Loading Content...

Ni nini hasa

Loading...


Unique profiles
22
Most used tags
Total likes
0
Top locations
Mombasa, Kenya, Samora Avenue, Mlimani City
Average media age
655.5 days
to ratio
3.8
Niliwahi kuongea hiki kitu miaka kadhaa nyuma na kuna kampeni nilifanya na sasahivi Nairudia hii ...
Media Removed
Niliwahi kuongea hiki kitu miaka kadhaa nyuma na kuna kampeni nilifanya na sasahivi Nairudia hii post makusudi kabisa. Kuna vitu nnaweza kuvumilia lakini sio kumuona mtoto anateseka..... Na mara nyingi tumekuwa tukiconcetrate na vituo vya watoto yatima and stuffs but trust me kuna ... Niliwahi kuongea hiki kitu miaka kadhaa nyuma na kuna kampeni nilifanya na sasahivi Nairudia hii post makusudi kabisa.

Kuna vitu nnaweza kuvumilia lakini sio kumuona mtoto anateseka..... Na mara nyingi tumekuwa tukiconcetrate na vituo vya watoto yatima and stuffs but trust me kuna watoto wana mama zao ama baba zao huko mitaani na bado hali yao ni ngumu kuliko hata wa vituoni ambao angalau macho mengi yanawaangalia!!!! Umeshawahi kujiuliza wakati mtoto wako anakula na kusaza mara nyingine hata kuchezea chakula kuna mtoto mwingine hata ule uji wa chumvi hajauona mpaka muda huu!!! Wakati wa kwako ana nguo mpaka nyingine zinamshinda kuna mtoto huko mtaani anashindia nguo moja wiki sasa na hata hali yake haitamaniki.. wakati you send your kids to good schools kuna mtoto mpaka leo hii hajawahi kukanyaga darasa hata moja na umri wake ni mkubwa tu wa kuwa darasani.. si kwamba hana wazazi huenda ana wazazi lakini hali yao ni ngumu mno kuliko inavyoweza kufirika!!! wakati wako analala sehemu nzuri kuna MAMA sehemu anahangaika na mtoto wake hata pa kuweka ubavu hana.. baridi yao jua lao!!! Na huenda huyu ninaemuongelea hapa ni jirani yako, ndugu yako, mtu uliewahi kupita sehemu ukamuona, mfanyakazi wako, ama yoyote yule uliekutana nae.. lakini una uwezo wa kupita na kwenda kusaidia mbali kabisa bila kuangalia hata yule anahitaji msaada kiasi gani Ila huenda kwakuwa umemzoea ukahisi hahitaji msaada kiasi hiko ama ukachukulia tatizo lake kama kitu cha kawaida tu na huenda ukaenda kutoa chozi kwa mtu mwingine wa mbali kabisa ambae possibility ya misaada kwake ni kubwa.. HISANI INAANZIA NYUMBANI!! Na pia tujifunze kutoa kadri ya uwezo wetu ili tupate radhi za MUNGU!! Na pia si vibaya tukaangalia hata watoto wengi wengine ambao wanahitaji msaada kuliko kawaida na hawako kwenye vituo maalum wala sehemu maalum.. Hawa WANASTAHILI KUSAIDIWA PIA!!! Last time tulifanikisha kwa pamoja swala la nguo kwa watoto wakimbizi ila nimeona niinitiate hili swala pia kwa watoto wanaotuzunguka jamii yetu, kumbuka kutoa ni MOYO si utajiri.. Hebu Tujadiliane, UNAHISI NI NINI HASA tunachoweza kufanya kwa pamoja juu ya watoto hawa!!? UNIFORM, NGUO ama KIPI HASA!?? #SAIDIAMTOTO #PAMOJATUNAWEZA
Read more
Loading...
Nafarijika kusimamia Wilaya ambayo Mbunge wake ni Ndg. Selemani Jafo, Waziri Wa Nchi Ofisi Ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa - WN OR TAMISEMI. Najifunza mengi sana kutoka kwake hasa uchapaji kazi na unyenyekevu. TAMISEMI inafanya kazi kubwa na yenye kuonekana kusimamia utekelezaji ... Nafarijika kusimamia Wilaya ambayo Mbunge wake ni Ndg. Selemani Jafo, Waziri Wa Nchi Ofisi Ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa - WN OR TAMISEMI. Najifunza mengi sana kutoka kwake hasa uchapaji kazi na unyenyekevu. TAMISEMI inafanya kazi kubwa na yenye kuonekana kusimamia utekelezaji wa sera za maendeleo kwa wananchi walio wengi katika ngazi za msingi kwenye afya, elimu, barabara n.k. Kuna mafanikio makubwa sana yamefanyika kwa muda mfupi ikitokana na juhudi kubwa za wananchi kushirikiana na serikali yake. Angalia leo TBC uweze kufahamu kwa kina. .
.
Pata kufahamu nini serikali ya awamu ya tano chini ya Jemedari Dkt. John Joseph Pombe Magufuli inafanya katika kuleta maendeleo. Usikubali kusimuliwa. #TeamTunatekeleza #TeamTanzania #KisaraweMpya @kisarawe_mpya
Read more
ZIFAHAMU TOFAUTI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME 1. Kwenye mshituko; Mwanaume hushituka halafu ...
Media Removed
ZIFAHAMU TOFAUTI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME 1. Kwenye mshituko; Mwanaume hushituka halafu huangalia nini kimemshitua, mwanamke hushituka halafu huzimia hivyo ataambiwa na mwanaume kilichomshitua 2. Kwenye kupenda; Mwanaume huanza kutamani alafu hupenda, mwanamke huanza ... ZIFAHAMU TOFAUTI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME

