Open_kitchen2014 Instagram Photos and Videos

Loading...


open_kitchen2014 OPEN KITCHEN @open_kitchen2014 mentions
Followers: 160,358
Following: 969
Total Comments: 0
Total Likes: 0

Hakuna kitu muhimu kama afya ya akili kwa mwanamke Je unajua jinsi stress inavyoweza kusababisa ...
Media Removed
Hakuna kitu muhimu kama afya ya akili kwa mwanamke Je unajua jinsi stress inavyoweza kusababisa mabadiliko katika mfumo wa kisaikologia kwa binadamu ? . . Je ukiwa kama mwanamke , mama au msichana utatambuaje kama upo sexually ,mentally, emotionally or physically abused ? . . Je ... Hakuna kitu muhimu kama afya ya akili kwa mwanamke
Je unajua jinsi stress inavyoweza kusababisa mabadiliko katika mfumo wa kisaikologia kwa binadamu ?
.
.
Je ukiwa kama mwanamke , mama au msichana utatambuaje kama upo sexually ,mentally, emotionally or physically abused ?
.
.
Je unajua jinsi internal conflict inavyoweza kumu affect mwanamke pale ambapo waathirika ni watoto na madhara ya abuse kwa watoto ?
.
.
Haya yote majibu utayapata kutoka kwa Dada lisbeth Mhando yeye ni lecturer wa clinical psychology kutoka KCMC MOSHI @lisbethmhando @lisbethmhando Wanawake wenzangu hii si ya kukosa yaani its something very powerful SAVE THE DATE TAREHE 2 DESEMBA MAMBO NI MOTO YAANI NO MORE STRESS KATIKA MAISHA YETU .
.
NIMEWAPROMISE TUTAJENGEKA PHYSICALLY,MENTALLY AND EMOTION
TICKET ZITAANZA KUUZWA 1st of OCTOBER
Read more
Loading...
Mix mix ya leo sio ya kukosa Wali wa nazi Bukoba tamu ya nazi Maini roast Tambi za vanilla Biringanya ...
Media Removed
Mix mix ya leo sio ya kukosa Wali wa nazi Bukoba tamu ya nazi Maini roast Tambi za vanilla Biringanya za karanga Bbq chicken All ni 10,000 Call 0715405000/0766444449 delivery ipo 3000 mbali 5000 Mix mix ya leo sio ya kukosa
Wali wa nazi
Bukoba tamu ya nazi
Maini roast
Tambi za vanilla
Biringanya za karanga
Bbq chicken
All ni 10,000
Call 0715405000/0766444449 delivery ipo 3000 mbali 5000
Dieters menu ya leo ni lemon bbq chicken with salad and 10,000call 0715405000/0766444449
Media Removed
Dieters menu ya leo ni lemon bbq chicken with salad and 10,000call 0715405000/0766444449 Dieters menu ya leo ni lemon bbq chicken with salad and 10,000call 0715405000/0766444449
Poleni kwa kuwaweka kimya muda mrefu kuhusu bei tulikuwa tunaweka mambo vizuri bei ya ticket ni ...
Media Removed
Poleni kwa kuwaweka kimya muda mrefu kuhusu bei tulikuwa tunaweka mambo vizuri bei ya ticket ni 75,000 pamoja na sare ya batik, madini muhimu ya kukujenga,burudani chakula , dessert na vinywaji menu inatoka soon ticket zipo 200 tu yaani usikose kujipatia ticket yako mapema mambo yatakuwa ... Poleni kwa kuwaweka kimya muda mrefu kuhusu bei tulikuwa tunaweka mambo vizuri bei ya ticket ni 75,000 pamoja na sare ya batik, madini muhimu ya kukujenga,burudani chakula , dessert na vinywaji menu inatoka soon ticket zipo 200 tu yaani usikose kujipatia ticket yako mapema mambo yatakuwa mazuri sana Tumeweka bei fair sana maana hii even ni non profit event na tungependa wengi waweze kunufaika .
.
.leo nimewapa bei so muanze ku save soon ticket zitaanza kuuzwa tunasubiria sare zimaliziwe kutengenezwa
INSHALLAH ALLAH atufanyie wepesi
Read more
Mdogo wangu Amejaliwa mkono mzuri wa make up im so proud of her ukitaka kupambwa ukadamshi karibu ...
Media Removed
Mdogo wangu Amejaliwa mkono mzuri wa make up im so proud of her ukitaka kupambwa ukadamshi karibu sana @zurii_glamloft @zurii_glamloft Mdogo wangu Amejaliwa mkono mzuri wa make up im so proud of her ukitaka kupambwa ukadamshi karibu sana @zurii_glamloft @zurii_glamloft
Early morning down town NEVER BE A WOMAN WHO WALKS AROUND WITH A PRICE TAG <span class="emoji emoji1f339"></span>
Media Removed
Early morning down town NEVER BE A WOMAN WHO WALKS AROUND WITH A PRICE TAG Early morning down town
NEVER BE A WOMAN WHO WALKS AROUND WITH A PRICE TAG 🌹
Loading...
