Iko na miguu

Loading...


Unique profiles
6
Most used tags
Total likes
0
Top locations
Kunduchi, Dar Es Salaam, Tanzania, Mbezi Beach, Tangi Bovu., Ubungo Plaza
Average media age
596.5 days
to ratio
2
What else! Navy blue na miguu ya gold. Nimeipenda. Njoo upate tofauti. Kazi iko tayari kwenda kwa ...
Media Removed
What else! Navy blue na miguu ya gold. Nimeipenda. Njoo upate tofauti. Kazi iko tayari kwenda kwa client. Decors zote utazipata showroom kwetu Furniture Home decor Interior design "The best is yet to come" What else! Navy blue na miguu ya gold. Nimeipenda. Njoo upate tofauti.
Kazi iko tayari kwenda kwa client. Decors zote utazipata showroom kwetu
Furniture
Home decor
Interior design
"The best is yet to come"
Loading...
*PROBABILITY-UWEZAKANO WA MTU KUOA/KUOLEWA Kama hujui hesabu hasa probability sasa iko hivi, ...
Media Removed
*PROBABILITY-UWEZAKANO WA MTU KUOA/KUOLEWA Kama hujui hesabu hasa probability sasa iko hivi, probability ni uwezekano wa kitu fulani kutokea sasa leo tunaenda kuzungumzia uwezekano wa mtu kuolewa au kuoa: *WANAWAKE* 1. Ukiwa una tabia nzuri ila shepu na sura haujafanikiwa uwezekano ... *PROBABILITY-UWEZAKANO WA MTU KUOA/KUOLEWA

Kama hujui hesabu hasa probability sasa iko hivi, probability ni uwezekano wa kitu fulani kutokea sasa leo tunaenda kuzungumzia uwezekano wa mtu kuolewa au kuoa: *WANAWAKE*
1. Ukiwa una tabia nzuri ila shepu na sura haujafanikiwa uwezekano wa kuolewa ni asilimia 40%. 2. Ukiwa una tabia nzuri shepu nzuri ila sura haukufanikiwa uwezekano wa kuolewa ni asilimia 70%. 3.Ukiwa na sura nzuri shepu nzuri na tabia nzuri uwezekano wa kuolewa ni asilimia 85% kama hauna mtoto.
Na kama una mtoto ila haukai naye ni asilimia 65%. 4. Kama umezaa mtoto na uko unaishi naye yaani hana pa kwenda basi uwezekano wa wewe kuolewa na mtu ambaye sie baba wa mtoto ni 30% .

5. Ikijulikana wewe ni kicheche mtaani kwenu haujatulia basi uwezekano wa kuolewa ni asilimia 5%. Ila uwezekano wa kupewa mimba na kuachwa ni asilimia 80%. 6. Ikijulikana wewe ni bikira mbele ya watu na wakajua wakawa na uhakika basi uwezekano wa kuolewa ni asilimia 93.5%. Kwa wanawake ikumbukwe kila degree unayoongeza kwenye kusoma inapunguza uwezekano wa kuolewa sasa basi.

7. Kama una degree moja uwezekano wa kuolewa ni asilimia 70%. 8. Kama una masters basi uwezekano wa kuolewa ni asilimia 45%. 9. Kama una PHD basi uwezekano wa kuolewa ni asilimia 15%. 10. Kama umekuwa Profesa basi dada yangu uwezekano wa wewe kuolewa ni asilimia 2%. 11. Kama una matege na ndo changamoto yako basi dada ukivaa sketi siku zote uwezekano wa kuolewa unakuwa asilimia 70%. Lakini kama unavaa suruali kuonyesha matege yako miguu inazunguka zunguka kama feni basi uwezekano wa kuolewa ni asilimia 3%. Na hawa wanaume watakao kuoa ni wale vipofu!

12. Kama umezalishwa watoto kama watatu na hujaolewa basi wewe uwezekano wa kuolewa ni asilimia 2%. 13. Kama unashinda online kazi kupost picha instagram, whatsapp, facebook, panyabuku na countabuku basi uwezekano wa wewe kuolewa ni asilimia 15%.
Yaani kila mwanamume anahisi wewe ni mali ya umma.

