Loading Content...

Maelezo ya kina

Loading...

Unique profiles
6
Most used tags
Total likes
0
Top locations
Dar es Salaam, Tanzania
Average media age
606.4 days
to ratio
6
Naomba maelezo ya kina kuhusu video hii tafadhali. Kwa nini wananchi wanapigwa mpaka mwisho wa hii video kuna mama aliyembeba mtoto anabugudhiwa. Maelezo pekee naambiwa eti masuala ya usafi na huyo anayepiga ni mgambo Narudia tujadili UKATILI ktk jamii. Hivi mtu mzima kisaikolojia ... Naomba maelezo ya kina kuhusu video hii tafadhali. Kwa nini wananchi wanapigwa mpaka mwisho wa hii video kuna mama aliyembeba mtoto anabugudhiwa.
Maelezo pekee naambiwa eti masuala ya usafi na huyo anayepiga ni mgambo
Narudia tujadili UKATILI ktk jamii. Hivi mtu mzima kisaikolojia unaweza kuamka ukazunguka na rungu kama hii na kupiga binadamu wenzako? Naomba wizara na idara zote husika ziingilie KUZUIA UKATILI katika jamii. Turudi kwenye utu wetu wa kitanzania! Hii inasikitisha!
#ChangeTanzania
Read more
Loading...
Benki Kuu inapaswa kutoa maelezo ya kina Kuhusu mkopo wake kwa Serikali na kupanda kwa Deni la ndani ...
Media Removed
Benki Kuu inapaswa kutoa maelezo ya kina Kuhusu mkopo wake kwa Serikali na kupanda kwa Deni la ndani kwa kiasi cha TZS 1.5T ndani ya mwezi mmoja ( Mei - Juni 2018 ). Advance za BoT kwa Serikali zinapaswa kulipwa ndani ya miezi 6 kwa mujibu wa sheria. Lakini overdraft inakua kwa kasi kubwa ..... ... Benki Kuu inapaswa kutoa maelezo ya kina Kuhusu mkopo wake kwa Serikali na kupanda kwa Deni la ndani kwa kiasi cha TZS 1.5T ndani ya mwezi mmoja ( Mei - Juni 2018 ). Advance za BoT kwa Serikali zinapaswa kulipwa ndani ya miezi 6 kwa mujibu wa sheria. Lakini overdraft inakua kwa kasi kubwa ..... Benki Kuu inatoa wapi Fedha hizi ilhali Reserve zake dhoofu lhali?
Read more
Watanzania in general (siyo wote) hatupendi namba namba ila ni vyema tukijitahidi na kufuatilia ...
Media Removed
Watanzania in general (siyo wote) hatupendi namba namba ila ni vyema tukijitahidi na kufuatilia ripoti muhimu hizi za kiuchumi na kifedha. @zittokabwe kaona kuna ka-gap ka-trilioni na ushee anaulizia imetoka wapi? #ChangeTanzania Regrann from @zittokabwe - Benki Kuu inapaswa kutoa ... Watanzania in general (siyo wote) hatupendi namba namba ila ni vyema tukijitahidi na kufuatilia ripoti muhimu hizi za kiuchumi na kifedha. @zittokabwe kaona kuna ka-gap ka-trilioni na ushee anaulizia imetoka wapi?
#ChangeTanzania
Regrann from @zittokabwe - Benki Kuu inapaswa kutoa maelezo ya kina Kuhusu mkopo wake kwa Serikali na kupanda kwa Deni la ndani kwa kiasi cha TZS 1.5T ndani ya mwezi mmoja ( Mei - Juni 2018 ). Advance za BoT kwa Serikali zinapaswa kulipwa ndani ya miezi 6 kwa mujibu wa sheria. Lakini overdraft inakua kwa kasi kubwa ..... Benki Kuu inatoa wapi Fedha hizi ilhali Reserve zake dhoofu lhali? - #regrann
Read more
Msimu wa Saba Saba 2018 umewadia na DStv tunapatikana kwenye maonyesho haya ya biashara. Kesho ...
Media Removed
Msimu wa Saba Saba 2018 umewadia na DStv tunapatikana kwenye maonyesho haya ya biashara. Kesho Balozi wenu nitakuwa Bandani kuhakikisha tunashirikiana na Timu nzima ya DStv kukupatia maelezo kwa kina kuhusu aina ya huduma zetu. Ule Muda wa Selfies na zawadi kwa wateja mbali mbali watakaotembelea ... Msimu wa Saba Saba 2018 umewadia na DStv tunapatikana kwenye maonyesho haya ya biashara. Kesho Balozi wenu nitakuwa Bandani kuhakikisha tunashirikiana na Timu nzima ya DStv kukupatia maelezo kwa kina kuhusu aina ya huduma zetu. Ule Muda wa Selfies na zawadi kwa wateja mbali mbali watakaotembelea banda la DStv utapatikana, Bila kusahau kuna Ofa kabambe hasa msimu huu wa FIFA Kombe la Dunia 2018, usipitwe DStv ndani ya Saba Saba na Ofa Kabambe!
@dstvtanzania
#KamaSioDStvPotezea
#DStvNiMoto

