Tv1tanzania Instagram Photos and Videos

Loading...

tv1tanzania TV1 Tanzania @tv1tanzania mentions
Followers: 79,113
Following: 1,150
Total Comments: 0
Total Likes: 0

Usikose kutazama mchezo kati ya Ureno dhidi ya Italy ifikapo Saa 3:45 Usiku LIVE kupitia @tv1tanzania ...
Media Removed
Usikose kutazama mchezo kati ya Ureno dhidi ya Italy ifikapo Saa 3:45 Usiku LIVE kupitia @tv1tanzania . ••• Katika michezo 25 baina ya timu hizi mbili, Ureno ameshinda michezo mitano tu, Huku Italy ameshinda michezo 18 na wakitoa sare mara 2. ••• Ureno haijawahi kushinda mchezo wowote ... Usikose kutazama mchezo kati ya Ureno dhidi ya Italy ifikapo Saa 3:45 Usiku LIVE kupitia @tv1tanzania .

Katika michezo 25 baina ya timu hizi mbili, Ureno ameshinda michezo mitano tu, Huku Italy ameshinda michezo 18 na wakitoa sare mara 2.

Ureno haijawahi kushinda mchezo wowote dhidi ya Italy kwenye mashindano ya Ulaya ,Mara ya mwisho kukutana kwenye mashindano ya UEFA EURO, Ureno amepoteza michezo yote (Dec,1987 Ureno 0-3 Italy, Na Feb,1987 Ureno 0-1 Italy).

Ureno amepata ushindi mara 5 tu dhidi ya Italy, ameshinda mara mmoja akiwa kwenye mashindano ya Kombe la Dunia mwaka 1957, Michezo mingine minne aliyoshinda ilikuwa kwenye michezo ya kirafiki kwenye kalenda ya Fifa.

Je! Tutegemee kuiona Ureno yenye ubora bila ya kuwepo kwa Cristiano Ronaldo?.
Vp, kurejea kwa Italy kwenye mashindano makubwa ? #KitaaKimetuamini
Read more
Loading...
Kylian Mbappe ~ The Revelation of Soccer (Nukuu ya Diego Maradona). ••• Miaka 19 || Michezo 119 ...
Media Removed
Kylian Mbappe ~ The Revelation of Soccer (Nukuu ya Diego Maradona). ••• Miaka 19 || Michezo 119 || Magoli 56. ••• Je! Mbappe atafikia rekodi za magwiji wa soka kama Cristiano Ronaldo na Lionel Messi ? #KitaaKimetuamini Kylian Mbappe ~ The Revelation of Soccer (Nukuu ya Diego Maradona).

Miaka 19 || Michezo 119 || Magoli 56.

Je! Mbappe atafikia rekodi za magwiji wa soka kama Cristiano Ronaldo na Lionel Messi ?
#KitaaKimetuamini
#Matokeo ya Ligi ya #UefaNationLeague michezo iliyochezwa Siku ya Jumapili . ••• Ufaransa yazidi ...
Media Removed
#Matokeo ya Ligi ya #UefaNationLeague michezo iliyochezwa Siku ya Jumapili . ••• Ufaransa yazidi kupaa kwenye soka la kimataifa, Je! Kikosi cha Didier Deschamps ndiyo kikosi bora zaidi kuliko vile vya kitambo ? Wewe unakikubali kikosi cha Ufaransa cha mwaka gani ?. A. 1998 B. 2018 #KitaaKimetuamini #Matokeo ya Ligi ya #UefaNationLeague michezo iliyochezwa Siku ya Jumapili .

Ufaransa yazidi kupaa kwenye soka la kimataifa, Je! Kikosi cha Didier Deschamps ndiyo kikosi bora zaidi kuliko vile vya kitambo ? Wewe unakikubali kikosi cha Ufaransa cha mwaka gani ?.
A. 1998
B. 2018
#KitaaKimetuamini
Ufaransa watakuwa nyumbani dhidi ya Uholanzi katika mchezo wa mashindano ya #UefaNationLeague ...
Media Removed
Ufaransa watakuwa nyumbani dhidi ya Uholanzi katika mchezo wa mashindano ya #UefaNationLeague kuanzia Saa 3:45 Usiku LIVE kupitia @tv1tanzania #Usikose. ••• Ufaransa na Uholanzi wamekutana mara 26 katika mashindano tofauti, Ufaransa ameshinda mara 12 akifunga mabao 45 nakutoka ... Ufaransa watakuwa nyumbani dhidi ya Uholanzi katika mchezo wa mashindano ya #UefaNationLeague kuanzia Saa 3:45 Usiku LIVE kupitia @tv1tanzania #Usikose.

Ufaransa na Uholanzi wamekutana mara 26 katika mashindano tofauti, Ufaransa ameshinda mara 12 akifunga mabao 45 nakutoka sare mara 4.
Uholanzi ameshinda mara 10 akifunga mabao 53 nakutoa mara 4.
••• Katika michezo mitano iliyopita, Ufaransa ameshinda michezo 4 nakutoa sare mara mmoja (Dhidi Ujerumani).
Vile vile Uholanzi ameshinda michezo miwili kati ya mitano iliyopita, akitoa sare 1 nakupoteza mmoja!.

Huu ni mchezo wa kwanza kwa Uholanzi katika mashindano mapya ya #UefaNationLeague ,Je! Tutegemee kuona cheche za Uholanzi dhidi ya mabingwa wa Dunia Ufaransa? #KitaaKimetuamini
Read more
#Fulltime  *🇽🇪ENG vs ESP. Score: 1 - 2 Min: 90+9 Match over!!. L *🇽🇪ENG vs ESP* Possession ...
Media Removed
#Fulltime *🇽🇪ENG vs ESP. Score: 1 - 2 Min: 90+9 Match over!!. L *🇽🇪ENG vs ESP* Possession *43% - 57%* Shots on goal *5 - 4* Saves *2 - 4* Corner kicks *4 - 1* Offsides *3 - 3* Fouls *16 - 9* Yellow cards *4 - 1* Red cards *0 - 0*. #KitaaKimetuamini #Fulltime ⚽ *🇽🇪ENG vs ESP🇪🇸.
Score: 1 - 2
Min: 90+9

Match over!!. L⚽ *🇽🇪ENG vs ESP🇪🇸* Possession *43% - 57%*
Shots on goal *5 - 4*
Saves *2 - 4*
Corner kicks *4 - 1*
Offsides *3 - 3*
Fouls *16 - 9*
Yellow cards *4 - 1*
Red cards *0 - 0*. #KitaaKimetuamini
#Repost @england (@get_repost) ・・・  *🇽🇪ENG vs ESP. Score: 1 - 2 (Rashford - Saul Nigez, Rodrigo). ...
Media Removed
#Repost @england (@get_repost) ・・・ *🇽🇪ENG vs ESP. Score: 1 - 2 (Rashford - Saul Nigez, Rodrigo). Min: 45 Half time!!. *🇽🇪ENG vs ESP. Possession *38% - 62%* Shots on goal *3 - 3* Saves *1 - 2* Corner kicks *2 - 0* Offsides *1 - 1* Fouls *8 - 3* Yellow cards *2 - 0* Red cards *0 ... #Repost @england (@get_repost)

💪⚽ *🇽🇪ENG vs ESP🇪🇸.
Score: 1 - 2 (Rashford - Saul Nigez, Rodrigo). Min: 45

Half time!!.
⚽ *🇽🇪ENG vs ESP🇪🇸. Possession *38% - 62%*
Shots on goal *3 - 3*
Saves *1 - 2*
Corner kicks *2 - 0*
Offsides *1 - 1*
Fouls *8 - 3*
Yellow cards *2 - 0*
Red cards *0 - 0*
Read more
Loading...
*UEFA Nations League.  *🇽🇪ENG vs ESP. ••• ENG🇽🇪. 1 Jordan Pickford 5 John Stones 6 Harry ...
Media Removed
*UEFA Nations League. *🇽🇪ENG vs ESP. ••• ENG🇽🇪. 1 Jordan Pickford 5 John Stones 6 Harry Maguire 4 Joe Gomez 8 Jordan Henderson 11 Dele Alli 7 Jesse Lingard 3 Luke Shaw 2 Kieran Trippier 9 Harry Kane 10 Marcus Rashford. •••• ESP. 1 David De Gea 15 Sergio Ramos 4 Nacho 12 ... 🏆 *UEFA Nations League.
⚽ *🇽🇪ENG vs ESP🇪🇸.

