Skytanzania Instagram Photos and Videos

Loading...


skytanzania Dr. Fredrick Bundala @skytanzania mentions
Followers: 76,579
Following: 4,506
Total Comments: 0
Total Likes: 0

Ninayo furaha kuwakaribisha rasmi DCB Commercial Bank Plc @dcbbanktz kama wadhamini wa #TheBlackchair. Katika vitu walivyotisha zaidi ni kumwezesha mteja kufungua akaunti ya benki kwa simu yake ya mkononi ( #DCBDigital) na ndani ya dakika chache anaanza kupata huduma mbalimbali ... Ninayo furaha kuwakaribisha rasmi DCB Commercial Bank Plc @dcbbanktz kama wadhamini wa #TheBlackchair.
Katika vitu walivyotisha zaidi ni kumwezesha mteja kufungua akaunti ya benki kwa simu yake ya mkononi ( #DCBDigital) na ndani ya dakika chache anaanza kupata huduma mbalimbali kama kutoa na kuweka fedha (kwa simu, wakala au ATM za Umoja bila kutumia kadi), kufungua akaunti ya muda maalum yenye riba ya 10% kila mwezi na uwezo wa kupewa mkopo hadi 80% ya pesa aliyoweka kwenye fixed deposit yake. Piga *150*85 # sasa ufungue yako. Click link kwenye bio yangu kutazama show nzima

____________________________________

Kwenda Bank michosho, Benki kijanja. DCB Digital: Simu Yako, Tawi Letu.
Read more
Loading...
Kufahamu kuwa kwa kidogo nilichofanya nimeinspire vijana wengi kwenye utangazaji ni malipo makubwa ...
Media Removed
Kufahamu kuwa kwa kidogo nilichofanya nimeinspire vijana wengi kwenye utangazaji ni malipo makubwa zaidi katika maisha yangu kuliko hata Pesa. Hongera sana Ezekiel kwakuwa sasa unaishi ndoto yako Regrann from @ezekiel_shamakala - Nimejifunza somo kubwa la kusimamia ndoto let me ... Kufahamu kuwa kwa kidogo nilichofanya nimeinspire vijana wengi kwenye utangazaji ni malipo makubwa zaidi katika maisha yangu kuliko hata Pesa. Hongera sana Ezekiel kwakuwa sasa unaishi ndoto yako

Regrann from @ezekiel_shamakala - Nimejifunza somo kubwa la kusimamia ndoto let me share it to u nilianza kudream kuwa mtangazaji since npo darasa la pili na nikamwambia baba ipo siku nitakuwa
Nakumbuka nikiwa form 1 #Madaba Sec nilikuwa natembea na radio kwa beg na watu wa kwanza kuni inspire ni bro Fredrick Bundala @skytanzania @skytanzania pamoja na Sandu George @kidbwoytz wakati huo show kali ilikuwa moja tu inaitwa #Show time ndan ya RFA Mwanza na ndoto yangu ya kwanza ilikuw ni kufanya kaz RFA sio mbaya maisha yakaenda ila baadae nikabadili gia angani nikaanza kuwa interested na vipind vya serious hasa Habari hapo #Baruani_muhuza akanivuta kwa umahiri wake nikiwa form II #Itiso_sec nikachora kweny daftari la lang picha ya mtu yuko studio kisha nikasema kwamba siku moja nitaingia studio
Yapo mengi ya kuandika ila leo I'm proud leo nipo @tbc_taifa
#Simamia ndoto yako - #regrann
Read more
Fat Joe, Chris Brown, Dre - #Attention 350K VIEWS IN 3 DAYS. ______________________________________________________ Kanye West & Lil Pump ft. Adele Givens - #ILoveIt 11 MILLION VIEWS IN 22 HOURS __________________________________ Nadhani kuna tafsiri mpya ya muziki mzuri ... Fat Joe, Chris Brown, Dre - #Attention
350K VIEWS IN 3 DAYS.

______________________________________________________ Kanye West & Lil Pump ft. Adele Givens - #ILoveIt
11 MILLION VIEWS IN 22 HOURS

__________________________________

Nadhani kuna tafsiri mpya ya muziki mzuri ni upi! Inavunja moyo sana..
Read more
@Babyskytz would ya hold me down? Even if the cops arrest me Girl I gotta know you're comin' to get me Would ya hold me down? #Jlo #FatJoe @Babyskytz would ya hold me down?
Even if the cops arrest me
Girl I gotta know you're comin' to get me
Would ya hold me down?
#Jlo #FatJoe
Rip #MacMiller Regrann from @simulizinasauti - Rapper wa Marekani, Mac Miller amefariki dunia kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kutumia dawa za kulevya kupitia kiasi, drug overdose ____________________________________ Powered by @most_hired_international – Quality Cars, ... Rip #MacMiller

