Joycekiriasuperwoman Instagram Photos and Videos

Loading...


joycekiriasuperwoman JOYCE KIRIA @joycekiriasuperwoman mentions
Followers: 260,168
Following: 145
Total Comments: 0
Total Likes: 0

Training ya Ujasiriamali inaendelea hapa #SEDIT ..... Jinsi ya kutekeleza Mradi Training ya Ujasiriamali inaendelea hapa #SEDIT ..... Jinsi ya kutekeleza Mradi
Loading...
WATU WENGI HUSHANGILIA SANA WATU WANAPOPATA MATATIZO, LAKINI WEWE UKO TOFAUTI SANA, UNAWAKIMBILIA ...
Media Removed
WATU WENGI HUSHANGILIA SANA WATU WANAPOPATA MATATIZO, LAKINI WEWE UKO TOFAUTI SANA, UNAWAKIMBILIA WATU WENYE MATATIZO KUWANYANYUA TENA, KUWATIA MOYO, KUWAFARIJI! YOU ARE A DEFINITION OF MOTIVATION SPEAKER IN THIS WORLD . . Mr Brand wangu, Ukiwa Kama Coach, Mentor, na Rafiki yangu ... WATU WENGI HUSHANGILIA SANA WATU WANAPOPATA MATATIZO, LAKINI WEWE UKO TOFAUTI SANA, UNAWAKIMBILIA WATU WENYE MATATIZO KUWANYANYUA TENA, KUWATIA MOYO, KUWAFARIJI! YOU ARE A DEFINITION OF MOTIVATION SPEAKER IN THIS WORLD 🙏🙏🙏
.
.
Mr Brand wangu, Ukiwa Kama Coach, Mentor, na Rafiki yangu @charlesnduku Leo naomba nikwambie, kitendo cha kuja kuniona nikiwa kwenye tanuru la moto, nikiwa katika wakati mgumu sana katika Maisha yangu, Ni wewe tuu uliamua kunikimbilia baba, wakati wengine wakinikimbia ukaja kuniona, uliamua kuja kunipa pole na kunifariji, kuongea na mimi, kuniambia nisikate tamaa, Kiukweli Nilifurahi sana Mr Brand wangu, ni Kipindi nilichokuwa nahitaji sana sana uwepo wa mtu anaeweza kuhisi maumivu yangu, Mr Brand @charlesnduku wakati wengine wakinishambulia bila kujali maumivu yangu, wakati wengine wakifurahia maumivu yangu, wewe ulichagua kuja kuniona ana kwa ana na kuzungumza na Mimi na kuniambia wewe ni miongoni mwa wanaoumia na mimi.. Nilifarijika sana Mr Brand. Maumivu yalipoa kidogo...
.
.
Mr Brand @charlesnduku ulipokuja kuniona na kunitia Moyo wakati wa Maumivu makali sana ya Hisia zangu hakika ulinipunguzia kwa kiasi. Nakiri kwamba katika Ndugu jamaa na marafiki zangu, ni wewe tuu ulichukua muda wako na kuja kuniona. Sintakaa nikusahau katika Maisha yangu... Huenda nisiweze kuelezea kwa Maneno mazuri lakini tambua kwamba ulichokifanya ni adimu sana kufanywa kwa Watu wengi... Wengi hushangilia kuanguka kwa Watu lakini wewe unakimbilia kumnyanyua mtu pale anapodondoka, Mungu akuinue viwango vya juu sana coach wangu @charlesnduku Mr Brand... HAPPY BIRTHDAY BRO AND MENTOR...
.
.
ULICHOKIFANYA KWANGU NITAKIFANYA KWA WENGINE, NITAWAKIMBILIA WANAOPATA MATATIZO KWANI NAELEWA UNAPOKUWA KWENYE MAUMIVU UNAHITAJI SANA FARAJA TOKA KWA WATU WENYE UPENDO. BARIKIWA SANA COACH AND AGAIN HAPPY BIRTHDAY 🎂🎂🎉🎉🎉
.
. (uje Tena maumivu bado yapo coach, lakini semina ya NGUVU YA MWANAMKE imenisaidia sana) Ila stress zinazeesha jamani mweeee😭😭😭! Mungu ni Mwema atanivusha Salama InshaAllah 🙏🙏🙏🙏
Read more
Hawa watu wanenisaidia maarifa mengi sana @joel_nanauka @charlesnduku wana semina usikose kuhudhuria . #Repost ...
Media Removed
Hawa watu wanenisaidia maarifa mengi sana @joel_nanauka @charlesnduku wana semina usikose kuhudhuria . #Repost from @joel_nanauka. Njoo Ujitofautishe,Jiandikishe leo: . 1)Kutengeneza mpango binafsi wa kupata uhuru wa kifedha na kujua maeneo mbalimbali ya uwekezaji wa Muda ... Hawa watu wanenisaidia maarifa mengi sana @joel_nanauka @charlesnduku wana semina usikose kuhudhuria
.
#Repost from @joel_nanauka. Njoo Ujitofautishe,Jiandikishe leo:
.
1)Kutengeneza mpango binafsi wa kupata uhuru wa kifedha na kujua maeneo mbalimbali ya uwekezaji wa Muda mrefu-Mr.Martin Kalihose(CIPM),Financial analyst Bank of Tanzania(BOT)
.
2)Kuwa mzungumzaji mzuri mbele ya watu(Jinsi ya kupata ujasiri,kuandaa ujumbe,Kuconnect na wasikilizaji n.k)-Mr.Joel Nanauka(Life Coach||Speaker||Author)
.
3)Jinsi ya Kujenga jina katika biashara yako(Business Branding) na kuikuza-Mr.Charles Nduku(Brand Expert)
.
4)Sara Ngonyani atashare “Namna mwanamke aliyepitia changamoto na maumivu anavyoweza kuanza Upya na kusimama tena”
.
Wahi kujiandikisha kabla nafasi hazijajaa #0756094875
.
See You At The Top
.
#TIMIZAMALENGOYAKO
Read more
Kama unataka kufanikiwa katika maisha yako Jenga UWEZO wa KUJIAMINI . . USIJIDHARAU - una uwezo ...
Media Removed
Kama unataka kufanikiwa katika maisha yako Jenga UWEZO wa KUJIAMINI . . USIJIDHARAU - una uwezo mkubwa sana ndani yako. . . Amini katika unachokifanya, amini mawazo yako, usifanye kama unasukuma siku au unabangaiza, haijalishi ulipoanzia, angalia mbele unapokwwnda, hicho ... Kama unataka kufanikiwa katika maisha yako Jenga UWEZO wa KUJIAMINI
.
.

