Obama_japai Instagram Photos and Videos

Loading...


obama_japai Obama Japai @obama_japai mentions
Followers: 36,085
Following: 1,972
Total Comments: 0
Total Likes: 0

Link Kwa Bio Yangu Ili Uwe Kwanza kuitizama video mpya ya Fundi wa nyimbo za injili Tanzania @barongobetty @barongobetty Link Kwa Bio Yangu Ili Uwe Kwanza kuitizama video mpya ya Fundi wa nyimbo za injili Tanzania @barongobetty @barongobetty
Loading...
Tbt Ya Kibabe
Media Removed
Tbt Ya Kibabe Tbt Ya Kibabe
Tbt Ya Miaka 14 Iliyopita Nikiwa Shule Ya Vipaji Maalum Tabora Boys. . . Hii Picha Nilipiga Kwenye ...
Media Removed
Tbt Ya Miaka 14 Iliyopita Nikiwa Shule Ya Vipaji Maalum Tabora Boys. . . Hii Picha Nilipiga Kwenye Bweni Ambalo Nilikuwa Nalala (SINA). Hili Lilikuwa Ni Bweni Maarufu Zaidi. Maana Lilikuwa Ni Bweni La Wanafunzi Wenye Akili Sana,Pesa Sana,Wakorofi Sana, Mahandsome,Mabishoo, Bweni ... Tbt Ya Miaka 14 Iliyopita Nikiwa Shule Ya Vipaji Maalum Tabora Boys.
.
.
Hii Picha Nilipiga Kwenye Bweni Ambalo Nilikuwa Nalala (SINA). Hili Lilikuwa Ni Bweni Maarufu Zaidi. Maana Lilikuwa Ni Bweni La Wanafunzi Wenye Akili Sana,Pesa Sana,Wakorofi Sana, Mahandsome,Mabishoo, Bweni Lililokuwa Linaongoza Kwa Kumiliki Warembo Wazuri Zaidi Kutoka #TaboraGirls #KazimaSekondari #UyuiSekondari #MihayoSekondari #NewEraSekondari #AliHassanMwinyi #ChuoChaUhazili Yaani Lilikuwa Na Watu Wa Kila Aina Na Bweni Pekee Lenye Ofisi Za Viongozi Wakuu Wa Wanafunzi. #HeadBoy #Academic #Social #Chakula etc.
Read more
Tbt Ya Miaka 14,Nikiwa Chuo Cha Uhazili Tabora Kwenye Mualiko Wa Sherehe Maalumu Ya Kimisionari ...
Media Removed
Tbt Ya Miaka 14,Nikiwa Chuo Cha Uhazili Tabora Kwenye Mualiko Wa Sherehe Maalumu Ya Kimisionari Wakitimiza Miaka 130 Katika Jimbo La Tabora Mjini. #BaloziWaMbinguniHapaDuniani #AlipokutanaNaWatumishiWaMunguHapaDuniani. Tbt Ya Miaka 14,Nikiwa Chuo Cha Uhazili Tabora Kwenye Mualiko Wa Sherehe Maalumu Ya Kimisionari Wakitimiza Miaka 130 Katika Jimbo La Tabora Mjini. #BaloziWaMbinguniHapaDuniani
#AlipokutanaNaWatumishiWaMunguHapaDuniani.
Naomba kushare nanyi Tbt ya miaka 14 iliyopita nikiwa shule ya vipaji Maalum Tabora Boys Secondary ...
Media Removed
Naomba kushare nanyi Tbt ya miaka 14 iliyopita nikiwa shule ya vipaji Maalum Tabora Boys Secondary School. Naomba kushare nanyi Tbt ya miaka 14 iliyopita nikiwa shule ya vipaji Maalum Tabora Boys Secondary School.
Naomba kushare nanyi Tbt ya miaka 14 iliyopita nikiwa shule ya vipaji Maalum Tabora Boys Secondary ...
Media Removed
Naomba kushare nanyi Tbt ya miaka 14 iliyopita nikiwa shule ya vipaji Maalum Tabora Boys Secondary School. Naomba kushare nanyi Tbt ya miaka 14 iliyopita nikiwa shule ya vipaji Maalum Tabora Boys Secondary School.
Loading...
Regrann from @barongobetty - Regrann from @amrithebusiness - #mtaakwamtaa Mkononi Na #PrisonerNoMor Yake @barongobetty Leo Wilaya Ya Temeke ,Kuitizama Full Video Link Kwenye Bio Yake @barongobetty #cc @obama_japai - #regrann Jamani Mungu akubariki Sana sana @amrithebusiness ... Regrann from @barongobetty - Regrann from @amrithebusiness - #mtaakwamtaa Mkononi Na #PrisonerNoMor Yake @barongobetty Leo Wilaya Ya Temeke ,Kuitizama Full Video Link Kwenye Bio Yake @barongobetty #cc @obama_japai - #regrann
Jamani Mungu akubariki Sana sana
@amrithebusiness #mtaakwamtaa

