Nikkimbishi Instagram Photos and Videos

Loading...

nikkimbishi ICONICAS @nikkimbishi mentions
Followers: 138,258
Following: 23
Total Comments: 0
Total Likes: 0

Habari, Sasa unaweza kusikiliza album yangu ya SAUTI YA JOGOO kupitia https://youtu.be/wtw49gBsqDo ...
Media Removed
Habari, Sasa unaweza kusikiliza album yangu ya SAUTI YA JOGOO kupitia https://youtu.be/wtw49gBsqDo Usisahau kusubscribe na kushare. Asante By @nikkimbishi Habari,
Sasa unaweza kusikiliza album yangu ya SAUTI YA JOGOO kupitia https://youtu.be/wtw49gBsqDo
Usisahau kusubscribe na kushare.
Asante
By @nikkimbishi
Loading...
Habari, Sasa unaweza kusikiliza album yangu ya UFUNUO https://youtu.be/y8r-eo5j80Q kupitia ...
Media Removed
Habari, Sasa unaweza kusikiliza album yangu ya UFUNUO https://youtu.be/y8r-eo5j80Q kupitia link tajwa hapo juu. Usisahau kusubscribe na kushare. Asante By @nikkimbishi Habari,
Sasa unaweza kusikiliza album yangu ya UFUNUO https://youtu.be/y8r-eo5j80Q kupitia link tajwa hapo juu.
Usisahau kusubscribe na kushare.
Asante
By @nikkimbishi
How I reply to this STUPID generation...Shortly and clearly..😇 How I reply to this STUPID generation...Shortly and clearly..😇
Enzi hizo Instagram Thugs and Gangstars walikuwa wanafuta kamasi tu ila leo wao ndio wanajua kila kitu. #Sep112001 Enzi hizo Instagram Thugs and Gangstars walikuwa wanafuta kamasi tu ila leo wao ndio wanajua kila kitu.

#Sep112001
Ukipata dada anajitambua kama huyu tangaza ndoa,oa kabisa maana wamebaki wachache sana! Hata mimi nilishawahi kuwa mdogo ila sikuwahi kuwa IMPRESSED wala INSPIRED na ushairi dhaifu hata siku moja. Tatizo lipo kwa mashabiki wetu ambao ndio wanalipa viingilio kwenda kuangalia na ... Ukipata dada anajitambua kama huyu tangaza ndoa,oa kabisa maana wamebaki wachache sana!

Hata mimi nilishawahi kuwa mdogo ila sikuwahi kuwa IMPRESSED wala INSPIRED na ushairi dhaifu hata siku moja.
Tatizo lipo kwa mashabiki wetu ambao ndio wanalipa viingilio kwenda kuangalia na kusikiliza sanaa ya kiwango cha chini kama huyu dada anavyoainisha hapo.
Beats have become way more important than what they say on the records.
Rapper anaishiwa mistari jukwaani analazimika kuwa dancer ili hali hata alichorap hakijaeleweka.
Wenyewe wanakwambia badilika bro fanya muziki wa biashara.
Watu wanakuonea huruma kwenye social media kuliko wanavyozionea huruma familia zao,wanajidai wana uchungu na kwanini usifanikiwe kwenye sanaa yako ili hali wao wana maisha magumu pia kama si UCHAWI ni nini?
Kila mtu anadhani kuwa maarufu ni simple tu,haya sawa tufanye ni simple lakini unajua huo umaarufu unaoutafuta ni wa nini na unataka kuufanyia nini ikiwa huna kipaji wala fani ya kuwa kielelezo cha umaarufu wako?
Zamani mtu akifaulu kwenye Special school au hata government school yoyote alikuwa anaheshimika sana maana ni nafasi za wachache sana hizo ila sasa kila mtu anaweza akafanya mpango akapenya na tatizo linakuja ukishapenya hujui mbeleni ukafanye nini matokeo yake UNAGOTA.
Familia za juu yaani za viongozi na watu wenye uwezo hazishawishiki kuruhusu watoto wao wafanye sanaa kwa kuwa PROFESSIONALISM ni ndogo na ujanja ujanja kama si ubabaishaji mwingi.
Tuachieni SANAA yetu enyi viumbe mnaoitumia vibaya ku-spoil minds za vijana hasa waliozaliwa "98 nakuendelea.
Mabadiliko sio kigezo cha kuua utamaduni bali kuboresha utamaduni kwa kuzingatia maadali ya sanaa.
Watasema tena "WE ENDELEA HIVYO HIVYO NA NGUMU ZAKO WENZAKO WANATUSUA NGOMA ZAO ZINAPIGWA REDIONI WANAFANYA MASHOO NINI,WANA MANDINGA SIO WEWE UMEPANGA USWAHILINI TU"
Wakati ukipanga UZUNGUNI wananuna tena 😂😂😂
"Tatizo sio viongozi wajinga bali wananchi wanaochagua viongozi wajinga"
#BINADAM_Bwana
#MtuNaStressZangu
Read more