14. Kama wewe ni kibonge sana basi uwezekano wa kuoelewa ni asilimia 50%. Punguza kula dada yangu. Ukishaolewa kula nenepa mpaka upasuke.

15.Kama wewe ni mwembamba sana basi uwezekano wa kuolewa ni asilimia 40. Nenepa kidogo! (Ni comedy tu soma ucheke basi)
Read more
NYUMBA INAUZWA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-KUNDUCHI ENEO-JESHINI ____________ UMBALI DK 2 KWA MIGUU TOKA BARABARA KUU YA LAMI ________________ UKUBWA WA KIWANJA-MITA 20/25 __________ NYARAKA ZA UMILIKI INA-MKATABA WA MAUZIANO TOKA SERIKALI YA MTAA _______________ NYUMBA ... NYUMBA INAUZWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-KUNDUCHI
ENEO-JESHINI
____________
UMBALI DK 2 KWA MIGUU TOKA BARABARA KUU YA LAMI
________________
UKUBWA WA KIWANJA-MITA 20/25
__________
NYARAKA ZA UMILIKI INA-MKATABA WA MAUZIANO TOKA SERIKALI YA MTAA
_______________
NYUMBA MPYA YA KISASA
__________
YA FAMILIA KUBWA
_____________
INAJITEGEMEA
______
YENYE:-
Vyumba vitatu vikubwa vya kulala kimojawapo ni #Master #Dinning #Sebule kubwa #Jiko
#Choo/ #Bafu vya ndani vya wanafamilia
#Gypsum tayari #Tiles x #Slides #Windows bado
Wiring ya #Umeme tayari ndani bado kuingiza tuu x #Maji havijavutwa ila vyote vipo vinapita nje ya nyumba
Pia kufitisha vyoo, Paving blocks, Ukuta wa fence pamoja na gate bado pia ujenzi ndo unaendelea hivi sasa ikiwemo rangi ndo inapigwa
________________________
NYUMBA IMEJENGWA KISASA IKO ENEO ZURI HALINA TATIZO WALA MGOGORO WOWOTE
________________
BEI ZIKO ZA AINA 2:-
____________
YA KWANZA MTEJA AKIHITAJI KUKABIDHIWA NYUMBA IKIWA IMESHAKAMILIKA KILA KITU YEYE NI KUHAMIA TU BEI NI MIL 130 fixed price
__________________
YA PILI AKIHITAJI IKIWA KAMA ILIVYO BILA FINISHING ZILIZOBAKIA NI MIL 110 fixed price
____________
KWA MAWASILIANO PIGA:-
+255-684808232
+255-768914118
__________________
KWA #MATANGAZO + #PROMO ZA KIBIASHARA
WhatsApp no +255-718936416
_____________
Read more
NYUMBA INAUZWA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-KUNDUCHI ENEO-JESHINI ____________ UMBALI DK 2 KWA MIGUU TOKA BARABARA KUU YA LAMI ________________ UKUBWA WA KIWANJA-MITA 20/25 __________ NYARAKA ZA UMILIKI INA-MKATABA WA MAUZIANO TOKA SERIKALI YA MTAA _______________ NYUMBA ... NYUMBA INAUZWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-KUNDUCHI
ENEO-JESHINI
____________
UMBALI DK 2 KWA MIGUU TOKA BARABARA KUU YA LAMI
________________
UKUBWA WA KIWANJA-MITA 20/25
__________
NYARAKA ZA UMILIKI INA-MKATABA WA MAUZIANO TOKA SERIKALI YA MTAA
_______________
NYUMBA MPYA YA KISASA
__________
YA FAMILIA KUBWA
_____________
INAJITEGEMEA
______
YENYE:-
Vyumba vitatu vikubwa vya kulala kimojawapo ni #Master #Dinning #Sebule kubwa #Jiko
#Choo/ #Bafu vya ndani vya wanafamilia
#Gypsum tayari #Tiles x #Slides #Windows bado
Wiring ya #Umeme tayari ndani bado kuingiza tuu x #Maji havijavutwa ila vyote vipo vinapita nje ya nyumba
