Mapenzi ya love mama

Loading...


Unique profiles
5
Most used tags
Total likes
0
Top locations
Dar es Salaam, Tanzania
Average media age
582.6 days
to ratio
Maua sama Song:mahaba niue Verse 1 when i close my eyes i see your face uzuri wako i cant compare ...
Media Removed
Maua sama Song:mahaba niue Verse 1 when i close my eyes i see your face uzuri wako i cant compare mapenzi ya kweli we ndo unanipa we sijaona kama we kote nilikopita mie the love that you give me is taking me far away nachotaka ni kuwa na we milele (mahaba Niue nipondeponde kama nyanya mpaka ... Maua sama
Song:mahaba niue
Verse 1
when i close my eyes i see your face uzuri wako i cant compare
mapenzi ya kweli we ndo unanipa we sijaona kama we kote nilikopita mie
the love that you give me is taking me far away nachotaka ni kuwa na we milele (mahaba Niue nipondeponde kama nyanya mpaka nikose cha kufanya)× 2
Chorous
(ohh bby why oh why sijakuona mapema oh bby why oh why oh why oh why) × 2
 Verse 2
every minute every hour uko kichwani kwangu nakuwaza tu
mambo yangu yaenda sawa uko pembeni yangu naona raha tu
mpenz wangu niambie kipi unachotaka sema nikutimizie
so bby come closer nataka nikuambieee aaah
the love that you give me is taking me far away nachotaka ni kuwa na we milele (mahaba Niue nipondeponde kama nyanya mpaka nikose cha kufanya)× 2
Chorous
(ohh bby why oh why sijakuona mapema oh bby why oh why oh why oh why) × 2
kwako mi niteke nyara kwako nimefika na siwezi bwaga manyanga (so bby love love love love me
and you know me loving loving loving you too) × 2
so bby come closer nataka nikuambieee eeeh eeeh (upon my mama i swear that i'm not gonna stop loving you bby loving you bby) × 2
Chorous
(ohh bby why oh why sijakuona mapema oh bby why oh why oh why oh why) × 2
#pro24karaoke #pro24lyrics
Read more
Loading...
Happy 3rd birthday my one and only son, Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu yenye hekima, utii ...
Media Removed
Happy 3rd birthday my one and only son, Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu yenye hekima, utii na unyenyekevu kwa kila mtu, siwezi kuelezea ni jinsi gani nakupenda, mapenzi ya mama kwa mtoto ni ya milele. Nakuombea baraka ,uwe mtoto msikivu, mwema na mwenye hofu ya Mungu... Love you sooo ... Happy 3rd birthday my one and only son, Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu yenye hekima, utii na unyenyekevu kwa kila mtu, siwezi kuelezea ni jinsi gani nakupenda, mapenzi ya mama kwa mtoto ni ya milele. Nakuombea baraka ,uwe mtoto msikivu, mwema na mwenye hofu ya Mungu... Love you sooo much my pumpkin,enjoy your day my little boy 😘😘😍😍😍.... @gracious_super_woman @suzannakikoti8 @floriannah4me @gudgurl_gonebad01 @[email protected]
Read more
Mama leo umetimiza miaka 20 toka utuache hakuna siku inayopita bila mimi kukuwaza wewe na kukuombea ...
Media Removed
Mama leo umetimiza miaka 20 toka utuache hakuna siku inayopita bila mimi kukuwaza wewe na kukuombea dua . .Najivunia sana mama yangu kwakuwa ulinilea katika misingi mizuri ambayo leo najivunia sana mafundisho yako, mapenzi yako , huruma yako vyote vimenijenga sana kuwa mwanamke shupavu ... Mama leo umetimiza miaka 20 toka utuache hakuna siku inayopita bila mimi kukuwaza wewe na kukuombea dua .
.Najivunia sana mama yangu kwakuwa ulinilea katika misingi mizuri ambayo leo najivunia sana mafundisho yako, mapenzi yako , huruma yako vyote vimenijenga sana kuwa mwanamke shupavu anayejiamini .
.
.
Sina cha.kukupa mama yangu wala sina cha kukufanyia zaidi ya kukuombea dua njema Allah akusamehe madhambi yako na aiwekee Nuru kaburi lako Inna lillahi wa inna ilahi rajuun
I LOVE YOU MUM YOU WILL FOREVER LIVE IN OUR HEART'S ❤❤
Read more
Mama.... Nimekaa natafakari. Najiuliza ni maneno gani nitumie kuandika nachokihisi moyoni ...
Media Removed
Mama.... Nimekaa natafakari. Najiuliza ni maneno gani nitumie kuandika nachokihisi moyoni mwangu. Lakini kadri navyozidi kufikiria nashindwa kupata neno la kueleza ni jinsi gani kuondoka kwako hapa duniani kumeniumiza... Ulikua mtetezi wangu, mfariji wangu, mdekezaji wangu, ... Mama....
Nimekaa natafakari. Najiuliza ni maneno gani nitumie kuandika nachokihisi moyoni mwangu. Lakini kadri navyozidi kufikiria nashindwa kupata neno la kueleza ni jinsi gani kuondoka kwako hapa duniani kumeniumiza... Ulikua mtetezi wangu, mfariji wangu, mdekezaji wangu, muuguzi wangu. Na umekuwepo kwa ajili yangu hata pale nilipokuwa sitaki kukusikiliza ila ulinivumilia na kunipenda...Mapenzi yako kwangu, kwa wajukuu zako kwa mtoto wako na kwa mume wako ni kitu sikuwahi kufikiri kuna binadaam atapossess such an honest and pure love. Asante mama! Kwa yote ulionifanyia kama mtoto wako na kama mkwe wako, asante kwa kunivumilia hata pale kulipokua hakuna ulazima wa wewe kufanya hivyo. Asante kwa kutokuchoka kuipigania ndoa yetu, asante kwa ujasiri wako. Umeondoka hapa duniani lakini naamini Sasa unatembea na Sisi pembeni yetu ukitulinda, ukituongoza, lakini kikubwa zaidi ukituombea. Namuomba mungu aipumzishe roho yako mahala pema peponi. Viatu ulivyoniachia ni vikubwa mno sijui ninaanzia wapi kuvivaa au hata kuvijaribu, lakini naamini utakua nami na utaniongoza ili na mimi nipate busara na ujasiri uliokua nao.
Nakupenda sana and I miss you so much already.

