Kaoneka_ashraf Instagram Photos and Videos

Loading...


kaoneka_ashraf Ashraf Kaoneka @kaoneka_ashraf mentions
Followers: 763
Following: 1,269
Total Comments: 0
Total Likes: 0

POST 01……………………………………2018 LIVING HAPPILY EVER AFTER Ni muda sasa umepita sijapost chochote ...
Media Removed
POST 01……………………………………2018 LIVING HAPPILY EVER AFTER Ni muda sasa umepita sijapost chochote kwenye mitandao ya kijamii aiseeee….. namshukuru Mungu muumba wa mbingu na nchi kwa hii nafasi ya upendeleo kwa kweli sio kwa nguvu zangu wala uwezo wangu binafsi mimi kama ashraf……… kuna wengi ... POST 01……………………………………2018
LIVING HAPPILY EVER AFTER
Ni muda sasa umepita sijapost chochote kwenye mitandao ya kijamii aiseeee….. namshukuru Mungu muumba wa mbingu na nchi kwa hii nafasi ya upendeleo kwa kweli sio kwa nguvu zangu wala uwezo wangu binafsi mimi kama ashraf……… kuna wengi wametangulia mbele za haki, wengine wagonjwa na sisi wengine tupo mitandaoni tunalike na kureact different in other people posts..
Baada ya muda mrefu wa kukaa kimya nimeandika hii post ndogo ya vitu muhimu hivi kama internet, wapenzi, mashost and bestie.....…… leo nimeandika hivi vichache vinavyoweza kuvifanya ukaishi kwa raha hata ukikosa vitu tajwa hapo juu……..
1: usiwe na ndoto za maisha:- mara nyingi ndoto hazitimii kwa kuwa mara nyingi hizi ndoto huwa za tangu utotoni (fantasy), bila kuwa na malengo na hizo ndoto haziwezi timia. Cha muhimu ishi maisha kama yanavyokuja unaweza ota kuwa docta lakini mwishowe ukawa mpiga madili tu……..
2: usitafute furaha maishani mwako au kuwafurahisha wengine:- kwa kuwa hakuna mtu anyeridhika hapa duniani hata waswahili walisema kwamba raha jipe mwenyewe lakin kuna muda hii raha ya kujipa mwenyewe huwa kero kwako mwenyewe, nakwambia furaha au raha ni kama utamu wa mapenzi unapofikiria Zaidi ndio unazama au huwa maumivu, binadamu tumeumbiwa kwa pamoja karaha na raha mchanganyiko wa hivyo vitu ndio maisha yalivyo kwahiyo usikate tamaa yako ipo tu.
3: ni neema tu:- yaani hapo ulipo ni Mungu tu kwakuwa hakuna anayejiombea mabaya, usimnyoshee mtu kidole kwakuwa amekutwa na mabaya leo kumbuka ni mungu tu na neema zake kwamba mabaya hayaja kukuta wewe ………
4: mazoezi (majaribio mengi):- jaribu kila kitu yaani na pia fanya mazoezi ili upate afya maana haya magumu au mabaya ambayo unayopitia yatakudhoofisha, haitakuwa na maana ukiwa umefanikiwa then unaumwa au umechoka kiasi kwamba huwezi kuinjoi hiyo furaha, fanya mazoezi kula vizur utahitaji mwili mzur na wenye afya wakati umefikia malengo yako.
5: fanya maamuzi magumu:- weka malengo na mikakati kiasi kwamba watu waulizane ataweza kweli??... cha kukumbuka ni kwamba hao wanaokushangaa ukishindwa mbele ya safari watasema tulimwambia kwamba hawezi ona kashinndwa ila ukifanikiwa hao hao watakuja kuomba ush
Read more
POST #15.......................2017 STRONG MAN (PERFECT ALABII) - “kila mwanaume anaweza ...