1. Kwenye mshituko; Mwanaume hushituka halafu huangalia nini kimemshitua, mwanamke hushituka halafu huzimia hivyo ataambiwa na mwanaume kilichomshitua😂😂 2. Kwenye kupenda; Mwanaume huanza kutamani alafu hupenda, mwanamke huanza kupenda moja kwa moja bila kumjua vizuri huyo ampendae😂😂😂 3.Kwenye kusaidia; Mwanaume hutoa msaada alafu uhuzunika, mwanamke huuzunika badae ndo anakumbuka km msaada unahitajika😂😂😂 4.Kwenye maamuzi; Mwanaume hufikiri ndipo hutenda, mwanamke hutenda halafu hufikiri😂😂😂 5.Kwenye kudanganya Mwanaume hudanganya ili kumlinda mwanamke, mwanamke hudanganya ili kumkomoa mwanaume😂😂😂 6.Kwenye ugomvi; Wanaume hupigana halafu hueshimiana, wanawake hupiga mikelele alafu kila mmoja hurud kwake, kexho tena😂😂😂 7.Kwenye ndoa; Mwanaume hutafuta maixha ndipo huoa, mwanamke huolewa ndipo atafute maisha😂😂😂 8.Kwenye kukata tamaa; Mwanaume hukata tamaa mapema ili jambo lisimsumbue, mwanamke hajui kukata tamaa hadi aumizwe😂😂😂 9.Kwenye kula; Mwanaume hushiba alafu huanza madoido, mwanamke huanza na madoido alafu badae hujilaumu hakushiba😂😂 10.Kwenye siri; Mwanaume hutunza siri hasa za aibu, mwanamke humueleza shoga yake badae hugombana nae baada ya kumrudia mwenyewe kwa siku 2 tu😂😂😂
Hizi ni baadhi tu ya sifa tofauti kati ya mwanaume na mwanamke.....
Read more
WANAWEZA SEMA WW NI MWENY BAHATI LKN LICHA NA BAHATI ULIYONAYO LKN IMEKUJA NA JUHUDI ZAKO KATIKA ...
Media Removed
WANAWEZA SEMA WW NI MWENY BAHATI LKN LICHA NA BAHATI ULIYONAYO LKN IMEKUJA NA JUHUDI ZAKO KATIKA MASOMO HADI KUFIKIA HAPO KUWA AMBASADOR WA KITU FULAN SIO JAMBO JEPES WAPO WENGIN HATUJA WAH KUWA KWANZA NI MReMBo PILI UMESOMA NDIO MANA @mwanamke_na_uongozi UMEKUWA UKIFANYA VYEMA NA KUWAHAMASISHA ... WANAWEZA SEMA WW NI MWENY BAHATI LKN LICHA NA BAHATI ULIYONAYO LKN IMEKUJA NA JUHUDI ZAKO KATIKA MASOMO HADI KUFIKIA HAPO KUWA AMBASADOR WA KITU FULAN SIO JAMBO JEPES WAPO WENGIN HATUJA WAH KUWA KWANZA NI MReMBo PILI UMESOMA NDIO MANA @mwanamke_na_uongozi UMEKUWA UKIFANYA VYEMA NA KUWAHAMASISHA WAKINA MAMA NA WAKINA DADA KUJUA NINI MAAN YA MWANAMKE KUWA KIONGOZ KATIKA NCHI NA JAMII KWA UJUMLA HILO TATZ LIPO SAN HASA VIJIJIN AMBApoWANAWAKE HAWAJUI KAM NA WAO WANAHAKI YA KUWA VIONGOZ KABISA NINACHOKUPONGEZA WW UNAWAFIKIA HADI HUKO KIJIJIN NA KUWAELIMISHA @[email protected]_mshangama @shamira_mshangama @shamira_mshangama MUNGU AZD PIGANIA NDOTO ZAKO NA WW ILI HATA UJE KUWA KIONGOZ MKUBWAA AMEEN AND ILOVE YOU 💞💞💞💞💓💓
Read more
Hakika Huyu Mtoto Anapata Malezi Bora Kutoka Kwa Wazazi Wake Hasa @zarithebosslady,Kwa Umri Mdogo Kama Huu Lakini Anaweza Kusali Na Kuomba Ni Jambo La Kumshukuru Sana Mungu. Hongera sana tena sana Mama 5 and the most humbled and beautiful mum ever @zarithebosslady . Kama Wewe Ni Mtu ... Hakika Huyu Mtoto Anapata Malezi Bora Kutoka Kwa Wazazi Wake Hasa @zarithebosslady,Kwa Umri Mdogo Kama Huu Lakini Anaweza Kusali Na Kuomba Ni Jambo La Kumshukuru Sana Mungu.
Hongera sana tena sana Mama 5 and the most humbled and beautiful mum ever @zarithebosslady
.
Kama Wewe Ni Mtu Mzima Na Hujui Mungu Hata Kusali Au Kuomba Kwako Mpaka Uwe Na Matatizo Basi Nakupa Pole Na Pole Kwa Walezi Walio Kulea Ambao Walikunyima Haki Ya Kumjua Mungu Na Mafundisho Yake.
.
.
Je Wewe Ambaye Hata Kusali Huwa Haukumbuki Unajifunza Nini Kupitia Huyu Mtoto #TiffahDangote? 👇👇👇👇👇
Read more
@@ #Matusi_Matupu <span class="emoji emoji1f449"></span> #Salome Aisee nimekuja kugundua hii nyimbo ya Salome ina matusi tena ya ...
Media Removed
@@ #Matusi_Matupu #Salome Aisee nimekuja kugundua hii nyimbo ya Salome ina matusi tena ya mwendo kasi Hasa ka reyvanny Kwanza anaanza kama anamsifia mwanamke eti "kioo hakidanganyi mama umejipodoa umepodoka, mwendo na shepu vyote mwanana mi suruali yanidondoka" Hapo kakaanza ... @@
#Matusi_Matupu
👉 #Salome
Aisee nimekuja kugundua hii nyimbo ya Salome ina matusi tena ya mwendo kasi
Hasa ka reyvanny
Kwanza anaanza kama anamsifia mwanamke eti
"kioo hakidanganyi mama umejipodoa umepodoka, mwendo na shepu vyote mwanana mi suruali yanidondoka"
Hapo kakaanza matusi madogomadogo sasa suruali inakudondoka je??🙄
Akaendelea
"Tukimbizane nini Salome wangu hiyo michezo ya jogoo"
Matusi yakaendelea
"mbona watizama chini salome wangu ukimwona jongoo (kidudu)"
Matusi yakaanza kuwa makubwa
"inama chini shika magoti (doggy) mi nimesimama kama ngogoti (marieta kadinda)"
Mtoto jojo (mlaini) sio roboti (sio mgumu kama chuma) chumbani bingili bingili samasoti"
Aisee dai si akaingia kucement matusi kabisa maana kumbuka hapo mtoto kasha** na jamaa kashamshikashika kagundua mlaini
Dai sasa
"unantekenyaga ukinyonga Salome, unantekenyaga ukinyonga" (hapo * inaendelea)
Verse ya dai naye akaendeleza sex maana utasikia "utamu kolea" Mara "ting'ari tig'ari ndani kwa moto" huku akijisifulia kuwa na yeye sio "ngenge ni nganga"
Mama yangu Ray si akaja na matuzi makubwa zaidi
"Baby kwangwau isimamie kama kangaroo, ibane kangwau babu nyuma mpige kwakwalu kwakwalukwa" hapo ni obviously alikuwa anakaribia kucome
#Matusi_Matupu
Niko natafakari kwasababu Mimi ndo nilimtumia hii nyimbo mshua madai asikilize wimbo Wa saida umeimbwa na dai na nikaisifia sana sasa najiuliza akiniuliza maana ya wimbo nitamjibu je.
#Nimejitahidi kutumia tafsida na hapo ndo nmeweza, kama utakwazzika sorry... Ila najua unajua waZi binadam wa sasa tunavopenda maneno yasiyompedeza Mungu ndio yamekuwa na nafasi kubwa maishani. 😂😂😂😂
#Mungu_Anawaona @Ray @Mondi
Read more
Loading...
INTRODUCING NEW BIG THING. GREEN STORE. sehemu pekee itakayo UZA bidhaa aina mbalimbali za ...
Media Removed
INTRODUCING NEW BIG THING. GREEN STORE. sehemu pekee itakayo UZA bidhaa aina mbalimbali za kisasa hasa BEAUTY STAFFS(FASHION GLASSES, VIATU CLASSIC,COSMETICS,CLASSIC WEAR eg AFRICAN PRINTS)etc. Anza kwa kutembelea GREEN STORE kwa kufollow @green_storetz au Like Facebook ... INTRODUCING NEW BIG THING.

GREEN STORE.
sehemu pekee itakayo UZA bidhaa aina mbalimbali za kisasa hasa BEAUTY STAFFS(FASHION GLASSES, VIATU CLASSIC,COSMETICS,CLASSIC WEAR eg AFRICAN PRINTS)etc.

Anza kwa kutembelea GREEN STORE kwa kufollow @green_storetz au Like Facebook page @green_storetz. Ili kupata updates za Mara kwa Mara juu ya bidhaa mpya zitakazokuwa zinawekwa.

INAFANYAJE KAZI
GREEN STORE itauza bidhaa mbalimbali za urembo,mitindo nk,kutoka kwenye stock yetu au kwa kukuagizia na kutaipata ndani ya muda wa siku 2(mbili) toka utoe order(s). NINI CHA KUFANYA
Tembelea GREEN STORE(Instagram or Facebook) @green_storetz kisha chagua bidhaa yoyote unayoitaka then utafanya mawasiliano kuipata kwa Wakati. Au pia waweza comment katika bidhaa husika.

MALIPO(payment's)/UWASILISHAJI(delivery). Kuna aina mbili tu ya malipo na uwasilishaji wa bidhaa.. Tafadhali zingatia kila bidhaa itakuwa na maelezo aidha ipo katika STOCK au ni ya kuagiza.
mfano bidhaa ikiandikwa ;- IN STOCK - Ni dhahiri bidhaa ipo na itafikishwa kwako BURE(free delivery kwa mkazi wa mbeya tu) utakachofanya ni kuikagua bidhaa na kuilipia pindi unaporidhika.