#Prisoner_No_More
#link_on_my_bio - #regrann
Read more
Regrann from @amrithebusiness - #mtaakwamtaa Mkononi Na Kazi Yake @barongobetty Iitwayo #PrisonerNoMor Kuitizama Full Video Link Kwenye Bio Yake @barongobetty #cc @obama_japai - #regrann Regrann from @amrithebusiness - #mtaakwamtaa Mkononi Na Kazi Yake @barongobetty Iitwayo #PrisonerNoMor Kuitizama Full Video Link Kwenye Bio Yake @barongobetty #cc @obama_japai - #regrann
Loading...
Msemaji wa Jeshi la Polisi Uganda Emilian Kayima akilindwa na kukimbizwa na wasaidizi wake kwenye gari baada ya wananchi wenye hasira kuwarushia mawe wakati wa mazishi ya marehemu Afande Muhammad Kirumira Inafika wakati Wananchi wanachoka na kukata tamaa! Tusifike huko, tuendelee ... Msemaji wa Jeshi la Polisi Uganda Emilian Kayima akilindwa na kukimbizwa na wasaidizi wake kwenye gari baada ya wananchi wenye hasira kuwarushia mawe wakati wa mazishi ya marehemu Afande Muhammad Kirumira

Inafika wakati Wananchi wanachoka na kukata tamaa! Tusifike huko, tuendelee kujadili na kusikilizana maana kwa njia hii tutaelewana tu! @mariastsehai
#ChangeEastAfrica
Read more
Hili suala lisiishie Bungeni tu Mheshimiwa Spika, Naomba iwe marufuku hizo bidhaa kuingia Nchini. Hili suala lisiishie Bungeni tu Mheshimiwa Spika, Naomba iwe marufuku hizo bidhaa kuingia Nchini.
Marehemu Afande Muhammad Kirumira alitamka kwamba yuko tayari kutolewa kafara kwa kusimamia utawala wa kisheria na kusafisha taswira ya Polisi nchini Uganda. Katoa anwani na pia sehemu ya kumzika akiuwawa. Rest in Power Afande Kirumira Inasikitisha sana na tutafakari kama wanajumuiya ... Marehemu Afande Muhammad Kirumira alitamka kwamba yuko tayari kutolewa kafara kwa kusimamia utawala wa kisheria na kusafisha taswira ya Polisi nchini Uganda. Katoa anwani na pia sehemu ya kumzika akiuwawa.
Rest in Power Afande Kirumira

