Loading Content...
Loading...


Unique profiles
29
Most used tags
Total likes
0
Top locations
Dar es Salaam, Tanzania, Musgrave, Kwazulu-Natal, South Africa
Average media age
735.6 days
to ratio
0.9
Nimekaa nimetafakari sana kitendo cha mwalimu kumpiga mwanafunzi wake mpaka kumuua. Nilitamani ...
Media Removed
Nimekaa nimetafakari sana kitendo cha mwalimu kumpiga mwanafunzi wake mpaka kumuua. Nilitamani niandike mapema lakini niliangalia video ya mama Justus nikashindwa. Mimi ni mama wa watoto wawili. Niliogopa. Niliumia. Kila mtu anayelea mtoto atakwambia wanavyojua kuudhi, tena ukute ... Nimekaa nimetafakari sana kitendo cha mwalimu kumpiga mwanafunzi wake mpaka kumuua. Nilitamani niandike mapema lakini niliangalia video ya mama Justus nikashindwa. Mimi ni mama wa watoto wawili. Niliogopa. Niliumia.
Kila mtu anayelea mtoto atakwambia wanavyojua kuudhi, tena ukute ni cha utundu unaweza ukashikwa na kichaa cha muda. Mimi si mtaalamu wa saikolojia lakini nimejifunza moja ya kitu muhimu kwenye maisha ni reaction zako. Vikwazo vitatokea. Utaudhiwa. Swali ni kwamba utachukua hatua gani? Kwasababu usipoangalia stress zako nyingine unaweza kummalizia mtoto kisa tu amekukanyaga kwa mfano.
Kuchapa/kupiga hujenga hofu na chuki. Kama humuogopi aliyekupiga basi unamchukia. Hofu na chuki ni adui mkubwa wa kujiamini, kuthubutu, kuwa na ushirikiano na kuweza kuamini watu wengine. Hizi ni tabia muhimu sana kwenye maendeleo ya mtu.
Wazazi, walezi, walimu tujikaze, tutambue nafasi zetu na tuwe na uvumilivu kwenye kuwakanya watoto. Pia tunapenda kuchapa kwasababu mnamalizana fasta 😂. Rome was not built in a day. Hata kujenga discipline huchukua muda. Mara nyingi ukimuuliza mtoto aliyechapwa kajifunza nini atakwambia nimejifunza nisirudie tena, ukimuuliza kwanini usirudie tena? Kanabaki kametoa macho hakajui. Mungu atusaidie busara ya kulea malaika hawa.
Read more
Loading...
Mamoudou Gassama raia wa Mali ambaye video yake ilionekana akimuokoa mtoto Paris Ufaransa amekuwa ...
Media Removed
Mamoudou Gassama raia wa Mali ambaye video yake ilionekana akimuokoa mtoto Paris Ufaransa amekuwa miongoni mwa washindi wa tuzo ya BET kipengele cha "Humanitarian Awards". Wengine ni Justin Blackman, Anthony Borges, Shaun King, James Shaw Jr. na Naomi Wadler. #BETAwards2018 Mamoudou Gassama raia wa Mali ambaye video yake ilionekana akimuokoa mtoto Paris Ufaransa amekuwa miongoni mwa washindi wa tuzo ya BET kipengele cha "Humanitarian Awards". Wengine ni Justin Blackman, Anthony Borges, Shaun King, James Shaw Jr. na Naomi Wadler. #BETAwards2018
[email protected]_tz Anakualika kuangalia video yake mpya - Chibau Mtoto wa Pwan - Umechelewa Kunijua..click link hyo chini https://youtu.be/4kEriEJCoAI @chibau_tz @chibau_tz [email protected]_tz Anakualika kuangalia video yake mpya - Chibau Mtoto wa Pwan - Umechelewa Kunijua..click link hyo chini
https://youtu.be/4kEriEJCoAI
@chibau_tz @chibau_tz
MAI: MALKIA WA #UjiWaKishua. Napitia majina yanayopendekezwa kwa ajili ya tuzo za #MalkiaWaNguvu ...
Media Removed
MAI: MALKIA WA #UjiWaKishua. Napitia majina yanayopendekezwa kwa ajili ya tuzo za #MalkiaWaNguvu kupitia namba yangu ya simu na account za @cloudstv na @cloudsfmtz. Naona jina moja linajirudia rudia: @porridge_point. Namchukua mtangazaji @zizamona na mpiga picha za video na ... MAI: MALKIA WA #UjiWaKishua.

Napitia majina yanayopendekezwa kwa ajili ya tuzo za #MalkiaWaNguvu kupitia namba yangu ya simu na account za @cloudstv na @cloudsfmtz. Naona jina moja linajirudia rudia: @porridge_point.

Namchukua mtangazaji @zizamona na mpiga picha za video na mnato @godlistenmeshack tunakwenda posta kumtafuta, na hiki ndio kis cha maisha yake kwa ufupi.
.
.
Hadi kufikia darasa la nne, wazazi wake wote walikuwa wametangulia mbele za haki, aliachwa yatima. Dada yake mkubwa, Jamila anamchukua na kuwa mlezi wake. Dada Jamila alidunduliza akamsomesha Mai hadi anakwenda IFM lakini akiwa mwaka wa kwanza, Dada Jamila alifariki.

Mai (jina lake kamili ni Stumai Simba ana miaka 25) ananiambia hiyo ndiyo siku ambayo kovu la kuondokewa na wazazi lilitoneshwa, aliona ni mwisho wa Dunia na ndoto zake zote. Lakini dada Jamila aliacha mtoto wa miaka 2, na Mai hakuwa na uchaguzi zaidi ya kugeuka mlezi kwa mpwa wake.

Akiwa #IFM alianza kufanya biashara ya kuuza kisamvu na mboga nyingine kwa wanafunzi na walimu. Akajitahidi kukuza biashara na kusambaza kwenye supermarkets lakini baadae #TFDA walikuja kupiga marufuku biashara yake kutokana na walichokiita kutotimiza masharti.

Huku na huku huku @porridge_point akaamua kuuza uji, biashara ambayo anaifanya hadi sasa akiwa na Degree yake ya Accounting and Finance. Aliniambia kwamba ndoto zake ilikuwa aje kuwa Auditor/mkaguzi wa hesabu lakini maisha yako hivyo bhana (Such is Life). Anaifurahia biashara yake, alianza kwa kujikongoja lakini sasa anakwenda vizuri sana. Jarida moja la kimarekani liliandika kuhusu yeye na kusema anauza 'Posh Porridge' yaani #UjiWaKishua.

