Lako na boss

Loading...


Unique profiles
5
Most used tags
Total likes
0
Top locations
Njombe, Iringa, Tanzania
Average media age
573.8 days
to ratio
4
Nimekutana na Boss @perfectcrispin Leo amefungua Kituo Cha Kusafishia Gari lako panaitwa @perfectcarwashexpress hapa Sinza Africa Sana , ana Vijana wanapiga Mzigo Sambamba na Machine za Kisasa Chombo inawaka sana , @perfectcarwashexpress Hii ni Wizara ya Usafi wa Ndinga yako . Nimekutana na Boss @perfectcrispin Leo amefungua Kituo Cha Kusafishia Gari lako panaitwa @perfectcarwashexpress hapa Sinza Africa Sana , ana Vijana wanapiga Mzigo Sambamba na Machine za Kisasa Chombo inawaka sana , @perfectcarwashexpress Hii ni Wizara ya Usafi wa Ndinga yako .
Loading...
MONEY MISTAKE 8 Epuka kutembea na pesa nyingi ambazo hata huna matumizi nazo wakati huo. Unaweza ...
Media Removed
MONEY MISTAKE 8 Epuka kutembea na pesa nyingi ambazo hata huna matumizi nazo wakati huo. Unaweza kujikuta unafanya matumizi ambayo hayakuwa kwenye ratiba sababu ya ushawishi wa pesa ya mfukoni. Ili kuepuka haya, tembea na pesa uliyopanga kuitumia katika safari yako. Pesa nyingine itunze ... MONEY MISTAKE 8
Epuka kutembea na pesa nyingi ambazo hata huna matumizi nazo wakati huo. Unaweza kujikuta unafanya matumizi ambayo hayakuwa kwenye ratiba sababu ya ushawishi wa pesa ya mfukoni. Ili kuepuka haya, tembea na pesa uliyopanga kuitumia katika safari yako. Pesa nyingine itunze mahali pengine palipo salama.
MONEY MISTAKE 9
Epuka kutunza pesa mahali pasipo sahihi. Maeneo kama kwenye soksi, sidiria, chini ya mto wa kulalia, chini ya begi, kwenye kopo au hata kwenye begi la safari, si maeneo salama. Ni rahisi kusahau, kuibiwa au kupoteza pesa zako. Ni bora ukatunza pesa kieletroniki; yaani bank au kwenye simu au kwenye pochi yenye kamba ngumu ya kuivaa mabegani au wallet ambayo inatosha kwenye mifuko imara na yenye vifungo kwenye nguo zako hasa uwapo safarini.
MONEY MISTAKE 10
Usitumie pesa kwa kitu ambacho hakikuwa kwenye ratiba yako. Jiulize kwanza kabla hujanunua, "Bila kitu hiki, maisha yataenda au lah? Ukiona maisha yataenda bila kitu hicho, acha kukinunua. Tabasamu kisha ondoka.
MONEY MISTAKE 11
Usiingiwe tamaa kwa kununua kitu ambacho ungeweza kununua kwa bei ya punguzo mahali pengine zaidi. Labda tu uwe una pesa nyingi.
MONEY MISTAKE 12
Matumizi yako ya pesa yasizidi pato lako. Unaweza kuwa una ndoto kubwa/matumizi makubwa ya pesa kuzidi pato lako. Unapaswa kuwa bahili katika matumizi yako. Cheza na pato lako. Fanya matumizi makubwa pale tu pato lako litakapoongezeka. Hii itakuepushia kushindwa kufanya baadhi ya mambo ya msingi na kisha ukajikuta unaishia kwenye madeni makubwa.
MONEY MISTAKE 13
Una ndoto kubwa hapo baadae; labda kujenga nyumba, kununua gari, kununua kiwanja, simu nzuri hata pikipiki. Usikurupuke, ukanunua kitu cha ndoto yako sasa eti tu sababu umekipata kwa bei ya punguzo. Usichanganye kati ya mahitaji ya baadae na ya sasa. Pesa unayotumia kutimizia ndoto sasa itumie kwa mahitaji ya sasa. Ndoto ibaki kuwa ndoto. Hii itakuepushia kuingia katika madeni au kuishi kwa shida sababu ya tamaa. Jipange taratibu kutimiza ndoto yako.
Bila shaka umewahi kufanya moja ya makosa haya. Usirudie kosa. Washirikishe wenzio ili tunufaike sote.
- Almas Mzambele Boss Of All Bosses.

https://youtu.be/gZcsa-dRZ18
Read more
Ukipenda vya bure utaishia kua mtumwa wa watu wenye hela zao. Mwanzoni utasikia raha kuvuna alichopanda ...
Media Removed
Ukipenda vya bure utaishia kua mtumwa wa watu wenye hela zao. Mwanzoni utasikia raha kuvuna alichopanda mwingine lakini haitachukua muda kudharauliwa kwasababu mtu mwenyewe MVIVU. Na ukishadharauliwa ndio mwisho wako kwasababu utapelekeshwa kama mbwa mpaka ujute kuzaliwa. Unataka ... Ukipenda vya bure utaishia kua mtumwa wa watu wenye hela zao. Mwanzoni utasikia raha kuvuna alichopanda mwingine lakini haitachukua muda kudharauliwa kwasababu mtu mwenyewe MVIVU. Na ukishadharauliwa ndio mwisho wako kwasababu utapelekeshwa kama mbwa mpaka ujute kuzaliwa. Unataka maisha mazuri basi WAJIBIKA UYATAFUTE KWA JASHO LAKO! Mwanzoni utaumia lakini baadae utaishi vizuri kama BOSS 💪

