Loading Content...

Zamaradimketema Instagram Photos and Videos

Loading...


zamaradimketema zamaradi mketema @zamaradimketema mentions
Followers: 1,318,624
Following: 811
Total Comments: 0
Total Likes: 0

Ndugu/Jamaa/Rafiki Binti yetu Ashura Yusuph Kalufya (pichani) amepotea tokea siku ya Alhamis ...
Media Removed
Ndugu/Jamaa/Rafiki Binti yetu Ashura Yusuph Kalufya (pichani) amepotea tokea siku ya Alhamis jioni. Mara ya mwisho alionekana Mlimani City mida ya saa 12.30 jioni akiwa amevaa sweta nyeusi, kilemba cha blue na suruali ya jeans dark blue. Yeyote atakaemuona tunaomba atoe taarifa kwa ... Ndugu/Jamaa/Rafiki
Binti yetu Ashura Yusuph Kalufya (pichani) amepotea tokea siku ya Alhamis jioni. Mara ya mwisho alionekana Mlimani City mida ya saa 12.30 jioni akiwa amevaa sweta nyeusi, kilemba cha blue na suruali ya jeans dark blue.
Yeyote atakaemuona tunaomba atoe taarifa kwa namba 0784670846/0783670846/ 0788571303/ 0784670590/ 0754000031 au kituo chochote cha police kilichopo karibu. Asante

RB namba UD/RB/8798/2018
Read more
Loading...
Katika Ticket nilizopewa na @mcpilipili kuna moja ya AKIBA imebaki, nahitaji kutoa kama zawadi siku ya leo, as I said nitakuwepo na mume wangu siku hiyo, hivyo huyu nitakaempa hapa tutapata nafasi ya kukaa pamoja na story mbili tatu kwenye Stand Up comedy ya Mc PiliPili, hebu niambie ni JOKE ... Katika Ticket nilizopewa na @mcpilipili kuna moja ya AKIBA imebaki, nahitaji kutoa kama zawadi siku ya leo, as I said nitakuwepo na mume wangu siku hiyo, hivyo huyu nitakaempa hapa tutapata nafasi ya kukaa pamoja na story mbili tatu kwenye Stand Up comedy ya Mc PiliPili, hebu niambie ni JOKE gani ya MC PILIPILI iliyowahi kukuua mbavu unayoikumbuka na aliitoa kwenye event gani!?? Na kabla ya kuwa mchekeshaji kazi yake ya kwanza ni NINI!??? Na aliifanyia wapi!? Inabidi ujibu yote kwa mpigo' haya twende kazi nina ticket yako hapa!! 😊😀
Read more
Asante sana kwa kunifikishia Hizi TICKET, siwezi kuacha kuja Kaka, na kwa wanaonijua starehe yangu kubwa ni STORY NA KUCHEKA, so lazima niwepo na Mr. kuja kucheka hapo Kebbys Hotel siku ya Christmass!!! Natamani hizi Stand Up comedies zingekuwa nyingi nyingi ili na sisi wengine tuwe tunapata ... Asante sana kwa kunifikishia Hizi TICKET, siwezi kuacha kuja Kaka, na kwa wanaonijua starehe yangu kubwa ni STORY NA KUCHEKA, so lazima niwepo na Mr. kuja kucheka hapo Kebbys Hotel siku ya Christmass!!! Natamani hizi Stand Up comedies zingekuwa nyingi nyingi ili na sisi wengine tuwe tunapata sehemu za kwenda mara kwa mara baada ya majukumu ya hapa na pale!! Hongera sana Kaka @mcpilipili 😊
Read more
Kijana Wangu!! kua mwanangu nilete mwengine INSHA'ALLAH!! Maisha yenyewe ndio hayahaya acha ...
Media Removed
Kijana Wangu!! kua mwanangu nilete mwengine INSHA'ALLAH!! Maisha yenyewe ndio hayahaya acha niongeze watetezi' 🏿 My love for KIDS ni kitu kingine, ntazaa mpaka kizazi kitakaposema basi' Kijana Wangu!! kua mwanangu nilete mwengine INSHA'ALLAH!! Maisha yenyewe ndio hayahaya acha niongeze watetezi' 😊🙏🏿🍎 My love for KIDS ni kitu kingine, ntazaa mpaka kizazi kitakaposema basi'
Weekend SALE yetu imeanza leo' JUMAMOSI YA LEO NGUO ZOTE ZA WATOTO WA KIUME Tshirt zitaenda kwa ...
Media Removed
Weekend SALE yetu imeanza leo' JUMAMOSI YA LEO NGUO ZOTE ZA WATOTO WA KIUME Tshirt zitaenda kwa 15 mashati 20 na za chini suruali zote 30 huku nguo za watoto wa kike magauni ya maana yote yataenda kwa 50 Nitakuwepo mwenyewe Karibuni SANA!! Weekend SALE yetu imeanza leo'

