Yangu ili repost

Loading...

Unique profiles
13
Most used tags
Total likes
0
Top locations

Average media age
638.8 days
to ratio
5.3
#Repost @zarithebosslady with @repostapp ・・・ Kindly follow the link on his bio and vote plse....Asante #Repost ...
Media Removed
#Repost @zarithebosslady with @repostapp ・・・ Kindly follow the link on his bio and vote plse....Asante #Repost @diamondplatnumz with @repostapp ・・・ Busy Voting for my self on @MTVEMA ... please my People don't forget to Vote for me on @MtvEma through the link on my BIO so that we can ... #Repost @zarithebosslady with @repostapp

Kindly follow the link on his bio and vote plse....Asante👏
#Repost @diamondplatnumz with @repostapp

Busy Voting for my self on @MTVEMA ... please my People don't forget to Vote for me on @MtvEma through the link on my BIO so that we can bring it HOME!....
(Ndugu zangu tusisahau kupiga kura katika tunzo za @MTVEMA kupitia link iliyo juu ya BIO yangu ili kwa mara ya Kwanza tuilete Tunzo Nyumbani...)
Read more
Loading...
#Repost ELIMU BIASHARA Sikuhizi Internet imetufanya tunashinda kwenye mitandao na youtube ...
Media Removed
#Repost ELIMU BIASHARA Sikuhizi Internet imetufanya tunashinda kwenye mitandao na youtube kuangalia "Get rich Quick" au "Become an Online Millionaire in short period" na kununua CD nyingi za motivational speakers zenye Chachu ya Mafanikio, ni sawa kusikiliza au kuangalia mawaidha ... #Repost

ELIMU BIASHARA

Sikuhizi Internet imetufanya tunashinda kwenye mitandao na youtube kuangalia "Get rich Quick" au "Become an Online Millionaire in short period" na kununua CD nyingi za motivational speakers zenye Chachu ya Mafanikio, ni sawa kusikiliza au kuangalia mawaidha au ushauri wa aina hiyo, ila kama moyoni au ndani ya nafsi yako hauna Uthubutu wala huna kitu kinachokusukuma kuanza hata kidogo, basi ujue mda mwingi ni sawa na bure. .

Mara nyingi sana tunaambiwa tuanze kufanya kitu ambacho tuna "Passion" Nacho yani kile ambacho sisi tunakipenda na tunaenjoy kukifanya, lakini kuna wakati tunakua hatupo kwenye position au uwezo wa kufanya hicho kitu tunachokipenda kwa sasa. Kama ni hivyo then why usifanye kitu kingine usichokipenda kwanza ambacho kitakusogeza kwenye position ya kufanya hicho kitu chenye passion yako? .

Kuna fundi Suti mwenge alianza kuwa Fundi Bomba ili atafte hela ya kununua Cherehani kwakua anapenda kushona. Hata Mtaalam wa Ice cream alianzia kazi Bank ili apate Mtaji wa kununua mashine ya kutengeneza ice cream. Jirani yangu alianza Kuuza Sigara ajichange apate mtaji wa kulima. Usiogope kufanya hata kazi ndogo wakat unatafta ile kubwa ya malengo yako.Usisubirie Muujiza wa kuja kifanya kile unachopenda, Bali jiulize unafanya nini Leo ili uje fikia lengo la Kufanya kitu unachokipenda siku za badae.

By Man Dea
@jifunze_kilimo_na_ufugaji
@shamtech.investment
@kilimo_mubashara
Read more
#Repost @nishabebee • • • kweli wimbo wangu mbaya,yaani pamoja na juhudi zote nnazozifanya sijausikia kwenye radio hata moja tangu asubuhi. muda wote nna ear pc masikioni ila holla kweli #YEYE mbaya? achaneni na mwili wng mbona hata kina pepe kale waliimba na wakahit nijibuni ili leo ... #Repost @nishabebee

kweli wimbo wangu mbaya,yaani pamoja na juhudi zote nnazozifanya sijausikia kwenye radio hata moja tangu asubuhi.