Pamoja na mengine mengi, Mai aliniambia role model wake ni #MalkiaWaNguvu Jennifer Bash (@mama_alaska), na ameapa kufuata nyayo zake ikiwa ni pamoja na kutwaa tuzo zote alizowahi kutwaa. "Kama sio mwaka huu, ipo siku nitachukua tuzo ya #MalkiaWaNguvu halafu nitakuja kuidhamini (kuwa sponsor) kama alivyofanya Mama Alaska. Na hatua nyingine alizopiga nitazifuata" aliniambia Mai ( #MalkiaWaUji)

Story yake iko tayari na tutaipeleka Ulimwenguni kupitia @cloudstv na ikiwapendeza Watanzania Mai anaweza kuwa #MalkiaWaNguvu.
Read more
ALL THE WAAY FROM S.A TAJIRI MTOTO @rizmabura @rizmabura KANGOMAA KAMEKUSHIKAAAA KIP EM VIDEO COMING!! ALL THE WAAY FROM S.A TAJIRI MTOTO @rizmabura @rizmabura KANGOMAA KAMEKUSHIKAAAA😁😁😁💦💦💦 KIP EM VIDEO COMING!!
Regrann from @simulizinasauti - Mtoto hataki kusikia neno #Tomorrow check hii video akibishana na mama yake.. #snsfunnyclip - #regrann Regrann from @simulizinasauti - Mtoto hataki kusikia neno #Tomorrow 😂 check hii video akibishana na mama yake.. #snsfunnyclip - #regrann
Loading...
MOROGOROOOO..Sehem ni moja tu jumamos hii tar 05th may..tukutane @clubdowntown kwenye usiku ...
Media Removed
MOROGOROOOO..Sehem ni moja tu jumamos hii tar 05th may..tukutane @clubdowntown kwenye usiku wa KIBOSS ikiambatana na uzinduzi wa video 3 za captain wa bongo flava @tundamantz akisindikizwa na wasanii kibao akiwemo Rais wa Manzese @madeeali @mtoto wa mwanza @youngkillermsodokii mzee ... MOROGOROOOO..Sehem ni moja tu jumamos hii tar 05th may..tukutane @clubdowntown kwenye usiku wa KIBOSS ikiambatana na uzinduzi wa video 3 za captain wa bongo flava @tundamantz akisindikizwa na wasanii kibao akiwemo Rais wa Manzese @madeeali @mtoto wa mwanza @youngkillermsodokii mzee wa kukomesha stage @msamibaby na king of singeli @dullamakabila show nzima itakuwa hosted by @Wolperstylish ...Njoo upite kwenye Red carpet upige picha na mstaa kibaooo.
Read more
Mtoto kama chumvi jikonii.....!nilipokuonja nkaomba pooo🏽‍♀️.........Ona sasa onaaa ........ THE VIDEO IS OUT NOW @Luludiva & @richmavoko . Link kwenye Bio yetu @bongoswaggz Mtoto kama chumvi jikonii.....!nilipokuonja 😋nkaomba pooo😍🙆🏽‍♀️.........Ona sasa onaaa ........ THE VIDEO IS OUT NOW🔥🔥🔥 @Luludiva & @richmavoko .
Link kwenye Bio yetu @bongoswaggz
Loading...
Mimi na wanangu @chokajr @stacey_jermy na @stefan_jermy tulivyotembelea tamasha la @mtoto_day_out #MtotoDayOUT FULL VIDEO BONYEZA LINK KWENYE BIO YANGU, USISAHAU KU SUBSCRIBE MY CHANNEL. Cc @dinamarious Mimi na wanangu @chokajr @stacey_jermy na @stefan_jermy tulivyotembelea tamasha la @mtoto_day_out #MtotoDayOUT
FULL VIDEO BONYEZA LINK KWENYE BIO YANGU, USISAHAU KU SUBSCRIBE MY CHANNEL.

Cc @dinamarious
SIKITISHARING NEWS <span class="emoji emoji1f602"></span><span class="emoji emoji1f602"></span><span class="emoji emoji1f602"></span> huyu dada na mume wake walipendana sana walitutesa sana humu instagram ...
Media Removed
SIKITISHARING NEWS huyu dada na mume wake walipendana sana walitutesa sana humu instagram na pic za family..mume alikua anafanya kazi mgodini mambo yakawa hyaendi akaanza kutoa makafara kwanza iyo video ni pale mumewe alipompeleka mkewe kwa mganga ili wapate utajiri huyo mumewe ... SIKITISHARING NEWS 😂😂😂 huyu dada na mume wake walipendana sana walitutesa sana humu instagram na pic za family..mume alikua anafanya kazi mgodini mambo yakawa hyaendi akaanza kutoa makafara kwanza iyo video ni pale mumewe alipompeleka mkewe kwa mganga ili wapate utajiri huyo mumewe alimtoa kafara mdogo wake wa kuzaliwa na pia mamake mzazi ni zezeta kabisaa kilichosababisha iyo video ikavujishwa ni mwanaume aitaka kumtoa mtoto wao mmoja kafara mwanamke akakataa ndio ugomvi ukatokea na siri zikafichuka ndg zangu ndg zangu tusione watu wanasukuma migar wanaishi vizuri tukataman maaisha yao kumbe wanatembelea damu jaman Mungu yupo nyie Mungu yupo mimi Lulunation nawakumbusha Mungu yupo haki ya Mungu
Read more
Dada Zuwena @shilolekiuno_badgirlshishi na UCHEBE Wake Nao Hawakusita Kufanya Yao Kwenye Umati wa Wahudhuriaji wa Hafla ya 40 ya Mtoto wa @zamaradimketema Usiku wa Jana! | Video Kamili Kwenye Youtube Chanel ya SamMisago | Link Kwenye BIO yangu. #SammisagoNEWS Dada Zuwena @shilolekiuno_badgirlshishi na UCHEBE Wake Nao Hawakusita Kufanya Yao Kwenye Umati wa Wahudhuriaji wa Hafla ya 40 ya Mtoto wa @zamaradimketema Usiku wa Jana! | Video Kamili Kwenye Youtube Chanel ya SamMisago | Link Kwenye BIO yangu.
#SammisagoNEWS
@victoriakimani This Song and Video is about to take the World by Storm,,,The next MTOTO
Media Removed
@victoriakimani This Song and Video is about to take the World by Storm,,,The next MTOTO @victoriakimani This Song and Video is about to take the World by Storm,,,The next MTOTO
Loading...
@yvonne_chakachaka Amekucha kumuona Mtoto wake wa Hiali @officialalikiba Guess whatttt!!!!!!? #MvumoWaRadi unavumaaaaaaaa griiiiiiiiiii Click link on my bio to watch #MvumoWaRadi Video @yvonne_chakachaka Amekucha kumuona Mtoto wake wa Hiali @officialalikiba Guess whatttt!!!!!!? #MvumoWaRadi unavumaaaaaaaa griiiiiiiiiii Click link on my bio to watch #MvumoWaRadi Video
Mtoto kama chumvi jikonii.....!nilipokuonja nkaomba pooo🏽‍♀️.........Ona sasa onaaa ........ THE VIDEO IS OUT NOW @luludivatz & @richmavoko . .link kwa Bio Zao🏽🏽Enjoy Mtoto kama chumvi jikonii.....!nilipokuonja 😋nkaomba pooo😍🙆🏽‍♀️.........Ona sasa onaaa
........ THE VIDEO IS OUT NOW🔥🔥🔥 @luludivatz & @richmavoko
.
.link kwa Bio Zao👆🏽👆🏽Enjoy🔥🔥
Napenda NinaVyokua Katika Game Yangu kama Ukuaji Wa Mtoto Sikurupuki Kutembea kabla ya kutambaaa.... #MosiMosi #YULEBOY WAAMBIENI HUKO DUNIANI IM COMING TARATIBUU . . #Repost @official_nascober (@get_repost) ・・・ #calabash Part .2. @countryboytz #Kwamamasolinyo hakufai ... Napenda NinaVyokua Katika Game Yangu kama Ukuaji Wa Mtoto Sikurupuki Kutembea kabla ya kutambaaa.... #MosiMosi #YULEBOY 🔥 WAAMBIENI HUKO DUNIANI IM COMING TARATIBUU 📣
.
.
#Repost @official_nascober (@get_repost)
・・・
#calabash 🔥
Part .2.
@countryboytz
#Kwamamasolinyo hakufai
@frezoo_t_africa
@rass_kilooba
@official_nascober
Director @okey_corrigan .
.
ICHEK CALABASH & KIBEGI OFFICIAL VIDEO LINK IN MY BIO↗
Read more
Loading...
Mambo ya jumatano hayo mtoto kwenye usiku wa #USHUBWADU ebu angalia watu wanavyodamshi usikose leo tupo na @fey_tanzania Kwenye usiku wa #USHUBWADUkwenyeJakuzi jumatano hii @fey_tanzania atamuogesha live kwenye stage kibenten chake hautakiwi kukosa kwa mtonyo wa buku 10 tu. Unakaribishwa ... Mambo ya jumatano hayo mtoto kwenye usiku wa #USHUBWADU💥 ebu angalia watu wanavyodamshi usikose leo tupo na @fey_tanzania Kwenye usiku wa #USHUBWADU💥kwenyeJakuzi jumatano hii @fey_tanzania atamuogesha live kwenye stage kibenten chake hautakiwi kukosa kwa mtonyo wa buku 10 tu. Unakaribishwa @thelifeclub_1
_______________________
#hatuachingepu #pazitobabaaaaaaaaaaaaa #watukamawoteeeeeeeeeee😀😀😀 #tunageuzajotokuwabaridi #Tunatambaanachaki #maishaexpirience
#maishaitabakikuwamaisha ______________________

