Kheri na shari

Loading...


Unique profiles
17
Most used tags
Total likes
0
Top locations
Masjid Al-Tawheed, Mbagala, Dar Es Salaam, Tanzania, Nairobi, Kenya
Average media age
552.6 days
to ratio
11
Katika maisha changamoto ni lazima, ila kubwa ni kumtanguliza Allah (SW) kwani kheri na Shari zote ...
Media Removed
Katika maisha changamoto ni lazima, ila kubwa ni kumtanguliza Allah (SW) kwani kheri na Shari zote ni zake yeye! #inshallah #jumaahmubarak #teaminshallah #mashallahKatika maisha changamoto ni lazima, ila kubwa ni kumtanguliza Allah (SW) kwani kheri na Shari zote ni zake yeye! #inshallah #jumaahmubarak #teaminshallah #mashallah❤️
Loading...
HAPPY BIRTHDAY <span class="emoji emoji1f382"></span> TO YOU MY MOTHER INLAW... M/MUNGU AKUZIDISHIE KILA LA KHERI NA BARKA NDAN YAKE... AKUEPUSHIE ...
Media Removed
HAPPY BIRTHDAY TO YOU MY MOTHER INLAW... M/MUNGU AKUZIDISHIE KILA LA KHERI NA BARKA NDAN YAKE... AKUEPUSHIE KILA LA SHARI NA MABAYA JUU YAKO...PENDA SANA WW MAMA MZAA CHEMA HAPPY BIRTHDAY 🎂 TO YOU MY MOTHER INLAW...
M/MUNGU AKUZIDISHIE KILA LA KHERI NA BARKA NDAN YAKE...
AKUEPUSHIE KILA LA SHARI NA MABAYA JUU YAKO...PENDA SANA WW MAMA MZAA CHEMA💗💗💗🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
Kheri ya sikukuu ya kuzaliwa mwanakwetu Shikokoti @yeswal . Rabii akupe heri, za karibu na za mbali. ...
Media Removed
Kheri ya sikukuu ya kuzaliwa mwanakwetu Shikokoti @yeswal . Rabii akupe heri, za karibu na za mbali. Akuepushie shari zilizo kila mahali. Cheza wimbo wako na wa wenyewe. Bidii yako naiheshimu sana kaka braza. Pewa kamnyeswo tutagharamia. #birthday #cake #sundayfunday #happybirthdayyeswal Kheri ya sikukuu ya kuzaliwa mwanakwetu Shikokoti @yeswal . Rabii akupe heri, za karibu na za mbali. Akuepushie shari zilizo kila mahali. Cheza wimbo wako na wa wenyewe. Bidii yako naiheshimu sana kaka braza. Pewa kamnyeswo tutagharamia. #birthday #cake #sundayfunday #happybirthdayyeswal
Happy birthday to u my lovely wife <span class="emoji emoji1f61a"></span><span class="emoji emoji1f61a"></span><span class="emoji emoji1f61a"></span> mola akujaalie kila lenye kheri duniani na akhera, & akuepushe ...
Media Removed
Happy birthday to u my lovely wife mola akujaalie kila lenye kheri duniani na akhera, & akuepushe na kila lenye shari ktk maisha yako, ww ni zawadi ya kipekee niliyojaaliwa na mola daima nitaitunza, naona unakuwa mtu mzma sasa hongera sana mama watoto Happy birthday to u my lovely wife 😚😚😚 mola akujaalie kila lenye kheri duniani na akhera, & akuepushe na kila lenye shari ktk maisha yako, ww ni zawadi ya kipekee niliyojaaliwa na mola daima nitaitunza, naona unakuwa mtu mzma sasa hongera sana mama watoto
Asalamaleikum Warhamatullah Wabarakatu. Wiki mbili zilizopita tulizungumzia nguzo tano ...
Media Removed
Asalamaleikum Warhamatullah Wabarakatu. Wiki mbili zilizopita tulizungumzia nguzo tano za Kiislam. Leo tutazungumzia 'Nguzo sita as IMANI' Nguzo za Imani ni zile ambazo tunaamini katika uislamu. Imani ina maana kuamini kile usichokiona lakini una ushahidi wa kutosha juu ya ... Asalamaleikum Warhamatullah Wabarakatu.