Media Removed

Loading...
Thanks @wasafitv for the support Follow @sisithetrio @sisithetrio @sisithetrio @sisithetrio Click on link in the bio to watch #OverAndOver and don't forget to SUBSCRIBE to our YouTube channel. Thanks @wasafitv for the support
Follow @sisithetrio @sisithetrio @sisithetrio @sisithetrio
Click on link in the bio to watch #OverAndOver
and don't forget to SUBSCRIBE to our YouTube channel.
Hamkusikianga wala kuonanga! Hamkusikianga wala kuonanga!
Loading...
Kwa mfano anaanza @Stereo89Stereo na NITABAKI JUU, @onetheincredibl anafuata na THE INCREDIBLE ...
Media Removed
Kwa mfano anaanza @Stereo89Stereo na NITABAKI JUU, @onetheincredibl anafuata na THE INCREDIBLE mwisho anakuja @nikkimbishi na PLAYBOY halafu tupige HISIA,CLASSIC na OVER AND OVER si show imeisha mnatugea chetu tunajikataa? 😎 Kwa mfano anaanza @Stereo89Stereo na NITABAKI JUU, @onetheincredibl anafuata na THE INCREDIBLE mwisho anakuja @nikkimbishi na PLAYBOY halafu tupige HISIA,CLASSIC na OVER AND OVER si show imeisha mnatugea chetu tunajikataa? 😁😎
Lyrics: Niko high kama nina mabawa sita/ Naelekea kisiwa cha Bahama Mamacita/ Sifiki kileleni ...
Media Removed
Lyrics: Niko high kama nina mabawa sita/ Naelekea kisiwa cha Bahama Mamacita/ Sifiki kileleni napanda na kushuka/ Napenda hiko kicheni sio shanga za kusuka/ Natwanga unapukucha kitanda nakung'uta/ Na mwanga yeyote akija na kiranga atajuta/ Sijui umeniendea Tanga kwa waganga ... Lyrics:
Niko high kama nina mabawa sita/
Naelekea kisiwa cha Bahama Mamacita/
Sifiki kileleni napanda na kushuka/
Napenda hiko kicheni sio shanga za kusuka/
Natwanga unapukucha kitanda nakung'uta/
Na mwanga yeyote akija na kiranga atajuta/
Sijui umeniendea Tanga kwa waganga kunifunga/
Au Sumbawanga maana kwako nanga imetua/
Huko nyuma ka" MHAYA umewamba umetuna/
Hushobokei savannah Amarula majanga ya snura/
Ndio maana huwa nasaka sana Mulla/
Benten saka mama kubwa/Utapata we tafuta/
Kwako KITI hakai hata nipungwe na Mkwere/
Tufe na kuzikana ka" Kingunge na mkewe/
Hata nikifungwa najua utakuja ndani baby/
Uitwe shem toka Ukonga mpaka Ubungo ya Msewe/Kwa akina Uno The INKREDE/
Read more
The teacher returns...
Media Removed
The teacher returns... The teacher returns...
Loading...
Don't put EGO and CONFIDENCE in the same place. #OverAndOver Don't put EGO and CONFIDENCE in the same place.
#OverAndOver
Asante Mungu kwa kutufanikisha kuzima kelele zote za Rap Music kwenye Media za kibongo na nchi jirani pia 😎😎 Imani yetu ni "GAME HAINDESHWI KWA VIEWS ZA YOUTUBE" Bali muziki mzuri huwafikia watu wazuri na makini kwa wakati muafaka. #KukuWaZabangaJR #MandevuLopolopo #MzeeWaKudiss ... Asante Mungu kwa kutufanikisha kuzima kelele zote za Rap Music kwenye Media za kibongo na nchi jirani pia 😎😎