ORDER - bidhaa ipo tayari kukufikia endapo utapendezwa nayo na kuiagiza.mteja utalipia nusu ya bei ,na kumalizia baada ya mzigo kufika, Gharama ya usafiri itafuatana na thamani ya mzigo kama ambavyo ita ainishwa. Lakini mzigo wako ukifika utafanyiwa delivery for free popote ulipo bila gharama ya ziada. GREEN STORE
We bring the store to your door
Read more
MADA ZA LEO WEEKEND TULIVU NI CHECHEEUSIKOSEE MWALI MUMEO AU MPENZIO NI KIGUU NA NJIA YANI HATULII NYUMBANI HATA SIKU ZA MAPUMZIKOLEO NITAKUFUNDA UFUNDIKE HASWAA MBINU ZA KUMPETIPET NA KUMKALISHA NYUMBANI WIKEND ASITOKEHALOO MWANAMKE MIUNDO MBINU INAKUHUSU🏾SOGEA MKOLEN ... MADA ZA LEO WEEKEND TULIVU NI CHECHEE💥💥💥USIKOSEE
💕
💕
1⃣MWALI MUMEO AU MPENZIO NI KIGUU NA NJIA YANI HATULII NYUMBANI HATA SIKU ZA MAPUMZIKO❓LEO NITAKUFUNDA UFUNDIKE HASWAA MBINU ZA KUMPETIPET NA KUMKALISHA NYUMBANI WIKEND ASITOKE👌HALOO MWANAMKE MIUNDO MBINU INAKUHUSU👌🏾SOGEA MKOLEN BIBIWE
💕
💕
2⃣MWALI LEO NATAKA NIKUFUNDE HASA UFUNDIKE 👌🏼..JINSI YA KUMWANDAA MWANAUME WAKO BIBIEE NA SEHEMU ZOTE ZA KUMSHIKA ILI APAGAWEE?🏾MWANAUME ANAANDALIWA MWALI YAHUSU NINI KUKURUPUKA KWENYE MWILI WA MWENZIO⁉NJOO NIKUELEWESHE👌VIDEO NA MAELEKEZO KUHUSIKA
💕
💕
3⃣KIDUME LEO NITAKUFUNDISHA MATUMIZI YA PARACHICHI KWENYE UWANJA WA SITA KWA SITA NA NAMNA UNAVYOWEZA KULITUMIA KUMPAGAWISHA MPENZI/MKEO WAKO👌🏾HALOO MWANAUME MAUTUNDU
💕
💕
4⃣MWALI LEO NITAKUFUNDISHA STYLE MATATRAA ZA KUMPA UTAMU BOY WAKO UKIWA UMENUNA(UMEKASIRIKA)SHOST UGOMVI NI KAWAIDA KWA WAPENDANAO ILA USIHUSISHE VIKOJOLEO VYETU👌KUMNYIMA MWENZIO UTAMU KISA UMENUNA HAIHUSU BIBIWEE NJOO UJUE MISTYLE MWALI WANGU
💕
💕
5⃣MWALI NITAKUFUNDISHA NJIA ASILI YA KUKATA SHOMBO NA VIJIHARUFU VYA AJABU UKENI KWA KUTUMIA MAJI YA UKOKO NA KUFANYA "K"IWE TIGHT NA MNATO ASILIA👌HII KITYU USISUBIR KUSIMULIWA SOGEA MWENYEWE MKOLEN
💕
💕
6⃣KIDUME NA MWALI LEO TUINGIE JIKONI EE👌👌NITAWAJUZA VYAKULA VINAVYOONGEZA NYEGE,SHAH*WA NA NGUVU ZA KIUME WAKATI WA KUNDINDINDIII👌👌SOGEA NIWAJUZE ILI MSHUKHULIKIANE BILA KUCHOKA👌RAHA YA TAMU UWE NA HAMU ATIII👌
💕
💕
7⃣UREMBO....MWALI NITAKUFUNDISHA NJIA NYINGINE YA ASILI YA KUINUA MATITI YALIOANGUKA,KUJAZA YALIOSINYAA,KUONGEZA MATITI MADOGO YAWE MAKUBWA PAMOJA NA KUPUNGUZA MATITI MAKUBWA YAWE MADOGO👌MWANAMKE SHURT TITI LIVUTIE NA LISIMAME DEDE UPO NYONYO👌
💕
💕
8⃣MWISHO TUTAJIONEA MAVIDEOS 🎥YA UTAMU KUTOKA KONA ZOTE ZA DUNIA ZITAKAZOONESHA STYLES MBALIMBALI
💕
💕
JINSI YA KUSHIRIKI TUMA ELFU 1000 TU KWA NAMBAZIFUATAZO

MPESA 0758323681
TIGOPESA 0712445081

KISHA NJOO WATSAP NAMBA YA TIGO👉0712445081 MDA HUO HUO ILI NIKUUNGE
💕
💕
HUDUMA YA PRIVATE IPO
KWA WASIOTAKA GROUP,PIA NA NA WALE WASIOTAKA VIDEO KWA KIPIND HIKI KUNAGROUP YAO
💋
MUDA WA MADA SAA3 USIKU 💕
💕
@mahaba_proffesional
@mahaba_proffesional
Read more
Loading...
Ikiwa Leo ni siku ya Vijana Vijana tunapitia changamoto nyingi sana mpaka kufikia malengo yetu. Kuanzia ...
Media Removed
Ikiwa Leo ni siku ya Vijana Vijana tunapitia changamoto nyingi sana mpaka kufikia malengo yetu. Kuanzia ngazi ya familia,kijamii na kitaifa vijana hupitia mengi mpaka kuweza kufikia mahali fulani. Mimi kama kijana ambae ajira yangu ya kwanza niliajiriwa nikiwa na miaka 21 hiyo ni ... Ikiwa Leo ni siku ya Vijana
Vijana tunapitia changamoto nyingi sana mpaka kufikia malengo yetu.
Kuanzia ngazi ya familia,kijamii na kitaifa vijana hupitia mengi mpaka kuweza kufikia mahali fulani.
Mimi kama kijana ambae ajira yangu ya kwanza niliajiriwa nikiwa na miaka 21 hiyo ni ajira acha majaribio ya hapa na pale kabla ya hapo.

Haikuwa njia nyeupeee kufikia hapa hasa ukizingatia changamoto za vijana tulio wengi zinafanana.
Sitaki Leo kutoa leacture kwa vijana Ila naamini ukiamini hakuna kinachoshindikana.Haijalishi ugumu utakaokuwepo.

Mpaka hapa nilipofikia naamini wapo vijana wengi nimewasaidia sana kujijenga kiimani,kimtazamo,...jambo lolote linaanza kujengwa kwanza ndani.
Wapo niliowavusha kutoka sehemu moja kwenda ingine.
Naamini kipaji changu katika utangazaji ni kwa ajili ya watu wengine,mwaka wa 7 naanda events za wanawake ni kwa ajili ya wengine,nimeshiriki semina na makongamano mbali mbali kwa ajili ya kutoa kilicho ndani yangu kwa ajili ya wengine.

Maana yangu Sisi kwa Sisi tusaidiane na sisi tulio kwenye nafasi tuzitumie kuelimisha vijana,kuinua vijana,kuwaongoza vijana.

Leo nataka kumuinua kijana Mmoja hapa hapa.

Kama kijana changamoto gani zinakukabili?kihisia,kiakili,kimwili,kijamii,...nini kinafanya ushindwe kutimiza malengo yako fulani fulani?
Read more
TATIZO LA USAFIRI KARIAKOO - MBEZI KIMARA, MOROCCO - MBEZI KIMARA. Mamlaka husika hivi hii kero ...
Media Removed
TATIZO LA USAFIRI KARIAKOO - MBEZI KIMARA, MOROCCO - MBEZI KIMARA. Mamlaka husika hivi hii kero ya usafiri wa Gari za Mwendokasi kwa wakazi wa Mbezi mnaiona kweli? Achilia mbali kila siku Gari kujaa sana kama picha inavyo jieleza hapo juu lkn kuna issue ya kubadili usafiri pale Kimara ... TATIZO LA USAFIRI KARIAKOO - MBEZI KIMARA, MOROCCO - MBEZI KIMARA.

Mamlaka husika hivi hii kero ya usafiri wa Gari za Mwendokasi kwa wakazi wa Mbezi mnaiona kweli?

