Sabebethedon_0715463333 Instagram Photos and Videos

Loading...


sabebethedon_0715463333 Abdul Mohamed @sabebethedon_0715463333 mentions
Followers: 4,705
Following: 7,499
Total Comments: 0
Total Likes: 0

Lindi mojaaaaa Lindi mojaaaaa
Loading...
Ivi ni kweli?kama ni kweli wale wazee wa kusepa mpo?
Media Removed
Ivi ni kweli?kama ni kweli wale wazee wa kusepa mpo? Ivi ni kweli?kama ni kweli wale wazee wa kusepa mpo?
Haya ndio maisha ya usafiri kutoka nyengedi kwenda rondo jimbo la Mtama mkoa wa Lindi..hali ya barabara ...
Media Removed
Haya ndio maisha ya usafiri kutoka nyengedi kwenda rondo jimbo la Mtama mkoa wa Lindi..hali ya barabara si shwari. Haya ndio maisha ya usafiri kutoka nyengedi kwenda rondo jimbo la Mtama mkoa wa Lindi..hali ya barabara si shwari.
Leo 5/09/2018 wakazi wa nachingwea wamekutana na bomoa bomoa ya tanroad kwa nyumba zilizo wekwa alama x angalia kidogo hali ilivyo kuwa.kipindi cha huku kwetu kitakua live saa tano dakika 40 asubuhi ungana nami usikie wana nachingwea wameongea nini?kupitia Mashujaa radio 89.5 sisi ni ... Leo 5/09/2018 wakazi wa nachingwea wamekutana na bomoa bomoa ya tanroad kwa nyumba zilizo wekwa alama x angalia kidogo hali ilivyo kuwa.kipindi cha huku kwetu kitakua live saa tano dakika 40 asubuhi ungana nami usikie wana nachingwea wameongea nini?kupitia Mashujaa radio 89.5 sisi ni wewe tutakujuza
Read more
Ukiheshimu unacho kifanya au kukipenda siyo rahisi kukipoteza.japokua wenye chuki upambana ...
Media Removed
Ukiheshimu unacho kifanya au kukipenda siyo rahisi kukipoteza.japokua wenye chuki upambana kurudisha nyuma.dawa ni kumkabidhi mungu Tu. Ukiheshimu unacho kifanya au kukipenda siyo rahisi kukipoteza.japokua wenye chuki upambana kurudisha nyuma.dawa ni kumkabidhi mungu Tu.
Kupima afya yako ni.jambo Jema.wakazi wa wilaya ya nachingwea wamejitokeza kwa wingi kupima afya zao. Kupima afya yako ni.jambo Jema.wakazi wa wilaya ya nachingwea wamejitokeza kwa wingi kupima afya zao.
Loading...
Leo kipindi cha huku kwetu kimeluka live ktk shule ya msingi nachingwea kupitia Mashujaa 89.5 sisi ...
Media Removed
Leo kipindi cha huku kwetu kimeluka live ktk shule ya msingi nachingwea kupitia Mashujaa 89.5 sisi ni wewe.tulipata bahati ya kuzungumza na wanafunzi wa darasa la saba ambao siku ya jumatano wanafanya mtihani wa kumaliza darasa la saba. Leo kipindi cha huku kwetu kimeluka live ktk shule ya msingi nachingwea kupitia Mashujaa 89.5 sisi ni wewe.tulipata bahati ya kuzungumza na wanafunzi wa darasa la saba ambao siku ya jumatano wanafanya mtihani wa kumaliza darasa la saba.
Kupima afya yako ni jambo la muhimu sana sisi wanakusini leo tumepima afya.baada ya wiki moja nitafanyiwa ...
Media Removed
Kupima afya yako ni jambo la muhimu sana sisi wanakusini leo tumepima afya.baada ya wiki moja nitafanyiwa upasuaji ktk jicho moja miaka 3 nyuma nilifanyiwa moja.khasante mkuu wa wilaya ya nachingwea. Kupima afya yako ni jambo la muhimu sana sisi wanakusini leo tumepima afya.baada ya wiki moja nitafanyiwa upasuaji ktk jicho moja miaka 3 nyuma nilifanyiwa moja.khasante mkuu wa wilaya ya nachingwea.
Loading...
Leo tarehe 31/08/2018 kipindi cha mwenye mji upande wa huku kweli tutarusha matangazo yetu live ...