Pia kufitisha vyoo, Paving blocks, Ukuta wa fence pamoja na gate bado pia ujenzi ndo unaendelea hivi sasa ikiwemo rangi ndo inapigwa
________________________
NYUMBA IMEJENGWA KISASA IKO ENEO ZURI HALINA TATIZO WALA MGOGORO WOWOTE
________________
BEI ZIKO ZA AINA 2:-
____________
YA KWANZA MTEJA AKIHITAJI KUKABIDHIWA NYUMBA IKIWA IMESHAKAMILIKA KILA KITU YEYE NI KUHAMIA TU BEI NI MIL 130 fixed price
__________________
YA PILI AKIHITAJI IKIWA KAMA ILIVYO BILA FINISHING ZILIZOBAKIA NI MIL 110 fixed price
____________
KWA MAWASILIANO PIGA:-
+255-684808232
+255-768914118
__________________
KWA #MATANGAZO + #PROMO ZA KIBIASHARA
WhatsApp no +255-718936416
_____________
Read more
Ck zote mtu unapenda kufanya kitu chenye faida ata kilimo ukilma xaan mtama ukaona uvuni ardhi imechoka ...
Media Removed
Ck zote mtu unapenda kufanya kitu chenye faida ata kilimo ukilma xaan mtama ukaona uvuni ardhi imechoka unabdri kulima mtama unalima ufta ndo maisha yalivyo yaani unafany chenye faida xaxa basi kwanzia leo taleh 2,4,2017 najivuwa rasimi kushabikia mpira wa miguu mie nilikuw simba damu ... Ck zote mtu unapenda kufanya kitu chenye faida ata kilimo ukilma xaan mtama ukaona uvuni ardhi imechoka unabdri kulima mtama unalima ufta ndo maisha yalivyo yaani unafany chenye faida xaxa basi kwanzia leo taleh 2,4,2017 najivuwa rasimi kushabikia mpira wa miguu mie nilikuw simba damu na manchester united kwa xaxabu mie sioni faida ninayoipta kutokana na huo mpira uck wa jana nimeumia xaan yaan bahat nzr cko dar maan cjui ingekuwaje watu wa yanga walivyochonga nimetmia txt za wanayanga zaid ya 109 kixa cmba kafungwa xax faida iko wapi ya kupenda huo mpira yaan jana nilichanganyikiw mpka nikajikuta natunana na mke wangu maan nina hasra nae ananitmia txt za kitoto ndo nikajikta namtukan wala hatukuw na maongez mazri txt uzisoma full upuzi kixa mpira aisee mie cn timu ninayo ipenda nitakuw naenda kuangalia mpira timu inayocheza vzr ndo naipnda apo apo nasepa sio kwa upuuz wa jana yaan cmba kubeba kombe mtasrbi xaaan sory saan kwa wanangu wa cmba mliokwazika ila ndo nimeshaumuw nikirud dar nachoma nguo zote za cmba na man u!
Read more
Thamani Yangu... Nmeiona Iki Ongezeka Sababu Yako, Siku Ile Moyo Wangu Nili Tamani Kupaza Sauti ...
Media Removed
Thamani Yangu... Nmeiona Iki Ongezeka Sababu Yako, Siku Ile Moyo Wangu Nili Tamani Kupaza Sauti Kwa Furaha Mara Ya Kwanza Naku Pakata Kwenye Miguu Yangu. Furaha Yangu Ilikuwa Kubwa Zaidi Ya Ulimwengu... Nili Tamani Kila Siku Niwe Naku Anglia Tu Na Mpaka Leo Iko Hivyo. NAKUPENDA SANA Na Mama ... Thamani Yangu... Nmeiona Iki Ongezeka Sababu Yako, Siku Ile Moyo Wangu Nili Tamani Kupaza Sauti Kwa Furaha Mara Ya Kwanza Naku Pakata Kwenye Miguu Yangu. Furaha Yangu Ilikuwa Kubwa Zaidi Ya Ulimwengu... Nili Tamani Kila Siku Niwe Naku Anglia Tu Na Mpaka Leo Iko Hivyo. NAKUPENDA SANA Na Mama Ako Anajua Na Ume Badilisha Vingi Katika Furaha.
H A P P Y B I R T H D A Y M Y R E R E
Read more
Loading...
