Worldsports14 Instagram Photos and Videos

Loading...


worldsports14 World Sports 14 @worldsports14 mentions
Followers: 306,794
Following: 505
Total Comments: 0
Total Likes: 0

Akiwa na umri wa miaka 51, Rais wa Liberia George Weah ameichezea timu ya Taifa ya nchi hiyo mechi ...
Media Removed
Akiwa na umri wa miaka 51, Rais wa Liberia George Weah ameichezea timu ya Taifa ya nchi hiyo mechi ya kirafiki jana jumanne iliyopigwa huko mjini Monrovia. Weah ambaye ni Mwafrika wa kwanza kushinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia, alicheza kwa dakika 79 mechi hiyo waliyocheza dhidi ya Nigeria, ... Akiwa na umri wa miaka 51, Rais wa Liberia George Weah ameichezea timu ya Taifa ya nchi hiyo mechi ya kirafiki jana jumanne iliyopigwa huko mjini Monrovia.

Weah ambaye ni Mwafrika wa kwanza kushinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia, alicheza kwa dakika 79 mechi hiyo waliyocheza dhidi ya Nigeria, ambapo Liberia walipoteza kwa goli 2-1.

Liberia waliandaa mechi hiyo maalum kwa ajili ya kustaafisha jezi namba 14 iliyokuwa ikivaliwa na Weah.

Weah ambaye ameshinda kiti cha Uraisi mwishoni mwa mwaka jana, alishangiliwa na uwanja mzima wake akitolewa katika dakika ya 79.
Read more
Loading...
Happy Birthday to @ibrahimajibu23 <span class="emoji emoji2728"></span>
Media Removed
Happy Birthday to @ibrahimajibu23 Happy Birthday to @ibrahimajibu23 ✨
BETI NASI KIRAHISI KUPITIA *149*89 # KWETU HAKUNA KUNATA WALA BANDO KUKATA. @bikotanzania pia ...
Media Removed
BETI NASI KIRAHISI KUPITIA *149*89 # KWETU HAKUNA KUNATA WALA BANDO KUKATA. @bikotanzania pia App yetu inapatikana kwenye Site ukibofya Link hapo juu. #fastplayfastpay BETI NASI KIRAHISI KUPITIA *149*89 # KWETU HAKUNA KUNATA WALA BANDO KUKATA. @bikotanzania pia App yetu inapatikana kwenye Site ukibofya Link hapo juu.
#fastplayfastpay🔥
Baada ya kukikosa kwa muda mrefu kipindi chako bora cha Bongo Star Search (BSS), StarTimes inakata kiu yako kwa kukuletea msimu wa 9 wa Bongo Star Search (BSS) kupitia chaneli ya ST Swahili ndani Kingamuzi chako bora kabisa cha StarTimes kila Siku kuanzia saa mbili na nusu (2:30) Usiku. Ili ... Baada ya kukikosa kwa muda mrefu kipindi chako bora cha Bongo Star Search (BSS), StarTimes inakata kiu yako kwa kukuletea msimu wa 9 wa Bongo Star Search (BSS) kupitia chaneli ya ST Swahili ndani Kingamuzi chako bora kabisa cha StarTimes kila Siku kuanzia saa mbili na nusu (2:30) Usiku.

Ili kuweza kufaidi uhondo huu lipia kifurushi cha MAMBO kwa Tsh 13,000/= tu kwa watumiaji wa dikoda za Antenna na kifurushi cha SMART Tsh 19,000/= kwa watumiaji wa dikoda za Dish. ST Swahili ni chaneli namba 160 kwenye dikoda za Antenna na 400 kwenye dikoda za dish.