Imani yetu ni "GAME HAINDESHWI KWA VIEWS ZA YOUTUBE"
Bali muziki mzuri huwafikia watu wazuri na makini kwa wakati muafaka.
#KukuWaZabangaJR
#MandevuLopolopo
#MzeeWaKudiss
#MtuNaStressZake
#MtapendaTu
Read more
Ukimaliza kazi utavishwa taji,nenda #MKOLOSAE #TANZIA
Media Removed
Ukimaliza kazi utavishwa taji,nenda #MKOLOSAE #TANZIA Ukimaliza kazi utavishwa taji,nenda #MKOLOSAE
#TANZIA
Loading...
LEO USIKU kwenye FNL.
Media Removed
LEO USIKU kwenye FNL. LEO USIKU kwenye FNL.
Eti kajamaa kanasema niache kuonea madogo They love you,they hate you and they love you again. #OverAndOver video click the link on my bio or follow @sisithetrio Eti kajamaa kanasema niache kuonea madogo 😁😁😁😁
They love you,they hate you and they love you again.
#OverAndOver video click the link on my bio or follow @sisithetrio
Tafadhali Rastafari home kuna after party/ Baby kaa nami usijeniacha mbali/ Nitapiga mtu ngumi ...
Media Removed
Tafadhali Rastafari home kuna after party/ Baby kaa nami usijeniacha mbali/ Nitapiga mtu ngumi yaani ka" #MASHALI #RIPSimbaAsiyefugika #tbt Tafadhali Rastafari home kuna after party/
Baby kaa nami usijeniacha mbali/
Nitapiga mtu ngumi yaani ka" #MASHALI
#RIPSimbaAsiyefugika
#tbt
Loading...
Watakupenda,watakuchukia na hatimaye watakupenda tena ni suala la muda tu. #WatapendaTu #OverAndOver video link on bio Cc @sisithetrio Watakupenda,watakuchukia na hatimaye watakupenda tena ni suala la muda tu.
#WatapendaTu
#OverAndOver video link on bio
Cc @sisithetrio
"Hello Tanzania! Sasa unaweza kumpigia kura mshiriki wa Miss Tanzania 2018 Zuhura Abdul kwa kutembelea ...
Media Removed
"Hello Tanzania! Sasa unaweza kumpigia kura mshiriki wa Miss Tanzania 2018 Zuhura Abdul kwa kutembelea link hii http://vote.misstanzania.co.tz/ . Baada ya kufika hapo utaona jina lake na namba yake ya ushiriki ni 555. Ukifika hapo kuna kitufe kilichoandikwa *vote now* na ukibofya ... "Hello Tanzania! Sasa unaweza kumpigia kura mshiriki wa Miss Tanzania 2018 Zuhura Abdul kwa kutembelea link hii http://vote.misstanzania.co.tz/ . Baada ya kufika hapo utaona jina lake na namba yake ya ushiriki ni 555.
Ukifika hapo kuna kitufe kilichoandikwa *vote now* na ukibofya fuata maelekezo huku ukitumia Muamala wa
#TigoPesa.
Namba ya kampuni ni 500500 na Kumb No. 555
"Malipo ni Tsh.500 tu... Unaweza piga kura Mara nyingi kadri uwezavyo muda wowote ule.