JUMAMOSI YA LEO NGUO ZOTE ZA WATOTO WA KIUME Tshirt zitaenda kwa 15 mashati 20 na za chini suruali zote 30 huku nguo za watoto wa kike magauni ya maana yote yataenda kwa 50

Nitakuwepo mwenyewe Karibuni SANA!!
Mrs Shebby'
Media Removed
Mrs Shebby' Mrs Shebby'
Loading...
Safari ni Hatua 🏿 @king_salah01 Safari ni Hatua 😊🙏🏿 @king_salah01
My Life in one picture #WATOTOWANGU #UZAOWANGU #MAMAWATATU #ALHAMDULILLAH
Media Removed
My Life in one picture #WATOTOWANGU #UZAOWANGU #MAMAWATATU #ALHAMDULILLAH My Life in one picture #WATOTOWANGU #UZAOWANGU #MAMAWATATU #ALHAMDULILLAH
Loading...
Kwa hii promo ulionionesha I smell something BIG, Cant wait kuiona yote kwakweli @mlelandro Kitu kikubwa nimependa Look yako humu ndani, umebadilika sio Yusuph yule, ni kama mtu mzima fulani hivi.. Safi sana Baba Naisubiria kwa hamu aisee @mlelandro Kwa hii promo ulionionesha I smell something BIG, Cant wait kuiona yote kwakweli @mlelandro Kitu kikubwa nimependa Look yako humu ndani, umebadilika sio Yusuph yule, ni kama mtu mzima fulani hivi.. Safi sana Baba Naisubiria kwa hamu aisee @mlelandro
@raqey_allaraqya nakukumbusha tu <span class="emoji emoji1f603"></span> Anyways kwa unaeangalia hapa hebu Tag unaowajua hapo juu
Media Removed
@raqey_allaraqya nakukumbusha tu Anyways kwa unaeangalia hapa hebu Tag unaowajua hapo juu @raqey_allaraqya nakukumbusha tu 😃

Anyways kwa unaeangalia hapa hebu Tag unaowajua hapo juu
Mafanikio sio lazima uwe kama Manji, ila umbali wa HATUA ulizopiga kulingana na ULIPOTOKA, hatua ...
Media Removed
Mafanikio sio lazima uwe kama Manji, ila umbali wa HATUA ulizopiga kulingana na ULIPOTOKA, hatua ndio zinadetermine progress (kusogea kwako) hivyo usikae ukajiona hujafanikiwa sababu haumiliki RANGE ROVER, hauna NYUMBA YAKO, hauendi VACCATION, hauishi kama wanavyoishi wengine' Huenda ... Mafanikio sio lazima uwe kama Manji, ila umbali wa HATUA ulizopiga kulingana na ULIPOTOKA, hatua ndio zinadetermine progress (kusogea kwako) hivyo usikae ukajiona hujafanikiwa sababu haumiliki RANGE ROVER, hauna NYUMBA YAKO, hauendi VACCATION, hauishi kama wanavyoishi wengine'