Inasikitisha sana na tutafakari kama wanajumuiya wa Afrika Mashariki
Injustice to one is Injustice to all
#ChangeEastAfrica @mariastsehai
Read more
Huyu ndio Afande Muhammad Kirumira wa Uganda aliyeuwawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana karibu na nyumbani kwake Bulenga usiku wa jana Katika tukio hili alipinga waandishi wa habari kukataliwa kuingia mahakamani na aliwatetea na kuwakingia kifua tokea getini hadi mlangoni ... Huyu ndio Afande Muhammad Kirumira wa Uganda aliyeuwawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana karibu na nyumbani kwake Bulenga usiku wa jana
Katika tukio hili alipinga waandishi wa habari kukataliwa kuingia mahakamani na aliwatetea na kuwakingia kifua tokea getini hadi mlangoni alipokutana na kikosi hiki.
Sasa tuangalie na tumsikilize alimwuliza aliyeonekana kiongozi wa kikosi hiki - wewe cheo chako nini? Pia waliposema wanafuata amri kawauliza amri ya nani? Sasa inakuwaje maaskari hawatambuani na maelezo hayakuridhisha?
Kuna mambo mengi tunajifunza kutoka clip hii kama wanajumuiya wa Afrika Mashariki. Hili la watu wasiojulikana na maaskari ambao hawatambuliki si suala dogo.
Tujitafakari na tukumbuke kuwa amani ya nchi yoyote huanza mioyoni.
Tunaombea Afrika Mashariki yote amani kwa wananchi wake wote na vyombo vya usalama watambue wajibu wao ni kwa wananchi si viongozi waliopewa dhamana na sisi wananchi
#ChangeEastAfrica
@mariastsehai
Read more
Loading...
Ostrich / Mbuni Ostrich / Mbuni
Time To Ride. #Camel Time To Ride. #Camel
Feeding The Wild Animals Feeding The Wild Animals
Loading...
King Of The Jungle #Obama Vs Wild Animals King Of The Jungle #Obama Vs Wild Animals
Chui Vs Chui Chui Vs Chui
This Monkey Is 42 Years. This Monkey Is 42 Years.
Loading...
Lion Vs Lion. Lion Vs Lion.
I Believe In God. I Believe In God.
Utalii Wa Ndani Ya Nchi. Utalii Wa Ndani Ya Nchi.
Utalii wa ndani Ya Tanzania. #IndianOcean Utalii wa ndani Ya Tanzania. #IndianOcean
Thursday Motivation. Thursday Motivation.
Link Kwa Bio Yangu Ili Uwe Kwanza Kuitizama Video Mpya Ya Fundi Wa Nyimbo Za Injili Africa, Malkia Wa Sauti,Mrembo Wa Yesu,Na Mtumishi Wa Mungu @barongobetty @barongobetty #Prisoner_No_More #Prisoner_No_More #Prisoner_No_More #Prisoner_No_More #Prisoner_No_More #Prisoner_No_More Link Kwa Bio Yangu Ili Uwe Kwanza Kuitizama Video Mpya Ya Fundi Wa Nyimbo Za Injili Africa, Malkia Wa Sauti,Mrembo Wa Yesu,Na Mtumishi Wa Mungu @barongobetty @barongobetty
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
Kuwa Wa Kwanza Kutazama wimbo huu wa #RightNow. #RightNow kutoka kwa @greymuclass @greymuclass link ya blue kwenye Bio Yake. RightNow #RightNow #RightNow #RightNow #RightNow #RightNow Kuwa Wa Kwanza Kutazama wimbo huu wa #RightNow. #RightNow kutoka kwa @greymuclass @greymuclass link ya blue kwenye Bio Yake.
RightNow #RightNow #RightNow #RightNow #RightNow #RightNow
Kuitazama full video ya Prisoner No More kutoka kwa @barongobetty LINK KWA BIO YANGU. @obama_japai @almac_urban_wear @almac_urban_wear @lifeclub_dsm @Pizzonation @moniqute_baby @Sedate_gal @robbyplatnumz @officialkimnana @officialkimnana @robbyplatumz @lifeclub_dsm ... Kuitazama full video ya Prisoner No More kutoka kwa @barongobetty LINK KWA BIO YANGU. @obama_japai
@almac_urban_wear
@almac_urban_wear
@lifeclub_dsm
@Pizzonation
@moniqute_baby
@Sedate_gal
@robbyplatnumz
@officialkimnana
@officialkimnana
@robbyplatumz
@lifeclub_dsm @thelifeclub_1
@nishamsmarty
@jike_Shupa
@vee_the_swagger
@mo_Maukwe
@Saydconsell
@zoussat_d_dissuza
@kubwa_la_insta