APPARTMENT INAPANGISHWA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-MBEZI BEACH ENEO-TANG'BOVU _____________ UPANDE ...
Media Removed
APPARTMENT INAPANGISHWA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-MBEZI BEACH ENEO-TANG'BOVU _____________ UPANDE WA JUU _________________ DK 4 KWA MIGUU TOKA BARABARA KUU YA LAMI __________ APPART NZURI YA KIBACHELA ______________ INAYOJITEGEMEA ______ YENYE:- Chumba kimoja ... APPARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI BEACH
ENEO-TANG'BOVU
_____________
UPANDE WA JUU
_________________
DK 4 KWA MIGUU TOKA BARABARA KUU YA LAMI
__________
APPART NZURI YA KIBACHELA
______________
INAYOJITEGEMEA
______
YENYE:-
Chumba kimoja tu kikubwa cha kulala #Sebule kubwa #Jiko na #Choo chake ndani ila sio master
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba mita yake
Cars #Parking Space ipo
Nje #Pavingblocks
#FencedAppart
________________
KODI TSHS LAKI 300,000/=KWA MWEZI
____________
MALIPO YA MIEZI 6
____________________
PAMOJA NA MALIPO YA KODI YA MWEZI 1 WA @Dalalimwanamke
____________
KWA MAWASILIANO PIGA:-
+255-684808232
+255-768914118
__________________
KWA #MATANGAZO + #PROMO ZA KIBIASHARA
WhatsApp no +255-718936416
__________
Read more
APPARTMENT INAPANGISHWA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-UBUNGO PLAZA ________________ NYUMA YA BLUE PEARL HOTEL ______________________ DK 3 KWA MIGUU TOKA STAND YA MWENDOKASI _________ APPART NZURI YA KISASA _____________ YA KIBACHELA _____ YENYE:- Chumba kimoja tu ... APPARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-UBUNGO PLAZA
________________
NYUMA YA BLUE PEARL HOTEL
______________________
DK 3 KWA MIGUU TOKA STAND YA MWENDOKASI
_________
APPART NZURI YA KISASA
_____________
YA KIBACHELA
_____
YENYE:-
Chumba kimoja tu kikubwa cha kulala ambacho ni #Master full #AC #Sebule kubwa #Jiko
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#FencedAppart
________________
KODI TSHS LAKI 300,000/=KWA MWEZI
___________
MALIPO YA MIEZI 6
___________________
PAMOJA NA MALIPO YA KODI YA MWEZI 1 WA @Dalalimwanamke
____________
KWA MAWASILIANO PIGA:-
+255-684808232
+255-768914118
__________________
KWA #MATANGAZO + #PROMO ZA KIBIASHARA
WhatsApp no +255-718936416
__________
Read more
Loading...
Kabla hujajiuliza kwanini maombi yako hayajibiwi, jiulize je wewe ni nyumba malaika wa bwana anaweza ...
Media Removed
Kabla hujajiuliza kwanini maombi yako hayajibiwi, jiulize je wewe ni nyumba malaika wa bwana anaweza kuingia????? Maana baraka hazina miguu hubebwa na malaika wa bwana je, nyumba yako iko safi, usikute baraka zimefika ziko mlangoni hasiwezi kuingia nyumba chafu.......... Kabla hujajiuliza kwanini maombi yako hayajibiwi, jiulize je wewe ni nyumba malaika wa bwana anaweza kuingia????? Maana baraka hazina miguu hubebwa na malaika wa bwana je, nyumba yako iko safi, usikute baraka zimefika ziko mlangoni hasiwezi kuingia nyumba chafu..........
Loading...