Media Removed
Leo tarehe 31/08/2018 kipindi cha mwenye mji upande wa huku kweli tutarusha matangazo yetu live kutokea nanganga Lindi wilaya ya ruangwa ungana nasi aunt shu,Elizabeth msagula na sabebe the do kupitia Mashujaa fm 89.5 ujue kilicho zungumzwa na wakazi wa nanganga.sisi ni wewe Leo tarehe 31/08/2018 kipindi cha mwenye mji upande wa huku kweli tutarusha matangazo yetu live kutokea nanganga Lindi wilaya ya ruangwa ungana nasi aunt shu,Elizabeth msagula na sabebe the do kupitia Mashujaa fm 89.5 ujue kilicho zungumzwa na wakazi wa nanganga.sisi ni wewe
Leo tarehe 30/08/2018 kipindi cha huku kwetu kupitia Mashujaa fm 89.5 kimeluka live ktk ofisi ya ...
Media Removed
Leo tarehe 30/08/2018 kipindi cha huku kwetu kupitia Mashujaa fm 89.5 kimeluka live ktk ofisi ya ccm wilaya ya nachingwea.Katibu wa ccm ndugu Mwita amejibu malalamiko ya wafanyabiashara eneo la mnadani ambalo linamilikiwa na chama cha mapinduzi kuhusu madai ya kutoka na vyoo.na majibu ... Leo tarehe 30/08/2018 kipindi cha huku kwetu kupitia Mashujaa fm 89.5 kimeluka live ktk ofisi ya ccm wilaya ya nachingwea.Katibu wa ccm ndugu Mwita amejibu malalamiko ya wafanyabiashara eneo la mnadani ambalo linamilikiwa na chama cha mapinduzi kuhusu madai ya kutoka na vyoo.na majibu yamepatikana kwamba ujenzi ulishaanza ila mafundi ndio walio chelewesha.
Read more
Leo tarehe 30/08/2018 kipindi cha huku kwetu kimeluka moja kwa moja kutoka ofisi za chama cha mapinduzi ...
Media Removed
Leo tarehe 30/08/2018 kipindi cha huku kwetu kimeluka moja kwa moja kutoka ofisi za chama cha mapinduzi wilaya ya nachingwea mkoani Lindi.Katibu wa ccm ndugu Mwita akijibu malalamiko ya wafanyabiashara wa eneo la mnadani kwa kukosa vyoo.Mashujaa fm 89.5 Lindi sisi ni wewe. Leo tarehe 30/08/2018 kipindi cha huku kwetu kimeluka moja kwa moja kutoka ofisi za chama cha mapinduzi wilaya ya nachingwea mkoani Lindi.Katibu wa ccm ndugu Mwita akijibu malalamiko ya wafanyabiashara wa eneo la mnadani kwa kukosa vyoo.Mashujaa fm 89.5 Lindi sisi ni wewe.
Leo Mashujaa live kupitia kipindi cha mwenye mji huku kwetu leo tutakua live ktk stendi kuu ya mabasi ...
Media Removed
Leo Mashujaa live kupitia kipindi cha mwenye mji huku kwetu leo tutakua live ktk stendi kuu ya mabasi wilaya ya masasi.wasikilize wakazi wa masasi na lipi kutoka kwao ungana nami saa tano dakika 40 asubui hii ya tarehe 29.08/2018. Aunt shuu,Eliza msagula na sabebe the don mjukuu wa kajokojoko. Leo Mashujaa live kupitia kipindi cha mwenye mji huku kwetu leo tutakua live ktk stendi kuu ya mabasi wilaya ya masasi.wasikilize wakazi wa masasi na lipi kutoka kwao ungana nami saa tano dakika 40 asubui hii ya tarehe 29.08/2018. Aunt shuu,Eliza msagula na sabebe the don mjukuu wa kajokojoko.
Loading...
Huku kwetu leo tarehe 29/08/2018.kipindi kinaruka moja kwa moja saa tano dk 40.asubui wilaya masasi ...
Media Removed
Huku kwetu leo tarehe 29/08/2018.kipindi kinaruka moja kwa moja saa tano dk 40.asubui wilaya masasi mkoani mtwara.maeneo ya solo kuu kaumu.89.5 Mashujaa fm Lindi sisi ni wewe. Huku kwetu leo tarehe 29/08/2018.kipindi kinaruka moja kwa moja saa tano dk 40.asubui wilaya masasi mkoani mtwara.maeneo ya solo kuu kaumu.89.5 Mashujaa fm Lindi sisi ni wewe.