USIJIDHARAU - una uwezo mkubwa sana ndani yako.
.
.

Amini katika unachokifanya, amini mawazo yako, usifanye kama unasukuma siku au unabangaiza, haijalishi ulipoanzia, angalia mbele unapokwwnda, hicho hicho kidogo ukiami na kukifanya kwa bidii zote utafanikiwa .
.

Jiamini wewe mwenyewe! Ni bora ujiamini wewe hata kama watu wengi hawakuamini, haitakuathiri. Lakini kama hujiamini wewe mwenyewe, hata dunia nzima ikuamini haitakusaidia sana...
.
.
jenga uwezo wako wa kujiamini! Good morning .
.

Semina ya NGUVU YA MWANAMKE by @joel_nanauka
Read more
Sedit Training Sedit Training 🔥🔥🔥🔥
MFUMO BORA WA VICOBA HAPA TANZANIA SEDIT MFUMO BORA WA VICOBA HAPA TANZANIA SEDIT
Loading...
SEDIT VICOBA TRAINING SEDIT VICOBA TRAINING
Mwezeshaji wetu Bw. Japhet Mswaki wa hapa SEDIT ana endelea kutoa mafunzo ya VICOBA na BIASHARA... ni bonge moja la Mwalimu Mwezeshaji wetu Bw. Japhet Mswaki wa hapa SEDIT ana endelea kutoa mafunzo ya VICOBA na BIASHARA... ni bonge moja la Mwalimu👏👏👏👏
Loading...
Mheshimiwa tuandikie kwa kiswahili pia, huu ujumbe natamani uwafikie wasichana wengi sanaaaaaa . #Repost ...
Media Removed
Mheshimiwa tuandikie kwa kiswahili pia, huu ujumbe natamani uwafikie wasichana wengi sanaaaaaa . #Repost from @jokatemwegelo. From a regular girl to beauty queen to pan-african media personality to one of the top university graduates at the University of Dar Es Salaam- with honors ... Mheshimiwa tuandikie kwa kiswahili pia, huu ujumbe natamani uwafikie wasichana wengi sanaaaaaa
.
#Repost from @jokatemwegelo. From a regular girl to beauty queen to pan-african media personality to one of the top university graduates at the University of Dar Es Salaam- with honors to owning my own business, landing on Forbes Africa @forbesafrica to being a politician to being appointed by the President of Tanzania as District Commissioner - Kisarawe and to many more accolades, Amen. Dear Girl child let no one tell you can not do it all and achieve greatness on your own terms. .
.
Many congratulations to our newly crowned Miss Tanzania @queenelizabethtanzania Go fly the Tanzanian flag 🇹🇿 higher. You have all our blessings. To all the contestants of Miss TZ this year, congrats for making it this far. You now have a platform to make a difference in your life and our country. The choice for greatness is in your hands. And to you my sister @basillamwanukuzi , thank you for restoring the respect of Miss Tanzania. Through you, girls will be inspired to go after their dreams. As the saying goes, ‘When something is important enough, you do it even if the odds are not in your favor’.. You organized a great show even without enough sponsors and resources, but you my sister did it! Well done to you 👏🏼👏🏼Looking forward to what the future holds for Miss Tanzania under your leadership and thank you for making that contribution for education in Kisarawe @newmisstanzania @mac_couture @the_queen_of_fabrics @americannailstz @kisarawe_mpya #kisarawempya #jokatekisarawe
Read more
Maisha yakuwa na maana pale unapojijua na kuijua THAMANI yako na Kuisimamia<span class="emoji emoji1f495"></span><span class="emoji emoji1f495"></span> Self Love! Hautaruhusu ...
Media Removed
Maisha yakuwa na maana pale unapojijua na kuijua THAMANI yako na Kuisimamia Self Love! Hautaruhusu ujinga maishani mwako . . Wewe ndo pekee wa kujipa THAMANI unayotaka na kuilinda. Usipojithamini wewe kwanza hata watu wako wa karibu HAWATAKUTHAMINI . Ujumbe kutoka kwenye kitabu ... Maisha yakuwa na maana pale unapojijua na kuijua THAMANI yako na Kuisimamia💕💕 Self Love! Hautaruhusu ujinga maishani mwako💯 .
.
Wewe ndo pekee wa kujipa THAMANI unayotaka na kuilinda. Usipojithamini wewe kwanza hata watu wako wa karibu HAWATAKUTHAMINI
.
Ujumbe kutoka kwenye kitabu cha UNDERSTANDING YOUR SELF by ANNA NAMAMA
.
Nguo @lizycollections
Nywele @rosebrazilian
Read more
KILA JAMBO LINA GARAMA ZAKE! UKITAKA KUFANIKISHA LAZMA UKUBALI KULIPA GARAMA KILA JAMBO LINA GARAMA ZAKE! UKITAKA KUFANIKISHA LAZMA UKUBALI KULIPA GARAMA 💪💪💪
This msg is very very powerful kutoka kwa mama la mama @oprah . Tupeane MAUA tungali bado tunaweza yanusa yaani kumjazia mtu maua kaburini ni uselessness good morning Ig . #Repost from @oprah. I believe in giving people flowers while they can smell them, but this is waaay over the top. ... This msg is very very powerful kutoka kwa mama la mama @oprah .
Tupeane MAUA tungali bado tunaweza yanusa👌💯 yaani kumjazia mtu maua kaburini ni uselessness 😜😜 good morning Ig
.
#Repost from @oprah. I believe in giving people flowers while they can smell them, but this is waaay over the top. @jeffleatham !
Read more
Loading...