ENG🇽🇪.
1 Jordan Pickford
5 John Stones
6 Harry Maguire
4 Joe Gomez
8 Jordan Henderson
11 Dele Alli
7 Jesse Lingard
3 Luke Shaw
2 Kieran Trippier
9 Harry Kane
10 Marcus Rashford.

ESP🇪🇸.
1 David De Gea
15 Sergio Ramos
4 Nacho
12 Marcos Alonso
2 Dani Carvajal
5 Sergio Busquets
8 Saúl Ñíguez
10 Thiago
17 Iago Aspas
22 Isco
9 Rodrigo ⏰ #KickOff Saa 3:45 USIKU #KitaaKimetuamini
Read more
Mara ya Mwisho timu hizi mbili kukutana ilikuwa kwenye sare ya 2-2 Katika uwanja wa Wembley Kwenye ...
Media Removed
Mara ya Mwisho timu hizi mbili kukutana ilikuwa kwenye sare ya 2-2 Katika uwanja wa Wembley Kwenye mechi ya kirafiki mwaka 2016. ••• Hii ni Mara ya Kwanza Luis Enrique atakuwa akiiongoza timu ya Hispania kwenye mashindano makubwa tangu apewe kazi ya kuiona Hispania. ••• Uingereza anakuja ... Mara ya Mwisho timu hizi mbili kukutana ilikuwa kwenye sare ya 2-2 Katika uwanja wa Wembley Kwenye mechi ya kirafiki mwaka 2016.

Hii ni Mara ya Kwanza Luis Enrique atakuwa akiiongoza timu ya Hispania kwenye mashindano makubwa tangu apewe kazi ya kuiona Hispania.
••• Uingereza anakuja kwenye mchezo huu Akiwa Hali nzuri ya kikosi na morali baada kufanikiwa kufika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia mwezi Julai. Vile vile Hispania Yuko Katika ujenzi wa kikosi imara baada yakufanya mabadiliko makubwa kwenye benchi la ufundi.

Je! Hispania itaonesha ubora Katika mpambano wa Leo ? Je! Gareth Southgate ana mipango gani ya kumzamisha Luis Enrique Katika mchezo wake wa kwanza akiwa na timu ya Hispania?.

Usikose kutazama mchezo huu mkali Kati ya Uingereza dhidi ya Hispania kuanzia Saa 3:45 Usiku LIVE kupitia @tv1tanzania ukiwa na @allykashushu @wilsonoruma1 kwenye uchambuzi Mapema kuanzia Saa 3:00 Usiku #KitaaKimetuamini
Read more
Loading...
#Repost @taifastars_ . ••• Kikundi cha Stars Supporters kikiamsha Kwa shamla shamla wakiwa ...
Media Removed
#Repost @taifastars_ . ••• Kikundi cha Stars Supporters kikiamsha Kwa shamla shamla wakiwa Serena Hotel,Uganda ilipo kambi ya Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" inayocheza leo mchezo wa kuitafuta tiketi ya kucheza Fainali za Africa dhidi ya Uganda kwenye Uwanja wa Nelson Mandela,Namboole ... #Repost @taifastars_ .

Kikundi cha Stars Supporters kikiamsha Kwa shamla shamla wakiwa Serena Hotel,Uganda ilipo kambi ya Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" inayocheza leo mchezo wa kuitafuta tiketi ya kucheza Fainali za Africa dhidi ya Uganda kwenye Uwanja wa Nelson Mandela,Namboole saa 10 jioni. #KitaaKinatuamini
Read more
Tunapenda kuitakia ushindi Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” katika mashindano ya Afcon ...
Media Removed
Tunapenda kuitakia ushindi Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” katika mashindano ya Afcon dhidi ya Uganda, UZALENDO KWANZA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Je! Unazungumziaje kikosi cha @taifastars_ kuelekea mpambano huu ? #KitaaKinatuamini Tunapenda kuitakia ushindi Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” katika mashindano ya Afcon dhidi ya Uganda, UZALENDO KWANZA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Je! Unazungumziaje kikosi cha @taifastars_ kuelekea mpambano huu ? #KitaaKinatuamini
#Halftime ITA  Vs  POL🇵🇱 .   *P. Zieliński. ••• Assist ya Lewandoski yazaa bao Dakika ya ...
Media Removed
#Halftime ITA Vs POL🇵🇱 . *P. Zieliński. ••• Assist ya Lewandoski yazaa bao Dakika ya 40', Italy wako nyuma! #Mtazamo wako wa mchezo kuelekea kipindi cha pili ni upi? cc @allykashushu @wilsonoruma1 #KitaaKinatuamini #Halftime 🇮🇹ITA 0⃣ Vs 1⃣ POL🇵🇱 .
⚽ 🏃 *P. Zieliński.

Assist ya Lewandoski yazaa bao Dakika ya 40', Italy wako nyuma! #Mtazamo wako wa mchezo kuelekea kipindi cha pili ni upi? cc @allykashushu @wilsonoruma1 #KitaaKinatuamini
Hii ni Mara ya Kwanza Kwa Kocha Roberto Mancini kushiriki kwenye mashindano makubwa akiwa na kikosi ...
Media Removed
Hii ni Mara ya Kwanza Kwa Kocha Roberto Mancini kushiriki kwenye mashindano makubwa akiwa na kikosi cha Italy. Pia Brzeczek atakuwa anaiongoza Poland Kwa Mara ya Kwa tangu apewe kazi kuinoa Timu hiyo. ••• Italy na Poland zimekumbwa na janga lakutolewa Kwa mikwaju ya penati kwenye mashindano ... Hii ni Mara ya Kwanza Kwa Kocha Roberto Mancini kushiriki kwenye mashindano makubwa akiwa na kikosi cha Italy. Pia Brzeczek atakuwa anaiongoza Poland Kwa Mara ya Kwa tangu apewe kazi kuinoa Timu hiyo.

Italy na Poland zimekumbwa na janga lakutolewa Kwa mikwaju ya penati kwenye mashindano ya UEFA EURO 2016.

Italy wakiwa nyumbani wameshinda michezo 3 Kati ya mitano dhidi ya Poland, Mengine miwili Wametoa sare.

Mara ya Mwisho Italy kubeba taji la Ulaya ilikuwa mwaka 1968, Mara mbili zingine waliishia Kuwa mshindi wa 2.

🤗Ukitazama kikosi cha Italy Kwasasa kimesheheni vipaji lukuki Kama Donnarumma, Perin, Romagnoli, Jorginho, Pellegrini, Bellotti, Immobile n.k Je! Roberto Mancini ataweza kuwatumia vizuri wachezaji Hawa Katika harakati ya kuirudisha Italy kwenye ubora wake ? 🤔 .

