Tayari na barabara

Loading...


Unique profiles
8
Most used tags
Total likes
0
Top locations
Mbezi Kwa Msuguri, Kunduchi, Dar Es Salaam, Tanzania, Goba
Average media age
576.5 days
to ratio
1.3
*Tunaendelea Overtake kwa haraka, sehemu ambayo iko salama, na ni vizuri gari unayoi-overtake ...
Media Removed
*Tunaendelea Overtake kwa haraka, sehemu ambayo iko salama, na ni vizuri gari unayoi-overtake dereva wake ajue unamu-overtake. Unaweza kumpigia honi kidogo ya kuibia kama kuomba - usipige kwa nguvu ukamuudhi. Epuka kuovertake sehemu ya barabara yenye mashimo, maana dereva wa mbele ... *Tunaendelea

Overtake kwa haraka, sehemu ambayo iko salama, na ni vizuri gari unayoi-overtake dereva wake ajue unamu-overtake. Unaweza kumpigia honi kidogo ya kuibia kama kuomba - usipige kwa nguvu ukamuudhi. Epuka kuovertake sehemu ya barabara yenye mashimo, maana dereva wa mbele anaweza kurudi upande wako ili akwepe shimo wakati tayari unamu-overtake Siri moja ya ku-overtake salama ni uvumilivu - overtake nzuri haitaki haraka.

Na pia kosa linaloua watu wengi sana ni ku-overtake kwa kukisia kwamba hakutakuwa na gari inayokuja upande wa pili zile sehemu ambazo huoni vizuri mbele. Hata kama barabara haina magari mengi usithubutu kukisia kwamba hakutakuwa na gari (gambling overtake). Na pia katika barabara kuu kuna suala la uchovu - fatigue. Hili ni jambo jingine linaua sana watu wasio na uzoefu wa kuwa katika barabara kuu. Ni mbaya hata zaidi ikiwa utakaposimama mahali kwa chakula ukanywa bia - hata moja tu, kwa sababu itakuletea sana usingizi. Epuka kula vyakula vizito kama ugali na maharage, au kula hadi ukashiba sana! Ukisikia usingizi simama upumpzike, toka ndani ya gari, tembea kidogo, kabla ya kuendelea na safari. Kama ikibidi tumia Redbull (sio zaidi ya mbili) Na jambo jingine muhimu sana la kukumbuka ni kwamba ukiingia barabara kuu, ukaendesha kwa muda fulani, akili yako inazoea spidi kali kiasi kwamba huoni tena kama unaenda spidi kali. Unaweza ukawa unaenda 140km/h ukaona kama unaenda 80km/hr. Hili huwa mara nyingi linasababisha kuacha njia na kupinduka, au kuingia kona ukiwa na spidi kubwa na gari kupinduka. Nadhani umesikia sana ajali zinazosemwa zilitokea kwa sababu dereva alishindwa kumiliki gari - ni kwa sababu akilini dereva aliona haendi spidi.

Na pia jambo jingine muhimu sana kukumbuka ni kwamba, unapoenda safari yoyote ya mbali ambayo utaendesha gari mfululizo kwa zaidi ya masaa manne, au kwa spidi zaidi ya 100km/hr, hakikisha tairi zako hazina umri zaidi ya miaka mitano, la sivyo utapata basti hata kama tairi inaonekana bado mpya kwa
kuitazama. Tairi ikizidi miaka mitano haifai kusafiria safari ya mbali, japo unaweza ukaendelea kuitumia kwa safari za mijini.

Neno la mwisho ukiwa barabarani kua mvumilivu hata kama una haraka kiasi gani.
Read more
Loading...
UKARABATI MIUNDO MBINU YA BARABARA VUNJO WAANZA,CHANGAMOTO YA MIAMBA KUONGEZA GHARAMA ZA MATENGENEZO. Na ...
Media Removed
UKARABATI MIUNDO MBINU YA BARABARA VUNJO WAANZA,CHANGAMOTO YA MIAMBA KUONGEZA GHARAMA ZA MATENGENEZO. Na @dixonbusagaga ,Moshi. TAASISI ya Maendeleo ya jimbo la Vunjo(VDF) imesema gharama zilizotengwa awali kwa ajili ya ukarabati wa Km 272.8 za barabara katika vijiji vyote vya ... UKARABATI MIUNDO MBINU YA BARABARA VUNJO WAANZA,CHANGAMOTO YA MIAMBA KUONGEZA GHARAMA ZA MATENGENEZO.