My dada hongera sana kwa kazi kubwa uliyofanya... kama Mjasiriamali kuandaa Tukio hili kwa garama zako siyo mchezo my love.... kwa dhati nakupongeza kabisa kwa KUTHUBUTU kuwekeza kwenye eneo ambalo wadau wameshakosa IMANI nalo... yaani kupata wadhamini ni changamoto.... yaani umeingia ... My dada hongera sana kwa kazi kubwa uliyofanya... kama Mjasiriamali kuandaa Tukio hili kwa garama zako siyo mchezo my love.... kwa dhati nakupongeza kabisa kwa KUTHUBUTU kuwekeza kwenye eneo ambalo wadau wameshakosa IMANI nalo... yaani kupata wadhamini ni changamoto.... yaani umeingia mfukoni🤔🤔🤔 NGACHOKAAAAA .
My dada usikate Tamaa... nakuhakikishia shindano limepata promo kubwa sana, na usisahahu kwamba watu wanashdadia zaidi NEGATIVE kuliko POSITIVE, na hizo Negative zinatujenga na kuboresha pale panapostahili
.
Take it very POSITIVE my love, fanyia kazi yale ya muhimu na usonge mbele my dear... majungu, chuki, waachie wenyewe
.
Kwangu mimi na hali ya uchumi iliyopo naona UMETHUBUTU NA UMEWEZA👏👏👏👏 UNASTAHILI PONGEZI NYINGI SANAAAA... siyo lazima wakupongeze wote mpz... wewe jua kwamba tupo tunaokuunga mkono 🤝🤝🤝🤝 Kuwa na Amani my love sister @basillamwanukuzi @basillamwanukuzi @basillamwanukuzi
Read more
This is very powerful . Binafsi nimeuona utendaji wako Mheshimiwa @anthony_mtaka hakika utendaji wako siyo wa nchi hii . Nimefurahi sana kuskia hilo toka kwa Mheshimiwa Rais wetu.. . Big up sana @anthony_mtaka @anthony_mtaka @anthony_mtaka This is very powerful 💪💪💪
.
Binafsi nimeuona utendaji wako Mheshimiwa @anthony_mtaka hakika utendaji wako siyo wa nchi hii👏👏👏👏 .
Nimefurahi sana kuskia hilo toka kwa Mheshimiwa Rais wetu..
.
Big up sana @anthony_mtaka @anthony_mtaka @anthony_mtaka
Nguo kwa udhamini wa @lizycollections @lizycollections @lizycollections . Nywele ni kutoka ...
Media Removed
Nguo kwa udhamini wa @lizycollections @lizycollections @lizycollections . Nywele ni kutoka @rosebrazilian @rosebrazilian @rosebrazilian Nguo kwa udhamini wa @lizycollections @lizycollections @lizycollections .
Nywele ni kutoka @rosebrazilian @rosebrazilian @rosebrazilian
Loading...
SUPER WOMAN ndani ya Nywele makini kutoka @rosebrazilian @rosebrazilian @rosebrazilian @rosebrazilian ...
Media Removed
SUPER WOMAN ndani ya Nywele makini kutoka @rosebrazilian @rosebrazilian @rosebrazilian @rosebrazilian @rosebrazilian SUPER WOMAN ndani ya Nywele makini kutoka @rosebrazilian @rosebrazilian @rosebrazilian @rosebrazilian @rosebrazilian
Mchana Mwema<span class="emoji emoji1f60b"></span><span class="emoji emoji1f60b"></span><span class="emoji emoji1f60b"></span>
Media Removed
Mchana Mwema Mchana Mwema😋😋😋
WAMTUMAINIO BWANA NI KAMA MLIMA SAYUNI HAWATATIKISIKA MILELE AMINA<span class="emoji emoji1f64f"></span><span class="emoji emoji1f64f"></span><span class="emoji emoji1f64f"></span><span class="emoji emoji1f64f"></span>
Media Removed
WAMTUMAINIO BWANA NI KAMA MLIMA SAYUNI HAWATATIKISIKA MILELE AMINA WAMTUMAINIO BWANA NI KAMA MLIMA SAYUNI HAWATATIKISIKA MILELE AMINA🙏🙏🙏🙏
Loading...
Jamani Flora wangu @flora_nitetee2 pokea kidogo nilichonacho...usife Moyo Mungu atafanya Njia ...
Media Removed
Jamani Flora wangu @flora_nitetee2 pokea kidogo nilichonacho...usife Moyo Mungu atafanya Njia usiogope... . . Jamani nawaomba tumsaidie huyu dada kadiri tutakavyoguswa na pia tufolo page yake nyingine @flora_nitetee2 ambayo ni mbadala wa ile iliyopotea... Ninaamini kazi ya kusaidia ... Jamani Flora wangu @flora_nitetee2 pokea kidogo nilichonacho...usife Moyo Mungu atafanya Njia usiogope... .
.
Jamani nawaomba tumsaidie huyu dada kadiri tutakavyoguswa na pia tufolo page yake nyingine @flora_nitetee2 ambayo ni mbadala wa ile iliyopotea... Ninaamini kazi ya kusaidia Jamii ni Yetu sote...
.
.
Flora anasaidia wagonjwa na Watoto Yatima na watoto wenye mazingira magumu, Kwa Sasa Flora anapatikana kupitia page ya @flora_nitetee2
.
.
MIMI NINAMUOMBEA MSAADA FLORA WANGU, ANA MZIGO MZITO SANA, HII KAZI NIMEIFANYA, NI NGUUUUUMUUUUUUU...
.
.
NAOMBA SANA WADAU WANGU TUMCHANGIE HUYU SUPER WOMAN WETU MPAMBANAJI WETU APATE CHA KUWAPA WATOTO YATIMA NA WAGONJWA ANAOUGUZA +255759665555
.
.
Chochote utakachoguswa kumchangia tafadhali tumia Namba hii +255759665555 na Mungu akubariki sana.🙏🙏🙏🙏🙏
.
.
Flora wangu pole sana, wewe ni Mama Teresa wa Tanzania, usihofu Mungu atakufanyia njia, atakupa wadau wengine watakaoguswa zaidi... NAKUPENDA SANA, NAPENDA SANA KAZI YAKO! WEWE NI SUPER WOMAN💪💪 .
.
Pls Tag wadau wa Maendeleo tumshike huyu dada mkono
Read more
Jamani Rafiki yangu toka amepoteza page ya Shirika lake la NITETEE FOUNDATION anapata tabu sana ...
Media Removed
Jamani Rafiki yangu toka amepoteza page ya Shirika lake la NITETEE FOUNDATION anapata tabu sana toka apoteze wadau wa page yake hii ya @flora_nitetee ambayo ilikuwa Nguzo na Msingi Mkubwa sana kwenye kazi Kubwa sana anazofanya kwenye Jamii Yetu... Naomba tumpe sapoti jamani kazi za ... Jamani Rafiki yangu toka amepoteza page ya Shirika lake la NITETEE FOUNDATION anapata tabu sana toka apoteze wadau wa page yake hii 👉👉👉 ya @flora_nitetee ambayo ilikuwa Nguzo na Msingi Mkubwa sana kwenye kazi Kubwa sana anazofanya kwenye Jamii Yetu... Naomba tumpe sapoti jamani kazi za Jamii ni ngumu sana sana sana sanaaaaaa .... Flora anatuhitaji yuko kwenye mtihani, kwa sasa anatumia page hii @flora_nitetee2 Watoto wa kile kituo chake kinachosaidia wanahitaji chakula, wagonjwa wanamtegemea matibabu...... Kiukweli Siyo kazi rahisi hata kidogo...Binafsi Natuma kamchango kangu kadogo sana nilionao, kwani wanasema kutoa ni Moyo siyo utajiri..naomba tumsaidie mwenzetu kwa hali na Mali +255759665555 @flora_nitetee2
