Ya kuwa mimi repost

Loading...


Unique profiles
4
Most used tags
Total likes
0
Top locations

Average media age
594.8 days
to ratio
Siku moja kabla ya semina ya #SmartMoneyWomen Jiunge sasa ushiriki na @smartmoneyarese, mwandishi ...
Media Removed
Siku moja kabla ya semina ya #SmartMoneyWomen Jiunge sasa ushiriki na @smartmoneyarese, mwandishi wa kitabu maarufu cha #smartmoneywomen kwenye Masterclass itakayokusaidia kujijenga na kujua jinsi ya kuwa huru na mambo ya kifedha! Si ya kukosa! #Repost @smartmoneyarese with @get_repost ・・・ Mambo ... Siku moja kabla ya semina ya #SmartMoneyWomen Jiunge sasa ushiriki na @smartmoneyarese, mwandishi wa kitabu maarufu cha #smartmoneywomen kwenye Masterclass itakayokusaidia kujijenga na kujua jinsi ya kuwa huru na mambo ya kifedha! Si ya kukosa! #Repost @smartmoneyarese with @get_repost
・・・
Mambo Tanzania, kesho ndio kesho !!! mwambie rafiki yako amwambie rafiki yake...ukitaka kushiriki pamoja na mimi tafadhali ingia kwa bio yangu uweze kujisajili,na pia utaweza kulipa mlangoni. Hii si ya kukosa rafiki! Lagos to Tanzania 😊 karibuni sana! #eastafricanbooktour #tanzania🇹🇿 #thesmartmoneywoman #thesmartmoneymovement #panafricangang
Read more
Loading...
Go ahead Veronica Elias Mayala, I'm proud of you..! #Repost @rebecagyumi with @get_repost ・・・ ‪Niliongea ...
Media Removed
Go ahead Veronica Elias Mayala, I'm proud of you..! #Repost @rebecagyumi with @get_repost ・・・ ‪Niliongea na Veronica ,mwaka jana akitaka kujua anawezaje na yeye kufanya kitu chenye kuleta mabadiliko kwa wasichana?Nikamwambia kila mtu anaweza kuleta mabadiliko kwa kuangalia changamoto ... Go ahead Veronica Elias Mayala, I'm proud of you..! #Repost @rebecagyumi with @get_repost
・・・
‪Niliongea na Veronica ,mwaka jana akitaka kujua anawezaje na yeye kufanya kitu chenye kuleta mabadiliko kwa wasichana?Nikamwambia kila mtu anaweza kuleta mabadiliko kwa kuangalia changamoto na fursa zilizopo kwenye eneo lake‬. ‪Wakati huo alikua ni mwanafunzi wa kidato cha 6 katika shule ya sekondari Tinde, iliyopo Shinyanga. Leo amekuja ofisini kuniambia alivyofanyia kazi maongezi yetu‬. ‪Pale shuleni kwao kulikuwa na tatizo la wanafunzi kutupa pedi hovyo, akawahamisha wengine wakatafuta ndoo wakatengeneza vizuri na kuweka kwenye kila bweni na choo ili kila mtu atupe humo. Then asubuhi wanakusanya ndoo na kwenye kuchoma kwenye shimo‬.‪Pia sababu Tinde ni shule ya wasichana walikuwa wanakosa taarifa muhimu za masuala yanayowahusu. Akaamua kuanzisha Jarida la shule, ambapo wanakusanya story kutoka kwa wanafunzi wengine kulingana na ukurasa wa Jarida‬.‪Then mwanafunzi mmoja mwenye mwandiko mzuri huandika stori zilizopitishwa kwenye nakala moja ambayo hutolewa copy (kwa msaada wa walimu) kisha hukaa na kuanza kupamba copy zilizotolewa kwa rangi na nakshi nyingine. Copy moja inapelekwa maktaba na zingine wanapewa kila darasa wasome‬. ‪Haya ni majarida waliyotoa kuanzia October mwaka jana mpaka March mwaka huu. It’s everything girls and their school environment‬. ‪Kwangu mimi hii Ndio maana halisi ya “Every Action Counts”. Kila mmoja wetu anauwezo wa kufanya mahali alipo kuwa bora zaidi. Change ni sisi‬ @veronicaelias8561