Wanawake tumebarikiwa sana Mungu ametupa uwezo mkubwa wa kuvumilia na uwezo mkubwa wa kufanya ...
Media Removed
Wanawake tumebarikiwa sana Mungu ametupa uwezo mkubwa wa kuvumilia na uwezo mkubwa wa kufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja mama yangu , dada yangu , mdogo wangu unayenisoma hapa na unaona kabisa una ndoto kubwa ya kutaka kufanikiwa lakini hujui uanzie wapi , hujui ufanye nini, hujui utapata ... Wanawake tumebarikiwa sana Mungu ametupa uwezo mkubwa wa kuvumilia na uwezo mkubwa wa kufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja mama yangu , dada yangu , mdogo wangu unayenisoma hapa na unaona kabisa una ndoto kubwa ya kutaka kufanikiwa lakini hujui uanzie wapi , hujui ufanye nini, hujui utapata wapi mtaji ili uweze kutimiza ndoto yako basi leo lala usingizi mzuri ukijua tarehe 2 desemba ndoto yako itatimia utajifunza mbinu nyingi za kuamka na kutimiza ndoto yako . .
.
.Usikate tamaa hata siku moja wote unaowaona leo wamefanikiwa walikuwa na ndoto kama yako na hawakukata tamaa hata walipopata changamoto bado walisimama na kupigania ndoto zao
EMPOWERED WOMEN EMPOWER OTHER WOMEN
END OF YEAR WOMEN EMPOWERMENT DAY INAKUJA 2ND OF DECEMBER 2018 INSHALLAH
Read more
Mix mix imebaki chache call 0715405000
Media Removed
Mix mix imebaki chache call 0715405000 Mix mix imebaki chache call 0715405000
Loading...
Dieters menu ya leo ni lemon bbq chicken with salad 10,000call 0715405000/0766444449
Media Removed
Dieters menu ya leo ni lemon bbq chicken with salad 10,000call 0715405000/0766444449 Dieters menu ya leo ni lemon bbq chicken with salad 10,000call 0715405000/0766444449
Wanawake wengi wanatamani sana kuwa wajasiriamali lakini wanakosa uthubutu lakini my dear friend ...
Media Removed
Wanawake wengi wanatamani sana kuwa wajasiriamali lakini wanakosa uthubutu lakini my dear friend and sister na Malkia wa nguvu @mwamygreenveggi @mwamygreenveggi @mwamy alikuwa na ndoto na leo ametimiza ndoto ya kutoka kwenye ajira na kuwa mjasiriamali . .Je ungependa kujua ni nini ... Wanawake wengi wanatamani sana kuwa wajasiriamali lakini wanakosa uthubutu lakini my dear friend and sister na Malkia wa nguvu @mwamygreenveggi @mwamygreenveggi
@mwamy alikuwa na ndoto na leo ametimiza ndoto ya kutoka kwenye ajira na kuwa mjasiriamali . .Je ungependa kujua ni nini kimempa nguvu ya uthubutu wa kuacha kazi na kujiajiri?
.
Je ni changamoto gani anazopata na anakabiliana nazo kwa njia ipi ? . Yote hayo majibu utayapata tarehe 2 december save the date
EMPOWERED WOMEN EMPOWER OTHER WOMEN
Read more
Nina miaka uzoefu wa miaka 17 katika biashara nilianza na ndoto kama wewe leo nimeweza na ninaendelea ...
Media Removed
Nina miaka uzoefu wa miaka 17 katika biashara nilianza na ndoto kama wewe leo nimeweza na ninaendelea kupambana nimekaribia nusu ya ndoto yangu JE NIMEWEZAJE ? JE NI NINI.KINACHONIPA MSUKUMO WA KUAMKA NA KUPAMBANA ? JE UNATAKA KUJUA KAMA NIMEWAHI KUFIKA MAHALI NIKATAMANI KUKATA TAMAAA ... Nina miaka uzoefu wa miaka 17 katika biashara nilianza na ndoto kama wewe leo nimeweza na ninaendelea kupambana nimekaribia nusu ya ndoto yangu
JE NIMEWEZAJE ?
JE NI NINI.KINACHONIPA MSUKUMO WA KUAMKA NA KUPAMBANA ?
JE UNATAKA KUJUA KAMA NIMEWAHI KUFIKA MAHALI NIKATAMANI KUKATA TAMAAA BAADA YA KUKATISHWA TAMAAA?