.
.
Regrann from @flora_nitetee2 - NAUMIA KUWAKOSA WATU WANGU WALIOKUWA HUMU KWENYE PAGE YANGU YA ZAMANI:: NAJUA KUNA ANAEWEZA KUIRUDISHA PAGE YANGU PLEASE NJOO DM TUYAJENGE🙏🙏🙏🙏 - #regrann
Read more
Tuko kwenye jamii tunafanya zoezi la kuwaandaa wananchi kuunda vikundi vya #VICOBA Ilala... Kabla ...
Media Removed
Tuko kwenye jamii tunafanya zoezi la kuwaandaa wananchi kuunda vikundi vya #VICOBA Ilala... Kabla ya kumaliza darasa la Ualimu wa Vikoba #WANAWAKELIVEVICOBA . Tuko kwenye jamii tunafanya zoezi la kuwaandaa wananchi kuunda vikundi vya #VICOBA Ilala... Kabla ya kumaliza darasa la Ualimu wa Vikoba #WANAWAKELIVEVICOBA
.
Nguo hii na nyingine nzuri utaipata @lizycollections @lizycollections
Media Removed
Nguo hii na nyingine nzuri utaipata @lizycollections @lizycollections Nguo hii na nyingine nzuri utaipata @lizycollections @lizycollections
Asante sana @lizycollections kwa kunivalisha.. nywele nzuri @rosebrazilian
Media Removed
Asante sana @lizycollections kwa kunivalisha.. nywele nzuri @rosebrazilian Asante sana @lizycollections kwa kunivalisha.. nywele nzuri @rosebrazilian
Hey guys, nimenabwa na darasa la Vicoba vya SEDIT.... Naomba kuwatangazia Wanawake mlioko hapa, ...
Media Removed
Hey guys, nimenabwa na darasa la Vicoba vya SEDIT.... Naomba kuwatangazia Wanawake mlioko hapa, Leo Coach wangu @joel_nanauka ataanza semina ya wanawake bure, pls pls hakikisha unatumia fursa hii nzuri itakujenga sana.. . . OFAOFAOFAOFA . Mwezi uliopita niliendesha Kozi ... Hey guys, nimenabwa na darasa la Vicoba vya SEDIT.... Naomba kuwatangazia Wanawake mlioko hapa, Leo Coach wangu @joel_nanauka ataanza semina ya wanawake bure, pls pls hakikisha unatumia fursa hii nzuri itakujenga sana..👇👇 .
.
OFA💥OFA💥OFA💥OFA
.
Mwezi uliopita niliendesha Kozi ya Online ya “NGUVU YA MWANAMKE”. ambayo wanawake wengi walijiandikisha,kulipia na kujiunga.Kutoka katika Kozi ile kumekuwa na shuhuda nyingi sana na za mabadiliko na uponyaji wa mioyo.
.
Bado kuna watu wengi sana wanahitaji Kozi ile baada ya kupewa taarifa.Nimejisikia moyoni kuirudia Kozi hii bure kwa kila Mwanamke atakayehitaji kuanzia 5 hadi 8 Mwezi wa 9.
.
Jiandikishe kupitia namba 0756094875(kwa Njia ya watsap) kwa kutuma jina kamili na neno “NGUVU YA MWANAMKE kabla ya tarehe 5.
.
Kozi inafundisha nguvu 6 za kipekee alizonazo Mwanamke,Vikwazo 7 vinavyozuia wanawake kufanikiwa na jinsi ya kuvikabili,Mambo 6 yanayosabisha maumivu ya Mioyo kwa wanawake na jinsi ya Kupona Maumivu uliyopitia n.k
.
Usisahau kumtaarifu Rafiki yako au mtu wako wa karibu unayempenda.Unaweza pia kumtag hapa ili Asikose.
.
Wanawake mna Kitu cha kipekee!!.
.
See You At The Top
.
@JoelNanauka
.
#TIMIZAMALENGOYAKO
Read more
Final nimeanza darasa la Mfumo Imara wa VICOBA katika Taasis ya SEDIT iliyoko Ilala Dar Es Salam... ...
Media Removed
Final nimeanza darasa la Mfumo Imara wa VICOBA katika Taasis ya SEDIT iliyoko Ilala Dar Es Salam... Ni Mafunzo ya wiki mbili kuanzia 3/9/2018 . . Nimefarijika sana kuanza masomo haya, na Nimefikia hatua ya kufanya Kozi hii ili kuongeza wigo wa kusaidia Wanawake wenzangu kujikwamua haswa ... Final nimeanza darasa la Mfumo Imara wa VICOBA katika Taasis ya SEDIT iliyoko Ilala Dar Es Salam... Ni Mafunzo ya wiki mbili kuanzia 3/9/2018
.
.
Nimefarijika sana kuanza masomo haya, na Nimefikia hatua ya kufanya Kozi hii ili kuongeza wigo wa kusaidia Wanawake wenzangu kujikwamua haswa kiuchumu.
.
.
Moyoni Natamani kuwaona Wanawake wenzangu wanakuwa na Uhuru wa Kipato... ITAWEZEKANAJE???? InshaAllah naimani Mungu atafanya Njia 🙏🙏🙏
Read more
WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA.... ASANTE SANA SEDIT TANZANIA KWA ELIMU HII YA MFUMO IMARA WA VICOBA #WANAWAKELIVEVICOBA WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA.... ASANTE SANA SEDIT TANZANIA KWA ELIMU HII YA MFUMO IMARA WA VICOBA #WANAWAKELIVEVICOBA
MAFUNZO YANAENDELEA.......NI MAFUNZO YA UALIMU WA VICOBA KUTOKA SEDIT TANZANIA.... SEDIT NDO WAASISI WA VICOBA TANZANIA, VICOBA VINGI HAVINA ELIMU SAHIHI YA VICOBA NDO CHANZO CHA MATATIZO MENGI KWENYE VIKUNDI VINGI, KARIBUNI SANA WANAPATIKANA ILALA . . SISI HAWA & WANAWAKELIVE TUMEKUJA ... MAFUNZO YANAENDELEA.......NI MAFUNZO YA UALIMU WA VICOBA KUTOKA SEDIT TANZANIA.... SEDIT NDO WAASISI WA VICOBA TANZANIA, VICOBA VINGI HAVINA ELIMU SAHIHI YA VICOBA NDO CHANZO CHA MATATIZO MENGI KWENYE VIKUNDI VINGI, KARIBUNI SANA WANAPATIKANA ILALA .
.
