Wa mtoto wangu story

Loading...


Unique profiles
5
Most used tags
Total likes
0
Top locations

Average media age
592.7 days
to ratio
Barua kutoka kwa marehemu mama kwa kijana wake siku ya 3 baada ya mazishi yake. Mwanangu Mpendwa. Napenda ...
Media Removed
Barua kutoka kwa marehemu mama kwa kijana wake siku ya 3 baada ya mazishi yake. Mwanangu Mpendwa. Napenda kujua kwa nini nimekufa kama mwanamke masikini ilihali nikiwa na kijana kama wewe. Mwanangu nilitaka kukubariki kabla sijafa, lakini nimekufa na baraka zangu. Chakula changu ... Barua kutoka kwa marehemu mama kwa kijana wake siku ya 3 baada ya mazishi yake.
Mwanangu Mpendwa.
Napenda kujua kwa nini nimekufa kama mwanamke masikini ilihali nikiwa na kijana kama wewe.
Mwanangu nilitaka kukubariki kabla sijafa, lakini nimekufa na baraka zangu.
Chakula changu cha asubuhi na mchana kilikuwa kimoja tena nilikipata kwa taabu wakati nilipokuwa hai, lakini ulitapanya pesa zako kwa kila aina ya mapochopocho chakula kama nyama na vinywaji siku ya mazishi yangu.
Mwanangu umetumia gharama kubwa na manukato ya gharama kuhifadhi mwili wangu lakini nilipokuwa hai ilinibidi niishi kwa kujipaka mafuta ya karanga.
Mwanangu uliuvalisha mwili wangu nguo na sanda za gharama wakati nilipokuwa hai hukinijali hata kwa vazi la mtumba.
Nilipokuwa mochwari ulikuja Mara kwa Mara kuutazama mwili wangu lakini kwa nini nilipokuwa hai hukufanya hivyo.
Kinachoniumiza zaidi ni jeneza la gharama ulimolaza mwili wangu wakati nilipokuwa hai niliishi kwenye pagara.
Ulipokuwa mtoto niliteseka mno kwa ajili yako ili upate chakula na uridhike. Nilivaa nguo moja tu ili uwe na nguo nyingi zenye kukutosheleza. Nilidhani ungenijali baada ya kuzeeka.
Ulikamilisha kujenda kaburi langu kwa wiki moja. Ukalipaka rangi na kuweka picha ya gharama ili uufurahishe mwili wangu.
Tena ukaandika msemo, "Nakupenda sana mama ulale mahala pema peponi" wakati nimekufa na moyo uliovunjika.
Mwisho.
Mwanangu Nimeandika haya kukumbusha kwamba hakuna mtu yeyote niliyempenda wakati wa uhai wangu kama nilivyokupenda wewe. Mwenyezi Mungu akusamehe. HAKUNA KAMA MAMA WALA HAWEZI KUJA TOKEA KWENYE ULIMWENGU HUU TUWATHAMINI SANA WAZAZI WETU KABLA MUNGU HAJAWACHUKUA KWANI wakifa yale unayo wafanyia hayatakuwa nafaida yoyote kama unakuwa hujawatendea mazuri pindi wako hai wakufa juwa sawasawa unatia chumvi kwenye bahari najuwa wako wanao ina hizi story nimagazeti lakini yanagundisha sama sana kwani wako vijana hawajui thamani ya wazazi wake haswa mama lakini akisoma gazeti hìli huwenda likampa faida na akazinduka naomba sana mpende kusoma haya magazeti kwa faida yetu navinzazi vyetu #NAWAPENDASANASANA #HASWAWAPENDAMAGAZETIYANGU
Read more
Loading...
Nilizaliwa kwenye tumbo la MAMA alietafuta ujauzito kwa muda wa miaka nane, alitumia njia karibu ...
Media Removed
Nilizaliwa kwenye tumbo la MAMA alietafuta ujauzito kwa muda wa miaka nane, alitumia njia karibu zote katika kuhangaika kutafuta mtoto, hatimae baada ya miaka nane nikazaliwa, ujaji wangu Duniani Ulisubiriwa kwa hamu kubwa maana safari yake haikuwa rahisi, hivyo hata siku niliyowasili ... Nilizaliwa kwenye tumbo la MAMA alietafuta ujauzito kwa muda wa miaka nane, alitumia njia karibu zote katika kuhangaika kutafuta mtoto, hatimae baada ya miaka nane nikazaliwa, ujaji wangu Duniani Ulisubiriwa kwa hamu kubwa maana safari yake haikuwa rahisi, hivyo hata siku niliyowasili kwa wazazi wangu ilikuwa ni SPECIAL MNO, maana ndio ilimfanya alienibeba aitwe MAMA kwa mara ya kwanza, na kwa mzee wangu aweze kubeba mkononi mtoto kutoka kwa mke wake huyo.. vita ya Mama yangu haikuwa ndogo, kuna kipindi ambacho hakuwahi kabisa kuwaza kama na yeye siku moja atasikia hata kichefuchefu (cha mimba) kama wanawake wengine, Na hata alipobahatika kuipata hiyo hali mara moja mbili haikuwahi kudumu bali ziliishia njiani, baada ya kipindi cha muda mrefu bila hata yeye kutarajia ukapatikana ujauzito ulionibeba mimi, na MUNGU akabariki mpaka nikaweza kuja Duniani, Na hii