Picha za utupu

Loading...


Unique profiles
9
Most used tags
Total likes
0
Top locations
Coco Beach Masaki, Dar es Salaam, Tanzania
Average media age
575.6 days
to ratio
4
Kuna msemo unasema mapenzi ni upofu, msemo huu usiupe nafasi hadi kukufanya uwe mzembe wa kufikiria. Wanawake ...
Media Removed
Kuna msemo unasema mapenzi ni upofu, msemo huu usiupe nafasi hadi kukufanya uwe mzembe wa kufikiria. Wanawake na wadada nawashauri msikubali kupigwa picha na wapenzi au waume zenu wakati wa tendo la ndoa. Hii kitu imewaathiri wengi na imekuwa ikitumika kama sehemu ya kuwachafulia majina ... Kuna msemo unasema mapenzi ni upofu, msemo huu usiupe nafasi hadi kukufanya uwe mzembe wa kufikiria.

Wanawake na wadada nawashauri msikubali kupigwa picha na wapenzi au waume zenu wakati wa tendo la ndoa. Hii kitu imewaathiri wengi na imekuwa ikitumika kama sehemu ya kuwachafulia majina pale mnapoachana waume zenu.

Mwanaume anataka picha au video ya nini na wakati mpo nae, ikatokea bahati mbaya uhusiano ukavunjika unadhani hizo data anapeleka wapi?

Wanaume wengi wamekua sio wastaarabu kabisa, ukiingia kwenye mitandao ya kijamii picha nyingi za uchi zinazotumwa ni za wanawake na zimewekwa mtandaoni na waliokuwa watu wenu ambao mlikuwa mnawaamini mwanzo.

Najua mnapendana sana, mnaaminiana sana ila kama anakupenda na kukuheshimu hatotaka kukupiga picha ya utupu wako wala kukuomba ujipiga picha za utupu na kumtumia. Baadae utapata tabu sana penzi litakapofika mwisho.
Read more
Loading...
Mwanamuziki wa kike bongo ambaye aliwahi kutikisa Afrika Mashariki kwa sauti yake na kiuno chake ...
Media Removed
Mwanamuziki wa kike bongo ambaye aliwahi kutikisa Afrika Mashariki kwa sauti yake na kiuno chake laini, Rehema Chalamila au Ray C, amesema anaogopa kupost picha za utupu kama wengine, akihofia kufungwa na serikali. Ray C ametoa kauli hiyo akiwa nchini Kenya na kuulizwa juu ya wasanii ... Mwanamuziki wa kike bongo ambaye aliwahi kutikisa Afrika Mashariki kwa sauti yake na kiuno chake laini, Rehema Chalamila au Ray C, amesema anaogopa kupost picha za utupu kama wengine, akihofia kufungwa na serikali.

Ray C ametoa kauli hiyo akiwa nchini Kenya na kuulizwa juu ya wasanii wanaopost  picha za utupu na kwa nini yeye hapost, na kusema kwamba serikali imeona hali ilikuwa mbaya na kuamua kupiga marufuku tabia hiyo, hivyo iwapo atafanya hivyo huenda akafungwa jela. “Inakuwa too much ndio maana Rais Magufuli kakataza, si unajua baba yetu mkali kidogo!! It was too much, ilikuwa inaanza kwenda mbali, unajua watoto wanaangalia, ingawa watu wanaendelea, nitapelekwa jela na Magufuli nikifanya hivyo”, amesema Ray C.

Msanii huyo yupo nchini Kenya kwa ajili ya kazi zake za muziki, ambapo pia amepata fursa ya kufanya collabo na msanii wa muziki wa injili Papa Denis.
Read more
Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) Imewataka wasanii @ireneuwoya8 pamoja ...
Media Removed
Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) Imewataka wasanii @ireneuwoya8 pamoja na @hamisamobetto kuomba radhi kwa kosa la kuweka picha za utupu katika Mitandao ya Kijamii. Kupitia Press iliyoitishwa leo na TCRA, Mwanamitindo Hamisa Mobetto amesema kuwa anashukuru ... Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) Imewataka wasanii @ireneuwoya8 pamoja na @hamisamobetto kuomba radhi kwa kosa la kuweka picha za utupu katika Mitandao ya Kijamii.

