Loading Content...

Willynationtz Instagram Photos and Videos

Loading...

willynationtz Williams Anderson @willynationtz mentions
Followers: 105,257
Following: 2,307
Total Comments: 0
Total Likes: 0

CT-Scan na MRI ni vipimo muhimu na nyeti sana. Uhitaji wa huduma hii ni mkubwa hasa maeneo ya mkoani. ...
Media Removed
CT-Scan na MRI ni vipimo muhimu na nyeti sana. Uhitaji wa huduma hii ni mkubwa hasa maeneo ya mkoani. __ Kuna umuhimu wa kuwa na mashine hizi kwa kila kanda. Mfano kanda ya kaskazini iwe na Mashine moja ya CT-SCAN na mashine Moja ya MRI, kanda ya Kusini, Nyanda zajuu kusini na kadharika. #ChangeTanzani ... CT-Scan na MRI ni vipimo muhimu na nyeti sana. Uhitaji wa huduma hii ni mkubwa hasa maeneo ya mkoani.

Kuna umuhimu wa kuwa na mashine hizi kwa kila kanda. Mfano kanda ya kaskazini iwe na Mashine moja ya CT-SCAN na mashine Moja ya MRI, kanda ya Kusini, Nyanda zajuu kusini na kadharika.
#ChangeTanzani

Tupe maoni yako na Changamoto juu ya uhitaji wa huduma mbali mbali za kijamii hasa hasa Afya, Elimu na Maji katika eneo ulipo. Pamoja we can #ChangeTanzania
Cc
@officialchangetanzania @mariastsehai
@lifeofmshabaha @ummymwalimu
Read more
Loading...
#ChangeAfrica #ChangeTanzania #freebobwine
Media Removed
#ChangeAfrica #ChangeTanzania #freebobwine #ChangeAfrica #ChangeTanzania #freebobwine
Good morning Tanzania na vitongoji vyake, Eid Mubarak kwa ndugu zetu wote walipo mahospitalini. ...
Media Removed
Good morning Tanzania na vitongoji vyake, Eid Mubarak kwa ndugu zetu wote walipo mahospitalini. ___ Eid Mubarak kwa waliopo Magerezani kwa makosa ya kusingiziwa. ___ Eid Mubarak kwa wanaoteseka, tukanwa na kudharirishwa kutokana na kutetea wengine. ___ Eid Mubarak kwa wanao ... Good morning Tanzania na vitongoji vyake,
Eid Mubarak kwa ndugu zetu wote walipo mahospitalini.

Eid Mubarak kwa waliopo Magerezani kwa makosa ya kusingiziwa.

Eid Mubarak kwa wanaoteseka, tukanwa na kudharirishwa kutokana na kutetea wengine.

Eid Mubarak kwa wanao pinga kutumika vibaya na wenye nguvu.

Eid Mubarak kwa wapenda demokrasia na uhuru wa kujieleza.

Eid Mubarak kwa wapenda utawala unaofuata sheria na katiba.

