Loading Content...

Samia suluhu

Loading...


Unique profiles
16
Most used tags
Total likes
0
Top locations
Dar es Salaam, Tanzania, Soweto Mbeya
Average media age
684.3 days
to ratio
2.2
MAMA SAMIA KADANGANYWA. Gazeti la Nipashe toleo la leo limeandika kwamba, Makamu wa Rais Samia ...
Media Removed
MAMA SAMIA KADANGANYWA. Gazeti la Nipashe toleo la leo limeandika kwamba, Makamu wa Rais Samia Suluhu amesema viongozi wa mkoa wa Songwe walimdanganya. Katika ziara yake mkoani Songwe, Mama Samia alishindwa kwenda wilayani Songwe baada kuambiwa ni mbali na barabara ni mbaya mno. ... MAMA SAMIA KADANGANYWA.

Gazeti la Nipashe toleo la leo limeandika kwamba, Makamu wa Rais Samia Suluhu amesema viongozi wa mkoa wa Songwe walimdanganya.

Katika ziara yake mkoani Songwe, Mama Samia alishindwa kwenda wilayani Songwe baada kuambiwa ni mbali na barabara ni mbaya mno. Hata hivyo Mama Samia kupitia vyombo vyake alibaini kwamba Mkuu wa Mkoa wa Songwe na viongozi wengine walisema uongo kwa sababu hakukuwa na mradi wa kuzindua huko Songwe.
Read more
Loading...
#KutokaNairobi Tundu Lissu amshukuru Mhe. Rais John Pombe Magufuli kwa salamu za pole alizomtumia kupitia kwa Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Salamu nyingine ni kwa Watanzania Mhe. Lissu anawasalimu sana. #KutokaNairobi
Tundu Lissu amshukuru Mhe. Rais John Pombe Magufuli kwa salamu za pole alizomtumia kupitia kwa Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Salamu nyingine ni kwa Watanzania Mhe. Lissu anawasalimu sana.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akisalimiana na Makamu ...
Media Removed
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipowasili mkoani Songwe mapema jana kwa ziara ya siku nne. #jahazi_la_lugha_ya_kiswahili Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipowasili mkoani Songwe mapema jana kwa ziara ya siku nne.
#jahazi_la_lugha_ya_kiswahili
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 7, Agosti 2018 ...
Media Removed
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 7, Agosti 2018 amemtembelea Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam ambapo alimjulia hali na kumpa pole kufuatia ... Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 7, Agosti 2018 amemtembelea Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam ambapo alimjulia hali na kumpa pole kufuatia ajali ya gari aliyoipata Agosti 4, 2018 huko Manyara. #getwellsoon
Read more
'Tokosoeni pale tunapokosea' Makamu wa rais Samia Suluhu akiunga mkono ukosolewaji wa Serikali unaofanywa na taasisi za dini. Msikilize 'Tokosoeni pale tunapokosea'
Makamu wa rais Samia Suluhu akiunga mkono ukosolewaji wa Serikali unaofanywa na taasisi za dini.
Msikilize
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan. Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan.
Loading...
ALHAMDULILLAH Sifa na shukran ni za Muumba wa Mbingu na Ardhi. Shukran pia kwa kiongozi wa nchi yangu pendwa ya Tanzania Mh Rais John P Magufuli sambamba na mama, mlezi wa familia ya Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan. . Elewa kua asiyeshukuru, kukufuru kunamlazimu. Mh Mkuu wa Mkoa wa Dar ... ALHAMDULILLAH
Sifa na shukran ni za Muumba wa Mbingu na Ardhi.
Shukran pia kwa kiongozi wa nchi yangu pendwa ya Tanzania Mh Rais John P Magufuli sambamba na mama, mlezi wa familia ya Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan.
.
Elewa kua asiyeshukuru, kukufuru kunamlazimu. Mh Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Kaka yangu Paul Makonda AHSANTE. Kila nikifikiria ukarimu na jukumu ulilolibeba kuhusu tiba yangu ya China, hakika nashindwa kuyazuia macho yangu kumwaga machozi ya furaha, Mungu akuongoze katika mambo yako uwe ni mwenye kufanikiwa, hata nitunge kitabu nikuelezee wewe, kiukweli sifikii popote kuelezea wema wako kwangu, naamini umenisaidia mno, msaada wako nimkubwa usomithikika kwangu.
.
.
Shukran sana sana sanaaaaaa.
Watanzania na watu woote walioniombea dua na waliotoa mchango wao hata wa mawazo nawashukuruni sana tena sana. Naamini dua zenu Mungu amezipokea na zinaendelea kuleta miujiza katika mwili wangu.
Wengi huulizia kua jee naweza japo kunyanyua mkono?? Naomba hili nilieke wazi pia kua maradhi ya zaidi ya miaka 10 kupona kwa miezi 2 hili lataka muujiza wa hali yajuu ambao Mungu hashindwi ila eleweni kua maombi yenu yameitikiwa na Mungu, hali yangu inaimarika siku hadi siku, sikwakasi kama mulioitarajia bali kwa speed alonijaalia Mungu inipayo faraja.