Kipaji cha Tanzania kinachoitangaza Tanzania usiku wa jana katia kambani gori tatu mbili kichwa ...
Media Removed
Kipaji cha Tanzania kinachoitangaza Tanzania usiku wa jana katia kambani gori tatu mbili kichwa moja guu la kulia. Nafasi ya lukaku inabidi achukue huyu jamaa Kipaji cha Tanzania kinachoitangaza Tanzania usiku wa jana katia kambani gori tatu mbili kichwa moja guu la kulia. Nafasi ya lukaku inabidi achukue huyu jamaa
Mambo motooooooo kuna vitu avivumiliki. Mambo motooooooo kuna vitu avivumiliki.
Loading...
JAMBO JEMA,LAZIMA LIWE GUMU.MAANA YAKE MARA NYINGI HAKUNA MAFANIKIO MAKUBWA PASIPO NA CHANGAMOTO.NA ...
Media Removed
JAMBO JEMA,LAZIMA LIWE GUMU.MAANA YAKE MARA NYINGI HAKUNA MAFANIKIO MAKUBWA PASIPO NA CHANGAMOTO.NA UKIONA UNASONGWA NA MENGI YA KUKATISHA TAMAA UJUE PENGINE MAFANIKIO YAPO KARIBU SANA.KAZA MOYO MUNGU NI MWEMA KILA WAKATI.NA MUNGU SI BINADAMU ADANGANYE.NAWAPENDA SANA KWA KUNIUNGA ... JAMBO JEMA,LAZIMA LIWE GUMU.MAANA YAKE MARA NYINGI HAKUNA MAFANIKIO MAKUBWA PASIPO NA CHANGAMOTO.NA UKIONA UNASONGWA NA MENGI YA KUKATISHA TAMAA UJUE PENGINE MAFANIKIO YAPO KARIBU SANA.KAZA MOYO MUNGU NI MWEMA KILA WAKATI.NA MUNGU SI BINADAMU ADANGANYE.NAWAPENDA SANA KWA KUNIUNGA MKONO NA KUNIPA IMANI.NAWATAKIA CK NJEMA.MASHUAA FM HUKU KUSINI WANAPATIKANA KTK 89.5 .
Read more
Mke wa marehemu wa katibu wa bakwata marehemu abrahaman mbwana mwenyezi mungu akupumzishe salama.nitakumbuka ...
Media Removed
Mke wa marehemu wa katibu wa bakwata marehemu abrahaman mbwana mwenyezi mungu akupumzishe salama.nitakumbuka mengi Sana mama mlani umeniacha na simanzi kubwa.poleni familiya ya marehemu abrahamani mbwana ya MTO wa mbu na mwanayamala kw kopa.tupo pamoja. Mke wa marehemu wa katibu wa bakwata marehemu abrahaman mbwana mwenyezi mungu akupumzishe salama.nitakumbuka mengi Sana mama mlani umeniacha na simanzi kubwa.poleni familiya ya marehemu abrahamani mbwana ya MTO wa mbu na mwanayamala kw kopa.tupo pamoja.
NAFASI ZA KAZI ----------------- Mashujaa Group Ltd Kampuni inayomiliki Radio Mashujaa FM ...
Media Removed
NAFASI ZA KAZI ----------------- Mashujaa Group Ltd Kampuni inayomiliki Radio Mashujaa FM ya Lindi inatangaza nafasi za kazi: Kwa Watanzania wenye sifa stahiki katika maeneo yafuatayo: 1. Chief Editor; (Kituo cha kazi Lindi Mjini) 2. Program Manager; (Kituo cha Kazi Lindi Mjini) 3. Radio ... NAFASI ZA KAZI
-----------------
Mashujaa Group Ltd Kampuni inayomiliki Radio Mashujaa FM ya Lindi inatangaza nafasi za kazi:
Kwa Watanzania wenye sifa stahiki katika maeneo yafuatayo:
1. Chief Editor; (Kituo cha kazi Lindi Mjini)
2. Program Manager; (Kituo cha Kazi Lindi Mjini)
3. Radio Producers; (Kituo cha kazi Lindi mjini)
4. TV Producers; (Kituo cha kazi Mtwara Mjini)
5. TV Presenters; (Kituo cha kazi Mtwara mjini)
Elimu/Taaluma na Uzoefu:
Certificate, Diploma na zaidi katika eneo husika;
Mhitimu katika fani yoyote aliye tayari kujifunza na kujiendeleza;
Wastaafu na wahitimu wapya wasio na uzoefu pia wanakaribishwa;
Wenye taaluma zaidi ya eneo moja watapewa kipaumbele.