muda wote nna ear pc masikioni ila holla kweli #YEYE mbaya? achaneni na mwili wng mbona hata kina pepe kale waliimba na wakahit nijibuni ili leo iwe mwisho kupost na kuisupport kazi yangu.😅😅😅😅😅😂😂😂 yaani we @nishabebee sio mzima lkn nakupenda kwa vituko vyako
Read more
NI MATAMANIO YANGU KILA MWANAMKE APAMBANE NA HALI YAKE ASIMAME KIUCHUMI.... AWE NA UHURU WA KIUCHUMI... AWEZE KUJIHUDUMIA KWA MADOGO NA MAKUBWA PIA.... SINTACHOKA KUWAHIMIZA MAANA NAYAJUA MAISHA YA UTEGEMEZI YALIVYO NA KARAHA...NA MAISHA YA KUJITEGEMEA YALIVYOJAA AMANI ...INSHA ... NI MATAMANIO YANGU KILA MWANAMKE APAMBANE NA HALI YAKE ASIMAME KIUCHUMI.... AWE NA UHURU WA KIUCHUMI... AWEZE KUJIHUDUMIA KWA MADOGO NA MAKUBWA PIA.... SINTACHOKA KUWAHIMIZA MAANA NAYAJUA MAISHA YA UTEGEMEZI YALIVYO NA KARAHA...NA MAISHA YA KUJITEGEMEA YALIVYOJAA AMANI ...INSHA ALLAH🙏

#Repost from @wanawakelivetz. #MWANAMKEPIGAKAZI

Umuhimu wa mwanamke kusimama kiuchumi ni ili familia Iwe na furaha.

Njia ipi itakusaidia kusimama kiuchumi? Ni kuhudhuria semina za #MWANAMKEPIGAKAZI upate ujuzi na Maarifa yatakayosaidia kuzalisha fedha na kukufikisha kwenye kilele cha Mafanikio.

Karibu kwenye mafunzo juma mosi hii ndani ya ofisi za #WANAWAKELIVE kuanzia saa 8:00 mchana.

Zaidi tupigie kupitia 0783137777

#WANAWAKELIVE imedhaminiwa na @hc_sanitary_pads @hc_sanitary_pads
Read more
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2019 at JINCC JINA: Miriam Mmary UMRI: 21 KAZI : Mwanafunzi wa stashahada ya 'pharmacy' chuo cha afya tandabui. Ninapenda kusaidia watu hususan katika sekta ya afya ili kuweza ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)

MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2019 at JINCC

JINA: Miriam Mmary
UMRI: 21
KAZI : Mwanafunzi wa stashahada ya 'pharmacy' chuo cha afya tandabui.
Ninapenda kusaidia watu hususan katika sekta ya afya ili kuweza kurudisha furaha na amani yao.
Matarajio yangu ya badae nikuwa mfamasia mkubwa mwenye vigezo vya kitaifa na kimataifa nakuweza kutatua changamoto mbalimbali katika sekta ya afya.
Ninawakilisha kanda ya ziwa.🇹🇿👑[email protected]

Ticket za Miss Tanzania zinapatikana
1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Eaters Point -Masaki
3. M'S Boutique - Mlimani City
4. Dicksound - Magomeni
5. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
6. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871 ( kwa masaa ya kazi tu)
Read more
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018 at JNICC JINA: Hadija Said Rutunga UMRI:22 KAZI:muhitimu(stashahada ya Tecknologia habari na mawasiliano ), Napendelea kupika,kucheza muziki,na kujichanganya na watu ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)

MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018 at JNICC

JINA: Hadija Said Rutunga
UMRI:22
KAZI:muhitimu(stashahada ya Tecknologia habari na mawasiliano ), Napendelea kupika,kucheza muziki,na kujichanganya na watu mbalimbali kwa ajili ya kupata mawazo mapya na kufurahi.
Matarajio yangu ya baadae ni kuwa mfanya biashara na mwanamitindo Wa kimataifa,pia kuwa muelimishaji rika Wa vijana hasa kwenye swala la uzazi Wa mpango ili wapate kufikia ndoto zao kwa wakati.
Ninawakilisha kanda ya Kati. 🇹🇿👑 @cloudsfmtz
Ticket za Miss Tanzania zinapatikana
1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Eaters Point -Masaki
3. M'S Boutique - Mlimani City
4. Dicksound - Magomeni
5. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
6. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871 ( kwa masaa ya kazi tu)
Read more
Loading...
MWENYEZI MUNGU akuongeze Imani na upendo zaidi ya unavyo wapenda watoto wako na kuwahurumia.... ...
Media Removed
MWENYEZI MUNGU akuongeze Imani na upendo zaidi ya unavyo wapenda watoto wako na kuwahurumia.... Akujaalie RIZKI Kubwa na ndogo za halali wewe ni miongoni mwa Baba bora Mola akujaalie Afya njema na nguvu mara dufu uweze kuwalea vyema zaidi na KUWAONGOZA . . Happy birthday my toto MUNGU ... MWENYEZI MUNGU akuongeze Imani na upendo zaidi ya unavyo wapenda watoto wako na kuwahurumia.... Akujaalie RIZKI Kubwa na ndogo za halali🙏 wewe ni miongoni mwa Baba bora Mola akujaalie Afya njema na nguvu mara dufu uweze kuwalea vyema zaidi na KUWAONGOZA 🙏