Na @dixonbusagaga ,Moshi.

TAASISI ya Maendeleo ya jimbo la Vunjo(VDF) imesema gharama zilizotengwa awali kwa ajili ya ukarabati wa Km 272.8 za barabara katika vijiji vyote vya jimbo hilo huenda zikaongezeka kutokana na kuwepo kwa miamba katika maeneo ambayo yanahitaji upanuzi.

Katibu wa taasisi hiyo,James Mbatia amesema ikiwa imengia wiki ya tatu tangu kuanza kwa ukarabati kwa baadhi ya maeneo katika barabara hizo tayari wamekutana na changamoto ya uwepo wa miamba ambayo imelazimika kuvunjwa kwanza . “Tulipanga hii kazi kutumia miezi sita kuimaliza lakini sasa inaweza kuchukua hadi mwaka mmoja kutokana na changamoto ambazo zimeanza kujitokeza hizi za kukutana na miamba na wakati mwingine hali ya hewa”alisema Mbatia.

Mbatia ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Vunjo alisema awali walipanga kutumia kiasi cha Sh Bil 7.29 kukamilisha kazi hizo lakini kwa namna shughuli inavyoendelea huenda gharama ikazidi huku akiendelea kutoa wito kwa wadau kuendelea kuchangia. “Hadi sasa tunashukuru kazi inaendelea vizuri tukishirikiana nawenzetu wa TARURA,TANESCO na tasisi nyingine ,lakini kipekee niombe serikali ione umuhimu wa kusaidia katika kutatua changamoto hii ya barabara kwa wakazi hawa wa jimbo la Vunjo”alisema Mbatia.

Kutokana na kuendelea kwa shughuli ya ukarabati wa barabara hizo tayari wananchi katika vijiji vya Shira na Mshiri vilivyopo katika jimbo la Vunjo wameanza kunufaika na mradi huo unaotekelezwa na Taasisi ya Maendeleo ya jimbo la Vunjo (VDF).
Shughuli ya upanuzi wa barabara katika kijiji cha Mshiri,Marangu ikiendelea kwa uondoaji wa miti iliyo kando ya barabara ya awali sambamba na uondohaji wa Miundo mbinu ya umeme ili kupisha shughuli za upanuzi.
.
#CloudsDigitalUpdates
Read more
Tuna mradi wa kutanua barabara ya shekilango kuwa nne,na tayari upembuzi yakinifu umeanza na fedha ...
Media Removed
Tuna mradi wa kutanua barabara ya shekilango kuwa nne,na tayari upembuzi yakinifu umeanza na fedha zipo tunataka barabara za Kinondoni zipitike ili watu waweze kufanya shughuli zao pasipo kukwama bila kusahau barabara ile ya Akachube ambayo ni sugu lakini tutaiweza na itapitika "Dc ... Tuna mradi wa kutanua barabara ya shekilango kuwa nne,na tayari upembuzi yakinifu umeanza na fedha zipo tunataka barabara za Kinondoni zipitike ili watu waweze kufanya shughuli zao pasipo kukwama bila kusahau barabara ile ya Akachube ambayo ni sugu lakini tutaiweza na itapitika "Dc Chongolo - Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni akizungumza mapema leo kupitia #Clouds360
Read more
Najaribu kushare kidogo maisha yangu ya nyuma na ww labda unaweza kujifunza kitu . Yalikuwa ni maamuzi ya haraka sana, jasho likanitoka , mkojo ulinibana... ukweli ni kwamba nilikuwa tayari kwa matokeo yoyote.. kwenye maisha yangu nimewahi kupima hii ni mara ya pili lakini kwakuwa ... Najaribu kushare kidogo maisha yangu ya nyuma na ww labda unaweza kujifunza kitu 👇👇
.