Regrann from @simulizinasauti - Rapper wa Marekani, Mac Miller amefariki dunia kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kutumia dawa za kulevya kupitia kiasi, drug overdose

____________________________________

Powered by @most_hired_international – Quality Cars, We have what you want - #regrann
Read more
Mkasa wa mdogo wao #SaidaKessy (Miss Tanzania 1997) na @fezakessy alianza kutumia dawa za kulevya akiwa Darasa la NNE. Ameyatumia kwa miaka 15 na kuitesa mno familia yao. Dada zake walianzisha asasi ya Dunia Moja Pamoja kumsaidia yeye na waathirika wengine. Click link kwenye bio yangu Mkasa wa mdogo wao #SaidaKessy (Miss Tanzania 1997) na @fezakessy alianza kutumia dawa za kulevya akiwa Darasa la NNE. Ameyatumia kwa miaka 15 na kuitesa mno familia yao. Dada zake walianzisha asasi ya Dunia Moja Pamoja kumsaidia yeye na waathirika wengine. Click link kwenye bio yangu
Loading...
Mkasa wa mdogo wao #SaidaKessy (Miss Tanzania 1997) na @fezakessy alianza kutumia dawa za kulevya akiwa Darasa la NNE. Ameyatumia kwa miaka 15 na kuitesa mno familia yao. Dada zake walianzisha asasi ya Dunia Moja Pamoja kumsaidia yeye na waathirika wengine. Click link kwenye bio yangu ... Mkasa wa mdogo wao #SaidaKessy (Miss Tanzania 1997) na @fezakessy alianza kutumia dawa za kulevya akiwa Darasa la NNE. Ameyatumia kwa miaka 15 na kuitesa mno familia yao. Dada zake walianzisha asasi ya Dunia Moja Pamoja kumsaidia yeye na waathirika wengine. Click link kwenye bio yangu kusikiliza mkasa mzima..
Read more
Regrann from @babyskytz - A power couple is made of two equal partners who complement each other and whose relationship is based on mutual respect and appreciation..... In a loving couple, there is no competition, only collaboration.. We fall in love with people we can admire and who can ... Regrann from @babyskytz - A power couple is made of two equal partners who complement each other and whose relationship is based on mutual respect and appreciation..... In a loving couple, there is no competition, only collaboration.. We fall in love with people we can admire and who can bring the same level of commitment to building a life together. Being in a loving supportive relationship is both fun and uplifting. Having a partner to rely on, share ideas, and develop projects means to win at love... Me and @skytanzania We love and support each other, I always gat his back, support him, that's who I'm since day one, That's who we are!! #Suitedforeachother #happyweekendeveryonefrommyfamilytoyou - #regrann
Read more
Loading...
Pamoja na kufurahishwa na balls za MGK kumjibu Eminem kwa diss track ya moto, nahofia jibu la Marshall. ...
Media Removed
Pamoja na kufurahishwa na balls za MGK kumjibu Eminem kwa diss track ya moto, nahofia jibu la Marshall. Acha tungoje Pamoja na kufurahishwa na balls za MGK kumjibu Eminem kwa diss track ya moto, nahofia jibu la Marshall. Acha tungoje
Regrann from @afripods - @mbosso_ anasimulia jinsi ambavyo kuvunjika kwa kundi la Yamoto Band kulivyomuumiza na pia akielezea uhusiano wake sasa na Aslay na member wengine. Ungana na @skytanzania kwenye #ChillnaSky kupitia #Afripods. Pakua app ya #Afripods sasa kupitia Playstore ... Regrann from @afripods - @mbosso_ anasimulia jinsi ambavyo kuvunjika kwa kundi la Yamoto Band kulivyomuumiza na pia akielezea uhusiano wake sasa na Aslay na member wengine. Ungana na @skytanzania kwenye #ChillnaSky kupitia #Afripods.
Pakua app ya #Afripods sasa kupitia Playstore na App store kusikiliza, tembelea www.afripods.com au bofya link kwenye bio yetu
#Tanzania #Kenya #EastAfrica #Gossip #Entertainment #Podcast #BongoFlava - #regrann
Read more
This Saturday Get your Mask ready! #Zanzibar Sasa zamu Yenuuu #MasqueradeBallS01E01 @chazabeach ...
Media Removed
This Saturday Get your Mask ready! #Zanzibar Sasa zamu Yenuuu #MasqueradeBallS01E01 @chazabeach with International Guest Dj @djdommy and @nedymusic from 9pm this Saturday @chazabeach Zanzibar cc @hellenkazimoto This Saturday Get your Mask ready!
#Zanzibar Sasa zamu Yenuuu #MasqueradeBallS01E01 @chazabeach with International Guest Dj @djdommy and @nedymusic from 9pm this Saturday @chazabeach Zanzibar 😘 cc @hellenkazimoto
Hii interview @mbosso_ alinichekesha sana. Please usiimiss. Click kwenye bio yangu sasa ukacheke na wewe. #ChillnaSky cc @dizzimonline Hii interview @mbosso_ alinichekesha sana. Please usiimiss. Click kwenye bio yangu sasa ukacheke na wewe. #ChillnaSky cc @dizzimonline
Loading...
Shout outs kwa my brother @emanuelaustinofficial kwa kufanikisha tena mwaka huu kuandaa event kubwa kabisa hili huko nchini Ujerumani.. ABSCHLUSSBALL PROMNIGHT @tanzschuleweiss 01.09.2018 Shout outs kwa my brother @emanuelaustinofficial kwa kufanikisha tena mwaka huu kuandaa event kubwa kabisa hili huko nchini Ujerumani.. ABSCHLUSSBALL PROMNIGHT @tanzschuleweiss 01.09.2018
Real Talk.. @creez_favors @spwat_swag good jobs guys Regrann from @simulizinasauti - Mapenzi yanaumiza na yanaliza wakati mwingine kama yalivyomfanya @gigy_money_og. Fuatilia interview hii ambayo yeye mwenyewe amemuambia @creez_favors kuwa amezungumza kama Gift au Mama Mayra ... Real Talk.. @creez_favors
@spwat_swag good jobs guys