Happy birthday my toto MUNGU akujaalie Afya bora ukue ktk misingi ya Imani hofu ya MUNGU ikatawale ktk nafsi yako AMIN upende na KUHESHIMU WAKUBWA KWA WADOGO BABA na Baba wawenzako AMIN RABILA ALAMINA NAKUPENDA SANA MTOTO WANGU MZURI MAMA MKUBWA NAKULETEA ZAWADI NZURI MWANANGU DAMWANI ❤ 🙏 🎂 🎉 🎊 🎁 💄 👑 👜 👒 👡 .

#Repost from @johnlister_dr with @regram.app ... Happy birthday my daughter Brianna-malaika ..kwa kufikisha 3 yrs namshukuru Mungu kunipa wewe ..umekuwa faraja ktk maisha yangu na umekuwa kumbukumbu nzuri ya mama yako kwangu kila nikuonapo na unanipa ujasiri wa kupambana kwa ajili yako na kaka yako ili msione kuna pengo ktk maisha yenu ..Natumaini mama yenu ana Furaha alipo kwa kuwa watoto wazuri kwake na kwangu na kwa watu wote... Jua baba yako nakupenda na nitakulinda mpaka Mwisho wa maisha yangu ...happy birthday mrembo Wangu...God bless you.
Read more
Repost from @romyjons KESHO IFIKAPO SAA 12 KAMILI JIONI PANAPO MAJAALIWA INSHALLAH NITAACHIA ...
Media Removed
Repost from @romyjons KESHO IFIKAPO SAA 12 KAMILI JIONI PANAPO MAJAALIWA INSHALLAH NITAACHIA NYIMBO YANGU YA KWANZA NILIOMSHIRIKISHA BARAKAH THE PRINCE ITAKAYOPATIKANA KATIKA ALBUM YANGU ITAKAYOITWA "CHANGED" NIMEONA NIANZE KUACHIA HII NILIOMSHIRIKISHA BARAKAH ILI KUONESHA ... Repost from
@romyjons

KESHO IFIKAPO SAA 12 KAMILI JIONI PANAPO MAJAALIWA INSHALLAH NITAACHIA NYIMBO YANGU YA KWANZA NILIOMSHIRIKISHA BARAKAH THE PRINCE ITAKAYOPATIKANA KATIKA ALBUM YANGU ITAKAYOITWA "CHANGED"

NIMEONA NIANZE KUACHIA HII NILIOMSHIRIKISHA BARAKAH ILI KUONESHA KWAMBA HATUNA TENA TOFAUTI ZOZOTE KATI YETU!!!!
TUSUBIRI ZAWADI YETU IFIKAPO HYO KESHO SAA 12 JIONI INSHAALLAH
ASANTENI SANA NA IJUMAA KAREEM
Read more
Loading...
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) at JINCC JINA:Gladness Benson UMRI:19 KAZI: Muhitimu wa astashahada ya bima na ulinzi wa jamii katika chuo cha usimamizi wa fedha _IFM. Pia ni mjasiriamali mdogo. Napenda kusoma vitabu,kuimba, ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)

MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) at JINCC
JINA:Gladness Benson
UMRI:19
KAZI: Muhitimu wa astashahada ya bima na ulinzi wa jamii katika chuo cha usimamizi wa fedha _IFM. Pia ni mjasiriamali mdogo.
Napenda kusoma vitabu,kuimba, kufanya shughuli za kijamii na kutembelea vivutio vya utalii.
Matarajio yangu ni kuwasaidia watoto waishio katika mazingra magumu na kuwahamasisha vijana katika suala zima la ujasiriamali ili kama vijana tuweze kusimama na kujiajiri ili tuepukane na dhana ya utegemezi
Ninawakilisha kanda ya nyanda za juu kusini 🇹🇿👑[email protected]

