Loading Content...

Samsasali Instagram Photos and Videos

Loading...


samsasali Samuel Nathaniel Sasali @samsasali mentions
Followers: 57,605
Following: 4,491
Total Comments: 0
Total Likes: 0

We Think, We Produce We [email protected] We Think, We Produce We [email protected]
Loading...
Unaweza Kuta Jamaa anahangaika kwa ajili ya Girl Friend Unaweza Kuta Jamaa anahangaika kwa ajili ya Girl Friend
Fundrising
Media Removed
Fundrising Fundrising
#Repost @chomozanews • • • @johnlisu akumbushia enze zake Interview nzima inapatikana pale #chomozatv youtube Lakini pia tunapatikana kupitia app ya simu ya mkononi #poaTv ambayo inapatikana katika Play Store kwa simu zote za android #Repost @chomozanews
• • •
@johnlisu akumbushia enze zake

Interview nzima inapatikana pale
#chomozatv youtube

Lakini pia tunapatikana kupitia app ya simu ya mkononi #poaTv ambayo inapatikana katika Play Store kwa simu zote za android
#Repost @chomozanews • • • Machache aliyo yasema na kuahidi Mkurugenzi Mtendaji wa #Maendeleobank Bwana #Ibrahim #Mwangalaba juu ya Muziki wa gospel pamoja na Maendeleo Bank kwa ujumla #Tumekuwekea interviews nzima pale YouTube yetu ijulikanayo kama #chomozatv Nenda kisha ... #Repost @chomozanews
• • •
Machache aliyo yasema na kuahidi
Mkurugenzi Mtendaji wa #Maendeleobank Bwana #Ibrahim #Mwangalaba juu ya Muziki wa gospel pamoja na Maendeleo Bank kwa ujumla

#Tumekuwekea interviews nzima pale YouTube yetu ijulikanayo kama
#chomozatv
Nenda kisha subscribe ili kuwa wa kwanza kupata updates zote mara tu zitakapo wekwa

Lakini pia tunapatikana kupitia app ya simu ya mkononi #poaTv ambayo inapatikana katika Play Store kwa simu zote za android
Read more
Bahati Ya Mwenzio Usilalie mlango wazi Bahati Ya Mwenzio Usilalie mlango wazi
Loading...
Anaitwa Msela Nondo Andendekisye Anaitwa Msela Nondo Andendekisye
Sometimes We make Wrong Choices to get the right place...Equalizer 2014 Sometimes We make Wrong Choices to get the right place...Equalizer 2014
Loading...
Sindano Ya Wanaume kWa ajili ya Uzazi wa Mpango Watakuwa wanachoma kiwanda cha mbegu.... Walianza ...
Media Removed
Sindano Ya Wanaume kWa ajili ya Uzazi wa Mpango Watakuwa wanachoma kiwanda cha mbegu.... Walianza tuwasindikize Clinic, Wanakuja kutuchoma sindano soon watagundua kuna vidonge wanaume wakinywa ama wakichoma sindano watatoa maziwa mengi zaidi ili tusaidiane kunyonyesha. Sindano Ya Wanaume kWa ajili ya Uzazi wa Mpango Watakuwa wanachoma kiwanda cha mbegu.... Walianza tuwasindikize Clinic, Wanakuja kutuchoma sindano soon watagundua kuna vidonge wanaume wakinywa ama wakichoma sindano watatoa maziwa mengi zaidi ili tusaidiane kunyonyesha.
Watoto wa Siku Za Mwisho Watoto wa Siku Za Mwisho
Muda utaongea....Kuna Watu Wakiwa marafiki wakigombana wanaachana wakikasirikiana wanatamkiana. Unless ...
Media Removed
Muda utaongea....Kuna Watu Wakiwa marafiki wakigombana wanaachana wakikasirikiana wanatamkiana. Unless hamjui kwanini mmekuwa marafiki kama mnajua urafiki wenu ulianzia dinning table ya Mbinguni basi utofauti wenu ndio nguvu yenu. Sisi tunagombanaga sana lakini tunajua tuna ... Muda utaongea....Kuna Watu Wakiwa marafiki wakigombana wanaachana wakikasirikiana wanatamkiana.