Wiki mbili zilizopita tulizungumzia nguzo tano za Kiislam.

Leo tutazungumzia 'Nguzo sita as IMANI'

Nguzo za Imani ni zile ambazo tunaamini katika uislamu. Imani ina maana kuamini kile usichokiona lakini una ushahidi wa kutosha juu ya kuwepo kwake, na hii ndo maana ya Imani.

Kuna nguzo sita za Imani katika Uislamu ambazo ni :  1.Kumuamini Allah
 2.Kuamini malaika
 3.Kuamini mitume wa Allah
 4.Kuamini vitabu vya Allah
 5.Kuamini siku ya mwisho
 6.Kuamini Qadari (ya kheri au ya shari) kuwa inatoka kwa Allah). 1. Kumuamini Allah
Hii ndo nguzo ya kwanza ya Imani katika uislamu. Kila muislamu anatakiwi awe na Imani juu ya kuwepo Allah(SW) ambaye ni mmoja na hajazaa wala hajazaliwa na hana mfano wake. Na sio kumuamini Allah peke yake lakini imeelezwa vizur katika kitabu kitukufu cha  Qur’an na Hadithi za Mtume Muhamadi (S.A.W). Pia inajumuisha majina 99 ya Allah(S.W)

INAENDELEA POST INAYOFUATA
Read more
Asalam Aleykum warahmatullah wabarakatuh!!! Yaarab wasamehe maiti zetu waliotangulia mbele ...
Media Removed
Asalam Aleykum warahmatullah wabarakatuh!!! Yaarab wasamehe maiti zetu waliotangulia mbele ya haki.. Watilie nuru makaburi yao uwajaalie wawe miongoni mwa waja wema.. Yaarab tutakabalie dua zetu.. Ibada zetu... Swala zetu... Istighfar zetu... Tawba zetu... Utuongozee ndoa zetu.. ... Asalam Aleykum warahmatullah wabarakatuh!!! Yaarab wasamehe maiti zetu waliotangulia mbele ya haki.. Watilie nuru makaburi yao uwajaalie wawe miongoni mwa waja wema.. Yaarab tutakabalie dua zetu.. Ibada zetu... Swala zetu... Istighfar zetu... Tawba zetu... Utuongozee ndoa zetu.. Majumbani mwetu.. Familia zetu.. Watoto WETU.. Utupe kila la kheri utuepushe na kila Shari.. EID MUBARAK KWENU NDUGU ZANGU...👋🏽
Read more
Loading...
Kheri ya kuzaliwa kifunga mimba wetu, Allah akujaalie umri mrefu sanaaa , akupe kila lenye kheri ...
Media Removed
Kheri ya kuzaliwa kifunga mimba wetu, Allah akujaalie umri mrefu sanaaa , akupe kila lenye kheri kwako na akuepushie kila lenye Shari nawe, akupe wepesi na mafanikio katika kazi zako na malengo yako inshaallah. Happy born day my last born sister ZAINABU MPONGO Your big brother loves you ... Kheri ya kuzaliwa kifunga mimba wetu, Allah akujaalie umri mrefu sanaaa , akupe kila lenye kheri kwako na akuepushie kila lenye Shari nawe, akupe wepesi na mafanikio katika kazi zako na malengo yako inshaallah. Happy born day my last born sister ZAINABU MPONGO Your big brother loves you so much
Read more
Kupendwa ndio huku karibuni jamani tuendelee kukata cake na kusherekea cake nzuriii from @dinacake ...
Media Removed
Kupendwa ndio huku karibuni jamani tuendelee kukata cake na kusherekea cake nzuriii from @dinacake shukraan saana mamy barikiwa saana Mungu akukinge na kila shari na kila kheri akufungilie shukraan saana. Kupendwa ndio huku karibuni jamani tuendelee kukata cake na kusherekea cake nzuriii from @dinacake shukraan saana mamy barikiwa saana Mungu akukinge na kila shari na kila kheri akufungilie shukraan saana.
Loading...
Unaweza ukachukia kitu kumbe kina kheri kubwa na wewe na unaweza kupenda kitu kumbe kina shari na wewe. Mwenyezi Mungu anajua zaidi na sisi hatujui. Unaweza ukachukia kitu kumbe kina kheri kubwa na wewe na unaweza kupenda kitu kumbe kina shari na wewe. Mwenyezi Mungu anajua zaidi na sisi hatujui.
In Shaa Allah Eid Al- Adha Iwe njema na yenye furaha na amani kwenu....Kwa baraka ya siku hii Tumuombe ...
Media Removed
In Shaa Allah Eid Al- Adha Iwe njema na yenye furaha na amani kwenu....Kwa baraka ya siku hii Tumuombe Mungu atujalie kila lililo la kheri nasi na atuepushe na kila lenye shari nasi.....Allahuma Ameen... #EID_MUBARK In Shaa Allah Eid Al- Adha Iwe njema na yenye furaha na amani kwenu....Kwa baraka ya siku hii Tumuombe Mungu atujalie kila lililo la kheri nasi na atuepushe na kila lenye shari nasi.....Allahuma Ameen...🙏