__________
Msikose post ya leo kwenye uwanja wa watu makini 👉 @konvovo @konvovo @konvovo 👈

__________
Pongezi tele kwa mabalozi wangu wa nguvu kwenye fursa ya #BaloziWaMrP inayotumia mitandao ya jamii kuhamasisha watu wakomeshe umaskini. Leo kwenye TANO BORA kuna @dorcusmwalub4545 @mkuryamstarabu @g_wa_nyandi @josseybates na @emyjay22. NAWAKUBALI SANA MATAJIRI WA KESHO💪
Read more
Ukipenda vya bure utaishia kua mtumwa wa watu wenye hela zao. Mwanzoni utasikia raha kuvuna alichopanda ...
Media Removed
Ukipenda vya bure utaishia kua mtumwa wa watu wenye hela zao. Mwanzoni utasikia raha kuvuna alichopanda mwingine lakini haitachukua muda kudharauliwa kwasababu mtu mwenyewe MVIVU. Na ukishadharauliwa ndio mwisho wako kwasababu utapelekeshwa kama mbwa mpaka ujute kuzaliwa. Unataka ... Ukipenda vya bure utaishia kua mtumwa wa watu wenye hela zao. Mwanzoni utasikia raha kuvuna alichopanda mwingine lakini haitachukua muda kudharauliwa kwasababu mtu mwenyewe MVIVU. Na ukishadharauliwa ndio mwisho wako kwasababu utapelekeshwa kama mbwa mpaka ujute kuzaliwa. Unataka maisha mazuri basi WAJIBIKA UYATAFUTE KWA JASHO LAKO! Mwanzoni utaumia lakini baadae utaishi vizuri kama BOSS 💪

__________
Msikose post ya leo kwenye uwanja wa watu makini 👉 @konvovo @konvovo @konvovo 👈
Read more
*NANI AJUAYE KESHO?* Mwaka 2005 Diamond alisafiri kwenda Tanga kuomba kuperform kwenye show ...
Media Removed
*NANI AJUAYE KESHO?* Mwaka 2005 Diamond alisafiri kwenda Tanga kuomba kuperform kwenye show ya Q-Chilla. Mabaunsa wakamtimua. Alipojaribu kuwaelewesha wakambeba juu juu na kumchania Tshirt na kumtupa nje. Bahati nzuri Q-Chilla alijulishwa kuhusu purukushani hizo, na alipoenda ... *NANI AJUAYE KESHO?*
Mwaka 2005 Diamond alisafiri kwenda Tanga kuomba kuperform kwenye show ya Q-Chilla. Mabaunsa wakamtimua. Alipojaribu kuwaelewesha wakambeba juu juu na kumchania Tshirt na kumtupa nje. Bahati nzuri Q-Chilla alijulishwa kuhusu purukushani hizo, na alipoenda akasema aruhusiwe kuingia na apewe nafasi ya kuperform. Leo wale mabaunsa pengine wanatamani kuwa mabaunsa wa Diamond lakini haiwezekani.
Joseph Kabila aliwahi kuelezea kuwa kipindi anaishi Tanzania aliwahi kushushwa kwenye basi porini huko mkoani Iringa kwa sababu hakuwa na nauli ya kutosha. Alijaribu kumuomba konda amshushe angalau mahali penye mji lakini hakumuelewa. Akamtelekeza porini. Akatembea kwa mguu hadi Nyololo ndipo akapata msaada. Leo yule konda pengine anatamani kupata nafasi walau ya kumuomba msamaha Kabila lakini haiwezekani. Hakujua kama aliyemshusha porini angekuja kuwa Rais wa nchi.
Mwanzoni mwa miaka ya 1980's Meneja wa hoteli moja ya kitalii huko Hangzhou, alimnyima kazi Jack Ma. Baadaye Jack Ma alianzisha kampuni ya Alibaba na kumuajiri mtu huyo aliyemnyima kazi kuwa Meneja masoko wa online auction hosting ya Alibaba.
Maisha ni kama sarafu iliyotupwa angani, huwezi kutabiri itadondokea upande upi. Hakuna anayedumu kwenye madaraka milele. Hakuna anayekuwa tajiri milele. Hakuna anayekuwa maskini milele. Vyote hivi ni vya muda tu. Ni suala la majira na nyakati.
*Mtu unayemdhihaki leo na kumuona sawa na takataka, inawezekana ndiye atakayeamua hatma ya maisha yako kesho*. Hakuna ajuaye kesho. Mheshimu kila mtu bila kujalisha yupo katika hali gani leo kwa sababu huwezi jua kesho atakuwa wapi. Mtumishi wako wa leo anaweza kuwa boss wako wa kesho, kwa sababu kwenye maisha hakuna kinachodumu milele.
Tumia nguvu zako, utajiri wako na mamlaka yako kwa hekima ukijua kuna kesho. Siku zote simamia haki. Usimdhulumu mtu, usimnyanyase wala kumkandamiza mwenzio kwa sababu tu ya mali, nguvu au madaraka uliyonayo. Rais wa zamani wa Zimbabwe *Robert Mugabe aliwahi kusema "heshimu kila mtu kama unavyoheshimu taulo lako. Kwa sababu sehemu utakayoitumia kufutia kalio leo, kesho unaweza kuitumia kufutia uso."* #Shukachinikumaliza👇👇 # @joharichagulatz njoo tujifunze mdogo wangu
Read more
Loading...