JE NIKIWA KAMA MWANAMKE , DADA, MAMA, MKE NAWEZAJE KUSIMAMIA BIASHARA NA FAMILIA?
JE UNGEPENDA KUJUA NI JINSI GANI NATUMIA MTANDAO WA KIJAMII KWA FAIDA YA BIASHARA YANGU ?
JE UNGEPENDA KUJUA MTANDAO WA KIJAMII UMEWEZA KUNIPA MAFANIKIO GANI?
JE UNGEPENDA KUJUA NIMEWEZAJE KUPUNGUA KILO 53 NDANI YA MWAKA MMOJA NA NUSU WAKATI NIPO KATIKA FANI YA CHAKULA 🥁
SAVE THE DATE TAREHE 2 DECEMBER UTAPATA MAJIBU YOTE NJOO NIKUJENGE NA WEWE UNIJENGE 🥁
EMPOWERED WOMEN EMPOWER OTHER WOMEN
Read more
Our dear friend and sister pamoja na band yote ya THE STARS asante sana kwa Kutusponsor kwenye EVENT ...
Media Removed
Our dear friend and sister pamoja na band yote ya THE STARS asante sana kwa Kutusponsor kwenye EVENT YETU ya end of year women empowerment day nashukuru sana sana . @anethkushaba @anethkushaba . .wewe ni malkia uliyethubutu na umeweza unatumia kipaji chako kugusa mioyo yetu na sauti yako ... Our dear friend and sister pamoja na band yote ya THE STARS asante sana kwa Kutusponsor kwenye EVENT YETU ya end of year women empowerment day nashukuru sana sana . @anethkushaba
@anethkushaba .
.wewe ni malkia uliyethubutu na umeweza unatumia kipaji chako kugusa mioyo yetu na sauti yako nzuri Save the date TAREHE 2 DECEMBER MAMBO NI MOTO
Read more
Loading...
Je ulishawahi kutumia GPS ya bongo ukaishia kwenye msitu wakatokea wanakijiji wanakupokea kwa ...
Media Removed
Je ulishawahi kutumia GPS ya bongo ukaishia kwenye msitu wakatokea wanakijiji wanakupokea kwa vigelegele wakijua umewakumbuka umewaletea neema story of my life . Je ulishawahi kutumia GPS ya bongo ukaishia kwenye msitu wakatokea wanakijiji wanakupokea kwa vigelegele wakijua umewakumbuka umewaletea neema 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 story of my life .
Je unajua maana ya unadhifu kwa mwanamke ? Je unajua umuhimu wa mwanamke kuwa nadhifu kwenye biashara ...
Media Removed
Je unajua maana ya unadhifu kwa mwanamke ? Je unajua umuhimu wa mwanamke kuwa nadhifu kwenye biashara yake ? Je unajua unaweza kuanza biashara yako ukiwa nyumbani kwako kwa kutumia mtandao wa kijamii ukafanya ndoto yako itimie Bi salma amethubutu na ameweza Basi usikose tarehe 2 december ... Je unajua maana ya unadhifu kwa mwanamke ?
Je unajua umuhimu wa mwanamke kuwa nadhifu kwenye biashara yake ?
Je unajua unaweza kuanza biashara yako ukiwa nyumbani kwako kwa kutumia mtandao wa kijamii ukafanya ndoto yako itimie
Bi salma amethubutu na ameweza
Basi usikose tarehe 2 december njoo upate maneno mazuri ya kukujenga kutoka kwa the one and only @marshedsalma__le_super_woman
@marshedsalma__le_super_woman
Mambo ni moto
Tarehe 2 december tutajengeka , kisaikolojia , ki afya , na mengineyo mengi 2019 wanawake tunaweza sana
Read more
Unaanzaje kuchelewa na mzigo mpya mali nzuri yenye ubora wa kipekee imeingia usikubali kupitwa ...
Media Removed
Unaanzaje kuchelewa na mzigo mpya mali nzuri yenye ubora wa kipekee imeingia usikubali kupitwa @biashara_connections @biashara_connections wa.mikoani pia mnaweza kutumiwa msikae nyuma mambo ni moto Unaanzaje kuchelewa na mzigo mpya mali nzuri yenye ubora wa kipekee imeingia usikubali kupitwa @biashara_connections @biashara_connections wa.mikoani pia mnaweza kutumiwa msikae nyuma mambo ni moto
Loading...
Je unamjua Miriam dada aliyekuwa na ndoto ya ujasiriamali na akaanza biashara yake bila kuwa na ...
Media Removed
Je unamjua Miriam dada aliyekuwa na ndoto ya ujasiriamali na akaanza biashara yake bila kuwa na kipato kikubwa ? Je ungependa kujuwa amewezaje kufanikisha ndoto yake na ni nini kinachompa msukumo wa kupambana na kuhakikisha anakuletea huduma mpaka mlangoni kwako Usikose tarehe 2nd ... Je unamjua Miriam dada aliyekuwa na ndoto ya ujasiriamali na akaanza biashara yake bila kuwa na kipato kikubwa ?
