Kazi ni kwa 2016

Loading...


Unique profiles
7
Most used tags
Total likes
0
Top locations

Average media age
567.5 days
to ratio
Hii ni Mara ya Kwanza Kwa Kocha Roberto Mancini kushiriki kwenye mashindano makubwa akiwa na kikosi ...
Media Removed
Hii ni Mara ya Kwanza Kwa Kocha Roberto Mancini kushiriki kwenye mashindano makubwa akiwa na kikosi cha Italy. Pia Brzeczek atakuwa anaiongoza Poland Kwa Mara ya Kwa tangu apewe kazi kuinoa Timu hiyo. ••• Italy na Poland zimekumbwa na janga lakutolewa Kwa mikwaju ya penati kwenye mashindano ... Hii ni Mara ya Kwanza Kwa Kocha Roberto Mancini kushiriki kwenye mashindano makubwa akiwa na kikosi cha Italy. Pia Brzeczek atakuwa anaiongoza Poland Kwa Mara ya Kwa tangu apewe kazi kuinoa Timu hiyo.
•••
Italy na Poland zimekumbwa na janga lakutolewa Kwa mikwaju ya penati kwenye mashindano ya UEFA EURO 2016.
•••
Italy wakiwa nyumbani wameshinda michezo 3 Kati ya mitano dhidi ya Poland, Mengine miwili Wametoa sare.
•••
Mara ya Mwisho Italy kubeba taji la Ulaya ilikuwa mwaka 1968, Mara mbili zingine waliishia Kuwa mshindi wa 2.
•••
🤗Ukitazama kikosi cha Italy Kwasasa kimesheheni vipaji lukuki Kama Donnarumma, Perin, Romagnoli, Jorginho, Pellegrini, Bellotti, Immobile n.k Je! Roberto Mancini ataweza kuwatumia vizuri wachezaji Hawa Katika harakati ya kuirudisha Italy kwenye ubora wake ? 🤔 .
•••
Usikose kutazama mchezo huu Kati ya Italy dhidi Poland ifikapo Saa 3:45 Usiku LIVE kupitia @tv1tanzania ukiwa na wachambuzi wako maridadi
@allykashushu @wilsonoruma1 #KitaaKinatuamini
Read more
Loading...
 #LUSHOTO_KWETU MUHIMU SANA HILI. SERIKALI ILIPOKOSEA. Matatizo ambayo yalileta makosa ...
Media Removed
#LUSHOTO_KWETU MUHIMU SANA HILI. SERIKALI ILIPOKOSEA. Matatizo ambayo yalileta makosa makubwa na yakapitishwa na Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye bajeti ya mwaka 2016/2017 ndio yaliyosababisha hali ya uchumi kuwa ngumu leo hii. KUONGEZEKA KWA BAJETI. Mwaka ... #LUSHOTO_KWETU
MUHIMU SANA HILI.

SERIKALI ILIPOKOSEA.

Matatizo ambayo yalileta makosa makubwa na yakapitishwa na Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye bajeti ya mwaka 2016/2017 ndio yaliyosababisha hali ya uchumi kuwa ngumu leo hii.

KUONGEZEKA KWA BAJETI.

Mwaka 2016/2017 bajeti iliongezeka kwa asilimia 31% tofauti na mwaka huu 2017/2018 ambapo ongezeko la bajeti ni asilimia 2% ili kurekebisha makosa kwa bajeti ya mwaka uliopita. (Wabunge mkubali hilo hasa mlioshabikia pasipo kuelewa madhara yake.) UTALII.

Kasi yetu ya kuongeza utalii ilikuwa asilimia 12% tofauti na sasa asilimia 3% tu.

IFAHAMIKE.

Kuna maeneo Tanzania tunapaswa tusiyachezee kabisa kwani ndio yanayotupatia fedha za kigeni na kukua kwa uchumi wetu. Maeneo hayo makubwa 3

1. Utalii
2. Transit goods (bandari)
3. Korosho.

Tukiyachezea hayo maeneo shilingi inaweza kuporomoka mpaka kufikia 5000/- au 6000/- kwa Dola 1.

ANGALIZO.

Bunge linafanya kazi kupitia kamati zake ambazo zinakusanya taarifa sahihi zenye kuhusisha tafiti mbalimbali na kisha taarifa za kamati husika zinapelekwa Bungeni. Kitendo cha wabunge wetu (wawakilishi) kuweka maslahi ya vyama mbele kuliko kufikiria Taifa (Uzalendo) kwa kuyakataa maoni na mapendekezo ya kamati hizo ni kutukosea wananchi na kuudharau mhimili huo wa Serikali. Rai yangu kwa Wabunge kufikiria nchi yetu na wakati huu tulionao.