Achilia mbali kila siku Gari kujaa sana kama picha inavyo jieleza hapo juu lkn kuna issue ya kubadili usafiri pale Kimara to Mbezi kwa wale wanaotokea MBEZI kwenda kariakoo au Kariakoo to Mbezi watakuwa wanajua hili. Sumatra, Traffic mpo wapi jamani au mpaka MTU afe hasa watoto kwa tatizo la kujaza sana au hamuoni kama foleni za kukata ticket za kuunganisha safari pale kimara kuna potezea watu muda lkn pia ni usumbufu.

Hivi kwa nini kusiwe na usafiri wa moja kwa moja kutoka Kariakoo to Mbezi au Mbezi - Kariakoo kwa Gharama hiyo hiyo ya 1050 kama lengo lenu la kufupisha safari ni kutaka watu walipe Mara mbili ili kuwapunguzia watu usumbufu!? Nauli ya Kariakoo to Kimara ni 650/= na Kimara to Mbezi ni 400/=. Basi fanyeni 1050/= lkn Gari ifanye safari moja Kariakoo to Mbezi balada ya watu kushuka Kimara na kuanza kupanga foleni pale Kimara ili kupata ticket za kuunganisha safari lkn pia hii kero ya Gari kujaza sana wakati kuna Gari nyingi zipo zimepaki Yard pale Jangwani na Gerezani Kariakoo sio busara na sio uugwana nashauli mambo haya yafanyiwe kazi kwa manufaa ya watu wa njia ya Mbezi - Kimara.

Kuna katazo la Gari za UDA na Zile za watu binafsi kufanya safari ktk njia hiyo ya Mbezi Kariakoo hii sio sawa kabisa usafari huu ndio ilikuwa mkombozi wa watu ktk njia hii sasa kufanya hivyo ni kuwanyima haki ya kusafiri watu wa Mbezi - Kimara.Kama vipi mruhusu Gari binafsi ziendelee kutoa Huduma ktk njia ile walau mtakuwa mmesaidia kumaliza tatizo.
#MtanzaniaMpendaMaendeleo #Mwananchi.

cc @paulmakonda
@mwigulunchemba
@jjmnyika @mayor_bonifacejacob @jmakamba
.
- Almas Mzambele boss of all bosses.
Read more
AliyeTISHA week hii #weeklyBestCustomer'sChoice Mteja wetu aunt Annastazia all ze way from ...
Media Removed
AliyeTISHA week hii #weeklyBestCustomer'sChoice Mteja wetu aunt Annastazia all ze way from Mbeya ametisha sana week hii kwa Bonge la Selection lililoenda shule kiwango cha PhD Em Check madini haya:- #extremeglowLOTION Ukiskiaga #rangiyantumee ndo hii hapa,unapaka kitu mwilini ... AliyeTISHA week hii
#weeklyBestCustomer'sChoice
Mteja wetu aunt Annastazia all ze way from Mbeya ametisha sana week hii kwa Bonge la Selection lililoenda shule kiwango cha PhD😆
Em Check madini haya:- #extremeglowLOTION⭐⭐⭐ Ukiskiaga #rangiyantumee ndo hii hapa,unapaka kitu mwilini inakupa Rangi nzurii moja mwili mzima ikikuacha ukiwa umekwiva mwili mzima.Kuna watu huipaka mpk usoni kuna wengine kwasabau nyuso zao kuwa mafuta huitaji kuwa na Creme hii ndo mana Kwa Huyu Kuna Creme yake.

#extremeglowCreme⭐⭐⭐
Baada ya kuiva Usoni na Lotion,unaitaji Lotion hasa kama wewe ni mwenye Ngozi ya mafuta kama Bi Annastazia.Creme husaidia sana kuupa Mng'aro Uso hata ukiwa na mabaka Yatafade uku ikikufanya Rangi moja uso mzimaa.

#OlayDay&NightCreme
Sio tu Olay Hii inaitwa #totaleffect7in1 yaani inafanya mambo saba kwa wakati mmoja,Maalum kwa ajili ya USO,Swali moja kila mtu najua atauliza hizi za Nini kama Tayari kuna Creme, #extreme inaspeed kidogo alafu kuna wakati baada ya kuwa ishakupa mng'ao hutaipaka kila siku utaitaji kitu cha kumaintanisha tone,Sasa huyu atatumia vaseline Mgando anaongezea Dini juu ya Dini😊ili Ngozi ibaki katika Viwango vya Juu.
#KOJieSansSoap
Kabla ya kupaka rangi unaitaji msasa wa kuandaa mahali rangi itakaa,Huu ndo MSASA sasa,Bibie hii pamoja na Udogo wake ataitumia Mwili mzima.Hii sabuni ni noma inaiandaa Ngozi vizurii mnoo yaani ukija kupaka Kitu kinateleza ajabu ayo matokeo sasa!!Balaaa

#AMERICANDREAMCocoabutter
Kila mtu anatumia Hii nowadays lakini wengi hawajaijulia namna ya kuipatia ivyo hawaoni matokeo,Kwetu hatukuuzii tu tutakupa namna ya kuifanya ikupe matokeo super,Hapo utaona Kuna Lotion ilishangulia afu hii ya nini?unaweza kuhoji..Kama ilivyo kazi ya Olay hapo juu na Hii ivyo ivyo..itakuwa inaalternate na lotion kuhakikisha anamaintain #rangiyapesa atakayoipata

#VaselineLiPBalm
Bibie hajataka kuachwa nyuma na ule upinkish amaizing unaotoka kwa Hii lipbalm matata ya #vaseline jus imagine lips zinaondolewa ukavu zinakuwa full moistured afu zinakuwa na karangi kakuweka Mvuto.
BALAAAAAA
Read more
MTOTO KUTOKULA HUSABABISHWA NA NINI? 1.Mtoto kuto kupenda ladha ya chakula 2.Mtotokuwamgonjwa ...
Media Removed
MTOTO KUTOKULA HUSABABISHWA NA NINI? 1.Mtoto kuto kupenda ladha ya chakula 2.Mtotokuwamgonjwa . Imegundulika wakati mwingine mtoto anaweza kuwa na vidonda au uambukizo kooni.Hivyo akawa hapendi kula labda anaumia na wewe mzazi hujui kwa sababu hasemi unachoona ni anakataa kula. 3.Pia ... MTOTO KUTOKULA HUSABABISHWA NA NINI?

1.Mtoto kuto kupenda ladha ya chakula

2.Mtotokuwamgonjwa .
Imegundulika wakati mwingine mtoto anaweza kuwa na vidonda au uambukizo kooni.Hivyo akawa hapendi kula labda anaumia na wewe mzazi hujui kwa sababu hasemi unachoona ni anakataa kula.

3.Pia upungufu wa madini Fulani mwilini au virutubishi unaweza msababishia asipende kula.Na hii hutokana na mzazi kumpa mtoto chakula cha aina mojaa bila kumchanganyia vyakula vya makundi mbali mbali.Matokeo yake anakosa hivyo virutubishi vinavyomchochea kupata hamu ya kula hasa vitamin na madini.

4.Mtoto kula wakati ameshiba, hata kama alikunywa maji kabla ya kula (kutohisi njaa)
Mazingira mabaya ya kula (makele, jua kali, joto, baridi nk.) 5.Mtoto kurithi tabia hii kutoka kwa familia yake,hapendi tu kula (Genetical reason
Read more
Loading...
Usiku Mmoja Kabla Muuza Duka Hajafunga DukaLake Aliingia Mbwa Dukani Akiwa Na KibegiMdomoni Ndani ...
Media Removed
Usiku Mmoja Kabla Muuza Duka Hajafunga DukaLake Aliingia Mbwa Dukani Akiwa Na KibegiMdomoni Ndani Ya Kibegi Kulikuwa Na PesaKiasi Na Orodha Ya Vitu Vilivyotakiwa Kununuliwa. Muuza Duka Alichukua Pesa Ile Kisha AkawekaVitu Vilivyoorodheshwa Ktk Kibegi Hicho. Mara Hii Mbwa Bila ... Usiku Mmoja Kabla Muuza Duka Hajafunga DukaLake Aliingia Mbwa Dukani Akiwa Na KibegiMdomoni Ndani Ya Kibegi Kulikuwa Na PesaKiasi Na Orodha Ya Vitu Vilivyotakiwa
Kununuliwa.