Ticket za Miss Tanzania zinapatikana
1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Eaters Point -Masaki
3. M'S Boutique - Mlimani City
4. Dicksound - Magomeni
5. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
6. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871 ( kwa masaa ya kazi tu)
Read more
#Repost from @riyamaally with @regram.app ... Rafiki yangu unae like na ku comment Ktk ukurasa sa wangu hawa ni vijana wetu ndugu zetu Wana imba QASWIDA nzuri Sana ndio walio imba #UTU wa nauza CD zao za QASWIDA ni nzuri mno mashallah tuwaunge mkono ili tuweze kujifunza kupitia kazi zao na ... #Repost from @riyamaally with @regram.app ... Rafiki yangu unae like na ku comment Ktk ukurasa sa wangu hawa ni vijana wetu ndugu zetu Wana imba QASWIDA nzuri Sana ndio walio imba #UTU wa nauza CD zao za QASWIDA ni nzuri mno mashallah tuwaunge mkono ili tuweze kujifunza kupitia kazi zao na wao waweze kutimiza malengo Yao kwa anae taka wafuate ktk ukurasa wao wa Instagram wanatumia @nasahacrew
Ofisi zao zipo k/koo msimbazi karibu na bigbon, group linaitwa Nasaha Crew,kwenye masherehe wanatumbuiza kama harusi au sherehe yoyote mawasiliano kwa namba zao hizi 👉 #0655 310 653

Pia mnaeza kuwafuata Ktk ukurusa wao wa Instagram wanatumia .
@nasahacrew
@nasahacrew
@nasahacrew
Read more
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) ...
Media Removed
#Repost @newmisstanzania (@get_repost) ・・・ MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018 JINA : Azama Mashango UMRI : 22 KAZI : Mwanafunzi katika chuo cha usimamizi wa fedha Ninapenda kucheza mziki, kukutana na watu tofauti ili kujifunza tamaduni mbalimbali ... #Repost @newmisstanzania (@get_repost)

MSHIRIKI FAINALI YA MISS TANZANIA 2018 (FINALIST) 8/09/2018

JINA : Azama Mashango
UMRI : 22
KAZI : Mwanafunzi katika chuo cha usimamizi wa fedha
Ninapenda kucheza mziki, kukutana na watu tofauti ili kujifunza tamaduni mbalimbali
Matarajio yangu ni kuwa mfanyabiashara mashuhuri ndani na nje ya nchi nitakaeweza saidia vijana wenzangu na watu wa rika tofauti ili kuleta mabadiliko chanya katika jamii yangu.🇹🇿👑@cloudsfmtz