Je ungependa kujuwa amewezaje kufanikisha ndoto yake na ni nini kinachompa msukumo wa kupambana na kuhakikisha anakuletea huduma mpaka mlangoni kwako Usikose tarehe 2nd december mambo ni moto
@tutume_popote
@tutume_popote
Read more
 #mamantiliewakishua weekend mood misele time
Media Removed
#mamantiliewakishua weekend mood misele time #mamantiliewakishua weekend mood misele time
Baby vanilla
Media Removed
Baby vanilla Baby vanilla
Loading...
Asante @djbambuchatz DJ bambucha kwa kutusposer end of year women EMPOWERMENT day mambo ni moto ...
Media Removed
Asante @djbambuchatz DJ bambucha kwa kutusposer end of year women EMPOWERMENT day mambo ni moto DECEMBER 2nd usikose weka notification kwenye simu yako soon nitakuwekea bei ya ticket tunakamilisha mambo madogo mawili matatu ila nimezingatia mengi so bei itakuwa fair sana maana hii ni ... Asante @djbambuchatz DJ bambucha kwa kutusposer end of year women EMPOWERMENT day mambo ni moto DECEMBER 2nd usikose weka notification kwenye simu yako soon nitakuwekea bei ya ticket tunakamilisha mambo madogo mawili matatu ila nimezingatia mengi so bei itakuwa fair sana maana hii ni non profit event ni kwa ajili yetu na kujijenga tuwe tayari kwa mabadiliko 2019 ni mwaka wetu wanawake tunaweza
Read more
Save the date DECEMBER 2ND MAMBO NI MOTO jamani wakina dada, wakina mama , hii siku ni siku ya kujengeka ...
Media Removed
Save the date DECEMBER 2ND MAMBO NI MOTO jamani wakina dada, wakina mama , hii siku ni siku ya kujengeka ki afya ,ki mawazo , ki mwili malengo yetu 2019 lazima yapige hatua au yatimie kabisa wanawake tunaweza EMPOWERED WOMEN EMPOWER OTHER WOMEN Save the date DECEMBER 2ND MAMBO NI MOTO jamani wakina dada, wakina mama , hii siku ni siku ya kujengeka ki afya ,ki mawazo , ki mwili malengo yetu 2019 lazima yapige hatua au yatimie kabisa wanawake tunaweza
EMPOWERED WOMEN EMPOWER OTHER WOMEN
Biryan ya leo unajilamba sana duh usikose kula mkono wangu .maana limepikika 0715405000/0766444449 ...
Media Removed
Biryan ya leo unajilamba sana duh usikose kula mkono wangu .maana limepikika 0715405000/0766444449 zimebaki sahani chache Biryan ya leo unajilamba sana duh usikose kula mkono wangu .maana limepikika 0715405000/0766444449 zimebaki sahani chache
Its not about you being a woman its about how you carry YOURSELF as a woman learn to differentiate ...
Media Removed
Its not about you being a woman its about how you carry YOURSELF as a woman learn to differentiate the two . EMPOWERED WOMEN EMPOWER OTHER WOMEN . . .WHEN YOU ARE STRONG OTHER WOMEN WILL LOVE YOU, OTHER WOMEN WILL LEARN SOMETHING NEW FROM YOU, OTHER WOMEN WILL APPRECIATE YOU , OTHER WOMEN ... Its not about you being a woman its about how you carry YOURSELF as a woman learn to differentiate the two .

EMPOWERED WOMEN EMPOWER OTHER WOMEN .
.
.WHEN YOU ARE STRONG OTHER WOMEN WILL LOVE YOU, OTHER WOMEN WILL LEARN SOMETHING NEW FROM YOU, OTHER WOMEN WILL APPRECIATE YOU , OTHER WOMEN WILL JUDGE YOU , OTHER WOMEN WILL CONDEMN YOU,OTHER WOMEN WILL FEAR HOW POWERFUL YOU ARE AND THE BEST WAY FOR THEM TO FEEL BETTER ABOUT THEMSELVES IS TO TRY AND BREAK YOU , OTHER WOMEN WILL TRY TO BE YOU ...BUT THE MOST PRECIOUS PRIZE OF IT ALL IS THAT YOU ARE YOUR OWN GREATEST VICTORY AND NO ONE CAN TAKE THAT AWAY FROM YOU .
.
LOVE YOUR YOURSELF
ADMIRE YOURSELF
APPRECIATE YOURSELF
BE THAT KIND OF WOMAN WHEN YOU WALK INTO THE ROOM EVERY WOMAN SAYS I WANT TO BE JUST LIKE HER HOW DOES SHE DO IT
XOXO
.
