Siku moja na repost

Loading...

Unique profiles
17
Most used tags
Total likes
0
Top locations
SEA Breeze Residential Complex, DoubleTree by Hilton Dubai - Business Bay, One Oasis Apartments 金峰南岸優質樓盤
Average media age
596.8 days
to ratio
2.7
NAELEWA MAUMIVU UNAYOPITIA POLE SANA MUNA MUNGU ATAMPONYA UPESI INSHALLAH<span class="emoji emoji1f64f"></span> Kesho #Tutembelee ...
Media Removed
NAELEWA MAUMIVU UNAYOPITIA POLE SANA MUNA MUNGU ATAMPONYA UPESI INSHALLAH Kesho #Tutembelee account ya @zamaradimketema na @munalove100 Watatuwekea AccountNo pia #Tuirepost iwafikiwe Wengi na kwa mwenye kuwa nacho #Tuchangie usisite hata kama kidogo. _________ #Repost ... NAELEWA MAUMIVU UNAYOPITIA POLE SANA MUNA MUNGU ATAMPONYA UPESI INSHALLAH🙏
Kesho #Tutembelee account ya @zamaradimketema na @munalove100 Watatuwekea AccountNo pia #Tuirepost iwafikiwe Wengi na kwa mwenye kuwa nacho #Tuchangie usisite hata kama kidogo.🙏🙏🙏 _________
#Repost @zamaradimketema with @get_repost
・・・
Nimezaa naelewa unachopitia,

Wapenzi mwenzetu yuko kwenye mtihani mzito, anauguza mtoto wake na yuko Hospitali Nairobi huku mtoto akiwa ICU almost siku ya sita leo, tunaelewa kuuguza ni nini, hata kama una kitu bado hakitatosha, Dawa anayotumia mtoto kwa siku hizi sita mpaka sasa Bill ni milioni 22!karibu na bado inaongezeka, nimeongea nae kuhusu kusaidia pale tunapoweza na kakubali, na nimeomba ACCOUNT YAKE YA BENKI ambayo hela itamfikia moja kwa moja, hivyo kwa yeyote atakaeguswa kuna NAMBA ambazo asubuhi utazioata kupitia page yangu na ya @munalove100 ambayo ni ACCOUNT YA BANK ya mtoto mwenyewe na unaweza kutuma kiasi chochote moja kwa moja itamfikia.

Naomba nifungue dimba hili kwa kuchangia Milioni moja, na nimeongea na WEMA pia nae kachangia ya kwake ambazo tunatuma moja kwa moja kwenye account siku ya kesho, tunaomba na wewe utakaeguswa tafadhali usaidie kwa kiwango chochote utakachoweza, ndio maana ya kushirikiana kwenye matatizo. Kumbuka kabla ya hapa alimuuguza mwanae kwa muda mrefu sana hivyo ifike mahala tusaidie kuubeba huu mzigo, na namba ya account ni yake yeye hivyo itamfikia moja kwa moja.

#kutoanimoyosiutajiri
Read more
Loading...
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila ...
Media Removed
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival ... Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival #TwenzetuBagamoyo‬
Read more
#Repost @wasafitv • • • • Wimbo Huu wa @walterchilambotz #OnlyYou Ukawe Moja Kati ya Wimbo Utakaokupa Nguvu Zaidi Katika Maisha Yako na Wiki Hii itakayoanza Kwa Kila Unachokifanya Kila Siku Kinachompendeza Mungu Sasa unaweza Kuangalia Nyimbo Mbalimbali za Kumtukuza Mungu Kupitia ... #Repost @wasafitv
• • • •
Wimbo Huu wa @walterchilambotz #OnlyYou Ukawe Moja Kati ya Wimbo Utakaokupa Nguvu Zaidi Katika Maisha Yako na Wiki Hii itakayoanza Kwa Kila Unachokifanya Kila Siku Kinachompendeza Mungu

Sasa unaweza Kuangalia Nyimbo Mbalimbali za Kumtukuza Mungu Kupitia @wasafitv Kabla na Baada ya Kwenda Kanisani
.
Na Unaweza Kumtakia Mtu wako wa Karibu Salamu za Jumapili Hapa 👇

#SanaaImezaliwaUpya #HiiNiYetuSote #Tumewasha #HappySunday
Read more
#Repost @wasafitv with @get_repost ・・・ LET'S TALK ABOUT LOVE Moja ya moment nzuri sana katika harusi ni pale ambapo bwana na bibi harusi wanapopewa nafasi ya kucheza pamoja FIRST DANCE. SASA HEBU LEO TUAMBIE NI WIMBO GANI ULICHEZA WEWE NA MPENZI WAKO SIKU YA HARUSI YENU ? . . KAMA ... #Repost @wasafitv with @get_repost
・・・
LET'S TALK ABOUT LOVE

Moja ya moment nzuri sana katika harusi ni pale ambapo bwana na bibi harusi wanapopewa nafasi ya kucheza pamoja FIRST DANCE.