Chief Editor ni LAZIMA awe na elimu isiyopungua Diploma ya Journalism/Mass Communication kutoka chuo kinachotambulika na TCU.
Wote hao wawe tayari kufanya kazi na kuishi Lindi na Mtwara.

Namna ya kuomba:
Wenye nia wanatakiwa kutuma maombi yenye barua, maelezo binafsi (CV) na
nakala ya vyetu kwa barua pepe tu kwenda:- [email protected] **Tahadhari: Kughushi vyeti ni kosa la jinai na atakayethibitika kufanya udanganyifu wa aina hiyo atachukuliwa hatua za kisheria kabla au hata baada ya kupata ajira.
Read more
Loading...
Unapokua nyumbani hasa wewe mkazi wa kusini lindi na mtwara,na ukiwa unafaya usafi na hili ukamilike usafi wako sikiliza Mashujaa fm 89.5 kucheleee hewani. Unapokua nyumbani hasa wewe mkazi wa kusini lindi na mtwara,na ukiwa unafaya usafi na hili ukamilike usafi wako sikiliza Mashujaa fm 89.5 kucheleee hewani.
Hahaaaa Mashujaa fm 89.5 lindi.tunasikika liwale,nachingwea,ruangwa,masasi,.newala,kilwa,rufiji,mtwara,tandahimba,na kwingineko,sisi ni wewe Hahaaaa Mashujaa fm 89.5 lindi.tunasikika liwale,nachingwea,ruangwa,masasi,.newala,kilwa,rufiji,mtwara,tandahimba,na kwingineko,sisi ni wewe
Kuna vitu uwaga avizuiriki hasa vikiwa ktk damu tazama uliko lala upendo Wangu baada ya familiya.89.5 Mashujaa fm lindi sisi ni wewe. Kuna vitu uwaga avizuiriki hasa vikiwa ktk damu tazama uliko lala upendo Wangu baada ya familiya.89.5 Mashujaa fm lindi sisi ni wewe.
Baada ya mbunge wa jimbo la Liwale wa chama cha upinzani kurudi ccm wanachama 90 wa upinzani nachingwea nao warudi ccm Baada ya mbunge wa jimbo la Liwale wa chama cha upinzani kurudi ccm wanachama 90 wa upinzani nachingwea nao warudi ccm
Ndugu zangu haya mambo ni kweli yanayozungumzwa na huyu Mrembo? Ndugu zangu haya mambo ni kweli yanayozungumzwa na huyu Mrembo?
Du noma sana usipitwe na hii wewe unaichukuliaje. Du noma sana usipitwe na hii wewe unaichukuliaje.
Hawa jamaaaa noma sana. Hawa jamaaaa noma sana.
Kila mwenye kuthubutu na kutubu hakika moyo wake utakua wa subira,uvumilivu na kua na upendo kwa ...
Media Removed
Kila mwenye kuthubutu na kutubu hakika moyo wake utakua wa subira,uvumilivu na kua na upendo kwa wenzake.ni Rafiki tu mazeee Kila mwenye kuthubutu na kutubu hakika moyo wake utakua wa subira,uvumilivu na kua na upendo kwa wenzake.ni Rafiki tu mazeee
Marafiki kama hawa wanakuaga wachache sana.Na inabidi uwe na imani sababu unaweza saliti ndoa.ila ...
Media Removed
Marafiki kama hawa wanakuaga wachache sana.Na inabidi uwe na imani sababu unaweza saliti ndoa.ila Mimi Na imani na nailinda ndoa yangu. Marafiki kama hawa wanakuaga wachache sana.Na inabidi uwe na imani sababu unaweza saliti ndoa.ila Mimi Na imani na nailinda ndoa yangu.
Marafiki wa kweli ukaa karibu.
Media Removed
Marafiki wa kweli ukaa karibu. Marafiki wa kweli ukaa karibu.
Mdogo Mdogo masaki moja
Media Removed
Mdogo Mdogo masaki moja Mdogo Mdogo masaki moja
Usipitwe na ujumbe huu ambao ni Mtamu kuusikiriza ktk masikio yako natumaini utafarijika. Usipitwe na ujumbe huu ambao ni Mtamu kuusikiriza ktk masikio yako natumaini utafarijika.