Huenda hata unaoona wanafanya hayo hawana hatua kubwa walizopiga, labda ni vitu vilivyokuwa kwenye circle yao tu, Mafanikio hayafananishwi, ila ni safari yako na utofauti wake kulingana na muda, Hebu Jiangalie kisha jiulize ULIPOTOKA NI WAPI!? Si ajabu umetoka kwenye familia ambayo hata viatu vya shule ilikuwa shida, nauli shida, kula kwa tabu, Kuishi kwa tabu, Mama anaunga, Baba halikadhalika, leo MUNGU kakuona let say una uwezo wa kupanga hata kanyumba ka vyumba vya viwili na sebule, hauli kwa tabu, hauvai kwa tabu, una kavitz kako kanakusaidia hapa na pale, una kabiashara hata kama kanakuletea Elfu kumi/ishirini kila siku, kwa ulipotoka HUONI KUWA UMEPIGA HATUA!?? Haukatazwi kuendelea kudream Big lakini usijilinganishe wala kujiona hujafanikiwa sababu hauna hiki na kile katika walivyonavyo wenzako' ANGALIA ULIPOTOKA NDIPO UTAJUA UMEFANIKIWA KIASI GANI sababu mafanikio ni HATUA unazopiga WEWE na si vinginevyo.
Read more
Ulipotoka ni mbali sana, na Bado nakuona kwenye heri nyingi mbele, Hauna maneno mengi mwenyewe ...
Media Removed
Ulipotoka ni mbali sana, na Bado nakuona kwenye heri nyingi mbele, Hauna maneno mengi mwenyewe ni vitendo tu, umesimama kama MAMA kwa watoto wako, MKE kwa mumeo na MFANO kwa watu na wanawake wengi, tena hasa waliotoka kwenye familia za chini, umethibitisha kuwa inawezekana, bila kujionesha ... Ulipotoka ni mbali sana, na Bado nakuona kwenye heri nyingi mbele, Hauna maneno mengi mwenyewe ni vitendo tu, umesimama kama MAMA kwa watoto wako, MKE kwa mumeo na MFANO kwa watu na wanawake wengi, tena hasa waliotoka kwenye familia za chini, umethibitisha kuwa inawezekana, bila kujionesha mafanikio yako yanajionesha maana kwa bahati mbaya mafanikio ya kweli huwa hayajifichi, na watu leo hii WANAKUTAMBUA kama mpambanaji, mpiganaji na mfano bora wa neno INAWEZEKANA, binaadamu hatutakiwi kuwa defined kwa tulipotoka wala tuliyoyapitia ila YULE TUNAEMTENGENEZA AWE LEO, umefuta yote yaliyopita bila kutumia nguvu ila juhudi, umetuaminisha na kufanya tukuangalie positively bila maneno ila MATENDO yako, tena kwa njia zinazoonekana na halali, kwangu mimi wewe ni SHUJAA katika mashujaa wachache ninaowaona'

Another Real Person amezaliwa, Happy Birthday kwako ZUWENA MOHAMMED, MUNGU akuweke Mama uendelee kuwa mfano maana naamini hadi waliokuzidi wana mengi ya kujifunza kutoka kwako' UNAKUBALIKA NA HAKUNA WA KUTENGUA HILO'
Endelea kukomaa na JiJi @shilolekiuno_badgirlshishi
Read more
Loading...
Leo wamezaliwa mastar kutoka kwenye kiwanda cha filamu.. heri ya siku ya kuzaliwa kwenu wote @chuchuhansykichuna ...
Media Removed
Leo wamezaliwa mastar kutoka kwenye kiwanda cha filamu.. heri ya siku ya kuzaliwa kwenu wote @chuchuhansykichuna @riyamaally @niva_supermariyoo Leo wamezaliwa mastar kutoka kwenye kiwanda cha filamu.. heri ya siku ya kuzaliwa kwenu wote @chuchuhansykichuna @riyamaally @niva_supermariyoo
I cant wait.....'
Media Removed
I cant wait.....' I cant wait.....'
Kuna kipindi unaweza jikuta uko REJECTED na kila mtu mpaka ukahisi kama ni nuksi, nataka nikwambie ...
Media Removed
Kuna kipindi unaweza jikuta uko REJECTED na kila mtu mpaka ukahisi kama ni nuksi, nataka nikwambie hiyo ni sauti ya MUNGU, anakukosesha comfortability ili akufikishe unapostahili, kuna daraja anataka kukupandisha, na ili ufike kuna hali inabidi uisikie ambayo sio sahihi kwa watu unaoamini ... Kuna kipindi unaweza jikuta uko REJECTED na kila mtu mpaka ukahisi kama ni nuksi, nataka nikwambie hiyo ni sauti ya MUNGU, anakukosesha comfortability ili akufikishe unapostahili, kuna daraja anataka kukupandisha, na ili ufike kuna hali inabidi uisikie ambayo sio sahihi kwa watu unaoamini ni sahihi, AMKA, its your time to rise na kufikia kusudi uliloandaliwa, na huo ni muda wa kujitafuta na kutafuta kusudi lako, kitu kikubwa kinakusubiri, just SMILE and go for it.
Read more
Loading...
Usiangalie washindi tu katika kujifunza, hata walioshindwa ni watu sahihi wa kuwatazama kwa mafunzo ...
Media Removed
Usiangalie washindi tu katika kujifunza, hata walioshindwa ni watu sahihi wa kuwatazama kwa mafunzo pia, kwa kuangalia njia walizopita, makosa waliyofanya nakadhalika kuna uwezekano mkubwa wa kutuelekeza palipo sahihi kwa kukwepa njia mbaya zilizowapoteza' kila mtu ana nafasi ya ... Usiangalie washindi tu katika kujifunza, hata walioshindwa ni watu sahihi wa kuwatazama kwa mafunzo pia, kwa kuangalia njia walizopita, makosa waliyofanya nakadhalika kuna uwezekano mkubwa wa kutuelekeza palipo sahihi kwa kukwepa njia mbaya zilizowapoteza' kila mtu ana nafasi ya kukufunza inategemea macho yako yalichoamua kuangalia' geuza na muangalie alieshindwa kama mwalimu badala ya mtu aliefeli'
Read more
First Born Russell JuhJuh Mama's ______________ <span class="emoji emoji1f61c"></span> Anyways ilikuwa siku nzuri, Good night ...
Media Removed
First Born Russell JuhJuh Mama's ______________ Anyways ilikuwa siku nzuri, Good night World' First Born