Ticket za Miss Tanzania zinapatikana
1. Theonetz Dar free market - ROOM F50
2. Eaters Point -Masaki
3. M'S Boutique - Mlimani City
4. Dicksound - Magomeni
5. Flying zone travel and tours- Shamo towers Mbezi Beach
6. Aymans Boutique Salon & Spa-Kunduchi
Unaweza pia kununua kupitia application ya OTAPP. Ambayo unaingia play store na ku download app ya OTAPP. Kwa maelezo zaidi unaweza piga number 0719460871
Read more
Asalaam aleykum my beautiful customers Kesho ni siku yangu ya kuzaliwa🍼🍼 Ningependa ...
Media Removed
Asalaam aleykum my beautiful customers Kesho ni siku yangu ya kuzaliwa🍼🍼 Ningependa kutoa zawadi ya kitu chochote utakachopenda katika page yangu Utachagua mshindi utakaeshinda shindano hili 🛍🛍kwa watu watu 2. ili kushinda zawadi hizo nono unatakiwa ufate yafuatayo: ... Asalaam aleykum my beautiful customers😘💓💕💝💞
Kesho ni siku yangu ya kuzaliwa👑🎂🎂🎂🍼🍼
Ningependa kutoa zawadi ya kitu chochote utakachopenda katika page yangu
Utachagua mshindi utakaeshinda shindano hili 🛍🛍🎉🎁🎁kwa watu watu 2.
ili kushinda zawadi hizo nono unatakiwa ufate yafuatayo:👇👇👇 👉1- kindly follow 😍@tz_abaya_fashion_designer 👉2-repost pich ya kitu chochote katika page yetu na sugest people to repost like and follow
👉3-hakikisha page yako sio private ili kila tuweze kuona
👉4-tag alot of people katika picha hii na kurepost
👉5-mshindi atapelekewa zawadi hadi alipo free kama ni mkoan dar ama zanz bila gharama yoyote
Mshindi atatangwa jumanne inshallah
Zawadi utachagua mteja
(Abaya,mtandio,mswala,pallazo,dera )
Utachagua utakayopenda😋😋😋😋😍😘💌💜 Wish you all the best💝💞
#mybirthdaygiveaway🌼
#chaguachochoteutakacho🌷
#buree
Read more
Loading...
Regrann from @wolperstylish - Hellooo!! My people... Natafuta wishindi wa 5 wa kuwapatia zawadi ...
Media Removed
Regrann from @wolperstylish - Hellooo!! My people... Natafuta wishindi wa 5 wa kuwapatia zawadi ya vocha ya shilling elf 5 kila mmoja, lakin vigezo na masharti vizingatiwe, Ili ujishindie vocha hiyo unatakiwa kurepost matangazo yangu ya Mwanza kadri uwezavyo, repost zako ndo zitakupa ... Regrann from @wolperstylish - Hellooo!! My people... Natafuta wishindi wa 5 wa kuwapatia zawadi ya vocha ya shilling elf 5 kila mmoja, lakin vigezo na masharti vizingatiwe😂, Ili ujishindie vocha hiyo unatakiwa kurepost matangazo yangu ya Mwanza kadri uwezavyo, repost zako ndo zitakupa ushindi wa vocha ya elf 5 na hiyo,
Alafu pia kwa wale wakazi wa Mwanza Mwanza!! sasaaa natafuta washindi wa 5 na washindi hao watajishindia tickets za VIP!!! Kwaajili ya Siku ya Miss lake Zone2018!! pale ROCKCITY MALL So wakazi wa mwanza nafasi ni yenu, repost matangazo yangu ya mwanza kadri uwezavyo ili ujishindie VIP ticket..!bidii yako ya Ku repost ndo ushindi wako💯..!! kurepost kadri uwezavyo. See you soon Mwanza Mwanza! Itakuwa ni balaaa siku hiyo🔥Usiwaze kukosa 👯‍♀. Nawapenda sana #Misslakezone2018 #04August2018
@jembenijembe @jembenijembe @jembenijembe - #regrann
Read more
From @wolperstylish Hellooo!! My people... Natafuta wishindi wa 5 wa kuwapatia zawadi ya vocha ...
Media Removed
From @wolperstylish Hellooo!! My people... Natafuta wishindi wa 5 wa kuwapatia zawadi ya vocha ya shilling elf 5 kila mmoja, lakin vigezo na masharti vizingatiwe, Ili ujishindie vocha hiyo unatakiwa kurepost matangazo yangu ya Mwanza kadri uwezavyo, repost zako ndo zitakupa ushindi ... From @wolperstylish Hellooo!! My people... Natafuta wishindi wa 5 wa kuwapatia zawadi ya vocha ya shilling elf 5 kila mmoja, lakin vigezo na masharti vizingatiwe😂, Ili ujishindie vocha hiyo unatakiwa kurepost matangazo yangu ya Mwanza kadri uwezavyo, repost zako ndo zitakupa ushindi wa vocha ya elf 5 na hiyo,
Alafu pia kwa wale wakazi wa Mwanza Mwanza!! sasaaa natafuta washindi wa 5 na washindi hao watajishindia tickets za VIP!!! Kwaajili ya Siku ya Miss lake Zone2018!! pale ROCKCITY MALL So wakazi wa mwanza nafasi ni yenu, repost matangazo yangu ya mwanza kadri uwezavyo ili ujishindie VIP ticket..!bidii yako ya Ku repost ndo ushindi wako💯..!! kurepost kadri uwezavyo. See you soon Mwanza Mwanza! Itakuwa ni balaaa siku hiyo🔥Usiwaze kukosa 👯‍♀. Nawapenda sana #Misslakezone2018 #04August2018
@jembenijembe @jembenijembe @jembenijembe
Read more
Hellooo!! My people... Natafuta wishindi wa 5 wa kuwapatia zawadi ya vocha ya shilling elf 5 kila ...
Media Removed
Hellooo!! My people... Natafuta wishindi wa 5 wa kuwapatia zawadi ya vocha ya shilling elf 5 kila mmoja, lakin vigezo na masharti vizingatiwe, Ili ujishindie vocha hiyo unatakiwa kurepost matangazo yangu ya Mwanza kadri uwezavyo, repost zako ndo zitakupa ushindi wa vocha ya elf 5 na hiyo, Alafu ... Hellooo!! My people... Natafuta wishindi wa 5 wa kuwapatia zawadi ya vocha ya shilling elf 5 kila mmoja, lakin vigezo na masharti vizingatiwe😂, Ili ujishindie vocha hiyo unatakiwa kurepost matangazo yangu ya Mwanza kadri uwezavyo, repost zako ndo zitakupa ushindi wa vocha ya elf 5 na hiyo,