@officialbarbiemia @mashalove @muu_mapenz #sharecakewith @roshlynn_schwezeiner @Hus_minaj @Divah_babe @mss.bright @zoussat_d_dissuza @Blessed_caryn @Blessed_caryn @nishabebee @papichulothedon @belle9tz @billsepenga @agrey_tz1 @wemasepetu @mozahsalum21 @nishamsmarty @neynainai @dj_kaylou @jike_shupa @hkhyper02 @official__nanamapoz @officialmige_love @cuteenash @fetty_dushu @aslayisihaka @glorylove01 @balozi_wa_insta @qweshel @wasafidotcom @efmtanzania @reyjons @omemydimpoznation @iamosward @globalpublishers @millardayo @snuramushi @officialkhadijakopa @officialpetitman_wakuachetz @gillatheboss @cloudsfmtz @jaden_tz @lynne________ @nlights_makeup @wemasepetu @djaroarungu @snuramushi @husnasajent_ @chichi_superwoman @maishabasement_dsm @simple_ze_boi @castodickson @tayuu5050 @neynainai @hkhyper02 @maisha_basement @officialpapichulodedon @chobydaresalaam @nishamsmarty @kidetejr @kibaokata_beachparty @guangzhou__fashion @officialmkenge @esterkiama @simple_ze_boi @officialkimnana
@almac_urban_wear
Read more
Kuitazama full video ya Prisoner No More kutoka kwa @barongobetty LINK KWA BIO YANGU. @almac_urban_wear @almac_urban_wear @lifeclub_dsm @Pizzonation @moniqute_baby @Sedate_gal @robbyplatnumz @officialkimnana @officialkimnana @robbyplatumz @lifeclub_dsm @thelifeclub_1 ... Kuitazama full video ya Prisoner No More kutoka kwa @barongobetty LINK KWA BIO YANGU. @almac_urban_wear
@almac_urban_wear
@lifeclub_dsm
@Pizzonation
@moniqute_baby
@Sedate_gal
@robbyplatnumz
@officialkimnana
@officialkimnana
@robbyplatumz
@lifeclub_dsm @thelifeclub_1
@nishamsmarty
@jike_Shupa
@vee_the_swagger
@mo_Maukwe
@Saydconsell
@zoussat_d_dissuza
@kubwa_la_insta
@officialbarbiemia @mashalove @muu_mapenz #sharecakewith @roshlynn_schwezeiner @Hus_minaj @Divah_babe @mss.bright @zoussat_d_dissuza @Blessed_caryn @Blessed_caryn @nishabebee @papichulothedon @belle9tz @billsepenga @agrey_tz1 @wemasepetu @mozahsalum21 @nishamsmarty @neynainai @dj_kaylou @jike_shupa @hkhyper02 @official__nanamapoz @officialmige_love @cuteenash @fetty_dushu @aslayisihaka @glorylove01 @balozi_wa_insta @qweshel @wasafidotcom @efmtanzania @reyjons @omemydimpoznation @iamosward @globalpublishers @millardayo @snuramushi @officialkhadijakopa @officialpetitman_wakuachetz @gillatheboss @cloudsfmtz @jaden_tz @lynne________ @nlights_makeup @wemasepetu @djaroarungu @snuramushi @husnasajent_ @chichi_superwoman @maishabasement_dsm @simple_ze_boi @castodickson @tayuu5050 @neynainai @hkhyper02 @maisha_basement @officialpapichulodedon @chobydaresalaam @nishamsmarty @kidetejr @kibaokata_beachparty @guangzhou__fashion @officialmkenge @esterkiama @simple_ze_boi @officialkimnana
@almac_urban_wear
Read more
New Life Band. KUITAZAMA VIDEO LINK KWA BIO YANGU New Life Band.
KUITAZAMA VIDEO LINK KWA BIO YANGU
 #Jumapili Hii ya 2nd September/2018...Kwenye #KMW ya KISS FM Tutakuwa live na @barongobetty @barongobetty ...
Media Removed
#Jumapili Hii ya 2nd September/2018...Kwenye #KMW ya KISS FM Tutakuwa live na @barongobetty @barongobetty Kuanzia Saa 5 asb - 8mch..Show Hosted By @bplus_benayzo @officialstellahj Good Music na @dj_jclever artwork @joshpaulx @kissmostwantedtanzania @kissfmtz #PrisonerNoMore ... #Jumapili Hii ya 2nd September/2018...Kwenye #KMW ya KISS FM Tutakuwa live na @barongobetty @barongobetty Kuanzia Saa 5 asb - 8mch..Show Hosted By @bplus_benayzo @officialstellahj Good Music na @dj_jclever artwork @joshpaulx @kissmostwantedtanzania @kissfmtz #PrisonerNoMore #Tunakichafuaaaaa #TodayzBestMusic.
Read more
ZIARA YA MKUU WA WILAYA MHE.KISSA KASONGWA NA VIONGOZI WA CHAMA NA SERIKALI KATIKA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI KWENYE KATA 40 NA VIJIJI VYOTE 122 WILAYANI KOROGWE. . 03/09/2018 Kata Ya Bagamoyo. 04/09/2018 Kata Ya Mgombezi. 05/09/2018 Kata Ya Kilole. 06/09/2018 Kata Ya Mtonga. 07/09/2018 ... ZIARA YA MKUU WA WILAYA MHE.KISSA KASONGWA NA VIONGOZI WA CHAMA NA SERIKALI KATIKA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI KWENYE KATA 40 NA VIJIJI VYOTE 122 WILAYANI KOROGWE.
.
03/09/2018 Kata Ya Bagamoyo.