#EID_MUBARK
EWE MOLA mpe mja wako huyu nimpendae kila lenye kheri nae katika hii dunia yeye na familia yake EWE ...
Media Removed
EWE MOLA mpe mja wako huyu nimpendae kila lenye kheri nae katika hii dunia yeye na familia yake EWE MOLA! mf ungulie kila lililojifunga katika rizki na amali zake. EWE MOLA msikize kila ombi katika maisha yake. EWE MOLA mruzuku rizki kwa uwepesi na yenye baraka na kheri nyingi ndani yake. EWE ... EWE MOLA mpe mja wako huyu nimpendae kila lenye kheri nae katika hii dunia yeye na familia yake
EWE MOLA! mf ungulie kila lililojifunga katika rizki na amali zake.
EWE MOLA msikize kila ombi katika maisha yake.
EWE MOLA mruzuku rizki kwa uwepesi na yenye baraka na kheri nyingi ndani yake.
EWE MOLA mpe kila zuri aliwazalo katika haja zake.
EWE MOLA mlinde na hasad za viumbe wabaya na kila aina ya shari.
EWE MOLA mpe ujasiri wa kutomtii kiumbe zaid yako ewe muumba wa mbingu na ardhi.
EWE MOLA mjibu kila atakalokuomba na umjaalie kheri ndani yake.
EWE MOLA warehemu wazazi wake na mpe nyingi rehma yeye na familia yake nauwape mwisho mwema wazazi wake walio hai wafe aliyakuwa wakishahadia*آ *AMEEN AMEEN AMEEN, !JUMAA MUBARAK
Read more
Happy birthday my ndugu Mola akujaalie Kila lenye kheri na wewe akuepushe na Shari akujaalie Kila ...
Media Removed
Happy birthday my ndugu Mola akujaalie Kila lenye kheri na wewe akuepushe na Shari akujaalie Kila umuombacho akujaalie kwa wakati AMIN NAKUPENDA SANA 🍼 mecup wangu mimi @rey_makeover Happy birthday my ndugu Mola akujaalie Kila lenye kheri na wewe akuepushe na Shari akujaalie Kila umuombacho akujaalie kwa wakati AMIN NAKUPENDA SANA 🎂 🎈 🎊 🎉 👡 👜 🍼 🎁 💵 mecup wangu mimi @rey_makeover
Loading...
Pacha wangu hakika Umekua Faraja na furaha ktk Maisha yangu umenibadilisha Jina badala ya Riyamaally ...
Media Removed
Pacha wangu hakika Umekua Faraja na furaha ktk Maisha yangu umenibadilisha Jina badala ya Riyamaally naitwa (MAMATUMA ) nakupenda zaidi wajina wa mama yangu kipenzi BIFATMA Mola akujaalie umri mrefu na Afya Tele akujaalie Kila lenye kheri na wewe akuepushe na SHARI HUSDA na FITNA Za mashwetwan ... Pacha wangu hakika Umekua Faraja na furaha ktk Maisha yangu umenibadilisha Jina badala ya Riyamaally naitwa (MAMATUMA ) nakupenda zaidi wajina wa mama yangu kipenzi BIFATMA Mola akujaalie umri mrefu na Afya Tele akujaalie Kila lenye kheri na wewe akuepushe na SHARI HUSDA na FITNA
Za mashwetwan waBaya na majini watu akujaalie UFAHAMU ktk masomo yako Mwanangu Elim DUNIA na Elimu AKHERA AMIN RABILA ALAMINA 🙏
ENJOY YOUR DAY MWANANGU 🎂 🎉 🎊 🎁 💄 👑 👜 👒 👡 nguo ya tuma na kiatu @sweetlorah
Read more
HAPPY BIRTHDAY <span class="emoji emoji1f382"></span> TO ME<span class="emoji emoji1f382"></span><span class="emoji emoji1f382"></span><span class="emoji emoji1f382"></span> Namuomba Allah anijaalie kila la kheri na aniepushie kila shari mm na ...
Media Removed
HAPPY BIRTHDAY TO ME Namuomba Allah anijaalie kila la kheri na aniepushie kila shari mm na familia yangu in shaa Allah #mohzaifar HAPPY BIRTHDAY 🎂 TO ME🎂🎂🎂
Namuomba Allah anijaalie kila la kheri na aniepushie kila shari mm na familia yangu in shaa Allah
#mohzaifar
Happy birthday ostadh nassor Allah akujalie kila lenye kheri na ww Na akuepushe kila lenye shari ...
Media Removed
Happy birthday ostadh nassor Allah akujalie kila lenye kheri na ww Na akuepushe kila lenye shari na ww Maji yanakungoja baba Happy birthday ostadh nassor
Allah akujalie kila lenye kheri na ww
Na akuepushe kila lenye shari na ww

