Loading Content...

Kazi ya kama beautiful

Loading...


Unique profiles
8
Most used tags
Total likes
0
Top locations
Kiango Media
Average media age
671.8 days
to ratio
7
Nilitamani sana nisikupost jamani nikiona kama siyo heshima @mirabel_flowers maana nimelia ...
Media Removed
Nilitamani sana nisikupost jamani nikiona kama siyo heshima @mirabel_flowers maana nimelia kwa uchungu mno....soo young, soo beautiful, soo hard working. Hakika Mungu Msiri. Yaani mrembo wangu tangu uanze biashara yako mimi binafsi nimeletewa maua yako zaidi ya 62 kutoka kwa watu ... Nilitamani sana nisikupost jamani nikiona kama siyo heshima @mirabel_flowers maana nimelia kwa uchungu mno....soo young, soo beautiful, soo hard working. Hakika Mungu Msiri. Yaani mrembo wangu tangu uanze biashara yako mimi binafsi nimeletewa maua yako zaidi ya 62 kutoka kwa watu mbalimbali na kila nilipoletewa ua kutoka kwako nilifurahi na kutabasamu mpaka mwisho. Kazi ya Mungu hai ulizwi ila inauma sana. May your soul rest in peace mamie. Najua uko mahala pazuriii unasoma ujumbe huu huku ukitabasamu. Mungu akukumbatie katika mbawa zake. Akuhifadhi... I will surely Miss you Malaika wetu. #RIPmarabel Mwenzetu ameshajiondokea... bado sisi!! 😭😭😭 tuishi kwa UPENDO na AMANI. Tuoneane HURUMA. Hapa duniani tunapita tu. KILA KITU TUTAKIACHA.
Read more
Loading...
Simama.jiangalie kwenye kioo hata kama.una makovu, yawe ya kuonekana nje au yale ya ndani ya moyo ...
Media Removed
Simama.jiangalie kwenye kioo hata kama.una makovu, yawe ya kuonekana nje au yale ya ndani ya moyo hata.kama una majeraha au kilema cha aina yeyote cha nje au ndani ,hata kama unayachukia maumbile yako ,hata kama umegive up kwenye kazi ,maisha,ndoa ,hata kama unaona mambo hayaendi unavyotaka ... Simama.jiangalie kwenye kioo hata kama.una makovu, yawe ya kuonekana nje au yale ya ndani ya moyo hata.kama una majeraha au kilema cha aina yeyote cha nje au ndani ,hata kama unayachukia maumbile yako ,hata kama umegive up kwenye kazi ,maisha,ndoa ,hata kama unaona mambo hayaendi unavyotaka ,hata kama unajiona wewe huna bahati kila unachofanya kinaanguka , hata kama hujiamini, hata kama umevunjika au umevunjwa moyo ,.na marafiki,ndugu, mume ,mke au wanafamilia , .
.❤

Leo.ni siku.ya.kujijenga upya jiangalie mara mbili mbili Mungu alikuumba akiwa na sababu kubwa na wewe labda unaijua au bado hujaijua lakini naomba leo nikujenge upya wewe unaweza chochote unacho ashiria kufanya usiogope yaani amka leo ukijua kuwa wewe tayari ni mshindi na unaweza mafanikio yanajengwa kwanza na fikra chanya (positive thinking) ushindi ni wako ,umeshafanikiwa amini hivyo ijenge hiyo kauli kwenye nafsi yako AMINI NA JIAMINI . wewe ni mzuri tena sana Mungu amemuumba kila mwanadamu na uzuri wake yaani jiangalie kwenye kioo and jiambie I am beautiful tena na confidence zote vaa vizuri upendeze jipende na ujue wewe kama wewe unajitosheleza huhitaji kuambiwa na watu ndio nafsi yako ijue kuwa wewe unajitosheleza leo jua kuwa you are enough.


Hakuna mwanadamu awe mzazi,mchumba,watoto,wanoweza kukujenga wewe ni wewe mwenyewe kujipenda kwanza na kujiamini..kwanza na kujikubali
Jiangalie. Kwenye kioo tena na tena jiambie mimi nina weza.,mimi ni mzuri hatarii ,mimi najitosheleza .❤