#TanzaniaKwanza
#Uzalendo
#Ukweli
#Utalii
#Bandari
#Korosho
#Korosho
#Korosho
#Korosho
#Koroshooooooo
#WapeweHelaZao

Nyumbani ni nyumbani.
Read more
Alafu 2020 Tume itakwambia ameshinda uchaguzi, tena kwa asilimia 80. Na wananchi mtaogopa kuandamana ...
Media Removed
Alafu 2020 Tume itakwambia ameshinda uchaguzi, tena kwa asilimia 80. Na wananchi mtaogopa kuandamana ... . . #Repost @zittokabwe with @get_repost ・・・ Utafiti wa Shirika la TWAWEZA uliotolewa leo unaonyesha kuwa kukubalika kwa Rais Magufuli kumeporomoka kutoka 96% mwaka 2016 ... Alafu 2020 Tume itakwambia ameshinda uchaguzi, tena kwa asilimia 80. Na wananchi mtaogopa kuandamana 😩...
.
.
#Repost @zittokabwe with @get_repost
・・・
Utafiti wa Shirika la TWAWEZA uliotolewa leo unaonyesha kuwa kukubalika kwa Rais Magufuli kumeporomoka kutoka 96% mwaka 2016 mpaka 55% mwaka 2018. Mporomoko Huu ni wa kasi zaidi kupata kutokea nchini kwani Rais John Magufuli hakubaliki zaidi kuliko marais wengine wote waliopita.
Rais ambaye hakubaliki namna Hii kiasi cha watu masikini wa vijijini kuwa tayari kuandamana dhidi yake, ni Rais wa nani? Anamwakilisha nani? Ni Rais wa wanyonge kweli?
Ndio maana Rais wetu kila siku anazindua vitu ambavyo kiitifaki ni kazi ya MaDC. Anagawa fedha barabarani. Anagawa mapapai barabarani. Anaonyesha hasira, dharau na hata ukatili kwa Viongozi wenzake bila sababu. Anatoa kauli za kudhalilisha wanawake na kuligawa Taifa. Anagombana na Viongozi wa dini na kupandikiza chuki kwenye jamii.
Rais wetu anajua kuwa hakubaliki. Ndio maana anajaza watu wake kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, anateua ndugu na jamaa zake kwenye Mahakama zetu na kwenye hazina yetu.
Rais asiyekubalika namna hii anapaswa kuondolewa madarakani kwa mujibu wa Katiba yetu. Kuendelea kuwa naye ni Hatari kwa usalama wa Taifa letu.
Read more
Utafiti wa Shirika la TWAWEZA uliotolewa leo unaonyesha kuwa kukubalika kwa Rais Magufuli kumeporomoka ...
Media Removed
Utafiti wa Shirika la TWAWEZA uliotolewa leo unaonyesha kuwa kukubalika kwa Rais Magufuli kumeporomoka kutoka 96% mwaka 2016 mpaka 55% mwaka 2018. Mporomoko Huu ni wa kasi zaidi kupata kutokea nchini kwani Rais John Magufuli hakubaliki zaidi kuliko marais wengine wote waliopita. Rais ... Utafiti wa Shirika la TWAWEZA uliotolewa leo unaonyesha kuwa kukubalika kwa Rais Magufuli kumeporomoka kutoka 96% mwaka 2016 mpaka 55% mwaka 2018. Mporomoko Huu ni wa kasi zaidi kupata kutokea nchini kwani Rais John Magufuli hakubaliki zaidi kuliko marais wengine wote waliopita.
Rais ambaye hakubaliki namna Hii kiasi cha watu masikini wa vijijini kuwa tayari kuandamana dhidi yake, ni Rais wa nani? Anamwakilisha nani? Ni Rais wa wanyonge kweli?
Ndio maana Rais wetu kila siku anazindua vitu ambavyo kiitifaki ni kazi ya MaDC. Anagawa fedha barabarani. Anagawa mapapai barabarani. Anaonyesha hasira, dharau na hata ukatili kwa Viongozi wenzake bila sababu. Anatoa kauli za kudhalilisha wanawake na kuligawa Taifa. Anagombana na Viongozi wa dini na kupandikiza chuki kwenye jamii.
Rais wetu anajua kuwa hakubaliki. Ndio maana anajaza watu wake kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi, anateua ndugu na jamaa zake kwenye Mahakama zetu na kwenye hazina yetu.
Rais asiyekubalika namna hii anapaswa kuondolewa madarakani kwa mujibu wa Katiba yetu. Kuendelea kuwa naye ni Hatari kwa usalama wa Taifa letu.
Read more
<span class="emoji emoji1f463"></span>Leo ni Tarehe 7 April 2018, tunaadhimisha Kumbukumbu ya Kifo Cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Abeid ...
Media Removed
Leo ni Tarehe 7 April 2018, tunaadhimisha Kumbukumbu ya Kifo Cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Abeid Aman Karume @Jembefm 93.7 kupitia kipindi chake cha muziki wa Injili yaani #JembeGospel kwa Kushirikiana na METDO, wanamuziki wa muziki huo pamoja na Wachungaji (CHOOSEN GENERATION), ... 👣Leo ni Tarehe 7 April 2018, tunaadhimisha Kumbukumbu ya Kifo Cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Abeid Aman Karume @Jembefm 93.7 kupitia kipindi chake cha muziki wa Injili yaani #JembeGospel kwa Kushirikiana na METDO, wanamuziki wa muziki huo pamoja na Wachungaji (CHOOSEN GENERATION), wameitumia siku hii muhimu ya #KarumeDay kwa kuwatembelea ndugu zetu wa kituo cha Wazee wasiojiweza kilichopo Bukumbi wilayani Misungwi mkoani Mwanza na kutoa mahitaji mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 'First Lady' Mama Janeth Magufuli.