Tunakunja mabegi yetu huku china kwaajili ya safari tarehe 30.04.2018 Jumatatu nitatua Dar Es Salaam mida ya saa tisa mchana Mungu akipenda na kurudi pale pale nilipokua naishi Dar Es Salaam DELINA APPARTMENT kwaajili ya kuendelea na maisha yetu kama kawaida.

Dua zenu bado nazihitaji mno. @paulmakonda
Read more
Makamu wa Rais wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kuelekea Windhoek, Namibia ...
Media Removed
Makamu wa Rais wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kuelekea Windhoek, Namibia kushiriki Mkutano wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika utakaofanyika Agosti 17 - 18 mwaka huu akimwakiliasha Rais Dkt. John Magufuli . Makamu wa Rais wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kuelekea Windhoek, Namibia kushiriki Mkutano wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika utakaofanyika Agosti 17 - 18 mwaka huu akimwakiliasha Rais Dkt. John Magufuli .
Loading...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo ametembelea bandari ...
Media Removed
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo ametembelea bandari ya Itungi wilayani Kyela na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Meli ya MV. Mbeya II ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 70. Meli hiyo mpaka kukamilika itachukua abiria 200 na mizigo tani 200. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo ametembelea bandari ya Itungi wilayani Kyela na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Meli ya MV. Mbeya II ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 70.
Meli hiyo mpaka kukamilika itachukua abiria 200 na mizigo tani 200.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongozana na Waziri ...
Media Removed
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongozana na Waziri Mkuu wa Mauritania Mhe. Yahya Hademine mara baada ya kupokelewa kwenye uwanja wa ndege wa Nouakchott usiku huu tayari kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe ... Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongozana na Waziri Mkuu wa Mauritania Mhe. Yahya Hademine mara baada ya kupokelewa kwenye uwanja wa ndege wa Nouakchott usiku huu tayari kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika Mkutano wa 31 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika
Read more
WODI ALIZOAHIDI MH. MAKONDA KUANZA KUJENGWA RASMI Kufuatia ziara ya miezi kadhaa iliyopita ...
Media Removed
WODI ALIZOAHIDI MH. MAKONDA KUANZA KUJENGWA RASMI Kufuatia ziara ya miezi kadhaa iliyopita ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh. PAUL MAKONDA kwenye (hospitali kubwa za mkoa wake ikiwemo Mwananyamala, Amana na Temeke) ambayo iliyomfanya abaini changamoto kubwa za upungufu wa wodi za ... WODI ALIZOAHIDI MH. MAKONDA KUANZA KUJENGWA RASMI