AMKA LEO UKIJUA UMEBARIKIWA TAYARI ,AMKA LEO UKIJUA WEWE NI MSHINDI ,
BELEIVE IN YOURSELF
Read more
"Simama.jiangalie kwenye kioo hata kama.una makovu, yawe ya kuonekana nje au yale ya ndani ya moyo ...
Media Removed
"Simama.jiangalie kwenye kioo hata kama.una makovu, yawe ya kuonekana nje au yale ya ndani ya moyo hata.kama una majeraha au kilema cha aina yeyote cha nje au ndani ,hata kama unayachukia maumbile yako ,hata kama umegive up kwenye kazi ,maisha,ndoa ,hata kama unaona mambo hayaendi unavyotaka, ... "Simama.jiangalie kwenye kioo hata kama.una makovu, yawe ya kuonekana nje au yale ya ndani ya moyo hata.kama una majeraha au kilema cha aina yeyote cha nje au ndani ,hata kama unayachukia maumbile yako ,hata kama umegive up kwenye kazi ,maisha,ndoa ,hata kama unaona mambo hayaendi unavyotaka, hata kama unajiona wewe huna bahati kila unachofanya kinaanguka , hata kama hujiamini, hata kama umevunjika au umevunjwa moyo ,.na marafiki,ndugu, mume ,mke au wanafamilia , .
.❤

Leo.ni siku.ya.kujijenga upya jiangalie mara mbili mbili Mungu alikuumba akiwa na sababu kubwa na wewe labda unaijua au bado hujaijua lakini naomba leo nikujenge upya wewe unaweza chochote unacho ashiria kufanya usiogope yaani amka leo ukijua kuwa wewe tayari ni mshindi na unaweza mafanikio yanajengwa kwanza na fikra chanya (positive thinking) ushindi ni wako ,umeshafanikiwa amini hivyo ijenge hiyo kauli kwenye nafsi yako AMINI NA JIAMINI . wewe ni mzuri tena sana Mungu amemuumba kila mwanadamu na uzuri wake yaani jiangalie kwenye kioo and jiambie I am beautiful tena na confidence zote vaa vizuri upendeze jipende na ujue wewe kama wewe unajitosheleza huhitaji kuambiwa na watu ndio nafsi yako ijue kuwa wewe unajitosheleza leo jua kuwa you are enough.


Hakuna mwanadamu awe mzazi,mchumba,watoto,wanoweza kukujenga wewe ni wewe mwenyewe kujipenda kwanza na kujiamini..kwanza na kujikubali
Jiangalie. Kwenye kioo tena na tena jiambie mimi nina weza.,mimi ni mzuri hatarii ,mimi najitosheleza .❤

AMKA LEO UKIJUA UMEBARIKIWA TAYARI ,AMKA LEO UKIJUA WEWE NI MSHINDI ,
BELIEVE IN YOURSELF - #open_kitchen2014
Read more
New Miss Morogoro was Lit <span class="emoji emoji1f525"></span>... Iam truly Honored... Morogoro you guys are amazing... And tukienda ...
Media Removed
New Miss Morogoro was Lit ... Iam truly Honored... Morogoro you guys are amazing... And tukienda kwenye warembo, I must say mmebarikiwa... Judges tulikuwa tuna kazi kubwa sana kuchagua nani atashinda lakini tunajua vigezo na masharti lazima vizingatiwe... Tulipata chance ya kuwa na ... New Miss Morogoro was Lit 🔥... Iam truly Honored... Morogoro you guys are amazing... And tukienda kwenye warembo, I must say mmebarikiwa... Judges tulikuwa tuna kazi kubwa sana kuchagua nani atashinda lakini tunajua vigezo na masharti lazima vizingatiwe... Tulipata chance ya kuwa na warembo wote One on One (wenye kujua tasnia ya Urembo tunaifahamu kama Pre-judgement) na kiukweli kila mrembo alistand out kivyake ila kama tunavyojua, Kuna Kuzidiana katika vitu vyote, kwa maana ya kwamba hamuwezi kuwa sawa... .
.
Ki-Haki kabisa washindi wa Miss Morogoro walishinda kwa vigezo vyote na nawatakia washindi wote kila la kheri huko mbele watakapoenda kwenye Kanda mpaka watakapofikia Taifa... .
.
Shughuli ya Miss Morogoro ilifana ki-aina yake, kuanzia Decor mpaka Arrangement yoote ya Event hio... The MCs were on point... @mc_condo My brother Mungu akuweke... Nashukuru kwa misifa ulionimwagia... Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni , NILIPENDEZA MNO... Mpaka najua... My sister Da Farida @faridapat The Main Organizer of the Event, Job well done dada angu... My Friend @captaintanzania hukoseagi Gady wangu. @wardaplanetfm .
.
My Fellow judges: @j_adoreintz You are a Beautiful soul, @lemutuz_superbrand My darling you are Unstoppable, @doromwatenga All the Best kwenye Kanda dada angu.. You have my full support... Mh @spearkomanya Naomba usiwe unajiweka mbali na tasnia ya urembo... It was sooo nice to work with all of you... .
.
.
My Look: 😌😌😌
What can I say about my dress... Kuna Kiboko mpya mjini anaenda kwa jina la @kenny_the_brand @kenny_the_brand @kenny_the_brand @kenny_the_brand Ndo kanisababishia Dress yangu... Designer Bingwa kabisa huyu... No Longolongo, Hana mchezo na kazi yake... Alafu anakupa kitu Roho inapenda... Kenny You are Life... Asante sana sana kwa kunipendezesha... Hakika nilikuwa Mmmmmmh...
.
Salvado baby @yohajonailbar @yohajonailbar @yohajonailbar for styling my hair..
.
My sweetness @luluzhair @luluzhair @luluzhair For my Gorgeous Hair... This Hair Compliments my Dress and Erthing.
.
Da Esther for my FaceBeat ila sikumuacha nyuma Da Pendo wangu.Nilibeba japo Kope..😂Lashed by Lavie @laviemakeup .
.
Photo credit goes to @idris_baro @idris_baro.
Read more
Talk Talk Talk🏽 @stevenyerere2 🏽 Ivi ni kwanini watanzania tunaona kama mtu kujua English ndio kushinda maisha?? English au Kiingereza ni lugha tu kama ilivo kiswahili, Kichaga, Kisukuma, Kichina, Kiganda n.k. China, Germany, France ni moja ya nchi tajiri duniani lakini hawaongei ... Talk Talk Talk👍🏽 @stevenyerere2 👏🏽
Ivi ni kwanini watanzania tunaona kama mtu kujua English ndio kushinda maisha?? English au Kiingereza ni lugha tu kama ilivo kiswahili, Kichaga, Kisukuma, Kichina, Kiganda n.k.