SISI HAWA & WANAWAKELIVE TUMEKUJA KUJIFUNZA MFUMO HUU ILI TUSAIDIE WANAWAKE NA VIJANA KUJIKWAMUA NA UMASKINI KUPITIA KAMPENI YETU YA MWANAMKE PIGA KAZI #WANAWAKELIVEVICOBA
Read more
MAFUNZO YANAENDELEA.......NI MAFUNZO YA UALIMU WA VICOBA KUTOKA SEDIT TANZANIA.... SEDIT NDO WAASISI WA VICOBA TANZANIA, VICOBA VINGI HAVINA ELIMU SAHIHI YA VICOBA NDO CHANZO CHA MATATIZO MENGI KWENYE VIKUNDI VINGI, KARIBUNI SANA WANAPATIKANA ILALA . . SISI HAWA & WANAWAKELIVE TUMEKUJA ... MAFUNZO YANAENDELEA.......NI MAFUNZO YA UALIMU WA VICOBA KUTOKA SEDIT TANZANIA.... SEDIT NDO WAASISI WA VICOBA TANZANIA, VICOBA VINGI HAVINA ELIMU SAHIHI YA VICOBA NDO CHANZO CHA MATATIZO MENGI KWENYE VIKUNDI VINGI, KARIBUNI SANA WANAPATIKANA ILALA .
.
SISI HAWA & WANAWAKELIVE TUMEKUJA KUJIFUNZA MFUMO HUU ILI TUSAIDIE WANAWAKE NA VIJANA KUJIKWAMUA NA UMASKINI KUPITIA KAMPENI YETU YA MWANAMKE PIGA KAZI #WANAWAKELIVEVICOBA
Read more
My World my Lincon & Linston alhamdulilah Zijui hizi hobi ‍♂️‍♂️ wamezitoa wapi maana navyoogopa maji My World my Lincon & Linston alhamdulilah 🙏 Zijui hizi hobi 🏊‍♂️🏊‍♂️ wamezitoa wapi maana navyoogopa maji 🙉
Mood Barikiwa popote ulipo uwe na Mwezi wa Mafanikio Mood 🔥🔥🔥🔥 Barikiwa popote ulipo🙏 uwe na Mwezi wa Mafanikio 🙏
Oh Yes..... Napenda kumshukuru Mungu kwa kutusaidia kufanikisha maonyesho ya siku Mbili Mnazi ...
Media Removed
Oh Yes..... Napenda kumshukuru Mungu kwa kutusaidia kufanikisha maonyesho ya siku Mbili Mnazi Mmoja mwezi wa nane.... Kuandaa jambo hili linalohitaji garama bila kuchaji Wajasiriamali haikuwa kazi rahisi hata kidogo... Lakini Mungu wetu ni mwaminifu ukiombana na kutafuta kwa bidii ... Oh Yes..... Napenda kumshukuru Mungu kwa kutusaidia kufanikisha maonyesho ya siku Mbili Mnazi Mmoja mwezi wa nane.... Kuandaa jambo hili linalohitaji garama bila kuchaji Wajasiriamali haikuwa kazi rahisi hata kidogo... Lakini Mungu wetu ni mwaminifu ukiombana na kutafuta kwa bidii hakika atakupa unachotaka🙏🙏🙏
.
.
Imekuwa ni Kiu ya muda mrefu kuandaa Tamasha la kuwasaidia Wajasiriamali hususan Wanawake waje Kujifunza kutoka kwa wenzao Jinsi ya kuboresha bidhaa ziweze kushindana Sokoni... Najua wanawake wengi wanaumia sana kutokana na umaskini Sasa napambana kusaidia japo hata wachache wakitoka kwenye umaskini Kwangu ni Mafanikio makubwa sana
.
.
Tamasha lilikuwa bure kabisa, naomba Mungu atuwezeshe kulifanya ili kila Mwanamke aweze kuja kushiriki na Kujifunza...
.
.
Kwa hili la Mwezi wa nane niwashukuru sana JUKWAA LA WANAWAKE DAR ES SALAM - JUWADA kwa kushirikiana nasi bega kwa bega, na kuhakikisha upatikanaji wa Uwanja wa Mnazi Mmoja, Asante sana Mkurugenzi na Afisa Utamaduni kwa ushirikiano wenu, Asanteni Wataalamu Afisa Biashara Mkoa na wengine mliofika
.
.
Asanteni sana @lukolocatering kwa kutuunga Mkono kutupa baadhi ya TENT, MEZA, VITI... Pia Mzee Mapunda Mungu akubariki sana kwani nawe ulituongezea TENT, VITI, MEZA.... pia Cocacola asanteni kwa VITI na MEZA, Asante sana Team ya Ulinzi kaka Kweka na wenzako tunawashukuru sana, Asanteni Wajasiriamali Wote mliofika naimani kuna hatua tunakwenda kusogea
.
.
Kipekee nawashukuru wadhamini wa Kipindi cha #Wanawakelive @hc_sanitary_pads
Mmekuwa na sisi katika kazi tunazofanya, tunawashukuru sana, na Mwisho ni Team yangu Kutoka HAWA FOUNDATION & WANAWAKELIVE kwa kazi Nzuri mliofanya...
Read more
Jamaniiiii…….Taarifa ya jana kuhusu Mwanamke alie KABWA na mume mpaka kufa  imeniumaaaaa sanaaaaa…… ...
Media Removed
Jamaniiiii…….Taarifa ya jana kuhusu Mwanamke alie KABWA na mume mpaka kufa  imeniumaaaaa sanaaaaa…… si mnanijua……. Haya mambo kwa kweki siyaafiki  kabisaaaa…. Kwa hapo mtanisamehe sintarudi Nyuma kamwe na Mungu atanisaidia maana Najua Nimegusa Maisha ya Familia nyingi sana kuhusu ... Jamaniiiii…….Taarifa ya jana kuhusu Mwanamke alie KABWA na mume mpaka kufa 
imeniumaaaaa sanaaaaa…… si mnanijua……. Haya mambo kwa kweki siyaafiki 
kabisaaaa…. Kwa hapo mtanisamehe sintarudi Nyuma kamwe na Mungu atanisaidia maana Najua Nimegusa Maisha ya Familia nyingi sana kuhusu janga la Ukatili.... .
.
Wengi mnanitukana sana najua Kosa langu ni kujitoa mhanga kupaza Sauti yangu kupinga Ukatili kwa vitendo..... Nitukaneni tuu lakini naomba ukimaliza kunitukana ujiulize kama Kusudi la Wanaume kupewa misuli ni ili mpige wake zenu???? Naomba haya mambo tuyajadili kwa kina sana ili yaondoke kwenye familia zetu... Ukatili hauna cheo, Elimu, Kabila wala Dini... Ukatili Unapaswa kukemewa kabisa bila kuonea mtu aibuuu...
.
.
Anyway.... Jamani kwa wale mlielewa kwamba alibakwa siyo KUBAKWA 
inasemekana AMEKABWA mpaka akafa, ivi kumkaba mtu si kumyonga eeeeeh??? .
.
So…..Kuna wadau tofauti DM walileta hiyo habari kwamba ni kweli huyo 
Mwanamke kauliwa na mume…. Kesi za ivi siyo ngeni, Naomba niulize Wanaume 
mlioko hapa, kwanza nakiri siyo wanaume wote watesaji, najua wapo wanaume 
makini mmesimama katika nafasi zenu vizuri.  Mungu awabariki sana .
.