Usikose kutazama mchezo huu Kati ya Italy dhidi Poland ifikapo Saa 3:45 Usiku LIVE kupitia @tv1tanzania ukiwa na wachambuzi wako maridadi
@allykashushu @wilsonoruma1 #KitaaKinatuamini
Read more
Loading...
*UEFA Nations League*  *GER vs FRA. ••• * *GER* 1 Manuel Neuer 17 Jérôme Boateng 5 ...
Media Removed
*UEFA Nations League* *GER vs FRA. ••• * *GER* 1 Manuel Neuer 17 Jérôme Boateng 5 Mats Hummels 16 Antonio Rüdiger 18 Joshua Kimmich 13 Thomas Müller 8 Toni Kroos 4 Matthias Ginter 9 Timo Werner 11 Marco Reus 6 Leon Goretzka. ••• *FRA* 16 Alphonse Areola 5 Samuel ... 🏆 *UEFA Nations League*
⚽ *🇩🇪GER vs FRA🇫🇷.

* *GER🇩🇪*
1 Manuel Neuer
17 Jérôme Boateng
5 Mats Hummels
16 Antonio Rüdiger
18 Joshua Kimmich
13 Thomas Müller
8 Toni Kroos
4 Matthias Ginter
9 Timo Werner
11 Marco Reus
6 Leon Goretzka.

*FRA🇫🇷*
16 Alphonse Areola
5 Samuel Umtiti
4 Raphaël Varane
21 Lucas Hernández
2 Benjamin Pavard
7 Antoine Griezmann
13 N'Golo Kanté
6 Paul Pogba
9 Olivier Giroud
14 Blaise Matuidi
10 Kylian Mbappé

#Uchambuzi --->> ⏰ Saa 3:00 Usiku *
#KickOff --->> ⏰ Saa 3:45 Usiku *
LIVE kupitia @tv1tanzania.

Je! Ujerumani wamejipanga vipi kufuta aibu ya matokeo mabaya yaliyowakumba kwenye Kombe la Dunia? 🤔Vipi tambo la Ufaransa litaendelea kwenye michuano hii mipya? 🤔
#KitaaKimetuamini
Read more
Will Mbappe terminate the German machines tonight? 🤔|| Yes or No? . ••• #Uchambuzi Kuanzia Saa ...
Media Removed
Will Mbappe terminate the German machines tonight? 🤔|| Yes or No? . ••• #Uchambuzi Kuanzia Saa 3:00 Usiku. #KickOff Saa 3:45 Usiku. Usikose @allykashushu @evansmallya @wilsonoruma1 @estermaongezi #KitaaKimetuamini Will Mbappe terminate the German machines tonight? 🤔|| Yes or No? .

#Uchambuzi Kuanzia Saa 3:00 Usiku.
#KickOff Saa 3:45 Usiku.
Usikose @allykashushu @evansmallya @wilsonoruma1 @estermaongezi #KitaaKimetuamini
Leo karata yako unaitupa wapi? 🤔 #UefaNationLeague . ••• Ujerumani au Ufaransa . Kick Off : Saa 3:45 Usiku LIVE kupitia @tv1tanzania #KitaaKimetuamini Leo karata yako unaitupa wapi? 🤔 #UefaNationLeague .

🇩🇪Ujerumani au Ufaransa 🇫🇷 .
Kick Off : Saa 3:45 Usiku LIVE kupitia @tv1tanzania
#KitaaKimetuamini
Loading...
Tazama michezo yote ya #UefaNationLeague kwenye kiganja chako 🤳Kupitia App ya @kweseiflix @iflixtz . Download APP kupitia Play Store & Apple Store ! ••• #KitaaKimetuamini Tazama michezo yote ya #UefaNationLeague kwenye kiganja chako 📱🤳Kupitia App ya @kweseiflix @iflixtz . Download APP kupitia Play Store & Apple Store ! •••
#KitaaKimetuamini
MATCHDAY ~ UEFA NATIONAL LEAGUE. •••• Ujerumani atakuwa nyumbani dhidi ya Ufaransa kwenye hatua ...
Media Removed
MATCHDAY ~ UEFA NATIONAL LEAGUE. •••• Ujerumani atakuwa nyumbani dhidi ya Ufaransa kwenye hatua ya makundi katika League A ya #UefaNationLeague. Usikose kutazama mchezo huu LIVE kupitia @tv1tanzania Alhamisi Hii kuanza 3:45 Usiku . ••• Head to Head : >>> Ujerumani ameshinda Michezo ... MATCHDAY ~ UEFA NATIONAL LEAGUE.
•••• Ujerumani atakuwa nyumbani dhidi ya Ufaransa kwenye hatua ya makundi katika League A ya #UefaNationLeague. Usikose kutazama mchezo huu LIVE kupitia @tv1tanzania Alhamisi Hii kuanza 3:45 Usiku .

Head to Head :
>>> Ujerumani ameshinda Michezo 9, Ufaransa ameshinda Michezo 13 na wametoa sare pacha mara 7.

>>> Bingwa wa Kombe la Dunia mwaka 2014 dhidi ya Bingwa wa Kombe la Dunia 2018.
>>> (Ujerumani) Bingwa wa UEFA EURO mara 3 dhidi ya (Ufaransa) Bingwa wa UEFA EURO mara 2.
>>> Ujerumani alichezea kichapo cha 2-0 mara ya mwisho kukutana kwenye mashindano ya UEFA EURO.

>>> Katika Michezo 5 iliyopita, Ujerumani imechezea kichapo mara 3 na kushinda mara 2.
>>> Katika Michezo 5 iliyopita, Ufaransa imeshinda mara 4 nakutoa droo mara 1.

Je! Ujerumani wamejipanga vipi kufuta aibu ya matokeo mabaya yaliyowakumba kwenye Kombe la Dunia? 🤔Vipi tambo la Ufaransa litaendelea kwenye michuano hii mipya? 🤔
#KitaaKimetuamini
Read more
Yaliyojiri kwenye Kandanda la Premier League ni yapi katika #Matchday4 of 38?. •••• •••• Brighton ...
Media Removed
Yaliyojiri kwenye Kandanda la Premier League ni yapi katika #Matchday4 of 38?. •••• •••• Brighton 2-2 Fulham Burnley 0-2 Man United Cardiff 2-3 Arsenal Chelsea 2-0 Bournemouth Crystal Palace 0-2 Southampton Everton 1-1 Huddersfield Leicester 1-2 Liverpool Man City 2-1 Newcastle Watford ... Yaliyojiri kwenye Kandanda la Premier League ni yapi katika #Matchday4 of 38?.

Brighton 2-2 Fulham
Burnley 0-2 Man United
Cardiff 2-3 Arsenal
Chelsea 2-0 Bournemouth
Crystal Palace 0-2 Southampton
Everton 1-1 Huddersfield
Leicester 1-2 Liverpool
Man City 2-1 Newcastle
Watford 2-1 Tottenham
West Ham 0-1 Wolves

Leicester City atolewa povu na Liverpool kwenye kipigo cha 2-1, Msimu huu Sadio Mane kufanya maajabu🤔?.

>>United yabebwa na Lukaku katika ushindi wa 2 bila, Mashabiki wa United wanasema Ligi ndiyo imeanza rasmi 🤔?.