Muuza Duka Alichukua Pesa Ile Kisha AkawekaVitu Vilivyoorodheshwa Ktk Kibegi Hicho.
Mara Hii Mbwa Bila Kuchelewa Alichukua Kibegi Chake Na Kuanza Safari.

Muuza Duka Alishangazwa Sana Na Tukio Lile Na Akaamua Kumfuatilia Mbwa Yule Kwa Nyuma Ili Kujua Ni Nani Hasa Miliki Wake.

Baada Ya Kufika Kituo Cha Mabasi Mbwa
Alisimama Kwa Dakika Chache Na Ndipo
Lilipotokeza Bus Na Kusimama Mbwa na Muuza Duka Kwa Pamona Wakaingia Ndani Ya Bus Na Safari Ikaanza.

Akiwa Ndani Ya Bus Alimsogelea Kondakta Na
Kuinua Kichwa Ili Kumuonesha Mkanda Wa
Shingoni Ambao Ulikuwa Na Nauli Bila Kusahau
Anuani Ya Mahali Alipotakiwa Kushuka.

Baada Ya Mwendo Kidogo Mbwa Alienda Mpaka Mbele Kwa Dereva Na Kuchezesha Mkia Wake Kuashiria Kuwa Alitakiwa Kuteremkia Eneo Lile.

Hii Ni Kutokana Na Kondakta Kuto Kuwa Makini Na Maelekezo Ya Anuani.
Ndipo Dereva Aliposimamisha Bus Na Mbwa
Akateremka Wakati Wote Huo Muuza Duka Alikuwa Akimfuatilia Yule Mbwa Kwa Ukaribu Sana.

Baada Ya Kutelemka Mbwa Alitembea Hatua
Kadhaa Mpaka Alipolifikia Geti La Nyumba Moja Kubwa Na Kubonyeza Kitufe Kimoja Ktk Geti Hilo Kwa Kutumia Mguu Wake.

Sekunde Chache Baadae Geti Lilifunguliwa.
Bwana Mmoja Ambae Ni Mmiliki Wa Mbwa Huyo Akatoka Na Kipande Kirefu Kiasi Cha Waya Na Kuanza Kumuadhibu Yule Mbwa Na Hapo Ndipo Muuza Duka Aliposhtuka Na Kuamua Kumuuliza Yule Bwana Ni Nini Hasa Sababu Ya Adhabu Ile!

Yule Bwana Mmiliki Wa Mbwa Akajibu
"Amenivurugia Usingizi Wangu!! Alitakiwa
Abonyeze Kitufe Cha Upande Wa Kushoto Na
Geti Hili Lingefunguka."
************* Huu Ndio Uhalisia Wa Maisha Yetu!! Binadamu Tumekuwa Wepesi Sana Kusahau Unaweza Kutenda Mema Mengi Sana Ya Kuwafurahisha Lakini Siku Utakapokosea Kidogo Tu Wanadamu Watakutuhumu Kwa Hilo Kosa Moja Dogo Na Wakati Mwingine Kukudharau Na Kukuona Hauna Maana Tena Kwao.

Wanasahau Mema Yote Uliyo Watendea.
Hata Hivyo Sikushauri Uache Kutenda Mema Bali Nakushauri Usitumie Nguvu Kubwa Kuwafurahisha Wanadamu Wewe Tenda Yale Yampendezayo Muumba Wako Maana Yeye Pekee Ndiye Mwenye Kulipa Kwa Haki....
Read more
WAPI UNAPOKWENDA?? Kutokujua wapi unakoelekea kunaweza kukufanya ukawa mtumwa kwa mambo mengi ...
Media Removed
WAPI UNAPOKWENDA?? Kutokujua wapi unakoelekea kunaweza kukufanya ukawa mtumwa kwa mambo mengi yasiyoendana na kusudi la Mungu ulilonalo katika maisha yako hapa duniani. Lakini pia suala la kutokujua kusudi la Maisha yako ni hatari zaidi inayoweza kukupelekea kupoteza nafasi kubwa ... WAPI UNAPOKWENDA?? Kutokujua wapi unakoelekea kunaweza kukufanya ukawa mtumwa kwa mambo mengi yasiyoendana na kusudi la Mungu ulilonalo katika maisha yako hapa duniani. Lakini pia suala la kutokujua kusudi la Maisha yako ni hatari zaidi inayoweza kukupelekea kupoteza nafasi kubwa ya kuhudumia na kusadia maelfu ya watu waliowekwa kupata msaada kutoka chini yako.

Mshindi wa tunzo ya uandishi bora nchini Marekani, Katherine Anne Porter aliwahi kufanya utafiti na kugundua kuwa, 50% ya watu hawatoi umakini na uangalifu wa kujua ni wapi wanapoelekea katika maisha yao, 40% wanaishi duniani hawajitambui hivyo wanaenda popote pale akili yao inapowatuma kwenda pale panapokucha (no any focus and direction to them), 10% wanajua wanachotaka katika maisha yao lakini pamoja na hilo bado nao hawatoi mwekekeo wa kutosha (Divertion of focus) kuelekea kule wanapotakiwa kwenda.

Sijafahamu upo kundi gani hadi sasa? Lakini ukweli ni kwamba ni hatari zaidi kuishi katika Dunia hii pasipo kuwajibika au kuliishi kusudi la kuwepo kwako hapa duniani. Kumbuka siku ya kufa hautoulizwa uliingiza shilingi ngapi? Bali utaulizwa ulitumia vipi talanta (vipawa, vipaji, nk.) uliyopewa kwa ajili ya kusaidia maelfu ya watu kubadilika katika ulimwengu wako. Ukifatilia sana utagundua asilimia 85% ya maisha yetu (au yako) tumeitwa hapa duniani kwa ajili ya wengine (yaani kuathiri au kuleta matokeo) kwenye maisha ya wengine au katika Dunia.

Kadiri unavyotumia Muda mwingi kusaidia na kuzingatia wengine hasa kwa kuwawezesha juu ya vitu walivyobeba ndani yao, ndivyo kadiri unavyowezesha ulichobeba na wewe kuinuka na kwenda mbele zaidi kiwango kingine. Tambua umebeba nini, kisha chukua hatua ya kwenda mahali unapopaswa kwenda ili kufanikisha ndoto na kusudi la Maisha yako ulilonalo hapa duniani.

Usiishi ilimradi unaishi bali ishi kuathiri (kuleta matokeo) kwenye maisha ya watu wengine. "Be a go giver rather than a go getter." Kumbuka usipojua wapi unapoelekea, basi utachukuliwa na kila aina ya upepo unaovuma ulipo. Tambua kusudi la maisha yako. Ishi ndoto yako.

Believe It's Possible!
Credit :- @ishindotoyako
#ishindotoyako
#DreamsEndwhenUgiveUp
Read more
Nianze kwa kumshukuru MWENYEZI MUNGU kwa kunijalia kuiona siku hii ya leo nikiwa mzima wa afya njema, ...
Media Removed
Nianze kwa kumshukuru MWENYEZI MUNGU kwa kunijalia kuiona siku hii ya leo nikiwa mzima wa afya njema, ni matumaini yangu kwamba marafiki zangu ni wazima wa afya njema Naomba nichukue nafasi hii kuwashukuru marafiki zangu kwa kunitakia siku yangu ya kuzaliwa ASANTENI KWA UPENDO WENU Mlionitakia ... Nianze kwa kumshukuru MWENYEZI MUNGU kwa kunijalia kuiona siku hii ya leo nikiwa mzima wa afya njema, ni matumaini yangu kwamba marafiki zangu ni wazima wa afya njema