Maji yanakungoja baba
Loading...
Happy birthday my kaka kipenzi changu mtunzi wangu wa Tamthilia ya #HUBA inayo ruka Dstv na mtunzi ...
Media Removed
Happy birthday my kaka kipenzi changu mtunzi wangu wa Tamthilia ya #HUBA inayo ruka Dstv na mtunzi wangu wa Tamthilia ya moyo iliokua ikuruka #citizen Mola akujaalie Kila lenye kheri na wewe akuepushe na Shari akujaalie Kila umuombacho akujaalie kwa wakati AMIN NAKUPENDA SANA DAMWANI ... Happy birthday my kaka kipenzi changu mtunzi wangu wa Tamthilia ya #HUBA inayo ruka Dstv na mtunzi wangu wa Tamthilia ya moyo iliokua ikuruka #citizen Mola akujaalie Kila lenye kheri na wewe akuepushe na Shari akujaalie Kila umuombacho akujaalie kwa wakati AMIN NAKUPENDA SANA DAMWANI UNAJUA, @iamibrachi Mswahili aliekulia ushuwani mimi na mwita #swahiliclassic 🍼 🎉 🎊 🎁 👑
Read more
Happy birthday to you my shemela wangu..Allah akupe afya njema na umri mrefu akujaalie kila yenye ...
Media Removed
Happy birthday to you my shemela wangu..Allah akupe afya njema na umri mrefu akujaalie kila yenye kheri na wewe akuepushe na shari..akujalie furaha na aman uendelee kumpenda my Dada pamoja na watoto..Da @esha.s.buheti hii pcha naipendaga sana na unajua Happy birthday to you my shemela wangu..Allah akupe afya njema na umri mrefu akujaalie kila yenye kheri na wewe akuepushe na shari..akujalie furaha na aman uendelee kumpenda my Dada pamoja na watoto..Da @esha.s.buheti hii pcha naipendaga sana na unajua😊😄😋
Siku moja Nabii Ibrahim akiwa safari zake anamuona mtu anakuja mbele yake, anakuja kwa maumbo tafauti ...
Media Removed
Siku moja Nabii Ibrahim akiwa safari zake anamuona mtu anakuja mbele yake, anakuja kwa maumbo tafauti tafauti,macho yake yanawaka na kufifia,Nabii anaingiwa na hofu,yule mtu anamsogelea Nabii,Nabii Ibrahim jasho zinamtoka mara akasema Najikinga na shari zako kwa aliyeumba mbingu ... Siku moja Nabii Ibrahim akiwa safari zake anamuona mtu anakuja mbele yake, anakuja kwa maumbo tafauti tafauti,macho yake yanawaka na kufifia,Nabii anaingiwa na hofu,yule mtu anamsogelea Nabii,Nabii Ibrahim jasho zinamtoka mara akasema