Russell

JuhJuh

Mama's ______________ 😜

Anyways ilikuwa siku nzuri, Good night World'
Hii picha haijakamilika sababu Kuna mtu mmoja amekosekana hapo kwenye picha, hebu Mtag kama umemgundua!! ...
Media Removed
Hii picha haijakamilika sababu Kuna mtu mmoja amekosekana hapo kwenye picha, hebu Mtag kama umemgundua!! Hii picha haijakamilika sababu Kuna mtu mmoja amekosekana hapo kwenye picha, hebu Mtag kama umemgundua!! 😜
Loading...
Happy Birthday to you Kaka Mkubwa MUCH RESPECT @majizzo
Media Removed
Happy Birthday to you Kaka Mkubwa MUCH RESPECT @majizzo Happy Birthday to you Kaka Mkubwa

MUCH RESPECT @majizzo
Beautiful People'
Media Removed
Beautiful People' Beautiful People'
Naomba radhi kwa kushindwa kukabidhi siku ya Ijumaa kama nilivyoahidi kutokana na kuchelewa kuchambuliwa kwa mizigo iliyoletwa, ila naahidi JUMATANO nitajitahidi iwe ndio siku ya makabidhiano rasmi, kwa wale wanafunzi tayari process zinaendelea, na kuna watu waliomba kuongozana ... Naomba radhi kwa kushindwa kukabidhi siku ya Ijumaa kama nilivyoahidi kutokana na kuchelewa kuchambuliwa kwa mizigo iliyoletwa, ila naahidi JUMATANO nitajitahidi iwe ndio siku ya makabidhiano rasmi, kwa wale wanafunzi tayari process zinaendelea, na kuna watu waliomba kuongozana na mimi siku ya makabidhiano, nawataarifu tu JUMATANO ndio tutafanya makabidhiano rasmi' na zaidi kuna watu binafsi waliojitokeza kupeleka chakula moja kwa moja kwenye familia zilizowagusa na niliwaelekeza wakafanikisha hilo wenyewe, kiufupi watu wamejitoa sana na NINAWASHUKURU SANA WOTE MLIOGUSWA NA MKAJITOLEA KWA WATOTO HAWA'

MUNGU AWABARIKI SANA

Tukutane jumatano' #saidiamtoto
Read more
Good Night World!!!
Media Removed
Good Night World!!! Good Night World!!!
Asante MUNGU kwa kunipenda!!' Kila siku nazidi kuona Baraka zako, tena nyingine nikiwa sina akili ...
Media Removed
Asante MUNGU kwa kunipenda!!' Kila siku nazidi kuona Baraka zako, tena nyingine nikiwa sina akili nazo kabisa, zikinijia bila kutarajia' nina kila sababu ya kufurahia. #umenikomboa #ALHAMDULILLAH 🏿 Asante MUNGU kwa kunipenda!!' Kila siku nazidi kuona Baraka zako, tena nyingine nikiwa sina akili nazo kabisa, zikinijia bila kutarajia' nina kila sababu ya kufurahia.