>> Watford bado hajapoteza mchezo wowote, Tumeshuhudia akitoka na pointi 3 katika michezo 4 ya ufunguzi, Je! Tutarajie kasi hii mpaka mwisho wa msimu 🤔?.

>>Sarri anaendelea kufaulu mtiani wa EPL na matokeo safi, Tathmini yako ya Arsenal ya Unai Emery ni ipi🤔?.

Usikose kutazama kipindi cha Kandanda la Premier League kuyajua ni yapi yaliyojiri kwenye Ligi kuu ya Uingereza Jumatano Hii Saa 2:30 Usiku LIVE kupitia TV1 Tanzania.
🗣️@AllyKashushu @EvansMallya @Wilsonoruma1 #KitaaKimetuamini
Read more
Loading...
Usikose kutazama mchezo wa kirafiki Kati ya Slovakia dhidi ya Denmark Jumatano Hii Saa 3:30 Usiku ...
Media Removed
Usikose kutazama mchezo wa kirafiki Kati ya Slovakia dhidi ya Denmark Jumatano Hii Saa 3:30 Usiku LIVE kupitia @Tv1Tanzania . ••• Slovakia imepoteza michezo yote dhidi ya Denmark, Katika mchezo wa Mwisho Slovakia amechezea kichapo cha 4-0 . 🤗 Baada ya Kuwa na Msimu bora wa Kombe la dunia,Wenda ... Usikose kutazama mchezo wa kirafiki Kati ya Slovakia dhidi ya Denmark Jumatano Hii Saa 3:30 Usiku LIVE kupitia @Tv1Tanzania .

Slovakia imepoteza michezo yote dhidi ya Denmark, Katika mchezo wa Mwisho Slovakia amechezea kichapo cha 4-0 . 🤗 Baada ya Kuwa na Msimu bora wa Kombe la dunia,Wenda Mshambuliaji wenyewe asilia ya Tanzania Yusuf Poulsen atakuwa uwanjani dhidi ya Slovakia Leo hii ,Je! Tutegemee kichapo Kwa Slovakia Kwa Mara nyingine ? 🤔 #KitaaKimetuamini
Read more
Imebaki siku mmoja mpaka #UefaNationLeague Kuanza Rasmi !🤗 Je! Unadhani ni Timu ipi itafanya vizuri ...
Media Removed
Imebaki siku mmoja mpaka #UefaNationLeague Kuanza Rasmi !🤗 Je! Unadhani ni Timu ipi itafanya vizuri katika mashindano haya mapya katika bara la Ulaya?🤔 . ••• Mchezo wa Kwanza : UJERUMANI Vs. UFARANSA | Alhamisi Hii kuanzia Saa 3:45 Usiku LIVE kupitia @tv1tanzania #KitaaKimetuamini Imebaki siku mmoja mpaka #UefaNationLeague Kuanza Rasmi !🤗 Je! Unadhani ni Timu ipi itafanya vizuri katika mashindano haya mapya katika bara la Ulaya?🤔 .

Mchezo wa Kwanza :
UJERUMANI Vs. UFARANSA | Alhamisi Hii kuanzia Saa 3:45 Usiku LIVE kupitia @tv1tanzania #KitaaKimetuamini
We see your numbers bro! @memphisdepay . ••• Wapiga pasi za muhimu katika ligi 5 za juu za Ulaya ...
Media Removed
We see your numbers bro! @memphisdepay . ••• Wapiga pasi za muhimu katika ligi 5 za juu za Ulaya Miami huu : Depay 🥇 Payet 🥈 Messi 🥉. ••• Amesahaulika nani hapo? 🤔. #KitaaKimetuamini We see your numbers bro! @memphisdepay 👀.

Wapiga pasi za muhimu katika ligi 5 za juu za Ulaya Miami huu :

Depay 🥇
Payet 🥈
Messi 🥉.

Amesahaulika nani hapo? 🤔. #KitaaKimetuamini
Hii ni mara ya kwanza tangu mwaka 2013, Roger Federer ameshindwa kufika hatua ya robo ya fainali ...
Media Removed
Hii ni mara ya kwanza tangu mwaka 2013, Roger Federer ameshindwa kufika hatua ya robo ya fainali ya #USOpen, John Millman ambae anashika nafasi ya 55 duniani kwa ubora, ameduwaza dunia kwa ushindi wa seti 3-6 7-5 7-6 7-6! #KitaaKimetuamini Hii ni mara ya kwanza tangu mwaka 2013, Roger Federer ameshindwa kufika hatua ya robo ya fainali ya #USOpen, John Millman ambae anashika nafasi ya 55 duniani kwa ubora, ameduwaza dunia kwa ushindi wa seti 3-6 7-5 7-6 7-6!
#KitaaKimetuamini
100 - Captain wa Timu ya Watford Troy Deeney amekuwa mchezaji wa nne kufikisha mabao 100 akiwa na ...
Media Removed
100 - Captain wa Timu ya Watford Troy Deeney amekuwa mchezaji wa nne kufikisha mabao 100 akiwa na Watford katika mashindano yote, baada ya Tommy Barnett, Ross Jenkins na Luther Blissett. ••• Premier League Record Appearances 108 Goals 30 Assists 14 ••• #TuesdayWisdom : “ One of ... 100 - Captain wa Timu ya Watford Troy Deeney amekuwa mchezaji wa nne kufikisha mabao 100 akiwa na Watford
katika mashindano yote, baada ya Tommy Barnett, Ross Jenkins na Luther Blissett.

Premier League Record

Appearances 108
Goals 30
Assists 14

#TuesdayWisdom : “ One of the advantages of being Captain is being able to ask for advice without necessarily having to take it."
#KitaaKimetuamini
Read more
#MsimamoEPL : 1.Liverpool - Pointi 12 . 2.Chelsea - Pointi 12. 3.Watford - Pointi 12 . 4.Manchester ...
Media Removed
#MsimamoEPL : 1.Liverpool - Pointi 12 . 2.Chelsea - Pointi 12. 3.Watford - Pointi 12 . 4.Manchester City - Pointi 10 ••• 🤔 Je! Watford yuko mbioni kufanya maajabu kama ya Leicester City? #KitaaKimetuaminiv #MsimamoEPL :
1.Liverpool - Pointi 12 🔝.
2.Chelsea - Pointi 12🔝.
3.Watford - Pointi 12 🔝.
4.Manchester City - Pointi 10🔝

🤔 Je! Watford yuko mbioni kufanya maajabu kama ya Leicester City? #KitaaKimetuaminiv
Ujerumani atakuwa nyumbani dhidi ya Ufaransa kwenye hatua ya makundi katika League A ya #UefaNationLeague. ...
Media Removed
Ujerumani atakuwa nyumbani dhidi ya Ufaransa kwenye hatua ya makundi katika League A ya #UefaNationLeague. Usikose kutazama mchezo huu LIVE kupitia @tv1tanzania Alhamisi Hii kuanza 3:45 Usiku . ••• Head to Head : >>> Ujerumani ameshinda Michezo 9, Ufaransa ameshinda Michezo 13 na ... Ujerumani atakuwa nyumbani dhidi ya Ufaransa kwenye hatua ya makundi katika League A ya #UefaNationLeague. Usikose kutazama mchezo huu LIVE kupitia @tv1tanzania Alhamisi Hii kuanza 3:45 Usiku .

Head to Head :
>>> Ujerumani ameshinda Michezo 9, Ufaransa ameshinda Michezo 13 na wametoa sare pacha mara 7.