Yalikuwa ni maamuzi ya haraka sana, jasho likanitoka 😃😃 , mkojo ulinibana... ukweli ni kwamba nilikuwa tayari kwa matokeo yoyote.. kwenye maisha yangu nimewahi kupima hii ni mara ya pili lakini kwakuwa ilipita muda sana ikanipa woga...... Ntarudi kupima tena kwa muda ambao wataramu wanashauri. .
Niwahakikishie tu ingekuwa kinyume ningewawekea hapa pia majibu na nisingejutia.
.
( NYUMA KIDOGO 😢😢) Nimeanza Ligi mapema sana yani nikiwa darasa la sita kuelekea la saba, wazazi walipotengana nikapoteza kabisa mwenendo wangu wa maisha, kutoka kuwa mtumishi kanisani kuingia mtaani kama mnavyojua maisha ya TEMEKE na the street niliyozaliwa ndio (TMK OG💪💪 ) sio hii ya wasanii
Nikisema Mtoni kwa kindande wanangu wanaelewa barabara inayounganisha Tandika, mtoni, mtongani, kichangani, kwaazizi ally na sokoine 💪.
.
Hapo kati sasa doooh #braintrustacademy #veta #jitegemee mpaka form 4 ilikuwa noma sana wanaonifahamu #TEMEKE enzi zile ilikuwa Msami star demu gani ntakosa, nimeshiriki starehe nyingi kwenye umri mdogo sana.
.
#wizi #ugomvi #pombe #bangi #unga 👈 Nilijaribu #ngono ZOTE unazojua ww duniani kasoro mchezo wao ule vijana wenye tamaa n.k.
Idadi ya wanawake niliyowahi kuwa nao ni kubwa mnooooooo sijui nisemaje. .
.

SIO SIFA USIJARIBU KABISA 👆 .
Nimejifunza mengi sana mpaka leo... rafiki zangu wa zamani @petitman_wakuache 👈👈 sema jamaa ww nawe 🙌 @matimaisha 👈🙌😂💣 @eddnho @dazface_jericho @chris_mziwanda @king_dasco_ @musa_pizzo @lavister_bby @neymwaaaaaah @official_fettyonce #Gula #capten #kipa rafiki zangu mnajua tuliyoyafanya.... .
Niliingia zaidi kwenye entertainment industry na kufanya serious huku baada ya moja ya rafiki yetu kufa kwa kupigwa baada ya kuiba, hii ikanipa woga ... 2007 mpaka 2008 ndio nilipenda sanaa na nikawa serious.. nyuma ya hapo nilikuwa nafanya but ilikuwa kwa sababu najua tu kucheza...
. .
Btw leo nimebadilika sana mazee.. mungu anisimamie kila siku 🙏. .
Nimejaribu kueleza kwa ufupi ntakuwekea story yote YouTube ikiwa kwenye picha mwendo Utaelewa na utajifunza zaidi.
.