Eid Mubarak kwa wakosoaji wote kwa maana wanalitakia Taifa mema.
#ChangeTanzania
Read more
#ChangeTanzania #ChangeAfrica #freebobwine
Media Removed
#ChangeTanzania #ChangeAfrica #freebobwine #ChangeTanzania #ChangeAfrica #freebobwine
Tusipo iamini mahakama hata kwa asilimia 10, Basi matukuio kama haya yatakua endelevu. #ChangeTanzania
Media Removed
Tusipo iamini mahakama hata kwa asilimia 10, Basi matukuio kama haya yatakua endelevu. #ChangeTanzania Tusipo iamini mahakama hata kwa asilimia 10, Basi matukuio kama haya yatakua endelevu.
#ChangeTanzania
Loading...
Asante, tena ni Asante Sana. Cc @mariastsehai
Media Removed
Asante, tena ni Asante Sana. Cc @mariastsehai Asante, tena ni Asante Sana.
Cc @mariastsehai
"Paul ni mdogo wangu, namheshimu na kumtakia mema. Lakini ule uchambuzi ulikuwa wa kisomi (sayansi ...
Media Removed
"Paul ni mdogo wangu, namheshimu na kumtakia mema. Lakini ule uchambuzi ulikuwa wa kisomi (sayansi ya siasa) na kama shule yake ni ya kubangaiza hawezi kunielewa, hivyo kwa hili namsamehe." "Paul ni mdogo wangu, namheshimu na kumtakia mema. Lakini ule uchambuzi ulikuwa wa kisomi (sayansi ya siasa) na kama shule yake ni ya kubangaiza hawezi kunielewa, hivyo kwa hili namsamehe."
Loading...
Uhuru bila Nidhamu ni Vurugu na Nidhamu bila Uhuru ni Udhalimu. #ChangeTanzania @officialchangetanzania
Media Removed
Uhuru bila Nidhamu ni Vurugu na Nidhamu bila Uhuru ni Udhalimu. #ChangeTanzania @officialchangetanzania Uhuru bila Nidhamu ni Vurugu na Nidhamu bila Uhuru ni Udhalimu.
#ChangeTanzania
@officialchangetanzania
?? Job description #ChangeTanzania
Media Removed
?? Job description #ChangeTanzania ?? Job description
#ChangeTanzania
#ChangeTanzania
Media Removed
#ChangeTanzania 📌
#ChangeTanzania
Loading...
#ChangeTanzania @officialchangetanzania
Media Removed
#ChangeTanzania @officialchangetanzania 📌
#ChangeTanzania
@officialchangetanzania
#ChangeTanzania @officialchangetanzania
Media Removed
#ChangeTanzania @officialchangetanzania #ChangeTanzania
@officialchangetanzania
Sio habari.
Media Removed
Sio habari. Sio habari.
Loading...
Ivi hakuna RC wa kumweka ndani Barozi wa USA..? #changetanzania
Media Removed
Ivi hakuna RC wa kumweka ndani Barozi wa USA..? #changetanzania Ivi hakuna RC wa kumweka ndani Barozi wa USA..? #changetanzania
#ChangeTanzania
Media Removed
#ChangeTanzania #ChangeTanzania
Nisaidie Caption
Media Removed
Nisaidie Caption Nisaidie Caption
Loading...
Zilongwa mbali zitendwa mbali. #ChangeTanzania
Media Removed