Regrann from @simulizinasauti - Mapenzi yanaumiza na yanaliza wakati mwingine kama yalivyomfanya @gigy_money_og. Fuatilia interview hii ambayo yeye mwenyewe amemuambia @creez_favors kuwa amezungumza kama Gift au Mama Mayra na sio Gigy, umsikie akielezea uchungu wa kupenda pasipopendeka. Bonyeza link kwenye bio yetu #GigyInHerFeelings

_____________________________________

Powered by @most_hired_international – Quality Cars, We have what you want - #regrann
Read more
How I wish my daughters can play piano like that Regrann from @djenvy - This is the type of stupid shit we do at The Casey Crib... @gia_casey and I try to mess Maddie up when she plays but she keeps a game face... Madison has taken piano lessons from age 3-11 and hated it... Now she plays for fun ... How I wish my daughters can play piano like that

Regrann from @djenvy - This is the type of stupid shit we do at The Casey Crib... @gia_casey and I try to mess Maddie up when she plays but she keeps a game face... Madison has taken piano lessons from age 3-11 and hated it... Now she plays for fun and can play anything she hears... Ps... Dads, Have fun with your kids...
@madisoncaseyyy - #regrann
Read more
Loading...
Hongera @OfficialAlikiba, @FarajaNyalandu, @HeriethPaul, Jennifer Bash @mama_alaska, @Jrmtambalike, @samagoal77, @MillardAyo na #YusufBakhresa kwa kuwa vijana toka Tanzania waliojumuishwa kwenye orodha ya vijana 100 Afrika walio na ushawishi 2018’s 100 Most Influential Young ... Hongera @OfficialAlikiba, @FarajaNyalandu, @HeriethPaul, Jennifer Bash @mama_alaska, @Jrmtambalike, @samagoal77, @MillardAyo na #YusufBakhresa kwa kuwa vijana toka Tanzania waliojumuishwa kwenye orodha ya vijana 100 Afrika walio na ushawishi 2018’s 100 Most Influential Young Africans
Read more
@mabeste_tanzania ana ngoma mpya ya moto sana inaitwa CHA KUSEMA. Click link kwenye bio yake kuona ...
Media Removed
@mabeste_tanzania ana ngoma mpya ya moto sana inaitwa CHA KUSEMA. Click link kwenye bio yake kuona video @mabeste_tanzania ana ngoma mpya ya moto sana inaitwa CHA KUSEMA. Click link kwenye bio yake kuona video
Presentation and Q & A with Cameron and Nicole #TheFuture #Heirs Presentation and Q & A with Cameron and Nicole #TheFuture #Heirs
Loading...
Moja kati ya watu ninaowakubali sana kwenye tasnia yetu.. Ana akili nyingi sana Regrann from @larrymadowo - One final look at British PM Theresa May’s African trip on BBC World before we turn to China next week - #regrann Moja kati ya watu ninaowakubali sana kwenye tasnia yetu.. Ana akili nyingi sana