#umenikomboa #ALHAMDULILLAH 🙏🏿
Happy Birthday to the Best MC in town Gara whaaat @mcgarab Have a good one kaka!!
Media Removed
Happy Birthday to the Best MC in town Gara whaaat @mcgarab Have a good one kaka!! Happy Birthday to the Best MC in town

Gara whaaat @mcgarab
Have a good one kaka!!
Black and White!! <span class="emoji emoji2764"></span>️
Media Removed
Black and White!! Black and White!! ❤️
#brothers Tag them please #brothers
Tag them please 😊
Ookay 😀 @harmonize_tz @princedullysykes
Media Removed
Ookay 😀 @harmonize_tz @princedullysykes Ookay 😀 @harmonize_tz @princedullysykes
And here she is, One beautiful Sexy Momma @fausta_p_kameja 😀 swipe kuona mmoja aliepatia mwanzo, ...
Media Removed
And here she is, One beautiful Sexy Momma @fausta_p_kameja 😀 swipe kuona mmoja aliepatia mwanzo, nitafute nikupe vocha yako love' And here she is, One beautiful Sexy Momma @fausta_p_kameja 😀 swipe kuona mmoja aliepatia mwanzo, nitafute nikupe vocha yako love'
Can you please Guess who that is!?? Atakaepatia kuna vocha hapa... haya TAG her' many will fail though ...
Media Removed
Can you please Guess who that is!?? Atakaepatia kuna vocha hapa... haya TAG her' many will fail though 😀 Can you please Guess who that is!?? Atakaepatia kuna vocha hapa... haya TAG her' many will fail though 😀
Leo ndio mwisho wa kukusanya zile nguo kwa ajili ya watoto wahitaji, asanteni kwa wote mliojitolea ...
Media Removed
Leo ndio mwisho wa kukusanya zile nguo kwa ajili ya watoto wahitaji, asanteni kwa wote mliojitolea kwa moyo na mapenzi na kuna ambao wametoa vyakula pia, na kuna watoto waliobahatika kupata NAFASI ZA KUSOMESHWA kuanzia kindergarten mpaka university au mpaka watakapochoka wao kwa kuanzia ... Leo ndio mwisho wa kukusanya zile nguo kwa ajili ya watoto wahitaji, asanteni kwa wote mliojitolea kwa moyo na mapenzi na kuna ambao wametoa vyakula pia, na kuna watoto waliobahatika kupata NAFASI ZA KUSOMESHWA kuanzia kindergarten mpaka university au mpaka watakapochoka wao kwa kuanzia katika primary ya LOYOLA inayoitwa GONZAGA, aisee MUNGU AWABARIKI SANA SANA!! Tutaanza zoezi la uchambuzi ili kuweka pembeni zile ambazo tunaona haziko kwenye hali nzuri kisha kama tutafanikiwa kumaliza kwa haraka tutafanya makabidhiano siku ya Alhamisi ama ijumaa INSHA'ALLAH'
MBARIKIWE SANA SANA'
#saidiamtoto
Read more
Nimetamani kuwapost leo ila picha mpya pekee ya nyinyi niliyonayo ni hii mkiwa mmelala!! <span class="emoji emoji1f64f"></span>🏿 #babanamamayangu
Media Removed
Nimetamani kuwapost leo ila picha mpya pekee ya nyinyi niliyonayo ni hii mkiwa mmelala!! 🏿 #babanamamayangu Nimetamani kuwapost leo ila picha mpya pekee ya nyinyi niliyonayo ni hii mkiwa mmelala!! 🙏🏿 #babanamamayangu
Usihangaike masokoni, kama unamahitaji ya mchele safi wenye kiwango utaletewa mpaka mlangoni ...
Media Removed
Usihangaike masokoni, kama unamahitaji ya mchele safi wenye kiwango utaletewa mpaka mlangoni kwa kupiga namba hizo hapo juu!! Usihangaike masokoni, kama unamahitaji ya mchele safi wenye kiwango utaletewa mpaka mlangoni kwa kupiga namba hizo hapo juu!! 😊
 #sweetmother #Myfather RIP
Media Removed
#sweetmother #Myfather RIP #sweetmother #Myfather

