Loading Content...
Loading...


Unique profiles
6
Most used tags
Total likes
0
Top locations
Uswazi Uswahilini
Average media age
973 days
to ratio
2
Yeeeeeeeeec,its a boy,Mungu n mwema ,mwema sana n mwaminifu hongereni sana @baba_dri n mama Dri ...
Media Removed
Yeeeeeeeeec,its a boy,Mungu n mwema ,mwema sana n mwaminifu hongereni sana @baba_dri n mama Dri @jojodomin, #newparents in town yoh @jojodomin n wewe n mama saivi karibu chamanii kipenzi Yeeeeeeeeec,its a boy,Mungu n mwema ,mwema sana n mwaminifu hongereni sana @baba_dri n mama Dri @jojodomin, #newparents in town yoh @jojodomin n wewe n mama saivi karibu chamanii😘😘😘 kipenzi
Loading...
Wewe ni upande sahihi wa sehmu y maisha yangu ..namuomba mungu akutunze kila uchwao wa jua ili uzidi ...
Media Removed
Wewe ni upande sahihi wa sehmu y maisha yangu ..namuomba mungu akutunze kila uchwao wa jua ili uzidi kunitendea vema zaidi ya hiv utendavyo sasa.. hakika wew n mama bora kwngu @glocharles9 HAP B DEI KIPENZ CHANGU MIMI Wewe ni upande sahihi wa sehmu y maisha yangu ..namuomba mungu akutunze kila uchwao wa jua ili uzidi kunitendea vema zaidi ya hiv utendavyo sasa.. hakika wew n mama bora kwngu @glocharles9 HAP B DEI KIPENZ CHANGU MIMI
RONALDO mchokozi jamaniii... RONALDO:Hello kijana mambo vipi MESSI:Poa poa nan m mwenzangu. RONALDO:Aaah ...
Media Removed
RONALDO mchokozi jamaniii... RONALDO:Hello kijana mambo vipi MESSI:Poa poa nan m mwenzangu. RONALDO:Aaah haupo serious dogo inamaana huna namba yangu..! MESSI:Samahan wewe nikumbushe ndg yang unajua nina marafki wengi ndo maana inakuwa vigumu kukumbuka kila mmoja RONALDO:Ok ... RONALDO mchokozi jamaniii... RONALDO:Hello kijana mambo vipi
MESSI:Poa poa nan m mwenzangu.
RONALDO:Aaah haupo serious dogo inamaana huna namba yangu..!😳
MESSI:Samahan wewe nikumbushe ndg yang unajua nina marafki wengi ndo maana inakuwa vigumu kukumbuka kila mmoja
RONALDO:Ok hata saut huijui?
MESSI:Aah ndg saut sizinafanana n ngum kujua,wewe nikumbushe
RONALDO:Haya bana unaongea na CR7
MESSI:cr7 wawap ndg?
RONALDO:Na wewe unazingua xaxa yaan humjui cr7!!
MESSI:Unajua n weng n vigum kutambua wawapi
RONALDO:Haa haa acha mbwembwe dogo unaongea na Cristiano Ronaldo hapa.
MESSI:Fara sana wewe tena unikome...nan kakupa namba yangu
RONALDO:Vip umetoka jela?😂😂
MESSI:Kamuulize mama ako☹
RONALDO:😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂haka kamchezo hakaitaj hasiraaa.
NIKIWA KATIKA UBORA WANGU WA MAISHA
FOLLOW @mountmeruartsgroup
Read more
Azzy Alizaliwa akiwa mzima wa afya kama mimi na wewe... Ila alipofika miaka Saba alipatwa na 'Stroke' iliompelekea yeye kuwa na ulemavu mpaka leo hii... pamoja na Vikwazo kibao alivyopitia.. Amegoma Kwenda Mtaani na Kuwa Omba Omba, Anaishi Kwa kuamini kua yeye ni Msanii/Mwandishi Mkali ... Azzy Alizaliwa akiwa mzima wa afya kama mimi na wewe... Ila alipofika miaka Saba alipatwa na 'Stroke' iliompelekea yeye kuwa na ulemavu mpaka leo hii... pamoja na Vikwazo kibao alivyopitia.. Amegoma Kwenda Mtaani na Kuwa Omba Omba, Anaishi Kwa kuamini kua yeye ni Msanii/Mwandishi Mkali na kuna siku ndoto yake itatimia.. Kwa Mujibu Wa Mama yake aliona Kama haiwezekani kutokana na ulemavu wa viungo wa Mwanae mpaka pale Az alipokutana Uso Kwa Uso Na Vijana Wa SHILAWADU ambao walimsikiliza na kumuelewa Kijana Mwenzao kisha kuamua kushirikiana Nae katika Mbio za kutimiza hayo maono yake ya kuwa Star Mkubwa Wa BongoFleva, Ya Kuwa mwandishi Maarufu wa Riwaya filamu n.k
Je Ndoto Yake itatimia? #Shilawadu Wanasema Kwa Kushirikiana Na Wadau Mbalimbali Duniani Basi #Hatushindwi Fatilia Safari Hii Ya Az kupitia @Shilawadu @kamandamzeemkavu @kabutionyango
#Shilawadu #Azzy #SisiSioWatuWamchezchezo
Read more
ILA MAMA ANGU UKISEMA UGOMBEE TENA UMISS UTAPITA TU MAANA NAIMANI N WEWE MAMA ANGU NA NAKUPENDA MWANAO ...