04/09/2018 Kata Ya Mgombezi.

05/09/2018 Kata Ya Kilole.

06/09/2018 Kata Ya Mtonga.

07/09/2018 Kata Ya Manundu.

10/09/2018 Kata Ya Majengo.

11/09/2018 Kata Ya kwamsisi.

12/09/2018 Kata Ya Magunga.

13/09/2018 Kata Ya Masugulu.

14/09/2018 Kata Ya Kamndolwa.

17/09/2018 Kata Ya Old Korogwe.

18/09/2018 Kata Ya Hale.

19/09/2018 Kata Ya Mnyuzi.

20/09/2018 Kata Ya Kwagunda.
.
NB: Ndugu Wananchi Jitokezeni Kwa Wingi Ili Changamoto Mbalimbali Ambazo Zilikosa Ufumbuzi Wa Muda Mrefu,Kupitia Ziara Hii Ya Mheshimiwa Mkuu Wa Wilaya Ziweze Kupatiwa Ufumbuzi.
#KorogweYetu
#KorogweMpya #KorogweYenyeMatokeoChanya #KorogweYenyeMaendeleo
@kissagwakisakasongwa @kissagwakisakasongwa @kissagwakisakasongwa @kissagwakisakasongwa
Read more
Regrann from @korogwempya - Usikose kufuatilia mfululizo wa ziara ya mkuu wa wilaya ya korogwe ...
Media Removed
Regrann from @korogwempya - Usikose kufuatilia mfululizo wa ziara ya mkuu wa wilaya ya korogwe mh Kissa Kasongwa kwenye Kata 40 na vijiji vyote 122 wilayani Korogwe. #KorogweYetu #KorogweMpya #KorogweYaMaendeleo. @kissagwakisakasongwa @kissagwakisakasongwa @kissagwakisakasongwa ... Regrann from @korogwempya - Usikose kufuatilia mfululizo wa ziara ya mkuu wa wilaya ya korogwe mh Kissa Kasongwa kwenye Kata 40 na vijiji vyote 122 wilayani Korogwe. #KorogweYetu #KorogweMpya #KorogweYaMaendeleo.
@kissagwakisakasongwa @kissagwakisakasongwa @kissagwakisakasongwa @kissagwakisakasongwa
Read more
Naomba Ushirikiano Wenu Wadau KUSUBSCRIBE ACCOUNT HII Kwenye You Tube,Ili Uwe Wa Kupata Taarifa Mbalimbali Na Matukio Yanayojiri Katika Wilaya Ya Korogwe. #KorogweMpya #KorogweYenyeMatokeoChanya #KorogweYetu. #KorogweMpya. #ChiniYaMheshimiwaMkuuWaWilayaMachachariNaMchapaKazi. . . @korogwempya ... Naomba Ushirikiano Wenu Wadau KUSUBSCRIBE ACCOUNT HII Kwenye You Tube,Ili Uwe Wa Kupata Taarifa Mbalimbali Na Matukio Yanayojiri Katika Wilaya Ya Korogwe. #KorogweMpya #KorogweYenyeMatokeoChanya #KorogweYetu. #KorogweMpya. #ChiniYaMheshimiwaMkuuWaWilayaMachachariNaMchapaKazi.
.
.
@korogwempya @korogwempya @korogwempya @korogwempya @korogwempya @korogwempya @korogwempya @korogwempya @korogwempya @korogwempya @korogwempya @korogwempya @korogwempya @korogwempya @korogwempya @korogwempya
Read more
Hakika huu wimbo ni ushuda tosha wa Miujiza anayotenda Mungu. Kama mtu vipimo vya Madaktari vilionesha ana UVIMBE KWENYE UBONGO, UVIMBE TUMBONI NA PINGIRI NAMBA 3 & 4 ZA UTI WA MGONGO KUONEKANA ZIMESAGIKA, Lakini Mungu Alivyo wa Ajabu na anayejibu tena pasipo malipo yoyote,Ukapona bila ... Hakika huu wimbo ni ushuda tosha wa Miujiza anayotenda Mungu. Kama mtu vipimo vya Madaktari vilionesha ana UVIMBE KWENYE UBONGO, UVIMBE TUMBONI NA PINGIRI NAMBA 3 & 4 ZA UTI WA MGONGO KUONEKANA ZIMESAGIKA, Lakini Mungu Alivyo wa Ajabu na anayejibu tena pasipo malipo yoyote,Ukapona bila hata ya operation,Yaani baada ya maombi UVIMBE WOTE ULITEYUKA MPAKA MADAKTARI WAKASHTUKA NA KUJIULIZA IMEKUAJE.
.
.
LINK KWA BIO YANGU KUTAZAMA WIMBO HUU #Prisoner_No_More Kutoka Kwa Mwanadada @barongobetty @barongobetty
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
Read more
Pole sana Dada Yangu #Shilolekiuno_Badgirlshishi Kuhusu Wanao Kusoma Watasoma Tu, Naomba Nikutoe Wasiwasi Katika Hilo Maana Mheshimiwa Rais Wa Wanyonge Na Kipenzi Cha Watanzania Na Duniani Kwa Ujumla Wake. Mheshimiwa RAIS DR.JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI Kwa Sasa Anatekeleza Ahadi ... Pole sana Dada Yangu #Shilolekiuno_Badgirlshishi Kuhusu Wanao Kusoma Watasoma Tu, Naomba Nikutoe Wasiwasi Katika Hilo Maana Mheshimiwa Rais Wa Wanyonge Na Kipenzi Cha Watanzania Na Duniani Kwa Ujumla Wake. Mheshimiwa RAIS DR.JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI Kwa Sasa Anatekeleza Ahadi Yake Kwa Vitendo Ya Kutoa ELIMU BURE Kuanzia SHULE YA MSINGI, MPAKA KIDATO CHA 4.
.
Pengine Ulikuwa Hulifahamu Hilo Basi Nimeona Si Vibaya Tukajuzana Mambo Mazuri Ya Kimaendeleo Kama Haya. Tembea Kifua Mbele Ukiamini Wanao Watapata Elimu Ambayo Wewe Uliikosa Pengine Kutokana Na Changamoto Mbalimbali Za Kimaisha. .
Mwenyezi Mungu Azidi Kukupa Afya Njema Na Baraka Tele, Wewe Pamoja Na Familia Yako.
Read more
MR. NICE Asisitiza Kuhusu Kufanya Kazi. @Mustapha_Omarytall @Mustapha_Omarytall @Mustapha_Omarytall @Mustapha_Omarytall @Mustapha_Omarytall @Mustapha_Omarytall @Mustapha_Omarytall @Mustapha_Omarytall MR. NICE Asisitiza Kuhusu Kufanya Kazi.