Regrann from @larrymadowo - One final look at British PM Theresa May’s African trip on BBC World before we turn to China next week - #regrann
#Kanifuata @nikkwapili ft @juma_jux #Kanifuata 🔥🔥🔥🔥@nikkwapili ft @juma_jux
Mtumishi huyu wa Mungu amelazimika kuomba radhi baada ya umma kudai amempetipeti Ariana Grande isivyotakiwa! Mtumishi huyu wa Mungu amelazimika kuomba radhi baada ya umma kudai amempetipeti Ariana Grande isivyotakiwa!
Aluta continua my G Regrann from @jeromeadammkaliwao - Mungu alikupa Moyo wa Kipekee sana,kwa ...
Media Removed
Aluta continua my G Regrann from @jeromeadammkaliwao - Mungu alikupa Moyo wa Kipekee sana,kwa kutambua vitu vizuri Pamoja na Ku appreciate lakini pia kuwapatia nafasi wote Unaona wana kitu cha Kipekee, Binafsi nakumbuka nimewahi Kupeleka idea ya #TamaduniCircle Mahali Fulani ... Aluta continua my G

Regrann from @jeromeadammkaliwao - Mungu alikupa Moyo wa Kipekee sana,kwa kutambua vitu vizuri Pamoja na Ku appreciate lakini pia kuwapatia nafasi wote Unaona wana kitu cha Kipekee,

Binafsi nakumbuka nimewahi Kupeleka idea ya #TamaduniCircle Mahali Fulani Kipindi Nipo Mwaka wa Pili Chuo Kiuu cha SAUT Mwanza,lakini ilikataliwa na Moja ya Majaji katika Audition Fulani,
Niliporudi Rikizo ya Kumaliza Muhula Wa Pili,nilimuomba bro @skytanzania
Kupitia DM yake kupata nafasi ya Kuwa na Programme pale @afripods lakini nakumbuka nilikusumbua sana,
Nilijaribu Kumpa idea ya Tamaduni Circle na Namna ambavyo nitakuwa nikiifanya, akanitumia email yake kupitia DM yangu ya instagram nilichokifanya niliirekodi kwa njia ya simu kwenye application ya Wave Pad and then nikaiedit kwenye Laptop yangu,

Nikamtumia kwenye Email yake,nakumbuka siku iliyofuatia mishale ya saa nane Usiku iliingia email yake ambayo alifurahishwa sana na idea Pamoja na presentation style yake,na hakuchoka kunielekeza namna ya kufungua account @afripods nilimsumbua sana kila hatua niliyokuwa napata shida,na hakuchoka kunielekeza,

Lakini kumbuka ni ile ile idea iliyokataliwa katika ile audition,lakini bro aliiona kuwa ni bonge moja la idea na aliipost Mara nne kwenye account yake ya instagram @skytanzania na kufanya watu mbali mbali kunifatilia na Kuanza kuniamini kwa kile nachokifanya,

Pia nikutokana na kutokukata tamaa,

Nawashauri vijana wenzangu tunaoendelea kupambana katika mambo mbali mbali tusikate tamaa,maana kama kukata tamaa ni kubaya sana,

Coz nakumbuka kipindi hiki hiki kwa kuwafata watu mbalimbali kabla hata sijamalizia chuo Nina experience kubwa sana kwa kuvimbiwa na watu mbali mbali lakini sikati tamaa coz najitambua na najua lipi ninachokitafuta,

@skytanzania Mungu akubariki sana bro please usiwachoke wala usituchoke vijana wa aina hii ya kwangu. - #regrann
Read more
Hongera sana bro, umerudisha uhai wa stand up comedy Dar Regrann from @coy_mzungu - SOLD OUT! ...
Media Removed
Hongera sana bro, umerudisha uhai wa stand up comedy Dar Regrann from @coy_mzungu - SOLD OUT! #kingsedition about yesterday - #regrann Hongera sana bro, umerudisha uhai wa stand up comedy Dar

Regrann from @coy_mzungu - SOLD OUT! #kingsedition about yesterday - #regrann
Humu #Eminem ameandika na kuchana aisee hii album ni moto wa kuotea mbali. Thanks @genius for making ...
Media Removed
Humu #Eminem ameandika na kuchana aisee hii album ni moto wa kuotea mbali. Thanks @genius for making me understand each and every word he says #Kamikaze Humu #Eminem ameandika na kuchana aisee hii album ni moto wa kuotea mbali. Thanks @genius for making me understand each and every word he says #Kamikaze
Congrats Hopsin Regrann from @hopsin - YO!!! @eminem thank you for acknowledging me on your song Kamikaze!! HOLY FUCK!! This is seriously the BEST FUCKING DAY OF MY FUCKING LIFE!! Not even exaggerating! For years I always wondered if you even knew who I was! God damn! Literally. The. Best. ... Congrats Hopsin