Kajokojoko tajiri wa baadaye.
Media Removed
Kajokojoko tajiri wa baadaye. Kajokojoko tajiri wa baadaye.
Mkurugenzi wa Mashujaa radio papa maisha amtembelea messi.
Media Removed
Mkurugenzi wa Mashujaa radio papa maisha amtembelea messi. Mkurugenzi wa Mashujaa radio papa maisha amtembelea messi.
Ongereni kwa kazi safi mnayo ifanya, Mbunge wa nachingwea hasani masala pamoja na katibu wa Mbunge ...
Media Removed
Ongereni kwa kazi safi mnayo ifanya, Mbunge wa nachingwea hasani masala pamoja na katibu wa Mbunge wa ruangwa (waziri mkuu Tanzania) bwana Liwaka. Ongereni kwa kazi safi mnayo ifanya, Mbunge wa nachingwea hasani masala pamoja na katibu wa Mbunge wa ruangwa (waziri mkuu Tanzania) bwana Liwaka.
Karibu mzee,Lindi kuchele mtwara kuchele.
Media Removed
Karibu mzee,Lindi kuchele mtwara kuchele. Karibu mzee,Lindi kuchele mtwara kuchele.
Soggy doggy kurejea Lindi kwa stahili nyingine.karibu mzee kuna vitu ambavyo natamani niwe navyo ...
Media Removed
Soggy doggy kurejea Lindi kwa stahili nyingine.karibu mzee kuna vitu ambavyo natamani niwe navyo maana vinaleta heshima. Soggy doggy kurejea Lindi kwa stahili nyingine.karibu mzee kuna vitu ambavyo natamani niwe navyo maana vinaleta heshima.
Mguu nje mguu ndani sababu ya ubinafsi wa kimaisha wa mtu anaye waaminisha watu kwamba siko vizuri.sasa ...
Media Removed
Mguu nje mguu ndani sababu ya ubinafsi wa kimaisha wa mtu anaye waaminisha watu kwamba siko vizuri.sasa sijui ni malezi au u limbukeni au kutojiamni.Mimi sielewi nabaki na maswali. Mguu nje mguu ndani sababu ya ubinafsi wa kimaisha wa mtu anaye waaminisha watu kwamba siko vizuri.sasa sijui ni malezi au u limbukeni au kutojiamni.Mimi sielewi nabaki na maswali.
Nawatakia jumatatu njema.muhimu kuvumilia maneno ya wasio jitambua.fanya kazi yako wenye weredi ...
Media Removed
Nawatakia jumatatu njema.muhimu kuvumilia maneno ya wasio jitambua.fanya kazi yako wenye weredi wataiyona.89.5 Mashujaa FM Lindi. Nawatakia jumatatu njema.muhimu kuvumilia maneno ya wasio jitambua.fanya kazi yako wenye weredi wataiyona.89.5 Mashujaa FM Lindi.
Lindi ni yetu,lindi yenye upendo.mungu tujaalie mafanikio wana lindi.
Media Removed
Lindi ni yetu,lindi yenye upendo.mungu tujaalie mafanikio wana lindi. Lindi ni yetu,lindi yenye upendo.mungu tujaalie mafanikio wana lindi.
Nakuwa na furaha sana ninapo muona mkurugenzi wangu papa maisha wa Mashujaa FM 89.5akiwa mwenye ...
Media Removed
Nakuwa na furaha sana ninapo muona mkurugenzi wangu papa maisha wa Mashujaa FM 89.5akiwa mwenye furaha.likizo njema ndani ya uingereza. Nakuwa na furaha sana ninapo muona mkurugenzi wangu papa maisha wa Mashujaa FM 89.5akiwa mwenye furaha.likizo njema ndani ya uingereza.
Ndugu zangu wana Lindi huyu kaka tumpende mpeni mawazo.ata nife leo huyu kaka ndiye mkombozi wetu ...