>>> Bingwa wa Kombe la Dunia mwaka 2014 dhidi ya Bingwa wa Kombe la Dunia 2018.
>>> (Ujerumani) Bingwa wa UEFA EURO mara 3 dhidi ya (Ufaransa) Bingwa wa UEFA EURO mara 2.
>>> Ujerumani alichezea kichapo cha 2-0 mara ya mwisho kukutana kwenye mashindano ya UEFA EURO.

>>> Katika Michezo 5 iliyopita, Ujerumani imechezea kichapo mara 3 na kushinda mara 2.
>>> Katika Michezo 5 iliyopita, Ufaransa imeshinda mara 4 nakutoa droo mara 1.

Je! Ujerumani wamejipanga vipi kufuta aibu ya matokeo mabaya yaliyowakumba kwenye Kombe la Dunia? 🤔Vipi tambo la Ufaransa litaendelea kwenye michuano hii mipya? 🤔
#KitaaKimetuamini
Read more
INTERNATIONAL BREAK YA KIBABE! #UefaNationLeague Coming Soon kupitia @tv1tanzania ... ••• Kuanzia tarehe 6 Septemba, 2018 (Kila mechi itakuwa LIVE kupitia @tv1tanzania) STAY TUNED! #KitaaKimetuamini INTERNATIONAL BREAK YA KIBABE! #UefaNationLeague Coming Soon kupitia @tv1tanzania ...
••• Kuanzia tarehe 6 Septemba, 2018 (Kila mechi itakuwa LIVE kupitia @tv1tanzania) STAY TUNED! #KitaaKimetuamini
FT :Chelsea 2-0 Bournemouth (Pedro 72' , Hazard 88'). ••• >>Gundu la Hazard akiwa Stamford Bridge ...
Media Removed
FT :Chelsea 2-0 Bournemouth (Pedro 72' , Hazard 88'). ••• >>Gundu la Hazard akiwa Stamford Bridge limekwisha. >>Chelsea ameshinda michezo yote minne ya ufunguzi kwenye Premier League, Mara ya mwisho kushinda hivyo amebeba Kombe la Ligi. Tutegemee ndoo kurudi Darajani msimu huu? ... FT :Chelsea 2-0 Bournemouth (Pedro 72' , Hazard 88').

>>Gundu la Hazard akiwa Stamford Bridge limekwisha.
>>Chelsea ameshinda michezo yote minne ya ufunguzi kwenye Premier League, Mara ya mwisho kushinda hivyo amebeba Kombe la Ligi. Tutegemee ndoo kurudi Darajani msimu huu? #KitaaKimetuamini
Read more
Dakika ya 85: Chelsea 1-0 Bournemouth (Pedro 72') (Ball Possession CHEL 74% - BOU 26%). ••• Sarri ...
Media Removed
Dakika ya 85: Chelsea 1-0 Bournemouth (Pedro 72') (Ball Possession CHEL 74% - BOU 26%). ••• Sarri Ball Effect #KitaaKimetuamini Dakika ya 85: Chelsea 1-0 Bournemouth (Pedro 72') (Ball Possession CHEL 74% - BOU 26%).

Sarri Ball Effect
#KitaaKimetuamini
*Kandanda La Premier League*  *Chelsea vs AFC Bournemouth*. ••• *Kikosi cha Chelsea*. ••• 1 ...
Media Removed
*Kandanda La Premier League* *Chelsea vs AFC Bournemouth*. ••• *Kikosi cha Chelsea*. ••• 1 Kepa Arrizabalaga (Goalkeeper) 28 César Azpilicueta (Defender) 2 Antonio Rüdiger (Defender) 30 David Luiz (Defender) 3 Marcos Alonso (Midfielder) 7 N'Golo Kanté (Midfielder) 5 ... 🏆 *Kandanda La Premier League*
⚽ *Chelsea vs AFC Bournemouth*.

*Kikosi cha Chelsea*.

1 Kepa Arrizabalaga (Goalkeeper)
28 César Azpilicueta (Defender)
2 Antonio Rüdiger (Defender)
30 David Luiz (Defender)
3 Marcos Alonso (Midfielder)
7 N'Golo Kanté (Midfielder)
5 Jorginho (Midfielder)
17 Mateo Kovačić (Midfielder)
22 Willian (Forward)
29 Álvaro Morata (Forward)
10 Eden Hazard (Forward).

*Kikosi cha AFC Bournemouth*.

27 Asmir Begović (Goalkeeper)
2 Simon Francis (Defender)
3 Steve Cook (Defender)
5 Nathan Aké (Defender)
21 Diego Rico (Defender)
15 Adam Smith (Defender)
4 Dan Gosling (Midfielder)
8 Jefferson Lerma (Midfielder)
24 Ryan Fraser (Midfielder)
17 Joshua King (Forward)
13 Callum Wilson (Forward) ⏰ #KickOff Saa 11:00 Jioni #KitaaKimetuamini
Read more
🗣Utabiri wako ni upi?🤔Pointi 3 zitatoka leo au Sare ya nyau nyau ?  Head-to-head⚔️. ••• Chelsea ...
Media Removed
🗣Utabiri wako ni upi?🤔Pointi 3 zitatoka leo au Sare ya nyau nyau ? Head-to-head⚔️. ••• Chelsea wameshinda michezo 9 kati ya 12 waliocheza dhidi ya Bournemouth, Michezo 6 ya mwisho Bournemouth amechezea kichapo nara kwenye Premier League. Bournemouth wameshinda michezo 5 ya ... 🗣Utabiri wako ni upi?🤔Pointi 3 zitatoka leo au Sare ya nyau nyau ? 😌

Head-to-head⚽⚔️.

Chelsea wameshinda michezo 9 kati ya 12 waliocheza dhidi ya Bournemouth, Michezo 6 ya mwisho Bournemouth amechezea kichapo nara kwenye Premier League.

Bournemouth wameshinda michezo 5 ya Ugenini kati ya michezo 6 kwenye ratiba yake ya Premier League.

📍Chelsea

Kama Chelsea atashinda mchezo wa Leo, Bhasii atakuwa amevunja rekodi yake mwenyewe. Chelsea ndiyo timu pekee iliyokuwa na rekodi ya kushinda michezo 4 ya mwanzo wa msimu kwenye Premier League kwa misimu 6.

Chelsea ameshinda taji mara zote anapo shinda michezo 4 ya ufunguzi wa msimu .
Eden Hazard amefunga mara 4 dhidi ya Bournemouth, Chelsea ameshinda michezo yote Hazard ametikisa nyavu dhidi Bournemouth.

Hata hivyo, Hazard amefunga magoli mawili tu kati ya michezo 17 aliocheza nyumbani Stamford Bridge.

Jorginho amepiga pasi nyingi (338) kwenye mchezo uliyopita, Amepiga pasi 82 zaidi ya wachezaji wote kwenye Ligi.

📍Bournemouth

Mara ya mwisho Bournemouth kushinda michezo 4 ya ufunguzi ilikuwa mwaka 1998.

Bournemouth anatafuta ushindi wa 3 mfululizo akiwa ugenini kwenye Premier League kwa mara ya kwanza.

Bournemouth ameshinda mechi 2 tu dhidi ya Top 6 akiwa ugenini mara 18 , amefungwa mara 14, ametoa sare mara 2.

Mchezaji mpya wa Bournemouth Jefferson Lerma anatarajiwa kuanza mchezo wake wa kwanza kwenye Premier League, Pia Adam Smith anategemewa kurejea uwanjani baada adhabu kuisha.