Regrann from @hopsin - YO!!! @eminem thank you for acknowledging me on your song Kamikaze!! HOLY FUCK!! This is seriously the BEST FUCKING DAY OF MY FUCKING LIFE!! Not even exaggerating! For years I always wondered if you even knew who I was! God damn! Literally. The. Best. Fuckin. Day. Of. My. Fucking. Life!!!! Period! YOU JUST INSPIRED ME TO MAKE A NEW FUCKING PROJECT! Im bout to hit the studio RIGHT FUCKIN NOW! This was the motivation I needed to stay on track! Thank you EM! - #regrann
Read more
Hongera sana @barnabaclassic. Navijunia sana uwepo wako. Ntaifurahia sana album yako #Gold Hongera sana @barnabaclassic. Navijunia sana uwepo wako. Ntaifurahia sana album yako #Gold
Moja ya sifa kubwa ya legends ni kuwa na moyo wa kukubali vipaji vipya kwenye fani zao. Bila shaka kwa @creez_favors kuambiwa hivi na moja ya watu waliomuinspire ni motivation kubwa. Cc @bdozen Moja ya sifa kubwa ya legends ni kuwa na moyo wa kukubali vipaji vipya kwenye fani zao. Bila shaka kwa @creez_favors kuambiwa hivi na moja ya watu waliomuinspire ni motivation kubwa. Cc @bdozen
Regrann from @sirjeff_dennis - Amini ninachokwambia, ukianzisha biashara marafiki na watu wako ...
Media Removed
Regrann from @sirjeff_dennis - Amini ninachokwambia, ukianzisha biashara marafiki na watu wako wa karibu watakua ni watu wa mwisho kbs kukuSupport Kusanya washkaji watano afu useme, Oi wazee weekend hii tuunganisheni nguvu tukale bata, kila mtu atachanga 300,000 itafika 1.5 mil ... Regrann from @sirjeff_dennis - Amini ninachokwambia, ukianzisha biashara marafiki na watu wako wa karibu watakua ni watu wa mwisho kbs kukuSupport

Kusanya washkaji watano afu useme, Oi wazee weekend hii tuunganisheni nguvu tukale bata, kila mtu atachanga 300,000 itafika 1.5 mil weekend ikifika mnakiwasha

Lkn siku itokee useme oya wana kuna msitu wa miti heka 2 njombe unauzwa mil 2, nikiununua na kuchana mbao nitapata faida ya chini kbs mil 3, tyr nina mil 1, nikopesheni mil 1 nawalipa ndani ya mwezi. Utaona wana watavyotawanyika, km mvuke, watasema 'dah jamaa anapenda kupoteza muda'

Kinachoniumiza kila sehemu utakayopita biashara kubwa zimeshikwa na 'wakuja'. Mashamba ya miwa kilombero, mikonge Tanga, chai Rungwe na kahawa Kagera utaambiwa ni ya mwarabu gn sijui. Nenda kariakoo, maduka ya simu, nguo, vifaa vya magari, electronics nk utaambiwa ya wahindi. Showrooms kibao ni Wahindi, hata Somali ambao wapo vitani miaka zaidi ya 20 lkn 90% ya maduka ya computer hapo mjini ni ya Wasomali

Sheli za mafuta, properties, real estates, viwanda nk mara nyingi sio vya wazawa. Wairan wana migahawa kibao. Sisi utasikia mtu ana page 3 za umbea na ni admin wa magrup ya WhatsApp na bingwa wa kuweka funny meme kwa status

Shida yetu kubwa mtu akipata mchongo hawezi kushtua wana, ni inherent nature yetu ktk watu 100 mtu anataka awe tajiri pekee yake ili hawa 99 wengine wamsujudie. hii inatufanya wabongo wengi tuendelee kuwa masikini. Na hili tatizo halitaisha kamwe, kwenye vitu vya msingi hatusaidiani, wenzetu wanabebana kuhakikisha kila aliye wao anatusua. Wahindi kila mwaka wanakaa vikao wanachanga pesa ndefu kisha wanampa mwenzao ambae anayumba apige biashara

Bottom line: Ili kufanikiwa usitegemee sana support ya masela zako. Yesu mbinguni alipaa pekee yake, masela zake wote kina Petro, Luka, Marko, Yohana, Matayo aliwaacha uraiani. Usela uwe na mipaka