RIP
Happy Birthday kipenzi, Nakupenda @neema_ndepanya
Media Removed
Happy Birthday kipenzi, Nakupenda @neema_ndepanya Happy Birthday kipenzi, Nakupenda @neema_ndepanya
@josephkusaga
Media Removed
@josephkusaga @josephkusaga
Kutopitia yoyote katika hii kusikufanye ujione HAUTOSHI ama sio mwanamke, you are still a package ...
Media Removed
Kutopitia yoyote katika hii kusikufanye ujione HAUTOSHI ama sio mwanamke, you are still a package inayojitosheleza, na zaidi sio lazima ifate mtiririko huo ndio iwe kamili, unaweza ukawa umeanza mwisho na ukarudi kufanikisha mwanzo pia, hizi ni picha tu za kuchangamsha social medias ... Kutopitia yoyote katika hii kusikufanye ujione HAUTOSHI ama sio mwanamke, you are still a package inayojitosheleza, na zaidi sio lazima ifate mtiririko huo ndio iwe kamili, unaweza ukawa umeanza mwisho na ukarudi kufanikisha mwanzo pia, hizi ni picha tu za kuchangamsha social medias ila MAISHA YA UKWELI ni zaidi ya mapichapicha, hivyo zisifanye uuhoji ukamilifu wako, wewe ni kamili na unatosha, na si lazima wote tupate kila kinachoonekana hapo kwenye picha, vingine ni kudra za MWENYEEZIMUNGU, umeletwa duniani kwa kusudi maalum, haujatokea tu bila sababu' usiumize kichwa na chochote' na wala usikufuru kwa kukosa chochote, UNATOSHA!!!
Read more
HABARI NJEMA: Baada ya watu kuona vipande vya baadhi ya familia kilichotokea ni kuwa WATOTO WATANO (imeongezwa list) kutoka familia tatu tofauti ikiwemo ile yenye mapacha watatu wamepata ufadhili wa KUSOMESHWA BURE KABISA katika shule ya Primary ya LOYOLA inayoitwa GONZAGA ambayo ... HABARI NJEMA:

Baada ya watu kuona vipande vya baadhi ya familia kilichotokea ni kuwa WATOTO WATANO (imeongezwa list) kutoka familia tatu tofauti ikiwemo ile yenye mapacha watatu wamepata ufadhili wa KUSOMESHWA BURE KABISA katika shule ya Primary ya LOYOLA inayoitwa GONZAGA ambayo ni English Medium, na watalipiwa kila kitu kuanzia masomo mpaka mahitaji yao muhimu tena kuanzia LEVEL YA KINDERGARTEN/PRIMARY MPAKA UNIVERSITY ama watakaposhindwa wao, na zaidi watakaa kwenye kituo maalum (kama Boarding) ambapo wakati wa Likizo watakuwa wakirudi kwenye familia zao na kila Jumapili wazazi wao wanaruhusiwa kuwatembelea.

Hivyo kwa moyo mkunjufu kabisa napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa taasisi hii iliyojitolea lakini zaidi wale wote wanaoendelea kukusanya mahitaji mbalimbali juu ya watoto hawa, kumbuka bado wengi wana mahitaji na mwisho wa ukusanyaji ni Jumapili hii, asanteni!!. #PAMOJATUNAWEZA #TUMEWEZA 😊 #SAIDIAMTOTO
Read more
#saidiamtoto Mahitaji ni yaleyale tunayoyaona ni ya kawaida kwetu ila kwa wengine mtihani, watu wa makazini wameomba zoezi la kupokea liongezwe muda kutokana na kukosa nafasi on weekdays hivyo tutaenda mpaka jumapili ndio itakuwa mwisho' Mbarikiwe sana' Namba 0688325566 #saidiamtoto

Mahitaji ni yaleyale tunayoyaona ni ya kawaida kwetu ila kwa wengine mtihani, watu wa makazini wameomba zoezi la kupokea liongezwe muda kutokana na kukosa nafasi on weekdays hivyo tutaenda mpaka jumapili ndio itakuwa mwisho'