Pakua StarTimesApp bonyeza ONSPORT kujiunga kisha lipia kifurushi cha siku tsh 600/-, wiki tsh 2500/- au mwezi tsh 5000/- Bonyeza link kupakua; https://pjq57.app.goo.gl/DnWT Pia inapatika Google Store | App store | www.startimestv.com #StarTimesApp @Startimestz
Read more
Sonaldo 🏻 Sonaldo 👌🏻
Kipa wa Tottenham Hugo Lloris amefungiwa kuendesha gari kwa muda wa miezi 20 na kupigwa faini ya ...
Media Removed
Kipa wa Tottenham Hugo Lloris amefungiwa kuendesha gari kwa muda wa miezi 20 na kupigwa faini ya pauni 50,000 (Sawa na shilingi milioni 148.9 za Tanzania) kwa kosa la kuendesha gari huku akiwa amelewa. Kipa huyo alikamatwa na na kosa hilo mjini London mwishoni mwa mwezi uliopita na kupelekwa ... Kipa wa Tottenham Hugo Lloris amefungiwa kuendesha gari kwa muda wa miezi 20 na kupigwa faini ya pauni 50,000 (Sawa na shilingi milioni 148.9 za Tanzania) kwa kosa la kuendesha gari huku akiwa amelewa.

Kipa huyo alikamatwa na na kosa hilo mjini London mwishoni mwa mwezi uliopita na kupelekwa rumande ambapo alikaa chini ya ulinzi kwa saa saba kabla ya kutolewa kwa dhamana.

Kesi yake ikisikilizwa leo katika mahakama ya Westminster, imeelezwa kuwa polisi walivyosimamisha gari lake walimkuta anatapika na wakamsaidia kutoka ndani ya gari.
Read more
Loading...
Grizz is a big fan of James Harden Grizz is a big fan of James Harden ✨
@samagoal77 asema ana ndoto ya kumiliki ndege yake binafsi
Media Removed
@samagoal77 asema ana ndoto ya kumiliki ndege yake binafsi @samagoal77 asema ana ndoto ya kumiliki ndege yake binafsi
Loading...
Karibu jamvini, ligi ya Misri leo inatimua vumbi HARAS EL HADOOD VS AL SAKANDARY. bashiri FIRST/LAST ...
Media Removed
Karibu jamvini, ligi ya Misri leo inatimua vumbi HARAS EL HADOOD VS AL SAKANDARY. bashiri FIRST/LAST TO SCORE, HANDICAP, BOTH TEAMS TO SCORE, DOUBLE CHANCE na NORMAL ingia www.Bikosports.co.tz au bofya *149*89 # vilevile unaweza Kupakua APP kwenye Site yetu. malipo ni PAPO HAPO. @bikotanzania #karibujamvini #fastplayfastpay Karibu jamvini, ligi ya Misri leo inatimua vumbi HARAS EL HADOOD VS AL SAKANDARY. bashiri FIRST/LAST TO SCORE, HANDICAP, BOTH TEAMS TO SCORE, DOUBLE CHANCE na NORMAL ingia www.Bikosports.co.tz au bofya *149*89 # vilevile unaweza Kupakua APP kwenye Site yetu. malipo ni PAPO HAPO. @bikotanzania
#karibujamvini
#fastplayfastpay🔥
"Ule mchakato wa Ujenzi wa Uwanja wetu wa Bunju tayari umeshaanza na tumekwishamalizana na Mkandarasi, hivi karibuni " Msemaji wa Simba SC @hajismanara "Ule mchakato wa Ujenzi wa Uwanja wetu wa Bunju tayari umeshaanza na tumekwishamalizana na Mkandarasi, hivi karibuni " Msemaji wa Simba SC @hajismanara
Teammates <span class="emoji emoji26aa"></span>️<span class="emoji emoji1f1ea1f1f8"></span>🇭🇷
Media Removed
Teammates 🇭🇷 Teammates ⚪️🇪🇸🇭🇷
Loading...
7 Days To Go ⏲. #UCL 7 Days To Go ⏲. #UCL
BETI NASI KIRAHISI KUPITIA *149*89 # KWETU HAKUNA KUNATA WALA BANDO KUKATA. @bikotanzania pia ...