@kubwa_la_insta
@zarination @ommydimpozdaily @balozilifeclubtz @balozi_wa_insta
______________________
@wemasepetu @auntyezekiel @diamondplatnumz @snuramushi @hkhyper02 @neynainai @bebe_naj @chobydaresalaam @papichulothedon #video bu @kidetejr
Read more
Don’t tell this Nairobi matatu preacher about the Lesson of The Widow’s Two Mites after he went berserk for receiving Ksh.1 as offering. The Bible tells of a tale of the woman who gave her last two coins and that meant more before God than all the gold and money the rich men brought. If you ... Don’t tell this Nairobi matatu preacher about the Lesson of The Widow’s Two Mites after he went berserk for receiving Ksh.1 as offering.

The Bible tells of a tale of the woman who gave her last two coins and that meant more before God than all the gold and money the rich men brought.

If you are a frequent user of public transport in Kenya like majority of us are, then you have encountered the preachers who just pop out of nowhere and proceed to share the Word.

There are those who hate them as they deem it as disruptive and noisy but there are a few who are blessed by their unprovoked services and prayers.

After the end of their “sermons” which usually depend on how bad the traffic is, they usually turn to their “congregants” and ask for an offering to help them spread the Word even further.

Usually, they never say how much they want, most just say “Nipatie na chochote ulichonacho” (Just give whatever you have) and a few people go back to their pockets and whatever is given, the preachers receive with a lot of gratitude.

But one preacher absolutely lost it when one of the congregants gave him Ksh.1 as offering.

In a video shared by Twitter user Brian Mutinda (@brianmutinda_) the preacher can be heard lecturing the passengers wondering how one “can give a man of God who will bury you, such money.” “Unaweza pea mtoto wako hii, (can you give this to your child?) you can’t, how come you can give me, a man of God…” the agitated preacher asks a passenger thrusting the money on his face.

Things then take a turn for worse when the preacher labels the offering as “satanic.” “It’s satanic, evil mind…” he said. “Hauwezi ukatoa kitu kama hii, hata kama hauelewi, ni mbaya sana, hata ukipata kwa gari hauwezi okota. (You cannot give something like this… even if you found inside the matatu, you can’t pick.