Media Removed
POST #15.......................2017 STRONG MAN (PERFECT ALABII) - “kila mwanaume anaweza kuwa baba ila inahiTaji mwanaume shupavu na imara kuwa baba mzazi” nayaona haya kila siku nashukuru MUNGU kwakunitoa kwenye viuno vyako japo mwili nimepata kwa mama ila najua hii kichwa ya pesa ... POST #15.......................2017
STRONG MAN (PERFECT ALABII)
- “kila mwanaume anaweza kuwa baba ila inahiTaji mwanaume shupavu na imara kuwa baba mzazi” nayaona haya kila siku nashukuru MUNGU kwakunitoa kwenye viuno vyako japo mwili nimepata kwa mama ila najua hii kichwa ya pesa nimepata kwako mzee kaoneka........😂😎
- baba ni nani?? Baba ni mtu anayetegemea mtoto wake wa kiume kuwa baba kama yeye.... Nayakumbuka haya mawazo toka kwako kila siku yananifanya nisonge mbele kila siku “ mavazi,magari,nyumba na pesa havitoi maaana halisi ya mwanaume au baba mzuri ila matendo Mema,heshima, kazi na jinsi unashughurikia mambo yanakuzunguka hii ndio maaana halisi ya kuwa mwanaume au baba mzazi....😊💪
- kwenye maisha yako baba yangu kuna mambo mengi umefanikisha na kushinda na kushinda vikwazo vingi ila kwangu naona nikupe pongezi kwa kufanikisha kutulea vzur watoto sie na familia kwa ujumla na hongera kwa kuwa mume mzur kwa mama yetu kipenzi yaaani vile umefanikisha kuunganisha familia kuwa moja Sikuwezi....🙌🙌🙌.. Natamani kuwa kama wewe kila siku.... MUNGU nisaidie....🙏🙏..
- mwenyezi mungu akurudishie afya na amani kila iitwapo leo.... Amani ya roho itawale kwako Na kwetu sie wapendwa maisha maref baba angu mie na ndugu zangu tunakupenda na Pia mama angu anakupendaߘ😍😘............
#God_help_us
#i_have_decide_to_stick_to_love_for_hate_is_greater_burden_to_bear
#love_you_dady
#team_thuuupu_higher
#mniache_niseme_nisiposema_ntahukumiwa
Read more
POST # 14..............2017 MOTHER LOVE XOXO ߒᅧMoja kati ya cheo kikubwa duniani ni kuwa mzazi ...
Media Removed
POST # 14..............2017 MOTHER LOVE XOXO ߒᅧMoja kati ya cheo kikubwa duniani ni kuwa mzazi na baraka kubwa zaidi kuliko zote hapa duniani ni kuwa na mzazi unaeweza mwita baba Au mama......... Japokuwa nina rafiki wengi wa karibu wanawake still wa kwanza ni mama yangu mzazi bila ... POST # 14..............2017
MOTHER LOVE XOXO ߒᅧMoja kati ya cheo kikubwa duniani ni kuwa mzazi na baraka kubwa zaidi kuliko zote hapa duniani ni kuwa na mzazi unaeweza mwita baba Au mama.........
Japokuwa nina rafiki wengi wa karibu wanawake still wa kwanza ni mama yangu mzazi bila yeye nisingekuwa na adabu na heshima niliyonayo leo dunia isingeweza nitazama hivi nilivyo leo, amenifunza kuridhika na kuwaheshimu wanawake wote... Pia uvumilivu, kuwapenda na kuheshimu hisia zao......ߤᅧMama yangu amefanya kila liwezekanalo ili watu wanione vile nilivyo leo kwa msaada wa mungu muumba.... Familia yetu ipo leo imefika ni kwasababu alivuka na kuvumilia vikwazo vingi mungu asante kwa mama mzuri kqmq huyu....ߘᅧNipo hivi nilivyo au natarajia kuwa mtu flani kwasababu kuna malkia mmoja aitwaye mama....Wazungu wanasema love at first site....ߑᅧ #God_help_us
#i_have_decide_to_stick_to_love_for_hate_is_greater_burden_to_bear
#love_you_momߘハ #team_thuuupu_higher
#mniache_niseme_nisiposema_ntahukumiwa
Read more
POST # 12……………………………………………2017 MOTIVATIONAL SPEECH Maisha sio maisha kama in ya mateso ma mahangaiko ...
