Kukupa kila happybirthday

Loading...


Unique profiles
4
Most used tags
Total likes
0
Top locations

Average media age
590.6 days
to ratio
Kila jambo hapa chini ya jua lina kusudi lake hakuna kilichoumbwa kwa bahati mbaya ila kiukweli ...
Media Removed
Kila jambo hapa chini ya jua lina kusudi lake hakuna kilichoumbwa kwa bahati mbaya ila kiukweli hapa duniani kuna watu waliitwa na Mungu mwenyewe watumike kwa namna ya ajabu saana kaka yangu ukiwemo @paulclement_official mpaka leo nawaza kwa sauti hivi paul una moyo wa aina gani!? Utumishi ... Kila jambo hapa chini ya jua lina kusudi lake hakuna kilichoumbwa kwa bahati mbaya ila kiukweli hapa duniani kuna watu waliitwa na Mungu mwenyewe watumike kwa namna ya ajabu saana kaka yangu ukiwemo @paulclement_official mpaka leo nawaza kwa sauti hivi paul una moyo wa aina gani!? Utumishi wa aina gani!?? Kwa sababu kila siku unanishangaza Paulo vile umekuwa unaishi na watu wanao kuzungukuza na kuacha alama nzuri pindi unapotoka ...moment unasimama kwa madhabahu na unatuhudumia hakika nguvu inayotembea kwa watu wa Mungu ni uzima na kweli .....umebeba maana kubwa saana kwenye maisha yangu husiti kunambiaa lile unalowaza juu yangu unanishauri na kunielekeza wapi nifike nini nifanye kwa kweli Mungu akubariki saaana .... #sentensi
Nawazaaaa kama angalikuwa msaanii mwingine isingekuwa rahisi kusemezana nami kusema nna wimbo huu nataka kukupa angeweza kukaa nao ama akaenda kurekodi yeye ila wewe ikawa tofauti umenifanya nionekane hata kwa wachache taari wanaoniona na wimbo umekua barakaa saana kila iitwapo leo
HAPPY BIRTHDAY KAKA @paulclement_official Mungu wa mbinguni akubariki sana afanye lile analotaka liwe juu yako yote ikiwa ni kwa utukufu wa jina lake Yesu ...nakuombea mafanikio na baraka kwa Mungu juu ya matukio yajayo mbele yako nakupenda sana my brother nakukubali na naweza kukuelezeaa....
#AWE #amaniworshipexperience #happybirthday #happybirthday #happybirthday @paulclement_official @paulclement_official @paulclement_official
Read more
Loading...
Happy born day dadake @don_ayoubs mungu akulinde na kukupa maisha marefu na kila kher juu yak... #happybirthday ...
Media Removed
Happy born day dadake @don_ayoubs mungu akulinde na kukupa maisha marefu na kila kher juu yak... #happybirthday @stellaayubu @stellaayubu Happy born day dadake @don_ayoubs mungu akulinde na kukupa maisha marefu na kila kher juu yak...
#happybirthday @stellaayubu @stellaayubu
Sijui niseme nini kitachoweza kubeba uzito wa thamani yako kwenye maisha yangu @stev.rebecca ...
Media Removed
Sijui niseme nini kitachoweza kubeba uzito wa thamani yako kwenye maisha yangu @stev.rebecca Nitaendelea kumuomba mungu kila siku Akupe maisha marefu na afya bora .Swala la kukupa furahaa mimi mwenyewe nalimaliza vizuri kabisa NAKUPEEEEENDAAA sanaaaaaaaa my love #happybirthday ... Sijui niseme nini kitachoweza kubeba uzito wa thamani yako kwenye maisha yangu @stev.rebecca Nitaendelea kumuomba mungu kila siku 🙏🙏 Akupe maisha marefu na afya bora .Swala la kukupa furahaa mimi mwenyewe nalimaliza vizuri kabisa NAKUPEEEEENDAAA sanaaaaaaaa my love #happybirthday Rebby bado naendelea sijamaliza........... 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Read more
 #happybirthday to you My Brother @calvinjohn_official .. nakukubali saaana Tena Saaana Pia ...
Media Removed
#happybirthday to you My Brother @calvinjohn_official .. nakukubali saaana Tena Saaana Pia Mungu azidi kukupa Uvumilivu na Subira zaidi na Makhekima ukafanyie Baraka Kwa kila Mtu.. Usiache kumtumikia Mungu na Kumpenda!!! Happybday @calvinjohn_official @calvinjohn_official #happybirthday to you My Brother
@calvinjohn_official .. nakukubali saaana Tena Saaana Pia Mungu azidi kukupa Uvumilivu na Subira zaidi na Makhekima ukafanyie Baraka Kwa kila Mtu.. Usiache kumtumikia Mungu na Kumpenda!!!
Happybday @calvinjohn_official @calvinjohn_official
Loading...