He claimed he did not know who gave him the money saying he realised later saying that is “despising God.”
“Hii ni kumdharau Mungu.” VIDEO COURTESY @brian.mutinda
Read more
Doh 🤣 hata nisipoipost mimi wengine wataipost swahiba, kulikuwa na haja yyte ya kushoot video kama hii Nandy? Namejaribu kufikiria mambo meeeengi alafu wazo langu la mwisho nikamfikiria mama na baba siku ile pale escape one ukiimba jukwaa moja na @aslayisihaka kwa jinsi mama na baba yako ... Doh 🤣 hata nisipoipost mimi wengine wataipost swahiba, kulikuwa na haja yyte ya kushoot video kama hii Nandy? Namejaribu kufikiria mambo meeeengi alafu wazo langu la mwisho nikamfikiria mama na baba siku ile pale escape one ukiimba jukwaa moja na @aslayisihaka kwa jinsi mama na baba yako walivyojivunia kuwa na mtoto wao mpendwa kama Nandy! Wazee wale walifurahi sana uwepo wako siku ile.....jaribu kufikiria sasa leo wakiiona hii video wanakuangaliaje🤔 umewavua nguo kabisa wazee wako stupid @officialnandy @billnass aya bwana all the best Cc @mcpilipili
Read more
Loading...
Ujue wewe mkubwa sasa , watoto wa 3 sio mdogo tena. Juzi tu mtoto wa mobeto kaanza kufurai na bibi yake ...
Media Removed
Ujue wewe mkubwa sasa , watoto wa 3 sio mdogo tena. Juzi tu mtoto wa mobeto kaanza kufurai na bibi yake na shangazi yake , unafikiria wote wamefurai? Kaa chini fikiria kwa makini usikurupuke kama kweli ukweli utajulikana hua haujifichi, ndo uwaze kuongea , sauti zinatengenezwa unakua kama ... Ujue wewe mkubwa sasa , watoto wa 3 sio mdogo tena. Juzi tu mtoto wa mobeto kaanza kufurai na bibi yake na shangazi yake , unafikiria wote wamefurai? Kaa chini fikiria kwa makini usikurupuke kama kweli ukweli utajulikana hua haujifichi, ndo uwaze kuongea , sauti zinatengenezwa unakua kama hujui hicho kitu? Kum zungumzia vby mzazi mwenzio haifai, hata kama kweli mngeyamaliza huko huko unapo kwenda kumchuiua mtoto. Siku watu wakiiga sauti yako ndio utashangaa. SIO VZR KABISA. chunguza kwanza. video hua sina hifadhiwa kesho mtoto amekua ameonyeshwa atakupenda? Haya maoni yangu.
Read more
Hatimaye msanii ambaye pia ni video Queen amejitokeza hadharani, Gigy Money kuwajibu watu wanaodai ...
Media Removed
Hatimaye msanii ambaye pia ni video Queen amejitokeza hadharani, Gigy Money kuwajibu watu wanaodai kuwa msanii huyo ameanza kufanya kazi kabla ya muda wa kumtoa mtoto wake. Kitendo hicho kinaelezwa kuwa hakijazoeleka kwa jamii ya Kitanzania hali ambayo iliibua maswali mengi katika ... Hatimaye msanii ambaye pia ni video Queen amejitokeza hadharani, Gigy Money kuwajibu watu wanaodai kuwa msanii huyo ameanza kufanya kazi kabla ya muda wa kumtoa mtoto wake.
Kitendo hicho kinaelezwa kuwa hakijazoeleka kwa jamii ya Kitanzania hali ambayo iliibua maswali mengi katika mitandao ya kijamii.
msanii huyo aliandika kupitia ukurasa wake wa Istagram kuwa “Ogopa sana mapenzi ya mama na mtoto yani Mama anaweza kujikuta anafanya lolote kwa ajili ya kesho ya mwanae ata awe chizi hawezi kumtupa mwanae haijalishi wakati wa mimba mangapi yamepita nachowaza saivi ni binti yangu tu ataaa kudanga ntadanga npo serious mjue nawale ambao mnanitukana kwann kipindi hiki nafanya kazi natoka kabla ya 40 Naomba”“Niwajibu kiufupi kama mkubwa utaelewa kama mtoto endelea kunijazia comments za matusi yaaani ni iviii (utamaduni wa mtanzania ni njaaa ukiwa na njaaa unaweza fanya lolote sidhani kama ningekua napewa kila kitu ningetoka tu) so usilaumu kitabu tu kwasabu juu umeona fuvu ukajua iko kitabu kinahusu mazombie …. kisome kwanza. Ndio uogope Muwe na siku njema” – Gigy Money
#pro24news #zznews
Read more
 #PICHA6 NA VIDEO #SWIPE KUONA #NickiMinaj Na #CardiB wamepigana na kutaka kuumizana wakati wote ...
Media Removed
#PICHA6 NA VIDEO #SWIPE KUONA #NickiMinaj Na #CardiB wamepigana na kutaka kuumizana wakati wote wanaingia kwenye party kubwa ya mastaa ya #Harper,s Bazaar ICONS Fashion Week Mjini New York Usiku Huu. . . Video inaonyesha Cardi B akivua viatu na kuanza kumrushia Nicki Minaj, Wigi la ... #PICHA6 NA VIDEO #SWIPE KUONA
#NickiMinaj Na #CardiB wamepigana na kutaka kuumizana wakati wote wanaingia kwenye party kubwa ya mastaa ya #Harper,s Bazaar ICONS Fashion Week Mjini New York Usiku Huu.
.
.
Video inaonyesha Cardi B akivua viatu na kuanza kumrushia Nicki Minaj, Wigi la Cardi B limechomoka wakati wa Ugomvi, .
.
Nicki Alikuwa anapiga picha na Kelly Rowland na La La Anthony na Cardi B akapita katikati, Nicki alikanyaga gauni la Cardi kwa makusudi na ngumi zikaanza.
.
.
#CardiB ameumia Usoni atika jicho la upande wa kushoto
.
.
#Mashahidi wengine wanasema Nicki hakufanya chochote kumuudhi Cardi B na ugomvi ulivyoanza alitulia tu bila kusema wala kufanya chochote
.
.
#CardiB Anasema Nicki Minaj anamuongelea mtoto wake vibaya jambo ambalo halina ushahidi sababu Cardi B bado hajamuonyesha mtoto wake kwa watu>> ' Watoto wa Beyonce wanaongelewa vibaya kila siku, humuoni akipigana na watu' > Cardi pia analalamika kuwa Nicki anatishia wasanii wengine wasifanye kazi na Cardi B.
#SammisagoNEWS
Read more
Hapa anaonekana Mtoto wa MARCELO Vieira Mchezaji wa Real Madrid mwenye Umri wa Miaka 8 ambaye anapasiana mpira na First Eleven ya Real Madrid katika Changing Room. Kupitia video hii nimejifunza mengi sana hasa lile andiko la Biblia linalosema Kipaji cha Mtu Humpa Nafasi Humpeleka Mbele ... Hapa anaonekana Mtoto wa MARCELO Vieira Mchezaji wa Real Madrid mwenye Umri wa Miaka 8 ambaye anapasiana mpira na First Eleven ya Real Madrid katika Changing Room.

Kupitia video hii nimejifunza mengi sana hasa lile andiko la Biblia linalosema Kipaji cha Mtu Humpa Nafasi Humpeleka Mbele za Watu Wakuu.

Watoto Hujifunza zaidi kwa Kuona Kuliko tunayoyasema. Unapomkataza jambo halafu we ukafanya utashangaa nae atafanya jambo hilo.

Moja kati ya Changamoto kubwa tuliopitia kutoka kwenye African Parent(s) ni kuto amini katika Vipaji. Na jambo hilo pia litatukumba wengi ambao hatutaamini katika Kipaji tutawasomesha mpaka chuo halafu tutataka wote Elimu utukomboe. Sio Jambo Jepesi kugundua kipaji cha Mtoto na Kukilea kipaji hiko. Ni Nafuu kununua madaftari kuliko Njumu za Mtoto eti ana kipaji cha Mpira.

Marcelo ameamini katika Mtoto wake. Sio bahati mbaya mtoto kupiga vichwa mpira alijifunza kwanza kisha akapewa nafasi.

Kipaji cha Mtu kinaweza mpa nafasi ambayo sio kila mtu anaweza ipata. Sio kila mtu anaweza kuingia chumba cha kubadilishia nguo cha Real Madrid. Yapo mambo mawili. Moja ni "Relationship" pili "Talent". Relationship ya Marcelo na Mtoto wake ndio ikampa access. Watu wengi sana wana Vipaji lakini wanachokosa ni Access sababu pengine hawana Relationship nzuri na Watu. Access ni matokeo yako na Mahusiano yako na Mtu ama Watu. Mtoto wa Marcelo angekuwa na Mahusiano mabaya na baba Yake asingepata Access ingawa ana kipaji. Nafasi kwenye maisha zinatengenezwa na mahusiano. Unaweza uhusiana na Mmoja akakuunganisha na Watu wengine wakuu.