Sasa kwa hawa wanaopiga wake zao na wengine kuwatoa hadi roho kabisa, ndo 
nauliza Hilo ndilo jukumu mlilopewa na Mungu?? .
.

Wanawake kama binadamu tuna makosa yetu, lakini wanaume kama binadamu 
mnakosea sana, lakini adhabu ya Mwanamke ni kukasirika na baadae kusamehe, 
kumbuka anapokasirika ni adhabu nyingine unampa…. sasa kwanini nyie adhabu 
yenu kwa Wanawake ni Kipigo tena cha mbwa coco??? .
.

Mpaka mtu anakufa au anakuwa kilema kabisa…. Wenzetu hiyo misuli 
mliyopewa ni kwa ajili ya kazi hiyo ya kutupiga na mpaka kutuua???? .
.
#TUVUNJEUKIMYA #UKATILIWAKIJINSIAHAUKUBALIKI
Read more
Watu wa kutukwaza hawataisha, Tumwombe Mungu atusaidie kukabiliana na Makwazo hayo... Jumapili ...
Media Removed
Watu wa kutukwaza hawataisha, Tumwombe Mungu atusaidie kukabiliana na Makwazo hayo... Jumapili Njema! Watu wa kutukwaza hawataisha, Tumwombe Mungu atusaidie kukabiliana na Makwazo hayo... Jumapili Njema!
Alhamdulilah . #Repost from @wanawakelivetz. 1/3.....MWANAMKE PIGA KAZI UFIKIE UCHUMI WA VIWANDA Alhamdulilah 🙏🙏 .
#Repost from @wanawakelivetz. 1/3.....MWANAMKE PIGA KAZI UFIKIE UCHUMI WA VIWANDA
Mazoezi ni Afya na Afya ni Mtaji Mazoezi ni Afya na Afya ni Mtaji💪💪💪💪
Leo tuna Nguvu za kufanya kazi, na tunaishi kwa kutokana na kipato tunachopata baada ya kutumia ...
Media Removed
Leo tuna Nguvu za kufanya kazi, na tunaishi kwa kutokana na kipato tunachopata baada ya kutumia Nguvu zetu... Ebu fikiria ukiumwa wiki bila Kupanga kazi utaishije?? Una Akiba ya kuishi wiki moja bila kufanya kazi??? (Kitaalamu unatakiwa uwe na Akiba za kukuwezesha kuishi miezi Sita bila ... Leo tuna Nguvu za kufanya kazi, na tunaishi kwa kutokana na kipato tunachopata baada ya kutumia Nguvu zetu... Ebu fikiria ukiumwa wiki bila Kupanga kazi utaishije?? Una Akiba ya kuishi wiki moja bila kufanya kazi??? (Kitaalamu unatakiwa uwe na Akiba za kukuwezesha kuishi miezi Sita bila kufanya kazi endapo utapata tatizo lolote) Mimi nakuuliza wiki moja tuu 😂😂😂😂
.
.

okay... Tujiulize Kesho tutakapokuwa tumepoteza Nguvu za kufanya kazi tutaishi kwa kipato gani???
.
.
Kama watu tunaobinuka kutafuta mafanikio tukae tutafakari juu ya hatma zetu, tujiulize kwa Sasa tunaingiza kiasi gani, na Miaka 20 baadae tutakuwa tunaingiza kiasi gani....
.
.