Usikose kutazama mchezo kati ya @ChelseaFC dhidi ya @afcbournemouth Jumamosi Hii Saa 11:00 Jioni LIVE kupitia kipindi cha Kandanda la Premier League . 🗣️ @AllyKashushu | @EvansMallya | @Wilsonoruma | @DrLeakyAbdallah #KitaaKimetuamini #KandandaLaPremierLeague
Read more
Yatayojiri kwenye Kandanda la Premier League ni yapi katika #Matchday4 of 38?. •••• •••• Brighton ...
Media Removed
Yatayojiri kwenye Kandanda la Premier League ni yapi katika #Matchday4 of 38?. •••• •••• Brighton v Fulham Burnley v Man United Cardiff v Arsenal Chelsea v Bournemouth Crystal Palace v Southampton Everton v Huddersfield Leicester v Liverpool Man City v Newcastle Watford ... Yatayojiri kwenye Kandanda la Premier League ni yapi katika #Matchday4 of 38?.

Brighton v Fulham
Burnley v Man United
Cardiff v Arsenal
Chelsea v Bournemouth
Crystal Palace v Southampton
Everton v Huddersfield
Leicester v Liverpool
Man City v Newcastle
Watford v Tottenham
West Ham v Wolves.

Leicester City atakuwa nyumbani dhidi ya Liverpool, Unazungumziaje kombinesheni ya Salah-Firmino-Mane-Keita kuelekea mchezo wa kesho🤔?.

>>Kocha Jose Mourinho amejitambia kuwa yeye ni mmoja wa makocha bora zaidi duniani kuelekea mchezo dhidi ya Burnley, Je! Jose ataonesha makali yake akiwa ugenini 🤔?.

>> Watford bado hajapoteza mchezo wowote, Tumeshuhudia akitoka na pointi 3 katika michezo 3 ya ufunguzi, Je! Tutarajie kuona maajabu kutoka kwa Watford dhidi ya Spurs🤔?.

>> Chelsea na kibarua kigumu dhidi ya Bournemouth, Man City dhidi ya Newcastle United, Yupi atatoka na pointi 3 🤔?.

Usikose kutazama kipindi cha Kandanda la Premier League kuyajua ni yapi yatakayojiri kwenye Ligi kuu ya Uingereza Ijumaa Hii Saa 2:00 Usiku LIVE kupitia TV1 Tanzania.
🗣️@AllyKashushu @EvansMallya @Wilsonoruma1
#KitaaKimetuamini
Read more
Usikose kutazama #FridayFightNight Ijumaa Hii ushuhudie mabondia wakali 'Ngumi Jiwe' kutoka barani Afrika wakiminyana ulingoni kuanzia mishale ya Saa 3:00 Usiku #KitaaKimetuamini Usikose kutazama #FridayFightNight Ijumaa Hii ushuhudie mabondia wakali 'Ngumi Jiwe' kutoka barani Afrika wakiminyana ulingoni kuanzia mishale ya Saa 3:00 Usiku #KitaaKimetuamini
Loading.......!!!!  Msimu Mpya wa #SekesekeMichezoni . #KitaaKimetuamini @sekesekemichezoni
Media Removed
Loading.......!!!! Msimu Mpya wa #SekesekeMichezoni . #KitaaKimetuamini @sekesekemichezoni Loading.......!!!! 🔜🔜🔜🔜🔜🔜📺
Msimu Mpya wa #SekesekeMichezoni .
#KitaaKimetuamini
@sekesekemichezoni
#UefaNationLeague Coming Soon ... Kuanzia tarehe 6 Septemba, 2018 (Kila mechi itakuwa LIVE kupitia ...
Media Removed
#UefaNationLeague Coming Soon ... Kuanzia tarehe 6 Septemba, 2018 (Kila mechi itakuwa LIVE kupitia @tv1tanzania) STAY TUNED! #KitaaKimetuamini #UefaNationLeague Coming Soon ... Kuanzia tarehe 6 Septemba, 2018 (Kila mechi itakuwa LIVE kupitia @tv1tanzania) STAY TUNED! #KitaaKimetuamini
UEFA presents "The UEFA Nations League . ••• 😎 KITAA KIMETUAMINI USIKAE MBALI NA RUNINGA YAKO MWEZI SEPTEMBA!! @estermaongezi @ibrafalcao @allykashushu @evansmallya @wilsonoruma1 @samson_batholomeo @nurdinpallangyo @mgopekiwanga @jdsayi @gptesha @dsizya @hance_magoyo ... UEFA presents "The UEFA Nations League .

😎 KITAA KIMETUAMINI ⚽⚽⚽USIKAE MBALI NA RUNINGA YAKO MWEZI SEPTEMBA!! @estermaongezi @ibrafalcao @allykashushu @evansmallya @wilsonoruma1 @samson_batholomeo @nurdinpallangyo @mgopekiwanga @jdsayi @gptesha @dsizya @hance_magoyo @mukhsinmambo1970 @teejay_tz @moda_artz @karabani @godwin_mawanja @shedracksteven
#KitaaKimetuamini #TorokaUjeTv1 #KFSTanzania #Uefa #UefaNationLeague
Read more
Usiache kufatilia mashindano ya COPA LIBERTADORES wiki hii kupitia runinga yako pendwa ya TV1 ...
Media Removed
Usiache kufatilia mashindano ya COPA LIBERTADORES wiki hii kupitia runinga yako pendwa ya TV1 Tanzania . ••• >> Jumanne Hii | Santos FC (BRA) vs. Independiete | Saa 7:30 Usiku . Ni timu zipi zitafika hatua ya robo fainali ? #CopaLibertadores #SantosFC #Independiete Usiache kufatilia mashindano ya COPA LIBERTADORES wiki hii kupitia runinga yako pendwa ya TV1 Tanzania .

>> Jumanne Hii | Santos FC (BRA) vs. Independiete | Saa 7:30 Usiku .
Ni timu zipi zitafika hatua ya robo fainali ? #CopaLibertadores #SantosFC #Independiete
Goli la Cristiano Ronaldo dhidi ya Juventus limechaguliwa kuwa goli bora la msimu - UEFA. #CR7 ...
Media Removed
Goli la Cristiano Ronaldo dhidi ya Juventus limechaguliwa kuwa goli bora la msimu - UEFA. #CR7 #Cristiano #Juventus #CR7JUVE Goli la Cristiano Ronaldo dhidi ya Juventus limechaguliwa kuwa goli bora la msimu - UEFA.

#CR7 #Cristiano #Juventus #CR7JUVE
Jumamosi Hii kwenye Kandanda La Premier League . ••• Baada ya ushindi mwembamba dhidi ya Newcastle United, Je! Kocha Maurizio Sarri ataendeleza kutoa dozi ya ushindi dhidi Bournemouth ? . ••• @AllyKashushu @EvansMallya @Wilsonoruma1 @estermaongezi #KandandaLaPremierLeague ... Jumamosi Hii kwenye Kandanda La Premier League .