Unapopata Nafasi onesha Uwezo. Mtoto wa Marcelo anaonekana Kushangiliwa baada ya kupata nafasi na kuonesha uwezo. Usiwe kama yule jamaa Kakutana na Rais ye anaomba Nauli ya kurufia Nyumbani. Kuna watu waliaminiwa sana wakapewa nafasi lakini mwisho wa siku waliwaletea aibu wale waliowapa nafasi. Sio kweli wote hatujawahi kupewa nafasi la hasha ila hatukujiandaa kwa ajili ya fursa hizo. Ni vema ukawa tayari kwa lolote kabla fursa hizo hazijakufilkia maishani sababu unaweza kutana ana kwa ana na mtu mwenye uwezo wa kukusaidia halafu ukajilaumu baada ya kurudi home. Yesu alikutana na mtu akamuuliza Unataka Kuwa Mzima?akazingua
Read more
Msanii Bongo Movie na video queen wa Bongo fleva Zena Abdallah ‘Jike shupa’ aliyejizolea umaarufu ...
Media Removed
Msanii Bongo Movie na video queen wa Bongo fleva Zena Abdallah ‘Jike shupa’ aliyejizolea umaarufu baada ya kutokea kwenye video ya wimbo wa Nuh Mziwanda Jike Shupa. Global Publishers, wanatipoti kuwa siku za nyuma Jike Shupa alishawahi Kula kiapo kuwa kamwe hatozaa na mwanaume mwingine ... Msanii Bongo Movie na video queen wa Bongo fleva Zena Abdallah ‘Jike shupa’ aliyejizolea umaarufu baada ya kutokea kwenye video ya wimbo wa Nuh Mziwanda Jike Shupa.

Global Publishers, wanatipoti kuwa siku za nyuma Jike Shupa alishawahi Kula kiapo kuwa kamwe hatozaa na mwanaume mwingine zaidi ya mtoto aliyezaa na msanii mkongwe wa Bongo fleva Juma Kassimu Nature.

Jike Shupa amevunja kiapo hiko baada ya kuonekana akiwa na kitumbo na ujauzito wake mwingine.

Kwenye mahojiano na Global Publishers, baada ya Jike shupa kuhojiwa juu ya imekuwaje kuamua kuvunja kiapo alichoweka ambapo alikiri kuwa alishatoa mimba nyingi hivyo kwa sasa ameamua kumzalia mpenzi wake aliyemtaja kwa jina moja la Montelego kwani anahitaji mtoto.

Siku hizi nashindwa kujichanganya kama zamani kwa sababu ya ujauzito na nimeamua kuvunja kiapo na kubeba mimba kwa sababu ninampenda sana mpenzi wangu na ni muda mrefu anahitaji mtoto, nami nimeona nimridhishe nafsi yake“. TOA MAONI YAKO HAPA
Read more
Pengine hufahamu alipotoka Hamisa Mobetto... Wacha nikufahamishe, nilianza kutambulika rasmi ...
Media Removed
Pengine hufahamu alipotoka Hamisa Mobetto... Wacha nikufahamishe, nilianza kutambulika rasmi kwenye tasnia ya urembo mwaka 2010 baada ya kuibuka mshindi wa Miss XXL After School Bash. Njia ya mafanikio ilifunguka hapo na hatimae nilishiriki Miss Tanzania na Also Miss New World Tanzania ... Pengine hufahamu alipotoka Hamisa Mobetto... Wacha nikufahamishe, nilianza kutambulika rasmi kwenye tasnia ya urembo mwaka 2010 baada ya kuibuka mshindi wa Miss XXL After School Bash. Njia ya mafanikio ilifunguka hapo na hatimae nilishiriki Miss Tanzania na Also Miss New World Tanzania Na Kua first Runner Up 2012.
Lakini Pia Nilifanikiwa Kushriki Miss UniAfrica na kuingia Top Ten... Safari ikaendelea na kwa kuwa urembo ni kipande cha sanaa niliingia kwa pia kwenye Bongo Movie na kucheza filamu kadhaa na huku pia nikiwa Video Vixen kwa baadhi ya nyimbo za Bongo Fleva... Nisieleweke vibaya kwa hili, kitanda hakizai haramu... nilipata mtoto wangu wa kwanza miaka michache iliyopita na ninashukuru katika mahusiano yale nilipendwa mimi na mwanangu na kuhudumiwa kwa kila kilichohitajika baadae tena nikapata mtoto mwengine katika mahusiano mengine ambayo pia yalikuwa mazuri na huduma zote kama kawaida zilikuwepo na zinaendelea kuwepo mpaka sasa... Shukrani kwa baba wote wa watoto wangu... Huyo ni mimi Hamisa Mobetto, safari hiyo imenifundisha mengi sana mpaka sasa na nafikiri nimekomaa kwa kiasi fulani... Nashukuru Hamisa Mobetto imekuwa Brand kubwa mpaka kufikia kunipa 'Deals' mbalimbali zinazoendelea kuja (Alhamdullilah). Sio tu 'Deals' pekee bali hata fanbase imekuwa kubwa mno kitu ambacho ninakifurahia kwani ni Support kubwa sana ninaipata. Wapo walioamua kutengeneza page za Social Media mbalimbali kwa ajili ya kuonyesha support na wengine pia kutumia fursa hiyo kutengeneza ajira kupitia matangazo n.k nasemaje Yote Heri!
Dunia inaenda mbele na watu wanabadilika, pengine lifestyle ya zamani haikuwa nzuri na mpaka kusababisha 'mambo flani flani' kutokea katika maisha yangu lakini umri unapozidi kusonga mbele akili inatanuka na kujifunza mambo mengi kwenye maisha.
Hamisa wa sasa sio kama yule wa zamani, nimezidi kuwa na akili yenye kupambanua mabaya na mazuri na kuchukua hatua ili kuenda na kasi ya ukuaji wa akili yangu. Namshukuru Mungu ananiongoza vyema na naona baraka anazonipatia.