Media Removed
BETI NASI KIRAHISI KUPITIA *149*89 # KWETU HAKUNA KUNATA WALA BANDO KUKATA. @bikotanzania pia App yetu inapatikana kwenye Site ukibofya Link hapo juu. #fastplayfastpay BETI NASI KIRAHISI KUPITIA *149*89 # KWETU HAKUNA KUNATA WALA BANDO KUKATA. @bikotanzania pia App yetu inapatikana kwenye Site ukibofya Link hapo juu.
#fastplayfastpay🔥
@maestro_ibrahim anakualika Kubofya *149*89 # ili ubashiri mechi kati ya COLOMBIA VS ARGENTINA, mechi itachezwa Usiku wa kuamkia Kesho weka jamvi uamke na Mkwanja wako asubuhi. Uswahilini wanasema ARGENTINA bila Messi ni sawa na Panga Bila Makali je ni kweli? @bikotanzania #fastplayfastpay ... @maestro_ibrahim anakualika Kubofya *149*89 # ili ubashiri mechi kati ya COLOMBIA VS ARGENTINA, mechi itachezwa Usiku wa kuamkia Kesho weka jamvi uamke na Mkwanja wako asubuhi. Uswahilini wanasema ARGENTINA bila Messi ni sawa na Panga Bila Makali je ni kweli? @bikotanzania
#fastplayfastpay🔥
#karibujamvini
Read more
Loading...
Kamati ya Uchaguzi ya klabu ya Simba imethibitisha kufungwa kwa zoezi la kuchukua fomu kuelekea Uchaguzi wa klabu hiyo huku kaimu Rais Salim Abdallah akiwa hajachukua. Msemaji wa Klabu hiyo Haji Manara amesema kuwa Salim Abdallah ameamua mwenyewe kutochukua fomu ya kugombea nafasi ... Kamati ya Uchaguzi ya klabu ya Simba imethibitisha kufungwa kwa zoezi la kuchukua fomu kuelekea Uchaguzi wa klabu hiyo huku kaimu Rais Salim Abdallah akiwa hajachukua.
Msemaji wa Klabu hiyo Haji Manara amesema kuwa Salim Abdallah ameamua mwenyewe kutochukua fomu ya kugombea nafasi ya uenyekiti japo maombi ya wanasimba wengi walikuwa wanamuhitaji katika Klabu hiyo.
Read more
Look at N'Golo Kante <span class="emoji emoji1f60c"></span>
Media Removed
Look at N'Golo Kante Look at N'Golo Kante 😌
Loading...
Sergio Ramos amesema Luka Modric anastahili kushinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa kiume wa FIFA mwaka ...
Media Removed
Sergio Ramos amesema Luka Modric anastahili kushinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa kiume wa FIFA mwaka 2018 ambayo anawania pamoja na Cristiano Ronaldo na Mo Salah. Sergio Ramos amesema Luka Modric anastahili kushinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa kiume wa FIFA mwaka 2018 ambayo anawania pamoja na Cristiano Ronaldo na Mo Salah.
Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA linampango wa kutangaza mashindano ya tatu ya Ulaya ya vilabu, ...
Media Removed
Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA linampango wa kutangaza mashindano ya tatu ya Ulaya ya vilabu, kando na Klabu Bingwa Ulaya na Europa League. Michuano hiyo inatarajiwa kuanza mwaka 2021 na kujumuisha timu 96, lakini bado haijailezwa mfumo wake utakuaje Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA linampango wa kutangaza mashindano ya tatu ya Ulaya ya vilabu, kando na Klabu Bingwa Ulaya na Europa League.