China, Germany, France ni moja ya nchi tajiri duniani lakini hawaongei Kingereza, hata viongozi wao wa serikalini lugha ya Kingereza haiwahusu na wala haiwasumbui. Ma celebrity wao ndio kabisaaa. Sasa kwanini Sisi tumekua tunawanyooshea vidole wa-Tanzania ambao hawaongei Kingereza? Tena wengine wanajaribu halafu tunawacheka🤷🏽‍♀️ Embu tuweni wakweli, mtanzania wa kawaida aliekwenda shule ya kawaida (Achana na Ma-International School) Je Kiingereza anajifunzia wapi????
Halafu naomba mnitajie viongozi wazuri serikalini au Matajiri TZ waliotoka shule za International School? Inamaana kujua Kiingereza sio Big deal.

Embu tuanze kuwaheshimu wale wanaodhubutu kuongea lugha za watu, hata ikiwa broken kiasi gani, tuwe tunawapa support na sio kuwacheka, KUJUA KINGEREZA SIO UJANJA.

Nitakua na Kipindi Kwenye TV ya hapa Uingereza ambacho kitakua ni cha Kiswahili... Kitakua kwenye SKY 175 Kila Jumamosi saa MOJA JIONI ambayo itakua saa TATU Usiku Kwa muda wa Kitanzania. Tutakua pia LIVE online Hivyo utaweza kutuangalia popote pale ulipo duniani.

Lengo la hiki kipindi ni kuitangaza Lugha ya KISWAHILI.
Watanzania wengi wanafanya vizuri sana kwenye biashara zao huko Tanzania na nchi nyingine mbali mbali, lakini hawapati nafasi ya kuonekana ulaya kwasababu tu hatuzungumzi kiingereza.. NO.. NO.

Hii Itakupa nafasi yako wewe Mtanzania Kuonekana kwenye SKY TV.. ambayo ni moja ya biggest sitellite duniani.

Nitatumia hii platform kukikuza KISWAHILI, na Pia kuwaletea Watanzania wanaokaa Ulaya fursa zilizopo Tanzania:
Kazi yangu kubwa itakua kukupa nafasi wewe Msanii, Muigizaji, Mfanya biashara au muekezaji nafasi yakuonekana dunia nzima.
Hiki kitakua nikipindi cha Watanzania WOTE popote pale mlipo. Wewe kama Mtanzania unayo nafasi yakuonekana kwenye SKY TV kwakupitia #TheSporahShow #YaKiswahili #SKY175