SASA HEBU LEO TUAMBIE NI WIMBO GANI ULICHEZA WEWE NA MPENZI WAKO SIKU YA HARUSI YENU ? .
.
KAMA HUJAOA AU KUOLEWA UKIPEWA NAFASI YA KUCHAGUA WIMBO KWA AJILI YA KUCHEZA NA MPENZI WAKO LEO UTACHAGUA WIMBO GANI ?

Credit: @mcgarab #ComeCloserSession

#Tumewasha #HiiNiYetuSote #SanaaImezaliwaUpya
Read more
#Repost from @countryboytz For My True Fans. Kibegi Video Imetoka na ina trend kama kirusi mwenye speed ya risasi! Mchungo ni hiiiiviiiiiii!! KIBEGI CHALLENGE au KIBEGI SHORT VIDEO CLIP CHALLENGE!!! Vaa kibegi kisha ingia kitaani kwako na simu yako, Shoot video clip fupi isiyozidi ... #Repost from @countryboytz
For My True Fans. Kibegi Video Imetoka na ina trend kama kirusi mwenye speed ya risasi! Mchungo ni hiiiiviiiiiii!! KIBEGI CHALLENGE au KIBEGI SHORT VIDEO CLIP CHALLENGE!!! Vaa kibegi kisha ingia kitaani kwako na simu yako,
Shoot video clip fupi isiyozidi dakika moja tu ukitembea nakutuonyesha mwendo hatari wakipekee na wakinyama zaidi kisha post insta na #tag #kibegichallenge @yuleboykachi #KibegiShortVideoClipChallenge malizia kwakuni Tag @courtyboytz pia nita repost naku share video yako. Mtu mmoja atakaeshinda nitapata nae siku nzima yakua pamoja, kuanzia roots zangu za asubuhi mpaka night kali, studio time, clubbing with yo Ninja Country Boy na zawadi yakibegi!! SHOW ME SOME LOVE!!! ANZA KUSAMBAZA UPENDO. SHOOT YO VIDEO NOW!! Let the game beggin!! Start!!!! ______________________________________________

#KibegiChallenge #KibegiShortVideoClipChallenge #Love #Music #CoutryBoy #fashion #Swagger #Dab #worldcup2018 #russia2013 #worldcup #blue #jeans #Rwanda #kibegi #Nairobi #burundi #kenya #uganda #me #ghana #fighting #Tanzaniayetu #selfie  #zanzibar #Xxxtentacion #BongoFlava

Cute cute!! Katishaaaa!!!! #Repost from @countryboytz For My True Fans. Kibegi Video Imetoka na ina trend kama kirusi mwenye speed ya risasi! Mchungo ni hiiiiviiiiiii!! KIBEGI CHALLENGE au KIBEGI SHORT VIDEO CLIP CHALLENGE!!! Vaa kibegi kisha ingia kitaani kwako na simu yako, Shoot ... Cute cute!! Katishaaaa!!!! #Repost from @countryboytz
For My True Fans. Kibegi Video Imetoka na ina trend kama kirusi mwenye speed ya risasi! Mchungo ni hiiiiviiiiiii!! KIBEGI CHALLENGE au KIBEGI SHORT VIDEO CLIP CHALLENGE!!! Vaa kibegi kisha ingia kitaani kwako na simu yako,
Shoot video clip fupi isiyozidi dakika moja tu ukitembea nakutuonyesha mwendo hatari wakipekee na wakinyama zaidi kisha post insta na #tag #kibegichallenge @yuleboykachi #KibegiShortVideoClipChallenge malizia kwakuni Tag @courtyboytz pia nita repost naku share video yako. Mtu mmoja atakaeshinda nitapata nae siku nzima yakua pamoja, kuanzia roots zangu za asubuhi mpaka night kali, studio time, clubbing with yo Ninja Country Boy na zawadi yakibegi!! SHOW ME SOME LOVE!!! ANZA KUSAMBAZA UPENDO. SHOOT YO VIDEO NOW!! Let the game beggin!! Start!!!! ______________________________________________

#KibegiChallenge #KibegiShortVideoClipChallenge #Love #Music #CoutryBoy #fashion #Swagger #Dab #worldcup2018 #russia2013 #worldcup #blue #jeans #Rwanda #kibegi #Nairobi #burundi #kenya #uganda #me #ghana #fighting #Tanzaniayetu #selfie  #zanzibar #Xxxtentacion #BongoFlava
Read more
ELIMU BIASHARA Friendship Goals. Kuna Mifano hai Mingi ya Kujifunza nayo pale unapobahatika ...
Media Removed
ELIMU BIASHARA Friendship Goals. Kuna Mifano hai Mingi ya Kujifunza nayo pale unapobahatika kukutana nayo. Vijana wengi tunalalamika ni ghali kununua ardhi labda kwakua tunataka kukaa karibu na mjini lakini uwezo hatuna, ila hawa vijana walinifunza mengi sana. Pata picha inakugharimu ... ELIMU BIASHARA

Friendship Goals. Kuna Mifano hai Mingi ya Kujifunza nayo pale unapobahatika kukutana nayo. Vijana wengi tunalalamika ni ghali kununua ardhi labda kwakua tunataka kukaa karibu na mjini lakini uwezo hatuna, ila hawa vijana walinifunza mengi sana. Pata picha inakugharimu milioni sita hadi nane (6m-8m) kumiliki kipande cha ardhi Kerege chenye ukubwa wa mita 30*20, sawa na square meter 600,na havijapimwa.