Zilongwa mbali zitendwa mbali. #ChangeTanzania Zilongwa mbali zitendwa mbali.
#ChangeTanzania
Caption this tweet #changetanzania
Media Removed
Caption this tweet #changetanzania Caption this tweet
#changetanzania
Baada ya CHADEMA kuingia mkenge nafasi ya Ukatibu sasa nizamu ya CCM nao wameingia mkenge. Good ...
Media Removed
Baada ya CHADEMA kuingia mkenge nafasi ya Ukatibu sasa nizamu ya CCM nao wameingia mkenge. Good morning Baada ya CHADEMA kuingia mkenge nafasi ya Ukatibu sasa nizamu ya CCM nao wameingia mkenge.
Good morning
DAR: Serikali imesema inatarajia kudhibiti umiliki holela wa 'line' za simu kwa kuanza usajili ...
Media Removed
DAR: Serikali imesema inatarajia kudhibiti umiliki holela wa 'line' za simu kwa kuanza usajili kwa alama za vidole > Atakayetaka kusajili 'line' zaidi ya moja itabidi ajaze fomu ya kujieleza na kuwashawishi ni kwanini amiliki 'line' ya ziada. #changetanzania DAR: Serikali imesema inatarajia kudhibiti umiliki holela wa 'line' za simu kwa kuanza usajili kwa alama za vidole > Atakayetaka kusajili 'line' zaidi ya moja itabidi ajaze fomu ya kujieleza na kuwashawishi ni kwanini amiliki 'line' ya ziada.
#changetanzania
Uropokaji, maagizo, matamko, madaraka ya kulevya caption haihusiani na picture. #changetanzania
Media Removed
Uropokaji, maagizo, matamko, madaraka ya kulevya caption haihusiani na picture. #changetanzania Uropokaji, maagizo, matamko, madaraka ya kulevya caption haihusiani na picture.
#changetanzania
Tugome misaada yao, tugome hata ile misaada ya dawa za ARV na mavipimo yao. Tubomoe majengo waliyo ...
Media Removed
Tugome misaada yao, tugome hata ile misaada ya dawa za ARV na mavipimo yao. Tubomoe majengo waliyo tujengea na tuwarudishie pesa zao walizo tukopesha. Wasitutushe @mariastsehai Tugome misaada yao, tugome hata ile misaada ya dawa za ARV na mavipimo yao. Tubomoe majengo waliyo tujengea na tuwarudishie pesa zao walizo tukopesha.
Wasitutushe 😂😂
@mariastsehai
Matukio ya unyanyasaji kwa wafanyakakazi ni mengi zaidi, wengi hawaripoti popote, wengi wanafukuzwa ...
Media Removed
Matukio ya unyanyasaji kwa wafanyakakazi ni mengi zaidi, wengi hawaripoti popote, wengi wanafukuzwa kazi kiholela pasipo kuzingatia haki na sheria. Wengi hawalipwi chochote baada ya kusimamishwa kazi. __ Mikataba mingi ni mibovu, haizingatii haki za wafanya kazi mbaya zaidi inaandikwa ... Matukio ya unyanyasaji kwa wafanyakakazi ni mengi zaidi, wengi hawaripoti popote, wengi wanafukuzwa kazi kiholela pasipo kuzingatia haki na sheria. Wengi hawalipwi chochote baada ya kusimamishwa kazi.