Mbarikiwe sana'

Namba 0688325566
Naona kuna wengi wameguswa na huyu mtoto na kuna watu kama WAWILI wameonesha interest ya KUISHI NAE mmoja wao akitaka kuadopt kabisa, kwa wanaofahamu naomba kujua hivi SHERIA ZA ADOPTION TANZANIA HUWA ZIKOJE!!??? Kwa wanaojua Msaada tafadhali 0688325566 Naona kuna wengi wameguswa na huyu mtoto na kuna watu kama WAWILI wameonesha interest ya KUISHI NAE mmoja wao akitaka kuadopt kabisa, kwa wanaofahamu naomba kujua hivi SHERIA ZA ADOPTION TANZANIA HUWA ZIKOJE!!??? Kwa wanaojua Msaada tafadhali

0688325566
Tusilie nao wala kuhuzunika NAO maana hiyo haina msaada kwao wala kwetu ila tuwafanye wafurahi na kucheka na SISI.. Na hiyo haihitaji uwezo mkubwa ila MOYO MKUBWA #saidiamtoto Kama una nguo, viatu ambavyo hutumii na viko kwenye hali nzuri unaweza ukawasilisha, ama kama huna unaweza ... Tusilie nao wala kuhuzunika NAO maana hiyo haina msaada kwao wala kwetu ila tuwafanye wafurahi na kucheka na SISI.. Na hiyo haihitaji uwezo mkubwa ila MOYO MKUBWA #saidiamtoto

Kama una nguo, viatu ambavyo hutumii na viko kwenye hali nzuri unaweza ukawasilisha, ama kama huna unaweza kununua UNIFORM, MABEGI n.k na ukatuwasilishia kwenye ofisi za Wasafi Tv Mbezi kwa Zena ama Dukani Mikocheni karibu na shoppers Plaza opposite ma Tasty Bakery'

Mwisho wa hili zoezi ni IJUMAA.

Namba ya kupiga 0688325566

MUNGU AWABARIKI SANA!!
Read more
Usiku uwe Mwema kwenu wote'
Media Removed
Usiku uwe Mwema kwenu wote' Usiku uwe Mwema kwenu wote'
Hakuna zuri litakalosapotiwa na kila mtu na hakuna baya litakalopingwa na kila mtu.. watu huangalia ...
Media Removed
Hakuna zuri litakalosapotiwa na kila mtu na hakuna baya litakalopingwa na kila mtu.. watu huangalia yale yanayowafavor wao na hata mitazamo hutolewa kwa namna hiyo na sio uhalali wa jambo katika maana ya uzuri ama ubaya wake, Hivyo tegemea chochote kutoka kwa yoyote kwenye situation ... Hakuna zuri litakalosapotiwa na kila mtu na hakuna baya litakalopingwa na kila mtu.. watu huangalia yale yanayowafavor wao na hata mitazamo hutolewa kwa namna hiyo na sio uhalali wa jambo katika maana ya uzuri ama ubaya wake,
Hivyo tegemea chochote kutoka kwa yoyote kwenye situation yeyote'
Read more
@fausta_p_kameja @juma_jux
Media Removed
@fausta_p_kameja @juma_jux @fausta_p_kameja @juma_jux
Happy Birthday my love Mpiganaji katika wapiganaji ninaowajua I respect your Hustles Have ...
Media Removed
Happy Birthday my love Mpiganaji katika wapiganaji ninaowajua I respect your Hustles Have a good one @jenniferkyaka Happy Birthday my love

Mpiganaji katika wapiganaji ninaowajua

I respect your Hustles
Have a good one 😊@jenniferkyaka
Sasa Steve nikikuuliza kinachokuchekesha hivyo sana utajibu nini 🤣 #funtimes with my brother Sasa Steve nikikuuliza kinachokuchekesha hivyo sana utajibu nini 🤣 #funtimes with my brother
Wakati wewe unalala kwenye godoro zuri kwa kujiachia kuna watu usiku ni mawazo, Ona sehemu wanayolala watoto ni mtihani wallah, ni kama wako nje!! Its sad. Asanteni wote mliojitolea NGUO, zoezi la ukusanyaji linaendelea kwa wiki nzima hii, mitaani hali ni mbaya mno... NGUO, CHAKULA, ... Wakati wewe unalala kwenye godoro zuri kwa kujiachia kuna watu usiku ni mawazo, Ona sehemu wanayolala watoto ni mtihani wallah, ni kama wako nje!! Its sad.