Wakati huo huo kerege huko huko kuna mzee anauza Heka moja ya shamba kwa 20m au 15m. Kwa mtu mmoja hii hela ni nyingi sana kununua, Ila Je, ni kweli mnashindwa kujiunga vijana wanne, mkachanga milioni nne (4m) kila mmoja zikafika 16m mkanegotiate mkalipia heka moja alafu nyie wenyewe kwa wenyewe mkakatiana mita 35*35? Ambazo ni sawa na sqm 1,225 ambapo hata ghorofa na swiming pool unajenga. Sema sasa waambia wana tukanunue kiwanja Msumi au Vikawe kwa heka uone lile jicho wanakukata 😀😅 watakwambia ni Mbali, ila wanasahau kuwauliza wazazi wao waliosemaga zamani Tegeta Masaiti ni Porini wanalima Korosho na Katani na Tabata ni Mashamba ya Mpunga. .
.

Hiyo picha ni vijana wanne waliomua kufanya hivyo baada ya kupata eneo na lilikua ghali kidogo lakini kubwa, wakachanga wakampa mwenzao mmoja akalinunua, baadae wakagawana na kila mmoja akapata pa kujenga kwa ile ile hela yake ndogo aliyochangia. Faida ya kuwa na marafiki inabidi ifike kwenye kiwango hiki. Wengine tuna ubinafsi na tunaogopa kupitwa na rafiki zetu kiasi kwamba hata ukipata deal ambayo huiwezi upo radhi uiache ipotee wakati una rafiki yako ambae ungemwambia akaifanya na akatengeneza hela ambapo huwez jua labda angeshea faida na wewe au siku nyingine yeye akakupa deal kubwa zaidi ya ile.
#TagFriendsWako #repost #friendshipgoal #friends