Wanawake wengi hapa sisi ni wahanga... Kuishi bila budget na mikakati tunaongoza 🙌🙌🙌 tunaishi bila kuwa na mkakati wa kifedha madhubuti, Tunaishi kwa matumaini ya kufanikiwa kupitia waume zetu 🙈🙈 na Matokeo Yake tunakumbwa na Changamoto kubwa sana ya umaskini .... .
.
Semina by @joel_nanauka
Nywele by @rosebrazilian .
Kwa udhamini wa @hc_sanitary_pads
Read more
Naungana na wenzangu wote kukutakia Heri, upone urejee kwenye kazi zako @ommydimpoz
Media Removed
Naungana na wenzangu wote kukutakia Heri, upone urejee kwenye kazi zako @ommydimpoz Naungana na wenzangu wote kukutakia Heri, upone urejee kwenye kazi zako @ommydimpoz
Helo my Sweetheart, kikweli Yajayo yatakushangaza zaidi my love... . . Utakapogundua kupitia ...
Media Removed
Helo my Sweetheart, kikweli Yajayo yatakushangaza zaidi my love... . . Utakapogundua kupitia Ndoa yangu wapo wengi sana wamerekebisha Ndoa zao...wale Wanaume waliokuwa wamejisahau sasa wameanza kuchapa kazi hatareeee, wameanza kuwajibika mwanzo mwisho, wameanza wanatunza ... Helo my Sweetheart, kikweli Yajayo yatakushangaza zaidi my love...
.
.
Utakapogundua kupitia Ndoa yangu wapo wengi sana wamerekebisha Ndoa zao...wale Wanaume waliokuwa wamejisahau sasa wameanza kuchapa kazi hatareeee, wameanza kuwajibika mwanzo mwisho, wameanza wanatunza wake zao na familia, naimani familia hizi zinamtukuza Mungu kwa yaliyotokea kwangu kwani yamefanyika ni msaada kwao... nami kwa moyo mmoja nawaombea wanaume hawa kila wanachofanya kifanikiwe ili waweze kuvaa uhusika wa Ubaba halali.. .
.
zipo Ndoa sasa hivi zina Amani na Furaha kupitia matatizo yangu na jinsi nilivyovunja ukimya japo nilipata upinzani mkali lakini Ujumbe niliouleta ni Ujumbe Mzito sana, ulisambaa kila kona, hadi wachungaji waliongelea... .
.
ebu fikiria Ndoa zetu nyingi ni mateso kwa jina la mwanamke kuvumilia kila siku hata mambo ya kijinga kabisaa.... HAPANA my love, navyojua mimi Ndoa ni Upendo mpz siyo vita, Mwanaume amepewa misuli alinde Mke wake na watoto wake na ndugu jamaa na marafiki....
.
.
Kuhusu kupanga! Kwangu hii ni hatua kubwa sana ya Mafanikio mpenzi wangu.. kutoka kuwa House girl mpaka kujitegemea, nalipa kodi, ada, wanangu wanakula, Namshukuru sana Mungu wangu🙏🙏🙏 .
.
Kuhamasisha Wengine ni Kipaji changu, najua wapo wanawake hawajaweza hata kupanga chumba kimoja, hana uhakika wa chakula mlo mmoja kwa siku, watoto kaachiwa😪😪 naimani huyu anatamani kufika nilipo mimi...
.
So my Sweetheart, Yajayo yatakushangaza zaidi my love... Namtukuza Mungu kwa Haya yote🙏🙏 Amen
Read more
Healthy is Wealthy! Afya njema ni Utajiri mkubwa sana Alhamdulilah Healthy is Wealthy! Afya njema ni Utajiri mkubwa sana 🙏🙏 Alhamdulilah
Kikwazo kingine kikubwa kwa Wanawake wengi kutofikia kilele cha mafanikio ni KUTOJIAMINI. . . Hii ...
Media Removed
Kikwazo kingine kikubwa kwa Wanawake wengi kutofikia kilele cha mafanikio ni KUTOJIAMINI. . . Hii imeonekana ni moja kati ya sababu Kubwa inayoturudisha Nyuma wanawake wengi. Unakuta tunafanya biashara kivivu, hatuna mkakati wowote madhubuti, tunajifanyia ilimradi liende.. . . Kama ... Kikwazo kingine kikubwa kwa Wanawake wengi kutofikia kilele cha mafanikio ni KUTOJIAMINI.
.
.
Hii imeonekana ni moja kati ya sababu Kubwa inayoturudisha Nyuma wanawake wengi. Unakuta tunafanya biashara kivivu, hatuna mkakati wowote madhubuti, tunajifanyia ilimradi liende..
.
.
Kama tunafanya biashara kwa staili hii tusitarajie muujiza wa Mafanikio! Lazima kwanza tujiamini, tujikubali na tuamini tunachokifanya na tukifanye kwa umakini wa hali ya JUU sana...
.
.

Kiukweli wengi wetu hatuna hii nidhamu kabisa Na ndo sababu biashara zetu haziendelei na zaidi hufa... Tubadilike kama Kweli tunamaanisha kufanikiwa....
.
.
Semina by @joel_Nanauka
Nywele by @rosebrazilian
Read more
Kwenye Semina ya NGUVU YA MWANAMKE moja kati ya Nguvu tuliyojifunza ni "NGUVU YA KUHATAMIA" . . Mwanamke ...
Media Removed
Kwenye Semina ya NGUVU YA MWANAMKE moja kati ya Nguvu tuliyojifunza ni "NGUVU YA KUHATAMIA" . . Mwanamke amepewa uwezo wa kupokea MBEGU, akailea mpaka akazaa mtoto na mtoto akakua... . . Hii Nguvu hata kwenye Mafanikio Mwanamke unayo.... Una uwezo mkubwa sana wa kuligeuza Wazo kuwa ... Kwenye Semina ya NGUVU YA MWANAMKE moja kati ya Nguvu tuliyojifunza ni "NGUVU YA KUHATAMIA"
.
.

Mwanamke amepewa uwezo wa kupokea MBEGU, akailea mpaka akazaa mtoto na mtoto akakua... .
.

Hii Nguvu hata kwenye Mafanikio Mwanamke unayo.... Una uwezo mkubwa sana wa kuligeuza Wazo kuwa kitu Halisi... Haijalishi ni Wazo lako au la Mume.. Lakini unayo Nguvu ya Kipekee ya KUHATAMIA...
.
.

Unapoianza Wiki yako, tambua Nguvu hii uliyonayo, na uitumie katika Maisha yako, yawezekana kuna vitu umeachia njiani, kwa sababu vilikuwa katika hatua ya "MAYAI" au MIMBA kabla ya kuwa VIFARANGA au MTOTO ukakata Tamaa..
.
.

Leo tafakari shuhulu zako huku ukiijua Nguvu hii ya KUHATAMIA mayai yakatoa vifaranga au KULEA MIMBA ukazaa mtoto, NDOTO yako ni mayai au Mbegu ya mtoto lazima uwe na SUBIRA ule muda wa KUHATAMIA au Kulea Mimba... .
.

Je ni mambo Mangapi umejaribu kuyafanya na kuishia njiani au kukata Tamaa kwenye Kipindi cha KUHATAMIA????
.
.

