Loading Content...

Sokessy Instagram Photos and Videos

Loading...

sokessy Official Sophia Kessy @sokessy mentions
Followers: 28,668
Following: 1,489
Total Comments: 0
Total Likes: 0

See you after 2 or 3 weeks.. May Godbless you All..Tchao.... Marafiki tuonane baada ya wiki 2 au ...
Media Removed
See you after 2 or 3 weeks.. May Godbless you All..Tchao.... Marafiki tuonane baada ya wiki 2 au 3 zijazo Mungu awabariki wote.. #kitukikuwakinakuja. See you after 2 or 3 weeks.. May Godbless you All..Tchao....🙌 Marafiki tuonane baada ya wiki 2 au 3 zijazo Mungu awabariki wote.. #kitukikuwakinakuja.
Loading...
Pole sana sana Ndugu yangu, kaka yangu, Rafiki yangu Na muimbaji wa Gospel brother @Jonmyuzik kwa ...
Media Removed
Pole sana sana Ndugu yangu, kaka yangu, Rafiki yangu Na muimbaji wa Gospel brother @Jonmyuzik kwa kuondokewa na Babu yetu mpendwa Askofu Enos Andrea Nkone pole sana kwa dada @upendonkone Tunamuombea Babu Apumzike Mahala pema Peponi, poleni sana Ndugu yangu poleni mmno Kazi ya Bwana Mungu ... Pole sana sana Ndugu yangu, kaka yangu, Rafiki yangu Na muimbaji wa Gospel brother @Jonmyuzik kwa kuondokewa na Babu yetu mpendwa Askofu Enos Andrea Nkone pole sana kwa dada @upendonkone Tunamuombea Babu Apumzike Mahala pema Peponi, poleni sana Ndugu yangu poleni mmno Kazi ya Bwana Mungu wetu haina makosa daima nawaombea Awatie nguvu katika kipindi hiki.
Read more
See you soon.
Media Removed
See you soon. See you soon.📝
*SOMO: 1 "KUNYAMAZA NI HEKIMA".* NENO LA MUNGU LINASEMAJE JUU YA HEKIMA ILIYOPO KWENYE KUNYAMAZA? (MITHALI 11:12) "Asiye na akili humdharau mwenziwe; Bali mtu aliye na ufahamu hunyamaza". (MITHALI 17:28) "Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima; Akifumba midomo yake, huhesabiwa ... 😊😊*SOMO: 1 "KUNYAMAZA NI HEKIMA".* NENO LA MUNGU LINASEMAJE JUU YA HEKIMA ILIYOPO KWENYE KUNYAMAZA? (MITHALI 11:12)
"Asiye na akili humdharau mwenziwe; Bali mtu aliye na ufahamu hunyamaza". (MITHALI 17:28) "Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima; Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu". *Changamoto kubwa tuliyonayo ni kwamba tunataka kuongea kila wakati, tunataka kujibu kila tunachokisikia, kila tunachokiona tunataka kukisemea kitu.* Kuna wakati tunasikia na kukutana na mambo ambayo kiuhalisia moyo unagoma kabisa kunyamaza, unatamani ujibu, unatamani uwaambie watu yale umefanyiwa, unatamani uelezee vile umeumizwa lakini kumbe *si kila jambo linatakiwa kuongelewa.* *Si kila ukionacho unatakiwa kukisemea kitu. Si kila usikiacho/uambiwacho ni lazima ujibu.* Si kila ufanyiwacho ni lazima umwambie kila mtu. (MUHUBIRI 3:1) - "Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu". (MHUBIRI 3:7) - "Wakati wa kurarua, na wakati wa kushona; Wakati wa kunyamaza, na wakati wa kunena"; *IPO NGUVU KATIKA KUNYAMAZA:* Yapo mambo ambayo tunapaswa kuongea, kusema, lakini yapo mambo ambayo tunapaswa kunyamaza kwa ajili ya usalama wa Roho zetu.