Vilevile kuipa thamani Kazi ya utumishi uliotukuka na Kuuenzi Upendo na Msisitizo wa Mshikamano aliokuwa nao Hayati Mzee Karume.

Mshikamano ulipo baina ya Tanzania na Zanzibar umeendelea kudumu sasa yapata miaka 46.
Ni takribani miaka miwili sasa imepita tangu Mama Janeth Magufuli alipodhuru kwenye kituo hicho (mwezi March 7 mwaka 2016) ambapo aliteuliwa rasmi kuwa Mama Mlezi Mkuu wa Kituo hicho  baada ya kuhamasisha mashirika mbalimbali, watu binafsi na taasisi za kifedha kutoa michango ya vitu mbalimbali vilivyofikia thamani ya shilingi milioni 54 na kukiwezesha kituo hicho kwa chakula, malazi na mavazi.

Hivyo mpango huu umekuja kama sehemu ya kuitikia wito wa Fist lady.
CC:- #JembeGospel @nzwallajr @gsengo @jembenijembe @ashraphomary
Read more
Nikki wa Pili afunguka kuhusu kolabo na AKA : ****Msanii wa muziki Bongo kutoka kundi la Weusi, ...
Media Removed
Nikki wa Pili afunguka kuhusu kolabo na AKA : ****Msanii wa muziki Bongo kutoka kundi la Weusi, Nikki wa Pili amefunguka iwapo kuna mpango wa kufanya kolabo na rapper AKA kutoka nchini Afrika Kusini. Nikki amesema kuwa kitu hicho kinawezeka ila si jambo ambalo wameshakaa na kuzungumza ... Nikki wa Pili afunguka kuhusu kolabo na AKA :
****Msanii wa muziki Bongo kutoka kundi la Weusi, Nikki wa Pili amefunguka iwapo kuna mpango wa kufanya kolabo na rapper AKA kutoka nchini Afrika Kusini.
Nikki amesema kuwa kitu hicho kinawezeka ila si jambo ambalo wameshakaa na kuzungumza ingawa amekiri kuwa kuna kazi ambazo ameshafanya na wasanii wengine wa nje. “Kolabo zipo kwanza bado muda wa kutoka, zipo chini ya kapeti kwa hiyo kwa sababu sisi sio watu wa kujionyesha tusubiri tuone,” Nikki wa Pili ameiambia Bongo5.
Je anaweza kufanya kolabo na AKA?, “Why not,” amejibu Nikki.
Utakumbuka mwaka 2016 rapper Joh Makini alitoa ngoma na AKA iliyokwenda kwa jina la Don’t Bother.
Katika hatua nyingine Nikki wa Pili amezungumzia mipango ya kuoa na sababu ya kuposti picha zaidi kwa kipindi hiki akiwa na mpenzi wake tofauti na hapo awali. “Ni maisha ya kawaida kama mtu anavyokuwa na girl friend wake, nothing a big deal,” amesema.
Nikki wa Pili kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Mawindo’ ambayo amemshirikisha G Nako.
Read more
Loading...
Baada ya Buffon, Lichtsteiner kuondoka - sasa ni zamu ya Claudio Marchisio : Wakati tukiwa tumebakiza ...
Media Removed
Baada ya Buffon, Lichtsteiner kuondoka - sasa ni zamu ya Claudio Marchisio : Wakati tukiwa tumebakiza takribani masaa 24 kabla ya ligi ya Italia kuanza - Juventus imempoteza mkongwe mwingine kwenye kikosi- Claudio Marchisio ameachana na klabu hiyo baada ya kuitumikia kwa miaka 25. : Taarifa ... Baada ya Buffon, Lichtsteiner kuondoka - sasa ni zamu ya Claudio Marchisio
:
Wakati tukiwa tumebakiza takribani masaa 24 kabla ya ligi ya Italia kuanza - Juventus imempoteza mkongwe mwingine kwenye kikosi- Claudio Marchisio ameachana na klabu hiyo baada ya kuitumikia kwa miaka 25.
:
Taarifa rasmi imeeleza pande zote mbili zimefikia makubaliano ya kuvunja mkataba ambao ulikuwa unaisha 2020.
.
Marchisio ameitumikia Juve katika mechi 389, akishinda makombe 7 ya Serie A na Bianconeri, na makombe manne ya Coppa Italia.
.
Mzaliwa huyo wa Turin alipata majeraha makubwa ya goti mwaka 2016 yaliyomuweka nje kwa miezi 6, msimu uliopita alifanikiwa kucheza mechi 20.
:
Juventus kesho wanaufungua rasmi msimu wa Serie A kwa kucheza dhidi ya Chievo Verona. Cristiano Ronaldo ataanza rasmi kazi katika klabu yake mpya. @dstvtanzania ndio mahala tutakapoangalia mchezo huo. #MotoHauzimi #SerieAOnDSTV
Read more
Loading...