Utabarikiwa sana na Mungu awe pamoja na wewe.👏🏽👏🏽👏🏽 #Supported by @igp_tza 👏🏽👏🏽
Read more
Tazama tena hii video unaweza ukagundua kitu. #SISITHETRIO @nikkimbishi @onetheincredible ...
Media Removed
Tazama tena hii video unaweza ukagundua kitu. #SISITHETRIO @nikkimbishi @onetheincredible @stereosingasinga https://youtu.be/-F-BBDn2rU8 Tazama tena hii video unaweza ukagundua kitu.
#SISITHETRIO @nikkimbishi @onetheincredible @stereosingasinga https://youtu.be/-F-BBDn2rU8
Lyrics: Original ndo mimi bro physical lyrical/ Nawanyima usingizi na mmemeza dozi ya Piriton/ Triple ...
Media Removed
Lyrics: Original ndo mimi bro physical lyrical/ Nawanyima usingizi na mmemeza dozi ya Piriton/ Triple 6 triple 9 MASON spiritual/ Kingdom incredible STEREO Imperial/ Jicho nyanya na umesuka vitunguu/ Na una bichwa kama Nazi na magimbi kwa miguu/ Na bado ni KIAZI no brother we ni ... Lyrics:
Original ndo mimi bro physical lyrical/
Nawanyima usingizi na mmemeza dozi ya Piriton/
Triple 6 triple 9 MASON spiritual/
Kingdom incredible STEREO Imperial/
Jicho nyanya na umesuka vitunguu/
Na una bichwa kama Nazi na magimbi kwa miguu/
Na bado ni KIAZI no brother we ni Futari/
Nauzwa hela nyingi na bei wanaikubali/
Ishini maisha yenu hizo swagga ni UFALA/
Hizo mbanga ni uchwara mlikopanga ni ufukara/
Mnaanika K zenu utadhani hamna mzazi/
Maisha ya kuonekana flash lights Paparazzi/
Niko ORIGINAL msafi msinioshe/
Of course mi ni NOMA uliza SHATTA City Ocean/
Mama Africa,manzi yangu si BEYONCE/
Naweza jisifia na bado sifa zisitoshe/
Read more
As natural as nature itself. My #WCW  @wambizy
Media Removed
As natural as nature itself. My #WCW @wambizy As natural as nature itself.
My #WCW 😍
@wambizy
Our very own brother #MAGAZIJUTO unleashing the dragon with #OverAndOver Cc @ibrah_mkwela Over and over again inafungua siku yangu ! Link kwenye BIO za watu hawa @stereosingasinga @nikkimbishi @onetheincredible #makehiphopgreatagain #TalkingLyrics #Bars Our very own brother #MAGAZIJUTO unleashing the dragon with #OverAndOver
Cc @ibrah_mkwela
Over and over again inafungua siku yangu ! Link kwenye BIO za watu hawa
@stereosingasinga @nikkimbishi @onetheincredible
#makehiphopgreatagain🎤🎤🎤🎤🎤 #TalkingLyrics
#Bars
Many would have failed this QUIZ. One of my fav actors. ARNOLD SCHWARZENEGGER cc @schwarzenegger Many would have failed this QUIZ.
One of my fav actors.
ARNOLD SCHWARZENEGGER cc @schwarzenegger
The Realness Of Reality. #NowYouKnow Full Interview Ipo YouTube au follow @jonijooo The Realness Of Reality.
#NowYouKnow Full Interview Ipo YouTube au follow @jonijooo
That's why UNJU. Now You Know iko youtube utazame full interview. Cc @jonijooo That's why UNJU.
Now You Know iko youtube utazame full interview.
Cc @jonijooo
#ANKALI @jonijjo kasema hivi "Interview ambayo unauliza swali ila usipokuwa makini utaona bado ...
Media Removed
#ANKALI @jonijjo kasema hivi "Interview ambayo unauliza swali ila usipokuwa makini utaona bado hujajibiwa swali lako kumbe tayari @nikkimbishi " __________ Leo Usiku! GET READY Art Work By @highinessderick _________ #AchaSafariIendelee @safarilager_tanzania ________ Cc: ... #ANKALI @jonijjo kasema hivi "Interview ambayo unauliza swali ila usipokuwa makini utaona bado hujajibiwa swali lako kumbe tayari 😅 @nikkimbishi "