Baada ya ushindi mwembamba dhidi ya Newcastle United, Je! Kocha Maurizio Sarri ataendeleza kutoa dozi ya ushindi dhidi Bournemouth ? .
••• @AllyKashushu @EvansMallya @Wilsonoruma1 @estermaongezi #KandandaLaPremierLeague #EPL #PremierLeague #Chlesea #Jorginho
#Chelsea #KandandaLaPremierLeague #PremierLeague #Bournemouth #Epl
Read more
Real Madrid Mpya ndo hii ?🤔 Barcelona ya pasi iko wapi ? ...!!!. ••• Kocha wa Real Madrid Lopetegui ...
Media Removed
Real Madrid Mpya ndo hii ?🤔 Barcelona ya pasi iko wapi ? ...!!!. ••• Kocha wa Real Madrid Lopetegui ameanza kazi vyema katika Ligi kuu ya hispania 'La Liga' kwakupata ushindi katika michezo miwili ya ufunguzi. Lakini Lopetegui amepata sifa nyingi kwa kuijenga Real Madrid yenye kupiga ... Real Madrid Mpya ndo hii ?🤔 Barcelona ya pasi iko wapi ? ...!!!.

Kocha wa Real Madrid Lopetegui ameanza kazi vyema katika Ligi kuu ya hispania 'La Liga' kwakupata ushindi katika michezo miwili ya ufunguzi.

Lakini Lopetegui amepata sifa nyingi kwa kuijenga Real Madrid yenye kupiga pasi nyingi na kuwazidi wapinzani wao Barcelona tangu alipopewa kibarua cha kuinoa Madrid.

Je! Tutarajie Real Madrid mpya ya kugonga pasi nyingi msimu huu?🤔.
🗣️ @AllyKashushu | @EvansMallya | @Wilsonoruma1
Read more
Ripoti tofauti zinasema wenda Mesut Ozil haitajiki kwenye kikosi na mipango ya Kocha mpya wa Arsenal ...
Media Removed
Ripoti tofauti zinasema wenda Mesut Ozil haitajiki kwenye kikosi na mipango ya Kocha mpya wa Arsenal Unai Emery. (Source @MarkOgden_ #KweseEspn). *** •Arsenal wakiwa na Ozil. >> Arsenal 0-2 Man City. >> Chelsea 3-2 Arsenal. •Arsenal Bila Mesut Ozil. >> Arsenal 3-1 Westham. Je! ... Ripoti tofauti zinasema wenda Mesut Ozil haitajiki kwenye kikosi na mipango ya Kocha mpya wa Arsenal Unai Emery. (Source @MarkOgden_ #KweseEspn).

•Arsenal wakiwa na Ozil.
>> Arsenal 0-2 Man City.
>> Chelsea 3-2 Arsenal.
•Arsenal Bila Mesut Ozil.
>> Arsenal 3-1 Westham.

Je! Kuna umuhimu wa Mesut Ozil katika ujenzi wa timu mpya ya Arsenal chini ya Unai Emery?
@AllyKashushu @EvansMallya @Wilsonoruma1 @estermaongezi #KandandaLaPremierLeague #EPL #PremierLeague #Chlesea #Jorginho
Read more
Fred anasema hivi : 🗣️ Lazima Spurs ale kichapo tu, Kama United inataka ubingwa . ••• ••• Tumemsikia ...
Media Removed
Fred anasema hivi : 🗣️ Lazima Spurs ale kichapo tu, Kama United inataka ubingwa . ••• ••• Tumemsikia Fred, Je! wewe utabiri wako umekaa vipi kuhusu mchezo wa Spurs dhdi ya Manchester United?🤔. ••• @AllyKashushu @EvansMallya @Wilsonoruma1 @estermaongezi #KandandaLaPremierLeague ... Fred anasema hivi : 🗣️ Lazima Spurs ale kichapo tu, Kama United inataka ubingwa .

Tumemsikia Fred, Je! wewe utabiri wako umekaa vipi kuhusu mchezo wa Spurs dhdi ya Manchester United?🤔.

@AllyKashushu @EvansMallya @Wilsonoruma1 @estermaongezi #KandandaLaPremierLeague #EPL #PremierLeague #Chlesea #Jorginho #ManUtd #Spurs #KandandaLaPL
Read more
Master Pass it - Jorginho🤩. ••• Wapiga pasi hatari kwenye Premier League wanaoshikilia rekodi ...
Media Removed
Master Pass it - Jorginho🤩. ••• Wapiga pasi hatari kwenye Premier League wanaoshikilia rekodi ya kupiga pasi nyingi dhidi ya timu mmoja🤗 :. ••• 🥇 İlkay Gündoğan: 167 vs. Chelsea (2017/18). 🥈 Fernandinho: 164 vs. Everton (2017/18). 🥉 Jorginho: 158 vs. Newcastle (2018/19). •••• Imemchukua ... Master Pass it - Jorginho🤩.

Wapiga pasi hatari kwenye Premier League wanaoshikilia rekodi ya kupiga pasi nyingi dhidi ya timu mmoja🤗 :.

🥇 İlkay Gündoğan: 167 vs. Chelsea (2017/18).
🥈 Fernandinho: 164 vs. Everton (2017/18).
🥉 Jorginho: 158 vs. Newcastle (2018/19).

Imemchukua Jorginho michezo mitatu tu kuingia kwenye Top3 ya wapiga pasi hatari (Per Game). Je! Jorginho Yuko mbioni kuitetemesha Premier League kwenye idara ya kiungo msimu huu ?🤔. ***
@AllyKashushu @EvansMallya @Wilsonoruma1 @estermaongezi #KandandaLaPremierLeague #EPL #PremierLeague #Chlesea #Jorginho
Read more
Chelsea Mwendokasi ...9 points😎 ••• Maurizio Sarri x Gianfranco Zola ! #CFC #Chelsea
Media Removed
Chelsea Mwendokasi ...9 points😎 ••• Maurizio Sarri x Gianfranco Zola ! #CFC #Chelsea Chelsea Mwendokasi ...9 points😎

Maurizio Sarri x Gianfranco Zola ! #CFC #Chelsea
Liverpool is on Top of the Table... ••• 3 Wins, 3 Clean Sheet, 0 goals conceded. ••• Kuna anae ...
Media Removed
Liverpool is on Top of the Table... ••• 3 Wins, 3 Clean Sheet, 0 goals conceded. ••• Kuna anae bisha? Hiyo bado mapema vipi? 🤔 #KandandaLaPremierLeague @allykashushu @evansmallya @wilsonoruma1 @estermaongezi Liverpool is on Top of the Table...

3 Wins, 3 Clean Sheet, 0 goals conceded.

Kuna anae bisha? Hiyo bado mapema vipi? 🤔 #KandandaLaPremierLeague
@allykashushu @evansmallya @wilsonoruma1 @estermaongezi
Mapumziko... Arsenal 1-1 westham (Nacho Monreal 30', Marko Arnautovic 25'). ••• Tutegemee ...
Media Removed
Mapumziko... Arsenal 1-1 westham (Nacho Monreal 30', Marko Arnautovic 25'). ••• Tutegemee nini kipindi cha pili ? #Arsenal #westham #KandandaLaPremierLeague #PremierLeague Mapumziko... Arsenal 1-1 westham (Nacho Monreal 30', Marko Arnautovic 25').

Tutegemee nini kipindi cha pili ? #Arsenal #westham #KandandaLaPremierLeague #PremierLeague
It's MATCHDAY !!. Uchambuzi wa kina kwanzia mishale ya Saa 10:30 Jioni ukiwa na @allykashushu ...
Media Removed
It's MATCHDAY !!. Uchambuzi wa kina kwanzia mishale ya Saa 10:30 Jioni ukiwa na @allykashushu @evansmallya @wilsonoruma1. ••• ••• Westham na Arsenal wameanza msimu vibaya kwa vichapo mfululizo, Je! Ni yupi atakwepa kupoteza mchezo wa 3 mfululizo Katika London Derby ya Leo ? 🤔. ••• Utabiri ... It's MATCHDAY !!⚽.
Uchambuzi wa kina kwanzia mishale ya Saa 10:30 Jioni ukiwa na @allykashushu @evansmallya @wilsonoruma1.

