mazuri waliyotendewa na wapendwa wao. Hukumbuka kila kitu yaani eneo, tarehe, muda, rangi, hali ya hewa hata uelekeo wa upepo.. Uanaume wako hautahesabiwa kwa kumfikisha keleleni pekee , Infact aometimes ktk hili wanawake hua wana-fake orgasm ili mwanaume asijisikie vibaya! uanaume wako utapimwa kwa namna anavyofikiri kumjali kwako na attention kubwa anayoipata kutoka kwako!! Jaribu kumjali mkeo uone atakavyoifurahia hiyo sex asisite hata kukunyima!!! Ni rahisi mno na wala sio complicated kuwapenda wife materials!!! Holla to you wife materials 😘😘😘😍😍😍😍💕💕💞💞💞💦💦💙🙌💯💯💯🍹🍹!!!
Read more
(A)AMERICAN DREAM + SERUM: Hii ndo Combinenga inayosumbua Jiji! Walioitumia wana hadithi ya ...
Media Removed
(A)AMERICAN DREAM + SERUM: Hii ndo Combinenga inayosumbua Jiji! Walioitumia wana hadithi ya Kusimulia tena Kubwaaa Tu. Serum Hii imetengenezwa Kwa Ufundi mkubwa Kitaalam,Vipo vitu Vinne Jumla ambacho hakipo pichani kwasababu maalum.KWA WALE WOTE WANAOTAKA KUONA SHUGHULI YA SERUM ... (A)AMERICAN DREAM + SERUM:
Hii ndo Combinenga inayosumbua Jiji!
Walioitumia wana hadithi ya Kusimulia tena Kubwaaa Tu.
Serum Hii imetengenezwa Kwa Ufundi mkubwa Kitaalam,Vipo vitu Vinne Jumla ambacho hakipo pichani kwasababu maalum.KWA WALE WOTE WANAOTAKA KUONA SHUGHULI YA SERUM HII NI 25000/=. PIA KAMA UNA MAFUTA YAKO RUKSA ILA SHARTI UJE NAYO TUKUMIXIE HAPA HAPA.
#Haichubui.
#Unjanonjanoflaniamaizing
#Ngoziinanawiri&kushine

KWA WALE WENYE OIL FACE&SENSITIVE KWA USONI EM SUBIRI KWANZA.
________________________________________
(B) JE Tumbo lako linakunyima mwonekano stahiki unaoutaka?Basi usiwaze @ak_classic_cosmetics
Tuna #annicherrycorset OG kabisa za kukupa shape no.8 matata wakati ukiwa umeivaa na hata baada ya Kuivua.
Hii inapatikna kwa 155,000/= tu
________________________________________
(C)Yale Mafuta GUMZO kwa Kurudisha nywele zilizo dhoofu hali,hazikui,hazijai,zinakatikakatika basi Wee yatafute #t444zhairfood kwetu utayapata kwa 60,000/= Tu.
_________________________________________
(D)Mtoto wa Kike kama hauna hii #secretdeodrant basi unapitwa mnoo,Hii ni #musthave kwa ladies woote kwa dressingtable yako.Inanukia masaa24 inakuacha mkavu alafu ukiipaka unaweza hata ustumie unyunyu na ukawa comfortable.Utaipata @ak_classic_cosmetics kwa 25,000/= tu

_________________________________________
More Queries?
Tunapatikana Mlimani City
Opposite na #Totalpetrolstation
#Callwhatsup0753482909
#DeliverympkMlangoni🚐
#AMERICANDREAM cocoa butter⭐
#annicherrycorset ⭐
#t444zhairfood ⭐⭐⭐ #secretdeodrant ⭐⭐⭐
Read more
Loading...