.
.
Read more
Mnaonaje wanawake tukikutana siku moja kabla mwaka haujaisha tukabadilishana mawazo tukapeana ...
Media Removed
Mnaonaje wanawake tukikutana siku moja kabla mwaka haujaisha tukabadilishana mawazo tukapeana moyo tukajumuika pamoja tukajengana na kujifunza mawili matatu tukashare changamoto mbali mbali zinazotukabili katika ujasiriamali na maisha yetu ya kila siku END OF YEAR WOMEN EMPOWERMENT ... Mnaonaje wanawake tukikutana siku moja kabla mwaka haujaisha tukabadilishana mawazo tukapeana moyo tukajumuika pamoja tukajengana na kujifunza mawili matatu tukashare changamoto mbali mbali zinazotukabili katika ujasiriamali na maisha yetu ya kila siku END OF YEAR WOMEN EMPOWERMENT DAY .
.
.
Naomba maoni yenu je mko tayari tufanye hii siku iwe ni siku ambayo maisha yako yatabadilika siku ambayo utapata mwanga , na nguvu za kuanza mwaka wa 2019 kwa kujiamini zaidi na kwa kishindo kikubwa zaidi
.
.
.pls tag all the beautiful women , friends , sisters and mothers share this msg and repost lets make 2019 our year as empowered women
Read more
Asanteni sana wateja wetu chakula kimeisha
Media Removed
Asanteni sana wateja wetu chakula kimeisha Asanteni sana wateja wetu chakula kimeisha
Mix mix ya leo sio ya kukosa kabisa call 0715405000/0766444449 delivery ipo 3000 mbali 5000
Media Removed
Mix mix ya leo sio ya kukosa kabisa call 0715405000/0766444449 delivery ipo 3000 mbali 5000 Mix mix ya leo sio ya kukosa kabisa call 0715405000/0766444449 delivery ipo 3000 mbali 5000
Mix mix ya leo balaaa usikose kabisa Malaysian pilau Mzuzu wa kukaanga Chapati Bbq chicken ...
Media Removed
Mix mix ya leo balaaa usikose kabisa Malaysian pilau Mzuzu wa kukaanga Chapati Bbq chicken Mexican beef Maharage ya nazi Biringanya ya karanga . Vyote ni 10,000 call 0715405000/0766444449 delivery ipo 3000 mbali 5000 Mix mix ya leo balaaa usikose kabisa
Malaysian pilau
Mzuzu wa kukaanga
Chapati
Bbq chicken
Mexican beef
Maharage ya nazi
Biringanya ya karanga .
Vyote ni 10,000 call 0715405000/0766444449 delivery ipo 3000 mbali 5000
Dieters menu ya leo chicken breast salad  ni tamu sana  10,000 call 0715405000/076644449
Media Removed
Dieters menu ya leo chicken breast salad  ni tamu sana  10,000 call 0715405000/076644449 Dieters menu ya leo chicken breast salad  ni tamu sana  10,000 call 0715405000/076644449
Mnaonaje wanawake tukikutana siku moja kabla mwaka haujaisha tukabadilishana mawazo tukapeana ...
Media Removed
Mnaonaje wanawake tukikutana siku moja kabla mwaka haujaisha tukabadilishana mawazo tukapeana moyo tukajumuika pamoja tukajengana na kujifunza mawili matatu tukashare changamoto mbali mbali zinazotukabili katika ujasiriamali na maisha yetu ya kila siku END OF YEAR WOMEN EMPOWERMENT ... Mnaonaje wanawake tukikutana siku moja kabla mwaka haujaisha tukabadilishana mawazo tukapeana moyo tukajumuika pamoja tukajengana na kujifunza mawili matatu tukashare changamoto mbali mbali zinazotukabili katika ujasiriamali na maisha yetu ya kila siku END OF YEAR WOMEN EMPOWERMENT DAY .
.
.
Naomba maoni yenu je mko tayari tufanye hii siku iwe ni siku ambayo maisha yako yatabadilika siku ambayo utapata mwanga , na nguvu za kuanza mwaka wa 2019 kwa kujiamini zaidi na kwa kishindo kikubwa zaidi
.
.
.pls tag all the beautiful women , friends , sisters and mothers share this msg and repost lets make 2019 our year as empowered women
Read more
Mimi kama mwanamke kitu kinachonipa nguvu ya kujiamini ni uwezo wangu wa kufanya kazi nikijijua ...