Westham na Arsenal wameanza msimu vibaya kwa vichapo mfululizo, Je! Ni yupi atakwepa kupoteza mchezo wa 3 mfululizo Katika London Derby ya Leo ? 🤔.

Utabiri wako ni upi?
Read more
#Repost @fifaworldcup ••• Congratulations Japan!  You are U-20 women’s world champions ...
Media Removed
#Repost @fifaworldcup ••• Congratulations Japan! You are U-20 women’s world champions 2018! #U20WWC #Japan #Brittany #DareToShine #LeMomentDeBriller #Repost @fifaworldcup

Congratulations Japan! 🇯🇵
You are U-20 women’s world champions 2018! 🏆
#U20WWC #Japan #Brittany #DareToShine #LeMomentDeBriller
Usikose kutazama mchezo kati ya @arsenal dhidi ya @westham Jumamosi Hii Saa 11:00 Jioni LIVE kupitia ...
Media Removed
Usikose kutazama mchezo kati ya @arsenal dhidi ya @westham Jumamosi Hii Saa 11:00 Jioni LIVE kupitia kipindi cha Kandanda la Premier League . 🗣️ @AllyKashushu | @EvansMallya | @Wilsonoruma | @DrLeakyAbdallah. ••• Head-to-head ••• >>Arsenal wamepoteza mchezo mmoja tu Kati ya michezo ... Usikose kutazama mchezo kati ya @arsenal dhidi ya @westham Jumamosi Hii Saa 11:00 Jioni LIVE kupitia kipindi cha Kandanda la Premier League .
🗣️ @AllyKashushu | @EvansMallya | @Wilsonoruma | @DrLeakyAbdallah.

Head-to-head

>>Arsenal wamepoteza mchezo mmoja tu Kati ya michezo 22 iliyopita dhidi ya Westham(Wameshinda 17, Wametoa sare Mara 4).
>>Westham wamepoteza Michezo 28 ya Premier League dhidi Arsenal.
West Ham Kwa upande mwingine inarekodi ya kushinda michezo 5 ya Ugenini dhidi Arsenal, Ni Manchester United (8) naLiverpool (7) Pekee walioshinda zaidi nyumbani Kwa Arsenal.
>>Hii no Mara ya Kwanzaa Arsenal na Westham wameanza Ligi Kwa Vichapo kwenye mechi mbili za ligi mfululizo.

Arsenal.

Wenda Arsenal ikapoteza mchezo wa Tatu mfululizo, Mara ya mwisho kutokea ilikuwa Msimu 1954-55, na ilikuwa Mara yao ya sita kukumbwa na matokeo ya hivyo.Arsenal haijapoteza michezo 9 iliyopita ya London derbies wakiwa nyumbani kwenye EPL.
>>Ukiitoa Manchester City, Hakuna timu nyingine zaidi ya Arsenal ambayo imejibebea pointi ikiwa nyumbani.
>>Mesut Ozil ametoa assist 2 na kufunga mabao 3 Katika michezo 4 iliyopita dhidi ya Westham.

West Ham United.

Wagonga nyundo wameruhusu mabao 74 tangu Msimu uliyopita, Idadi kubwa kuliko timu yoyote kwenye EPL.
>>Kocha Manuel Pellegrini ameshinda michezo 11 dhidi ya Arsenal kwenye mashindano yote, Alimchapa Arsenal 6-3 akiwa kocha wa Manchester City mwaka 2013.
>>West Ham wamepoteza michezo mitatu mfululizo Mara mbili tu Katika historia yao, Mwaka 1920 na 2010.
>>Marko Arnautovic amehusika Katika mabao 12 yaliyofungwa na West Ham (Amefunga matano, Ametoa assist matatu).

Westham na Arsenal wameanza msimu vibaya kwa vichapo mfululizo, Je! Ni yupi atakwepa kupoteza mchezo wa 3 mfululizo Katika London Derby ya Leo ? 🤔
#KwaKishindo #Epl #KandandaLaPremierLeague #Tv1Tanzania #KFSTanzania #Arsenal #westham
Read more
Yatakayojiri kwenye Kandanda la Premier League ni yapi katika #Matchday3 of 38?. •••• •••• Kocha ...
Media Removed
Yatakayojiri kwenye Kandanda la Premier League ni yapi katika #Matchday3 of 38?. •••• •••• Kocha wa Wolves Nuno Espírito Santo amesema hawatobadilisha aina ya uchezaji dhidi ya Man City, Je! wataweza kutumia vizuri uwanja wao wa nyumbani?. ••• >>Kocha wa Arsenal Unai Emery ametoboa ... Yatakayojiri kwenye Kandanda la Premier League ni yapi katika #Matchday3 of 38?.

Kocha wa Wolves Nuno Espírito Santo amesema hawatobadilisha aina ya uchezaji dhidi ya Man City, Je! wataweza kutumia vizuri uwanja wao wa nyumbani?.

>>Kocha wa Arsenal Unai Emery ametoboa siri ya kuzungumza na Jack Wilshere kwa zaidi ya dakika 15 kabla mchezaji huyo kusepa klabuni hapo,Kesho Wilshere atarejea Emirates dhidi ya timu yake ya zamani, Je! Tutegemee nini katika mchezo huo?

>>Baada ya kumchapa Man United, Sasa Brighton yamvaa Liverpool wakiwa nyumbani, Je! Liverpool kuonesha mabavu au madogo watamwaga mboga ?.

>>Katika win Possibility ya mchezo wa Everton dhidi ya Bournemouth majarida mengi yametoa asilimia 37%-36%, Bado timu zote hazijapoteza mchezo wa EPL, Je! nani ataibuka na pointi tatu kwenye mchezo huu mgumu?.

>> Pochettino asema hataki kumchukulia poa Jose Mourinho kuelekea mchezo wa J'Tatu ijayo, Je! Unakubaliana na kauli ya Pochettino dhidi ya mifumo ya Jose?

Usikose kutazama kipindi cha Kandanda la Premier League kuyajua ni yapi yatakayojiri kwenye Ligi kuu ya Uingereza, Ifikapo Saa 4:30 Usiku LIVE kupitia @TV1 Tanzania .
🗣️ @AllyKashushu | @EvansMallya | @Wilsonoruma | @DrLeakyAbdallah #KwaKishindo #EPL #Mancity #Mufc #ARS #Liverpool #Chelsea
Read more
#Habari Miili ya watu watatu ambayo haijafahamika mara moja imeokotwa kandokando ya barabara ...
Media Removed
#Habari Miili ya watu watatu ambayo haijafahamika mara moja imeokotwa kandokando ya barabara ya kijiji cha Patamela, kata ya Saza Mkoani Songwe. Je! Unalizungumziaje tukio hili ?🤔 Usikose kuungana nasi katika taarifa ya Habari ifikapo Saa 1:30 Usiku. 🗣️Msomaji : Zahra Majid #TV1Tanzania ... #Habari
Miili ya watu watatu ambayo haijafahamika mara moja imeokotwa kandokando ya barabara ya kijiji cha Patamela, kata ya Saza Mkoani Songwe.

Je! Unalizungumziaje tukio hili ?🤔 Usikose kuungana nasi katika taarifa ya Habari ifikapo Saa 1:30 Usiku.
🗣️Msomaji : Zahra Majid
#TV1Tanzania #KFSTanzania
Read more

Loading...