Media Removed
POST # 12……………………………………………2017 MOTIVATIONAL SPEECH Maisha sio maisha kama in ya mateso ma mahangaiko japo kila mtu anahitaji kuhangaika na kujishughulisha ili uyaone matunda ya mateso na mahangaiko yako, waswahili wansema kuwa mchumia juani peke ake hula kivulini na wenzake lakin ... POST # 12……………………………………………2017
MOTIVATIONAL SPEECH
Maisha sio maisha kama in ya mateso ma mahangaiko japo kila mtu anahitaji kuhangaika na kujishughulisha ili uyaone matunda ya mateso na mahangaiko yako, waswahili wansema kuwa mchumia juani peke ake hula kivulini na wenzake lakin hayo matunda hayaji kirahis kama unavyofikiria, zifwatazo ni nia kadhaa za kula matunda kivulini au huleta mafanikio:-
1:MUNGU MBELE NA IBADA-Sisi sote kwenye hii dunia tuna imani na vitu flani flani kwenye maisha yetu basi hata kama huamini mungu au miungu basi hata ibada za kuamini miti ukiamini na kuomba utafanikiwa ila hii hai maanishi sasa ukae chini usifanye kazi usali tu hapana “ imani bila matendo imekufa” Sali saana ila kumbuka kufanya kazi.
2:NIDHAMU YA KAZI NA WATU-Hili nalo limekuwa tatizo kwa watu wengi hatuna nidhamu ya kazi na hao watu wanotakiwa kutusaidia kufikia malengo yetu, usipokuwa na nidhamu hakuna mtu atakuheshimu wewe na kazi unafanya na hii itapelekea kudolola kwa kazi yako na heshima yako itashuka.
3:JITIHADA - Hapa namaanisha bidii ya kile unafanya kwenye maisha yako utasemwa sana wewe na kazi unafanya ili kukukatisha taamaa. Ukifanikiwa utawafunga mdomo ila sasa kaa nyumbani usifanye kazi utasikia kajibweteka hafanyi kazi kiufupi wafunge mdomo kw mafaniko yako na jitihada kazini…. 4: RATIBA-Fanya kila kitui kwa wakati sahihi, usifanye ya mbele ukaacha ya nyuma au ukaacha viporo vya kazi waswahili wanasema “linalowezekana leo lisingoje kesho”, jitoe sadaka kwa kufwata ratib aya ko ya wiki au siku jinsi umejiwekea mwenyewe
N.B i) kimsing hakuna binadamu anapenda mafanikio ya mwengine maana ukiwa nacho wewe jirani atataka hicho au zaidi fanya yako kwa bidii ii) hakuna marefu yasiyo na ncha, ujana unaolingia muda huu utakuja kukuhaibisha ukiwa mzee kwa kuomba visenti kwa wenzako walio jisadaka wakiwa ujana wao
#God_help_us
#team_thuuupu_higher
#amka_kijana_muda_ndio_huu
#mniache_niseme_nisiposema_ntahukumiwa
Read more
Njia 5 za kuishi kwa furaha na wanawake. 1. Uwe na mwanamke anayekufanya ucheke 2. Uwe na mwanamke ...
Media Removed
Njia 5 za kuishi kwa furaha na wanawake. 1. Uwe na mwanamke anayekufanya ucheke 2. Uwe na mwanamke anayekupa muda wake 3. Uwe na mwanamke anayekujali 4. Uwe na mwanamke anayekupenda kwa dhati 5. Mwisho, hakikisha hawa wanawake wanne wote hawajuanani........ Happy friendship day......and ... Njia 5 za kuishi kwa furaha na wanawake.