Media Removed
ILA MAMA ANGU UKISEMA UGOMBEE TENA UMISS UTAPITA TU MAANA NAIMANI N WEWE MAMA ANGU NA NAKUPENDA MWANAO #iloveumama @cethperry @cethperry @cethperry ILA MAMA ANGU UKISEMA UGOMBEE TENA UMISS UTAPITA TU MAANA NAIMANI N WEWE MAMA ANGU NA NAKUPENDA MWANAO
#iloveumama😘😘😘😘
@cethperry
@cethperry
@cethperry
My super woman @munalove100 hongera sana kwa kazi nzuri Malipo yako utayakuta Mbinguni . . #Repost from @munalove100. Huyu Binti Anaitwa Frola, Anishi Bukumbi Mwanza. Huyu Binti Ana Matatizo ya akili, Na Ana Mtoto ambae alimpata kwa Kubakwa Na Kijana ambae ni mtoto wa Mtu mwenye ... My super woman @munalove100 hongera sana kwa kazi nzuri👏👏👏 Malipo yako utayakuta Mbinguni 🙏🙏🙏
.
.
#Repost from @munalove100. Huyu Binti Anaitwa Frola, Anishi Bukumbi Mwanza. Huyu Binti Ana Matatizo ya akili, Na Ana Mtoto ambae alimpata kwa Kubakwa Na Kijana ambae ni mtoto wa Mtu mwenye Mali Kidogo kijijini Hapo, Na Katika Kijiji choote huyo binti Alikua ana mazoea na huyo kijana tu kati ya vijana woote wa kijijini hapo, kwa sababu Frola Alikua hana tabia ya kuongea, yaani unaambiwa inaweza kupita siku nzima hujasikia sauti yake, sasa siku moja huyo kijana wa hapo kijijini Alimkamata binti huyo na kumbaka, ilichukua muda sana mama yake Frola kutambua kwamba Flora ni mjamzito, hadi siku alipougua sana na kupelekwa hospital ndo kugundulika ana mimba, Alipoulizwa ni ya nani hakua anasema ila siku zilivozidi kwenda akawa anataja jina la huyo kijana wa hapo kijijini, akaja akajifungua akazaa mtoto wa kike huyo anaeoneakana hapo kwenye Hyo clip, ila cha ajabu huyo flora hampendi mtoto wake, yaaani ana mchukia sana, Lakini Mungu wa ajabu kamsaidia huyo mtoto wake sasa hivi  yupo Darasa la Pili. mama Yake na Flora yeye ni HIV POSTIVE ila baba ake na flora Alisha faliki Muda mrefu. Mimi kama mwanamke nimeumia sana, nikawaza hivi mimi najiona nina matatizo kumbe kuna mtu ana matatizo mala elfu ya niliyonayo mimi, Jiulize je wewe umempa nini Mungu kwa huo uhai ulionao ambao hulipii, Hiyo milo mitatu kwa siku, hizo shule nzuri, hayo majumba mazuri, Tujifunze kushukuru na Kumwambia Mungu ahsante kwa kila jambo gum unalopitia Huwezi jua kakupa hilo na amekuepushia lipi, Maana Mungu Anasema "jaribu halimpati mtu ila lile lililo ndani ya uwezo wako, na kila jaribu lina mlango wa kutokea" Kwa Atakaeguswa Kumsaidia au kumchangia kwa chochote kile kama Godoro, net, chakula, mahitaji ya shule, shuka n.k. nicheki Tuungane Kwa pamoja Kuwasaidia. +255 781184581
S/O @jembenijembe @la_kairo_hotel @jembefm @jb_belmont_mwanza 🎬 by @iam_josephclement
Read more
Loading...
Loading...