Naomba nichukue nafasi hii kuwashukuru marafiki zangu kwa kunitakia siku yangu ya kuzaliwa ASANTENI KWA UPENDO WENU
Mlionitakia siku yangu ya kuzaliwa na msionitakia wote kwa ujumla nawashukuru sana, Marafiki zangu, NAWAPENDA SANA,
MUNGU AWABARIKI

imewahi kukutokea kwamba licha ya kuwahi kumpenda au kupendana na mtu fulani, imefika hatua mambo yote hayawezi kuendelea tena, moyo umekinai, hisia zimekufa na jambo pekee unalotaka litokee ni wewe na mwezi wako kuachana?
Kwamba huamini kama kuna jambo lolote linaweza kuwafanya mkaendelea kukaa pamoja tena, dunia yenu ya mapenzi imefika mwisho na hakuna tena ziada! Hakuna kipindi kigumu kama hiki, hasa kama mtu unayeachana naye uliwahi kumpenda au yeye aliwahi kukupenda
Kuangukia katika penzi la mtu fulani siyo jambo gumu ingawa hakuna jambo gumu kama kuachana na mtu, wengi huwa washindwa kuukubali ukweli, matokeo yake wanasababisha matatizo ambayo yangeweza kuzuilika mapema
Sishauri watu waachane isipokuwa ninachotaka kukuambia ni namna bora inayoweza kutumika kumaliza penzi ambalo haliwezi tena kuendelea, tunashuhudia kila siku watu wakiachana kwa matatizo mkubwa, wakifanyiana ugomvi mkubwa, kupigana, kutukanana, kutoleana kashfa za kila aina, eti kisa mapenzi yamefikia mwisho,
Unafikiri ni sawa kuachana kwa vurugu kiasi hicho wakati mliwahi kuishi pamoja kwa amani, upendo na mahaba ya nguvu, nini huwa kinasababisha baadhi ya wanakuwa na tabia za aina hii?
HUO SIYO MWISHO WA MAISHA .
Inapotokea ume fanya kila kitu kulitetea penzi lako lakini imeshindikana, busara kuukubali ukweli kwa sababu mwisho wa mapenzi siyo mwisho wa maisha, huwezi kujua MUNGU anakuepusha na nini, kubaliana na hali halisi kwa sababu inatokea na wewe siyo wa kwanza kuachwa au kukataliwa na umpendaye.
Cha msingi ni kujitahidi kutulia, maumivu yapo tena makali ni vyema kujua namna ya kukabiliana na hali hii ngumu bila kusababisha
Matatizo zaidi mlikutana kwa amani, mkapendana lakini penzi halikupangwa kudumu, kubali matokeo na usonge mbele bila kumfanyia mwezi wako vurugu
Read more
Loading...
AKUNA KITU KIZURI KAMA KUKAA KIMYA ILA VYENGNE AVIKALIKI KIMYA NIWAHABARISHE WAUNGWANA CNA ACOUNT YA F.B WALA ACOUNT YOYOTE ZAID YA INSTGRAM III NDY ACOUNT YANGU LIKIKUFIKA LA KUKUFIKA USIGAZABIKE NA WENYE ACOUNT ZA UDAKU KIBUSARA ILI USICHAFUE ACOUNT YAKO UTAKIWI KUPOST KITU SABABU ... AKUNA KITU KIZURI KAMA KUKAA KIMYA ILA VYENGNE AVIKALIKI KIMYA NIWAHABARISHE WAUNGWANA CNA ACOUNT YA F.B WALA ACOUNT YOYOTE ZAID YA INSTGRAM III NDY ACOUNT YANGU LIKIKUFIKA LA KUKUFIKA USIGAZABIKE NA WENYE ACOUNT ZA UDAKU KIBUSARA ILI USICHAFUE ACOUNT YAKO UTAKIWI KUPOST KITU SABABU UMEAMBIWA UWEZI JUA ALOKWAMBIA NINANI NA HASA LENGO LAKE NI NINI KWA ULICHOFIKISHIWA USIJE KUCHAFUA MTU ALAFU IKAKUGARIMU MAISHA YAKO YOTEEE ..... MAENEO NA MWANANGU @rkibekutz
Read more
Elimu Biashara . Sikuhizi mzazi anamwambia kijana wake ukifikisha miaka kadhaa utoke kwangu ...
Media Removed
Elimu Biashara . Sikuhizi mzazi anamwambia kijana wake ukifikisha miaka kadhaa utoke kwangu uende kujitegemea bila kumfundisha huyu kijana nini hasa maana ya kujitegemea. Zamani wazazi wetu wakati wanakua walikua wanaenda na mababu/mabibi zetu mashambani wanafundishwa kulima, ... Elimu Biashara .

Sikuhizi mzazi anamwambia kijana wake ukifikisha miaka kadhaa utoke kwangu uende kujitegemea bila kumfundisha huyu kijana nini hasa maana ya kujitegemea. Zamani wazazi wetu wakati wanakua walikua wanaenda na mababu/mabibi zetu mashambani wanafundishwa kulima, kuwinda, wanapewa mashamba ya kuanzia maisha, wanafundishwa biashara toka kwenye biashara za wazazi wao, wanapewa ujuzi wa kujenga au useremala, wanapewa mifugo ya kuanzia etc. Sijajua kama Ni kizazi kinabadilika au majukumu yameongezeka mpaka baadhi ya vitu sikuhizi havifanyiki tena, japo kuna baadhi ya ndugu zetu kama wachaga, wahindi na waarabu wenzetu wanaendeleza huu mfumo na story zao Ni tofauti na sisi. .

Watoto wao wana muda wa kusoma na bado wakitoka shule wataenda kwenye biashara za wazazi wao kujifunza. Tena wengine watabeba hata bidhaa dukani kwao waje kuwauzia shule watengeneze hela ya pembeni wapate kamtaji waanze zungusha biashara chuoni. Wanakua wakiwa na ujuzi, uelewa mpana, uwezo wa kutambua fursa, nguvu ya kunegotiate, ushawishi etc. Je sisi wazazi wa Leo tunawaandaaje Watoto wetu kabla ya kuwaacha wakajitegemee? Tunawapa elimu tu na kudhani inawatosha na mengine watajifunza wenyewe? Au kwakua sisi hatukubahatika kupewa tunawaacha na wao wakaanzie pagumu kama sisi? Na ule msemo wetu wa "Kua ukatafute vyakwako". .
.
Kama wakat unaanza maisha Baba yako alikupa shamba ukalime, kwanini usimfanyie hivyo na mwanao? Kama ulipewa kiwanja uanze kujenga, kwanin usimtaftie na mwanao? Kama ulipewa mtaji kidogo ukaanza biashara, Je umefundisha mtoto wako hiyo biashara? Kama ndio, Je umemwandalia na kamtaji kidogo Ili akimaliza shule akaanze nacho? Kuna watu kila weekend utawakuta shamba au site au kwenye banda la kuku na Watoto wao wakiwafunza vile ambavyo wao wanafanya na namna wanafanya.