1. Uwe na mwanamke anayekufanya ucheke
2. Uwe na mwanamke anayekupa muda wake
3. Uwe na mwanamke anayekujali
4. Uwe na mwanamke anayekupenda kwa dhati
5. Mwisho, hakikisha hawa wanawake wanne wote hawajuanani........
Happy friendship day......and nice sunday
Read more
Kumfwata yesu lazima ujikane moyoni mwako jumapili njema kwenu amen..... bye namfwata yesu mie nipone.... Kumfwata yesu lazima ujikane moyoni mwako jumapili njema kwenu amen.....🏃🏃🏃🏃 bye namfwata yesu mie nipone....
Loading...
To be successful does not need beautifully face and heroic body what you need is skillfully and capable ...
Media Removed
To be successful does not need beautifully face and heroic body what you need is skillfully and capable mind 😎 To be successful does not need beautifully face and heroic body what you need is skillfully and capable mind 😎🔌🔋📲
HOLLY BIRTHHDAY OF MINE Happy born day to me.... happy born day to me...Happy born to me......... Kwanza; ...
Media Removed
HOLLY BIRTHHDAY OF MINE Happy born day to me.... happy born day to me...Happy born to me......... Kwanza; napenda kumshukuru mwenyezi mungu muumba wa mbingu na nchi kwa kunifikisha siku ya leo ni kwa neema tu kuongezewa siku za kuishi ………………………………… Pili; wazazi wangu mr and mrs kaoneka ... HOLLY BIRTHHDAY OF MINE
Happy born day to me.... happy born day to me...Happy born to me.........
Kwanza; napenda kumshukuru mwenyezi mungu muumba wa mbingu na nchi kwa kunifikisha siku ya leo ni kwa neema tu kuongezewa siku za kuishi …………………………………
Pili; wazazi wangu mr and mrs kaoneka nyie watu sijawahi kujuta kuzaliwa na nyie namshukuru mungu kwa hilo mmekuwa miungu midogo ya hapa duniani mungu baba awatie nguvu na afya tele na poleni kwa utundu wangu najua niliwapa shida ila mpo nami hadi leo …………………………………..
Tatu; kaka na dada zangu wote either tumbo moja au laaaha siwezi wataja majina na mashemeji pia maaana mungu kanipa dada weng so shemeji wa kutosha pia asanteni……………………………………….
Nne,; vipanadol wangu, wapenzi, marafiki, videarest wangu, ma bi shosti class 2008 bunju A primary and class 2012 buNju A secondary tupo pamoja as always salute you guys bila kusahau class 2015 shinyanga BOYZ high school and most of all ni group counselors Dodoma university mungU awe nanyi mmekuwa msaada kwakweli………………………………
Siwezi ongea mengi kwa kweli ni asante tu.
NB: i) kuna muda hata vya kaisari anapewa MUNGU II) maisha safari wenye nauri pekee ndio hupanda gari wengine hutembea kwa miguu iii) usiishi kwa kukopi na kupaste hakujawahi kumwacha mtu salama………….. iv) siku moja watu ambao hawakuniamini watasimulia wenzao ni jinsi gani walikutana na mm kwenye safari ya kusaka maisha .......
#GOD _HELP_US
#TEAM_THUUUUP_HIGHER
#TUKUTANE_KWENYE_MAFANIKIO
Read more
Loading...
*nywele zangu zimekua sana nataka niziache zianze kujitegemea* _brothers in commitment_
Media Removed
*nywele zangu zimekua sana nataka niziache zianze kujitegemea* _brothers in commitment_ *nywele zangu zimekua sana nataka niziache zianze kujitegemea*

_brothers in commitment_
when other people happiness become your happiness believe me that's love..........<span class="emoji emoji1f60d"></span><span class="emoji emoji1f49a"></span><span class="emoji emoji1f49c"></span> Nawapenda ...
Media Removed
when other people happiness become your happiness believe me that's love.......... Nawapenda bure anko zangu when other people happiness become your happiness believe me that's love..........😍💚💜 Nawapenda bure anko zangu
LIFE is the matter of change and good choice we make for the future #on my way to succes
Media Removed
LIFE is the matter of change and good choice we make for the future #on my way to succes LIFE is the matter of change and good choice we make for the future
#on my way to succes
Loading...
Loading...
Loading...

Loading...