Badilika kijana, hayo unayofanya leo kuna siku utajutia
Read more
APPARTMENT ZINAUZWA ZIKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-MBEZI KWA MSUGURI ______________ KARIBU NA SHULE YA ACADEMY ST. ANNE _____________________ UMBALI KM 1.5 TOKA BARABARA KUU YA LAMI ______________ UKUBWA WA KIWANJA NI-MITA 20/25 _____________________ NYARAKA ZA UMILIKI ... APPARTMENT ZINAUZWA
ZIKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI KWA MSUGURI
______________
KARIBU NA SHULE YA ACADEMY ST. ANNE
_____________________
UMBALI KM 1.5 TOKA BARABARA KUU YA LAMI
______________
UKUBWA WA KIWANJA NI-MITA 20/25
_____________________
NYARAKA ZA UMILIKI ZOTE ZINA-MKATABA MMOJA WA MAUZIANO TOKA SERIKALI YA MTAA
_________________
ZIKO APPART 2 KTK ENEO 1
______________________
ZOTE ZINAFANANA ZA KIBIASHARA
_____________
ZA KIFAMILIA @1 INA:-
Vyumba viwili vikubwa vya kulala kimojawapo ni #Master #Dinning #Sebule kubwa #Jiko
#Choo/ #Bafu vya ndani vya wanafamilia
_______________________
KUHUSU MIUNDOMBINU YAKE:-
#Barabara imechongwa vizuri inapitika nyakati zote
#Umeme x #Maji vyote vipo nje ubavuni mwa nyumba ni vya kuvutia ndani tuu
________________________
#NB/:-NYUMBA ZIMEJENGWA KISASA AMBAPO ZIMEBAKISHA FINISHING ZA NDANI NA NJE AS MUONAVYO KTK PICHA INGAWA FENCE IMEJENGWA TAYARI PANDE 3 IMEBAKIA MBELE KOZI (4-5)
___________________
BEI ZINAUZWA KWA PAMOJA TSHS MIL 70
_________________
ASSET NZURI KIBIASHARA
___________
KWA MAWASILIANO PIGA:-
+255-684808232
+255-768914118
___________________
KWA #MATANGAZO + #PROMO ZA KIBIASHARA
WhatsApp no +255-718936416
_________
Read more
Dar es Salaam, miaka ya karibuni. . . Jua lilikuwa njiani kukomaa. Sauti za magari zilinguruma ...
Media Removed
Dar es Salaam, miaka ya karibuni. . . Jua lilikuwa njiani kukomaa. Sauti za magari zilinguruma zikijaza pande zote nane za jiji la Dar – jiji karimu kwa joto na karaha za usafiri. . . Wakati ikiwa ni saa tano tu iliyo njiani kuitafuta saa sita iwe mchana, tayari maeneo ya Mbezi beach mpaka ... Dar es Salaam, miaka ya karibuni.
.
.
Jua lilikuwa njiani kukomaa. Sauti za magari zilinguruma zikijaza pande zote nane za jiji la Dar – jiji karimu kwa joto na karaha za usafiri. .
.
Wakati ikiwa ni saa tano tu iliyo njiani kuitafuta saa sita iwe mchana, tayari maeneo ya Mbezi beach mpaka Mwenge palishatapakaa foleni ya kushiba ikisababishwa na ajali mbaya iliyotokea maeneo ya Kawe darajani kati ya magari manne binafsi na bodaboda.
.
.
Kutokana na ukubwa wa foleni hiyo isiyoleta matumaini ya kusonga, watu wengi wakashuka kwenye magari yao binafsi na kuketi nje ama basi watembee kupunguza uchovu. Abiria wengi wa madaladala nao wasiwe nyuma, wakaradhi washuke kutembea ama kunyoosha viungo vyao; hali hiyo ikapelekea barabara kufurika watu kana kwamba kuna maandamano ya kisiasa.
.
.
Katika msururu huo wa magari, binafsi na daladala, yakiwa yamejipanga kutengeneza umbo la nyoka mkubwa, miongoni mwa daladala mojawapo la Mwenge-Tegeta lililokuwepo maeneo ya Makonde, upande wa kushoto dirishani aliketi mwanadada mmoja mweupe.
.
.
Alikuwa mwembamba mno kwa umbo akibarikiwa uso mrefu wenye paji kubwa, macho rangi ya kahawia, mdomo mweusi na nywele ndefu nyeusi ti ila zilizonyimwa taratibu ya kuvutia.
.
.
Msichana huyo alikuwa anatizama nje kupitia dirishani macho yake yakionyesha ametekwa kitafakuri. Mara zingine alitikisa kichwa chake mdomo ukionekana unateta jambo ambalo halikupata kusikika na mtu mwingine yeyote ndani ama nje ya gari.
Read more
Loading...
Tukikwambia ubasababu 1000 za kutuamini na sisi tunasababu 1000000 za kukuhudumia tunamaanisha OFFA ...
Media Removed
Tukikwambia ubasababu 1000 za kutuamini na sisi tunasababu 1000000 za kukuhudumia tunamaanisha OFFA YETU BADO INAENDELEA CHANGAMKIA KABLA HAIJAKWISHA !! MAKI GENERAL TRADER ni kampuni inayojihusisha na uuzaji wa viwanja kwa malipo ya kidogo kidogo Kwa sasa tuna mradi wa viwanja ... Tukikwambia ubasababu 1000 za kutuamini na sisi tunasababu 1000000 za kukuhudumia tunamaanisha

OFFA YETU BADO INAENDELEA CHANGAMKIA KABLA HAIJAKWISHA !! MAKI GENERAL TRADER ni kampuni inayojihusisha na uuzaji wa viwanja kwa malipo ya kidogo kidogo

Kwa sasa tuna mradi wa viwanja uliyopo wilaya ya chalinze eneo linaloitwa PINGO mbele ya mizani mipya ya VIGWAZA kituo kinaitwa (PINGO STEND) viwanja vipo kilometer 5 kutoka barabara kuu ya Morogoro (MOROGORO ROAD)

Barabara iendayo site imechongwa yaani gari inafika hadi site umeme na maji pia umeshafika na kilometer mbili tayari makazi ya watu

