Juu me style

Loading...


Unique profiles
1
Most used tags
Total likes
0
Top locations

Average media age
571.8 days
to ratio
Kuna mtu ametoa angalizo juu ya SEXY MAMAz na nataka niweke wazi. Ukiachana na wamama ambao wanajulikana, ...
Media Removed
Kuna mtu ametoa angalizo juu ya SEXY MAMAz na nataka niweke wazi. Ukiachana na wamama ambao wanajulikana, kuna wasichana/wanawake wengi ambao wamezaa (hawajulikani) na bado wana muonekano mzuri vibaya mno kuliko hata celebrities wa kilasiku, sasa hii ndio siku yenu, its more like ... Kuna mtu ametoa angalizo juu ya SEXY MAMAz na nataka niweke wazi.

Ukiachana na wamama ambao wanajulikana, kuna wasichana/wanawake wengi ambao wamezaa (hawajulikani) na bado wana muonekano mzuri vibaya mno kuliko hata celebrities wa kilasiku, sasa hii ndio siku yenu, its more like SHOW ME WHAT YOU GOT!! 😃' Hivyo Hii sio ya Mastar ni ya WOTE, watu inabidi waelewe kuzaa sio uzee na unaweza ukazaa na bado ukawa kisu kuliko asie na mtoto, kiufupi as i said SLOGAN YETU kwa mwaka huu ni CELEBRATING MOTHERHOOD.

Ni mwendo wa kuhave fun bila kusahau ni siku ya kuvaa kupendeza kupitiliza.

DRESSCODE: SHOW ME YOUR STYLE.
Fashion is one thing Style ni mtu mwenyewe so hiyo siku dresscode yetu ni hiyo juu 😀. Kama wewe ni BABA na unaamini Baby Mama wako/mkeo bado ni kisu hebu mlete, na kama wewe ni msichana/mwanamke mwenye mtoto na unajiamini bado uko vizuri njoo tukuone 😃, kama hujiamini baki nyumbani.
RED CARPET itakuwa ya hatari mno kiasi inaruhusu hata Moms to be MAMA VIJACHO nao wapendeze na kuja kupiga picha zao siku hiyo.

Ni usiku wa CELEBRATION, kucheza, kumingle, kuweka shida chini na kuenjoy life, huenda hata Single Mamas mkapata na Pair siku hiyo 😜(kidding). Kiufupi ni usiku wa pekee na aina yake, njoo tucelebrate pamoja. (Sio mashindano/competition ila CELEBRATION kwa WOTE)

Haya Wamama kazi kwenu kumbuka muonekano bado ni muhimu katika kujenga confidence yako hivyo hata uzae kumi USIJITUPE, kwa umbo lolote ulilonalo just keep it fit and pls tag sexy Mama yeyote unaemfahamu apate taarifa hii (sio maarufu). Taarifa zaidi za lini na wapi mtazipata hapahapa endelea kukaa na mimi
Read more
Loading...
Loading...