Unless hamjui kwanini mmekuwa marafiki kama mnajua urafiki wenu ulianzia dinning table ya Mbinguni basi utofauti wenu ndio nguvu yenu. Sisi tunagombanaga sana lakini tunajua tuna assignment kubwa kuliko tofauti zetu tunakomaa na kusudi. Ikitokea siku umekutana na mimi ukamuongeleaaa @jamestemu hovyo hovyo basi jua tukionana ntamwambia tu kwa sababu haukuniambia kwa ubaya uliniambia kwa wema ukiona anakuchekea usidhani hajui ila tumejifunza kuwa Wali Mwengu sio wazuri kuliko Wali Nyama. Ukikutana na Jimmy ukaniongeleaa wee jua tukikutana ataniambia tu halafu tukikutana nafurahi kwa kuwa nimekufahamu ulivyo. Tulijifunza hapo nyuma na tukaamua kukazana kwenye ndoto.

Tuna hisa katika Hatma za maisha yetu. Ukiona Jimmy ananitania kama ananionea wala usitoke mapovu sababu urafiki wetu haujengwi au haubomolewi na maneno ya Social Media....sababu haujaanzia social media ulianzia kwa Mzee wa Siku.

Sisi tunajua kabisa kwake yeye aliyetupa kazi TUNAISHI, Kwake yeye TUNAKWENDA na Kwake TUNAPATA UHAI wetu.

Chomoza sio Jina la Kipindi wala Kamapuni Chomoza ni Neno la Kinabii...Kwake Tutachomoza Tu...
Read more
Jumapili njema
Media Removed
Jumapili njema Jumapili njema
Loading...
Usitamani mali Ya Jirani yako
Media Removed
Usitamani mali Ya Jirani yako Usitamani mali Ya Jirani yako
Wenye nguvu wanakazi ya Kuwainua walio dhaifu. Huoneshi nguvu kwa kuwakanyaga ma kuwasukuma chini.
Media Removed
Wenye nguvu wanakazi ya Kuwainua walio dhaifu. Huoneshi nguvu kwa kuwakanyaga ma kuwasukuma chini. Wenye nguvu wanakazi ya Kuwainua walio dhaifu. Huoneshi nguvu kwa kuwakanyaga ma kuwasukuma chini.
I damshed (past tense ya kudamshi) kwenye weekend worship last Friday.... #breakthrough
Media Removed
I damshed (past tense ya kudamshi) kwenye weekend worship last Friday.... #breakthrough I damshed (past tense ya kudamshi) kwenye weekend worship last Friday.... #breakthrough
Loading...
Katika maisha usiogope kugongwa gongwa sababu hata msumari ili ushikilie mbao na iwe imara lazima msumari ugongwe hasa. Katika maisha usiogope kugongwa gongwa sababu hata msumari ili ushikilie mbao na iwe imara lazima msumari ugongwe hasa.
Kila siku unasema nitaanza kesho Leo nimekosa muda, Unaghaili kufanya mambo mengi ukiamini hauna muda, unaacha kufanya mazoezi kila siku kwa kisingizio cha kukosa Muda, unaacha kufanya maamuzi mengi sana Leo kwa kutoa sababu ya kukosa muda. Watoto wako na familia yako wanakukosa kwa ... Kila siku unasema nitaanza kesho Leo nimekosa muda, Unaghaili kufanya mambo mengi ukiamini hauna muda, unaacha kufanya mazoezi kila siku kwa kisingizio cha kukosa Muda, unaacha kufanya maamuzi mengi sana Leo kwa kutoa sababu ya kukosa muda. Watoto wako na familia yako wanakukosa kwa sababu unakosa muda wa kuwa nao, kila siku unasema 'nikipata muda" nitafanya.

Ajabu ni kwamba kuna watu wana mambo mengi wanafanya kutuzidi na ajabu wnaafanya Yale ambayo sisi tunasema hatukufanya sababu ya muda.

Jambo lolote ulilipa maana linakuwa na maana. Wote tuna masaa 24. Tumia muda wako kwa faida.

Time is Makangabilite....
Read more
Eti kuna tishio la Tsunami? Eti kuna tishio la Tsunami?
Loading...
Kuna sababu zozote za Kisaikolojia zinazosababisha Wanawake Wawe Wanashindwa Kumuelekeza Mtu ...
Media Removed
Kuna sababu zozote za Kisaikolojia zinazosababisha Wanawake Wawe Wanashindwa Kumuelekeza Mtu Sehemu husika, maana kuna mtu ananielekeza duka lilipo nahisi mmh. Kuna sababu zozote za Kisaikolojia zinazosababisha Wanawake Wawe Wanashindwa Kumuelekeza Mtu Sehemu husika, maana kuna mtu ananielekeza duka lilipo nahisi mmh.
The leading Gospel Show In Tanzania...Catch the Fire
Media Removed
The leading Gospel Show In Tanzania...Catch the Fire The leading Gospel Show In Tanzania...Catch the Fire
Usipige Selfie bila idhini ya unayepiga nae Usipige Selfie bila idhini ya unayepiga nae
Kwanini Wanawake wengi wa sasa hawapendi kunyonyesha watoto?
Media Removed
Kwanini Wanawake wengi wa sasa hawapendi kunyonyesha watoto? Kwanini Wanawake wengi wa sasa hawapendi kunyonyesha watoto?
Ifanye Asubuhi yako kuwa njema. Happiness Start With a Smile Ifanye Asubuhi yako kuwa njema.