@Mustapha_Omarytall
@Mustapha_Omarytall
@Mustapha_Omarytall
@Mustapha_Omarytall
@Mustapha_Omarytall
@Mustapha_Omarytall
@Mustapha_Omarytall
@Mustapha_Omarytall
Mr.Nice Anasisitiza Watanzania Tupendane,Chuki Hazijengi. @Mustapha_Omarytall @Mustapha_Omarytall @Mustapha_Omarytall @Mustapha_Omarytall . Inaendelea sehemu ya 2........... Mr.Nice Anasisitiza Watanzania Tupendane,Chuki Hazijengi.

@Mustapha_Omarytall
@Mustapha_Omarytall
@Mustapha_Omarytall
@Mustapha_Omarytall .
Inaendelea sehemu ya 2...........
Haya Sasa twendeni #YouTube Tuka #Subscribe Channel Yangu #chatumandota kisha Sa 10 naachia Mzigo Huu #HuendiBuguruni RMX ALAFU Tumatag Na @whozu_ aje kubariki na kutupa Ruhusa Tutoe Haya cc @whozu_ @clemoodesigner @chatumandota #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni ... Haya Sasa twendeni #YouTube Tuka #Subscribe Channel Yangu #chatumandota kisha Sa 10 naachia Mzigo Huu #HuendiBuguruni RMX ALAFU Tumatag Na @whozu_ aje kubariki na kutupa Ruhusa Tutoe Haya cc @whozu_ @clemoodesigner @chatumandota #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni #HuendiBuguruni
Read more
Twendeni You Tube Kwa Wingi Tukautizame Wimbo Mpya Kutoka Kwa @barongobetty @barongobetty @barongobetty. Bonyeza Link Ya Blue Hapo Juu Kwa Bio Yangu. Usiache KUSUBSCRIBE. #Prisoner_No_More #Prisoner_No_More #Prisoner_No_More #Prisoner_No_More #Prisoner_No_More #Prisoner_No_More #Prisoner_No_More #Prisoner_No_More #Prisoner_No_More #Prisoner_No_More #Prisoner_No_More #Prisoner_No_More #Prisoner_No_More #Prisoner_No_More #Prisoner_No_More #Prisoner_No_More Huu ... Twendeni You Tube Kwa Wingi Tukautizame Wimbo Mpya Kutoka Kwa @barongobetty @barongobetty @barongobetty. Bonyeza Link Ya Blue Hapo Juu Kwa Bio Yangu. Usiache KUSUBSCRIBE.