Mr Musa Shaban Anama @nashdesigner katika watu wanaishi maisha yao ni huyu jamaa 🤣 huwa namfananisha ...
Media Removed
Mr Musa Shaban Anama @nashdesigner katika watu wanaishi maisha yao ni huyu jamaa 🤣 huwa namfananisha na @lilduval 🤣🤣🤣 tofauti yao kubwa ni moja. Mmoja Mmarekani...Mwingine anatokea msisiri Kinondoni. . . Huyu jamaa ukiacha Uswahiba wetu namuheshimu sana kwa msiojua bwana @nashdesigner ... Mr Musa Shaban Anama @nashdesigner katika watu wanaishi maisha yao ni huyu jamaa 🤣 huwa namfananisha na @lilduval 🤣🤣🤣 tofauti yao kubwa ni moja. Mmoja Mmarekani...Mwingine anatokea msisiri Kinondoni.
.
.
Huyu jamaa ukiacha Uswahiba wetu namuheshimu sana kwa msiojua bwana @nashdesigner alishawahi kuwa kiongozi wangu kuanzia mwaka 2009 mpaka 2011 Enzi za THT Morocco.
Kutoka kipindi kile hadi sasa nina kumbukumbu nyingi sana nzuri kumuhusu ila mojawapo ya matukio ambayo hayanitoki kichwani ni siku moja aliponipora Fagio nilipokuwa natimiza wajibu wangu wa kufanya usafi wa eneo la Center kama ilivyokawaida kwa kila tunapofika asubuhi.
.
.

Alininyang’anya fagio kisha akaninong’oneza....”Ditto nakuomba usifagie acha wadogo zako watafanya kazi hii”......Nilimkasirikia kimoyomoyo nilihisi kama anatibua lengo langu la kuanza mwanzo kama Msanii mchanga wa kawaida na asiyejua kitu kama walivyo wengine niliowakuta pale. Lengo langu la kwanza nilipojiunga THT pamoja na kukarabati aina ya uimbaji na utunzi wangu lakini jingine lilikuwa ni kuhakikisha sijitofautishi na wengine niliowakuta pale kwa namna yoyote ile kwa sababu niliamini kama ningefanya hivyo ningeikosa Fursa ya mimi kujifunza na ndiyo kitu nilikuwa nakitaka haswa. Nilikuwa na kiu imenikaba kiu ya kujifunza kutoka kwa kina @barnabaclassic , @amini_tz , #Mataaluma , #Buibui , #Vumilia na wengine lakini baada ya maelezo yake marefu ikabidi nimuelewe tu.
.
.

Na nilimuelewa zaidi aliponihadithia kwamba nyimbo zangu nilizoziimba kabla sijajiunga THT ndizo zilizokuwa zikimponya na michujo ya mara kwa mara alipokuwa anajifunza Kuimba Darasani kabla hajawa Kiongozi.
.
.

Basi Baada ya kumalizana ki utani utani kama kawaida ya matimbango 🤣 akanitupia dongo “Mimi nimeanza kuitwa Ditto mtaani kwetu kabla hujaja hapa” 🤣
.
.

Bwana @nashdesigner Nakushukuru kwa kila kitu nimeandika haya maelezo kama kuukumbuka tu wema wako katika siku hii yako muhimu ya kuzaliwa.... Happy Birthday @nashdesigner Matimbango, Bwana Anama Roho nyeupe kama sufi 🤣 Ila nakukumbusha kuwa makini na namba za simu utang’olewa meno.
Read more
Loading...