Happiness Start With a Smile
Siku zinazidi kusogea <span class="emoji emoji1f525"></span><span class="emoji emoji1f525"></span><span class="emoji emoji1f525"></span><span class="emoji emoji1f525"></span>Sasa tunahesabu siku 4 tu kufikia ile sikukuu yetu ya Rhapsody pale Mlimani ...
Media Removed
Siku zinazidi kusogea Sasa tunahesabu siku 4 tu kufikia ile sikukuu yetu ya Rhapsody pale Mlimani City Conference Centre 8 September 2018 Saa nne asubuhi (10am) Waimbaji 1. Christ Embassy Worship Team 2. John Lissu @johnlisu 3. GWT (Glorious Worship Team) 4. The Doxaz @the_doxaz ... Siku zinazidi kusogea 🔥🔥🔥🔥Sasa tunahesabu siku 4 tu kufikia ile sikukuu yetu ya Rhapsody pale
Mlimani City Conference Centre
8 September 2018
Saa nne asubuhi (10am)

Waimbaji
1. Christ Embassy Worship Team
2. John Lissu @johnlisu
3. GWT (Glorious Worship Team)
4. The Doxaz @the_doxaz
5. Mercy Masika @mercymasikamuguro 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
——————————————
Ushuhuda wa Muna Love @munalove100 ——————————————
Wazungumzaji
Pastor Ken Igini
Elona Igini
(Christ Embassy Tanzania) ————————————————
Contact
0717 025 328 | ‭0718 567 089‬ | ‭0754 276 880‬
————————————————
@mercymasikamuguro @munalove100 @mabisatz @lamasias @sima_rich_lady @the_doxaz
——————————————
Kuingia ni bure
Read more
Zipo Sababu Nyingi Sana Zinazoweza sababisha Mtoto Wako Kwenda Shule za Awali. Kati ya Sababu ...
Media Removed
Zipo Sababu Nyingi Sana Zinazoweza sababisha Mtoto Wako Kwenda Shule za Awali. Kati ya Sababu nyingi sana ni mtoto kupata sehemu Salama, yenye Maadili, Gharama Nafuu lakini Kubwa zaidi ni Malezi Bora. Wakati akili ya Mtoto inapokuwa iko tayari kupokea taarifa mbalimbali kumbuka ... Zipo Sababu Nyingi Sana Zinazoweza sababisha Mtoto Wako Kwenda Shule za Awali.

Kati ya Sababu nyingi sana ni mtoto kupata sehemu Salama, yenye Maadili, Gharama Nafuu lakini Kubwa zaidi ni Malezi Bora.

Wakati akili ya Mtoto inapokuwa iko tayari kupokea taarifa mbalimbali kumbuka pia Shule anayokwenda pia inapanda vitu ndani ya ufahamu wake, ndani ya nafsi yake na ndani ya Roho yake...mtoto anaweza akakuaa katika Ufahamu, Lugha, kimo lakini roho yake haikuwi kwa sababu hailishwi, akili inalishwa nyimbo, herufi na kuhesabu, ufahamu wake unaelewa Kingereza hadi cha Katuni lakini Roho yake inalishwa nini na kama Inalishwa pia Inalishwa na nani?Msingi Ukiharibika fainali Ujanani.

VCIS niliamua kumpeleka Mwanangu K...ajabu dogo yuko Vidudu ameanza tayari Kuinuliwa na Kipaji chake...Dogo ameanza kuwa Celebu tayari...I can measure her Growth...kiakili, kimwili, kikipaji na kiroho.

#DadizDouta
Read more
Baada Ya uweponi mwako Ya Prisca Sanga Sasa ni SIKUACHI Akiwa Amemshirikisha @miltonmugisha ...
Media Removed
Baada Ya uweponi mwako Ya Prisca Sanga Sasa ni SIKUACHI Akiwa Amemshirikisha @miltonmugisha Video hii itapatikana Youtube Soon. Follow Instagram🏾 - @Priscasanga_Tz [email protected] Facebook 🏾 - Prisca Sanga - Milton Mugisha 🏾🏾🏾🏾🏾🏾🏾🏾 Baada Ya uweponi mwako Ya Prisca Sanga
Sasa ni SIKUACHI Akiwa Amemshirikisha
@miltonmugisha Video hii itapatikana Youtube Soon.