story inanifanya nijione MSHINDI tangu kuzaliwa kwangu, na MUNGU ana sababu ya mimi kuwepo maana ALINICHAGUA and that makes me feel SPECIAL!!!. Kwa mwanamke unaepitia hali kama ya MAMAANGU usikate tamaa, usichoke kuomba na zaidi usione ndio mwisho, HAPANA!! Kuna kitu special MUNGU anatayarisha juu yako, kitakachokuja kukufuta machozi ya miaka yote, kitakachokufanya uone sababu ya yeye kuchelewa, kitakachokupeleka kwenye Dunia nyingine kabisa ambayo hujawahi kuiwaza, BARAKA ZAKO ZIKO NJIANI!! Kwakuwa kila mtu ameandikiwa muda na wakati wake wa kushushiwa, basi kinachosubiriwa ni muda tu sahihi!! Asanteni wazazi wangu kwa malezi yenu yamenijenga kujiamini na Kusimamia ninachokiamini. HESHIMA KWA WAZAZI WOTE 👏
Read more
Yani hizi picha za muna na kalalajr zilimliza saana casto alikua hajielewi akakonda hadi anataka ...
Media Removed
Yani hizi picha za muna na kalalajr zilimliza saana casto alikua hajielewi akakonda hadi anataka kujiua jamani acheni kumtukana casto walishaachana na muna kitambo sana na uyo mtoto casto alimpa mapenzi kama baba ila baba yake wa ukweli anaitwa Peter so casto anajiuliza akienda hospital ... Yani hizi picha za muna na kalalajr zilimliza saana casto alikua hajielewi akakonda hadi anataka kujiua jamani acheni kumtukana casto walishaachana na muna kitambo sana na uyo mtoto casto alimpa mapenzi kama baba ila baba yake wa ukweli anaitwa Peter so casto anajiuliza akienda hospital akamkuta Peter ambae ndo baba wa ukweli itakuwaje the truth be told mpumzisheni casto wangu sio mtu mbaya kama mnavomfikiria halafu mwacheni atulie na tunda amelia sana amekua so heart broken he is trying to find himself .ok msinifikirie vibaya tumuombee mtoto wa muna apone mengine yabaki story naomba mwenye number ya voda ambae anaweza kufikisha pesa kwa muna anichek DM nitoe mchango umfikie muna I'm sure anything will help .
Read more
@aman_martins - Kabla hujaanza kusoma, tafuta wataalam wahesabu wakufundishe iwapo utapata ...
Media Removed
@aman_martins - Kabla hujaanza kusoma, tafuta wataalam wahesabu wakufundishe iwapo utapata ukakasi kwenye hesabu hii: 98% ya wanamuziki wanaotamba sasa, walihitaji sauti ya Hamisi Mandi ili wafike walipo leo. Sijui umenielewa? Taja wasanii wote wa Tanzania wanaowika leo, 98% walipita ... @aman_martins - Kabla hujaanza kusoma, tafuta wataalam wahesabu wakufundishe iwapo utapata ukakasi kwenye hesabu hii: 98% ya wanamuziki wanaotamba sasa, walihitaji sauti ya Hamisi Mandi ili wafike walipo leo. Sijui umenielewa? Taja wasanii wote wa Tanzania wanaowika leo, 98% walipita kwenye mikono ya Hamisi. Aliyetoka kuanzia mwaka 2005, alienda kwa Twangala kumuomba amfanyie interview na kupiga ngoma yake kwenye kipindi chake enzi hizo ( #DrBeat), kama alichelewa kutoka hadi 2007, alienda kwake tena kwa sababu hapo ndio #XXL ilianza.
.
.
Wakati unaendelea kupiga hesabu, mimi naanza kuandika kuhusu shujaa wangu leo. Nitamuandikia kurejea kwenye story nilizowahi kupiga na watu wawili: .
1. Mwalimu Mandi aliniambia, mwanzoni alichukizwa na mtoto wake Hamisi kutaka utangazaji. Alitaka Hamisi akomae na masomo ya Uhasibu. Na kweli alimkazania akasoma na kufaulu. Licha ya kutii direction ya Baba, Hamisi hakusahau ndoto yake, na kwa kuwa Mzee Mandi alichokuwa anataka ni mema kwa mwanaye, alipomuona ameshaenda shule, alimruhusu kuendelea na 'utangazaji wake' na leo anajivunia mafanikio ya mwanaye. Hii habari sijaikota uchochoroni, nimeelezwa na Mwalimu Mandi mwenyewe (Baba Mzazi wa Twangala)
2. @captaintanzania: Mzee Mandi ni Baba Mzazi wa Hamisi, lakini huyu ni Baba Mlezi na mwalimu wa @bdozen. Captain ndio alimpokea Dozen na kumpa nafasi ya kutangaza Clouds wakati huo ikiwa Arusha. Juzi kati Gadner alinieleza kwamba, kati ya watu wengi aliosaidia, anajivunia sana mafanikio ya Dozen. Kutoka kijana aliyekuja studio akitetemeka kidogo, kupambana hadi kuwa mfalme wa show za mchana, mmiliki wa duka, na sasa kampuni ya #BornToShine, Gadner hajawahi kujuta kumshika mkono Twangala.