By Man Dea
@jifunze_kilimo_na_ufugaji
@shamtech.investment
Read more
Kesho ni siku ya Vijana Duniani Kote. Tumewaandalia kitu kizuri vijana wote na hasa wa Kisarawe. ...
Media Removed
Kesho ni siku ya Vijana Duniani Kote. Tumewaandalia kitu kizuri vijana wote na hasa wa Kisarawe. Tutatoa “incentive” kwa vijana na tutatangaza kesho ili ujue ni nini tega sikio na fuatilia hashtag zetu. Ila pia tungependa kujua unawaza nini kifanyike kuwe na mazingira salama kwa maendeleo ... Kesho ni siku ya Vijana Duniani Kote. Tumewaandalia kitu kizuri vijana wote na hasa wa Kisarawe. Tutatoa “incentive” kwa vijana na tutatangaza kesho ili ujue ni nini tega sikio na fuatilia hashtag zetu. Ila pia tungependa kujua unawaza nini kifanyike kuwe na mazingira salama kwa maendeleo ya vijana? .
.
Kwa kipekee niwashukuru @iamsaharagroup @saharapcsr kwa kukubali kuungana nasi Kisarawe. Na pia niwashukuru @shilolekiuno_badgirlshishi @nikkwapili kwa kukubali kuja kuwaamsha kifikra vijana wa Kisarawe. .
.
.
#TwendezetuKisarawe #KisaraweYaVijana #IYD #JokateKisarawe @kisarawe_mpya
Read more
Loading...
Bernadetha aliingizwa ndani bado akiendelea kulia na Marietta naye akifichwa kilichojiri…Ndani ...
Media Removed
Bernadetha aliingizwa ndani bado akiendelea kulia na Marietta naye akifichwa kilichojiri…Ndani ya muda mchache watu walijaa kwenye nyumba hiyo kila mmoja akimnyookea mama Marietta na kumpa mkono wa pole. . . Hapo ndio Marietta akafahamu nini kilichojiri – Baba yake, bwana Malale, ... Bernadetha aliingizwa ndani bado akiendelea kulia na Marietta naye akifichwa kilichojiri…Ndani ya muda mchache watu walijaa kwenye nyumba hiyo kila mmoja akimnyookea mama Marietta na kumpa mkono wa pole. .
.
Hapo ndio Marietta akafahamu nini kilichojiri – Baba yake, bwana Malale, aliyekuwa amelazwa kwa miezi kadhaa, amefariki dunia. Alilisikia hilo kwenye kinywa cha mmoja wa waombolezaji waliofika nyumbani kwao. Basi huo kwake ukawa muendelezo wa yeye kulia, akijumuisha na njaa aliyokuwa anasikia hapo awali, ambayo kwa dakika kadhaa ilikoma.
.
.
Watu walizidi kufurika kwenye makazi hayo, wengi wakija na magari yenye plate number: STK ama DFP. Maturubai yaliletwa uwanjani yakafungwa na viti vya plastiki navyo waombolezaji wapate kukaa. Michango ya mamilioni ilitolewa.
.
.
Siku iliyofuata mtoto wa kwanza wa marehemu mwenye miaka ishirini na tatu, kwa jina Miraji, alirejea nchini akitokea India alipokuwa akisomea udaktari. Kwa mujibu wa Imani za wafiwa, marehemu akazikwa siku hiyohiyo.
.
.
Kijikao cha familia kiliitishwa kikiundwa na watu watano: mke wa marehemu: Bernadetha, mtoto mkubwa wa marehemu: Miraji, pamoja na kaka na dada wa marehemu.
.
.
Waliketi sebuleni nyuso zao zikitandazwa na huzuni.
Waliswali kikao kikafunguliwa na kaka wa marehemu, bwana Tahid. Mbaba mwenye mwili mpana na ngozi nyeupe pe!
.
.
“Natumai tu salama salmini baada ya kutoka katika shughuli pevu hapo jana na hata juzi. Ningependa kuchukua nafasi hii sisi kama familia kujulishana hasa ni nini kitakachofuata baada ya mwenzetu, mwanafamilia mwenzetu kutwaliwa na mwenyezi Mungu. .
.
Kama tunavyofahamu, japokuwa kulikuwa na matatizo ya hapa na pale yaliyopelekea mwenzetu kutengwa na jamii, vilevile kusalitiwa na muajiri wake, serikali, sisi katika muda huu ndiyo yatupasa tuwe zaidi ya kitu kimoja.”
.
.
Akaweka kituo. Alisafisha koo akaendelea:
“Basi kutokana na hali iliyopo sasa, makubaliano na maagano yetu kama familia yatakuwa hivi: nyumba ya marehemu itakuwa chini ya mkewe na wanawe.
Read more
Regrann from @lemutuz_superbrand - LIVE STRAIGHT TALK: THE ART OF SELF DESTRUCTIONS nimesema ...
Media Removed
Regrann from @lemutuz_superbrand - LIVE STRAIGHT TALK: THE ART OF SELF DESTRUCTIONS nimesema mara nyingi sana Adui wa binadam siku zote ni Binadam mwenyewe Miss Tanzania hii aibu ya gari mmejiletea wenyewe mlipoamua kuwashambulia Miss Lake Zone kwenye mitandao kwa sababu ya Gari lao ... Regrann from @lemutuz_superbrand - LIVE STRAIGHT TALK: THE ART OF SELF DESTRUCTIONS nimesema mara nyingi sana Adui wa binadam siku zote ni Binadam mwenyewe Miss Tanzania hii aibu ya gari mmejiletea wenyewe mlipoamua kuwashambulia Miss Lake Zone kwenye mitandao kwa sababu ya Gari lao la zawadi ambalo kwa kelele za mitandao mlitoa hukumu mbio mbio so wenyewe mkawa mmeweka standard ambayo binafsi nilitegemea mngeitimiza sasa na nyinyi mmerudia yale yale mliyoyakataa mlitegemea nini hasa?..nilichofanya ni kuwakumbusha tu matapishi yenu na mbwembwe mlizozipanda wenyewe mkasahau kwenye maisha TUNAVUNA TU TULICHOPANDA na leo mmevuna mlichopanda yaani Aibu ya Gari ambalo halifanani na hadhi yenu wenyewe mliyotuambia mnayo ...nimeona badala ya kujibu hoja baadhi yenu mnajaribu kunijibu matusi hahahahaha mimi huwa situkani I speak FACTS and let the Chips fall where they may ....binafsi mpaka sasa siamini kwamba mashindano ya Miss Tanzania yanaweza kufanyikia kwenye Jumba la Mikutano for sure hata Wa China waliotujengea hilo jengo la Mikutano leo wamejionea maajabu ya Dunia na watakuwa wametuma sana sms kwao kuwa Ukumbi wa Mikutano anaoutumia Rais na Viongozi wa Taifa kwa mikutano ya Kitaifa leo umetumika for Miss Tanzania ..hahahahaha please guys tuoneeni huruma wenzenu U know ....Mashindano ya Miss Tanzania unayafanyiaje kwenye ukumbi ambao hauna nafasi ya kuongezwa kwa mbele maana ni lazima warembo waweze kutembea mbele nyuma kushoto na Kulia bila tatizo lakini leo mmewalazimisha kutembea kushoto na kulia na nyuma tu its is wrong tena Miss World wakisikia mnaweza kuingia matatizo makubwa sana ...na infact ingekuwa majuu washiriki wangeweza kuwashitaki na mashindano kurudiwa kwa kukosa kutembea kwa mbele kuonyesha vizuri urembo wao ...halafu now you know hakuna mtu anayeniamrisha kuandika au kufuta maana ninazo habari kuwa mmepiga simu kwa Viongozi wengi sana eti wanilazimishe nifute post zangu ...hahahaha...SIFUTI kama ambavyo hamkufuta ile barua yenu ya kuwadhalilisha waandaaaji wa Miss Lake Zone I hope mmeona jinsi inavyouma maumivu kama mliyowaletea wenzenu..MISS TANZANIA AIBU MLIYOVUNA LEO MLIPANDA WENYEWE kwenye Miss Lake Zone msilaumu mtu JILAUMUNI WENYEWE! ..ms
Read more
UMEWAHI Kujiuliza Nini Lengo La Mfuko Mdogo Mbele Ya Suruali Yako Ya Jeans? ------------ Je unaujua ...
Media Removed
UMEWAHI Kujiuliza Nini Lengo La Mfuko Mdogo Mbele Ya Suruali Yako Ya Jeans? ------------ Je unaujua mfuko mdogo katika suruali yako ya Jeans ? Ndiyo, ule ambao umeshonwa juu kidogo ya mfuko mkubwa wa kulia. Umewahi hata mara moja kusimama na kujitafakari kwa nini huo mfuko mdogo mbele ... UMEWAHI Kujiuliza Nini Lengo La Mfuko Mdogo Mbele Ya Suruali Yako Ya Jeans?
------------ Je unaujua mfuko mdogo katika suruali yako ya Jeans ? Ndiyo, ule ambao umeshonwa juu kidogo ya mfuko mkubwa wa kulia.
Umewahi hata mara moja kusimama na kujitafakari kwa nini huo mfuko mdogo mbele ya suruali yako ya jeans upo hapo ulipo na nini hasa lengo la mfuko huo zaidi ya pengine kudumbukiza sarafu au jojo ambayo unataka kuja kuitafuna baadae au kuwaza kama ni fasheni tu katika nguo?
Kama hujawahi kujiuliza hilo swali na bado hujui chanzo na lengo la mfuko huo mdogo mbele ya suruali yako ya Jeans usijali kwani tovuti hii itakueleza chanzo na lengo la mfuko huo.
Mfuko huu ulikuwa unatekeleza jukumu muhimu sana miaka ya nyuma na ndio sababu kubwa iliyopelekea watengenezaji wa suruali za Jeans kuweka mfuko huo juu kidogo ya mfuko wa mbele wa suruali. “Ni mfuko maalum wa kuhifadhi saa. Ndiyo, inasemekana miaka ya nyuma ya 1,800, watu wengi walikuwa wanapenda kuvaa saa zao katika cheni na kuzifungia katika viuno vyao. Ili kuweza kuweka salama saa zao zisivunjike na kuharibika, Levi, watengenezaji wa kwanza kutengeneza suruali za Jeans wakaamua kuweka mfuko huo mdogo mahali ambapo watu hao wangeweza kuhifadhi saa zao salama na kwa wepesi zaidi.
Hivyo ulianza kama mfuko wa kuhifadhi salama saa za mifukoni, japo baadae ukaanza kupata matumizi mengine kama kuhifadhia sarafu, tiketi za safari, kondomu, na viberiti hasa kwa watumia sigara.
Tangu hapo suruali za Jeans za aina zote zimekuwa zikitengezwa na mfuko huo mdogo bila kujali fasheni iliyopo kwa wakati huo.
Read more
Ukipata dada anajitambua kama huyu tangaza ndoa,oa kabisa maana wamebaki wachache sana! Hata mimi nilishawahi kuwa mdogo ila sikuwahi kuwa IMPRESSED wala INSPIRED na ushairi dhaifu hata siku moja. Tatizo lipo kwa mashabiki wetu ambao ndio wanalipa viingilio kwenda kuangalia na ... Ukipata dada anajitambua kama huyu tangaza ndoa,oa kabisa maana wamebaki wachache sana!