Raha ya milele akupe eh Bwana, na mwanga wa milele akuangazie, upumzike kwa Amani. Amina 🙏🏽 REST IN ETERNAL PEACE. ❤️
Read more
Salma wangu sio kwamba nimekusahau unajuwa mama ako na wasambaa wangu huwa na changanyikiwa vipi ...
Media Removed
Salma wangu sio kwamba nimekusahau unajuwa mama ako na wasambaa wangu huwa na changanyikiwa vipi nafamilia ya babu yako mkuu wako amenichanganya sana hakika niko kwenye wakati mngumu mno laki siwezi kulala bila yakukutakia mwanangu kipenzi happy birthday leo siku yako hii iwe moja yakufunguka ... Salma wangu sio kwamba nimekusahau unajuwa mama ako na wasambaa wangu huwa na changanyikiwa vipi nafamilia ya babu yako mkuu wako amenichanganya sana hakika niko kwenye wakati mngumu mno laki siwezi kulala bila yakukutakia mwanangu kipenzi happy birthday leo siku yako hii iwe moja yakufunguka kila mazuri yako akuvue nakila mabaya akupe furaha hapa duniani nakesho akhera mwanangu uwe mwenye afya njema akuepushe na kila husda mcheshi wetu huna maringo kipenzi cha wakubwa kwa wadogo hakika wewe ni mtoto mwema uzidishe mapenzi mwanangu ngao yako kubwa upendo mwanangu kwakila mja Allah akufikishe lengo lako mama elimu yako ndio maisha yako mwanangu love u toto yangu unajuwa maisha yetu hali yetu basi soma mwanangu yadunia uyaongope mwanangu uje ulee wazazi wako 🎂🍤🍢🍡🍟🍗🍖🍾🍹 @__sall.y__ Allah akupe mwisho mwema mwanangu dada ake chimami wapenzi dua kwa mtoto wetu kipenzi jamani
Read more
Alhamdulillah siku zote mpe thamani yule anae kupa kwa dhati pasipo chembe hata ya unafiki umekuwa ...
Media Removed
Alhamdulillah siku zote mpe thamani yule anae kupa kwa dhati pasipo chembe hata ya unafiki umekuwa mdogo wangu waudi na ubani Allah akuzidishie kila zuri kwenye maisha yako akuepushe nakila baya uzidi kuwa ndugu bora kwangu nasio bora ndugu unajuwa vile nami nakupenda sana basi siku yako ... Alhamdulillah siku zote mpe thamani yule anae kupa kwa dhati pasipo chembe hata ya unafiki umekuwa mdogo wangu waudi na ubani Allah akuzidishie kila zuri kwenye maisha yako akuepushe nakila baya uzidi kuwa ndugu bora kwangu nasio bora ndugu unajuwa vile nami nakupenda sana basi siku yako hii iende ikazidishe neema kubwa na baraka tele Allah akupe kila hitaji la moyo wako uzidi kuwa na afya njema happy birthday my sweetheart love ewe mola wangu mpe vizazi vyema azidi kuwa mke bora kwa anko wangu na mama bora kwa watoto wangu Allah atuzidishie mapenzi leo duniani nakesho akhera wewe kwangu ni ndugu bora nikikwambia naumwa utakuja kuniliwaza hujawahi kunichoka 🎂🎂🎂🎂🎂🍤🍢🍡🍟🍗🍖🍾❤ kweli udugu sio kuzaliwa jamani nakupenda sana @mamaa_muu wangu huyoo
Read more
Loading...
Loading...