Najikinga na shari zako kwa aliyeumba mbingu na ardhi ikiwa wewe si mtu wa kheri! ni nani wewe mwenye kunitia hofu?

Akasema
Malakur Mawt!

Natoa kwa nguvu na shida amana ya roho ya yule asiyemjua Mola wake Mlezi

Akasema
Ikiwa mimi Ibrahim Nabii wa Mwenyezi Mungu umenijia kwa hali hiyo vipi ukimwendea mja asiyemjua Mola wake?

Akasema
Wewe Ibrahim mimi nakuonea aibu kwa kuwa wewe ni Nabii wa Mwenyezi Mungu.Kwa kuwa umetaka basi geuka ulipotokea kisha mimi nitakuita unione ninavyokuwa pale ninapotoa amana ya roho ya asiyemjua Mola wake Mlezi wewe Ibrahim

Akasema
Yah! Ibrahim Nabii wa Mwenyezi Mungu,sasa geuka unione nilivyo

Nabii Ibrahim akaanguka na kupoteza fahamu alipoiona sura ya Malakur mawt

Wakaja Malaika wawili na kumuamsha Nabii Ibrahim

Wakasema
Vipi Ibrahim Nabii wa Mwenyezi Mungu mbona unajiangusha?

Akasema
Hakika naapa hakuna apasawe kuabudiwa kwa haki ila Allah

Sura yake huyu kiumbe ni adhabu tosha.
SUBHANALLAH YARAB TUJAALIE TUWE MIONGONI YA WENYE KUMJUA MWENYEZI MUNGU N.A. KUOGOPA ADHABU ZAKE
ALLAHUMMA AMEEN.
Read more
Loading...
Ahsante MUNGU kwa neema nzuri ya kuiona siku mpya, wiki mpya. Wenye matatizo waondolee matatizo ...
Media Removed
Ahsante MUNGU kwa neema nzuri ya kuiona siku mpya, wiki mpya. Wenye matatizo waondolee matatizo waliyonayo na uwanyooshee kila kilicho chao, tubariki kila mmoja wetu na utujaalie kila lililo na kheri na utuepushe na kila lililo na shari. Uifanye kuwa wiki ya mafanikio kwetu. #BananaVideo ... Ahsante MUNGU kwa neema nzuri ya kuiona siku mpya, wiki mpya. Wenye matatizo waondolee matatizo waliyonayo na uwanyooshee kila kilicho chao, tubariki kila mmoja wetu na utujaalie kila lililo na kheri na utuepushe na kila lililo na shari. Uifanye kuwa wiki ya mafanikio kwetu. #BananaVideo link in bio
Read more
Siku moja Nabii Ibrahim akiwa safari zake anamuona mtu anakuja mbele yake, anakuja kwa maumbo tafauti ...
Media Removed
Siku moja Nabii Ibrahim akiwa safari zake anamuona mtu anakuja mbele yake, anakuja kwa maumbo tafauti tafauti,macho yake yanawaka na kufifia,Nabii anaingiwa na hofu,yule mtu anamsogelea Nabii,Nabii Ibrahim jasho zinamtoka mara akasema Najikinga na shari zako kwa aliyeumba mbingu ... Siku moja Nabii Ibrahim akiwa safari zake anamuona mtu anakuja mbele yake, anakuja kwa maumbo tafauti tafauti,macho yake yanawaka na kufifia,Nabii anaingiwa na hofu,yule mtu anamsogelea Nabii,Nabii Ibrahim jasho zinamtoka mara akasema

Najikinga na shari zako kwa aliyeumba mbingu na ardhi ikiwa wewe si mtu wa kheri! ni nani wewe mwenye kunitia hofu?