Media Removed
Mimi kama mwanamke kitu kinachonipa nguvu ya kujiamini ni uwezo wangu wa kufanya kazi nikijijua thamani yangu na baraka ambazo Mungu amenipa . . . . Wewe kama mwanamke lazima ujuwe kuwa umebarikiwa sana sana na unaweza hata kama kuna vikwazo vigumu mbele yako elewa kuwa hayo yote ni mapito ... Mimi kama mwanamke kitu kinachonipa nguvu ya kujiamini ni uwezo wangu wa kufanya kazi nikijijua thamani yangu na baraka ambazo Mungu amenipa .
.
.
. Wewe kama mwanamke lazima ujuwe kuwa umebarikiwa sana sana na unaweza hata kama kuna vikwazo vigumu mbele yako elewa kuwa hayo yote ni mapito tu utasimama na utafanikiwa wote unaowaona leo wamefanikiwa hata wao hawakulala wakaamka wakajikuta na mafanikio ni wamepigana kama wewe unavyopigana wamesota kama wewe unavyosota wamekesha kama wewe na leo unavyokesha leo wanakula matunda bora waliopanda huko nyuma kwa jasho lao .
.
.
.
AMKA TWENDE
Read more
Mix mix ya leo jumanne sio ya kukosa Wali wa nazi Njegere za nazi Garlic potatoes Bbq chicken ...
Media Removed
Mix mix ya leo jumanne sio ya kukosa Wali wa nazi Njegere za nazi Garlic potatoes Bbq chicken Prawns curry wa nazi new new ni tamu sana Mix mboga mboga All.ni 10,000 call 0715405000/0766444449 delivery ipo 3000 mbali 5000 Mix mix ya leo jumanne sio ya kukosa
Wali wa nazi
Njegere za nazi
Garlic potatoes
Bbq chicken
Prawns curry wa nazi new new ni tamu sana
Mix mboga mboga
All.ni 10,000 call 0715405000/0766444449 delivery ipo 3000 mbali 5000
Dieters menu ya leo chicken breast salad  ni tamu sana  10,000 call 0715405000/076644449
Media Removed
Dieters menu ya leo chicken breast salad  ni tamu sana  10,000 call 0715405000/076644449 Dieters menu ya leo chicken breast salad  ni tamu sana  10,000 call 0715405000/076644449
NIC BANK VISA MOVE DEBIT CARD LAUNCH OPEN KITCHEN SERVING BREAKFAST
Media Removed
NIC BANK VISA MOVE DEBIT CARD LAUNCH OPEN KITCHEN SERVING BREAKFAST NIC BANK VISA MOVE DEBIT CARD LAUNCH OPEN KITCHEN SERVING BREAKFAST
Triz wa arusha please naomba unitafute leo nimepoteza yr number
Media Removed
Triz wa arusha please naomba unitafute leo nimepoteza yr number Triz wa arusha please naomba unitafute leo nimepoteza yr number
<span class="emoji emoji1f3b5"></span><span class="emoji emoji1f3b5"></span><span class="emoji emoji1f3b5"></span><span class="emoji emoji1f3b5"></span>Nilikwamini. Ukanitenda nilikupa kila kitu na bado ukanitenda leo unaamka na kunitamani ...
Media Removed
Nilikwamini. Ukanitenda nilikupa kila kitu na bado ukanitenda leo unaamka na kunitamani na mimi mwenzio nimeshapendwa moyo wangu taabani kwa mapenzi anayonipa anavyojua kunienzi moyo wangu kauteka kila niamkapo yupo , nilalapo yupo , ananitunza kila siku kama leo ndio kwanza amejifunza ... 🎵🎵🎵🎵Nilikwamini. Ukanitenda nilikupa kila kitu na bado ukanitenda leo unaamka na kunitamani na mimi mwenzio nimeshapendwa moyo wangu taabani kwa mapenzi anayonipa anavyojua kunienzi moyo wangu kauteka kila niamkapo yupo , nilalapo yupo , ananitunza kila siku kama leo ndio kwanza amejifunza penzi kwa mapenzi haya hata mimi najitunza 🎶🎶🎶🎶🎶🎼🎼🎼🎹🎺🎻🥁 .
.
.haka kawimbo katamu sana
Woke up.happy and feeling blessed
Read more
Samaki fresh all the way from Mwanza delivery pia ipo call 0755274778/0713753121 @aste_urassa
Media Removed
Samaki fresh all the way from Mwanza delivery pia ipo call 0755274778/0713753121 @aste_urassa Samaki fresh all the way from Mwanza delivery pia ipo call 0755274778/0713753121 @aste_urassa
Mix mix monday usikose nipo jikoni Wali wa maua Samaki sato mtamu wa nazi imekolea Mzuzu wa kukaanga Makange ...