Kupitia Press iliyoitishwa leo na TCRA, Mwanamitindo Hamisa Mobetto amesema kuwa anashukuru Bodi nzima ya Mamlaka hiyo kwa kuwaita kwenye tukio hilo, na kuomba radhi kwa kila aliyehuzunishwa au kukerwa na picha hizo zilizokuwa zikisambaa katika mitandao na anaahidi kuwa balozi mzuri wa sheria mpya ya mitandao ya kijamii na kuwaelimisha wanamitindo wote ambao wamekuwa wakipiga picha hizo na kisha kuziweka katika mitandao ya kijamii.

Kwa Upande wa Muigizaji Irene Uwoya, amesema kuwa wakati alipoitwa alifikiria kukutana na vitu tofauti lakini anashukuru kwa elimu aliyoipata na huu umekuwa ushauri mzuri kwake na akaomba radhi kwa picha ambazo alikuwa amezipost katika mitandao ya kijamii.

Uwoya ameongeza kuwa, anaomba Mamlaka ya Mawasiliano Nchini waitishe semina ambayo itawakutanisha watu mbalimbali ambao wanajihusisha na mitandao ya kijamii ili kupatiwa somo ni jinsi gani sheria hii mpya inatumika na mipaka yake iko vipi.

#Tumewasha #HiiNiYetuSote #SanaaImezaliwaUpya #ChomboKwaHewa
Read more
Natizama pesa,picha za utupu jamani please msini tag. #MajiMaji (Link On Bio) #StudioSession #TheRoadToMajiMaji @regan_reggy Natizama pesa,picha za utupu jamani please msini tag.
#MajiMaji (Link On Bio)
#StudioSession
#TheRoadToMajiMaji
@regan_reggy
Socialite maarufu Kwenye mitandao ya kijamii Jane Rimoy maarufu kama Sanchi amefunguka na kuweka ...
Media Removed
Socialite maarufu Kwenye mitandao ya kijamii Jane Rimoy maarufu kama Sanchi amefunguka na kuweka wazi kuwa anapendelea sana kuposti picha zake za utupu. Sanchi alijipatia umaarufu kutokana na umbile lake na jinsi ambavyo amekuwa akipenda kupiga picha zake za kihasara hivyo kumfanya ... Socialite maarufu Kwenye mitandao ya kijamii Jane Rimoy maarufu kama Sanchi amefunguka na kuweka wazi kuwa anapendelea sana kuposti picha zake za utupu.

Sanchi alijipatia umaarufu kutokana na umbile lake na jinsi ambavyo amekuwa akipenda kupiga picha zake za kihasara hivyo kumfanya ajulikane sana ndani na nje ya Bongo.

Kwenye mahojiano na Global Publishers Sanchi amefungukia suala lake la kupiga picha hizo za utupu na kudai hiyo ni moja kati ya hobi zake na anapenda sana:

Unajua kuna mtu mwingine anaweza kudhani nafanya makusudi lakini ndiyo hobi yangu. Hata nguo ambazo navaa huwa ndiyo roho yangu inapenda nivae hivyo na siyo za nusu utupu kama watu wanavyosema.

Na ukijaribu kunifuatilia utagundua kuwa nimebadilika sana kwenye suala la uvaaji kutokana na maneno ya watu”. Lakini pia Sanchi amekana taarifa za yeye kuendesha maisha yake kutegemea kalio na kudai anategemea akili yake:

Mimi namshukuru Mungu kwa kunipa umbo hili ambalo ni la asili kabisa. Hao wanaosema nategemea kalio kuendesha maisha yangu ni ‘mabogasi’. Akili yangu ndiyo inayoniongoza katika maisha yangu, kama ni shepu mbona wengi tu wana shepu lakini hawana mafanikio kama yangu?”. TOA MAONI YAKO HAPA
Read more
DAR: Kamati ya maudhui ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania(TCRA) imewataka Mwanamitindo Hamisa ...
Media Removed
DAR: Kamati ya maudhui ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania(TCRA) imewataka Mwanamitindo Hamisa Mobeto na Muigizaji Irene Uwoya kuomba radhi kwa makosa ya kimtandao ikiwa ni pamoja na kuweka picha zisizo na maadili mtandaoni Uamuzi huo umechukuliwa baada ya wasanii hao kukiri kosa ... DAR: Kamati ya maudhui ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania(TCRA) imewataka Mwanamitindo Hamisa Mobeto na Muigizaji Irene Uwoya kuomba radhi kwa makosa ya kimtandao ikiwa ni pamoja na kuweka picha zisizo na maadili mtandaoni