Kufuatia ziara ya miezi kadhaa iliyopita ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh. PAUL MAKONDA kwenye (hospitali kubwa za mkoa wake ikiwemo Mwananyamala, Amana na Temeke) ambayo iliyomfanya abaini changamoto kubwa za upungufu wa wodi za wanawake hasa zile kwa ajili ya kujifungulia kwa mama wajawazito, mkuu wa mkoa *aliamua kuanza kupambana kutafuta wadau muhimu ambao wangemsaidia kujenga wodi za kisasa kwa ajili ya mama zetu wanaojifungulia kwenye mazingira yasiyoridhisha kwa sasa.* Dhamira ambayo imemfikisha kwenye mafanikio ya kuishawishi kampuni ya AMSONS GROUP kujenga wodi tatu za ghorofa tatu kwa kila moja zenye jumla thamani ya bilioni 4.5 zikiwa na uwezo wa kubeba jumla ya wakinamama na watoto 450 kwa wakati mmoja huku zikiwa na ofisi za kisasa kwa ajili ya manesi na madaktari, wodi ambazo zinajengwa kwa ufadhili wa asilimia mia moja (100%) na kampuni hii pasipo hata senti moja ya serikali.

Matumizi ya wodi hizi yamepangwa kukidhi mahitaji ya wakinamama na watoto kwa mpangilio ufuatao; *ghorofa ya kwanza kwa kila wodi itatumika kulaza mama wajawazito, ghorofa ya Pili, itatumika kulaza watoto wenye mahitaji maalum na ghorofa ya tatu itakuwa kwa ajili ya kulaza wakinamama wanaosumbuliwa na magonjwa mengineyo.* Mawe ya msingi kwa ajili ya kuanza rasmi kwa ujenzi wake yatawekwa katika hospitali husika na *MAKAMU WA RAISI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, MHE. SAMIA SULUHU HASSAN siku ya LEO, tarehe 11 Oktoba 2016 kwa ratiba ifuatayo:

MWANANYAMALA HOSPITALI - 3:00 ASUBUHI

AMANA HOSPITALI - 4:00 ASUBUHI

TEMEKE HOSPITALI - 5:30 ASUBUHI

Kama sehemu ya kuunga mkono jitihada za mkuu wetu wa mkoa za kutimiza azma ya Mh. Rais John Pombe Magufuli za kuhakikisha hakuna mwanamke na mtoto anayepata usumbufu wa aina yoyote ile kwenye kupata matibabu hasa wakati wa kujifungua ikiwemo kuchangia kitanda kwa wajawazito wawili ama watatu kama ilivyokuwa ikijitokeza, tujitokeze kwa wingi kwenye uwekaji huu wa mawe ya msingi.
Read more
Tukiwa na mhe makamu wa rais mama @samia_suluhu_hassan ktk kongamano la biashara la kimataifa
Media Removed
Tukiwa na mhe makamu wa rais mama @samia_suluhu_hassan ktk kongamano la biashara la kimataifa Tukiwa na mhe makamu wa rais mama @samia_suluhu_hassan ktk kongamano la biashara la kimataifa
Loading...
Bi Monica Magufuli ameshapumzishwa katika makao yake ya Milele. Pichani ni Makamu wa Rais, #MalkiaWaNguvu ...
Media Removed
Bi Monica Magufuli ameshapumzishwa katika makao yake ya Milele. Pichani ni Makamu wa Rais, #MalkiaWaNguvu Samia Suluhu akiweka shada la maua. #KutokaChato Bi Monica Magufuli ameshapumzishwa katika makao yake ya Milele. Pichani ni Makamu wa Rais, #MalkiaWaNguvu Samia Suluhu akiweka shada la maua.