Media Removed
Mix mix monday usikose nipo jikoni Wali wa maua Samaki sato mtamu wa nazi imekolea Mzuzu wa kukaanga Makange ya mbuzi Mix mboga mboga Vyote ni 10,000 call 0715405000/07664=4449 delivery ipo 3000 mbali 5000 Mix mix monday usikose nipo jikoni
Wali wa maua
Samaki sato mtamu wa nazi imekolea
Mzuzu wa kukaanga
Makange ya mbuzi
Mix mboga mboga
Vyote ni 10,000 call 0715405000/07664=4449 delivery ipo 3000 mbali 5000
Dieters menu ya leo chicken breast salad ni tamu sana 10,000 call 0715405000/076644449
Media Removed
Dieters menu ya leo chicken breast salad ni tamu sana 10,000 call 0715405000/076644449 Dieters menu ya leo chicken breast salad ni tamu sana 10,000 call 0715405000/076644449
Watu wengi kwenye haya maisha wanapenda kuona mtu amefail maisha au mtu amekata tamaaa au pia mtu ...
Media Removed
Watu wengi kwenye haya maisha wanapenda kuona mtu amefail maisha au mtu amekata tamaaa au pia mtu anasota kimaisha yaani binadamu ni kiumbe wa ajabu sana pale anapoona mtu yupo katika shida na wakati mgumu ndio anapofurahia na kupata faraja kubwa kwakaweli huwa najiuliza nakosa majibu ... Watu wengi kwenye haya maisha wanapenda kuona mtu amefail maisha au mtu amekata tamaaa au pia mtu anasota kimaisha yaani binadamu ni kiumbe wa ajabu sana pale anapoona mtu yupo katika shida na wakati mgumu ndio anapofurahia na kupata faraja kubwa kwakaweli huwa najiuliza nakosa majibu kwasababu hata inawezekana mtu huyo wewe humjui wala hakusaidii chochote kwenye maisha yako mnajuana tu either kwenye mitandao au juu kwa juu tuu lakini utasikia mtu anasema bora yaliyompata maana amezidi 😂😂😂😂😂😂.
.
.
.maisha , na mitihani ni yetu sote Mungu hawezi kukupa mtihani ambao anajua utakushinda anakupa mtihani mgumu muda mwingine kwasababu anataka kukujenga na kukutayarisha kwa kile kikubwa alichokupangia kwahiyo usivunjike moyo kwakuwa maisha unayoishi ni yako wewe wala siyo ya mtu mwingine ni YAKO so usiishi kwa kutaka kuwafurahisha watu .
.
.
Unajua mimi huwa nacheka sana pale unapokuta mtu anakuchukia simply because kuna mtu amekaa anaongea story za uwongo kuhusu mtu kwasababu tu ya wivu wake anataka kuwaaminisha watu kuwa yule sio mtu mzuri au yule ni fake wakati hata hakujui wala hajawahi kukuona ila utasikia ana rafiki yake wa karibu ndio kanipa hizo data 😂😂😂😂 data hizo vepeeee maana sio kwa bundle hilo la kuunga unga 😂😂😂😂 rubbish .
.
Watu wengi huwa wanapenda maisha ya kuzoena sana yaani mtu anajifanya kuwa rafiki yako ilimradi tu akuchote kwa umbea au pia aonekane anakujua sana simply because umefanikiwa kidogo kwenye maisha kaa mbali na hawa watu maana siku ukifulia midomo yao itatapika kama mtoto aliyepaliwa na uji😂😂😂 ishi maisha yako sio muhimu kupendwa na kila mtu.hao wanaokujua na wanaokupenda toka huna kitu wanatosha .
.
.
.
AMKA LEO NA ISHI MAISHA YAKO SIO UISHI MAISHA YAKO KWA AJILI YA KILA MTU , PIGANA NA FANYA MAENDELEO YA AJILI YAKO NA SIO KWA AJILI YA KILA MTU AKUONE UMEFANIKIWA MAFANIKIO HUWA HAYAJIFICHI KAMA VILE MTU MWENYE HELA UTAMJUA TU BILA KUAMBIWA ILA WALE WENYE ZILE SARAFU NDIO WANAONGOZA KWA KUPIGA MAKELELE TULIA BANA LET THE MONEY SPEAK FOR ITSELF .
.
.
.
MAKE THIS LIFE BEAUTIFUL FOR YOU AND ONLY YOU
HAPPY MONDAY ❤
Read more
Kazi ya mikono yangu naked carrot cake for a special client hii keki ni balaaa yaani inanukia nyumba ...
Media Removed
Kazi ya mikono yangu naked carrot cake for a special client hii keki ni balaaa yaani inanukia nyumba nzima Kazi ya mikono yangu naked carrot cake for a special client hii keki ni balaaa yaani inanukia nyumba nzima
Mwanamke ukichukua majukumu ya mwanaume katika nyumba na kulea familia basi kaa ujue maisha yako ...