Hata mimi nilishawahi kuwa mdogo ila sikuwahi kuwa IMPRESSED wala INSPIRED na ushairi dhaifu hata siku moja.
Tatizo lipo kwa mashabiki wetu ambao ndio wanalipa viingilio kwenda kuangalia na kusikiliza sanaa ya kiwango cha chini kama huyu dada anavyoainisha hapo.
Beats have become way more important than what they say on the records.
Rapper anaishiwa mistari jukwaani analazimika kuwa dancer ili hali hata alichorap hakijaeleweka.
Wenyewe wanakwambia badilika bro fanya muziki wa biashara.
Watu wanakuonea huruma kwenye social media kuliko wanavyozionea huruma familia zao,wanajidai wana uchungu na kwanini usifanikiwe kwenye sanaa yako ili hali wao wana maisha magumu pia kama si UCHAWI ni nini?
Kila mtu anadhani kuwa maarufu ni simple tu,haya sawa tufanye ni simple lakini unajua huo umaarufu unaoutafuta ni wa nini na unataka kuufanyia nini ikiwa huna kipaji wala fani ya kuwa kielelezo cha umaarufu wako?
Zamani mtu akifaulu kwenye Special school au hata government school yoyote alikuwa anaheshimika sana maana ni nafasi za wachache sana hizo ila sasa kila mtu anaweza akafanya mpango akapenya na tatizo linakuja ukishapenya hujui mbeleni ukafanye nini matokeo yake UNAGOTA.
Familia za juu yaani za viongozi na watu wenye uwezo hazishawishiki kuruhusu watoto wao wafanye sanaa kwa kuwa PROFESSIONALISM ni ndogo na ujanja ujanja kama si ubabaishaji mwingi.
Tuachieni SANAA yetu enyi viumbe mnaoitumia vibaya ku-spoil minds za vijana hasa waliozaliwa "98 nakuendelea.
Mabadiliko sio kigezo cha kuua utamaduni bali kuboresha utamaduni kwa kuzingatia maadali ya sanaa.
Watasema tena "WE ENDELEA HIVYO HIVYO NA NGUMU ZAKO WENZAKO WANATUSUA NGOMA ZAO ZINAPIGWA REDIONI WANAFANYA MASHOO NINI,WANA MANDINGA SIO WEWE UMEPANGA USWAHILINI TU"
Wakati ukipanga UZUNGUNI wananuna tena 😂😂😂
"Tatizo sio viongozi wajinga bali wananchi wanaochagua viongozi wajinga"
#BINADAM_Bwana
#MtuNaStressZangu
Read more
Katika Utafiti imegundulika kuna tatizo kubwa katika mahusiano aidha ya kimapenzi au ya ndoa.Uaminifu ...
Media Removed
Katika Utafiti imegundulika kuna tatizo kubwa katika mahusiano aidha ya kimapenzi au ya ndoa.Uaminifu umekuwa tatizo kubwa miongoni mwa jamii ya kizazi hiki! Kutoridhika imekuwa sehemu ya maisha ya sasa si kwa mwanaume au mwanamke kuchepuka ndiyo habari ya mujini kwa sasa hadi wale walioaminika ... Katika Utafiti imegundulika kuna tatizo kubwa katika mahusiano aidha ya kimapenzi au ya ndoa.Uaminifu umekuwa tatizo kubwa miongoni mwa jamii ya kizazi hiki! Kutoridhika imekuwa sehemu ya maisha ya sasa si kwa mwanaume au mwanamke kuchepuka ndiyo habari ya mujini kwa sasa hadi wale walioaminika kuwa viongozi wa dini maana hakuna mwenye kinga ya kutotenda dhambi hivyo imekuwa kujitwalia kadri tupendavyo nani atakuwa kiini cha mabadiliko katika wimbi hili linaoelekea kupoteza wengi.

Tatizo ni nini hasa kwa uzoefu wangu wa kuishi katika dunia hii na katika ndoa kwa muongo zaidi ya mmoja nimegundua mwanamke anaweza akatulizwa (walioko ndoani) tu endapo mume atakidhi mahitaji yote ya kiuchumi,zaidi kuwa na muda wa kutosha na mkewe bila kusahau kusaidiana kufikishana katika kilele cha maraha ambacho.Mungu aliona ni vema atupe wanadamu kama kitulizo ktk maisha yetu haya yenye adha nyingi.

Sasa cha ajabu kuna baadhi ya wanaume wamekuwa busy wakiamini magari,pesa na fahari ndiyo vitaziba uhitaji wa mke katika kukidhi haja ya upendo ndiyo maaana lawama haziishi watu wanachapiwa na kuishia kulalama eti wanawake hawaridhiki hata uwape nini mwanamke haswa alilyelewa vyema akihudumiwa bed na akapata mahitaji ya kiuchumi sina cha kufata nje hata kidogo.

Nina zaidi ya miaka 13 ya ndoa hivyo najua nisemacho sioni fahari wala sijawahi kufikiria kutoka na mtu nje ya mume wangu kwa muda wote huo ila kuna mazingira baadhi wanaume wanasababisha hadi mke unajiona mhitaji,mume hashikiki ndani kila siku kuja home late mvivu kitandani hayuko romantic nk unategemea mke afanyeje?

Ilihali naye ana damu inachemka(hapa siharalishi kuchepuka ila mke anakuwa katika upweke mkuu nani ampe faraja mpaka mke anaamua kutoka nje kuna tatizo kubwa hivyo chukueni tahadhari waume wenye tabia hizi zinajeruhi sana mioyo yetu (nasi tunapendwa sana huko nje uwezo wa kutoka kama mnavyotoka tunao sana..ila ni staha tu na hofu kwa Mungu muumbaji.Wanaume many sehemu yenu na wanawake pia ili tuishi kwa raha bila kuumizana.
TOA MAONI YAKO HAPA
Read more
Kila binadamu anautofauti kwa mambo yake anayoyafanya na ufanya kwa muda tofauti, ebu fikiria ...
Media Removed
Kila binadamu anautofauti kwa mambo yake anayoyafanya na ufanya kwa muda tofauti, ebu fikiria nini tofauti Kati yako na mtu mwingine? Ngoja nikwambie huwezi kupata mtu anaefanana na wewe duniani kote. Hasa ni wajibu wako kuthibitisha hilo kwa kufanya jambo tofauti litakalokutofautisha ... Kila binadamu anautofauti kwa mambo yake anayoyafanya na ufanya kwa muda tofauti, ebu fikiria nini tofauti Kati yako na mtu mwingine? Ngoja nikwambie huwezi kupata mtu anaefanana na wewe duniani kote. Hasa ni wajibu wako kuthibitisha hilo kwa kufanya jambo tofauti litakalokutofautisha na Wengine.

Credit :- @nicholauszingo
#DreamsEndwhenUgiveUp
Read more
Loading...