Asanteni wote mliojitolea NGUO, zoezi la ukusanyaji linaendelea kwa wiki nzima hii, mitaani hali ni mbaya mno... NGUO, CHAKULA, UNIFORM na hata MAGODORO ni mtihani kwa wenzetu... wakati sisi tunabembeleza watoto wetu kula wengi mitaani hata kuona huo ugali wa uhakika ni ndoto, unapojaza nguo usizotumia kabatini kuna wengine hawajiwezi kabisa tena wakishindia za shule na kuendea hizohizo.

Kutoa ni moyo si utajiri, na zaidi kutoa ni IBADA... kituo cha kupokelea ni ofisi za WASAFI TV Mbezi Beach kwa Zena, na Dukani MIKOCHENI karibu na shoppers Plaza opposite na Tasty Bakery #SAIDIAMTOTO

Namba 0688325566

#saidiamtoto
Read more
After a loooong stressing Day decided to find a Home away from Home and #HyattDarNewRooms ikaja ...
Media Removed
After a loooong stressing Day decided to find a Home away from Home and #HyattDarNewRooms ikaja kwenye mind yangu' I enjoyed the Stay, thank you for the Hospitality @hyatt_kilimanjaro After a loooong stressing Day decided to find a Home away from Home and #HyattDarNewRooms ikaja kwenye mind yangu'

I enjoyed the Stay, thank you for the Hospitality @hyatt_kilimanjaro
Hakuna kitu kibaya kama UNYONGE, Huu ni mfano unaowakilisha wengi wa namna hii, kama una chochote iwe nguo, uniform tafadhali tunahitaji msaada wako ili kila mmoja aone Dunia ni sehemu nzuri ya kuishi... fikiria anapopata furaha yake kwako ni BARAKA kiasi gani Tunaendelea kupokea misaada ... Hakuna kitu kibaya kama UNYONGE, Huu ni mfano unaowakilisha wengi wa namna hii, kama una chochote iwe nguo, uniform tafadhali tunahitaji msaada wako ili kila mmoja aone Dunia ni sehemu nzuri ya kuishi... fikiria anapopata furaha yake kwako ni BARAKA kiasi gani

Tunaendelea kupokea misaada kwa wiki nzima hii vituo vya kupokelea ni Ofisi za WASAFI TV Mbezi Beach na Dukani MIKOCHENI opposite na Tasty Bakery karibu na Shoppers Plaza #SAIDIAMTOTO

Namba 0688325566
Read more
Asanteni wote mliojitolea NGUO siku ya leo, zoezi la ukusanyaji linaendelea kwa wiki nzima hii, mitaani hali ni mbaya mno... NGUO, CHAKULA, UNIFORM ni mtihani kwa wenzetu... wakati sisi tunabembeleza watoto wetu kula wengi mitaani hata kuona huo ugali wa uhakika ni ndoto, unapojaza nguo ... Asanteni wote mliojitolea NGUO siku ya leo, zoezi la ukusanyaji linaendelea kwa wiki nzima hii, mitaani hali ni mbaya mno... NGUO, CHAKULA, UNIFORM ni mtihani kwa wenzetu... wakati sisi tunabembeleza watoto wetu kula wengi mitaani hata kuona huo ugali wa uhakika ni ndoto, unapojaza nguo usizotumia kabatini kuna wengine hawajiwezi kabisa tena wakishindia za shule na kuendea hizohizo, na wengine hata kutembelea viraka'

Hii ni moja ya nyumba tuliyotembelea lakini kuna nyingi za kusikitisha, kama una NGUO usizotumia (zilizo kwenye hali nzuri), uniform za shule ya msingi tafadhali tusaidie wenzetu

Kutoa ni moyo si utajiri, na zaidi kutoa ni IBADA... kituo cha kupokelea ni ofisi za WASAFI TV Mbezi Beach kwa Zena, na Dukani MIKOCHENI karibu na shoppers Plaza opposite na Tasty Bakery

Namba 0688325566
Read more

Loading...