Leo Usiku! GET READY Art Work By @highinessderick

#AchaSafariIendelee @safarilager_tanzania

Cc: @sandytemu @siggy0k @dearmant_yga
Read more
Hapo nilikuwa na miezi mingapi sijui.... #MamaAtanikumbusha #GAU #NICAS #UNJU #MBISHI #MtuNaStressZake ...
Media Removed
Hapo nilikuwa na miezi mingapi sijui.... #MamaAtanikumbusha #GAU #NICAS #UNJU #MBISHI #MtuNaStressZake #OverAndOver link on my bio. Hapo nilikuwa na miezi mingapi sijui....
#MamaAtanikumbusha
#GAU #NICAS
#UNJU #MBISHI
#MtuNaStressZake
#OverAndOver link on my bio.
The Cap Tells Everything About Me. #StrictlyUNDERGROUND #OverAndOver @sisithetrio link ...
Media Removed
The Cap Tells Everything About Me. #StrictlyUNDERGROUND #OverAndOver @sisithetrio link on bio. The Cap Tells Everything About Me.
#StrictlyUNDERGROUND

#OverAndOver @sisithetrio link on bio.
That style is called #CHUNDA_BADI_DANCE Make your video clip of that dance and post on your page and @sisithetrio will repost it. Don't forget to watch #OverAndOver video and subscribe to our youtube channel. Link on bios. Cc @nikkimbishi @stereosingasinga @onetheincredible @kalumanatic ... That style is called #CHUNDA_BADI_DANCE
Make your video clip of that dance and post on your page and @sisithetrio will repost it.
Don't forget to watch #OverAndOver video and subscribe to our youtube channel.
Link on bios.
Cc @nikkimbishi
@stereosingasinga @onetheincredible @kalumanatic @msmagzy @director_matrixtz @trinityideatz
Read more
All the Way From +255 🇹🇿 Kutoka Kwa #SisiTheTrio Linaloundwa na Rapa @stereosingasinga @onetheincredible Pamoja na @nikkimbishi With #BrandNewVideo #OverAndOver #NowPlaying️ Kupitia @wasafitv NI VERSE YA NANI UMEIPENDA ZAIDI KWENYE HII #KubumKubam WALIYOIFANYA HUMU NDANI ... All the Way From +255 🇹🇿 Kutoka Kwa #SisiTheTrio Linaloundwa na Rapa @stereosingasinga @onetheincredible Pamoja na @nikkimbishi With #BrandNewVideo🎥 #OverAndOver #NowPlaying▶️ Kupitia @wasafitv 📺

NI VERSE YA NANI UMEIPENDA ZAIDI KWENYE HII #KubumKubam WALIYOIFANYA HUMU NDANI ?

Endelea Kuangalia WASAFI TV 📺 Kuona Video Hii na Zote Mpya Zilizotoka Hivi Karibuni