Viwanja vyetu vipo katika 800sqm (40*20)
Bei ni 1,800,000 utalipa kwa miezi ishirini.
Kila mwezi utalipa 90,000 hii inaingia gharama zote za upimaji na kupatiwa hati miliki (title deed)

600sqm (30*20)
Bei ni 1,500,000 utalipia kwa miezi ishirini

Kila mwezi utalipia 75,000 hii inaingia gharama zote za upimaji na kupatiwa hati miliki (title deed)

NOTE:VIWANJA VYETU VINA RAMANI YA MIPANGO MIJI (TOWN PLAN)
OFISI ZIPO MNAZI MMOJA NYUMA YA JENGO LA USHIRIKA KWA MAWASILIANO PIGA NUMBER
0655-647170
0683-076163
0626-687366
KARIBUNI WOTE KABLA OFFA HAIJAKWISHAAA UKIUPATA UJUMBE HUU MWAMBIE NA MWENZIOO
Read more
APPARTMENT ZINAUZWA ZIKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-MBEZI KWA MSUGURI ______________ KARIBU NA SHULE YA ACADEMY ST. ANNE _____________________ UMBALI KM 1.5 TOKA BARABARA KUU YA LAMI ______________ UKUBWA WA KIWANJA NI-MITA 20/25 _____________________ NYARAKA ZA UMILIKI ... APPARTMENT ZINAUZWA
ZIKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI KWA MSUGURI
______________
KARIBU NA SHULE YA ACADEMY ST. ANNE
_____________________
UMBALI KM 1.5 TOKA BARABARA KUU YA LAMI
______________
UKUBWA WA KIWANJA NI-MITA 20/25
_____________________
NYARAKA ZA UMILIKI ZOTE ZINA-MKATABA MMOJA WA MAUZIANO TOKA SERIKALI YA MTAA
_________________
ZIKO APPART 2 KTK ENEO 1
______________________
ZOTE ZINAFANANA ZA KIBIASHARA
_____________
ZA KIFAMILIA @1 INA:-
Vyumba viwili vikubwa vya kulala kimojawapo ni #Master #Dinning #Sebule kubwa #Jiko
#Choo/ #Bafu vya ndani vya wanafamilia
_______________________
KUHUSU MIUNDOMBINU YAKE:-
#Barabara imechongwa vizuri inapitika nyakati zote
#Umeme x #Maji vyote vipo nje ubavuni mwa nyumba ni vya kuvutia ndani tuu
________________________
#NB/:-NYUMBA ZIMEJENGWA KISASA AMBAPO ZIMEBAKISHA FINISHING ZA NDANI NA NJE AS MUONAVYO KTK PICHA INGAWA FENCE IMEJENGWA TAYARI PANDE 3 IMEBAKIA MBELE KOZI (4-5)
___________________
BEI ZINAUZWA KWA PAMOJA TSHS MIL 70
_________________
ASSET NZURI KIBIASHARA
___________
KWA MAWASILIANO PIGA:-
+255-684808232
+255-768914118
___________________
KWA #MATANGAZO + #PROMO ZA KIBIASHARA
WhatsApp no +255-718936416
_________
Read more
Loading...
APPARTMENT ZINAUZWA ZIKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-MBEZI KWA MSUGURI ______________ KARIBU NA SHULE YA ACADEMY ST. ANNE _____________________ UMBALI KM 1.5 TOKA BARABARA KUU YA LAMI ______________ UKUBWA WA KIWANJA NI-MITA 20/25 _____________________ NYARAKA ZA UMILIKI ... APPARTMENT ZINAUZWA
ZIKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI KWA MSUGURI
______________
KARIBU NA SHULE YA ACADEMY ST. ANNE
