Karibuni sana tu mawasiliano

Loading...

Unique profiles
3
Most used tags
Total likes
0
Top locations

Average media age
570.6 days
to ratio
Jifunze Kilimo na Ufugaji @jifunze_kilimo_na_ufugaji kwa kushirikiana na @⁨Mkulima Smart⁩ ...
Media Removed
Jifunze Kilimo na Ufugaji @jifunze_kilimo_na_ufugaji kwa kushirikiana na @⁨Mkulima Smart⁩ @amazingconsultancy na @elimu_biashara wanakuletea Mafunzo ya Shamba Darasa Online na baada ya hapo kutakua na mafunzo kwa vitendo shambani. Unataka kujua Uhalisia wa Shamba? Namna ya kuwekeza ... Jifunze Kilimo na Ufugaji @jifunze_kilimo_na_ufugaji kwa kushirikiana na @⁨Mkulima Smart⁩ @amazingconsultancy na @elimu_biashara wanakuletea Mafunzo ya Shamba Darasa Online na baada ya hapo kutakua na mafunzo kwa vitendo shambani. Unataka kujua Uhalisia wa Shamba? Namna ya kuwekeza kwenye Kilimo? Namna ya kulima mazao mbali mbali ya Mboga mboga? Changamoto za Sokoni na jinsi ya Kujenga soko?
. Gharama za Kujiunga ni 15,000/= tu na yatakua ni Mafunzo ya wiki moja. .

Baada ya Kukamilika mafunzo haya tutakua na Mafunzo ya Vitendo shambani Mwasonga na Mlandizi. Pia kutakua na Mafunzo ya Kulima Kisasa Majumbani kwa kutumia Matenga na makopo. Kutakua na Mafunzo ya Usimamizi wa Fedha Binafsi na za Biashara.
Kilimo sio tu kupima udongo (PH), wala sio tu upatikanaji wa maji. Kuna mengi zaidi ya hayo ambayo tutajadili na kujifunza.
Mafunzo ya awamu ya pili yataanza tarehe 31/08/2018. Nyote mnakaribishwa.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na:

Simu: +255 714 606 706
Barua Pepe: [email protected]
Au DM kwenye social media pages. Mtaarifu na mwenzio na Karibuni sana.
Read more

Ikiwa Umetimia Mwezi Na Siku Kadhaa Tangia Nimefungua Duka letu Pendwa La @mobettostyles ... Napenda ...
Media Removed
Ikiwa Umetimia Mwezi Na Siku Kadhaa Tangia Nimefungua Duka letu Pendwa La @mobettostyles ... Napenda kwanza Kumshukuru Mungu Kwa hapa lilipofika🏾 Nilikua Na Ndoto Ya Kua Na Duka Siku Nyingi Sana Mpaka Kuna Kipindi Zaman (kabla Ya @babyfansy )Nlikua Nauzia Nguo Nyumbani.! Wateja Wetu ... Ikiwa Umetimia Mwezi Na Siku Kadhaa Tangia Nimefungua Duka letu Pendwa La @mobettostyles ... Napenda kwanza Kumshukuru Mungu Kwa hapa lilipofika🙏🏾 Nilikua Na Ndoto Ya Kua Na Duka Siku Nyingi Sana Mpaka Kuna Kipindi Zaman (kabla Ya @babyfansy )Nlikua Nauzia Nguo Nyumbani.!
Wateja Wetu Wa @mobettostyles Sijui Niseme Nini Ahsanteni Sana Na Nashkuru So far Wote mnapenda Nguo Zetu Na Mkizivaa Mnakua Na Furaha sana ❤️
.......... Kwa Team Hamisa Ahsanteni sana Sina Cha Kusema Zaidi Ya Ahsante Yani Ahsanteni Sana 🙏🏾 Mmekua Mkinipigania Sana .... Bila Malipo YoYote Wengine Ndo ata Kuwasiliana Na Mie Hamjawah Nawashukuru Mno ❤️ M/Mungu Awazidishie Vipenzi Vyangu .
Napenda kuwaambia Tu kwamba Safari Bado Ndefu Ndo kwanza Tunaanza Tegemeen Vikwazo Vingi Lakin Tegemeen Rekhma Na Mazuri mengi Kutoka Kwangu Na kwa Duka letu Pendwa La @mobettostyles ... Ahsanteni sana 🙏🏾
.
Na Kwa ambao Hamjafika Pia Karibuni Duka letu Lipo Kijitonyama Karibu Na shule Ya mama Salma Kikwete .
Kwa Mawasiliano - +255 677667788
Tunashona Nguo zote ... Na pia Tunauza Nguo Kali za ma sista duh, pluz size ,Nguo za Watoto, Za kazini Na zawamama Pia ❤️
Ramadhan Qareem ❤️
Read more
KARIBUNI.. T-shirts za dorah zinapatikana sasa kwa bei poa kabisa. Ukihitaji nikuletee mpaka ...
Media Removed
KARIBUNI.. T-shirts za dorah zinapatikana sasa kwa bei poa kabisa. Ukihitaji nikuletee mpaka ulipo ni elfu *25,000/= nakuletea popote ulipo hapa dar es salaam.PIA ukitaka kufata t-shirt yako nilipo mimi ili kukupa mkononi ni elf *20'000/= tu **kwa mawasiliano zaid piga 0745901956. ... KARIBUNI.. T-shirts za dorah zinapatikana sasa kwa bei poa kabisa. Ukihitaji nikuletee mpaka ulipo ni elfu *25,000/= nakuletea popote ulipo hapa dar es salaam.PIA ukitaka
kufata t-shirt yako nilipo mimi ili kukupa mkononi ni elf *20'000/= tu
**kwa mawasiliano zaid piga 0745901956. 0745901956.
KARIBU SANAAAA SANA. @dorahofficial @dorahofficial
Read more
Loading...