#KutokaChato
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ...
Media Removed
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa sherehe ya kusimikwa kwa Askofu Mkuu Msaidizi pamoja na Maaskofu wa Majimbo wa Kanisa la Pentekoste Motomoto, Mwanga mkoani Kigoma.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa sherehe ya kusimikwa kwa Askofu Mkuu Msaidizi pamoja na Maaskofu wa Majimbo wa Kanisa la Pentekoste Motomoto, Mwanga mkoani Kigoma.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi ...
Media Removed
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi wa kijiji cha Ruchugi, Kitongoji cha Kibaoni, Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma akiwa njiani kuelekea Kazuramimba kuhutubia mkutano wa hadhara, pamoja na mambo mengine Makamu wa Rais aliwataka ... Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi wa kijiji cha Ruchugi, Kitongoji cha Kibaoni, Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma akiwa njiani kuelekea Kazuramimba kuhutubia mkutano wa hadhara, pamoja na mambo mengine Makamu wa Rais aliwataka wananchi hao kuzingatia lishe bora kwa watoto kwani mkoa wa Kigoma umekuwa ukilima chakula kingi lakini watoto wengi wanakosa lishe bora na kuzitaka mamlaka husika kutoa elimu kwa wananchi ya umuhimu wa lishe bora.
Read more
Loading...
Regrann from @urithifestivaltanzania - Tanzania inajadilika sana ulimwenguni. Pamoja na vivutio ...
Media Removed
Regrann from @urithifestivaltanzania - Tanzania inajadilika sana ulimwenguni. Pamoja na vivutio vingi, pia tuna viongozi wenye sifa za kipekee akiwemo Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu, moja kati ya wanawake wachache Afrika wanaoshika nafasi za juu sana kwenye uongozi. Mama Samia, ... Regrann from @urithifestivaltanzania - Tanzania inajadilika sana ulimwenguni. Pamoja na vivutio vingi, pia tuna viongozi wenye sifa za kipekee akiwemo Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu, moja kati ya wanawake wachache Afrika wanaoshika nafasi za juu sana kwenye uongozi.

Mama Samia, huwa anapendeza saana na mavazi yake yenye staha. Sasa inabidi tumvalishe, tunaomba upendekeze designer atakayeweza kazi hii.

#Mvalishe #UrithiFestival - #regrann
Read more
Picha ya kwanza ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ...
Media Removed
Picha ya kwanza ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Mhe. Jaji Sylvain Ore muda mfupi kabla ya kuapishwa kwa Majaji wapya watatu wa mahakama hiyo mjini Arusha. Picha ya 2 na 3: Majaji watatu ... Picha ya kwanza ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Mhe. Jaji Sylvain Ore muda mfupi kabla ya kuapishwa kwa Majaji wapya watatu wa mahakama hiyo mjini Arusha.
Picha ya 2 na 3: Majaji watatu wapya wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu wakiwa wameketi pamoja muda mfupi kabla ya kuapishwa, kutoka kushoto ni Mhe.Jaji Blaise Tchikaye (Congo), Mhe. Jaji Stella Isibhakhonem Anukam (Nigeria) na Mhe. Jaji Imani Aboud (Tanzania). (Picha na #OfisiYaMakamuWaRais)
Read more
Hiki ndicho alicho kiandika msanii mwenzetu Wastara Sajuki kwa Uongozi wa ngazi za juu wa nchi na ...
Media Removed
Hiki ndicho alicho kiandika msanii mwenzetu Wastara Sajuki kwa Uongozi wa ngazi za juu wa nchi na watanzania kwa ujumla..! Inasikitisha sana soma hapa: RAIS MHE MAGUFULI MAKAMO MHE SAMIA SULUHU WAZIRI MKUU MHE KASIM MAJAALIWA MKU WA MKOA MHE POUL MAKONDA WATANZANIA WENZANGU Mim ... Hiki ndicho alicho kiandika msanii mwenzetu Wastara Sajuki kwa Uongozi wa ngazi za juu wa nchi na watanzania kwa ujumla..! Inasikitisha sana soma hapa:
RAIS MHE MAGUFULI
MAKAMO MHE SAMIA SULUHU
WAZIRI MKUU MHE KASIM MAJAALIWA
MKU WA MKOA MHE POUL MAKONDA
WATANZANIA WENZANGU