#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
#Prisoner_No_More
Huu Ni Kati Ya Nyimbo Bora Zaidi, Umejaa Upako Wa Hali Ya Juu. #BonyezaLinkKwaBioYangu.
Read more
Nilikuwa namsoma Captain Valentine Segragbo Melvine Strasser. Bwana huyu aliitawala Sierra Leone kama rais akiwa na umri wa miaka 25 tu, baada ya kumpindua aliyekuwa rais wa wakati ule, bwana Joseph Saidu Momoh, mapinduzi ya tarehe 29 April 1992 (siku tatu baada ya sherehe yake [Strasser] ... Nilikuwa namsoma Captain Valentine Segragbo Melvine Strasser. Bwana huyu aliitawala Sierra Leone kama rais akiwa na umri wa miaka 25 tu, baada ya kumpindua aliyekuwa rais wa wakati ule, bwana Joseph Saidu Momoh, mapinduzi ya tarehe 29 April 1992 (siku tatu baada ya sherehe yake [Strasser] ya kuzaliwa).
.
.
Mwaka 1993, Strasser alihudhuria jumuiko la wakuu wa nchi la jumuia ya Madola akiwa amevaa T-shirt lililoandikwa "IT IS SUNNY IN CYPRUS". Viongozi walimshangaa mno.
.
.
Mwaka 1994, alilazimisha wimbo mmoja wa hiphop ugeuzwe kuwa wimbo wa taifa la Sierra Leone.
.
Mwaka 1996, aliyekuwa msaidizi wake, Brigedia Jenerali Julius Maada Bio, alimpindua Strasser, na kisha akakimbilia mjini London, UK. Akiwa kule, alijiunga na chuo kikuu cha Warwick, akisoma shahada ya sheria, kwa lengo kuwa, akirudi Sierra Leone awatie kwenye mikono ya sheria waovu wote nchini humo.
.
.
Fedha zilimuishia Strasser, na kisha kuamua kuacha chuo, na baadae akatimukia Conakry, nchini Gambia. Nako maisha yakawa magumu, ndipo akaamua kurejea Sierra Leone, Mjini Graton, na kuwa anaishi kwenye kibanda cha mama yake, huku akiendesha kituo kidogo cha IT ambacho haya hivyo hakikukidhi Maisha yake.
.
.
Kwa sasa, Melvine Strasser anaishi Maisha ya Umaskini Mkubwa, Mlevi na omba omba wa kutupwa Mjini Graton.
.
Hapa tujifunze Kuwa, Power is not Permanent Yaani Madaraka Hayadumu Milele.
Read more
Mtu Anauliza kosa Lake Ni Nini? Badala Ya Kujibiwa Anashushiwa Kipigo Cha Mbwa Koko. . Juzi Tumesikia Taarifa Za Mwalimu Kumchapa Mwanafunzi Mpaka Amefariki Huko Mkoa Wa Kagera Shule Ya Msingi Kibeta. . Kimzaha Mzaha Kwa Jinsi Anavyochapwa Huyu Jamaa,Kwa Bahati Mbaya Sana Lolote Linaweza ... Mtu Anauliza kosa Lake Ni Nini? Badala Ya Kujibiwa Anashushiwa Kipigo Cha Mbwa Koko. .
Juzi Tumesikia Taarifa Za Mwalimu Kumchapa Mwanafunzi Mpaka Amefariki Huko Mkoa Wa Kagera Shule Ya Msingi Kibeta.
.
Kimzaha Mzaha Kwa Jinsi Anavyochapwa Huyu Jamaa,Kwa Bahati Mbaya Sana Lolote Linaweza Kutokea.
.
Huyu Askari Anaombwa Sana Acha Usimpige Badala Yake Anakuwa Mkali Zaidi Na Kuendeleza Kutoa Kichapo.
.
Hivi Hawa Mgambo Haya Mamlaka Ya Kutoa Adhabu Ya Namna Hii Wamepewa Na Nani? Je Sheria Inawaruhusu Kufanya Haya?
.
Kuna Utararibu Wa Kisheria Unatakiwa Kufuatwa Baada Ya Mtu Kutenda JINAI. Kwanini Huyu Mtu Asipewe Muda Wa Kuambiwa Kosa Lake Na Hatua Stahiki Za Kisheria Zikachukuliwa?
.
Naomba Sana Wizara Husika Iwape Semina Elekezi Hawa #Mgambo Wa Namna Gani Wanatakiwa Kutimiza Majukumu Yao Pasipo Kumuonea Raia Yeyote. NAAMINI MHESHIMIWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KANGI LUGOLA ATALIKEMEA HILI SUALA.
#KilaRaiaAnaHakiYaKusikilizwaNaKutoaMaoniYakePasipoKubugudhiwa. #HuuUnyamaHaukubaliki #SisiSoteNiNdugu #TuishiKwenyeMisingiYaKuheshimianaKupendanaNaKuthaminiana. #HakunaAliyeJuuYaSheria.
@Mustapha_Omarytall
@Mustapha_Omarytall
@Mustapha_Omarytall
@Mustapha_Omarytall
Read more
Tujenge Utamaduni Wa Kuwatumikia Watanzania Kwa Uzalendo. @Mustapha_Omarytall @Mustapha_Omarytall @Mustapha_Omarytall @Mustapha_Omarytall Tujenge Utamaduni Wa Kuwatumikia Watanzania Kwa Uzalendo.
@Mustapha_Omarytall
@Mustapha_Omarytall
@Mustapha_Omarytall
@Mustapha_Omarytall
Mheshimiwa Rais Amesisitiza Tujenge Utamaduni Wa Kuwatumikia Watanzania. Mheshimiwa Rais Amesisitiza Tujenge Utamaduni Wa Kuwatumikia Watanzania.
Mtu anaona ufahari kutoa mimba 15 Aiseeeee. @mid_one_tv @officialzahir_ Mtu anaona ufahari kutoa mimba 15 Aiseeeee.
@mid_one_tv @officialzahir_
Shalom Shalom..! Habari ya Uzima..! Napenda Kukukaribisha Kutazama Video Mpya Yake @barongobetty @barongobetty Inayoitwa #Prisoner_No_More. Wimbo Unapatikana YouTube.Usisahau KUSUBSCRIBE.Mungu Akubariki Sana. Shalom Shalom..!
Habari ya Uzima..!
Napenda Kukukaribisha Kutazama Video Mpya Yake @barongobetty @barongobetty
Inayoitwa #Prisoner_No_More.