Media Removed
Mwanamke ukichukua majukumu ya mwanaume katika nyumba na kulea familia basi kaa ujue maisha yako yote utafanya kazi ya kumtumikia mwanaume wakati yeye anafanya kazi ya kumtumikia yule anayeona anaweza kumiliki kwa nguvu zako hizo hizo unazomwezesha LET A MAN PLAY HIS ROLE AS A MAN HATA ... Mwanamke ukichukua majukumu ya mwanaume katika nyumba na kulea familia basi kaa ujue maisha yako yote utafanya kazi ya kumtumikia mwanaume wakati yeye anafanya kazi ya kumtumikia yule anayeona anaweza kumiliki kwa nguvu zako hizo hizo unazomwezesha LET A MAN PLAY HIS ROLE AS A MAN HATA KAMA NI KIDOGO HICHO HICHO NDIO UWEZO WAKE LAKINI AFANYE .
.
SUNDAY WORK OUT DONE AMKA TWENDE
Read more
Kazi.kazi karibu open kitchen catering call us on 0784851638
Media Removed
Kazi.kazi karibu open kitchen catering call us on 0784851638 Kazi.kazi karibu open kitchen catering call us on 0784851638
Mambo mazuri utayapata only at open kitchen nipigie tunafanya catering za aina zote 0784851638
Media Removed
Mambo mazuri utayapata only at open kitchen nipigie tunafanya catering za aina zote 0784851638 Mambo mazuri utayapata only at open kitchen nipigie tunafanya catering za aina zote 0784851638
Kwa shughuli yeyote karibu open kitchen tupigie tukupikie chakula kitamu 7star service bei poa ...
Media Removed
Kwa shughuli yeyote karibu open kitchen tupigie tukupikie chakula kitamu 7star service bei poa nipigie direct 0784851638 Kwa shughuli yeyote karibu open kitchen tupigie tukupikie chakula kitamu 7star service bei poa nipigie direct 0784851638
Call us 0715405000/0766444449 Call us 0715405000/0766444449
Saturday mix mix usikose. Ni ya kujilamba Wali wa nazi Mzuzu wa nazi na iliki Tambi za vanilla ...
Media Removed
Saturday mix mix usikose. Ni ya kujilamba Wali wa nazi Mzuzu wa nazi na iliki Tambi za vanilla Maharage ya nazi Mexican beef Cabbage ya karanga Usikose all ni 10,000 call 0715405000/0766444449 delivery ipo 3000 mbali 5000 Saturday mix mix usikose. Ni ya kujilamba
Wali wa nazi
Mzuzu wa nazi na iliki
Tambi za vanilla
Maharage ya nazi
Mexican beef
Cabbage ya karanga
Usikose all ni 10,000 call 0715405000/0766444449 delivery ipo 3000 mbali 5000
Wahi sasa upate ticket yako na mavazi ya kupendeza na huduma nzuri kwa bei za kiushindani siku ya tukio pale @aymansinvestments na @aymans_beauty_parlour_kunduchi Wahi sasa upate ticket yako na mavazi ya kupendeza na huduma nzuri kwa bei za kiushindani siku ya tukio pale @aymansinvestments na @aymans_beauty_parlour_kunduchi
Chocolate and caramel cake ipo usikose 7500 call 0715405000/0766444449
Media Removed
Chocolate and caramel cake ipo usikose 7500 call 0715405000/0766444449 Chocolate and caramel cake ipo usikose 7500 call 0715405000/0766444449
Biryan day its the best biryan in town na leo nipo mwenyewe jikoni biryan sio la kukosa ni balaaa biryan ...
Media Removed
Biryan day its the best biryan in town na leo nipo mwenyewe jikoni biryan sio la kukosa ni balaaa biryan ya kuku wa kienyeji 10,000 call 0715405000/0766444449 delivery ipo 3000 mbali 5000 Biryan day its the best biryan in town na leo nipo mwenyewe jikoni biryan sio la kukosa ni balaaa biryan ya kuku wa kienyeji 10,000 call 0715405000/0766444449 delivery ipo 3000 mbali 5000
Red velvet cake ipo leo na chocolate and caramel cake ipo slice ni 7500 wahi mapema call 0715405000/0766444449
Media Removed
Red velvet cake ipo leo na chocolate and caramel cake ipo slice ni 7500 wahi mapema call 0715405000/0766444449 Red velvet cake ipo leo na chocolate and caramel cake ipo slice ni 7500 wahi mapema call 0715405000/0766444449
Dieters menu ya leo ni tuna salad with mango salsa 10,000 call 0715405000/0766444449 delivery ...
Media Removed
Dieters menu ya leo ni tuna salad with mango salsa 10,000 call 0715405000/0766444449 delivery ipo 3000 mbali 5000 Dieters menu ya leo ni tuna salad with mango salsa 10,000 call 0715405000/0766444449 delivery ipo 3000 mbali 5000

Loading...