Mim Wastara juma muigizaji wa filamu Tanzania naandika ujumbe huu mfupi sina budi sina jinsi nahitajika kurudi hosptal india Sifael hosptal tokea tare 12/02/2017 ambapo nilitakiwa nifanye matibabu kwa mda wa miaka 2 chini ya uwangilizi wa hosptal hiyo kabla ya kufanya maamuzi ya kufanyiwa operetion ya mgongo hivyo kila tare 12/ 2 natakiwa kurudi hosptal nimejitahidi kupambana peke yangu kutafuta pesa ya kunirudisha hosptal nimeshindwa
Mwezi 1 wachina wenye kampun ya simu ya KZG wamenikimbia nikiwadai milion 80 mwezi wa 2 MUZAMBIQ nimepoteza mzigo wa miloni 19 kwenye vurugu la kufukuzwa watanzania
Mwezi wa 3 nimeenda nchini sweden kufanya filamu nimerudi mikono mitupu mwezi wa 4 nimedai pesa yangu Steps tumeishia kwenda mahakamani bila kulipwa nilivyokuwa natarajia tokea hapo chochote ninachofanya kinachohusu pesa lazima tuishie polis au mahakamani silipwi vile tunavyokubalian na baya zaidi ninaofanya nao kazi awajui kuwa tokea nimerudi nchini toka sweden ninahaha kutafuta pesa ya matibabu,, silali kwa maumivu makali ya mgongo na ninazimia kila mda hii imetokana na kuchelewa kurudi hosptal kufanya tiba ya mgongo na kubadilisha soberly skoner inayowekwa kwenye mguu kama tiba kuu ya kurudisha mgongo wangu ukae sawa matokeo yake mguu unavimba na kuchanika kila mara mgongo unauma kitu ambacho kinanikosesha raha kabisa na kuona sasa naathirika kiakili kwa maumivu sababu mda mwingi nakunywa dawa za maumivu bila kujua kama nimemeza dawa mara ngapi kwa siku hii sio nzuri kiafya
Kikubwa ninachoomba kutoka kwenu ni mim nirudi kwenye apointment yangu ya hospital sababu siwezi kurudisha mguu wangu kama zamani lakini ninaweza kuyakwepa maumivu kutokana na tiba ninayoweza kupata kupitia tatizo langu
Sihitaji msaada wa mtu nikiwa mahututi nikiwa siwezi kuandika sms kupokea simu au kumtambua mtu nahitaji sasa ninayo nguvu kidogo ya kuelewa hata nataka kutibiwa nini..
INAENDELEA
Read more
Loading...
Makamu wa Rais Mh @samia_suluhu_hassan leo mara baada kushiriki sherehe za kuapishwa kwa Rais ...
Media Removed
Makamu wa Rais Mh @samia_suluhu_hassan leo mara baada kushiriki sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Kenya Mh @president.of.kenya zilizofanyika katika uwanja wa Kasarani Jijini Nairobi,akimwakilisha Rais Dkt John pombe Magufuli,pia alipita hospitali alikolazwa Mh @tundulissutz ... Makamu wa Rais Mh @samia_suluhu_hassan leo mara baada kushiriki sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Kenya Mh @president.of.kenya zilizofanyika katika uwanja wa Kasarani Jijini Nairobi,akimwakilisha Rais Dkt
John pombe Magufuli,pia alipita hospitali alikolazwa Mh @tundulissutz na kumjulia hali kama aonekanavyo pichani.
Read more
Repost From @ikulu_mawasiliano Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aongoza Mamia ya Wakazi wa Chato katika Mazishi ya Dada yake Marehemu Monica Magufuli yaliyofanyika Chato Mkoani Geita.Agosti 21,2018 Dada wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aitwaye ... Repost From @ikulu_mawasiliano Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aongoza Mamia ya Wakazi wa Chato katika Mazishi ya Dada yake Marehemu Monica Magufuli yaliyofanyika Chato Mkoani Geita.Agosti 21,2018
Dada wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aitwaye Monica Joseph Magufuli aliyefariki dunia Jumapili tarehe 19 Agosti, 2018 katika hospitali ya Bugando Jijini Mwanza amezikwa leo katika makaburi ya familia yaliyopo katika kijiji cha Mlimani, Wilaya ya Chato Mkoani Geita.

Misa Takatifu ya Mazishi ya Monica Joseph Magufuli imeongozwa na Askofu Jimbo Katoliki la Rulenge Mhashamu Severine Niwemugizi aliyeambatana na Maaskofu wengine saba, pia imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Marais Wastaafu Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Mhe. Benjamin William Mkapa na Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.