Nimeingia katika migogoro ya hapa na pale kama kutukanana na watu kwenye mitandao na yote hayo ni aidha kwa kufahamu au kutofahamu lakini kwa kuwa yamepita basi niyaache
Read more
Tumejijengea dhana kwamba sisi kama wanaume tuna kila haki juu ya mwili wa mwanamke yoyote anaetembea ...
Media Removed
Tumejijengea dhana kwamba sisi kama wanaume tuna kila haki juu ya mwili wa mwanamke yoyote anaetembea kwenye ardhi hii iitwayo Tanzania. Dhana hii imefanya wengi wetu kuona ni sahihi kumtamkia hadharani maoni na hisia zetu kuhusu sehemu zake za mwili bila Kujali hisia zake. Tumejivika ... Tumejijengea dhana kwamba sisi kama wanaume tuna kila haki juu ya mwili wa mwanamke yoyote anaetembea kwenye ardhi hii iitwayo Tanzania. Dhana hii imefanya wengi wetu kuona ni sahihi kumtamkia hadharani maoni na hisia zetu kuhusu sehemu zake za mwili bila Kujali hisia zake. Tumejivika UJAJI MKUU na kuwahukumu wanawake wetu kifungo cha “MUNGU JALIA NIRUDI SALAMA” pindi wanapotoka majumbani kwao! .
.
Tunawalea wavulana wetu kuendekeza hii dhana kwa kuendelea kuwasilisha matukio ya picha au video ya vitendo vya wanawake wakifanyiwa mashambulio ya aibu bila kukaripia au kuonya kwamba sio sawa!
.
.
Tunaendelea kuwalea mabinti zetu kwa kuwakumbusha ni jukumu lao kujistiri kwa hali ya juu kwani chochote kitakachotokea endapo wataenda kinyume na muongozo huo ni kosa Lao kwani WANAUME NI VIUMBE DHAIFU ambao hawawezi kuzuia matamanio yao au hisia zao ziamshwazo na maumbile ya viungo vya binti zetu.
.
.
Nina mtoto wa kiume na ni mtoto wa kike!
Ni wakati mwafaka wa kulizungumzia hili kwa kuwa tumelikumbatia kwa muda mrefu na kulifanya kitu cha kawaida....KITU CHA HAKI KWA MTOTO WA KIUME!!
.
.
SIO HAKI. TUKATAE MASHAMBULIO YA AIBU!! .
.
Wewe unasemaje?
Read more
Shabiki azimia baada ya kuitwa na Chris Brown. Shabiki mtoto huko Marekani ambaye alipata nafasi ya kusimama jukwaani wakati Staa wa RnB Chris Brown alipokua aki-perform, kabla ya kuzimia Shabiki huyo alikumbatiwa na CB na baada ya hapo alizimia. Kupitia ukurasa wa instagram wa Chris ... Shabiki azimia baada ya kuitwa na Chris Brown. 🔽🔽🔽 Shabiki mtoto huko Marekani ambaye alipata nafasi ya kusimama jukwaani wakati Staa wa RnB Chris Brown alipokua aki-perform, kabla ya kuzimia Shabiki huyo alikumbatiwa na CB na baada ya hapo alizimia.
Kupitia ukurasa wa instagram wa Chris Brown amepost video hiyo ikimuonyesha mtoto huyo akizimia baada ya  kukumbatiwa na kusema kuwa alipata uoga baada ya tukio hilo “Nawapenda mashabiki zangu, lakini nilipata uwoga kwa sekunde, huyu mtoto ni legendary”

Tukio kama hilo liliwahi pia kumtokea  Wizkid kutokea Nigeria alipokuwa akitumbuiza nchini Ghana katika tamasha la “Ghana meets Naija” June 9,2018 katika viwanja vya Fantasy Dome.
Read more
Naomba maelezo ya kina kuhusu video hii tafadhali. Kwa nini wananchi wanapigwa mpaka mwisho wa hii video kuna mama aliyembeba mtoto anabugudhiwa. Maelezo pekee naambiwa eti masuala ya usafi na huyo anayepiga ni mgambo Narudia tujadili UKATILI ktk jamii. Hivi mtu mzima kisaikolojia ... Naomba maelezo ya kina kuhusu video hii tafadhali. Kwa nini wananchi wanapigwa mpaka mwisho wa hii video kuna mama aliyembeba mtoto anabugudhiwa.
Maelezo pekee naambiwa eti masuala ya usafi na huyo anayepiga ni mgambo
Narudia tujadili UKATILI ktk jamii. Hivi mtu mzima kisaikolojia unaweza kuamka ukazunguka na rungu kama hii na kupiga binadamu wenzako? Naomba wizara na idara zote husika ziingilie KUZUIA UKATILI katika jamii. Turudi kwenye utu wetu wa kitanzania! Hii inasikitisha!
#ChangeTanzania
Read more
Stay tuned 'Audio & Video' Mzee wa ghetto love a.k.a Mtoto Mkali @jcbwatengwa na #D-WIi
Media Removed
Stay tuned 'Audio & Video' Mzee wa ghetto love a.k.a Mtoto Mkali @jcbwatengwa na #D-WIi Stay tuned 'Audio & Video'
Mzee wa ghetto love a.k.a Mtoto Mkali @jcbwatengwa na #D-WIi
MADA ZA LEO SAA 3:00 NI VIDEO TAMU TUPU USIKOSE MADA ZA LEO UPATE MAUFUNDI <span class="emoji emoji3120e3"></span>MWALI WANGU TUTAJIFUNZA ...
Media Removed
MADA ZA LEO SAA 3:00 NI VIDEO TAMU TUPU USIKOSE MADA ZA LEO UPATE MAUFUNDI MWALI WANGU TUTAJIFUNZA MBINU ZA KUKATA KIUNO MTOTO WA KIKE KIUNO LAZIMA KIWE KILAIN MWALI TUTAJIFUNZA MBINU ZA KUFANYA MASSAGE MMEO MWALITUTAJIFUNZA JINSI YA KUNYOA MAVUZ UTAONA VIDEO HII ... MADA ZA LEO SAA 3:00 NI VIDEO TAMU TUPU

USIKOSE MADA ZA LEO UPATE MAUFUNDI

1⃣MWALI WANGU TUTAJIFUNZA MBINU ZA KUKATA KIUNO MTOTO WA KIKE KIUNO LAZIMA KIWE KILAIN
👌
👌
2⃣MWALI TUTAJIFUNZA MBINU ZA KUFANYA MASSAGE MMEO
👌
👌
3⃣MWALI💝💝TUTAJIFUNZA JINSI YA KUNYOA MAVUZ UTAONA VIDEO HII INASADIA KUZUIA MAPELE
💘
💘
4⃣SHOST💃💃TUTAJIFUNZA JINSI YA KUPENDEZESHA KIUNO KWA SHANGA .NJOO UONE VIDEO ZAKE 🍎
🍎
5⃣MWALI 💘💘TUTAJIFUNZA MBINU ZA KUNYONYA DUDU LA MWANAUME .HAPA UTAPATA VIDEO KALI ZAID
😘
😘
6⃣MWALI LEO💃💃MBINU ZA KUMTEGA MWANAUME UKIWA NAYE CHUMBANI .NJOO UTAPATA VIDEO TAMU ZAID
👨‍❤️‍💋‍👨
👨‍❤️‍💋‍👨
7⃣MWALI WANGU😋😋😋 TUTAJIFUNZA JINSI YA KUPIGA DENDA HAPA UTAONA VIDEO TAMU ZAID
😍
😍
KWA MWANAUME NJOO
1⃣KIDUME TUTAJIFUNZA JINSI YA KUKUZA UUME WAKO UTAONA VIDEO TAMU ZAID
💪
💪
2⃣KIDUME TUTAJIFUNZA MBINU ZA KUCHEZEA UKE KWA ULIMI HII LAZIMA AFIKE KILELEN
💪
💪
3⃣KIDUME NJOO UTAPATA MAVIDEO MATAMU YA KUSISIMUA HAD UWE MTAMU KITANDANI
💪
💪
4⃣KIDUME TUTAJIFUNZA MBINU ZA KUMKATIKIA KIUNO MWANAMKE HII NI TAMU UNAPIGA KONA ZOTE NDANI YA UKE WA MWANAMKE HII NDIYO DAWA YA WANAWAKE WASIOFIKA KILELEN