By Man Dea
@jifunze_kilimo_na_ufugaji
@shamtech.investment
@mkulima_smart
@amazingconsultants
Read more
Loading...
 #Repost @binti_tanzania (@get_repost) ・・・ Kwanini tunasema mimba za utotoni ifike mwisho? ...
Media Removed
#Repost @binti_tanzania (@get_repost) ・・・ Kwanini tunasema mimba za utotoni ifike mwisho? Kwanini tunahitaji kumlinda mtoto wa kike kufikia malengo? Kwanini yapasa tuchukie Ndoa za Utotoni? Hii yote hutokana na sababu kuu moja kupitia usawa kijinsia nguvu ya mwanamke na mwanaume ... #Repost @binti_tanzania (@get_repost)
・・・
Kwanini tunasema mimba za utotoni ifike mwisho? Kwanini tunahitaji kumlinda mtoto wa kike kufikia malengo? Kwanini yapasa tuchukie Ndoa za Utotoni?
Hii yote hutokana na sababu kuu moja kupitia usawa kijinsia nguvu ya mwanamke na mwanaume ndio nguzo kuu katika maendeleo ya taifa, ni vigumu kujumuisha nguvu moja pekee na kutarajia maendeleo, ni ngumu kusahau mchango mkubwa unaotolewa na wanawake wakati ukweli tunao katika maisha yetu za kila siku!
Binti Tanzania kupitia @youthvision4development.tz tunayo imani kubwa kwa #Binti_Elimu #Binti_Maadili #Binti_Kipato
Read more
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila ...
Media Removed
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival ... Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival #TwenzetuBagamoyo‬
Read more
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila ...
Media Removed
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival ... Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival #TwenzetuBagamoyo‬
Read more
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila ...
Media Removed
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival ... Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival #TwenzetuBagamoyo‬
Read more
Loading...
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila ...
Media Removed
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival ... Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival #TwenzetuBagamoyo‬
Read more
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila ...
Media Removed
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival ... Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival #TwenzetuBagamoyo‬
Read more
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila ...
Media Removed
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival ... Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival #TwenzetuBagamoyo‬
Read more
Loading...
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila ...
Media Removed
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival ... Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival #TwenzetuBagamoyo‬
Read more
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila ...
Media Removed
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival ... Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival #TwenzetuBagamoyo‬
Read more
Mnaonaje wanawake tukikutana siku moja kabla mwaka haujaisha tukabadilishana mawazo tukapeana ...
Media Removed
Mnaonaje wanawake tukikutana siku moja kabla mwaka haujaisha tukabadilishana mawazo tukapeana moyo tukajumuika pamoja tukajengana na kujifunza mawili matatu tukashare changamoto mbali mbali zinazotukabili katika ujasiriamali na maisha yetu ya kila siku END OF YEAR WOMEN EMPOWERMENT ... Mnaonaje wanawake tukikutana siku moja kabla mwaka haujaisha tukabadilishana mawazo tukapeana moyo tukajumuika pamoja tukajengana na kujifunza mawili matatu tukashare changamoto mbali mbali zinazotukabili katika ujasiriamali na maisha yetu ya kila siku END OF YEAR WOMEN EMPOWERMENT DAY .
.
.
Naomba maoni yenu je mko tayari tufanye hii siku iwe ni siku ambayo maisha yako yatabadilika siku ambayo utapata mwanga , na nguvu za kuanza mwaka wa 2019 kwa kujiamini zaidi na kwa kishindo kikubwa zaidi
.
.
.pls tag all the beautiful women , friends , sisters and mothers share this msg and repost lets make 2019 our year as empowered women
Read more
Loading...
 #Repost @madarakanyerere with @get_repost ・・・ The only time I heard Mama Maria insist that we ...
Media Removed
#Repost @madarakanyerere with @get_repost ・・・ The only time I heard Mama Maria insist that we take a photograph together is when she saw me, on this rare occasion, wearing a western suit. For her, a historical event. / Wakati mmoja tu ambapo nimemsikia Mama Maria akisisitiza tupige picha ... #Repost @madarakanyerere with @get_repost
・・・
The only time I heard Mama Maria insist that we take a photograph together is when she saw me, on this rare occasion, wearing a western suit. For her, a historical event. / Wakati mmoja tu ambapo nimemsikia Mama Maria akisisitiza tupige picha pamoja ni siku hii moja aliponiona nimevaa hii suti. Ni nadra kwangu kuvaa hivi. Kwake ilikuwa sawa na tukio la kihistoria. #mwitongo #butiama
Read more
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila ...
Media Removed
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival ... Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival #TwenzetuBagamoyo‬
Read more
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila ...
Media Removed
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival ... Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival #TwenzetuBagamoyo‬
Read more
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila ...
Media Removed
Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival ... Repost @bongofestivaltz ‪ #HappeningNow! #BongoFestival Platform mpya ya kusherehekea Kila Kitu cha Kitanzania na Kinachopatikana #Tanzania Ni Tamasha la Mara Moja kwa Mwaka! Na la siku 2!! Asante sana kwa kila mmoja aliyefika! We look forward to TODAY! And 2019 edition!! #BongoFestival #TwenzetuBagamoyo‬
Read more
Jamani Dreamliner ni yetu sote! Sasa tufuatilie matumizi ya ndege ituletee faida Taifa. Au mnaonaje? #Repost @kwanzatv_ (@get_repost) ・・・ "Ndege hii ni mpya hatukukopa mahali popote, share ya ATCL ni watanzania, wakulima wafanyakazi na wavuvi siku moja watanzania wataelewa" - ... Jamani Dreamliner ni yetu sote! Sasa tufuatilie matumizi ya ndege ituletee faida Taifa. Au mnaonaje?
#Repost @kwanzatv_ (@get_repost)
・・・
"Ndege hii ni mpya hatukukopa mahali popote, share ya ATCL ni watanzania, wakulima wafanyakazi na wavuvi siku moja watanzania wataelewa" - Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.
Follow 👉🏽👉🏽👉🏽 @kwanzatv_ @kwanzatv_
Read more
Repost By abeid_tz: Afya ya roho tour in the super brand radio @cloudsfmtz. We had a very unique interview with the men in the building. I want to tell you guys one thing, the hardship you are facing today are not life sentence, they shall come to pass and it will be well with you. I had a very bad ... Repost By abeid_tz: Afya ya roho tour in the super brand radio @cloudsfmtz. We had a very unique interview with the men in the building. I want to tell you guys one thing, the hardship you are facing today are not life sentence, they shall come to pass and it will be well with you.
I had a very bad condition in the past three years, by that time God was teaching me how life goes in other side of the coin. I didn't loose hope even though , I trusted God regardless the pain and all the challenges. Finally God rose me from the bed, he has healed my wounds and he is now opening my eyes and wiped my tears.
My friend, I encourage you to keep your faith in Jesus. He will never disappoint you. His with you, he will fight for you.
Isaiah 43:2 "When you pass through the waters, I will be with you and when you pass through the rivers, they will not sweep over you, when you walk through the fires you will not be burned, the flames will not set you ablaze" .
I used to listen to other people's radio interviews, now other people listen to my interviews. Glory to God
_____________________________________

Ziara ya afya ya roho kwenye supa brand redio namba moja @cloudsfmtz
Wacha nikwambie kitu mpendwa. Hayo magumu na tabu unazo pitia ni muda kidogo,Iko siku yatakwisha na utakuwa sawa. Miaka mitatu iliyo pita nilikuwa na hali mbaya mno! Mungu alikuwa akinifunza jinsi maisha yalivyo upande wa pili wa shilingi. Hata hivyo sikuwahi kurudi nyuma, nilimuamini sana Mungu na hatimaye alinitoa kitandani, akaniponya vidonda vyote, akanifuta machozi na sasa ananifumbua macho. Nakusihi uendelee kuiweka imani yako kwa Yesu, hato kuacha
Isaya 43:2 "Upitapo ktk maji mengi nitakuwa pamoja nawe, na ktk mito haita kugarikisha, uendapo ktk moto huta teketea, wala mwali wa moto hauta kuunguza"