_____________________
UMBALI KM 1.5 TOKA BARABARA KUU YA LAMI
______________
UKUBWA WA KIWANJA NI-MITA 20/25
_____________________
NYARAKA ZA UMILIKI ZOTE ZINA-MKATABA MMOJA WA MAUZIANO TOKA SERIKALI YA MTAA
_________________
ZIKO APPART 2 KTK ENEO 1
______________________
ZOTE ZINAFANANA ZA KIBIASHARA
_____________
ZA KIFAMILIA @1 INA:-
Vyumba viwili vikubwa vya kulala kimojawapo ni #Master #Dinning #Sebule kubwa #Jiko
#Choo/ #Bafu vya ndani vya wanafamilia
_______________________
KUHUSU MIUNDOMBINU YAKE:-
#Barabara imechongwa vizuri inapitika nyakati zote
#Umeme x #Maji vyote vipo nje ubavuni mwa nyumba ni vya kuvutia ndani tuu
________________________
#NB/:-NYUMBA ZIMEJENGWA KISASA AMBAPO ZIMEBAKISHA FINISHING ZA NDANI NA NJE AS MUONAVYO KTK PICHA INGAWA FENCE IMEJENGWA TAYARI PANDE 3 IMEBAKIA MBELE KOZI (4-5)
___________________
BEI ZINAUZWA KWA PAMOJA TSHS MIL 70
_________________
ASSET NZURI KIBIASHARA
___________
KWA MAWASILIANO PIGA:-
+255-684808232
+255-768914118
___________________
KWA #MATANGAZO + #PROMO ZA KIBIASHARA
WhatsApp no +255-718936416
_________
Read more
NYUMBA INAUZWA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-KUNDUCHI ENEO-JESHINI ____________ UMBALI DK 2 KWA MIGUU TOKA BARABARA KUU YA LAMI ________________ UKUBWA WA KIWANJA-MITA 20/25 __________ NYARAKA ZA UMILIKI INA-MKATABA WA MAUZIANO TOKA SERIKALI YA MTAA _______________ NYUMBA ... NYUMBA INAUZWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-KUNDUCHI
ENEO-JESHINI
____________
UMBALI DK 2 KWA MIGUU TOKA BARABARA KUU YA LAMI
________________
UKUBWA WA KIWANJA-MITA 20/25
__________
NYARAKA ZA UMILIKI INA-MKATABA WA MAUZIANO TOKA SERIKALI YA MTAA
_______________
NYUMBA MPYA YA KISASA
__________
YA FAMILIA KUBWA
_____________
INAJITEGEMEA
______
YENYE:-
Vyumba vitatu vikubwa vya kulala kimojawapo ni #Master #Dinning #Sebule kubwa #Jiko
#Choo/ #Bafu vya ndani vya wanafamilia
#Gypsum tayari #Tiles x #Slides #Windows bado
Wiring ya #Umeme tayari ndani bado kuingiza tuu x #Maji havijavutwa ila vyote vipo vinapita nje ya nyumba
Pia kufitisha vyoo, Paving blocks, Ukuta wa fence pamoja na gate bado pia ujenzi ndo unaendelea hivi sasa ikiwemo rangi ndo inapigwa
________________________
NYUMBA IMEJENGWA KISASA IKO ENEO ZURI HALINA TATIZO WALA MGOGORO WOWOTE
________________
BEI ZIKO ZA AINA 2:-
____________
YA KWANZA MTEJA AKIHITAJI KUKABIDHIWA NYUMBA IKIWA IMESHAKAMILIKA KILA KITU YEYE NI KUHAMIA TU BEI NI MIL 130 fixed price
__________________
YA PILI AKIHITAJI IKIWA KAMA ILIVYO BILA FINISHING ZILIZOBAKIA NI MIL 110 fixed price
____________
KWA MAWASILIANO PIGA:-