Semina by @joel_Nanauka
Nywele by @rosebrazilian
Read more
"UKISAMEHE UNAJIFUNGUA KWENYE UTUMWA NA UNAJIONDOA KWENYE MAUMIVU. USISUBIRI MPAKA ALIEKUKOSEA ...
Media Removed
"UKISAMEHE UNAJIFUNGUA KWENYE UTUMWA NA UNAJIONDOA KWENYE MAUMIVU. USISUBIRI MPAKA ALIEKUKOSEA AJE AKUOMBE MSAMAHA, TANGAZA MSAHAMA, ACHILIA KABISA ILI UJIWEKE GURU! NI KWA FAIDA YAKO WEWE WALA SIYO KWA FAIDA YA ALIEKUKOSEA" . . ANZA UKURASA MPYA KWELIKWELI, (USIONYESHE WATU UMEPONA ... "UKISAMEHE UNAJIFUNGUA KWENYE UTUMWA NA UNAJIONDOA KWENYE MAUMIVU. USISUBIRI MPAKA ALIEKUKOSEA AJE AKUOMBE MSAMAHA, TANGAZA MSAHAMA, ACHILIA KABISA ILI UJIWEKE GURU! NI KWA FAIDA YAKO WEWE WALA SIYO KWA FAIDA YA ALIEKUKOSEA" .
.
ANZA UKURASA MPYA KWELIKWELI, (USIONYESHE WATU UMEPONA WAKATI NDANI UNAVUJA DAMU) JIAMBIE UKWELI WA MAUMIVU YAKO, JIAMBIE KWAMBA MOYO WAKO UNA MAJERAHA TENA MABICHI KABISA - KISHA ANZA KUSAMEHE, NI KWA FAIDA YAKO, KWA SABABU UKIRUHUSU MAUMIVI YAENDELEE NDANI YAKO, UNARUHUSU TATIZO KUZIDI KUWA KUBWA NA KUWA KIKWAZO KIKUBWA KATIKA KUTIMIZA MALENGO YAKO...
.
.
@joel_nanauka Semina hii ilikuwa ni yangu 💯💯 Haya ni baadhi ya Maneno yamenigusa sana sana sana lakini kimsingi semina ya Nguvu ya Mwanamke ni 🔥🔥🔥🔥🔥 na Hakika NIMEFUNGULIWAAAAAAAA........ Barikiwa mno mno mno 🙏🙏🙏🙏🙏
.
.
Ewe Mwenyezi Mungu muumba wa Mbingu na Nchi naomba nisaidie kusamehe kama unavyonisamehe mimi makosa yangu kila siku... niumbie Moyo wa msamaha na Toba Ndani yangu Baba, kwa kiburi za kibinadamu ni ngumu lakini kwa Nguvu zako INAWEZEKANA naomba kwa Jina la Yesu Amen... 🙏🙏🙏
.
.
Again Asante sana my coach @joel_nanauka kwa Somo zuri sana la NGUVU YA MWANAMKE 🙏🙏 Hakika LIMENIFUNGUA sanaaaaa....
Read more
Lincon & Linston Lincon & Linston
#Repost from @wanawakelivetz. #WANAWAKELIVETVSHOW - Leo usikose Kipindi bora cha Wanawake Tanzania #WANAWAKELIVE na Le Super Woman @joycekiriasuperwoman tuna fursa kibao kama kawaida Yetu..... . . Tuna Fursa kubwa Toka #SIMIYU pia tunaandaa #MAONESHO ya wajasiriamali wadogo ... #Repost from @wanawakelivetz. #WANAWAKELIVETVSHOW - Leo usikose Kipindi bora cha Wanawake Tanzania #WANAWAKELIVE na Le Super Woman @joycekiriasuperwoman tuna fursa kibao kama kawaida Yetu..... .
.
Tuna Fursa kubwa Toka #SIMIYU pia tunaandaa #MAONESHO ya wajasiriamali wadogo tunataka kuona Tanzania ya Viwanda kwa Wanawake yatafanyika tarehw 30 na 31 yaani wiki ijayo bureeeew
.
.
bila kusahau program zetu Wafanyakazi wa Nyumbani na Elimu ya Mtoto wa Kike ....Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥 @anthony_mtaka @ummymwalimu @faustine_ndugulile @wizara_afyatz @maendeleoyajamiitz
Read more
MWANAMKE PIGA KAZI MWANAUME PIGA KAZI Production ya #WANAWAKELIVE ya 26/8/2018 @wanawakelivetz Eatv MWANAMKE PIGA KAZI💪💪💪 MWANAUME PIGA KAZI💪💪💪 Production ya #WANAWAKELIVE ya 26/8/2018 @wanawakelivetz Eatv
Kikao cha Wazazi at St Thomas Bahari Beach....Asante Yesu kwa zawadi hii Lincon & Linston Kikao cha Wazazi at St Thomas Bahari Beach....Asante Yesu kwa zawadi hii Lincon & Linston 🙏🙏🙏
Regrann from @wanawakelivetz - WANAWAKE NA UCHUMI WA VIWANDA ..... Tulete bidhaa zetu tuuze na ...
Media Removed
Regrann from @wanawakelivetz - WANAWAKE NA UCHUMI WA VIWANDA ..... Tulete bidhaa zetu tuuze na kuzitangaza Tarehe 30 na 31 Mnazi Mmoja... Hii ni Fursa kwa Wajasiriamali wadogo wa Mkoa wa Dar bure... Jiandikishe kupitia 0783137777 - #regrann Regrann from @wanawakelivetz - WANAWAKE NA UCHUMI WA VIWANDA ..... Tulete bidhaa zetu tuuze na kuzitangaza Tarehe 30 na 31 Mnazi Mmoja... Hii ni Fursa kwa Wajasiriamali wadogo wa Mkoa wa Dar bure... Jiandikishe kupitia 0783137777 - #regrann
Mwanamke Afya yako ni jambo la msingi sana, Wakati wa Hedhi kuwa makini sana, tumia pedi bora za HC ndo mama wa pedi zote ulizowahi kutumia @hc_sanitary_pads @hc_sanitary_pads @hc_sanitary_pads Mwanamke Afya yako ni jambo la msingi sana, Wakati wa Hedhi kuwa makini sana, tumia pedi bora za HC ndo mama wa pedi zote ulizowahi kutumia @hc_sanitary_pads @hc_sanitary_pads @hc_sanitary_pads
Kwa hali hii usipojiongeza karibuni . #Repost from @wanawakelivetz. KARIBU TUKUTENGENEZEE TANGAZO NA PIA TUKUTANGAZIE BIASHARA YAKO... Biashara ni Matngazo... piga namba 0783137777 Kwa hali hii usipojiongeza 🙌🙌karibuni
.
#Repost from @wanawakelivetz. KARIBU TUKUTENGENEZEE TANGAZO NA PIA TUKUTANGAZIE BIASHARA YAKO... Biashara ni Matngazo... piga namba 0783137777

Loading...