Follow Instagram👇🏾 - @Priscasanga_Tz [email protected]
Facebook 👇🏾
- Prisca Sanga
- Milton Mugisha
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Hii Inaitwa Isiwe tabu Hii Inaitwa Isiwe tabu
Si watanzania wengi sana wanaotumia Credit/Debit cards. Cards hizo zimekuwa ni kiunganishi kikubwa ...
Media Removed
Si watanzania wengi sana wanaotumia Credit/Debit cards. Cards hizo zimekuwa ni kiunganishi kikubwa cha kuweza kufanya malipo mtandaoni (Online payments). Wauzaji wa bidhaa,nyimbo,movies,documents,applications mara nyingi hupokea pesa kutokea Credit/Debit cards ya mteja kutoka ... Si watanzania wengi sana wanaotumia Credit/Debit cards. Cards hizo zimekuwa ni kiunganishi kikubwa cha kuweza kufanya malipo mtandaoni (Online payments). Wauzaji wa bidhaa,nyimbo,movies,documents,applications mara nyingi hupokea pesa kutokea Credit/Debit cards ya mteja kutoka bank husika. Uwepo wa watanzania wengi wasio na cards kume sababisha kuwe na idadi ndogo ya watanzania wanaofanya online payments…

Miezi ya hivi karibu Google wamefanya marekebisho makubwa sana kwenye playstore yao, ambapo sasa Watanzania wanaweza kufanya malipo kwa Tigo Pesa au airtime money kwa wateja wa Vodacom. Hii ni fursa muhimu sana kwa wana mziki wa nyimbo za injili kuanza kuuza nyimbo zao kupitia google play store.

There is hugest online-space for musicians and actors, the most important thing is to formulate the business model aligning with new technology. *Baraka Kiranga*
Read more
Back to youtube Back to youtube
Hauwezi Kuwa Bora kwa Kuwafanya Wenzako Hawafai katika Maisha. # #mycaseisdifferent
Media Removed
Hauwezi Kuwa Bora kwa Kuwafanya Wenzako Hawafai katika Maisha. # #mycaseisdifferent Hauwezi Kuwa Bora kwa Kuwafanya Wenzako Hawafai katika Maisha.

# #mycaseisdifferent
Faida 5 1. Hawadai Bima Ya Afya 2. Hana mshahara wala Hawadai Nyongeza ya Mshahara 3. Hafungwi na Sheria ya Masaa ya Kazi 4. Hana Annual Leave 5. Hana Maternity leave 6. Hana Majungu 7. Haendi Toilet 8. Hadai Overtime 9. Hafiwi fiwi hata na jirani 10. Hana Kodi Katika Yote hayo HANA ... Faida 5
1. Hawadai Bima Ya Afya
2. Hana mshahara wala Hawadai Nyongeza ya Mshahara
3. Hafungwi na Sheria ya Masaa ya Kazi
4. Hana Annual Leave
5. Hana Maternity leave
6. Hana Majungu
7. Haendi Toilet
8. Hadai Overtime
9. Hafiwi fiwi hata na jirani
10. Hana Kodi

Katika Yote hayo HANA UTU.
Read more
Ujasiriamali sio Mbadala wa Ukosefu wa Ajira...
Media Removed
Ujasiriamali sio Mbadala wa Ukosefu wa Ajira... Ujasiriamali sio Mbadala wa Ukosefu wa Ajira...
Pale Ibada inapoisha halafu unaulizwa "Pastor amefundisha kutoka Kitabu gani? Kwako Ninaishi, ...
Media Removed
Pale Ibada inapoisha halafu unaulizwa "Pastor amefundisha kutoka Kitabu gani? Kwako Ninaishi, Kwako Ninakwenda, Kwako ninapata Uhai Wangu..... #fire Pale Ibada inapoisha halafu unaulizwa "Pastor amefundisha kutoka Kitabu gani?