Michuano hiyo inatarajiwa kuanza mwaka 2021 na kujumuisha timu 96, lakini bado haijailezwa mfumo wake utakuaje
Wiki ya kazi wiki ya hesabu katika WorldSports14 Fantasy Premier League. Ni muda wa kurudi mezani ...
Media Removed
Wiki ya kazi wiki ya hesabu katika WorldSports14 Fantasy Premier League. Ni muda wa kurudi mezani na kuendelea na hesabu za mwezi huu wa Septemba kujua namna ya kuondoka na mkwanja. Katika usukani mwezi huu ni Ndugu Michael Tmk na timu yake ya Crash_zone akiwa katika pilika za kufanya ... Wiki ya kazi wiki ya hesabu katika WorldSports14 Fantasy Premier League.

Ni muda wa kurudi mezani na kuendelea na hesabu za mwezi huu wa Septemba kujua namna ya kuondoka na mkwanja.

Katika usukani mwezi huu ni Ndugu Michael Tmk na timu yake ya Crash_zone akiwa katika pilika za kufanya aliyofanya Ndugu Toti mwezi Agost.

Tukumbushane tu kuwa zawadi si haba bali ni Fedha Taslimu kiasi cha Shillingi Laki Moja (100,000/=) kila mwezi, Millioni Moja (1,000,000/=) mwishoni mwa Msimu na zawadi nyingine za Shillingi Laki Tano (500,000/=) na Laki Mbili (200,000/=) kwa washindi wengine.

Ongeza shangwe za ligi na WorldSports14. Shabikia timu yako huku ukivuna mkwanja kiulani kabisa.

Hatupendi kuacha mtu nyuma hivyo kama hujajiunga jiunge kwa kutumia *Codes* 2412868-623001

Waambie na marafiki ligi pendwa ipo huku hivyo waje mpeleke ushindi nyumbani.

WorldSports14 tupo kukupa tabasamu na furaha msimu huu wa ligi.

#epl
#ws14fpl
Read more
You just can't get tired of watching this video You just can't get tired of watching this video ✨
Baada ya kumchapa ENGLAND Leo SPAIN yupo nyumbani Dhidi ya CROATIA, ni vita ya Beki bora wa FIFA RAMOS ...
Media Removed
Baada ya kumchapa ENGLAND Leo SPAIN yupo nyumbani Dhidi ya CROATIA, ni vita ya Beki bora wa FIFA RAMOS na Mchezaji bora wa FIFA MODRIC nani unamuamini atakupa mkwanja? ingia www.Bikosports.co.tz au bofya *149*89 # vilevile unaweza Kupakua APP kwenye Site yetu. malipo ni PAPO HAPO. @bikotanzania #karibujamvini #fastplayfastpay Baada ya kumchapa ENGLAND Leo SPAIN yupo nyumbani Dhidi ya CROATIA, ni vita ya Beki bora wa FIFA RAMOS na Mchezaji bora wa FIFA MODRIC nani unamuamini atakupa mkwanja? ingia www.Bikosports.co.tz au bofya *149*89 # vilevile unaweza Kupakua APP kwenye Site yetu. malipo ni PAPO HAPO. @bikotanzania
#karibujamvini
#fastplayfastpay🔥
" You never know what will happen tomorrow "<span class="emoji emoji1f481"></span>🏼‍♂️
Media Removed
" You never know what will happen tomorrow "🏼‍♂️ " You never know what will happen tomorrow "💁🏼‍♂️
Baada ya ushindi wake dhidi ya Muingereza Sam Eggington wikiendi hii iliyopita, Bondia Mtanzania ...
Media Removed
Baada ya ushindi wake dhidi ya Muingereza Sam Eggington wikiendi hii iliyopita, Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amepanda katika viwango vya ubora duniani, kutoka nafasi ya 174 mpaka ya 16 na kwa Tanzania anashikilia namba 1. Baada ya ushindi wake dhidi ya Muingereza Sam Eggington wikiendi hii iliyopita, Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amepanda katika viwango vya ubora duniani, kutoka nafasi ya 174 mpaka ya 16 na kwa Tanzania anashikilia namba 1.