Uamuzi huo umechukuliwa baada ya wasanii hao kukiri kosa na umetangazwa leo Alhamisi Julai 19, 2018

Mwenyekiti wa kamati hiyo, Valerie Msoka amesema kutokana na kosa hilo wametakiwa kuomba radhi kupitia kurasa zao za kijamii na kuwa mabalozi kuhamasisha wenzao

Aidha, kwa mujibu kamati hiyo, Hamisa alifanya kosa la kuweka mtandaoni picha za ujauzito na Irene kuweka picha zake za nusu utupu, akiwa ufukweni
Read more
Loading...
Huwa najiuliza hivi hawa wanawake ambao wamekuwa mstari wa mbele kurekodi na kutuma mitandaoni picha zao za utupu,Hivi wanajua madhara yake ya hapo baadaye kipindi wakiwa kwenye familia zao? . . Mimi nadhani wanawake aina hii hawajui waendako na hawana future yeyote ya Maisha yao ya ... Huwa najiuliza hivi hawa wanawake ambao wamekuwa mstari wa mbele kurekodi na kutuma mitandaoni picha zao za utupu,Hivi wanajua madhara yake ya hapo baadaye kipindi wakiwa kwenye familia zao?
.
.
Mimi nadhani wanawake aina hii hawajui waendako na hawana future yeyote ya Maisha yao ya baadaye. Hivi kweli Wizara husika inayaona haya???? #TCRA na wahusika wote hawayaoni haya??
.
.
Dada zangu ebu badilikeni basi jitahidini sana kustiri miili yenu ndio maana panaitwa sehemu za siri na si sehemu ya umma au public.Kwa kufanya hivi mnajishushia heshima na ni ngumu sana kumpata mwanaume sahihi wa maisha yako,utaishia kuchezewa tu na kumwagwa mwisho wa siku UKIMWI Utakuhusu.
Read more
NAOMBA RADHI KWA UMMA: Husika Na Kichwa Cha Habari Hapo Juu. Mimi Hamisa Mobetto Ambaye ni ...
Media Removed
NAOMBA RADHI KWA UMMA: Husika Na Kichwa Cha Habari Hapo Juu. Mimi Hamisa Mobetto Ambaye ni Mfanya Biashara Wa Mitindo (Fashion Entrepreneur) Apa Nchini Tanzania Na Pia Ni Raia Wa Tanzania 🇹🇿 Naomba Kutumia Fursa Hii Kuomba Radhi Kwa Watanzania na Wengine Wote Ambao Ni Watumiaji Wa ... NAOMBA RADHI KWA UMMA:

Husika Na Kichwa Cha Habari Hapo Juu.