Ni kweli kuna wakati unasemwa sana vibaya, unasingiziwa, unatukanwa nk, lakini ni lazima ukumbuke kwamba *kuna mazingira ambayo hupaswi kujibizana hata kama umeumia kiasi gani.*Cc @tzwomenoffaith
Read more
Amen. Cc @tzwomenoffaith
Media Removed
Amen. Cc @tzwomenoffaith Amen.🙏 Cc @tzwomenoffaith
Ooh Yes Never lose Hope.... @tzwomenoffaith
Media Removed
Ooh Yes Never lose Hope.... @tzwomenoffaith Ooh Yes Never lose Hope.... @tzwomenoffaith
Loading...
MABUTU....😇
Media Removed
MABUTU....😇 MABUTU....😇
Furahiday.....
Media Removed
Furahiday..... Furahiday.....🙌
Loading...
#UrithiWetu My #beautiful #Tanzania #I love you Tanzania #mymotherland️ Cc @augurbuzzard_safaris #UrithiWetu My #beautiful #Tanzania #I love you Tanzania #mymotherland❤️ Cc @augurbuzzard_safaris
TBT katumba mbeyaaaaaaaaaa
Media Removed
TBT katumba mbeyaaaaaaaaaa TBT katumba mbeyaaaaaaaaaa
#ProudMom No matter how old you have grown, my love for you will always be shown. No matter where ...
Media Removed
#ProudMom No matter how old you have grown, my love for you will always be shown. No matter where you go, I will send you best wishes, too! And no matter how successful you will become, you will still remain my little baby son. Have a Wonderful Bday! Son i love you.. @augurbuzzard_safaris ... #ProudMom🙌 No matter how old you have grown, my love for you will always be shown. No matter where you go, I will send you best wishes, too! And no matter how successful you will become, you will still remain my little baby son. Have a Wonderful Bday! Son i love you..😘😘😘😘😍😍 @augurbuzzard_safaris live long mwanangu kipenzi Na mwenyezi Mungu akusimamie akufanye uwe baraka kwa mataifa yote .
Read more
Libala ezali mode tee tolata to changer / NDOA SIKAMA MTINDO WA MAVAZI, LEO WAVAA HILI NAKESHO NYINGINE!!! ...
Media Removed
Libala ezali mode tee tolata to changer / NDOA SIKAMA MTINDO WA MAVAZI, LEO WAVAA HILI NAKESHO NYINGINE!!! ...Libala ezali likambo ya vie bomoi ya moto / NDOA NI MAISHA YA MWANADAMU,MAANA KAMILI YAKUWEPO KWETU DUNIANI...... Libala ezali mode tee tolata to changer / NDOA SIKAMA MTINDO WA MAVAZI, LEO WAVAA HILI NAKESHO NYINGINE!!! ...Libala ezali likambo ya vie bomoi ya moto / NDOA NI MAISHA YA MWANADAMU,MAANA KAMILI YAKUWEPO KWETU DUNIANI......
Loading...
Hongera sana sana Mdogo wangu @james_lyatuuu na wifi yangu wa nguvu nilitamani sana kuja ila unajua ...
Media Removed
Hongera sana sana Mdogo wangu @james_lyatuuu na wifi yangu wa nguvu nilitamani sana kuja ila unajua changamoto inayonikabili basi kwa uweza wa Mungu hili limekamilika nawaombea maisha marefu mafanikio tele uzao wenu ukafanyike baraka katika mataifa yote. @james_lyatuuu @dewolta ... Hongera sana sana Mdogo wangu @james_lyatuuu na wifi yangu wa nguvu nilitamani sana kuja ila unajua changamoto inayonikabili basi kwa uweza wa Mungu hili limekamilika nawaombea maisha marefu mafanikio tele uzao wenu ukafanyike baraka katika mataifa yote. @james_lyatuuu @dewolta Nawapenda sana.
Read more
#UrithiWetu ...Unaweza fikiria kuwa ni utani ,lakini huu ndio ukweli kama unasumbuliwa na tatizo la kupasuka miguu,wengine wanaita Ugwambala ama Sagamba na wengine wa kanda ya ziwa wanaita Machacha basi dawa hii hapa. Katika kijiji cha Chemka kilichopo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro ... #UrithiWetu ...Unaweza fikiria kuwa ni utani ,lakini huu ndio ukweli kama unasumbuliwa na tatizo la kupasuka miguu,wengine wanaita Ugwambala ama Sagamba na wengine wa kanda ya ziwa wanaita Machacha basi dawa hii hapa.