Read more
Repost By @fobyofficial: "Jaman mimi pia ni shabiki jaman #Kitanda ya #Foby ni kali na naipenda ...
Media Removed
Repost By @fobyofficial: "Jaman mimi pia ni shabiki jaman #Kitanda ya #Foby ni kali na naipenda sana na ndo ngoma naiskiliza Muda wote kwa sasa!! So nampa Big up Mchizi aendelee kukaza atafika mbalii kusikoonekana!! Au jamani vibaya kuwa shabiki wa wimbo wako? au vibaya kuwa shabiki?? ... Repost By @fobyofficial: "Jaman mimi pia ni shabiki jaman
#Kitanda ya #Foby ni kali na naipenda sana na ndo ngoma naiskiliza Muda wote kwa sasa!! So nampa Big up Mchizi aendelee kukaza atafika mbalii kusikoonekana!! ✊✊✊
Au jamani vibaya kuwa shabiki wa wimbo wako? au vibaya kuwa shabiki?? #tetea_mziki_mzuri" (via #InstaRepost @EasyRepost)
Read more
Pole Sana Mwanangu #Repost @makjuice_tz with @get_repost ・・・ Napenda kutoa SHUKRANI zangu ...
Media Removed
Pole Sana Mwanangu #Repost @makjuice_tz with @get_repost ・・・ Napenda kutoa SHUKRANI zangu za DHATI kabisa kwa Ndugu,Jamaa na Marafiki na watu wooooote ambao mmekuwa na mnaendelea kuwa na mimi katika kipindi hiki kigumu kwangu na familia yangu kwa KUMPOTEZA BABA YETU MZAZI,Nguvu ... Pole Sana Mwanangu
#Repost @makjuice_tz with @get_repost
・・・
Napenda kutoa SHUKRANI zangu za DHATI kabisa kwa Ndugu,Jamaa na Marafiki na watu wooooote ambao mmekuwa na mnaendelea kuwa na mimi katika kipindi hiki kigumu kwangu na familia yangu kwa KUMPOTEZA BABA YETU MZAZI,Nguvu zenu na upendo wenu kwangu/kwetu umedhihirisha kwamba nyie sio marafiki tu bali ni ndugu kabisa, Sometimes nikikaa mwenyewe najikuta nalia LAKINI kupitia MSG zenu na SALAMU za pole nimekuwa/Tumekuwa tukifarijika! SIO RAHISI kutaja kwa majina sababu mpo wengi sana nduguzangu Mnajijuwa wote DADAZANGU NA KAKAZANGU ambao mmekuwa namm/nasisi katika kipindi hiki na sio katika msiba tu bali hata katika maisha yangu mengine🙏🏿! Naomba kuchukua nafasi hii pia KUISHUKURU TEAM nzima na UONGOZI wa Makjuice/Makchicken, Mbunge wangu wa jimbo la Nyamagana Mwanza kakayangu @stanslaus_mabula Diwani wangu, Uncle wangu Mkuu wa wilaya ya Maswa Dr Seif,Boss Ruge, Uongozi Mzima wa clouds Media na Wafanyakazi wake, Uongozi Mzma wa Stateoil na mzee wangu Nilesh, Viongozi wote wa serikali,Marafiki zangu mliofunga safari kutoka dar na kuja kumzika mzee wetu,Wajomba zangu wooote, Mashangazi, Baba wadogo na wakubwa, Mama wadogo na wakubwa, Rafiki zangu wa mtaani nilipokulia(Mwanza) na WANANZENGO WOOOOTE hakika mmeonyesha upendo wa dhati kwangu/Kwetu! Daaah HATA NIKIONGEA SITAWEZA KUMALIZA VYOTE zaidi tu Naomba nimshukuru MWENYEZI MUNGU MWIGI WA REHMA🙏🏿🙏🏿🙏🏿...!
NOTE:Dakika za mwisho mzee wakati anapigania uhai wake aliacha MAAGIZO kwamba KILA NITAKAPOPATA RIZIKI BASI NIWAKUMBUKE WENYE MAHITAJI(Nenda kapumzike baba NITATEKELEZA MAAGIZO YAKO)..... REST IN PEACE DAD🙏🏿
Read more
Loading...