Viongozi wengine waliohudhuria mazishi hayo ni Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mhe. Raila Amolo Odinga, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg. Philip Mangula, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Mawaziri, Wabunge, Viongozi Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama, Viongozi wa Madhehebu ya Dini, Viongozi wa vyama vya siasa na viongozi wengine mbalimbali wa Mikoa, Wilaya, Taasisi, Idara na Kampuni.

Katika salamu zake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewashukuru viongozi na wananchi wote walijitokeza kuungana na familia katika kumsindikiza Dada yake katika safari yake ya mwisho na amesema familia inatambua upendo, heshima na mshikamano mkubwa ambao wameuonesha kwao. “Mmetuonesha upendo mkubwa sana na kweli ujio wenu na kuungana nasi katika tukio hili mmetufariji sana, asante sana kwa upendo huu na Mungu awabariki sana” amesema Mhe. Rais Magufuli
Read more
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 7, Agosti 2018 ...
Media Removed
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 7, Agosti 2018 amemtembelea Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam ambapo alimjulia hali na kumpa pole kufuatia ... Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 7, Agosti 2018 amemtembelea Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam ambapo alimjulia hali na kumpa pole kufuatia ajali ya gari aliyoipata Agosti 4,2018 huko Manyara. Get Well soon Chief 🙏💪💪
Read more
Mhhhh basi sawa Mama yetu ila msiwe mnaahidi mambo makubwaaaa wakati wa kampeni jamani maana ni ...
Media Removed
Mhhhh basi sawa Mama yetu ila msiwe mnaahidi mambo makubwaaaa wakati wa kampeni jamani maana ni kawaida kwa wanasiasa ila ahadi hizi unrealistic zinaleta expectations kubwa pia kwa wananchi ... Ahadi ni deni - so tupeni ahadi zenye uhalisia #ChangeTanzania #ChangeAfrica Regrann ... Mhhhh basi sawa Mama yetu ila msiwe mnaahidi mambo makubwaaaa wakati wa kampeni jamani maana ni kawaida kwa wanasiasa ila ahadi hizi unrealistic zinaleta expectations kubwa pia kwa wananchi ...
Ahadi ni deni - so tupeni ahadi zenye uhalisia
#ChangeTanzania
#ChangeAfrica
Regrann from @kwanzatv - Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan jana wakati anahutubia mkutaano wa hadhara Uvinza Kigoma amesema wananchi wasitegemee kupelekewa fedha milioni 50 walizoahidiwa mwaka 2015 kwa kila kijiji wakati wa uchaguzi, badala yake zitapelekwa kufanya miradi ya maendeleo. #KwanzaHabari - #regrann
Read more
Jamani hii ndo nini sasa? Ni kama mwendelezo wa tukio lile tumeona askari akimpiga raia na gogo sijui mbao sijui rungu mnisaidie maelezo na taarifa zaidi asante @gregory_official_tz for sharing this! Naomba serikali iingilie kati. Haiwezekani raia kama huyu dada akawa kama yuko ... Jamani hii ndo nini sasa? Ni kama mwendelezo wa tukio lile tumeona askari akimpiga raia na gogo sijui mbao sijui rungu 😢😢 mnisaidie maelezo na taarifa zaidi asante @gregory_official_tz for sharing this!

Naomba serikali iingilie kati. Haiwezekani raia kama huyu dada akawa kama yuko vitani anavuja damu eti kwa sababu ya usafi!
Kampeni ya #ZuiaUkatili na kampeni zingine hazina maana kama serikali itakalia kimya suala hili na mengine tunayoyaona
#ChangeTanzania
Cc @ummymwalimu @wizara_afyatz @samia_suluhu_hassan
Read more
Usikose kuhudhuria Mkesha Mkubwa<span class="emoji emojiae"></span> Kitaifa- Dua Maalum Tarehe 31 Disemba. Shiriki kuomba Dua ...
Media Removed
Usikose kuhudhuria Mkesha Mkubwa Kitaifa- Dua Maalum Tarehe 31 Disemba. Shiriki kuomba Dua Maalum pamoja na mamilioni ya Watanzania waliopo kote ulimwenguni kwa ajili ya: 1. Kuombea Amani na Utulivu Taifa Letu. 2. Kuwaombea Viongozi wetu wapendwa Mhe. Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ... Usikose kuhudhuria Mkesha Mkubwa® Kitaifa- Dua Maalum Tarehe 31 Disemba.
Shiriki kuomba Dua Maalum pamoja na mamilioni ya Watanzania waliopo kote ulimwenguni kwa ajili ya:

1. Kuombea Amani na Utulivu Taifa Letu.

2. Kuwaombea Viongozi wetu wapendwa Mhe. Dkt. John Joseph Pombe Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu Wa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Ali Mohammed Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hekima, Busara, Afya, Ulinzi na Nguvu ya kuwatumikia vyema Watanzania wote.
3. Kuombea Maendeleo Chanya kwa Watanzania wote bila kujali itikadi, Kabila, dini au rangi.
4. Kumshukuru Mungu kwa Matendo makuu Aliyotutendea Sisi Watanzania mwaka mzima 2018.

5. Kuomba Dua kwa ajili ya Baraka, Neema na Rehema tunapoingia mwaka 2019 kama Taifa.

Mkesha Mkubwa® Kitaifa 2018 - 2019 utafanyika katika mikoa ifuatayo:

1. Dar es Salaam - Uwanja wa Karume Memorial (TFF) karibu na Machinga Complex
2. Kilimanjaro-Uwanja wa Majengo
3. Arusha- Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
4. Dodoma - Uwanja wa Jamhuri
5. Mwanza -Uwanja wa CCM Kirumba
6. Morogoro -Uwanja wa Kilosa Town
7. Singida - Uwanja wa Mitumbili Kinampanda
8. Ruvuma- uwanja wa majimaji
9. Simiyu-uwanja wa Ccm sabasaba

Muda: 12:00 jioni - 12:00 Alfajiri

#NchiNzima. #SautiMoja.

Hakuna Kiingilio. Watu Wote mnakaribishwa.

Mkesha Mkubwa® Kitaifa Umeandaliwa na makanisa na huduma mbalimbali na unaratibiwa na Tanzania Fellowship of Churches - TFC

#DuaMaalum #MkeshaMkubwa #MkeshaKubwaKitaifa #Tanzania #OmbeaTanzania
Read more
Usikose kuhudhuria Mkesha Mkubwa Kitaifa- Dua Maalum Tarehe 31 Disemba. Shiriki kuomba Dua Maalum pamoja na mamilioni ya Watanzania waliopo kote ulimwenguni kwa ajili ya: 1. Kuombea Amani na Utulivu Taifa Letu. 2. Kuwaombea Viongozi wetu wapendwa Mhe. Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ... Usikose kuhudhuria Mkesha Mkubwa® Kitaifa- Dua Maalum Tarehe 31 Disemba.
Shiriki kuomba Dua Maalum pamoja na mamilioni ya Watanzania waliopo kote ulimwenguni kwa ajili ya:

1. Kuombea Amani na Utulivu Taifa Letu.

2. Kuwaombea Viongozi wetu wapendwa Mhe. Dkt. John Joseph Pombe Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu Wa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Ali Mohammed Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hekima, Busara, Afya, Ulinzi na Nguvu ya kuwatumikia vyema Watanzania wote.
3. Kuombea Maendeleo Chanya kwa Watanzania wote bila kujali itikadi, Kabila, dini au rangi.
4. Kumshukuru Mungu kwa Matendo makuu Aliyotutendea Sisi Watanzania mwaka mzima 2018.

5. Kuomba Dua kwa ajili ya Baraka, Neema na Rehema tunapoingia mwaka 2019 kama Taifa.

Mkesha Mkubwa® Kitaifa 2018 - 2019 utafanyika katika mikoa ifuatayo:

1. Dar es Salaam - Uwanja wa Karume Memorial (TFF) karibu na Machinga Complex
2. Kilimanjaro-Uwanja wa Majengo
3. Arusha- Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
4. Dodoma - Uwanja wa Jamhuri
5. Mwanza -Uwanja wa CCM Kirumba
6. Morogoro -Uwanja wa Kilosa Town
7. Singida - Uwanja wa Mitumbili Kinampanda
8. Ruvuma- uwanja wa majimaji
9. Simiyu-uwanja wa Ccm sabasaba

Muda: 12:00 jioni - 12:00 Alfajiri

#NchiNzima. #SautiMoja.