#Repost @hope_riser_organization (@get_repost) ・・・ STORI FUPI YA KUSIKITISHA YA MSICHANA ...
Media Removed
#Repost @hope_riser_organization (@get_repost) ・・・ STORI FUPI YA KUSIKITISHA YA MSICHANA "IMANI" ____________________________________________ "Napenda kusoma ili niwe na mawazo mapana. Hakuna ambacho sikupenda kusoma. Nilikuwa na ndoto ya kumaliza shule niende chuo nihitimu, ... #Repost @hope_riser_organization (@get_repost)

STORI FUPI YA KUSIKITISHA YA MSICHANA "IMANI"

"Napenda kusoma ili niwe na mawazo mapana. Hakuna ambacho sikupenda kusoma. Nilikuwa na ndoto ya kumaliza shule niende chuo nihitimu, na nifanye kazi
kama muhasibu." ========================================
Kama ilivyo kwa vijana mamilioni wa Tanzania, Imani, mwenye umri wa miaka 20, kutoka
Mwanza, mkoa wa Kaskazini Magharibi uliyopakana na Ziwa Victoria,
alitaka kusoma kadri awezavyo ili aweze kuhitimu, kupata kazi, na aweze kujikimu na kusaidia familia yake. Kuanzia miaka 14, wakati alipojiunga na sekondari, alitembea zaidi ya saa moja na nusu kila siku asubuhi kufika shule: "Nilikua nafika shule nikiwa nimechoka sana, nikaanza
kuchelewa kila wakati. Ninapofika nimechelewa
naadhibiwa." ==============================
Matarajio ya Imani yalibadilika alipofikia umri wa miaka 16.
Alinyanyaswa kingono na mwalimu wake wa mafunzo ya ziada, ambaye alikuwa mwalimu wa shule ya sekondari ambaye wazazi wake walimwajiri ili kumfundisha siku za mapumziko mwishoni mwa wiki. Imani alipogundua kwamba ana mimba, alimtaarifu mwalimu
wake. Mwalimu akatokomea pasipo julikana.
Muuguzi aliwapima mimba wasichana wote shuleni, ila Imani aliweza kukwepa kwenda shule nyakati zote mbili ambazo muuguzi alifanya
uchunguzi huo. Mwezi wa tatu katika ujauzito wake, viongozi wa
shule waligundua kwamba ni mjamzito. “Ndoto yangu ilisambaratika,” aliwambia shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Human
Rights Watch. “Nilifukuzwa shule, na pia nilifukuzwa kutoka nyumbani
nilipokua naishi [kwa dada yangu]"

***********End of Story ********** Jamii yetu inawajibu wa milele wa kuhakikisha TUNAWALINDA na KUWATETEA Wasichana Wanafunzi dhidi ya mazingira magumu na hatarishi yanayowakabili ili waweze KUFIKIA NDOTO ZAO KUPITIA ELIMU.
#Jamii_Ni_Sisi
#Tuwafanye_Wafikie
#MakeThemAchieve
©HumanRightsWatch2016
Read more
Loading...
Part 1 Povu La Diva . Repost from @divatheebawse Naanza na Part 1 endeleeni kuitana natoa tamko ...
Media Removed
Part 1 Povu La Diva . Repost from @divatheebawse Naanza na Part 1 endeleeni kuitana natoa tamko kali sana na naandika kwa lugha ya kiswahili fasaha ili tuende sawa, staki ujinga kabisa .. na kama nilivyosema navua mtu nguo namaanisha mimi sio mtu wa kubadilisha maneno na mimi huwa niko nalenga ... Part 1 Povu La Diva

Repost from @divatheebawse Naanza na Part 1 endeleeni kuitana natoa tamko kali sana na naandika kwa lugha ya kiswahili fasaha ili tuende sawa, staki ujinga kabisa .. na kama nilivyosema navua mtu nguo namaanisha mimi sio mtu wa kubadilisha maneno na mimi huwa niko nalenga point bila kuogopa mtu ... leo nimechafukwa hasa nina hasira za mkizi leo ... endeleeni kuitana , siwezi vumilia ujinga huu , unajifanya mwema kumbe ngozi ya chui mwanamke mbaya sana wewe ... umenifika kooni , yaan naandika naona kichefuchefu ntakutapika hutaamini , na sitaenda fanya interview sehemu hapa hapa katika page yangu nakumaliza hutaamini , mchana peupe Pee-)
Read more
Loading...