SJ🤠 - #regrann
Read more
Cheka Tu, ni leo pale LAPF tower, Makumbusho. Big up sana @coy_mzungu. I believe viti vyote hivi vinajaa leo na watu watavunja mbavu haswaa Cheka Tu, ni leo pale LAPF tower, Makumbusho. Big up sana @coy_mzungu. I believe viti vyote hivi vinajaa leo na watu watavunja mbavu haswaa
Mwezi wa hip hop huu naona. Happy Birthday @jabirsalehtherealest aka Kuvichaka, moja kati ya radio ...
Media Removed
Mwezi wa hip hop huu naona. Happy Birthday @jabirsalehtherealest aka Kuvichaka, moja kati ya radio personalities wanaotema madini kila wawashapo kipaza na umiliki wa maarifa mengi kuhusu muziki lakini bado wakabaki kuwa wanyenyekevu kabisa. Mungu akuzidishie kaka, umri na Afya tele Mwezi wa hip hop huu naona. Happy Birthday @jabirsalehtherealest aka Kuvichaka, moja kati ya radio personalities wanaotema madini kila wawashapo kipaza na umiliki wa maarifa mengi kuhusu muziki lakini bado wakabaki kuwa wanyenyekevu kabisa. Mungu akuzidishie kaka, umri na Afya tele
Link kwenye bio yangu _________________________________ Regrann from @afripods - The Black Chair imerejea tena #Afripods ambapo @skytanzania huziangalia story za burudani na gossip zinazotrend Tanzania, Afrika Mashariki na wakati mwingine duniani kila Jumanne na Ijumaa. ... Link kwenye bio yangu

_________________________________

Regrann from @afripods - The Black Chair imerejea tena #Afripods ambapo @skytanzania huziangalia story za burudani na gossip zinazotrend Tanzania, Afrika Mashariki na wakati mwingine duniani kila Jumanne na Ijumaa. Jumanne hii ana story kuhusu @OmmyDimpoz, @DiamondPlatnumz, #VeraSidika @queenveebosset, @OtileBrown na shilolekiuno_badgirlshishi

Pakua app ya #Afripods sasa kupitia Playstore na App store kusikiliza, tembelea www.afripods.com au bofya link kwenye bio yetu
#Tanzania #Kenya #EastAfrica #Gossip #Entertainment #Podcast - #regrann
Read more
Hii moment inakuwaga na nguvu sana hasa baada ya kufungiwa kila tobo ulilojaribu kupita. Wengi wanasubiri muujiza na zali katika maisha yao. Mungu awashangaze pia. Hongera @goodluckgozbert, wajua huu ni wimbo wangu kwenye album Hii moment inakuwaga na nguvu sana hasa baada ya kufungiwa kila tobo ulilojaribu kupita. Wengi wanasubiri muujiza na zali katika maisha yao. Mungu awashangaze pia. Hongera @goodluckgozbert, wajua huu ni wimbo wangu kwenye album
Happy Birthday @johmakinitz. Pamoja na kuheshimu na kujivunia kwa ulichoifanyia hip hop ya Tanzania, ...
Media Removed
Happy Birthday @johmakinitz. Pamoja na kuheshimu na kujivunia kwa ulichoifanyia hip hop ya Tanzania, nahamasika sana na unyenyekevu wako. Mungu akuzidishie zaidi kaka na akupe miaka mingi zaidi ya kutufunza na kutuburudisha Happy Birthday @johmakinitz. Pamoja na kuheshimu na kujivunia kwa ulichoifanyia hip hop ya Tanzania, nahamasika sana na unyenyekevu wako. Mungu akuzidishie zaidi kaka na akupe miaka mingi zaidi ya kutufunza na kutuburudisha
Regrann from @simulizinasauti - Kipi kinachokata stimu wakati ukiwa na mpenzi wako uwanjani? Mgeni wetu wa kwanza kwenye kipindi chetu kipya #6kwa6 @celinabruno8 ametueleza kuwa ni simu ikipigwa. Click link kwenye bio kutazama show nzima - #regrann Regrann from @simulizinasauti - Kipi kinachokata stimu wakati ukiwa na mpenzi wako uwanjani? Mgeni wetu wa kwanza kwenye kipindi chetu kipya #6kwa6 @celinabruno8 ametueleza kuwa ni simu ikipigwa. Click link kwenye bio kutazama show nzima - #regrann
Regrann from @babyskytz - A great marriage isn’t something that just happens, it’s something that ...
Media Removed
Regrann from @babyskytz - A great marriage isn’t something that just happens, it’s something that must be created... And creating a successful marriage is like Farming, you have to start over again every morning.. My husband and I are best of friends.. Sometimes We fight like cats and dogs, ... Regrann from @babyskytz - A great marriage isn’t something that just happens, it’s something that must be created... And creating a successful marriage is like Farming, you have to start over again every morning.. My husband and I are best of friends.. Sometimes We fight like cats and dogs, but never stay mad for long 😂.. One of the most amazing gifts in life is to find someone who knows all your flaws, differences, and mistakes, yet still loves everything about you.. Am so glad I found you my sugar Pumpkin @skytanzania happy 14yrs of living together!! I love you - #regrann
Read more
Regrann from @fredoombunji - Kila nikiulizwa role model wako nani?huwa namtaja @skytanzania ...
Media Removed
Regrann from @fredoombunji - Kila nikiulizwa role model wako nani?huwa namtaja @skytanzania yes ni kweli. ...Huyu brother nilianza kumsikiliza na kumkubali miaka ya 2003 nikiwa nasoma kidato cha kwanza Meta sekondari ipo Mbeya, wakati huo mbeya Radio ilikua inasumbua ni Kiss FM na Radio ... Regrann from @fredoombunji - Kila nikiulizwa role model wako nani?huwa namtaja @skytanzania yes ni kweli. ...Huyu brother nilianza kumsikiliza na kumkubali miaka ya 2003 nikiwa nasoma kidato cha kwanza Meta sekondari ipo Mbeya, wakati huo mbeya Radio ilikua inasumbua ni Kiss FM na Radio Free Africa.
Nilikua na ratiba yangu ya kumsikiza huyu bro maana ni mbaya kwenye uchambuzi wa ngoma na story, ndipo nikaanza kuipa nafasi ndoto yangu ya utangazaji hadi leo nimekua mtangazaji kweli japo nimepita mengi sana hadi kufika hapa.
Tangu miaka ile hadi leo huyu brother @skytanzania bado ni mtangazaji mkali kama kaanza juzi daaaah, anafanya tukaze sana maana hajaizoea kazi kabisaaaa, keep on moving mzee nakuheshimu sana 🙌🙌🙌🙌 - #regrann
Read more
Africa has become a growing area of focus for the music industry in recent months, with major labels ...
Media Removed
Africa has become a growing area of focus for the music industry in recent months, with major labels ramping up efforts and visibility on the continent and streaming services -- not widely available in most of its countries -- sensing an opportunity for growth and looking to adapt to the particular ... Africa has become a growing area of focus for the music industry in recent months, with major labels ramping up efforts and visibility on the continent and streaming services -- not widely available in most of its countries -- sensing an opportunity for growth and looking to adapt to the particular needs and tendencies of its markets. And the carrier partnership follows a slew of deals between streaming services and mobile carriers announced in the last month, including a Tidal-Sprint bundle.
Read more
#1 African Female Singer Regrann from @tiwasavage - They came to see this lagos girl 🏼🏼 Indigo O2 LONDON ️ - #regrann #1 African Female Singer

