Siku ya kama lulu

Loading...


Unique profiles
3
Most used tags
Total likes
0
Top locations

Average media age
575.6 days
to ratio
2
Msikie @amber___lulu anakwambia, couple ya @juma_jux na @vanessamdee ndiyo couple anayoikubali ...
Media Removed
Msikie @amber___lulu anakwambia, couple ya @juma_jux na @vanessamdee ndiyo couple anayoikubali kichizi, yani anakwambia haoni couple ambayo ipo focused kama ya hawa jamaa, na yeye anatamani kumpata mtu ambaye watakuwa kama kina jux, aliulizwa kuhusu mapenzi yake na Aslay akasema ... Msikie @amber___lulu anakwambia, couple ya @juma_jux na @vanessamdee ndiyo couple anayoikubali kichizi, yani anakwambia haoni couple ambayo ipo focused kama ya hawa jamaa, na yeye anatamani kumpata mtu ambaye watakuwa kama kina jux, aliulizwa kuhusu mapenzi yake na Aslay akasema hafikrii kurudiana naye kabisa.

Yote hayo aliyasema kwenye #ThePlaylist jana, sasa ili uswe wa kwanza kusikiliza interviews kali za mastaa wako unao wapenda tune in Timesfm kila siku za wiki kuanzia saa 10 hadi 12 jioni.

#MtaaKwaMtaa #Hatukuachi #MgusoWaJamii
Read more
Loading...
'Lulu' aubeba msiba wa mtoto wa Muna. Muigizaji wa filamu Elizabeth Michael aka 'Lulu' ambaye bado anaendelea kutumikia kifungo chache cha nje, leo amekuwa bega kwa bega nyumbani kwa Muna kwaajili ya maandalizi ya mtoto Patrick. Mtoto huyo ambaye alikuwa anachipukia kwenye sanaa amefariki ... 'Lulu' aubeba msiba wa mtoto wa Muna.
Muigizaji wa filamu Elizabeth Michael aka 'Lulu' ambaye bado anaendelea kutumikia kifungo chache cha nje, leo amekuwa bega kwa bega nyumbani kwa Muna kwaajili ya maandalizi ya mtoto Patrick.
Mtoto huyo ambaye alikuwa anachipukia kwenye sanaa amefariki dunia siku jana huko nchini Kenya.
Bongo5 imezungumza na mmoja kati ya wanafamilia wa Muna na kueleza kwamba Lulu yupo hapo kama 'family friends' na amekabidhiwa majukumu ya mazishi yanayoendelea kwa nyumbani.
Pia mwanafamilia huyo alisema marehemu Patrick alikuwa karibu na mdogo wake Lulu na mara nyingi amekuwa akicheza pamoja.
Read more
Tarehe kama ya leo nakumbuka ilikuwa ijumaa kuu mwaka 2013 ndo ulituacha katika wakati mgumu sana, ...
Media Removed
Tarehe kama ya leo nakumbuka ilikuwa ijumaa kuu mwaka 2013 ndo ulituacha katika wakati mgumu sana, Kuna vitu vingi nilikuwa nahitaji kutoka kwako lakini ndo basi tena na majukumu uliyoniachia ndo yanazidi nifanya nipambane kila siku ili familia iwe bora zaidi ya pale ulipoiacha. Mimi, ... Tarehe kama ya leo nakumbuka ilikuwa ijumaa kuu mwaka 2013 ndo ulituacha katika wakati mgumu sana, Kuna vitu vingi nilikuwa nahitaji kutoka kwako lakini ndo basi tena na majukumu uliyoniachia ndo yanazidi nifanya nipambane kila siku ili familia iwe bora zaidi ya pale ulipoiacha. Mimi, Mom, Teddy, Felick, Comfort & Lulu daima tutakumbuka. Mbaya zaidi hujaweza kumuona mjukuu wako , nakumbuka vitu vingi sana lakini Jina la Bwana liimidiwe Amen. R.I.P DAD
Read more
Loading...