Wimbo Unapatikana YouTube.Usisahau KUSUBSCRIBE.Mungu Akubariki Sana.
WANAUME WA DAR-ES-SALAAM. Suala la Muonekano kwa sasa limekua na umuhimu kwa Jinsia zote mbili ...
Media Removed
WANAUME WA DAR-ES-SALAAM. Suala la Muonekano kwa sasa limekua na umuhimu kwa Jinsia zote mbili tofauti na hapo zamani ambapo Mwanamke alionekana kama ndiye anazingatia sana Suala la muonekano. Pichani ni Wasanii wawili #Dogojanjatz ambaye ni Msanii wa Muziki pamoja na #Rammygalis ... WANAUME WA DAR-ES-SALAAM.

Suala la Muonekano kwa sasa limekua na umuhimu kwa Jinsia zote mbili tofauti na hapo zamani ambapo Mwanamke alionekana kama ndiye anazingatia sana Suala la muonekano.

Pichani ni Wasanii wawili #Dogojanjatz ambaye ni Msanii wa Muziki pamoja na #Rammygalis ambaye ni Muigizaji wa Bongo Movie.

Kila mmoja anaonekana akitengeneza Muonekano wake, Mmoja ni Sura na Mwingine ni Nywele.

Kwa upande wako unalichukuliaje Suala hili la Wanaume kuzingatia sana Mionekano yao? Unahisi ni sawa au sio sawa?
Read more
Kuna Umuhimu Hizi Hospitali Kufungiwa Kama Si Kufutwa Kabisa. . Ingekuwa Asingekutana Na Madaktari Aliopewa Na Mheshimiwa #JOHO? . Je Ingetokea Amepatwa Na Madhara Makubwa Ingekuwaje? Daktari Kamwambia Anaumwa Kansa Ya Koo Kumbe Si Kweli. . Je Ingetokea Ameanza Kutumia Dozi ... Kuna Umuhimu Hizi Hospitali Kufungiwa Kama Si Kufutwa Kabisa.
.
Ingekuwa Asingekutana Na Madaktari Aliopewa Na Mheshimiwa #JOHO?
.
Je Ingetokea Amepatwa Na Madhara Makubwa Ingekuwaje? Daktari Kamwambia Anaumwa Kansa Ya Koo Kumbe Si Kweli.
.
Je Ingetokea Ameanza Kutumia Dozi Ya Kutibu Kansa Wakati Si Mgonjwa Wa Kansa?
.
Naomba Sana Wizara Husika Ifanye Uchunguzi Juu Ya Hili Ili Hiyo Hospitali Ifungiwe Na Kuchukuliwa Hatua Stahiki Za Kisheria.
.
Je Mpaka Sasa Hiyo Hospitali Itakuwa Imefanya Makosa Mangapi?
Read more
Get well soon brother. Mwenyezi Mungu Azidi Kukupa Afya Njema. Get well soon brother.
Mwenyezi Mungu Azidi Kukupa Afya Njema.
`Baba yangu aliwahi niambia, Mwanangu tafuta hela sana, ukiwa na hela, utaongea lugha yoyote na hata kama hawaijui wataitikia na kukupigia makofi```. Hii nimejifunza hata kwenye huo wimbo wa #JIBEBE.......... wa @diamondplatnumz Yaani mtu anaimba havieleweki na mmoja anasema #I_LIKE_IT...... ... `Baba yangu aliwahi niambia, Mwanangu tafuta hela sana, ukiwa na hela, utaongea lugha yoyote na hata kama hawaijui wataitikia na kukupigia makofi```. Hii nimejifunza hata kwenye huo wimbo wa #JIBEBE.......... wa @diamondplatnumz

Yaani mtu anaimba havieleweki na mmoja anasema #I_LIKE_IT......😂😂😂😂😂😂 .....Unasachantogo (I like it) .....Achi nkoroji nkologo (I like it) .....Kono la sojodo (I like it)....... Pesa iko na power mingi😂😂😂. Maneno Ya Mheshimiwa @binamubananga
Read more
Beautiful Family. Beautiful Family.
This is wonderful Africa. Trump once said Shithole Counties. Watu Wanakanyaga Pesa Halafu Harusi Ikiisha Mnakwenda Kuomba Misaada Nchi Za Ulaya. This is wonderful Africa.
Trump once said Shithole Counties.
Watu Wanakanyaga Pesa Halafu Harusi Ikiisha Mnakwenda Kuomba Misaada Nchi Za Ulaya.

Loading...