Akasema
Malakur Mawt!

Natoa kwa nguvu na shida amana ya roho ya yule asiyemjua Mola wake Mlezi

Akasema
Ikiwa mimi Ibrahim Nabii wa Mwenyezi Mungu umenijia kwa hali hiyo vipi ukimwendea mja asiyemjua Mola wake?

Akasema
Wewe Ibrahim mimi nakuonea aibu kwa kuwa wewe ni Nabii wa Mwenyezi Mungu.Kwa kuwa umetaka basi geuka ulipotokea kisha mimi nitakuita unione ninavyokuwa pale ninapotoa amana ya roho ya asiyemjua Mola wake Mlezi wewe Ibrahim

Akasema
Yah! Ibrahim Nabii wa Mwenyezi Mungu,sasa geuka unione nilivyo

Nabii Ibrahim akaanguka na kupoteza fahamu alipoiona sura ya Malakur mawt

Wakaja Malaika wawili na kumuamsha Nabii Ibrahim

Wakasema
Vipi Ibrahim Nabii wa Mwenyezi Mungu mbona unajiangusha?

Akasema
Hakika naapa hakuna apasawe kuabudiwa kwa haki ila Allah

Sura yake huyu kiumbe ni adhabu tosha.
SUBHANALLAH YARAB TUJAALIE TUWE MIONGONI YA WENYE KUMJUA MWENYEZI MUNGU N.A. KUOGOPA ADHABU ZAKE
ALLAHUMMA AMEEN.
Read more
Assalaam Alaykum warahamatulah wabarakatuh........... Alhamdulillahi Lladhiy Ahyaanaa ...
Media Removed
Assalaam Alaykum warahamatulah wabarakatuh........... Alhamdulillahi Lladhiy Ahyaanaa Baad Maa Amaatanaa Wa Ilayh Nnushuur Asbahnaa Wa Asbah Lmulk Lillah Wal Hamdulillahi Rabbal Aalamiin Alhamdulillah Kwa Kila Hali Alhamdulillah Tunamshukuru Allah Kutuamsha na Kuiona Siku ... Assalaam Alaykum
warahamatulah
wabarakatuh........... Alhamdulillahi Lladhiy Ahyaanaa Baad Maa Amaatanaa Wa Ilayh Nnushuur Asbahnaa Wa Asbah Lmulk Lillah Wal Hamdulillahi Rabbal Aalamiin Alhamdulillah Kwa Kila Hali Alhamdulillah Tunamshukuru Allah Kutuamsha na Kuiona Siku Hii Ya Leo Tunamuomba Allah Atujaalie Wingi wa Uzima na Afya Atuepushie Kila Shari, Maradhi na Hasadi Atufanyie Wepesi Kila Mazito Yetu Atuondolee Dhiki, Machungu na Majonzi Atujaalie Wingi Wa Rehma, Subra na Imani Atumiminie Wingi wa Neema, Kheri na Barka Atuteremshie Wingi Wa Upendo na Amani Atufungulie Kila Milango Mema Aturuzuku Rizki Halali Atuhifadhi Kwa Kila Khatuwa Atusitiri Aibu Zetu Atunusuru Kwa Kila Madhara Atunyooshee Kila Jambo Letu Atuongoze Njia Ya Haki Atujaalie Kizazi Chema Atusamehe Makosa na Madhambi Yetu Awape Afuu, Uzima na Afya Wagonjwa Wetu Awarehemu na Kuwasamehe Maiti Zetu Awahifadhi Pahali Pema Peponi Yaa Alllah Tupe Yalio Mema Duniani na Akhera Utuepushie na Adhabu ya Moto