+255-684808232
+255-768914118
__________________
KWA #MATANGAZO + #PROMO ZA KIBIASHARA
WhatsApp no +255-718936416
_____________
Read more
NYUMBA INAUZWA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-KUNDUCHI ENEO-JESHINI ____________ UMBALI DK 2 KWA MIGUU TOKA BARABARA KUU YA LAMI ________________ UKUBWA WA KIWANJA-MITA 20/25 __________ NYARAKA ZA UMILIKI INA-MKATABA WA MAUZIANO TOKA SERIKALI YA MTAA _______________ NYUMBA ... NYUMBA INAUZWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-KUNDUCHI
ENEO-JESHINI
____________
UMBALI DK 2 KWA MIGUU TOKA BARABARA KUU YA LAMI
________________
UKUBWA WA KIWANJA-MITA 20/25
__________
NYARAKA ZA UMILIKI INA-MKATABA WA MAUZIANO TOKA SERIKALI YA MTAA
_______________
NYUMBA MPYA YA KISASA
__________
YA FAMILIA KUBWA
_____________
INAJITEGEMEA
______
YENYE:-
Vyumba vitatu vikubwa vya kulala kimojawapo ni #Master #Dinning #Sebule kubwa #Jiko
#Choo/ #Bafu vya ndani vya wanafamilia
#Gypsum tayari #Tiles x #Slides #Windows bado
Wiring ya #Umeme tayari ndani bado kuingiza tuu x #Maji havijavutwa ila vyote vipo vinapita nje ya nyumba
Pia kufitisha vyoo, Paving blocks, Ukuta wa fence pamoja na gate bado pia ujenzi ndo unaendelea hivi sasa ikiwemo rangi ndo inapigwa
________________________
NYUMBA IMEJENGWA KISASA IKO ENEO ZURI HALINA TATIZO WALA MGOGORO WOWOTE
________________
BEI ZIKO ZA AINA 2:-
____________
YA KWANZA MTEJA AKIHITAJI KUKABIDHIWA NYUMBA IKIWA IMESHAKAMILIKA KILA KITU YEYE NI KUHAMIA TU BEI NI MIL 130 fixed price
__________________
YA PILI AKIHITAJI IKIWA KAMA ILIVYO BILA FINISHING ZILIZOBAKIA NI MIL 110 fixed price
____________
KWA MAWASILIANO PIGA:-
+255-684808232
+255-768914118
__________________
KWA #MATANGAZO + #PROMO ZA KIBIASHARA
WhatsApp no +255-718936416
_____________
Read more
KIWANJA KINAUZWA KIPO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-MADALE ENEO-MBOPO ________________ UMBALI ...
Media Removed
KIWANJA KINAUZWA KIPO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-MADALE ENEO-MBOPO ________________ UMBALI KM 20 TOKA MLIMANI CITY ______________________ BARABARA NZURI INAPITIKA NYAKATI ZOTE ____________ UKUBWA WA KIWANJA- #SQM600 _______________ NYARAKA ZA UMILIKI KINA-MKATABA ... KIWANJA KINAUZWA
KIPO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MADALE
ENEO-MBOPO
________________
UMBALI KM 20 TOKA MLIMANI CITY
______________________
BARABARA NZURI INAPITIKA NYAKATI ZOTE
____________
UKUBWA WA KIWANJA- #SQM600
_______________
NYARAKA ZA UMILIKI KINA-MKATABA WA MAUZIANO TOKA SERIKALI YA MTAA
____________
WASIFU WAKE:-
1/-Kina nyumba ndogo ya #Vyumba3