Mikataba mingi ni mibovu, haizingatii haki za wafanya kazi mbaya zaidi inaandikwa kwa lugha ya kiingereza wafanyakazi wengi Lugha ni tatizo.

Tuna mjadala mpana sana.
Cc
@officialchangetanzania
#ChangeTanzania
Read more
Hawa wateuliwa tusipo wadhibiti kabla hawajalewa madaraka tutakuja kulia na kusaga meno, ishi ...
Media Removed
Hawa wateuliwa tusipo wadhibiti kabla hawajalewa madaraka tutakuja kulia na kusaga meno, ishi mkikumbuka yale ya Dar es salaam. #ChangeTanzania Hawa wateuliwa tusipo wadhibiti kabla hawajalewa madaraka tutakuja kulia na kusaga meno, ishi mkikumbuka yale ya Dar es salaam.
#ChangeTanzania

Media Removed

na wanaweza kweli sio masikhara #ChangeTanzania
Media Removed
na wanaweza kweli sio masikhara #ChangeTanzania 😂😂😂😂 na wanaweza kweli sio masikhara
#ChangeTanzania
Wananchi wanatakiwa kupata maendeleo kutokana na vyama wanavyo chagua..? Kuna upendeleo..? ...
Media Removed
Wananchi wanatakiwa kupata maendeleo kutokana na vyama wanavyo chagua..? Kuna upendeleo..? Ni nini msimamo wako kuhusu maendeleo na itikadi au siasa za vyama..? #ChangeTanzania Cc @officialchangetanzania Follow @officialchangetanzania @officialchangetanzania Wananchi wanatakiwa kupata maendeleo kutokana na vyama wanavyo chagua..? Kuna upendeleo..? Ni nini msimamo wako kuhusu maendeleo na itikadi au siasa za vyama..? #ChangeTanzania
Cc
@officialchangetanzania
Follow @officialchangetanzania @officialchangetanzania
Wazee wa matamko. #changetanzania
Media Removed
Wazee wa matamko. #changetanzania Wazee wa matamko.
#changetanzania
Maneno ya Katibu mkuu wa CCM, wakikosolewa wanaita Uzushi. #changetanzania
Media Removed
Maneno ya Katibu mkuu wa CCM, wakikosolewa wanaita Uzushi. #changetanzania Maneno ya Katibu mkuu wa CCM, wakikosolewa wanaita Uzushi.
#changetanzania
Neno. #changetanzania
Media Removed
Neno. #changetanzania Neno.
#changetanzania
Wewe Willy na wenzako mnikooooooome ntawapiga juju  shubaamit
Media Removed
Wewe Willy na wenzako mnikooooooome ntawapiga juju shubaamit Wewe Willy na wenzako mnikooooooome ntawapiga juju
😂😂😂 shubaamit
Good morning Tanzania.
Media Removed
Good morning Tanzania. Good morning Tanzania.
Jua lileee literemke mama,×3 Haiyaa hiyaa hiyaaaa hiya mama ×3  umekumbuka wapi.? Mimi kipindi ...
Media Removed
Jua lileee literemke mama,×3 Haiyaa hiyaa hiyaaaa hiya mama ×3 umekumbuka wapi.? Mimi kipindi nipo primary #changetanzania Jua lileee literemke mama,×3
Haiyaa hiyaa hiyaaaa hiya mama ×3
😂 umekumbuka wapi.? Mimi kipindi nipo primary
#changetanzania
Kesho unaamka unasikia #breakingnews Zitto ahamia CCM. Ngumu haimaanishi Impossible.
Media Removed
Kesho unaamka unasikia #breakingnews Zitto ahamia CCM. Ngumu haimaanishi Impossible. Kesho unaamka unasikia #breakingnews Zitto ahamia CCM.
Ngumu haimaanishi Impossible.
Tunajikumbusha Battle @hpolepole & @julius_mtatiro Nikukumbushe tu bwana @julius_mtatiro ...
Media Removed
Tunajikumbusha Battle @hpolepole & @julius_mtatiro Nikukumbushe tu bwana @julius_mtatiro kwa sasa ni kada Mpya wa CCM na bwana @hpolepole ni kiongozi wake #changetanzania Tunajikumbusha
Battle @hpolepole & @julius_mtatiro
Nikukumbushe tu bwana @julius_mtatiro kwa sasa ni kada Mpya wa CCM na bwana @hpolepole ni kiongozi wake
#changetanzania
Mkulima kala mbegu anataka kutuua njaa.
Media Removed
Mkulima kala mbegu anataka kutuua njaa. Mkulima kala mbegu anataka kutuua njaa.
kazi ipo, sikuizi unaweza lala ukaamka upo Kongo. #changetanzania
Media Removed
kazi ipo, sikuizi unaweza lala ukaamka upo Kongo. #changetanzania 😂😂kazi ipo, sikuizi unaweza lala ukaamka upo Kongo.
#changetanzania
Migration. Chaguzi haziishi mwaka huu. #changetanzania