Nilikuwa nikiwasikia watu wakihojiwa kwenye redio kubwa, leo watu wananisikiliza nikihojiwa kwenye redio kubwa. Utukufu kwa Bwana Yesu. (via #appskottage.com #Grab @AppKottage)
Read more
Chonde!Chonde:Temporary Post.. Jamani,Jamani...<span class="emoji emoji1f62d"></span><span class="emoji emoji1f62d"></span><span class="emoji emoji1f625"></span><span class="emoji emoji1f625"></span><span class="emoji emoji1f64f"></span><span class="emoji emoji1f64f"></span><span class="emoji emoji1f64f"></span><span class="emoji emoji1f64f"></span><span class="emoji emoji1f64f"></span><span class="emoji emoji1f64f"></span><span class="emoji emoji1f64f"></span><span class="emoji emoji1f64f"></span><span class="emoji emoji1f64f"></span><span class="emoji emoji1f64f"></span><span class="emoji emoji1f64f"></span><span class="emoji emoji1f64f"></span><span class="emoji emoji1f64f"></span><span class="emoji emoji1f64f"></span><span class="emoji emoji1f64f"></span><span class="emoji emoji1f64f"></span><span class="emoji emoji1f64f"></span> Najua hayanihusu,Na ...
Media Removed
Chonde!Chonde:Temporary Post.. Jamani,Jamani... Najua hayanihusu,Na huwa Sipendi kuongelea ya Wengine wala kuandika...Lakin mniwie radhi jamani..Kama Mzazi pia nikiwa na watoto tena wa umri kama wa Patty.. Nawaomba Wahusika Wote.Nipo chini ya miguu Yenu, Na ... Chonde!Chonde:Temporary Post.. Jamani,Jamani...😭😭😥😥🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Najua hayanihusu,Na huwa Sipendi kuongelea ya Wengine wala kuandika...Lakin mniwie radhi jamani..Kama Mzazi pia nikiwa na watoto tena wa umri kama wa Patty.. Nawaomba Wahusika Wote.Nipo chini ya miguu Yenu,
Na wote Mlioguswa na Msiba Huu..
Nawaomba Nawaomba..Tafadhali sana.TUMZIKE Mtoto Wetu Wote,Mwana wa Mungu,Malaika Mwenye Vipawa Vya Ajabu..Amebarikiwa Sana,Aliweza kunena Neno La Mungu Ka ufasaha sana Akiwa Mdogo sana.
Alijaaliwa Talents Nyingi Ikiwa pamoja na Upeo mkubwa Wa kufafanua na Kujieleza hata kwenye Vipindi mbali Mbali na hadhara za watu Wazima..
Mtoto wa Kipekee Sana..Ametugusa Wengi sana hasa tuliopo huku kwenye Social Media.
Naomba Ndugu zangu Tuungane Tumpe heshma Anayostahili kwa maziko ya Heshma kama Malaika wa Mungu,na sio kwa Drama na Malumbano Yasiyo Ya na Faida kwake,maana Hamna Wa kumsemea Hapa Duniani..
Sema kwa sisi Believer Tunaamini anatuona Hapo Alipoketi..Na siku Moja Tutakutana Nae..🙏🙏
Kwa hatua zake za mwisho Nilivyoweza kumfuatilia Patty,Atakua amelakiwa na Malaika Mbinguni..
Patty ameteseka Pia kwa kuugua muda mrefu..😭Basi Tumuache apumzike kwa Amani.
Na tumzike kwa Heshma zote..
This nonSense Has to Stop!
Kwa sasa tuseme wote Patt Ni mtoto wa Mungu Na Ni wetu Sote,maana amewagusa kila mtu kwa Nafasi Yake..TUMUACHE APUMZIKE KWA AMANI.
Tuliobaki Tumuenzi kwa Kuishi Mafundisho Yake,
Na Tumuombe atuombee Kwa Mungu Hasa Kifo chema Na sie.🙏
MNISAMEHE SIJUI UKWELI WALA UONGO.
.NA its not the right time Now..
Nawaomba mnaokubaliana na Hili Please Repost and Hashtag #pattymtotowetusote.
#azikwekwaheshma.
Na Tusambaze Upendo kwa Wote.🙏
Otherwise Naomba wahusika wawasiliane nami Kwa Michango ya mazishi.
RIPPatty.😭😥🙏🙏
Read more
Siku moja kabla ya semina ya #SmartMoneyWomen Jiunge sasa ushiriki na @smartmoneyarese, mwandishi ...
Media Removed
Siku moja kabla ya semina ya #SmartMoneyWomen Jiunge sasa ushiriki na @smartmoneyarese, mwandishi wa kitabu maarufu cha #smartmoneywomen kwenye Masterclass itakayokusaidia kujijenga na kujua jinsi ya kuwa huru na mambo ya kifedha! Si ya kukosa! #Repost @smartmoneyarese with @get_repost ・・・ Mambo ... Siku moja kabla ya semina ya #SmartMoneyWomen Jiunge sasa ushiriki na @smartmoneyarese, mwandishi wa kitabu maarufu cha #smartmoneywomen kwenye Masterclass itakayokusaidia kujijenga na kujua jinsi ya kuwa huru na mambo ya kifedha! Si ya kukosa! #Repost @smartmoneyarese with @get_repost
・・・
Mambo Tanzania, kesho ndio kesho !!! mwambie rafiki yako amwambie rafiki yake...ukitaka kushiriki pamoja na mimi tafadhali ingia kwa bio yangu uweze kujisajili,na pia utaweza kulipa mlangoni. Hii si ya kukosa rafiki! Lagos to Tanzania 😊 karibuni sana! #eastafricanbooktour #tanzania🇹🇿 #thesmartmoneywoman #thesmartmoneymovement #panafricangang
Read more
Usiruhusu MAJI yaingie kwenye boti LITAZAMA.... liruhusu kukaa ndani ya maji lakini chunga sana maji yasiingie ndani...... ishi nao, acha wachonge sana juu yako, hawajui NDOTO yako kubwa uliyobeba.... ndo maana watakupigia makelele unapopigana na Ndoto zako.... na hata ukitimiza ... Usiruhusu MAJI yaingie kwenye boti LITAZAMA.... liruhusu kukaa ndani ya maji lakini chunga sana maji yasiingie ndani...... ishi nao, acha wachonge sana juu yako, hawajui NDOTO yako kubwa uliyobeba.... ndo maana watakupigia makelele unapopigana na Ndoto zako.... na hata ukitimiza bado watakukosoa tuu.... usiishi kwa maoni yao.... TAZAMA NDOTO YAKO na imegemee MUNGU pekee....Amen
.
Magufuli Rais wangu songa mbele na Mungu azidi kukupa nguvu ya kutimiza NDOTO kubwa ulizonazo kwa Taifa letu Tanzania... wewe ni miongoni mwa wale wanaokatishwa Tamaa lakini unapambana mpaka kinaeleweka... hakika watu wenye maono makubwa tunaojitambua UNATUPA NGUVU SANA💪💪
Wasiokuelewa watapata tabu sana Muheshimiwa..... Ndo ivo Super Woman nimesema👏👏👏👏👏
.
#Repost from @ericshigongo. Ndoto yangu kwa miaka Mingi ilikuwa siku moja nikitua Dubai, ama JFK, nione alama ya twiga kwenye moja ya ndege zilizopo uwanjani hapo.
Hakika ndoto yangu sasa inakwenda kutimia. Mungu Ibariki Tanzania, lazima tuthubutu, wanaofanikiwa wote sifa yao kubwa ni kuthubutu, namheshimu sana Rais wangu kwa hili.
Read more
 #Repost @jifunze_kilimo_na_ufugaji (@get_repost) ・・・ KWA NINI TUNAFELI KWENYE KILIMO? Wahamasishaji ...
Media Removed
#Repost @jifunze_kilimo_na_ufugaji (@get_repost) ・・・ KWA NINI TUNAFELI KWENYE KILIMO? Wahamasishaji wengi wa kilimo cha biashara tumekua tukikipigia chapuo kilimo bila ya kuwadokeza watu vitu muhimu ambavyo vitawasaidia kuepuka kupata hasara. Baadhi ya Mambo yanayoweza ... #Repost @jifunze_kilimo_na_ufugaji (@get_repost)
・・・
KWA NINI TUNAFELI KWENYE KILIMO?