Katika kijiji cha Chemka kilichopo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro lipo bwawa la asili mithili ya Sweeming Pool lenye maji yenye uvuguvugu yatokanayo na chemichemi.

Bwawa lililopewa jina la Chemka kutokana na maji yake hayo kwa sasa limekuwa kivutio kwa wageni wa ndani na nje ya nchi kubwa zaidi ya kuogelea ni Pedicure inayifanywa na samaki wadogo kama dagaa ambao wamekuwa wakila ngozi iliyokufa katika miguu binadamu.habari picha kwa hisani ya 🎥📷 @dixonbusagaga
Read more

Media Removed

Loading...
Tanzania yangu... Tanzania yangu...❤
Mungu Pekee Anajua........ # @octagraphy_
Media Removed
Mungu Pekee Anajua........ # @octagraphy_ Mungu Pekee Anajua........ # 📷📷📷📷📷🎥🎥🎥🎥@octagraphy_ 🙌
I TRUST YOU IS A BETTER COMPLIMENT THAN I LOVE YOU BECAUSE YOU MAY NOT ALWAYS TRUST THE PERSON YOU LOVE ...
Media Removed
I TRUST YOU IS A BETTER COMPLIMENT THAN I LOVE YOU BECAUSE YOU MAY NOT ALWAYS TRUST THE PERSON YOU LOVE BUT YOU CAN ALWAYS LOVE THE PERSON YOU TRUST. #2016 I TRUST YOU IS A BETTER COMPLIMENT THAN I LOVE YOU BECAUSE YOU MAY NOT ALWAYS TRUST THE PERSON YOU LOVE BUT YOU CAN ALWAYS LOVE THE PERSON YOU TRUST. #2016✨
Loading...
Juice yetu ya Rosella ni nzuri sana sitaki nikusifie mmno ila itafute kwenye supermarkets mbalimbali ...
Media Removed
Juice yetu ya Rosella ni nzuri sana sitaki nikusifie mmno ila itafute kwenye supermarkets mbalimbali na uionje iko kwenye package nzuri na za kisasa, hata ukihitaji basi nitakuletea mwenyewe ulipo haina chemical ya aina yeoyote ni 100% Rosella ipo na tuna aina mbili kwa wenye matatizo ... Juice yetu ya Rosella ni nzuri sana sitaki nikusifie mmno ila itafute kwenye supermarkets mbalimbali na uionje iko kwenye package nzuri na za kisasa, hata ukihitaji basi nitakuletea mwenyewe ulipo haina chemical ya aina yeoyote ni 100% Rosella ipo na tuna aina mbili kwa wenye matatizo ya sukari ipo ambayo haina sukari na wale wengine ipo yenye sukari bidhaa yetu ni ya ubora wa hali ya juu... Imethibitishwana na TBS..DM Oda Yako kwa jumla na rejareja.
Read more
The 1st dance dadaaaa @shyrosebhanji ujue nakuona ujueee ujue nitaandamana The 1st dance dadaaaa @shyrosebhanji ujue nakuona ujueee😚😚😚😍😍😍 ujue nitaandamana
Hivi umewahi kujaribu  Rosella Juice ya Bagamoyo basi hujachelewa wala hujapitwa ndio kwanza ...
Media Removed
Hivi umewahi kujaribu Rosella Juice ya Bagamoyo basi hujachelewa wala hujapitwa ndio kwanza mambo yameanza wasiliana nasi kwa oda yako ya Juice ya Rosella kwani tunazituma mpaka mikoani ni juice safi iliotengenezwa hapa nyumbani Tanzania na yenye viwango vya ubora wa kimataifa ni nzuri ... Hivi umewahi kujaribu 🍷 Rosella Juice ya Bagamoyo basi hujachelewa wala hujapitwa ndio kwanza mambo yameanza wasiliana nasi kwa oda yako ya Juice ya Rosella kwani tunazituma mpaka mikoani ni juice safi iliotengenezwa hapa nyumbani Tanzania na yenye viwango vya ubora wa kimataifa ni nzuri kwa kina Mama wajawazito na wenye matatizo ya kupungukiwa damu epuka kutumia vinywaji vyenye kemikali Rosella Juice haina kemikali ya aina yeoyote imetemgenezwa hapa Nyumbani, Bagamoyo Tanzania na imethibitishwana. TBS ... #BAGAMOYO HARVEST #ROSELLA JUICE KWA AFYA YAKO.🍷 @bagamoyo_wine @sokessy #LareinSecretsProducts #ROSELLAJUICE..
Read more
#shambaday wachaga Tumekutana haya mapera yatajibu jioni..esta_fashion @bagamoyo_wine @m____kessy @anettekessy @magdalenkess #shambaday wachaga Tumekutana haya mapera yatajibu jioni..😂😂😂😂😂esta_fashion @bagamoyo_wine @m____kessy @anettekessy @magdalenkess
Wachaga na Maperaa.. shindo sha kanyiiii tagg wachaga wote @esta_fashion @bagamoyo_wine Wachaga na Maperaa..😂😂😂😂😂😂 shindo sha kanyiiii tagg wachaga wote @esta_fashion @bagamoyo_wine 😂😂😂😂😂
Heavenly Father, Thank You Lord for keeping me through the month of August. Lord I am grateful ...
Media Removed
Heavenly Father, Thank You Lord for keeping me through the month of August. Lord I am grateful to see the new month of September. I declare the month of September as my month of miracle and breakthrough. I receive every blessing tied to September for my life. I declare September as my seasons ... Heavenly Father,