Regrann from @tiwasavage - They came to see this lagos girl 🙏🏼🙏🏼
Indigo O2 LONDON ❤️ - #regrann
@lexiesheild is our new voice contributor. Karibu sana Regrann from @simulizinasauti - SnS inazidi kupanuka na kufikia hata watu wa nje ya Tanzania wasiojua Kiswahili. Kwakuwa nao wanapenda kuelewa baadhi ya mambo yanayoendelea huku, tumekuleta kipindi kiitwacho That's What's ... @lexiesheild is our new voice contributor. Karibu sana

Regrann from @simulizinasauti - SnS inazidi kupanuka na kufikia hata watu wa nje ya Tanzania wasiojua Kiswahili. Kwakuwa nao wanapenda kuelewa baadhi ya mambo yanayoendelea huku, tumekuleta kipindi kiitwacho That's What's Up kikiongozwa na Lisa Greyson @lexiesheild - #regrann
Read more
Video za hip hop zina editing yake na hii video @director_ivantz kafanya kweli. Big up @izzo_biznesss kwa hili dude. @dupy_beatz umetisha pia #MzeeBaba Video za hip hop zina editing yake na hii video @director_ivantz kafanya kweli. Big up @izzo_biznesss kwa hili dude. @dupy_beatz umetisha pia #MzeeBaba
Regrann from @simulizinasauti - @SkyTanzania, @Creez_Favors na @Esko_Donald wanajadiliana matukio muhimu yaliyotokea wiki hii. Wanazungumza kuhusu Komaa Concert ya @efmtanzania iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar, suala la #RichMavoko na WCB, single ya #HamisaMobetto ... Regrann from @simulizinasauti - @SkyTanzania, @Creez_Favors na @Esko_Donald wanajadiliana matukio muhimu yaliyotokea wiki hii. Wanazungumza kuhusu Komaa Concert ya @efmtanzania iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar, suala la #RichMavoko na WCB, single ya #HamisaMobetto na mtazamo wa watu mbalimbali ukiwemo wa #RayC. Pia wamegusia ndoto ya #NickwaPili ya kuwa Rais