Wahamasishaji wengi wa kilimo cha biashara tumekua tukikipigia chapuo kilimo bila ya kuwadokeza watu vitu muhimu ambavyo vitawasaidia kuepuka kupata hasara.

Baadhi ya Mambo yanayoweza kusababisha Hasara ni kama yafuatayo;

1.UFAHAMU DUNI WA ZAO HUSIKA
Watu hulima pasipo kujua namna ya kulima,changamoto za wadudu na utatuzi wake.

SULUHISHO; Tafuta ufahamu mapema wa mbegu na jinsi ya kulima ili usije ibiwa wala kudanganywa na wasimamizi.

2.UFAHAMU DUNI WA SOKO
Hapa wengi hukurupuka kwa kuangalia bei za mwaka jana.Utakuta mwaka jana ulisikia tikiti sokoni liliuzwa hadi elfu 6 basi unadhani na mwaka huu mambo yatakua vile vile.Na wewe unakurupuka kulima tikiti bila kufanya research ya kutosha.

SULUHISHO;Fanya utafiti wa kutosha wa soko na usitegemee aina moja ya soko.

3.USIMAMIZI MBOVU
Hakikisha una usimamizi imara ambao at least awe kila siku shambani na awe na uwezo wa kukagua maendeleo ya shamba na uwezo wa kutatua changamoto.