Thank You Lord for keeping me through the month of August. Lord I am grateful to see the new month of September.

I declare the month of September as my month of miracle and breakthrough. I receive every blessing tied to September for my life. I declare September as my seasons of joy and celebrations I shall dance with joy and celebrate all of your blessings for my life.

Welcome September
September To Remember

Father God, I will operate under an open heaven and your blessings shall overtake me and my family, Grant me wisdom and uncommon ideas for breakthrough on every decision I have to make.

Lord, I pray for your peace to reign in our world today, and to grant the world leaders, wisdom to walk side by side in peace in Jesus name’ Lord, make this month a September to remember. AMEN
Read more
If they don't appreciate your presence make them appreciate your absence.
Media Removed
If they don't appreciate your presence make them appreciate your absence. If they don't appreciate your presence make them appreciate your absence.
Happy happy birthday my beautiful wifiii my original wifiii you know vile nakupenda kipenzi changu ...
Media Removed
Happy happy birthday my beautiful wifiii my original wifiii you know vile nakupenda kipenzi changu @nahlaz_mamy muke halali ya brother @kaizasosawakitaa amaisha marefu wifi yangu ubarikiwe na ufanikiwe kwa kila ufanyalo Happy happy birthday my beautiful wifiii my original wifiii you know vile nakupenda kipenzi changu @nahlaz_mamy muke halali ya brother @kaizasosawakitaa 😚😚😚😚😚😚😍😍😍😍 amaisha marefu wifi yangu ubarikiwe na ufanikiwe kwa kila ufanyalo

Media Removed

Tatizo letu wanadamu ni moja tu huwa hatuna SUBIRA tunaharakisha mambo tukidhani tuko sahihi, ...
Media Removed
Tatizo letu wanadamu ni moja tu huwa hatuna SUBIRA tunaharakisha mambo tukidhani tuko sahihi, ngoja nikuambie wahenga walisema HARAKA HARAKA HAINA BARAKA hebu tujifunze kuwa na SUBIRA ili mambo yaende sana kwasababu Mungu hutoa kwa wakati wake na hupanga jambo kwa wakati wake subira ... Tatizo letu wanadamu ni moja tu huwa hatuna SUBIRA tunaharakisha mambo tukidhani tuko sahihi, ngoja nikuambie wahenga walisema HARAKA HARAKA HAINA BARAKA hebu tujifunze kuwa na SUBIRA ili mambo yaende sana kwasababu Mungu hutoa kwa wakati wake na hupanga jambo kwa wakati wake subira yavuta heri.
Read more
TBT Ugandaaaaa
Media Removed
TBT Ugandaaaaa TBT Ugandaaaaa
One day, you'll be just a memory for some people. Do your best to be a good one sophy....
Media Removed
One day, you'll be just a memory for some people. Do your best to be a good one sophy.... One day, you'll be just a memory for some people. Do your best to be a good one sophy....😊
Enzi hizo unakumbuka nini na ulikuwa wapi tupige story... @asiamatona ulikuwa haujazaliwa bado usijibu.. hii ni kwa wahenga tu... Enzi hizo unakumbuka nini na ulikuwa wapi tupige story...😂😂😂 @asiamatona ulikuwa haujazaliwa bado usijibu..😂😂😂😂😂 hii ni kwa wahenga tu...