Dele Alli ameondoka kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya England kufuatia kuwa na maumivu kidogo katika ...
Media Removed
Dele Alli ameondoka kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya England kufuatia kuwa na maumivu kidogo katika misuli yake, hivyo ataukosa mchezo wa kirafiki dhidi ya Switzerland kesho jumanne. Dele Alli ameondoka kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya England kufuatia kuwa na maumivu kidogo katika misuli yake, hivyo ataukosa mchezo wa kirafiki dhidi ya Switzerland kesho jumanne.
Olivier Giroud in the Elite Company <span class="emoji emoji2728"></span>
Media Removed
Olivier Giroud in the Elite Company Olivier Giroud in the Elite Company ✨
Timu ya Coastal Union imepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Arusha United, katika mchezo wa kirafiki ...
Media Removed
Timu ya Coastal Union imepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Arusha United, katika mchezo wa kirafiki uliopigwa jana kwenye dimba la Mkwakwani Jijini Tanga , ambapo goli lilifungwa na Mohamed Kijiko. Hii ilikuwa ni mechi ya kwanza ya mshambuliaji Ali Kiba tangu ajiunge na Coastal Union. Mchezo ... Timu ya Coastal Union imepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Arusha United, katika mchezo wa kirafiki uliopigwa jana kwenye dimba la Mkwakwani Jijini Tanga , ambapo goli lilifungwa na Mohamed Kijiko.
Hii ilikuwa ni mechi ya kwanza ya mshambuliaji Ali Kiba tangu ajiunge na Coastal Union.
Mchezo huo ulikuwa maalum kwa ajili ya kuzindua jezi mpya za timu za Coastal Union.
Read more
Ushindi wa kweli upo ukibonyeza *149*89 # na Ukabashiri mshindi kati ya WARENO na WAITALIANO, wote ...
Media Removed
Ushindi wa kweli upo ukibonyeza *149*89 # na Ukabashiri mshindi kati ya WARENO na WAITALIANO, wote wakiwa wamesuluhu mchezo wao wa kwanza. Karata yako unaitupa upande gani? Je wote watapata magoli? Yupi ataanza kumuadhibu mwenzake? Magoli mengi yatapatikana kipindi cha ngapi? Majibu ... Ushindi wa kweli upo ukibonyeza *149*89 # na Ukabashiri mshindi kati ya WARENO na WAITALIANO, wote wakiwa wamesuluhu mchezo wao wa kwanza. Karata yako unaitupa upande gani? Je wote watapata magoli? Yupi ataanza kumuadhibu mwenzake? Magoli mengi yatapatikana kipindi cha ngapi? Majibu yaweke Jamvini Bofya link kwenye Bio yetu ukutane na ODDS kali. @bikotanzania
#FastPlayFastPay
#KaribuJamvini
Read more
If you hate this man, something is wrong with you. If you hate this man, something is wrong with you.
Mchezaji wa tenesi wa Marekani Serena Williams amepigwa faini ya dola 17,000 (sawa na Tsh Milioni 38.8 ) kwa makosa matatu aliyoyafanya kwenye fainali ya US Open 2018 aliyocheza dhidi ya Naomi Osaka juzi jumamosi. Serena ametozwa faini ya dola 10,000 kwa kosa la kumuita Chair Umpire mwizi ... Mchezaji wa tenesi wa Marekani Serena Williams amepigwa faini ya dola 17,000 (sawa na Tsh Milioni 38.8 ) kwa makosa matatu aliyoyafanya kwenye fainali ya US Open 2018 aliyocheza dhidi ya Naomi Osaka juzi jumamosi.

