Loading Content...

Juni 30 mwaka

Loading...

Unique profiles
5
Most used tags
Total likes
0
Top locations
Tokyo Medical and Dental University, Dar es Salaam, Tanzania
Average media age
737.9 days
to ratio
Dk @regmengi akupa maisha yake katika kitabu UNAWEZA kuwa na maswali mengi kuhusu Mfanyabiashara ...
Media Removed
Dk @regmengi akupa maisha yake katika kitabu UNAWEZA kuwa na maswali mengi kuhusu Mfanyabiashara maarufu hapa nchini, Dk. Reginald Mengi,alivyoweza kufikia nafasi aliyonayo kwa sasa akimiliki makampuni kadhaa na mengine kuwa na hisa hapa nchini na ughaibuni. Majibu ya maswali ... Dk @regmengi akupa maisha yake katika kitabu

UNAWEZA kuwa na maswali mengi kuhusu Mfanyabiashara maarufu hapa nchini, Dk. Reginald Mengi,alivyoweza kufikia nafasi aliyonayo kwa sasa akimiliki makampuni kadhaa na mengine kuwa na hisa hapa nchini na ughaibuni.

Majibu ya maswali hayo na maelezo mengine yatapatikana katika kitabu chake cha kumbukumbu kuelekea utajiri ambacho kitazinduliwa Juni 30 mwaka huu.

Kitabu hicho chenye taarifa muhimu kwanza za kumfahamu Mengi ni nani kisha safari yake ndefu kufikia ustawi alionao leo akiwa na makampuni yaliyotawanyika nchini na katika nchi za majirani na mataifa tajiri duniani lakini kubwa linakupa kanuni za kufikia na kumpita pale alipofikia yeye. Usikose kitabu hiki “I Can, I Will, I Must…The Spirit of Success” (Naweza, Nitaweza, Nitafanya na Moyo wa Mafanikio)
Dk Reginald Mengi Juni 30 anazindua kitabu chenye kujaa maarifa na taarifa. Kitabu hiki kimepongezwa na wanazuoni wastaafu wa Chuo Kikuu Cha Harvard, Profess Daniel Isenberg na Profesa Sujata Bhatia kutokana na kuelezea kwa ufasaha na kiufundi mifumo ya kiuchumi na kisiasa nchini kwa miongo minne iliyopita ilivyoweza kuathiri jitihada za ujasiriamali nchini Tanzania na kuelezea nini kinahitajika katika kutafuta mafanikio.

Unaweza pia kupata updates zaidi kuelekea uzinduzi wa kitabu chake kupitia akaunti yake ya twitter @regmengi
8 days to I CAN,I MUST,I WILL book launch #iCaniMustiWill #RegMengi ‭
Read more

Awamu ya pili na mashindano yanayohusisha timu bora za Afrika Mashariki-SportPesa Super Cup yanatarajiwa ...
Media Removed
Awamu ya pili na mashindano yanayohusisha timu bora za Afrika Mashariki-SportPesa Super Cup yanatarajiwa kuanza Juni 3-10, 2018 nchini Kenya kwenye uwanja wa Kimataifa wa Moi uliopo Kasarani. Timu zitakazoshiriki katika michuano hiyo kutoka Tanzania ni timu zinazodhaminiwa na SportPesa ... Awamu ya pili na mashindano yanayohusisha timu bora za Afrika Mashariki-SportPesa Super Cup yanatarajiwa kuanza Juni 3-10, 2018 nchini Kenya kwenye uwanja wa Kimataifa wa Moi uliopo Kasarani.
Timu zitakazoshiriki katika michuano hiyo kutoka Tanzania ni timu zinazodhaminiwa na SportPesa ambazo ni Simba, Yanga, Singida United pamoja na JKU (Jeshi la Kujenga Uchumi kutoka Zanzibar), wakati kutoka Nairobi timu zitakazoshiriki ni Gor Mahia, AFC Leopards na Kariobangi Sharks na Kakamega Homeboys. “Matayarisho ya mwaka huu yamefanyika mapema na ukiangalia muda wa kupewa na taarifa mpaka kuanza ni zaidi ya mwaka mmoja, hivyo basi hakuna sababu kwa timu zetu za Tanzania zisifanye vibaya zaidi ya mwaka jana kwani matayarisho yamefanyoka mapema na kwa hali hiyo timu zikifanya vibaya tutakuwa na sababu za kuwalaumu”
“Kutakuwa na jumla ya timu nane za Afrika Mashariki na mshindi wa michuano hiyo atacheza na moja kati ya timu iliyoshiriki ligi kuu uingereza, Everton”
Timu zitakazoingia robo fainali kwenye mashindano haya watapata kiasi cha dola za kimarekani 2,500, nafasi ya nne timu itapata kiasi cha dola 5000, wakati nafasi ya tatu na wa pili dola 7,500 na 10,000 kila mmoja.
Timu itakayoshinda itazawadiwa kiasi cha dola 30,000 na kupata nafasi ya kuchuana na timu ya Everton katika uwanja wa Goodison Park- Abbas Tarimba
Read more
*_BREAKING NEWS:_* *KAULI YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA ...
Media Removed
*_BREAKING NEWS:_* *KAULI YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA BUNGENI LEO KUHUSU WATUMISHI WALIOONDOLEWA KWENYE MFUMO WA MALIPO YA MSHAHARA KWA KUKOSA SIFA YA CHETI CHA KUFAULU MTIHANI WA ELIMU YA KIDATO CHA NNE* Watumishi wote ambao na Ajira ... *_BREAKING NEWS:_* *KAULI YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA BUNGENI LEO KUHUSU WATUMISHI WALIOONDOLEWA KWENYE MFUMO WA MALIPO YA MSHAHARA KWA KUKOSA SIFA YA CHETI CHA KUFAULU MTIHANI WA ELIMU YA KIDATO CHA NNE*

Watumishi wote ambao na Ajira za Kudumu au Ajira za mikataba (Kwa Watendaji wa Vijiji na Mitaa) au ajira za muda (Employment on Temporary Terms) ambao walikuwa kazini kabla ya tarehe 20 Mei, 2004 ulipoanza kutumika Waraka wa utumishi( Establishment Circular) Na. 1 wa mwaka 2004, Warejeshwe kazini Mara moja, walipwe mishahara yao kwa kipindi chote ambacho walikuwa wameondolewa kazini na waendelee na ajira zao hadi watakapostaafu kwa mujibu wa sheria

Watumishi wa Umma Elfu Moja mia tatu sabini (1370) waliolegezewa masharti ya sifa za muundo kupitia barua ya Katibu Mkuu Utumishi yenye Kumb. Na. CCB.271/431/01/P/13 ya tarehe 30 Juni, 2011, warejeshwe kazini mara moja, walipwe mishahara yao kwa kipindi chote ambacho walikuwa wameondolewa kazini na waendelee na ajira zao hadi watakapostaafu kwa mujibu wa sheria.
Read more
Loading...