LIPIA 1000 KWA MPESA 0768343950
TIGO PESA 0717075217
AIRTEL MONEY 0685768958
KISHA NJOO WHATSAPP
0768343950

TUMA PESA KWA KUFUATA MTANDAO HUSIKA YAANI TIGO TUMA TIGO PESA
Follow
@chuo_cha_mapenz
@chuo_cha_mapenz
@chuo_cha_mapenz
@chuo_cha_mapenz
@chuo_cha_mapenz
@chuo_cha_mapenz
Read more
Mpoki una nini lakini @mpokicomedyofficial anasema mzazi usimuache mtoto nyumbani akafanana na Sufuria Mpoki ni balozi wa ASAS @asas_dairies atakuwepo kuwahost watoto,kuwachekesha watoto na kumwaga zawadi za Yogurt za @asas_dairies kwa watoto. ASAS Mtoto Day Out Leo tukiongea ... Mpoki una nini lakini @mpokicomedyofficial anasema mzazi usimuache mtoto nyumbani akafanana na Sufuria 😂😂😂😂😂😂 Mpoki ni balozi wa ASAS @asas_dairies atakuwepo kuwahost watoto,kuwachekesha watoto na kumwaga zawadi za Yogurt za @asas_dairies kwa watoto.

ASAS Mtoto Day Out Leo tukiongea na waandishi wa habari.Asante sana @kidsevents kupitia Kids Book Club kwa kutuhost leo.

Asante @radio7_official
Kwa hii video cc @missmandoza

Hii ilikuwa leo pale GSM mall wakati tukiongea na waandishi wa habari.

#MtotoDayOut #MtotowakoAkifurahinaweweUnafurahiPia
@asas_dairies @asas_dairies @asas_dairies @fincatz @majibora @ara_juice @bagtriks @swahilifastfood @kiddieskingdomtz @dinamarioscoconutbabyoil @efmtanzania @tvetanzania @shayoglory

BIGGER THAN BEFORE🔥🔥🔥
Read more
Rapper Cardi B je ameshajifungua ?Mwanamuziki huyo aliyetamba na kibao chake Bodak Yellow,anatarajiwa ...
Media Removed
Rapper Cardi B je ameshajifungua ?Mwanamuziki huyo aliyetamba na kibao chake Bodak Yellow,anatarajiwa kujifungua mtoto wake wa kwanza ,akiwa na mume wake ambaye naye ni Rapa kutoka kundi la Migos star anayejulikana kama Offset, Ijumaa iliyopita July 6 mwanamuziki huyo alifikishwa ... Rapper Cardi B je ameshajifungua ?Mwanamuziki huyo aliyetamba na kibao chake Bodak Yellow,anatarajiwa kujifungua mtoto wake wa kwanza ,akiwa na mume wake ambaye naye ni Rapa kutoka kundi la Migos star anayejulikana kama Offset,
Ijumaa iliyopita July 6 mwanamuziki huyo alifikishwa katika hospital moja kwa ajili ya maandalizi ya kujifungua mtoto huyo,ila kuna taarifa kuwa tayari mwanamuziki huyo ameshajifungua ila bado taarifa rasmi haijatolewa kwa vyombo vya habari.
Kwa mujibu wa TheBlast.com,imeweka video fupi ikimuonyesha mwanamuziki huyo akiwa kwenye chumba maalumu kwa ajili ya kujifungulia.katika Hospital moja Mjini Atlanta, Georgia.
Taarifa za kujifungua kwake zimetapakaa mara baada ya mwanamuziki huyo kuachia ngoma yake mpya inayojulikana kama Who Want the Smoke? Akiwa amewashirikisha wasanii kama Lil Yachty and Offset