Media Removed
Ndugu zangu wana Lindi huyu kaka tumpende mpeni mawazo.ata nife leo huyu kaka ndiye mkombozi wetu hana makuu,mstaharabu mtulivu.kwa niaba ya kajoko kojo na hatibu bin ambali wawekezaji WA kusini pamoja na man suli,na mzee Salum mzee,mzee adamu Ali.mzee naraga.mzee silipi.mzee maokola ... Ndugu zangu wana Lindi huyu kaka tumpende mpeni mawazo.ata nife leo huyu kaka ndiye mkombozi wetu hana makuu,mstaharabu mtulivu.kwa niaba ya kajoko kojo na hatibu bin ambali wawekezaji WA kusini pamoja na man suli,na mzee Salum mzee,mzee adamu Ali.mzee naraga.mzee silipi.mzee maokola majoko.kapten mkuchika newala kule muko wengi 89.5 kusini inaongea
Read more
Dubai.watoto mkurugenzi wetu papa maisha wakiwa wenye furaha pande za Dubai. Dubai.watoto mkurugenzi wetu papa maisha wakiwa wenye furaha pande za Dubai.
Papa maisha mkurugenzi wa Mashujaa FM 89.5 lindi na familiyayake , tu nashukuru mungu mkurugenzi ...
Media Removed
Papa maisha mkurugenzi wa Mashujaa FM 89.5 lindi na familiyayake , tu nashukuru mungu mkurugenzi wetu umefika salama uk na tunakuombea urudi salama tz. Papa maisha mkurugenzi wa Mashujaa FM 89.5 lindi na familiyayake , tu nashukuru mungu mkurugenzi wetu umefika salama uk na tunakuombea urudi salama tz.
Papa maisha na familiya yake mapumzikoni UK.mkurugenzi wa Mashujaa radio 89.5 sisi ni wewe
Media Removed
Papa maisha na familiya yake mapumzikoni UK.mkurugenzi wa Mashujaa radio 89.5 sisi ni wewe Papa maisha na familiya yake mapumzikoni UK.mkurugenzi wa Mashujaa radio 89.5 sisi ni wewe
Watoto wa boss Nao pia ni maboss wangu.ni watoto wa papa maisha wakiwa uwanja wa ndege Dubai safar ...
Media Removed
Watoto wa boss Nao pia ni maboss wangu.ni watoto wa papa maisha wakiwa uwanja wa ndege Dubai safar ya UK. Watoto wa boss Nao pia ni maboss wangu.ni watoto wa papa maisha wakiwa uwanja wa ndege Dubai safar ya UK.
Mkurugenzi wangu wa Mashujaa radio 89.5 papa maisha nakutakia safari njema ya kwenda kufurahia ...
Media Removed
Mkurugenzi wangu wa Mashujaa radio 89.5 papa maisha nakutakia safari njema ya kwenda kufurahia sikukuu ya iddi uingereza. Mkurugenzi wangu wa Mashujaa radio 89.5 papa maisha nakutakia safari njema ya kwenda kufurahia sikukuu ya iddi uingereza.
Kusini Tanzania .
Media Removed
Kusini Tanzania . Kusini Tanzania .
Ndugu yangu usimuweke kando mungu.usimsujudie mwanadamu hakika utakua umemuweka mungu kando.usiogope ...
Media Removed
Ndugu yangu usimuweke kando mungu.usimsujudie mwanadamu hakika utakua umemuweka mungu kando.usiogope wabaya wako wapende mkabidhi mungu.watafurahi ukiyumba ila kuna siku watajutia ubaya wako baada ya mungu kukulejesheha amani yako.nawapenda Sana. Ndugu yangu usimuweke kando mungu.usimsujudie mwanadamu hakika utakua umemuweka mungu kando.usiogope wabaya wako wapende mkabidhi mungu.watafurahi ukiyumba ila kuna siku watajutia ubaya wako baada ya mungu kukulejesheha amani yako.nawapenda Sana.
Dakika moja ukiitumia vizur inakupa Mafanikio ,Na hizi nafasi zinapatikana nadra sana.
Media Removed
Dakika moja ukiitumia vizur inakupa Mafanikio ,Na hizi nafasi zinapatikana nadra sana. Dakika moja ukiitumia vizur inakupa Mafanikio ,Na hizi nafasi zinapatikana nadra sana.
Uzinduzi wa mashindano ya mtaa kwa mtaa mkoani lindi.mashindano haya yameandaliwa na Mashujaa ...
Media Removed
Uzinduzi wa mashindano ya mtaa kwa mtaa mkoani lindi.mashindano haya yameandaliwa na Mashujaa radio 89.5 Uzinduzi wa mashindano ya mtaa kwa mtaa mkoani lindi.mashindano haya yameandaliwa na Mashujaa radio 89.5

Loading...