Serena ametozwa faini ya dola 10,000 kwa kosa la kumuita Chair Umpire mwizi na muongo, dola 4,000 kwa kupata maelekezo ya kocha ( Kocha hatakiwi kumfundisha mchezaji wake wakati wa mechi katika Grand Slam) na kosa la tatu ni kuvunja racket yake ambalo ametozwa dola 3,000.

Serena alipoteza mechi hiyo kwa seti 2-6, 4-6 na kufanya Naomi Osaka kushinda Grand Slam yake ya kwanza.
Read more
MENEJA WA SIMBA AFUNGIWA KUJIHUSISHA NA MASUALA YA SOKA. Kamati ya maadili ya Shirikisho la mpira ...
Media Removed
MENEJA WA SIMBA AFUNGIWA KUJIHUSISHA NA MASUALA YA SOKA. Kamati ya maadili ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF kupitia kwa Mwenyekiti wa kamati hiyo Hamidu Mbwezeleni limemfungia Meneja wa Simba SC Richard Robert kujihusisha na masuala ya Soka ndani na nje ya nchi kwa muda wa ... MENEJA WA SIMBA AFUNGIWA KUJIHUSISHA NA MASUALA YA SOKA.

Kamati ya maadili ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF kupitia kwa Mwenyekiti wa kamati hiyo Hamidu Mbwezeleni limemfungia Meneja wa Simba SC Richard Robert kujihusisha na masuala ya Soka ndani na nje ya nchi kwa muda wa mwaka mmoja na faini ya shilingi milioni 4 kwa kosa la kutotimiza timiza wajibu wake na Kosa la kuihujumu Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa stars ' kwa kutowapa taarifa ya kwenda Kambini wachezaji walioitwa kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa.
Read more
Mshambuliaji wa Singida United Habibu Kyombo akiwa mazoezini kwenye timu ya Mamelodi Sundowns ...
Media Removed
Mshambuliaji wa Singida United Habibu Kyombo akiwa mazoezini kwenye timu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika kusini kwa ajili ya majaribio ambayo yatachukua takribani siku 10. Mshambuliaji wa Singida United Habibu Kyombo akiwa mazoezini kwenye timu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika kusini kwa ajili ya majaribio ambayo yatachukua takribani siku 10.
Mserbia Novak Djokovic amechukua kombe la US Open 2018 baada ya kushinda mechi ya fainali dhidi ya Muargentina Juan Del Potro kwa seti 6-3, 7-6, 6-3 Hili ni kombe la 3 la Novak katika michuano hiyo na ni Grand Slam ya 14 kuchukua katika career yake. Djokovic sasa yupo katika 3 bora ya wachezaji ... Mserbia Novak Djokovic amechukua kombe la US Open 2018 baada ya kushinda mechi ya fainali dhidi ya Muargentina Juan Del Potro kwa seti 6-3, 7-6, 6-3

Hili ni kombe la 3 la Novak katika michuano hiyo na ni Grand Slam ya 14 kuchukua katika career yake.

Djokovic sasa yupo katika 3 bora ya wachezaji wanaoongoza kuchukua Grand Slam, Rafa Nadal anashika namba mbili akichukua mara 17 na namba moja ni Roger Federer ambaye ameshinda mara 20.
Read more
Monday Motivation.. Don't let your dreams be dreams - @skateweaversw Monday Motivation.. Don't let your dreams be dreams - @skateweaversw
Olivier Giroud leo amemaliza ukame wa dakika 807 wa kutofunga goli katika timu ya Taifa ya France
Media Removed
Olivier Giroud leo amemaliza ukame wa dakika 807 wa kutofunga goli katika timu ya Taifa ya France Olivier Giroud leo amemaliza ukame wa dakika 807 wa kutofunga goli katika timu ya Taifa ya France
Jana mjini Birmingham,nchini England kulikuwa na pambano kati ya Amir Khan na Samuel Vargas. Kwenye mapambano ya utangulizi, Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo aliushangaza umati baada ya kumpiga Bondia Muingereza Sam Eggington katika raundi ya pili kwa Knock Out. Mwakinyo alipewa ... Jana mjini Birmingham,nchini England kulikuwa na pambano kati ya Amir Khan na Samuel Vargas.

Kwenye mapambano ya utangulizi, Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo aliushangaza umati baada ya kumpiga Bondia Muingereza Sam Eggington katika raundi ya pili kwa Knock Out.