LINK KWENYE BIO - #regrann
Read more
Maajabu ya eneo ilipofanyika video ya @harmonize_tz #Atarudi, Makoko, Nigeria au Venice of Africa. Kusikiliza makala nzima bonyeza link kwenye bio Maajabu ya eneo ilipofanyika video ya @harmonize_tz #Atarudi, Makoko, Nigeria au Venice of Africa. Kusikiliza makala nzima bonyeza link kwenye bio
#BestLife #BestLife 🔥🔥🔥🔥
Regrann from @kidando - Episode 6 is up! In this episode I talk about 3 important truths about pursuing goals that I think you might find valuable. I have learned much over the past couple of years actively pursuing my goals. - Visit kidando.net (link in bio) to listen to full episode. Plus ... Regrann from @kidando - Episode 6 is up!
In this episode I talk about 3 important truths about pursuing goals that I think you might find valuable. I have learned much over the past couple of years actively pursuing my goals. -
Visit kidando.net (link in bio) to listen to full episode. Plus let know what u think.

#selfDevelopment #selfAwareness #podcast #businessPodcast #personalgrowth #personalDevelopment #personalAchievement #success #goals - #regrann
Read more
Brother yetu Mtanzania anayekinukisha sana Uk na ulimwenguni kwa ujumla.. Regrann from @tiggsdaauthor - Imani Williams - Dumb ft Me & Belly Squad (Official Video) out now!!! - #regrann Brother yetu Mtanzania anayekinukisha sana Uk na ulimwenguni kwa ujumla.. Regrann from @tiggsdaauthor - Imani Williams - Dumb ft Me & Belly Squad (Official Video) out now!!! 💙💙💙 - #regrann
Regrann from @simulizinasauti - Anaitwa Dora. Isn't she 'aDORAble?' - #regrann Regrann from @simulizinasauti - Anaitwa Dora. Isn't she 'aDORAble?' - #regrann
My boys at work @spwat_swag x @esko_donald Regrann from @mauasama - <span class="emoji emoji1f49c"></span><span class="emoji emoji1f49c"></span><span class="emoji emoji1f49c"></span> - #regrann
Media Removed
My boys at work @spwat_swag x @esko_donald Regrann from @mauasama - - #regrann My boys at work @spwat_swag x @esko_donald

Regrann from @mauasama - 💜💜💜 - #regrann
Mhh! Si kwa nyomi hili.. Hongera @efmtanzania Regrann from @efmtanzania - Kama utafanikiwa ...
Media Removed
Mhh! Si kwa nyomi hili.. Hongera @efmtanzania Regrann from @efmtanzania - Kama utafanikiwa kumuona jirani Mtag mwambie hongera kwa kuingia mchezoni Tanganyika Packers Kawe #KomaaConcert2018Dsm Tanganyika Packers #HatupoiHatuboi Powered By @bikotanzania & @bullcondoms ... Mhh! Si kwa nyomi hili.. Hongera @efmtanzania

Regrann from @efmtanzania - Kama utafanikiwa kumuona jirani Mtag mwambie hongera kwa kuingia mchezoni Tanganyika Packers Kawe

#KomaaConcert2018Dsm Tanganyika Packers #HatupoiHatuboi
Powered By @bikotanzania & @bullcondoms - #regrann
Read more
Some are hating already.. Lol.. Congrats #NickJonas #priyankachopra Regrann from @nickjonas ...
Media Removed
Some are hating already.. Lol.. Congrats #NickJonas #priyankachopra Regrann from @nickjonas - Future Mrs. Jonas. My heart. My love. - #regrann Some are hating already.. Lol.. Congrats #NickJonas #priyankachopra

Regrann from @nickjonas - Future Mrs. Jonas. My heart. My love. - #regrann
August 17, siku ya kuzaliwa @babyskytz huja na kumbukumbu mbaya ya tukio lililotokea siku kama hii mwaka 2009 alipovamiwa kwenye nyumba tuliyokuwa tunaishi Mkolani, Mwanza akiwa mjamzito wa mtoto wetu wa kwanza, Cameron. Ulikuwa usiku wa manane Mimi nilipokuwa njiani kutoka kuendesha ... August 17, siku ya kuzaliwa @babyskytz huja na kumbukumbu mbaya ya tukio lililotokea siku kama hii mwaka 2009 alipovamiwa kwenye nyumba tuliyokuwa tunaishi Mkolani, Mwanza akiwa mjamzito wa mtoto wetu wa kwanza, Cameron. Ulikuwa usiku wa manane Mimi nilipokuwa njiani kutoka kuendesha kipindi cha usiku wa mahaba, RFA. Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 9 amesimulia mkasa huo. Link kwenye bio
Read more

Loading...