Mimi Hamisa Mobetto
Ambaye ni Mfanya Biashara Wa Mitindo (Fashion Entrepreneur) Apa Nchini Tanzania Na Pia Ni Raia Wa Tanzania 🇹🇿 Naomba Kutumia Fursa Hii Kuomba Radhi Kwa Watanzania na Wengine Wote Ambao Ni Watumiaji Wa Mitandao .
Kuhusiana Na Kitendo Cha Mimi Na Washabiki Zangu (Fans) Wangu Kutuma Picha Zangu Zinazoonyesha Nusu Utupu Kwenye Page Zao Za Instagram.
.
Pia Natumia Fursa Hii Kuwashukuru Kamati Ya Maudhui Kwa Jinsi Walivyonita Kwenye Kamati Yao Na Kunipa Nafasi Ya Kujitetea Na Mwisho Kufanya Uamuzi Wenye Haki Kwangu Na Kwa Wapenzi (fans) Wangu Wote . Ninawashukuru Sana.🙏🏾
.
Mwisho Kabisa Niwahusie Vijana Wenzangu Kuepuka Kutumia Mitandao Ya Kijamii vibaya Kwani Kwa Sasa Kuna Sheria Kali Zinazokataza Picha Mbaya kutumwa Kwenye Mitandao .Naomba Pia Wapenzi (fans)Wangu Kuanzia Sasa Kutuma Picha Zangu Zenye Staha Au Kutumia Biashara Zangu Kunisapoti.
.
Nawashakuru Sana Na Mbarikiwe Sana.❤️🙏🏾
Read more
Loading...
NAOMBA RADHI KWA UMMA: Husika Na Kichwa Cha Habari Hapo Juu. Mimi Hamisa Mobetto Ambaye ni ...
Media Removed
NAOMBA RADHI KWA UMMA: Husika Na Kichwa Cha Habari Hapo Juu. Mimi Hamisa Mobetto Ambaye ni Mfanya Biashara Wa Mitindo (Fashion Entrepreneur) Apa Nchini Tanzania Na Pia Ni Raia Wa Tanzania 🇹🇿 Naomba Kutumia Fursa Hii Kuomba Radhi Kwa Watanzania na Wengine Wote Ambao Ni Watumiaji Wa ... NAOMBA RADHI KWA UMMA:

Husika Na Kichwa Cha Habari Hapo Juu.

Mimi Hamisa Mobetto
Ambaye ni Mfanya Biashara Wa Mitindo (Fashion Entrepreneur) Apa Nchini Tanzania Na Pia Ni Raia Wa Tanzania 🇹🇿 Naomba Kutumia Fursa Hii Kuomba Radhi Kwa Watanzania na Wengine Wote Ambao Ni Watumiaji Wa Mitandao .
Kuhusiana Na Kitendo Cha Mimi Na Washabiki Zangu (Fans) Wangu Kutuma Picha Zangu Zinazoonyesha Nusu Utupu Kwenye Page Zao Za Instagram.
.
Pia Natumia Fursa Hii Kuwashukuru Kamati Ya Maudhui Kwa Jinsi Walivyonita Kwenye Kamati Yao Na Kunipa Nafasi Ya Kujitetea Na Mwisho Kufanya Uamuzi Wenye Haki Kwangu Na Kwa Wapenzi (fans) Wangu Wote . Ninawashukuru Sana.🙏🏾
.
Mwisho Kabisa Niwahusie Vijana Wenzangu Kuepuka Kutumia Mitandao Ya Kijamii vibaya Kwani Kwa Sasa Kuna Sheria Kali Zinazokataza Picha Mbaya kutumwa Kwenye Mitandao .Naomba Pia Wapenzi (fans)Wangu Kuanzia Sasa Kutuma Picha Zangu Zenye Staha Au Kutumia Biashara Zangu Kunisapoti.
.
Nawashakuru Sana Na Mbarikiwe Sana.❤️🙏🏾
***Ameandika Ujumbe huo @HamisaMobetto katika ukurasa wake wa instagram kuomba Radhi watanzania
Read more
@hamisamobetto Aomba Radhi kwa Umma kwa Vitendo vya Kusambaza Picha zake za Nusu Utupu Mitandaoni ...
Media Removed
@hamisamobetto Aomba Radhi kwa Umma kwa Vitendo vya Kusambaza Picha zake za Nusu Utupu Mitandaoni | Ni baada ya Kuitikia Wito wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Mapema Leo hii na Kupewa Funzo kuhusu Matumizi ya Mitandao! | Swipe Kushoto Kuona Alichoandika Kupitia IG yake. #SammisagoNEWS @hamisamobetto Aomba Radhi kwa Umma kwa Vitendo vya Kusambaza Picha zake za Nusu Utupu Mitandaoni | Ni baada ya Kuitikia Wito wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Mapema Leo hii na Kupewa Funzo kuhusu Matumizi ya Mitandao! | Swipe Kushoto Kuona Alichoandika Kupitia IG yake.
#SammisagoNEWS
Loading...