#pro24news #kkknews
Read more
Cardi B pamoja na Nicki Minaj nusu wazichape usiku wa September 7,2018 kwenye sherehe ya Harper’s ...
Media Removed
Cardi B pamoja na Nicki Minaj nusu wazichape usiku wa September 7,2018 kwenye sherehe ya Harper’s Bazaar Icons Party ambayo ni sherehe maalum kwenye wiki ya maonyesho ya mitindo Marekani “New York Fashion Week”. Inaripotiwa kuwa Cardi B aliwasili wa kwanza kwenye sherehe hiyo na baadae ... Cardi B pamoja na Nicki Minaj nusu wazichape usiku wa September 7,2018 kwenye sherehe ya Harper’s Bazaar Icons Party ambayo ni sherehe maalum kwenye wiki ya maonyesho ya mitindo Marekani “New York Fashion Week”.
Inaripotiwa kuwa Cardi B aliwasili wa kwanza kwenye sherehe hiyo na baadae Nicki Minaj alifata lakini baada ya kuwasili kwa Nicki Minaj ugomvi ulianza huku wakiwa wanarushiana maneno makali na kutaka kupigana lakini watu waliwazuia kwa kuwashika.
Wawili hao wanadaiwa kuwa kwenye beef kwa kipindi kirefu lakini safari hii kila mtu ameonekana kuonyesha hisia zilizokuwa zikijificha ndani yao, Cardi B alionekana kupata jeraha usoni na kulazimika kuondoka mapema kwenye sherehe hiyo kutokana na nguo yake kuchanika.
Kutokana na video zinazosambaa zinaonyesha Cardi B akisikika akilalamika kuhusu mtu kumsema mtoto wake Kulture lakini bado haijajulikana chanzo cha ugomvi huo mpaka kufikia hatua ya kurushiana viatu.
#pro24news #kkknews
Read more
Sema Haka Kamstari Kamejua Kupendwa Bana #WanaonaHaya . . Asee @king_gavira Mtoto Wako Janja janja Sana . . . #WanaonaHaya OFFICIAL VIDEO Link In My Bio 😂😂😂 Sema Haka Kamstari Kamejua Kupendwa Bana #WanaonaHaya 🔥🔥
.
.
Asee @king_gavira Mtoto Wako Janja janja Sana😂😂🙌
.
.
.
#WanaonaHaya OFFICIAL VIDEO Link In My Bio🔑🔓
Happy birthday Danga....... Happy birthday Video vixen Happy birthday Mtoto wa @naima111.nn ...
Media Removed
Happy birthday Danga....... Happy birthday Video vixen Happy birthday Mtoto wa @naima111.nn Haya kwa Leo mimi nimemaliza ila nataka keki yangu Happy birthday @dark___angel24 Happy birthday
Danga....... Happy birthday
Video vixen
Happy birthday
Mtoto wa @naima111.nn
Haya kwa Leo mimi nimemaliza ila nataka keki yangu
Happy birthday @dark___angel24
MADA ZA LEO IJUMAA TULIVU MAMBO NI MOTOOUSIKOSEE MWALI MUMEO AU MPENZIO NI KIGUU NA NJIA YANI HATULII NYUMBANI HATA SIKU ZA MAPUMZIKOLEO NITAKUFUNDA UFUNDIKE HASWAA MBINU ZA KUMPETIPET NA KUMKALISHA NYUMBANI WIKEND ASITOKEHALOO MWANAMKE MIUNDO MBINU INAKUHUSU🏾SOGEA ... MADA ZA LEO IJUMAA TULIVU MAMBO NI MOTOO🔥🔥🔥USIKOSEE
💕
💕
1⃣MWALI MUMEO AU MPENZIO NI KIGUU NA NJIA YANI HATULII NYUMBANI HATA SIKU ZA MAPUMZIKO❓LEO NITAKUFUNDA UFUNDIKE HASWAA MBINU ZA KUMPETIPET NA KUMKALISHA NYUMBANI WIKEND ASITOKE👌HALOO MWANAMKE MIUNDO MBINU INAKUHUSU👌🏾SOGEA MKOLEN BIBIWE
💕
💕
2⃣MWALI NITAKUFUNDA JINSI YA KUKATA KIUNO KWA RAHA ZAKO DYUDYU IKIWA NDANI KWA STYLE YA PEKECHA PEKECHA HADI MMEO ALIE KWA UTRAAM👌🏿NJOO NIKUJUZE JINSI YA KUBANA UUME KWENYE KONA ZA ""K""HUKU WAIKATIKIA,,,HEHEHEIYAA MWANAMKE UTUNDU BIBIWE👌
💕
💕
3⃣KIDUME NTAKUFUNDA JINSI YA KUISISIMUA G-SPORT UMPE RAHA BABY WAKO👌HAKIKA UKIJUA MAHALI ILIPO NA KUILENGA UZURI UTAMKOJOLESHA BEBIMAMA HATA MARA 10👌MAELEKEZO NA VIDEO ZITAHUSIKA HAPA,TUKUTANE JANDONI
💕
💕
4⃣KIDUME BADO NIKO NA WEWE👌NITAKUJUZA MBINU ZA KUMTONGOZA NA KUMTOKEA MTOTO MKALI NA AKAKUKUBALI BILA UBISHI KWA KUTUMIA MACHO YAKO TU👌WALE MADOMO ZEGE😂 INAWAHUSU HII,USIKOSE JANDONI👌
💕
💕
5⃣WALI WANGU MAMA VIJACHO MPO ⁉👌LEO NITAWAJUZA MAMBO YA KUZINGATIA PINDI UNAPOKUWA MJAMZITO ILI KUEPUSHA OPERESHENI NA MATATIZO KWA KIJACHO KABLA NA WAKATI WA KUJIFUNGUA...TUKUTANE MKOLENIII NIKUFUNDE👌
💕
💞
6⃣HAPA SASA KWENYE VIKOLOMBWEZO NA VINOGESHO MWALI NITAKUFUNDISHA NJIA ASILI YA KUKATA SHOMBO NA VIJIHARUFU VYA AJABU UKENI KWA KUTUMIA MAJI YA UKOKO NA KUFANYA "K"IWE TIGHT NA MNATO ASILIA👌HII KITU USISUBIR KUSIMULIWA SOGEA MWENYEWE MKOLEN
💕
💕
7⃣UREMBO..MWALI UNASUMBULIWA NA MICHIRIZI SUGU⁉NITAKUFUNDISHA JINSI YA KUANDAA MAFUTA MAALUM YA KUONDOA #MICHIRIZI MWILINI,NA KUFANYA UWE SOFT UPENDEZE KWA RAHA ZAKO👌
💕
💕
8⃣MWISHO TUTAJIONEA MAVIDEOS 🎥YA UTAMU KUTOKA KONA ZOTE ZA DUNIA ZITAKAZOONESHA STYLES MBALIMBALI
💕
💕
JINSI YA KUSHIRIKI TUMA ELFU 1000 TU KWA NAMBAZIFUATAZO

MPESA 0758323681
TIGOPESA 0712445081

KISHA NJOO WATSAP NAMBA YA TIGO👉0712445081 MDA HUO HUO ILI NIKUUNGE
💕
HUDUMA YA PRIVATE IPO
KWA WASIOTAKA GROUP
💋
MUDA WA MADA SAA3 USIKU 💕
💕
@mahaba_proffesional
@mahaba_proffesional
Read more
Mambo ya jumatano hayo mtoto kwenye usiku wa #USHUBWADU ebu angalia watu wanavyodamshi usikose leo tupo na @fey_tanzania Kwenye usiku wa #USHUBWADUkwenyeJakuzi jumatano hii @fey_tanzania atamuogesha live kwenye stage kibenten chake hautakiwi kukosa kwa mtonyo wa buku 10 tu. Unakaribishwa ... Mambo ya jumatano hayo mtoto kwenye usiku wa #USHUBWADU💥 ebu angalia watu wanavyodamshi usikose leo tupo na @fey_tanzania Kwenye usiku wa #USHUBWADU💥kwenyeJakuzi jumatano hii @fey_tanzania atamuogesha live kwenye stage kibenten chake hautakiwi kukosa kwa mtonyo wa buku 10 tu. Unakaribishwa @thelifeclub_1
_______________________
#hatuachingepu #pazitobabaaaaaaaaaaaaa #watukamawoteeeeeeeeeee😀😀😀 #tunageuzajotokuwabaridi #Tunatambaanachaki #maishaexpirience
#maishaitabakikuwamaisha ______________________

@kubwa_la_insta
@zarination @ommydimpozdaily @balozilifeclubtz @balozi_wa_insta
______________________
@wemasepetu @auntyezekiel @diamondplatnumz @snuramushi @hkhyper02 @neynainai @bebe_naj @chobydaresalaam @papichulothedon #video bu @kidetejr
Read more
Loading...