Kwako Ninaishi, Kwako Ninakwenda, Kwako ninapata Uhai Wangu..... #fire
Neno la Leo
Media Removed
Neno la Leo Neno la Leo
Leo tuko Empire Hall Tabata Bima usiku wa Mr. n Mrs Emmanuel Kipingu
Media Removed
Leo tuko Empire Hall Tabata Bima usiku wa Mr. n Mrs Emmanuel Kipingu Leo tuko Empire Hall Tabata Bima usiku wa Mr. n Mrs Emmanuel Kipingu
Piga nikupige
Media Removed
Piga nikupige Piga nikupige
My home Cell....
Media Removed
My home Cell.... My home Cell....
Confirmed....!!
Media Removed
Confirmed....!! Confirmed....!!
Makambi Sabato ni Fire....tukutane Kesho Chomozani Makambi Sabato ni Fire....tukutane Kesho Chomozani
Siku hizi watu wengi sana wanaofundisha wanasema lazima uwe na Watu wa Maana tu wanaokuzunguka ...
Media Removed
Siku hizi watu wengi sana wanaofundisha wanasema lazima uwe na Watu wa Maana tu wanaokuzunguka hao ndio marafiki zako. Inawezekana ni kweli kabisa kila mnapokutana anakupa mchongo ila nafsi yako bado inabaki na njaa. Nakuombea uwe na rafiki ambaye kila ukiwa nae anaweza asikupe hata ... Siku hizi watu wengi sana wanaofundisha wanasema lazima uwe na Watu wa Maana tu wanaokuzunguka hao ndio marafiki zako. Inawezekana ni kweli kabisa kila mnapokutana anakupa mchongo ila nafsi yako bado inabaki na njaa.

Nakuombea uwe na rafiki ambaye kila ukiwa nae anaweza asikupe hata dili moja ya mia ila kila ukikutana naye nafsi yako inahuishwa, moyo wako unajawa na kicheko, Sura yako inarejewa na matumaini.

Kuna Kitu fedha na Elimu haviwezi fanya UTU.

#sisindiotunaoumia
Read more
Jumuiyani
Media Removed
Jumuiyani Jumuiyani
Ibada Ya Jumuiya Jumamosi ya leo #Ubungozone
Media Removed
Ibada Ya Jumuiya Jumamosi ya leo #Ubungozone Ibada Ya Jumuiya Jumamosi ya leo #Ubungozone
Kama wakati unasoma Vidudu au Darasa la Kwanza na wakati wa Kusoma A, B, C, D Mwalimu wenu aliwaambia ...
Media Removed
Kama wakati unasoma Vidudu au Darasa la Kwanza na wakati wa Kusoma A, B, C, D Mwalimu wenu aliwaambia mseme Meno Meno Pi Kyuuu badala ya M, N, O, P ,Q na bado unakaa kwa Wazazi basi usihame sababu soon hiyo nyumba utaachiwa urithi... #sisindiotunaopatatabu Shati kwa hisani ya @chriss_malipula Kama wakati unasoma Vidudu au Darasa la Kwanza na wakati wa Kusoma A, B, C, D Mwalimu wenu aliwaambia mseme Meno Meno Pi Kyuuu badala ya M, N, O, P ,Q na bado unakaa kwa Wazazi basi usihame sababu soon hiyo nyumba utaachiwa urithi... #sisindiotunaopatatabu

Shati kwa hisani ya @chriss_malipula
Eti hii Wapi hii? Eti hii Wapi hii?
Movie linaitwa "Samson" limetoka mwaka 2018.... Movie linaitwa "Samson" limetoka mwaka 2018....
Tumeanza Safari kuelekea Dodoma Swaswa kwenye harusi ya @mcpilipili #octoberkunajamboletu
Media Removed
Tumeanza Safari kuelekea Dodoma Swaswa kwenye harusi ya @mcpilipili #octoberkunajamboletu Tumeanza Safari kuelekea Dodoma Swaswa kwenye harusi ya @mcpilipili
#octoberkunajamboletu
Suti Kama Hii Yangu unaweza pata kupitia Designer wangu Mkali Karibu sana @kelvinmwita au @afromotailors ...
Media Removed
Suti Kama Hii Yangu unaweza pata kupitia Designer wangu Mkali Karibu sana @kelvinmwita au @afromotailors wapo Morogoro karibu na msikiti wa kingo wana design na kushona nguo aina zote. Suti Kama Hii Yangu unaweza pata kupitia Designer wangu Mkali Karibu sana @kelvinmwita au @afromotailors wapo Morogoro karibu na msikiti wa kingo wana design na kushona nguo aina zote.
TB Mathew
Media Removed
TB Mathew TB Mathew
Makundi Yanayoongoza Kuhama Hama Mwaka 2018 ni Wanasiasa na Wadada Wa Saluni
Media Removed
Makundi Yanayoongoza Kuhama Hama Mwaka 2018 ni Wanasiasa na Wadada Wa Saluni Makundi Yanayoongoza Kuhama Hama Mwaka 2018 ni Wanasiasa na Wadada Wa Saluni
Dont Stop Dreaming....Dream Big
Media Removed
Dont Stop Dreaming....Dream Big Dont Stop Dreaming....Dream Big

Loading...