Mwakinyo alipewa taarifa za pambano hilo wiki mbili kabla na wengi wakidhani kuwa ni pambano rahisi kwa Eggington.
Mwakinyo alipewa odd ya 20/1 kushinda pambano wakiwa na hakika kuwa hawezi kushinda, lakini akawashangaza.
Read more
Get well soon <span class="emoji emoji1f4aa"></span>🏼
Media Removed
Get well soon 🏼 Get well soon 💪🏼
YUSUPH POULSEN na ERIKSEN kwa Upande wa DENMARK VS WALES ya BALE na RAMSEY, karata yako unaitupa ...
Media Removed
YUSUPH POULSEN na ERIKSEN kwa Upande wa DENMARK VS WALES ya BALE na RAMSEY, karata yako unaitupa wapi? ingia www.Bikosports.co.tz au bofya *149*89 # vilevile unaweza Kupakua APP kwenye Site yetu. malipo ni PAPO HAPO. @bikotanzania #karibujamvini #fastplayfastpay YUSUPH POULSEN na ERIKSEN kwa Upande wa DENMARK VS WALES ya BALE na RAMSEY, karata yako unaitupa wapi? ingia www.Bikosports.co.tz au bofya *149*89 # vilevile unaweza Kupakua APP kwenye Site yetu. malipo ni PAPO HAPO. @bikotanzania
#karibujamvini
#fastplayfastpay🔥
Mkwanja wa wikiendi upo ukibofya *149*89 # na ubashiri mpambano kati ya FRANCE VS NETHERLANDS. @oscaroscarjr tayari amekurahisishia Jamvi lako unasubiri nini? Ni POGBA au DEPAY. Pia unaweza kubonyeza Link kwenye Bio yetu @bikotanzania #FastPlayFastPay #KaribuJamvini Mkwanja wa wikiendi upo ukibofya *149*89 # na ubashiri mpambano kati ya FRANCE VS NETHERLANDS. @oscaroscarjr tayari amekurahisishia Jamvi lako unasubiri nini? Ni POGBA au DEPAY. Pia unaweza kubonyeza Link kwenye Bio yetu @bikotanzania
#FastPlayFastPay
#KaribuJamvini
Luisito had a good day against Mexico . Stunning Free kick goal Panenka Penalty Rabona assist Luisito had a good day against Mexico
.
Stunning Free kick goal ✅
Panenka Penalty ✅
Rabona assist ✅
"When I step on the court, I'm not a Serena fan - I'm just a tennis player playing another tennis player. But when I hugged her at the net, I felt like a little kid again." - @naomiosakatennis "When I step on the court, I'm not a Serena fan - I'm just a tennis player playing another tennis player. But when I hugged her at the net, I felt like a little kid again." - @naomiosakatennis ✨
" Mama, We Made It " <span class="emoji emoji2665"></span>️
Media Removed
" Mama, We Made It " " Mama, We Made It " ♥️
Naomi Osaka Is Your 2018 US Open Champion Naomi Osaka Is Your 2018 US Open Champion 🏆
Naomi Osaka amekuwa Mjapan wa kwanza kuchukua ubingwa wa Grand Slam. <span class="emoji emoji1f44f"></span>🏻<span class="emoji emoji1f44f"></span>🏻
Media Removed
Naomi Osaka amekuwa Mjapan wa kwanza kuchukua ubingwa wa Grand Slam. 🏻🏻 Naomi Osaka amekuwa Mjapan wa kwanza kuchukua ubingwa wa Grand Slam. 👏🏻👏🏻
<span class="emoji emoji1f60d"></span><span class="emoji emoji2b50"></span>️<span class="emoji emoji2b50"></span>️
Media Removed
😍⭐️⭐️
Haitakiwi kufanya makosa pale unapopata nafasi kama hii. Pengine hayo ndio maneno ambayo Naomi ...
Media Removed
Haitakiwi kufanya makosa pale unapopata nafasi kama hii. Pengine hayo ndio maneno ambayo Naomi Osaka aliambiwa na mama yake, Tamaki Osaka kabla ya mechi hii. Naomi amekutana na Idol wake Serena Williams katika fainali ya US Open 2018 na kushinda kwa seti 6-2, 6-4. Hii ni mara ya kwanza ... Haitakiwi kufanya makosa pale unapopata nafasi kama hii. Pengine hayo ndio maneno ambayo Naomi Osaka aliambiwa na mama yake, Tamaki Osaka kabla ya mechi hii.

Naomi amekutana na Idol wake Serena Williams katika fainali ya US Open 2018 na kushinda kwa seti 6-2, 6-4.

Hii ni mara ya kwanza kwa Naomi kuingia fainali ya Grand Slam, na hafanyi makosa ya Jurgen Klopp, anamfunga Idol wake ambaye alikuwa akitaka kuchukua kombe hili na pengine kumpa zawadi mwanae Olympia ambaye ametimiza mwaka mmoja hivi karibuni
Read more
 #FullTime Kenya 1 - 0 Ghana. ( Opoku 39' OG ) . #AFCONQ2019
Media Removed
#FullTime Kenya 1 - 0 Ghana. ( Opoku 39' OG ) . #AFCONQ2019 #FullTime Kenya 1 - 0 Ghana. ( Opoku 39' OG )
.
#AFCONQ2019
Full Time: Uganda 0-0 Tanzania
Media Removed
Full Time: Uganda 0-0 Tanzania Full Time: Uganda 0-0 Tanzania

Loading...