Hakuna Kiingilio. Watu Wote mnakaribishwa.

Mkesha Mkubwa® Kitaifa Umeandaliwa na makanisa na huduma mbalimbali na unaratibiwa na Tanzania Fellowship of Churches - TFC

#DuaMaalum #MkeshaMkubwa #MkeshaKubwaKitaifa #Tanzania #OmbeaTanzania
Read more
Asante Mama Samia kwa uwakilishi mzuri na mrejesho wa mkutano wa SADC. Uongozi ukimpa mwanamke anayejitambua, mambo yataenda vizuri 🏽🏽 Endelea na kazi nzuri! Regrann from @samia_suluhu_hassan - Nimehudhuria Mkutano wa kilele wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Ushirikiano wa ... Asante Mama Samia kwa uwakilishi mzuri na mrejesho wa mkutano wa SADC. Uongozi ukimpa mwanamke anayejitambua, mambo yataenda vizuri 👏🏽👏🏽 Endelea na kazi nzuri!
Regrann from @samia_suluhu_hassan - Nimehudhuria Mkutano wa kilele wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (SADC Organ on Politics, Defence and Security) katika ukumbi wa Mikutano wa hoteli ya Safari Court Mjini Windhoek, Namibia. - #regrann
Read more
Hongera Mama Samia pamoja na Tanzania delegation <span class="emoji emoji1f44f"></span>🏽<span class="emoji emoji1f44f"></span>🏽<span class="emoji emoji1f44f"></span>🏽 hii hotuba tungesogezewa na video @gersonmsigwa ...
Media Removed
Hongera Mama Samia pamoja na Tanzania delegation 🏽🏽🏽 hii hotuba tungesogezewa na video @gersonmsigwa tusikie Makamu wetu anavyoongea kwa weledi kabisa ktk mkutano wa kimataifa #ChangeTanzania Regrann from @kwanzatv - Makamu wa Rais wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akitoa ... Hongera Mama Samia pamoja na Tanzania delegation 👏🏽👏🏽👏🏽 hii hotuba tungesogezewa na video @gersonmsigwa tusikie Makamu wetu anavyoongea kwa weledi kabisa ktk mkutano wa kimataifa 😍😍
#ChangeTanzania
Regrann from @kwanzatv - Makamu wa Rais wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akitoa hotuba ya kushukuru kwa niaba ya Rais Mh. John Pombe Magufuli mara baada ya Tanzania kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa SADC kwenye mkutano wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliomalizia leo Mjini Windhoek Namibia. #KwanzaHabari - #regrann
Read more
SAMIA ZIARANI SONGWE: Makamu wa Rais Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Songwe tayari kwa ziara ya siku 5. Akiwasili mkoani humo, Makamu wa Rais amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Lt. Mst. Chiku Galawa, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makala, Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni ... SAMIA ZIARANI SONGWE: Makamu wa Rais Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Songwe tayari kwa ziara ya siku 5.

Akiwasili mkoani humo, Makamu wa Rais amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Lt. Mst. Chiku Galawa, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makala, Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Juliana Shonza, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Japhet Hasunga na viongozi wengine wa chama na Serikali.

Akiwa mkoani Songwe, Samia atakagua na kuhamasisha shughuli mbalimbali za maendeleo ambapo atatembelea wilaya tatu za mkoa huo ambazo ni Mbozi, Momba na Ileje.
Read more
Samia Salimu Suluhu "mgombea mwenza kwa tket ya ccm" (wanawake wakiwezeshwa wanaweza)
Media Removed
Samia Salimu Suluhu "mgombea mwenza kwa tket ya ccm" (wanawake wakiwezeshwa wanaweza) Samia Salimu Suluhu "mgombea mwenza kwa tket ya ccm" (wanawake wakiwezeshwa wanaweza)
Loading...