SULUHISHO;Msimamizi awe na elimu ya kilimo au uzoefu wa zao husika

4.KILIMO CHA WHATSAPP
Wengi wanajiingiza kwny kilimo ila wamekua wavivu kutembelea mashamba na kuishia kutumiwa picha za maendeleo ya mazao kwa whatsap.Hii imewagharimu wengi na kupata hasara kubwa,maana wakati mwingine wasimamizi hutuma picha za mashamba ya watu wengine yenye hali nzuri.

SULUHISHO;Kama huna muda wa kutosha na huna msimamizi atakayefanya kazi kwa bidii na weledi ni heri ukahairisha kulima

Cc; @jifunze_kilimo_na_ufugaji @shamtech.investment
@kilimo_mubashara
Read more
 #Repost @hope_riser_organization (@get_repost) ・・・ STORI FUPI YA KUSIKITISHA YA MSICHANA ...
Media Removed
#Repost @hope_riser_organization (@get_repost) ・・・ STORI FUPI YA KUSIKITISHA YA MSICHANA "IMANI" ____________________________________________ "Napenda kusoma ili niwe na mawazo mapana. Hakuna ambacho sikupenda kusoma. Nilikuwa na ndoto ya kumaliza shule niende chuo nihitimu, ... #Repost @hope_riser_organization (@get_repost)
・・・
STORI FUPI YA KUSIKITISHA YA MSICHANA "IMANI"
____________________________________________
"Napenda kusoma ili niwe na mawazo mapana. Hakuna ambacho sikupenda kusoma. Nilikuwa na ndoto ya kumaliza shule niende chuo nihitimu, na nifanye kazi
kama muhasibu." ========================================
Kama ilivyo kwa vijana mamilioni wa Tanzania, Imani, mwenye umri wa miaka 20, kutoka
Mwanza, mkoa wa Kaskazini Magharibi uliyopakana na Ziwa Victoria,
alitaka kusoma kadri awezavyo ili aweze kuhitimu, kupata kazi, na aweze kujikimu na kusaidia familia yake. Kuanzia miaka 14, wakati alipojiunga na sekondari, alitembea zaidi ya saa moja na nusu kila siku asubuhi kufika shule: "Nilikua nafika shule nikiwa nimechoka sana, nikaanza
kuchelewa kila wakati. Ninapofika nimechelewa
naadhibiwa." ==============================
Matarajio ya Imani yalibadilika alipofikia umri wa miaka 16.
Alinyanyaswa kingono na mwalimu wake wa mafunzo ya ziada, ambaye alikuwa mwalimu wa shule ya sekondari ambaye wazazi wake walimwajiri ili kumfundisha siku za mapumziko mwishoni mwa wiki. Imani alipogundua kwamba ana mimba, alimtaarifu mwalimu
wake. Mwalimu akatokomea pasipo julikana.
Muuguzi aliwapima mimba wasichana wote shuleni, ila Imani aliweza kukwepa kwenda shule nyakati zote mbili ambazo muuguzi alifanya
uchunguzi huo. Mwezi wa tatu katika ujauzito wake, viongozi wa
shule waligundua kwamba ni mjamzito. “Ndoto yangu ilisambaratika,” aliwambia shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Human
Rights Watch. “Nilifukuzwa shule, na pia nilifukuzwa kutoka nyumbani
nilipokua naishi [kwa dada yangu]"
___________________________________
***********End of Story ********** Jamii yetu inawajibu wa milele wa kuhakikisha TUNAWALINDA na KUWATETEA Wasichana Wanafunzi dhidi ya mazingira magumu na hatarishi yanayowakabili ili waweze KUFIKIA NDOTO ZAO KUPITIA ELIMU.
#Jamii_Ni_Sisi
#Tuwafanye_Wafikie
#MakeThemAchieve
©HumanRightsWatch2016
Read more
My super woman @munalove100 hongera sana kwa kazi nzuri Malipo yako utayakuta Mbinguni . . #Repost from @munalove100. Huyu Binti Anaitwa Frola, Anishi Bukumbi Mwanza. Huyu Binti Ana Matatizo ya akili, Na Ana Mtoto ambae alimpata kwa Kubakwa Na Kijana ambae ni mtoto wa Mtu mwenye ... My super woman @munalove100 hongera sana kwa kazi nzuri👏👏👏 Malipo yako utayakuta Mbinguni 🙏🙏🙏
.
.
#Repost from @munalove100. Huyu Binti Anaitwa Frola, Anishi Bukumbi Mwanza. Huyu Binti Ana Matatizo ya akili, Na Ana Mtoto ambae alimpata kwa Kubakwa Na Kijana ambae ni mtoto wa Mtu mwenye Mali Kidogo kijijini Hapo, Na Katika Kijiji choote huyo binti Alikua ana mazoea na huyo kijana tu kati ya vijana woote wa kijijini hapo, kwa sababu Frola Alikua hana tabia ya kuongea, yaani unaambiwa inaweza kupita siku nzima hujasikia sauti yake, sasa siku moja huyo kijana wa hapo kijijini Alimkamata binti huyo na kumbaka, ilichukua muda sana mama yake Frola kutambua kwamba Flora ni mjamzito, hadi siku alipougua sana na kupelekwa hospital ndo kugundulika ana mimba, Alipoulizwa ni ya nani hakua anasema ila siku zilivozidi kwenda akawa anataja jina la huyo kijana wa hapo kijijini, akaja akajifungua akazaa mtoto wa kike huyo anaeoneakana hapo kwenye Hyo clip, ila cha ajabu huyo flora hampendi mtoto wake, yaaani ana mchukia sana, Lakini Mungu wa ajabu kamsaidia huyo mtoto wake sasa hivi  yupo Darasa la Pili. mama Yake na Flora yeye ni HIV POSTIVE ila baba ake na flora Alisha faliki Muda mrefu. Mimi kama mwanamke nimeumia sana, nikawaza hivi mimi najiona nina matatizo kumbe kuna mtu ana matatizo mala elfu ya niliyonayo mimi, Jiulize je wewe umempa nini Mungu kwa huo uhai ulionao ambao hulipii, Hiyo milo mitatu kwa siku, hizo shule nzuri, hayo majumba mazuri, Tujifunze kushukuru na Kumwambia Mungu ahsante kwa kila jambo gum unalopitia Huwezi jua kakupa hilo na amekuepushia lipi, Maana Mungu Anasema "jaribu halimpati mtu ila lile lililo ndani ya uwezo wako, na kila jaribu lina mlango wa kutokea" Kwa Atakaeguswa Kumsaidia au kumchangia kwa chochote kile kama Godoro, net, chakula, mahitaji ya shule, shuka n.k. nicheki Tuungane Kwa pamoja Kuwasaidia. +255 781184581
S/O @jembenijembe @la_kairo_hotel @jembefm @jb_belmont_mwanza 🎬 by @iam_josephclement
Read more
 #Repost @morizellajuice (@get_repost) ・・・ MORIZELLA Juice haijatokana na Matunda ya Kusagwa ...
Media Removed
#Repost @morizellajuice (@get_repost) ・・・ MORIZELLA Juice haijatokana na Matunda ya Kusagwa Bali imetokana na Mboga Aslia ya Mlonge na Rosella zenye kiwango kikubwa cha Virutubishi kuliko matunda na mboga nyinginezo. Kunywa chupa moja ya MORIZELLA juice kila siku kuimarisha ... #Repost @morizellajuice (@get_repost)
・・・
MORIZELLA Juice haijatokana na Matunda ya Kusagwa Bali imetokana na Mboga Aslia ya Mlonge na Rosella zenye kiwango kikubwa cha Virutubishi kuliko matunda na mboga nyinginezo.