Aamiin Thumma Aamiin
Yaa Rabbal Aalamiin Asubuhi Njema
Read more
Asalaam aleykum warahmatulahi wabarakat ALLAH Atujaalie wingi wa uzima na afya sisi na jamaa zetu ALLAH Atufungulie milango yote mema iliojawa wingi wa Kheri na Barka ALLAH Atuepushie na kutukinga na kila shari, maradhi na hasadi ALLAH Awaponyeshe na kuwapa afuu na afya wagonjwa ... Asalaam aleykum warahmatulahi wabarakat
ALLAH
Atujaalie wingi wa uzima na afya sisi na jamaa zetu ALLAH
Atufungulie milango yote mema iliojawa wingi wa Kheri na Barka ALLAH
Atuepushie na kutukinga na kila shari, maradhi na hasadi ALLAH
Awaponyeshe na kuwapa afuu na afya wagonjwa wetu ALLAH
Awasamehe na kuwarehemu wazazi, ndugu, jamaa na marafiki walio tangula mbele ya haki awahifadhi pahali pema peponi ALLAH
Awanusuru na kuwasitiri ndugu zetu waislamu wanao teseka kwa vita na njaa ALLAH
Atukaribishie watu wenye Kheri na sisi na kutuepushia na kila mwenye nia mbaya ALLAH
Aturuzuku riziki halali iliojawa na wingi wa barka ALLAH
Atufanyie wepesi kila mazito yetu na kutuondolea dhiki na majonzi ndani ya nyoyo zetu ALLAH
Atuhifadhi kwa kila khatuwa zetu na kutuongoza njia njema ya haki ilionyooka ALLAH
Atuthibitishe nyoyo zetu kwenye dini ya haki na tufe tukiwa waislamu ALLAH
Atujaalie kauli thabiti na tamko letu la mwisho liwe shahada ALLAH
Atusamehe makosa na kutufutia madhambi yetu ALLAH
Aturehemu juu ya ardhi na chini ya ardhi na siku ya hesabu ALLAH
Atujaalie maisha yaliojawa na wingi wa furaha pamoja na mafanikio mema Duniani na Akhera ALLAH
Azipokee Swala, Ibada, Amali, Toba na kuzitakabalia dua zetu zote
ALLAHUMMA
Aamiin Yaa Rabbil Aalamiin I JUMAA MUBARAK
Read more
Happy birthday mama ake mkubwa ruy Allah Akujaalie afya njema na umri mrefu akujaalie kila hitaji ...
Media Removed
Happy birthday mama ake mkubwa ruy Allah Akujaalie afya njema na umri mrefu akujaalie kila hitaji la moyo wako akuepushe na shari zote za Dunia..akujaalie furaha na Aman ili tuzidi kufurahia uwepo wako..Asante kwa kunionyeshea kuwa wewe ni rafik bora na si bora rafiki kwa kua na mimi katka ... Happy birthday mama ake mkubwa ruy Allah Akujaalie afya njema na umri mrefu akujaalie kila hitaji la moyo wako akuepushe na shari zote za Dunia..akujaalie furaha na Aman ili tuzidi kufurahia uwepo wako..Asante kwa kunionyeshea kuwa wewe ni rafik bora na si bora rafiki kwa kua na mimi katka kipindi kigumu sina cha kukulipa zaid ya kukuombea kheri na baraka mbele ya Allah..nakupenda sana nisha [email protected] @nishabebee @nishabebee @nishabebee
Read more
Karibuni tuendelee kukata Cake from daa @zubby_cake shukraan saana daa zubby Allah akuweke akukinge ...
Media Removed
Karibuni tuendelee kukata Cake from daa @zubby_cake shukraan saana daa zubby Allah akuweke akukinge na kila shari na kheri nyingi akupe. Karibuni tuendelee kukata Cake from daa @zubby_cake shukraan saana daa zubby Allah akuweke akukinge na kila shari na kheri nyingi akupe.
Loading...