#Tumewasha #HiiNiYetuSote #SanaaImezaliwaUpya #ChomboKwahewa
Read more
Habari, Sasa unaweza kuitazama video yetu mpya #OverAndOver kwa kubofya link https://youtu.be/-F-BBDn2rU8 Kwenye bio. Usisahau ku-SUBSCRIBE Cc @nikkimbishi @onetheincredible @stereosingasinga @msmagzy @kalumanatic @trinityideatz @director_matrixtz @johnmadaraka ... Habari,
Sasa unaweza kuitazama video yetu mpya #OverAndOver kwa kubofya link 👉https://youtu.be/-F-BBDn2rU8
Kwenye bio.
Usisahau ku-SUBSCRIBE
Cc @nikkimbishi @onetheincredible @stereosingasinga @msmagzy @kalumanatic @trinityideatz @director_matrixtz @johnmadaraka @sisithetrio
Read more
Habari, Sasa unaweza kuitazama video yetu mpya #OverAndOver kwa kubofya link https://youtu.be/-F-BBDn2rU8 Kwenye bio. Usisahau #ku_SUBSCRIBE kwenye channel yetu #YOUTUBE Cc @nikkimbishi @onetheincredible @stereosingasinga @msmagzy @kalumanatic @trinityideatz @director_matrixtz ... Habari,
Sasa unaweza kuitazama video yetu mpya #OverAndOver kwa kubofya link 👉https://youtu.be/-F-BBDn2rU8
Kwenye bio.
Usisahau #ku_SUBSCRIBE kwenye channel yetu #YOUTUBE
Cc @nikkimbishi @onetheincredible @stereosingasinga @msmagzy @kalumanatic @trinityideatz @director_matrixtz @johnmadaraka @sisithetrio
Read more
Habari, Sasa unaweza kuitazama video yetu mpya #OverAndOver kwa kubofya link https://youtu.be/-F-BBDn2rU8 Kwenye bio. Cc @nikkimbishi @onetheincredible @stereosingasinga @msmagzy @kalumanatic @trinityideatz @director_matrixtz @johnmadaraka @sisithetrio Habari,
Sasa unaweza kuitazama video yetu mpya #OverAndOver kwa kubofya link 👉https://youtu.be/-F-BBDn2rU8
Kwenye bio.
Cc @nikkimbishi @onetheincredible @stereosingasinga @msmagzy @kalumanatic @trinityideatz @director_matrixtz @johnmadaraka @sisithetrio
Nahisi hamko tayari,kama mko tayari pitieni post iliyopita. @sisithetrio @kalumanatic @msmagzy @nikkimbishi @stereosingasinga @onetheincredible Nahisi hamko tayari,kama mko tayari pitieni post iliyopita.
@sisithetrio @kalumanatic @msmagzy @nikkimbishi @stereosingasinga @onetheincredible
@sisithetrio tulipaswa tuwe @eatv_tz @eastafrica_television ila imeshindikana. Video iko ...
Media Removed
@sisithetrio tulipaswa tuwe @eatv_tz @eastafrica_television ila imeshindikana. Video iko tayari tuachie link? Comments zikifika 1000 naachia link.. @sisithetrio tulipaswa tuwe @eatv_tz @eastafrica_television ila imeshindikana.
Video iko tayari tuachie link?
Comments zikifika 1000 naachia link..
One of the @sisithetrio die hard supportive brothers and @nikkimbishi 's manager! Follow him ...
Media Removed
One of the @sisithetrio die hard supportive brothers and @nikkimbishi 's manager! Follow him @kalumanatic @kalumanatic One of the @sisithetrio die hard supportive brothers and @nikkimbishi 's manager!
Follow him @kalumanatic @kalumanatic
Happy birthday mwanangu @pindabway Mbishe kibao ila sijachelewa. #ASWILE_Empire Cc @pindabway
Media Removed
Happy birthday mwanangu @pindabway Mbishe kibao ila sijachelewa. #ASWILE_Empire Cc @pindabway Happy birthday mwanangu @pindabway
Mbishe kibao ila sijachelewa.
#ASWILE_Empire