Kunywa chupa moja ya MORIZELLA juice kila siku kuimarisha na kuboresha Afya yako.pita katika supermarket za Choppies, Imalaseko ,TSN. Unde sea breeze gym na pia Katika maduka ya Dawa utaipata MORIZELLA juice kwa bei ya sh 3000.
Read more
Mnaonaje wanawake tukikutana siku moja kabla mwaka haujaisha tukabadilishana mawazo tukapeana ...
Media Removed
Mnaonaje wanawake tukikutana siku moja kabla mwaka haujaisha tukabadilishana mawazo tukapeana moyo tukajumuika pamoja tukajengana na kujifunza mawili matatu tukashare changamoto mbali mbali zinazotukabili katika ujasiriamali na maisha yetu ya kila siku END OF YEAR WOMEN EMPOWERMENT ... Mnaonaje wanawake tukikutana siku moja kabla mwaka haujaisha tukabadilishana mawazo tukapeana moyo tukajumuika pamoja tukajengana na kujifunza mawili matatu tukashare changamoto mbali mbali zinazotukabili katika ujasiriamali na maisha yetu ya kila siku END OF YEAR WOMEN EMPOWERMENT DAY .
.
.
Naomba maoni yenu je mko tayari tufanye hii siku iwe ni siku ambayo maisha yako yatabadilika siku ambayo utapata mwanga , na nguvu za kuanza mwaka wa 2019 kwa kujiamini zaidi na kwa kishindo kikubwa zaidi
.
.
.pls tag all the beautiful women , friends , sisters and mothers share this msg and repost lets make 2019 our year as empowered women
Read more
 #Repost @misosibomba1 ・・・ MAANDAZI/MAAMRI MATAMU MNO YAMEKOLEA NAZI HILIKI SUKARI NA VANILLA ...
Media Removed
#Repost @misosibomba1 ・・・ MAANDAZI/MAAMRI MATAMU MNO YAMEKOLEA NAZI HILIKI SUKARI NA VANILLA UKIYAONJA UTAHITAJI KILA SIKU BEI YAKE MOJA 400/= TU NAPOKEA ORDER YA EID #Repost @misosibomba1
・・・
MAANDAZI/MAAMRI MATAMU MNO YAMEKOLEA NAZI HILIKI SUKARI NA VANILLA UKIYAONJA UTAHITAJI KILA SIKU
BEI YAKE MOJA 400/= TU
NAPOKEA ORDER YA EID
Loading...