2/-Kizuri zaidi ndani yake kina mradi mkubwa wa kisima cha kuuza maji baridi sio ya chumvi chenye urefu wa mita 150 pamoja na wateja 50 tayari waliofungiwa mita za maji haya haya toka kwenye kisima hiki wanaolipa bili kwa mmiliki anayeuza hiki kiwanja kwa mwezi makusanyo yao ni mil 1 napo bado wateja wapya wanazidi kuongezeka
_____________________
KIWANJA KIZURI KIKO TAMBARARE
_______________
BEI KINAUZWA TSHS MIL 45
____________________
MAONGEZI YAPO PIA
__________
KWA MAWASILIANO PIGA:-
+255-684808232
+255-768914118
________________
KWA MATANGAZO + PROMO ZA KIBIASHARA
WhatsApp no +255-718936416
__________
Read more
Loading...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameliagiza Jeshi la Polisi mkoani Katavi ...
Media Removed
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameliagiza Jeshi la Polisi mkoani Katavi kumkamata na kumfungulia mashtaka Mkuu wa Kanda - Pori la Akiba Rukwa, Emannuel Barabara kufuatia tuhuma za uhujumu uchumi zinazomkabili. Hatua hiyo imekuja ikiwa ni miezi mitatu tangu alipomsimamisha ... Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameliagiza Jeshi la Polisi mkoani Katavi kumkamata na kumfungulia mashtaka Mkuu wa Kanda - Pori la Akiba Rukwa, Emannuel Barabara kufuatia tuhuma za uhujumu uchumi zinazomkabili.
Hatua hiyo imekuja ikiwa ni miezi mitatu tangu alipomsimamisha kazi kupisha uchunguzi wa tuhuma hizo ambazo amesema tayari zimethibitishwa kupitia taarifa mbalimbali za kiuchunguzi.
Read more
APPARTMENT INAPANGISHWA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-GOBA KWA AWADH _______________ UMBALI ...
Media Removed
APPARTMENT INAPANGISHWA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-GOBA KWA AWADH _______________ UMBALI DK 7 TOKA BARABARA KUU YA LAMI ________ APPART NZURI YA KISASA _____________ YA KIBACHELA ______ YENYE:- Chumba kimoja tu kikubwa cha kulala ambacho ni #Master #Sebule kubwa #Jiko ... APPARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-GOBA KWA AWADH
_______________
UMBALI DK 7 TOKA BARABARA KUU YA LAMI
________
APPART NZURI YA KISASA
_____________
YA KIBACHELA
______
YENYE:-
Chumba kimoja tu kikubwa cha kulala ambacho ni #Master #Sebule kubwa #Jiko lenye #Makabati
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Luku inajitegemea kivyake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#FencedAppart hizi ni picha za January ilipokuwa ikijengwa fence ila saiv tayari
_________________
KODI TSHS LAKI 200,000/=KWA MWEZI
___________
MALIPO YA MIEZI 6
__________________
PAMOJA NA MALIPO YA KODI YA MWEZI 1 WA @Dalalimwanamke
____________
KWA MAWASILIANO PIGA:-
+255-684808232
+255-768914118
_________________
KWA #MATANGAZO + #PROMO ZA KIBIASHARA
WhatsApp no +255-718936416
_____________
Read more
NYUMBA INAUZWA IKO-MWANZA Tz MAHALI-KISEKE _____________________ UMBALI MITA 800 TOKA BARABARA KUU YA SABASABA KWENDA BUSWELU __________________ UKUBWA WA KIWANJA-SQM 900 __________ NYARAKA ZA UMILIKI INA-HATI SAFI ________________ NYUMBA KUBWA IMEJENGWA KISASA _________ IMEBAKISHA ... NYUMBA INAUZWA
IKO-MWANZA Tz
MAHALI-KISEKE
_____________________
UMBALI MITA 800 TOKA BARABARA KUU YA SABASABA KWENDA BUSWELU
__________________
UKUBWA WA KIWANJA-SQM 900
__________
NYARAKA ZA UMILIKI INA-HATI SAFI
________________
NYUMBA KUBWA IMEJENGWA KISASA
_________
IMEBAKISHA FINISHING KWA UJUMLA
_______________
YA FAMILIA KUBWA
_____
YENYE:-
Vyumba vinne vikubwa vya kulala viwili katiyavyo ni #Master #Dinning #Sebule kubwa #Jiko #Stoo
#Choo/ #Bafu vya ndani vya wanafamilia
_____________
#Maji yapo tayari bomba lipo ndani ya kiwanja
Pamoja na #Umeme pia upo
___________________
HAINA DENI WALA MGOGORO WOWOTE ULE
___________
BEI INAUZWA TSHS MIL 65
________________
MAONGEZI YAPO PIA
__________
KWA MAWASILIANO PIGA:-
+255-684808232
+255-768914118
_________________
KWA #MATANGAZO + #PROMO ZA KIBIASHARA
WhatsApp no +255-718936416
__________
Read more
Loading...
Viwanja vinauzwa Mlowo (MBOZI MBEYA) Block D Barabara kuu kuelekea Zambia hivyo viwili vilivyozungushiwa ...
Media Removed
Viwanja vinauzwa Mlowo (MBOZI MBEYA) Block D Barabara kuu kuelekea Zambia hivyo viwili vilivyozungushiwa wino wa kijani ukitoka Mlowo ( MBOZI) kabla ya kufika sekondari Mlowo day zamani palikuwa Forest plot 896 Sqm 991 na 898 sqm 987 jumla sqm 1987 vimeshikana tayari vina Hati ya miaka ... Viwanja vinauzwa Mlowo (MBOZI MBEYA) Block D Barabara kuu kuelekea Zambia hivyo viwili vilivyozungushiwa wino wa kijani ukitoka Mlowo ( MBOZI) kabla ya kufika sekondari Mlowo day zamani palikuwa Forest plot 896 Sqm 991 na 898 sqm 987 jumla sqm 1987 vimeshikana tayari vina Hati ya miaka 33 mandhari nzuri sana kwa mbele panafaa kwa uwekezaji au nyumba (Makazi) toa ofa yako piga simu 0784396352 au 0655396352. KARIBUNI
Read more
Loading...