Media Removed

Nakaka yangu mwenyewe Mbiga wa mbwiguke anakuambia Maisha umeyakosea mwenyewe una mlilia nani ...
Media Removed
Nakaka yangu mwenyewe Mbiga wa mbwiguke anakuambia Maisha umeyakosea mwenyewe una mlilia nani !? Nakaka yangu mwenyewe Mbiga wa mbwiguke anakuambia Maisha umeyakosea mwenyewe una mlilia nani !?😂😂😂😂😂😂😂
He chose me... He loved me...He made me His own. My Father is the King, God Almighty. I have His protection, ...
Media Removed
He chose me... He loved me...He made me His own. My Father is the King, God Almighty. I have His protection, love, favor & grace. He chose me... He loved me...He made me His own. My Father is the King, God Almighty. I have His protection, love, favor & grace.
Chibonge #ndondocup Awards2018
Media Removed
Chibonge #ndondocup Awards2018 Chibonge #ndondocup Awards2018
Done @asiamatona Done @asiamatona
Asante kwa kufuatilia Habari Clouds ya @cloudstv tukutane Kesho asubuhi kwenye habari za biashara ...
Media Removed
Asante kwa kufuatilia Habari Clouds ya @cloudstv tukutane Kesho asubuhi kwenye habari za biashara ndani ya #Powerbreckfast ya @cloudsfmtz Asante kwa kufuatilia Habari Clouds ya @cloudstv tukutane Kesho asubuhi kwenye habari za biashara ndani ya #Powerbreckfast ya @cloudsfmtz
Be a woman of your word but most importantly be a woman of actions. Promise yourself succses ...
Media Removed
Be a woman of your word but most importantly be a woman of actions. Promise yourself succses and don't stop making moves untill you get it. Cc @shyrosebhanji tunajipa zoezi dada photographer @oceantanzania 😊😊😊😊Be a woman of your word but most importantly be a woman of actions. Promise yourself succses and don't stop making moves untill you get it. Cc @shyrosebhanji tunajipa zoezi dada 😂😂😂😂😂 photographer 📷
@oceantanzania
Kwa wapenda urembo wa kucha haya mkombozi wenu huyu hapa warembo wote mnaambiwa kuwa tunatengeneza ...
Media Removed
Kwa wapenda urembo wa kucha haya mkombozi wenu huyu hapa warembo wote mnaambiwa kuwa tunatengeneza kucha aina zote tunapatikana ukonga banana 0712 290251 zaidi pita katika kurasa yao @shaloo2014 Kwa wapenda urembo wa kucha haya mkombozi wenu huyu hapa warembo wote mnaambiwa kuwa tunatengeneza kucha aina zote tunapatikana ukonga banana 0712 290251 zaidi pita katika kurasa yao @shaloo2014
Siku Imeisha hivi Kazi kazi kazi... Siku Imeisha hivi Kazi kazi kazi...
Pamoja na Bosi wangu @joyceshebe na baba yangu Saleh Masoud Mzee wa Mwewe asanteni sana. #memories
Media Removed
Pamoja na Bosi wangu @joyceshebe na baba yangu Saleh Masoud Mzee wa Mwewe asanteni sana. #memories Pamoja na Bosi wangu @joyceshebe na baba yangu Saleh Masoud Mzee wa Mwewe asanteni sana. #memories😍
I believe that God has put gifts and talents and ability on the inside of every one of us. When you develop ...
Media Removed
I believe that God has put gifts and talents and ability on the inside of every one of us. When you develop that and you believe in yourself and you believe that you're a person of influence and a person of purpose, I believe you can rise up out of any situation. #Tukutane @cloudstv saa 1 na Nusu ... I believe that God has put gifts and talents and ability on the inside of every one of us. When you develop that and you believe in yourself and you believe that you're a person of influence and a person of purpose, I believe you can rise up out of any situation. #Tukutane @cloudstv saa 1 na Nusu usiku wa leo katika Habari Clouds.
Read more
Being Nominated among 25 Journalist, kwa Mara ya kwanza kuwania UN Women Awards kwa Tanzania upande ...
Media Removed
Being Nominated among 25 Journalist, kwa Mara ya kwanza kuwania UN Women Awards kwa Tanzania upande wa TV stations its privilege to me i am trully blessed and Thankfull for that niwashukuru sana, UN Women for this opportunity. Asanteni sana Kwanza kabisa nimshukuru Mungu kwa nafasi hii ... Being Nominated among 25 Journalist, kwa Mara ya kwanza kuwania UN Women Awards kwa Tanzania upande wa TV stations its privilege to me i am trully blessed and Thankfull for that niwashukuru sana, UN Women for this opportunity. Asanteni sana