Sifa za Champ: .
.
1. Kutokana na story ya Mzee Mandi, Hamisi alijua kipaji na ndoto zake kitambo na alisizimamia. TUMUIGE, TUSHIKILIE MALENGO.

2. Kutokana na na kisa cha Captain: ukipewa nafasi ipiganie vya kutosha ili waliokusaidia wajivunie juu yako. @bdozen kafanya hivyo. Pia, hakikisha kipaji na uwezo wako unatengeneza njia kwa watu wengine, Dozen anaendelea kufanya hilo.

#Twangala my #ChampOnMonday . | @brandidentitytz ndio wakali wa graphics| - #regrann
Read more
MIMI NA BIASHARA ZANGU. ILIPOISHIA.....11 Tukawa tunachukua tunapitisha mitaani kama machinga, ...
Media Removed
MIMI NA BIASHARA ZANGU. ILIPOISHIA.....11 Tukawa tunachukua tunapitisha mitaani kama machinga, kidogo kidogo mtaji unakuwa japo hapa majukumu yalikuwa mengi kusave pesa siwezi tena Rafiki yangu #Aisha yeye alikuwa anauza pochi hapa kila mtu anapambana kivyake, mi hali ngumu ... MIMI NA BIASHARA ZANGU.
ILIPOISHIA.....11

Tukawa tunachukua tunapitisha mitaani kama machinga, kidogo kidogo mtaji unakuwa japo hapa majukumu yalikuwa mengi kusave pesa siwezi tena
Rafiki yangu #Aisha yeye alikuwa anauza pochi hapa kila mtu anapambana kivyake, mi hali ngumu hatariii😭😭 Huku nimekomaa na umachinga nikamuomba anikopee mapochi akakubali akanikopea pochi nakumbuka za laki 6 nikawa nakopesha mapochi mteja wangu mkubwa akawa #Eva huyu dada anahuruma sana japo kila binadamu anamapungufu yake ila anahuruma sana
Hapa watu wanakudharau hawaelewi wala hawajui kama unadegree sikuona hata umuhimu wa shule hapa ni kupambana tuu kwa kwenda mbele.... Nikawa nakopesha mapochi majumbani kila siku napita kukusanya pesa lakini hamna kazi ngumu kama hii aisee😭😭 mara wakukimbie mara wakunyaliii uwiii🙆🏻🙆🏻
Kariakoo nikawa nachukua kwa mtu mmoja anaitwa white akawa amenizoea saaana na ananiamini kwahiyo mzigo mwingine ananikopesha, nikaanza kuuza na sidiria za mitumba #Maua wakumbuka vizuri mnoo nilifanya umachinga lakini nikawa sioni mwanga kabisaaa, huku bado natafuta kazi lakini sijawahi pata hata kwa kuota ndoto🙆🏻 nikikumbuka vyeti ndio sitaki hata kuviona😢
Mungu hakunipa kazi aliwapa wengine mi akanipa biashara, yule aliyepata kazi yeye anaona haki yake mimi niliyepewa biashara ananiona #mchawi sijui #freemasoni #NYAU nyieeee 😂
Nikakopesha mapochi buana aisee nilisumbuliwa kulipa huku #Aisha ananidai kama hanijui uwiii mengine yalibaki nikamuomba nirudishe alikataa katukatu aisee, kuna mmama mmoja siwezi msahau nilimkopesha pochi, madera na vitu vingi tuu, siku moja nilienda kumdai jamani nikamkuta na mume wake wamekaa nje wanapiga story nikamwambia mama samahani nina shida na wewe uwiiiiii nilijuta alinitukana yule mama matusi yote ya duniani sababu kwanini nimwambie aje pembeni mume wake amuelewe nini kwanini nisiongelee mbele ya mume wake, Muda wote anatukana mimi machozi yananitoka tuu, nikifikilia #Aisha anavyonidai pesa, vyeti ninavyo kazi sipati maisha magumu ugali wa dona hauingii nalia kama nimefiwa na mtoto, machozi ya mfiwa hayakufikia yangu hii siku 😪 natania wajameni but niliumia sana nakumbuka nilipotoka pale nilimwambia Mungu niue tuu
Read more
Loading...