Cc @pindabway
#OverAndOver audio and video tumeshamalizana nayo,tunawapa wiki mbili kabla hatujaachia kitu ...
Media Removed
#OverAndOver audio and video tumeshamalizana nayo,tunawapa wiki mbili kabla hatujaachia kitu kingine. #Msiogope #MtapendaTu #OverAndOver audio and video tumeshamalizana nayo,tunawapa wiki mbili kabla hatujaachia kitu kingine.
#Msiogope
#MtapendaTu
Unjuz cc @sisithetrio #OverAndOver
Media Removed
Unjuz cc @sisithetrio #OverAndOver Unjuz
cc @sisithetrio
#OverAndOver
You ready for the video? #OverAndOver - @sisithetrio
Media Removed
You ready for the video? #OverAndOver - @sisithetrio You ready for the video?
#OverAndOver - @sisithetrio
This woman though @wambizy  May y'all have a fantabolous friday. #OverAndOver
Media Removed
This woman though @wambizy May y'all have a fantabolous friday. #OverAndOver This woman though @wambizy 😘
May y'all have a fantabolous friday.
#OverAndOver
I, @nikkimbishi I'm glad and proud to introduce my new management with which I will be working from ...
Media Removed
I, @nikkimbishi I'm glad and proud to introduce my new management with which I will be working from now onwards. Remember the man?In case you don't,he's @kalumanatic @kalumanatic @kalumanatic @kalumanatic from #NomaRecs to @cityoceanmusic He once was my EXECUTIVE PRODUCER when ... I, @nikkimbishi I'm glad and proud to introduce my new management with which I will be working from now onwards.
Remember the man?In case you don't,he's @kalumanatic
@kalumanatic
@kalumanatic
@kalumanatic
from #NomaRecs to @cityoceanmusic
He once was my EXECUTIVE PRODUCER when I released #MALCOLMXI tape and this time around we've negotiated to team up again as we look forward to pushing our brands,works and products(Music).
Allow me to announce #KALULETE #SHATTA as my manager and the contacts to reach him will be available on our platforms.
Don't forget my album #SAM_MAGOLI_The_Project will be out on September under my new supervision.
You can now follow him @kalumanatic
@kalumanatic
We're just getting it started.
#BLESS.
Read more
Hello, Official Instagram Account For #SISITHETRIO is now active. You can now follow us on @sisithetrio @sisithetrio @sisithetrio @sisithetrio @sisithetrio @sisithetrio Cc @nikkimbishi @stereosingasinga @onetheincredible #TagAllLivingThings #TagViumbeHaiWote Hello,
Official Instagram Account For #SISITHETRIO is now active.
You can now follow us on @sisithetrio @sisithetrio @sisithetrio @sisithetrio @sisithetrio @sisithetrio
Cc @nikkimbishi
@stereosingasinga
@onetheincredible #TagAllLivingThings #TagViumbeHaiWote
#SISITHETRIO #OverAndOver
Media Removed
#SISITHETRIO #OverAndOver #SISITHETRIO #OverAndOver
Hello, Pole na majukumu ya kila siku. @nikkimbishi x @onetheincredible & @stereosingasinga i.e #SISITHETRIO tunayofuraha kukualika kuitazama video yetu mpya #OverAndOver as directed by @director_matrixtz ifikapo siku ya #IJUMAA #Exclusively on @eatv_tz @eastafrica_television ... Hello,
Pole na majukumu ya kila siku.
@nikkimbishi x @onetheincredible & @stereosingasinga i.e #SISITHETRIO
tunayofuraha kukualika kuitazama video yetu mpya #OverAndOver as directed by @director_matrixtz ifikapo siku ya #IJUMAA #Exclusively on @eatv_tz @eastafrica_television kwenye #FridayNightLive
Special thanks to:@trinityideatz @director_matrixtz @johnmadaraka and all supporters of GOOD MUSIC.
#Bless
Read more
#OverAndOver shout to this ninja @lilommy the Playlist monster....Keep it locked Bro. #OverAndOver shout to this ninja @lilommy the Playlist monster....Keep it locked Bro.
Hello, Pole na majukumu ya kila siku. @nikkimbishi x @onetheincredible & @stereosingasinga i.e #SISITHETRIO tunayofuraha kukualika kuitazama video yetu mpya #OverAndOver as directed by @director_matrixtz ifikapo siku ya #IJUMAA #Exclusively on @eatv_tz @eastafrica_television ... Hello,
Pole na majukumu ya kila siku.
@nikkimbishi x @onetheincredible & @stereosingasinga i.e #SISITHETRIO
tunayofuraha kukualika kuitazama video yetu mpya #OverAndOver as directed by @director_matrixtz ifikapo siku ya #IJUMAA #Exclusively on @eatv_tz @eastafrica_television kwenye #FridayNightLive
Special thanks to:@trinityideatz @director_matrixtz @johnmadaraka @jose_hustler and all supporters of GOOD MUSIC.
#Bless
Read more
#OverAndOver
Media Removed
#OverAndOver #OverAndOver

Loading...