Media Removed
Migration. Chaguzi haziishi mwaka huu. #changetanzania Migration.
Chaguzi haziishi mwaka huu.
#changetanzania
"Utakufa na Presha" ~@julius_mtatiro (Kada wa CCM) #changetanzania Tunajikumbusha.
Media Removed
"Utakufa na Presha" [email protected]_mtatiro (Kada wa CCM) #changetanzania Tunajikumbusha. "Utakufa na Presha" [email protected]_mtatiro (Kada wa CCM)
#changetanzania Tunajikumbusha.
Binadamu ni kiumbe mwenye roho hatari mno. ~@julius_mtatiro #Tunajikumbusha #changetanzania
Media Removed
Binadamu ni kiumbe mwenye roho hatari mno. [email protected]_mtatiro #Tunajikumbusha #changetanzania Binadamu ni kiumbe mwenye roho hatari mno. [email protected]_mtatiro
#Tunajikumbusha #changetanzania
Tijikumbushe
Media Removed
Tijikumbushe Tijikumbushe
Ndugu @hpolepole saizi umepiga hatua, unatumia mbinu mpya ya kujifanya ulikua hujui
Media Removed
Ndugu @hpolepole saizi umepiga hatua, unatumia mbinu mpya ya kujifanya ulikua hujui Ndugu @hpolepole saizi umepiga hatua, unatumia mbinu mpya ya kujifanya ulikua hujui 😱😱👉🚶👉🚶
Kutoka maktaba.
Media Removed
Kutoka maktaba. Kutoka maktaba.
Mwaka 2019-2020 utakua mwaka mgumu zaidi kwa siasa za Tanzania kuliko miaka yote iliyowahi pita. ...
Media Removed
Mwaka 2019-2020 utakua mwaka mgumu zaidi kwa siasa za Tanzania kuliko miaka yote iliyowahi pita. Nawasisitiza tena matusi ya wafuasi na viongozi wa upinzani kwa hawa wanao hama hayawezi na hayatoweza kua mwarobaini wa haya yanayo endelea. Upinzani unahitahi Factory Reset, Huu ni muda ... Mwaka 2019-2020 utakua mwaka mgumu zaidi kwa siasa za Tanzania kuliko miaka yote iliyowahi pita.
Nawasisitiza tena matusi ya wafuasi na viongozi wa upinzani kwa hawa wanao hama hayawezi na hayatoweza kua mwarobaini wa haya yanayo endelea.
Upinzani unahitahi Factory Reset, Huu ni muda muhimu kwa vyama vya upinzani kuungana na kuwa pamoja kuliko zama zote.
Ni wakati wa kutumia mpini mmoja katika shamba moja, wakati wa kuondoa tofauti, umimi na ukongwe.
Hakika nawaambieni mwaka 2021 Lipumba atakua mwenyekiti wa kambi ya upinzani hewa Bungeni kama hatua za dharula hazito chukuliwa sasa.
#ChangeTanzania
Read more
Haya sasa wazee wa namba.
Media Removed
Haya sasa wazee wa namba. Haya sasa wazee wa namba.
UTETEZI WA POLISI: Hebu sikia utetezi wa Jeshi la Polisi Tanzania kuhusu tukio la kupigwa kwa mwandishi wa habari wa WAPO Radio Sillas Mbise siku ya #SimbaDay2018 kwenye dimba la Taifa Dar es Salaam. Huyu ni msemaji wa jeshi hilo Barnabas Mwakalukwa alipokuwa kwenye kipindi cha #AlasiriLounge ... UTETEZI WA POLISI: Hebu sikia utetezi wa Jeshi la Polisi Tanzania kuhusu tukio la kupigwa kwa mwandishi wa habari wa WAPO Radio Sillas Mbise siku ya #SimbaDay2018 kwenye dimba la Taifa Dar es Salaam. Huyu ni msemaji wa jeshi hilo Barnabas Mwakalukwa alipokuwa kwenye kipindi cha #AlasiriLounge cha #AzamTWO leo.
@mchoxtz
#Repost

Cc
@mariastsehai @fatma_karume
Read more
Hawa ndio mashangazi zetu kulia ni shangazi #mbea @fatma_karume na kushoto ni shangazi #Kidomodomo ...
Media Removed
Hawa ndio mashangazi zetu kulia ni shangazi #mbea @fatma_karume na kushoto ni shangazi #Kidomodomo @mariastsehai , na Mpwa kiherehere @willynationtz ndio mpiga picha, msiniulize kwa nini sipo hapo. #changetanzania Hawa ndio mashangazi zetu kulia ni shangazi #mbea @fatma_karume na kushoto ni shangazi #Kidomodomo @mariastsehai , na Mpwa kiherehere 😂😂 @willynationtz ndio mpiga picha, msiniulize kwa nini sipo hapo. 😂
#changetanzania
Huyu jamaa anajielewa sana, sio mnafiki. #changetanzania
Media Removed
Huyu jamaa anajielewa sana, sio mnafiki. #changetanzania Huyu jamaa anajielewa sana, sio mnafiki.
#changetanzania

Loading...