Kwanza kabisa nimshukuru Mungu kwa nafasi hii ya kipekee kunibariki na kuniwezesha mimi kupata nafasi ya kuwa miongoni mwa wandishi 7 wa habari kati ya 25 waliochaguliwa kuwasilisha kazi zao za TV na kushindanishwa, kisha kupata muda wa kuziwasilisha na kuhojiwa na Jopo la Majaji na wananchi pia na hatimae kuingia kwenye top 6. Na leo wenzangu wawili wameibuka washindi na kupata tuzo ambapo mmoja amepata 2 na mwenzake amepata moja hongereni sana sana sana sana am so proud of you Guys mnajua hilo. Haikuwa kazi rahisi ila ilitakiwa kukamilika na kwa uweza wa MUNGU imekamilika.
Nawapongeza pia waandishi wa entries za Radio na Printing kwakweli kila mmoja ameitendea haki kazi yake hongereni woote naamini kila mmoja ni mshindi.

Nafasi hii adimu katika maisha yangu, imenipa mwanga na imeniongezea nguvu ya kufanya kazi zaidi ya kuhakikisha malengo ya milenia yanafikiwa ikiwemo lengo namba 5 la usawa wa kijinsia.

Ni jukumu letu kama waandishi wa habari kufichua, kukemea, kuandika na kuelimisha mambo yote yanayomkandamiza mwanamke na mtoto wa kike kwa namna yoyote ile. Kwa pamoja lengo letu liwe ni kuhakikisha tunafanikisha hilo.

Natumia nafasi hii kushukuru UN Women pamoja na Gender Links Tanzania kwa kutupatia elimu ya namna ya kufanya kazi hii.
Kwa upekee kabisa naishukuru Clouds Media Group, si tu kwa kuniruhusu na kunipa nafasi ya kushiriki mafunzo haya, bali pia kuzipa nafasi ya kuonekana kazi nilizozifanya ambazo leo zinanifanya mimi kama mfanyakazi wa Clouds Media kusimama kifuambele kwamba kuna hatua tumeipiga katika hili Asanteni pia staff wenzangu wote kwa upendo wenu.

Sijawasahau Majaji na Mentor wetu walifanya kazi kubwa nawashukuru sana sana.