Huu ndio Muda wa kuitangaza TANZANIA MPYA, bila kusahau MBUGA zetu za Wanyama, Mt. Kilimanjaro, Our Beautiful Zanzibar na Chakula chetu kitamuuuuu😋 #ComingSoon
Read more
Beautiful decor by us Bridal shower things<span class="emoji emoji1f44c"></span><span class="emoji emoji1f44c"></span><span class="emoji emoji1f44c"></span><span class="emoji emoji1f44c"></span><span class="emoji emoji1f44c"></span> Karibuni sana wateja wetu, kama una shughuli ...
Media Removed
Beautiful decor by us Bridal shower things Karibuni sana wateja wetu, kama una shughuli yako na unahitaji huduma ya mapambo tafadhali usisite kututumia, tutakufanyia kazi yako kwa uaminifu na utafurahia shughuli yako, ukila na cake yetu ndio kabisaaa unaongeza msisimko wa furaha 0714762512/0769084570 Follow ... Beautiful decor by us
Bridal shower things👌👌👌👌👌
Karibuni sana wateja wetu, kama una shughuli yako na unahitaji huduma ya mapambo tafadhali usisite kututumia, tutakufanyia kazi yako kwa uaminifu na utafurahia shughuli yako, ukila na cake yetu ndio kabisaaa unaongeza msisimko wa furaha😉😉👌👌👌
0714762512/0769084570
Follow page yetu ya mapambo uone baadhi ya kazi zetu
@leymax_kidsevents_and__decors
@leymax_kidsevents_and__decors
@leymax_kidsevents_and__decors
@leymax_kidsevents_and__decors
@leymax_kidsevents_and__decors
Read more
Loading...
Ukipata fedha usidharau watu ukajiona wewe ni bora kuliko wasiokuwa nazo, Ukipata nafasi ya kusoma ...
Media Removed
Ukipata fedha usidharau watu ukajiona wewe ni bora kuliko wasiokuwa nazo, Ukipata nafasi ya kusoma na usiwaone wale wasiosoma sio kitu, hata kama ni Wazazi wako, huwezi kujifanya wewe ndo wewe ukawaambia Wazazi wako hawajaenda shule, kumbuka walinyima wewe uende shule, unapata Mshahara ... Ukipata fedha usidharau watu ukajiona wewe ni bora kuliko wasiokuwa nazo, Ukipata nafasi ya kusoma na usiwaone wale wasiosoma sio kitu, hata kama ni Wazazi wako, huwezi kujifanya wewe ndo wewe ukawaambia Wazazi wako hawajaenda shule, kumbuka walinyima wewe uende shule, unapata Mshahara Unakula wote, kisa mshahara hautoshi, kawa taarifa yako hata wao ulikuwa haitoshi lakini walijipinda usome unaona Kero ukipewa matatizo ya home itakula kwako.

We Tukana wakunga kimoyo moyo kuwa "wamezidi". Ukipata Mchumba au hata Boyfriend ama Girl Friend basi usijione wewe ndo Beautiful kuliko Cleopatra, unawaona wenzio wasiopata watu ni "Magume gume". Ukiolewa wenzio wakikosa bahati usianze nyodo "Siongei na Wasio na Ndoa", Ukipata kazi sehemu nyingi bora kuliko hapo ulipo, usiondoke na mbwembwe za matarumbeta, hii dunia bwana huwezi jua.

Dharau haziwezi kutupeleka mahali popote, unayemdharau leo hujui kesho yake itakuaje, hapa ni duniani na malipo ni hapa hapa unachopanda ndicho utakachovuana, mbwembwe na majigambo ni utoto wa hali ya Juu ukikua utaacha, Sasa kwanini kufanya dharau sababu ya mafanikio yasiyodumu??hukuwahi sikia ama kuona watu waliokuwa na nyodo na mbwembwe wazazi wao wakiwa hai ghafla wazazi wakafaraki??hukuwahi sikia watu waliokuwa wanafanya mbwembwe na kufuru sababu ya wapenzi wao ghafla kikaumana?

Hujawahi sikia mtu aliondoka kwenye ofisi moja kwa mbwembwe huko alikokwenda kikanuka??yangu mimi ni macho, ninarudia kusema Usitukane Wakunga Wakati Unampango wa Kurudi tena Labor.

Copy from My archive 2013.

#favorismyname
# #mycaseisdifferent
# #itisdifficultbutnotimpossible

Picha kwa hisani na mkono wa @dalidalirashid
Read more
Happy birthday beautiful sis...Kipenzi cha moyo wangu @mamualley @mamualley...Baba wa mbinguni ...
Media Removed
Happy birthday beautiful sis...Kipenzi cha moyo wangu @mamualley @mamualley...Baba wa mbinguni akupe maisha marefu mdogo wangu Hofu ya MUNGU izidi kutawala ndani ya moyo wako....Kila unalomuomba likatimie kipenzi akupe mume mwema akudekeze kama yai maana nakujuwa wewe ni wife wa ... Happy birthday beautiful sis...Kipenzi cha moyo wangu @mamualley @mamualley...Baba wa mbinguni akupe maisha marefu mdogo wangu Hofu ya MUNGU izidi kutawala ndani ya moyo wako....Kila unalomuomba likatimie kipenzi akupe mume mwema akudekeze kama yai maana nakujuwa wewe ni wife wa dunia bac MUNGU akupe Hubby wa dunia pia...🙏 Unajuwaga vile nawapenda wadogo zangu bac kazi yangu nikuwaombea yaliyo mema napenda kuwaona mkiwa na furaha....Dada yenu nipo nitaakikisha mnatabasamu wakati wote....Happy birthday mama ake Salma...Nakupenda mdogo wangu...❤❤❤❤🎂🌹
Read more
Loading...
Loading...