Asanteni Sana na Mungu awabariki @cloudstv @choicefm_tz @cloudsfmtz ...
@unwomen_africa @genderlinks
#GenderEquality
#Gender&NewsMedia
#2018
Read more
I am blessed to be part of the first ever Gender and News Summit 2018. Tanzania has been given this ...
Media Removed
I am blessed to be part of the first ever Gender and News Summit 2018. Tanzania has been given this honorable privileged to host the summit and we are thankful to @unwomenafrica #genderlinks #GenderEquality #GenderInMedia . I am blessed to be part of the first ever Gender and News Summit 2018. Tanzania has been given this honorable privileged to host the summit and we are thankful to @unwomenafrica
#genderlinks
#GenderEquality #GenderInMedia .
Mapema jana kwenye UN women Gender & News Summit 2018 Wakati nawasilisha Makala yangu mbele ya hadhira ...
Media Removed
Mapema jana kwenye UN women Gender & News Summit 2018 Wakati nawasilisha Makala yangu mbele ya hadhira na kuhojiwa.. More pics to come #Mungunimwemakwangukilawakati. Mapema jana kwenye UN women Gender & News Summit 2018 Wakati nawasilisha Makala yangu mbele ya hadhira na kuhojiwa.. More pics to come #Mungunimwemakwangukilawakati.
Gender &News Summit 2018 nikiwa na viongozi wangu my boss @joyceshebe Mama yangu kipenzi kwenye ...
Media Removed
Gender &News Summit 2018 nikiwa na viongozi wangu my boss @joyceshebe Mama yangu kipenzi kwenye tasnia hii ya habari Mama EdaSanga ambae amenipiga msasa kweli kweli kwenye habari za Uchunguzi na Mama yangu mwingine Mama Gladness Munuo. Nawapenda jamani. @unwomen_africa Gender &News Summit 2018 nikiwa na viongozi wangu my boss @joyceshebe Mama yangu kipenzi kwenye tasnia hii ya habari Mama EdaSanga ambae amenipiga msasa kweli kweli kwenye habari za Uchunguzi na Mama yangu mwingine Mama Gladness Munuo. Nawapenda jamani.😍😚 @unwomen_africa
Tama na umasikini kwenye baadhi ya maeneo mkoani mtwara vimetajwa kuwa ndio sababu ya mimba za utotoni...Nini ...
Media Removed
Tama na umasikini kwenye baadhi ya maeneo mkoani mtwara vimetajwa kuwa ndio sababu ya mimba za utotoni...Nini maoni yako ili kumkomboa mtoto wa kike. Tama na umasikini kwenye baadhi ya maeneo mkoani mtwara vimetajwa kuwa ndio sababu ya mimba za utotoni...Nini maoni yako ili kumkomboa mtoto wa kike.
Mungu ni wetu sote.
Media Removed
Mungu ni wetu sote. Mungu ni wetu sote.🙏
@andersondikson mdogo wangu upo  naishia hapo kwa sasa maana umeomba poo.. ukirudia ...
Media Removed
@andersondikson mdogo wangu upo naishia hapo kwa sasa maana umeomba poo.. ukirudia nakugawa bureee @miss_siwatrudant nifikishie ujumbe kwa dogo atulieee @andersondikson mdogo wangu upo 😂😂😂😂😂😂😂 naishia hapo kwa sasa maana umeomba poo..😂😂😂😂😂😂😂😂 ukirudia nakugawa bureee @miss_siwatrudant nifikishie ujumbe kwa dogo atulieee
Waziri wa masuala ya wanawake huko New Zealand Ameendesha baiskeli hadi hospitali kujifungua ...
Media Removed
Waziri wa masuala ya wanawake huko New Zealand Ameendesha baiskeli hadi hospitali kujifungua mtoto wake wa kwanza. Julie Genter kutoka chama cha kijani, Green party, amesema kuwa ameenda kwa baiskeli kwakua hakukua na nafasi ya kutosha ndani ya gari, alipiga picha na mweza wake wakiwa ... Waziri wa masuala ya wanawake huko New Zealand Ameendesha baiskeli hadi hospitali kujifungua mtoto wake wa kwanza.

Julie Genter kutoka chama cha kijani, Green party, amesema kuwa ameenda kwa baiskeli kwakua hakukua na nafasi ya kutosha ndani ya gari, alipiga picha na mweza wake wakiwa katika safari hiyo ya baiskeli na kuiweka katika akaunti yake ya Instagram.

Unadhani unaweza mruhusu mkeo au ndugu yako kupanda baiskeli wakati anaenda kujifungua? Zaidi tukutane mitandaoni hii leo..
Read more

Loading...